SHULE YA SEKONDARI KIBAHA S.L.P 30053, KIBAHA SIMU NA Kibaha

Size: px
Start display at page:

Download "SHULE YA SEKONDARI KIBAHA S.L.P 30053, KIBAHA SIMU NA Kibaha"

Transcription

1 Kumb.Na.KSS/. Tarehe:.. Ndugu:.. SHULE YA SEKONDARI KIBAHA S.L.P 30053, KIBAHA SIMU NA Kibaha TAARIFA YA KUCHAGULIWA KUINGIA KIDATO CHA TANO 2018 Ninayo furaha kukufahamisha kuwa umechaguliwa kuingia kidato cha V mwaka wa masomo wa 2017 Unatakiwa kufika hapa shuleni tarehe 17/07/2018. Nafasi yako atapewa mtu mwingine kama hutafika shuleni baada ya 30/07/2018. Shule iko Kilometa 40 kutoka Dar es Salaam karibu na Kiwanda cha TANCHIN zamani TAMCO Scania kilicho upande wa kulia mwa barabara inayoelekea Morogoro). Fuata barabara iliyo kushoto ukitokea Dar es Salaam hadi Tumbi Hospitali kilipo kituo cha mabasi nje ya Geti dogo la Hospitali. Uliza njia ya kuelekea shule ya Sekondari Kibaha. Yafuatayo ni maelezo na maagizo ambayo unashauriwa kuyatumia kabla hujafika hapa shuleni. 1. MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA: (i) Fika shuleni ukiwa na cheti cha kuzaliwa. (ii) Fika na Fomu ya kupimwa ikiwa imejazwa kikamilifu na Daktari wa serikali. (iii) Fika na result slip ya kidato cha nne. (iv) Lete File/Jalada la kutunzia mitihani yako. (v) Fika shuleni ukiwa na kadi ya BIMA ya afya. 2.SARE YA SHULE: (i) Anatakiwa awe na suruali mbili (DARK-BLUE) na mashati mawili (MEUPE) yenye mikono mifupi yenye nembo ya shule, tai na fulana (T-shirt) ya Shule. Pia mwanafunzi anatakiwa awe na nguo rasmi za kushindia(shamba wear). Hivi vinapatikana shuleni. (ii) Viatu jozi moja au zaidi visivyochongoka wala kuinuka mbele. Hivi viwe vya ngozi rangi nyeusi (vyenye gidamu) vya kufungwa kwa kamba. Ndala hazitaruhusiwa kuvaliwa pamoja na sare ya shule. (iii) Soksi fupi jozi mbili za rangi nyeusi na zisizo na mapambo yoyote. (iv) Aje na mkanda mweusi wa ngozi wa suruali wenye buckle ndogo. (v) Bukta au kaptura kwa ajili ya michezo na kazi za mikono. (vi) Raba za michezo jozi moja (01) (vii) Aje na sweta (dark-blue) yenye shingo ya herufi V (viii) Aje na nguo za michezo. (track suit na bukta mbili za rangi ya Blue) TANBIHI: Nguo utakazopewa baada ya kulipia zinatosha,hivyo usije na nguo za nyumbani. 3.MAHITAJI MENGINE: (i) Kila mwanafunzi awe na Sahani, Bakuli, Kikombe, Kijiko kwa ajili ya chakula. (ii) Lete Shuka tatu za Bluu, mto na Foronya mbili, pamoja na Chandarua. (ukipenda unaweza kuleta blanketi moja ingawa hali ya hewa ya Kibaha ni ya joto. Vile vile ulete taulo moja ya kuogea na vifaa vingine vya usafi wa binafsi. (iii) (iv) (v) Ndoo 2 kwa ajili ya kutunzia maji ya kunywa na kuogea. Fika shuleni ukiwa na kwanja kwa ajili ya matumizi ya shule. Fika shuleni ukiwa na Mfagio laini 1, Mfagio Mgumu (hardbroom) 1, na Mpira Page 1 of 8

2 (vi) (vii) (viii) (ix) (x) (xi) (xii) wa kupigia deki 1 (Rubber squeezer), na Fagio la Chelewa lenye mkono. Dawa ya kusafishia choo Lita tano (AINA YA CARELINE). Toilet Paper kumi (10) au zaidi kwa matumizi binafsi. Godoro moja lenye Futi 2½ kwa 6 kwa matumizi binafsi(yanapatikana Maduka yaliyo jirani na shule) Truncker kwa ajili ya kuhifadhia vitu. Nguo za kushindia zinapatikana shuleni. (Suruali Mbili na Tshirt mbili zenye Nembo). Hairuhusiwi kuja na nguo za nyumbani Uniform zinapatikana shuleni (Suruali mbili na Tshirt mbili na mashati mawili yenye Nembo). Unatakiwa ulete Mathematical set (Mkebe wa vifaa vya Mahesabu) moja. (xiii) Kwa upande wa masomo unatakiwa kuleta daftari kubwa (counter books 4 Quire) zisizopungua 10. kwa muhula za kutosha kuandikia katika masomo yako yote (xiv) Shule yetu inafanya majaribio mengi. Leta ream mbili za karatasi za Photocopy Upeleke Ofisi ya Taaluma. (xv) (xvi) (xvii) (xviii) (xix) (xx) Alete scientific calculator kwa ajili ya wanafunzi wa kidato cha tano na sita Kwa watakaosoma Biology A-Level waje na Dissecting Kit ambayo wataitunza wenyewe. Fika shuleni na Jembe na mpini wake kwa ajili ya bustani ya shule. Jitahidi mnunulie mwanao vitabu vifuatavyo kwa ajili ya rejea:- 1. Physics advanced Level by Chand 2. Chemistry advanced level by Chand 3. Understanding Biology advanced level. 4. Principle of Biology form V VI. 5. Modern ABC Physics volume 1 and Modern ABC Biology volume 1 and 2 7. Business accounting 2 by Frank wood 11 edition 8. Advanced mathematics by Chand. Mfungulie mwanao akaunti kwa ajili ya kutunza fedha za matumizi. Mwanafunzi akabidhi stampu na bahasha kwa ajili ya kutuma fomu ya maendeleo ya kitaaluma kwa muhula. 4. FEDHA ZA MUHIMU KULIPWA a) Za kulipia benki Akaunti namba Kibaha secondary school subvention account nmb bank (i) Shilingi 70,000/= kwa ajili ya Ada kwa mwaka au shilingi 35,000 kwa muhula. (ii) Shilingi 15,000/= kwa ajili ya tahadhali (Caution money) (hazitarejeshwa) (iii) Shilingi 10,000/= kwa ajili ya gharama za Uanachama na matumizi ya Maktaba kwa mwaka. (iv) Shilingi 10,000/= kwa ajili ya Fomu ya kujiunga na shule. (v) Shilingi 65,000 kwa ajili ya samani za Shule. TANBIHI: Malipo yalipwe kupitia benki ya NMB na Stakabadhi ya malipo iletwe shuleni Na iandikwe jina la Mwanafunzi na kidato chake kwenye pay in slip ya Benki na si jina la mzazi. b) Za kuleta taslimu shuleni (vi) Shilingi 150,000 kwa ajili ya nguo za sare na nguo za kushindia(suluari 4,mashati 2,T shirts 3 na tai 1). (vii) Shilingi 8,000/= kwa ajili ya Kitambulisho cha shule na usajili. (viii) Shilingi 20,000/= kwa ajili ya maboresho ya Taaluma. (viii) Shilingi 10,000/= kwa ajili ya usafi wa nywele/ndevu kwa muhula. (x) Shilingi 50,000 kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa uzio wa shule (makubaliano vikao vya wazazi). Page 2 of 8

3 5. MAELEKEZO MENGINE MUHIMU: (i) Unapofika shuleni uripoti kwa mwalimu wa zamu ukiwa na Pay in Slips za Benki ambazo utazionyesha kwa msarifu msaidizi na yeye atakupatia risiti kwa malipo uliyolipia benki. Mwanafunzi hatapokelewa shuleni ikiwa hatakamilisha malipo ya Ada na michango mingine. (ii) Unatakiwa uwe na nauli ya kurudia nyumbani wakati wa likizo. Haturuhusu mwanafunzi kubaki shuleni wakati wa likizo. (iii) Pasi inaruhusiwa shuleni na ni lazima ijulishwe kwa mwalimu mlezi wa nyumba. (iv) Utakapofika hapa shuleni utasomewa sheria za shule na utaratibu mzima wa shule hii na utalazimika kuufuata. Ukikosa, hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yako. (v) Mwanafunzi wetu haruhusiwi kuendelea na masomo ya muhula kama hajakamilisha malipo yote. Itabidi arudi nyumbani kwa gharama za mzazi/mlezi wake ili kufuata michango hiyo. (vi) Mwanafunzi haruhusiwi kumiliki Simu, Laptop na Ipod shuleni. Akipatikana na vitu hivyo atasimamishwa masomo au kufukuzwa shule na simu itaharibiwa. (vii) Endapo mwanafunzi/mzazi/mlezi atakuwa na dharura awasiliane kwa kutumia simu ya shule. (viii) Mzazi anaruhusiwa kuja kumsalimia mtoto wake kila jumapili ya mwisho wa mwezi kwa miezi ya Februari,Aprili,Augasti na Oktoba tu. 6.MAKOSA YANAYOWEZA KUSABABISHA KUFUKUZWA SHULENI. (i) Kumiliki simu ya mkononi na laini shuleni. (ii) Wizi,uasherati,ubakaji na ushoga. (iii) Ulevi,uvutaji bangi na matumizi ya madawa ya kulevya. (iv) Makosa ya jinai. (v) Kupigana au kupiga (vi) Kuharibu kwa makusudi mali ya umma (vii) Kudharau Bendera ya Taifa. (viii) Kuoa (ix) Kugoma,kuchochea na kuongoza au kuvuruga amani na usalama. (x) Kukataa adhabu kwa makusudi. 7. KIKAO CHA WAZAZI Shule ina utaratibu wa vikao vya wazazi ambavyo hufanyika kila mwaka. Lengo kuu la vikao hivyo ni kupanga na kusimamia mipango mbalimbali ya kuboresha taaluma, nidhamu na miundombimu ya shule. Mwaka huu kikao kitafanyika tarehe kuanzia saa tatu kamili. Unatakiwa usikose kuhudhuria 8.HITIMISHO Mwisho natumia fursa hii kwa niaba ya walimu, wafanyakazi na wanafunzi wote wa shule hii kukukaribisha hapa shuleni na naamini utatumia vizuri nafasi hii uliyopewa na Taifa ya kukuongezea elimu yako. Karibu sana. Nakala kwa: Maafisa Elimu (M) Ambilikile, C.M, Mkuu wa Shule, SHULE YA SEKONDARI KIBAHA. SIMU YA MKONONI: / MIKOA YOTE YA TANZANIA BARA Taarifa kwa wanafunzi Page 3 of 8

4 Anuani Tarehe:... Mkuu wa Shule, Shule ya Sekondari Kibaha, S.L.P , KIBAHA YAH: BARUA YA KUKUBALI KUJIUNGA NA SHULE HII Aksante kwa barua yako Kumb.Na.. ya tarehe (a) (b) (c) (d) (e) Nakubali/sikubali nafasi niliyopewa ya Kidato cha Tano kwa mwaka. Niko tayari/siko tayari kufuata sheria, maagizo na masharti yote ya Kibaha Sekondari Nitahudhuria/Sitahudhuria masomo yote ninayotakiwa kusoma hapa shuleni Nikishindwa kuhudhuria bila sababu ya msingi nifukuzwe shule. Nitaleta/Sitaleta (i) (ii) (iii) (iv) (v) Uthibitisho wa Uraia/Cheti cha kuzaliwa (Affidavit hairuhusiwi) Vitu vinavyohitajika kwa matumizi yangu Cheti cha Afya Fomu ya kuandikisha na habari zangu za mzazi/mlezi wangu. Result slip ya kidato cha nne. Aksante JINA NA SAHIHI YA MWANAFUNZI JINA NA SAHIHI Page 4 of 8

5 FOMU YA KUANDIKISHA SHULENI NA HABARI ZA WAZAZI WA MWANAFUNZI SEHEMU A: (HABARI ZA MWANAFUNZI): 1. Jina kamili (Kama kwenye mtihani) 2. Tarehe ya kuzaliwa Dini..Dhehebu 3. Mahali na Wilaya ulipozaliwa. 4. Shule ulipomaliza Kidato cha IV.., Mwaka uliomaliza 5. Kidato unachokuja kuingia hapa shule ya Sekondari ya Kibaha 6. Namba yako ya mtihani Kidato cha nne ilikuwa 7. Michezo unayopendelea: TANBIHI: Hairuhusiwi kubadili dini ukiwa shuleni au kushawishi wanafunzi wengine kubadili dini JINA LA MCHEZO MAHALI/SHULE MWAKA 8. Kazi yeyote ya uongozi uliyowahi kufanya kama vile kiongozi wa michezo, kwaya, ngoma, kiranja, maktaba n.k. MADARAKA AU UONGOZSHULE/MAHALI MWAKA 9. Mambo unayopendelea kufanya nje ya masomo (kama vile michezo, mpira, bustani, ushonaji viatu, nguo, michezo ya kuigiza). kuimba Ndugu wa karibu wa mwanafunzi (wa kiume/wa kike) k.m. Mjomba, mama, shangazi, kaka, dada kufuatana na umri wao wa kuzaliwa JINA LA NDUGU KAZI ANAYOFANYA UHUSIANO NA MWANAFUNZI KIWANGO CHA ELIMU ANUANI NAMBA YA SIMU Nathibitisha kwamba habari zilizotolewa hapo juu ni kweli. Naahidi kuwa na tabia nzuri, mchapa kazi na mwenye bidii ya masomo. Tarehe:.. Sahihi ya Mwanafunzi Page 5 of 8

6 SEHEMU B: (HABARI ZA MZAZI/MLEZI): 1. Jina kamili 2. Kazi yake. 3. Mahali anapoishi... Anwani ya nyumbani Kijiji.Kata Tarafa Wilaya.Mkoa 4. (a) Anuani ya Mahali pa kazi ya mzazi/mlezi. (b) Nambari ya simu.. 5. Dini ya mzazi.. Madhehebu. 6. Anuani kamili ya nyumbani ambako mtoto atakuwa anakwenda siku za likizo. 7. Anwani ya kazini (ikiwa inatofautiana na hiyo hapo juu na kila mara inapobadilika tunaomba utuarifu rasmi kwa barua kupitia Mkuu wa Kata, Tarafa au wa Kijiji chako) 8. Nathibitisha kwamba habari zilizotolewa hapo juu ni za kweli. 9. Naahidi kushirikiana na walimu kuhakikisha kwamba kijana wangu anakuwa na tabia nzuri, mchapa kazi na mwenye bidii ya masomo. Tarehe..Sahihi ya Mzazi/Mlezi Page 6 of 8

7 MINISTRY OF EDUCATION AND VOCATIONAL TRAINING KIBAHA SECONDARY SCHOOL P.O BOX 30053, KIBAHA SPECIAL REQUEST FOR MEDICAL EXAMINATION The Medical Officer.From Headmaster,(GOVERNMENT M.O) Kibaha Secondary School, Date: Name of Student... Date Term.. Year.. I shall be very grateful if you will kindly examine the above named student and give us a report regarding his fitness to undertake studies well in our school. A: PRELIMINARY INFORMATION: MEDICAL HISTORY NO DISEASE YES NO DISEASE YES NO DISEASE YES NO 1. Tuberculosis 7 Kidney/ trouble 13 Operation Asthma 8 Diabetes 14 Eye disorder 20 3 Pneumonia 9 Neverous breakdown 15 V.D 21 4 Heart 10 Ear/Noise/Throat 16 Disabled 22 trouble trouble 5 Recurrent 11 Skin disorder/ 17 indigestion disease 6 Jaundice 12 Anaemia 18 B: VITAL STATISTICS Age.. Height Weight.. Blood group Blood pressure. Pulse rate.. Systolic Diastolic. C: MEDICAL EXAMINATION: REMARKS/TREATMENT EAR RT. LT. VISION RT. EYE LT. EYE THROAT CHEST EXAMINATION ABDOMINAL EXAM. LIVER SPLEEN OTHER COMMENTS M.S. SYSTEM UPPER LIMBS LOWER LIMBS SKIN ANY OTHER FINDING Page 7 of 8

8 D: LABORATORY EXAMINATIONS/INVESTIGATION: (1) STOOL: - Ova..Leucocytes (2) URINALYSIS: PROTEIN GLUCOSE SEDMENT: - OVA Leucocytes (3) Hb. (4) B/S. (5) VDRL (6) WBC Total Differential: N L M E B.. (7) X-ray Chest (If necessary). (8) ANYOTHERINVESTIGATION MEDICAL CERTIFICATE: We request the medical officer to complete the following: I have examined the above named student and considered that he is physically fit/unfit for most activities taken at the school as my findings indicated above. Date: Station..Dr s Name: Signature Thank you in advance. Ambilikile C,M, Headmaster, KIBAHA SECONDARY SCHOOL. Page 8 of 8

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAISI-TAMISEMI HALMASHAURI YA WILAYA BUMBULI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAISI-TAMISEMI HALMASHAURI YA WILAYA BUMBULI JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAISI-TAMISEMI HALMASHAURI YA WILAYA BUMBULI NAMBA ZA SIMU: Mkuu Wa Shule: 0784524029 / 0766805826. Makamu Mkuu Wa Shule: 0714356735 / 0767356735. SHULE YA SEKONDARI

More information

HALMASHAURI YA WILAYA YA SUMBAWANGA

HALMASHAURI YA WILAYA YA SUMBAWANGA HALMASHAURI YA WILAYA YA SUMBAWANGA E- mail: uchilesekondari@yahoo.com P.O. BOX 582 Mob: +255 (0) 752 476 389 SUMBAWANGA KUMB. NA. USS/JOINING/F.V/03 10 Juni 2017...... YAH: MAAGIZO YA KUJIUNGA NA KIDATO

More information

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA SIMU NA: (027) 2642082 TANGA (OFISI) 0784 889 099 TANGA (NYUMBANI) Tovuti: www.tangaschool.sc.tz Barua pepe: tangaschool@yahoo.com JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI HALMASHAURI YA

More information

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. OFISI YA RAIS- TAMISEMI.

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. OFISI YA RAIS- TAMISEMI. JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. OFISI YA RAIS- TAMISEMI. Namba za simu: SHULE YA SEKONDARI ANNA MKAPA, S. L. P 8824, MOSHI. TAREHE... MKUU WA SHULE : 0688 460 242/ 0754 824 621 MAKAMU MKUU WA SHULE: 0787

More information

2018/2019 OFISI YA RAIS-TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

2018/2019 OFISI YA RAIS-TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA OFISI YA RAIS-TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA WILAYA TANDAHIMBA SHULE YA SEKONDARI TANDAHIMBA, S.L.P 74, 0716 / 0784 143550 12/05/2018 Kumb. Na. TSS/HS/2018/VOL. I Mwanafunzi.. S.L.P....

More information

Kumb.Na.BSS/A.6/33 Tarehe: 18 Juni 2018 YAH: MAAGIZO YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2018/2019

Kumb.Na.BSS/A.6/33 Tarehe: 18 Juni 2018 YAH: MAAGIZO YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2018/2019 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Shule ya Sekondari Bagamoyo Simu ya mkononi: +255 769 397 926 : +255 658

More information

OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA WILAYA YA IRINGA SHULE YA SEKONDARI TOSAMAGANGA

OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA WILAYA YA IRINGA SHULE YA SEKONDARI TOSAMAGANGA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA WILAYA YA IRINGA SHULE YA SEKONDARI TOSAMAGANGA SANDUKU LA POSTA 569 IRINGA TANZANIA Kumb... MZAZI/MLEZI WA...... YAH: MAAGIZO YA KUJIUNGA

More information

JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAISI-TAMISEMI

JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAISI-TAMISEMI JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAISI-TAMISEMI Namba za simu Shule ya sekondari Mkingaleo Mkuu wa shule -0716544244 S.L.P 1802 Makamu Mkuu wa shule -0713788225 Tarehe Matroni/Patroni-0764435107/0718495791

More information

FOMU YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO

FOMU YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO FOMU YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO SEHEMU A (TAARIFA ZA MWANAFUNZI) Picha ya mwanafunzi na aje na picha tatu Jina kamili (majina matatu). Tarehe ya kuzaliwa.. Uraia.. Jinsia Anuani ya mwanafunzi... Shule

More information

JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI HALMASHAURI YA MANISPAA YA MPANDA SHULE YA SEKONDARI RUNGWA

JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI HALMASHAURI YA MANISPAA YA MPANDA SHULE YA SEKONDARI RUNGWA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI HALMASHAURI YA MANISPAA YA MPANDA SHULE YA SEKONDARI RUNGWA FOMU YA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE 2018/2019 S.L.P 504, Namba za simu MPANDA Mkuu

More information

JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS-TAMISEMI Namba za Simu Mkuu wa Shule: 0742 770 656 Makamu Mkuu wa Shule: 0767 312 266 Matron: 0766 464 076 Shule ya Sekondari Nsimbo, S.L.P.304, MPANDA. Kumb.

More information

ARCHDIOCESE OF MWANZA

ARCHDIOCESE OF MWANZA ARCHDIOCESE OF MWANZA Bukumbi Girls Secondary School P.O.Box 561 MWANZA. Tel: No. 0756312183/0755280924/0767643605/0732981368 Email: bukumbigirlssec@gmail.com Website: www.bukumbigss.weebly.com YAH: MWONGOZO

More information

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA Email: Galanossecondary@gmail.com SHULE YA SEKONDARI GALANOS, Website: www.galanos.sc.tz

More information

YAH: MAAGIZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI KAREMA KIDATO CHA TANO MWAKA 2018

YAH: MAAGIZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI KAREMA KIDATO CHA TANO MWAKA 2018 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA WILAYA YA MPANDA SHULE YA SEKONDARI KAREMA Namba za simu: Mkuu wa shule: 0763414888/0784244108

More information

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS - TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA BUKOBA.

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS - TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA BUKOBA. JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS - TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA BUKOBA. SHULE YA SEKONDARI KAHORORO, S. L. P 198, BUKOBA. Tarehe 14/5/2018 MKOA WA KAGERA

More information

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAGU

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAGU JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAGU NAMBA ZA SIMU. MKUU WA SHULE: 0754 912 801 MAKAMU MKUU WA SHULE: 0765620813/0714556568 MATRON

More information

JAMHURI YA MUUNGANO IVA TANZANIA

JAMHURI YA MUUNGANO IVA TANZANIA JAMHURI YA MUUNGANO IVA TANZANIA OFISI YA RAIS.TAMISEMI Namba za simu Mkuu wa shule 0784684613 S.L.P 23, Makamu Mkuu wa shule 0717134781 Shule Ya Sekondari Nyanduga, Tarime-Rorya, Patron: 0753379801 Email:

More information

KAWAWA JKT HIGH SCHOOL PO.BOX 213 MAFINGA IRINGA PHONE MOBILE, , , ,

KAWAWA JKT HIGH SCHOOL PO.BOX 213 MAFINGA IRINGA PHONE MOBILE, , , , KAWAWA JKT HIGH SCHOOL PO.BOX 213 MAFINGA IRINGA PHONE MOBILE,0762-785899, 0765 752082, 0758 767533, EMAIL: kawawa.highschool@yahoo.com Kumb Na. 841KJ/KAWSS/2540 6 Namba ya Fomu. Tarehe.. FOMU YA USAJILI

More information

Kumb.Na.HVEMS/JI/BT/018 Novemba 17, YAH: MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE CHINI YA TAASISI YA ROCK MEMORIAL EDUCATION TRUST 2018

Kumb.Na.HVEMS/JI/BT/018 Novemba 17, YAH: MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE CHINI YA TAASISI YA ROCK MEMORIAL EDUCATION TRUST 2018 Hills View Catholic Diocese of Tanga Magunga District Hospital Road Mob:+255-784808420, +255 718 661681, +255 714901004 www.rmet.ac.tz, email: saroce2013@gmail.com KOROGWE, TANZANIA Kumb.Na.HVEMS/JI/BT/018

More information

Information for assessors (do not distribute this page to participants):

Information for assessors (do not distribute this page to participants): R&P Cultural Orientation Model Assessment Written Version Swahili Information for assessors (do not distribute this page to participants): This written version of the Model Cultural Orientation (CO) Assessment

More information

YAH: MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI WERUWERU HALMASHAURI YA MOSHI MKOA WA KILIMANJARO MWAKA 2018

YAH: MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI WERUWERU HALMASHAURI YA MOSHI MKOA WA KILIMANJARO MWAKA 2018 JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI SHULE YA SEKONDARI WERUWERU Nambari ya simu 073-2744003/0759 659681 Email:weruweru23@gmail.com

More information

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA Namba za simu: Mkuu wa shule: 0757 576 565 Makamu Mkuu wa shule: 0757 912 846 Matron: 0757 322 100 Walimu wa

More information

YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS - TAMISEMI

YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS - TAMISEMI JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS - TAMISEMI Namba za simu Shule ya Sekondary Mawelewele Mkuu wa shule: 0763401829 S.L.P 459, Makamu mkuu wa shule: 07523331155 IRINGA. Matron/Patron: Kumb.

More information

NAFASI ZA MASOMO MASOMO YA ASUBUHI

NAFASI ZA MASOMO MASOMO YA ASUBUHI NAFASI ZA MASOMO Shule yetu, iliyoanza mwaka 1974, inazingatia taaluma na maadili kwa kufuata sera ya elimu ya Kanisa Katoliki. Ni ya mchepuo wa biashara. Inapokea wanafunzi wa kike na wa kiume, wa kutwa

More information

Huduma kwa wateja kupitia barua pepe na ujumbe mfupi Fig

Huduma kwa wateja kupitia barua pepe na ujumbe mfupi Fig KITINI CHA JINSI YA KUTUMIA MFUMO WA SIMU YA KIGANJANI KATI YA BARAZA LA FAMASI NA WAMILIKI WA MADUKA NA WATAALAMU WA DAWA YALIYOMO UTANGULIZI... 3 SEHEMU YA KWANZA: MALIPO YA KUHUISHA VIBALI... 4 1.1

More information

GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23)

GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23) GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER (Made under Section 23) THE ELECTRICITY (STANDARDIZED SMALL POWER PROJECTS TARIFF) ORDER, 2016 citation 1. This Order may be cited

More information

Hati ya kuhitimu kisomo Kenya (K.C.S.E)

Hati ya kuhitimu kisomo Kenya (K.C.S.E) 102/3 KISWAHILI KARATASI YA 3 Fasihi Julai/Agosti 2013 MUDA : SAA 2 ½ Hati ya kuhitimu kisomo Kenya (K.C.S.E) Kiswahili Karatasi 3 Julai/ Agosti Muda: Saa 2 ½ MAAGIZO: Andika jina lako na nambari yako

More information

SERA & TARATIBU YA YALE NEW HAVEN HEALTH

SERA & TARATIBU YA YALE NEW HAVEN HEALTH Eneo La Huduma: Huduma Ya Ushirika Wa Biashara Kichwa: Sera Ya Mipango Ya Msaada Wa Kifedha SERA & TARATIBU YA YALE NEW HAVEN HEALTH Tarehe Kupitishwa: 09/20/2013 Tarehe Ya Ufanisi: 09/20/2013 1/1/2017

More information

UTANGULIZI ANUANI NA MANDHARI YA CHUO

UTANGULIZI ANUANI NA MANDHARI YA CHUO UTANGULIZI International Montessori Teachers College (IMTC), ni chuo kilichoanzishwa hapa nchini Tanzania mwaka 2012 na kinatoa kozi ya kimataifa ya ualimu wa watoto wadogo (yaani child care and nursery

More information

Human Rights Are Universal And Yet...

Human Rights Are Universal And Yet... Human Rights Are Universal And Yet... Episode 05 Title : The right to education Author : Julien Adayé Editor : Aude Gensbittel Translator : Anne Thomas, Eric Ponda Proofreader: Pendo Paul Characters (sounds,

More information

SautiElimu. Sauti Yako Isikike

SautiElimu. Sauti Yako Isikike SautiElimu Sauti Yako Isikike SautiElimu Sauti Yako Isikike Mtayarishaji : Godfrey Telli Mchangiaji : Robert Mihayo Mhariri : Rakesh Rajani Shukrani za dhati kwa timu ya waandaaji wa SautiElimu 1-10: Lilian

More information

Upande 1.0 Bajeti yako

Upande 1.0 Bajeti yako Upande 1.0 Bajeti yako Bajeti (Budget) ni muhustari wa njisi wewe (na familia yako) mnavyopata na kutumia pesa. Inaunganisha pesa zinazoingia nyumbani kwako (Kipato/ income) na zile unazotumia (matumizi/expenses).

More information

GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23)

GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23) GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER (Made under Section 23) THE ELECTRICITY (STANDARDIZED SMALL POWER PROJECTS TARIFF) ORDER, 2015 Citation 1. This Order may be cited

More information

Jifunze kusimamia pesa zako nchini Uskoti

Jifunze kusimamia pesa zako nchini Uskoti Jifunze kusimamia pesa zako nchini Uskoti Mradi wa kujua kuhusu Pesa Aprili 2011 FLP - Swahili Mradi wa kujua kuhusu Pesa Ipindi vyetu vya maelezo vya bure, warsha na kozi hutoa fursa ya kujifunza kuhusu

More information

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA ELIMU SAYANSI TEKNOLOJIA NA UFUNDI MTAALA WA ELIMUMSINGI DARASA LA I NA LA II

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA ELIMU SAYANSI TEKNOLOJIA NA UFUNDI MTAALA WA ELIMUMSINGI DARASA LA I NA LA II JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA ELIMU SAYANSI TEKNOLOJIA NA UFUNDI MTAALA WA ELIMUMSINGI DARASA LA I NA LA II JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA ELIMU SAYANSI TEKNOLOJIA NA UFUNDI MTAALA

More information

KANUNI ZA MAADILI MWONGOZO WA WANAFUNZI

KANUNI ZA MAADILI MWONGOZO WA WANAFUNZI Swahili TANGAZO LA MATARAJIO NA JUKUMU KANUNI ZA MAADILI MWONGOZO WA WANAFUNZI Lengo letu ni kuwezesha mazingira ya jumuiya ya ushirikiano yanayowapatia wanafunzi wote kwa kila kiwango fursa ya kufikia

More information

Ufanisi katika Ufundishaji kwenye Shule za Msingi na Sekondari nchini Tanzania

Ufanisi katika Ufundishaji kwenye Shule za Msingi na Sekondari nchini Tanzania Ufanisi katika Ufundishaji kwenye Shule za Msingi na Sekondari nchini Tanzania Desemba 2014 1 Shukurani Ripoti hii iliandikwa na Dk. Mkumbo. Ushauri wa kitaalamu ulitolewa na Elizabeth Missokia na Godfrey

More information

Tufundishane! Mwalimu Bora In this issue: Issue 6, December Do you want to be in our next issue?

Tufundishane! Mwalimu Bora In this issue: Issue 6, December Do you want to be in our next issue? Tufundishane! Let s teach each other! This newsletter is published by The Foundation for Tomorrow and is meant to be a venue for teachers and schools to share and learn from each other s best practices.

More information

TIST (TANGA) HABARI MOTO MOTO. Kutunza miche yako. Take care of your seedlings. Take care of your trees

TIST (TANGA) HABARI MOTO MOTO. Kutunza miche yako. Take care of your seedlings. Take care of your trees TIST (TANGA) HABARI MOTO MOTO Tel. +255748-537720/632013, P.O.BOX 6049 MOROGORO E-Mail info@ tist.org April 2004 Take care of your seedlings This year, thousands of seedlings have been planted in the TIST

More information

Nilikua na Ndoto ya Kumaliza Shule Changamoto za Elimu ya Sekondari Tanzania

Nilikua na Ndoto ya Kumaliza Shule Changamoto za Elimu ya Sekondari Tanzania Nilikua na Ndoto ya Kumaliza Shule Changamoto za Elimu ya Sekondari Tanzania Kwa toleo neno la waraka huu, tafadhali email:crd@hrw.org FEBRUARI 2017 ISBN: 978-1-6231-34464 Nilikua na Ndoto ya Kumaliza

More information

Elimu ya Msingi inaelekea Upande Sahihi? Kufikiri na Nyerere Rakesh Rajani

Elimu ya Msingi inaelekea Upande Sahihi? Kufikiri na Nyerere Rakesh Rajani Elimu ya Msingi inaelekea Upande Sahihi? Kufikiri na Nyerere Rakesh Rajani HakiElimu: Mfululizo wa Mada za Uchambuzi Namba. 2003.4S Elimu ya Msingi inaelekea Upande Sahihi? Kufikiri na Nyerere 1 Rakesh

More information

Mwongozo wa Familia wa Kujifunza

Mwongozo wa Familia wa Kujifunza Shule za umma za kata ya Fayette 1 Mwongozo wa Familia wa Kujifunza Muhtasari wa yale watoto wanastahili kufahamu na kuweza kufanya na njia za familia kuongeza masomo nyumbani. Tunaamini familia ni wenzetu.

More information

Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi (MMEM) Muhtasari Rakesh Rajani na George Omondi

Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi (MMEM) Muhtasari Rakesh Rajani na George Omondi Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi (MMEM) Muhtasari Rakesh Rajani na George Omondi HakiElimu: Mfululizo wa Mada za Uchambuzi Namba. 2003. 6S Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi (MMEM) Muhtasari

More information

MKAKATI ATHARI YA MAZINGIRA NA KIJAMII YA KAZI YA PRO-ROUTES. Ombi kwa ajili ya fedha za umma wa mradi wa ziada

MKAKATI ATHARI YA MAZINGIRA NA KIJAMII YA KAZI YA PRO-ROUTES. Ombi kwa ajili ya fedha za umma wa mradi wa ziada Public Disclosure Authorized Public Disclosure Authorized Public Disclosure Authorized Public Disclosure Authorized Résumé non technique Version Swahili MKAKATI ATHARI YA MAZINGIRA NA KIJAMII YA KAZI YA

More information

Sera ya Faragha. Upeo. Aina za Data na Mbinu za Ukusanyaji

Sera ya Faragha. Upeo. Aina za Data na Mbinu za Ukusanyaji Sera ya Faragha Katika Sera hii ya Faragha ( Sera ), sisi, Qualcomm Incorporated na makampuni yetu tanzu (kwa pamoja sisi au yetu ), tunatoa maelezo kuhusu jinsi tunavyokusanya, kutumia, kuchakata, na

More information

MWONGOZO WA UTUNGAJI WA SHERIA NDOGO NA USHIRIKI WA WANANCHI

MWONGOZO WA UTUNGAJI WA SHERIA NDOGO NA USHIRIKI WA WANANCHI MWONGOZO WA UTUNGAJI WA SHERIA NDOGO NA USHIRIKI WA WANANCHI 2012 MWONGOZO WA UTUNGAJI WA SHERIA NDOGO NA USHIRIKI WA WANANCHI 2012 Kitabu hiki kimetayarishwa na Shirika la Equality for Growth (EfG) Equality

More information

JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 1

JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 1 The Human Rights Centre Uganda JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 1 AZIMIO LA KIMATAIFA JUU YA HAKI ZA KIBINADAMU SURA YA NNE YA KATIBA YA JAMHURI YA UGANDA YA 1995: MASIMULIZI YALIYOFASIRIWA KWA URAHISI NA KUFUPISHWA

More information

MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI KWA MWAKA 2017/18

MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI KWA MWAKA 2017/18 MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI KWA MWAKA 2017/18 WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO NOVEMBA, 2016 ISBN 978-9987 - 829-02 - 9 ii YALIYOMO 1.0 UTANGULIZI... 1 2.0 MABORESHO YA MFUMO WA KIBAJETI... 2

More information

KIJARIDA JUU YA HAKI ZA RAIA KATIKA MFUMO JINAI

KIJARIDA JUU YA HAKI ZA RAIA KATIKA MFUMO JINAI KIJARIDA JUU YA HAKI ZA RAIA KATIKA MFUMO JINAI KIMETOLEWA NA CHAMA CHA WANASHERIA TANZANIA BARA KWA UFADHILI WA TAASISI YA LEGAL SERVICE FACILITY (LSF) 1 KIMEANDALIWA NA Chama Cha Wanasheria Tanzania

More information

Hatari, Haki za Usalama katika Bahari 03

Hatari, Haki za Usalama katika Bahari 03 Hatari, Haki za Usalama katika Bahari 03 AEG swahili Bahari ya Aegean Brosha ya maelezo hii ni kwa watu wanaofikiria kuvuka bahari ya Aegean kati ya Ugiriki na Uturuki.Kuvuka kihramu ni uhalifu katika

More information

Azimio la Umoja wa Mataifa Kuhusu Watetezi wa Haki za Binadamu

Azimio la Umoja wa Mataifa Kuhusu Watetezi wa Haki za Binadamu The Human Rights Centre Uganda Azimio la Mkutano Mkuu 53/144 (8 Machi 1999) Azimio la Umoja wa Mataifa Kuhusu Watetezi wa Haki za Binadamu AZIMIO KUHUSU HAKI NA WAJIBU WA MTU BINAFSI, VIKUNDI NA JUMUIYA

More information

KITEGO CHA MAREKEBISHO NA HAKI ZA MTOTO

KITEGO CHA MAREKEBISHO NA HAKI ZA MTOTO KITEGO CHA MAREKEBISHO NA HAKI ZA MTOTO Mwaka 2009 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilipitisha sheria mpya ya Mtoto ambayo ni sehemu ya juhudi za serikali za kuhakikisha kuwa haki na ustawi wa

More information

TIST HABARI MOTO MOTO MAANDALIZI YA MWAKA 2000 Y2K PREPARATIONS SASA NI WAKATI WA KUANZA KUPANDA MBEGU ZAKO

TIST HABARI MOTO MOTO MAANDALIZI YA MWAKA 2000 Y2K PREPARATIONS SASA NI WAKATI WA KUANZA KUPANDA MBEGU ZAKO TIST HABARI MOTO MOTO Tel. 026-2322246 P.O.BOX 53 MPWAPWA E-Mail tist@twiga.com 01 October 2000 Y2K PREPARATIONS Holes and Seedlings made ready for the year 2000 programme By Gayo Mhila The process of

More information

Early Grade Reading Assessment for Kenya

Early Grade Reading Assessment for Kenya EDDATA II Early Grade Reading Assessment for Kenya Baseline Instruments: Kiswahili and English EdData II Technical and Managerial Assistance, Task Number 4 Contract Number EHC-E-01-04-00004-00 Strategic

More information

Kocha Mkuu. mabingwa. itakuwa INASTAHILI. Ili Kutoa mafunzo kwa wanafunzi wako kuwa. itakuwa ya kuumiza. Itachukua muda. Itahitaji moyo wa kujitoa.

Kocha Mkuu. mabingwa. itakuwa INASTAHILI. Ili Kutoa mafunzo kwa wanafunzi wako kuwa. itakuwa ya kuumiza. Itachukua muda. Itahitaji moyo wa kujitoa. Ili Kutoa mafunzo kwa wanafunzi wako kuwa mabingwa itakuwa ya kuumiza. Itachukua muda. Itahitaji moyo wa kujitoa. Mkuu Inahitaji dhabihu. Unahitaji kujisukuma hadi mwisho wako. Lakini nakupa ahadi hii,

More information

Dodoma ambako kikao cha Bunge kinaendelea kuja kushiriki japo sehemu ya uzinduzi wa mkutano.

Dodoma ambako kikao cha Bunge kinaendelea kuja kushiriki japo sehemu ya uzinduzi wa mkutano. HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO MHE. DKT. PHILIP I. MPANGO (MB) WAKATI WA UFUNGUZI WA MKUTANO WA KIMATAIFA WA KUJADILI MATUMIZI YA TAKWIMU ZA UMASKINI NA NAMNA BORA YA KUPIMA HALI YA UMASKINI AFRIKA,

More information

TIST HABARI MOTO MOTO. Benefits of Loan Repayment. Faida za ulipaji wa mikopo U OTESHAJI W A M ITI Y A M ATUNDA

TIST HABARI MOTO MOTO. Benefits of Loan Repayment. Faida za ulipaji wa mikopo U OTESHAJI W A M ITI Y A M ATUNDA TIST HABARI MOTO MOTO Tel. 026-2322246, P.O.BOX 53 MPWAPWA E-Mail tist@ twiga.com 01 June 2001 Benefits of Loan Repayment As the date of repayment nears, 15 June, groups are busy preparing crops, digging

More information

TIST HABARI MOTO MOTO

TIST HABARI MOTO MOTO TIST HABARI MOTO MOTO Tel. +255784-537720/+255717-062960/+255782-250947, P.O.BOX 6049 MOROGORO E-Mail info@tist.org May 2010 Cash Payments for Trees Clean Air Action has developed a way to pay the groups

More information

Mwongozo kwa Lugha Rahisi wa Sera ya Maendeleo ya Ushirika na Sheria ya Vyama vya Ushirika Tanzania Bara

Mwongozo kwa Lugha Rahisi wa Sera ya Maendeleo ya Ushirika na Sheria ya Vyama vya Ushirika Tanzania Bara Mwongozo kwa Lugha Rahisi wa Sera ya Maendeleo ya Ushirika na Sheria ya Vyama vya Ushirika Tanzania Bara Umetayarishwa na Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tanzania kwa Kushirikiana na Idara ya Maendeleo

More information

5. Mheshimiwa Spika, Bunge lako Tukufu lilijadili kwa kina Miswada ifuatayo:

5. Mheshimiwa Spika, Bunge lako Tukufu lilijadili kwa kina Miswada ifuatayo: HOTUBA YA MHESHIMIWA MIZENGO PETER PINDA (MB), WAZIRI MKUU, WAKATI WA KUTOA HOJA YA KUAHIRISHA MKUTANO WA KUMI NA MBILI WA BUNGE DODOMA TAREHE 29 AGOSTI 2008 UTANGULIZI 1. Mheshimiwa Spika, leo ni takriban

More information

4. Kanuni za Petroli (Ushiriki wa Watanzania) za mwaka 2017 zilianza kutumika rasmi tarehe 5 Novermba Shughuli za Petroli za kwanza ni

4. Kanuni za Petroli (Ushiriki wa Watanzania) za mwaka 2017 zilianza kutumika rasmi tarehe 5 Novermba Shughuli za Petroli za kwanza ni MWONGOZO WA JINSI YA KUWASILISHA MAOMBI YA KUWEKWA KWENYE KANZIDATA YA WATANZANIA WENYE UWEZO WA KUUZA BIDHAA AU KUTOA HUDUMA (LSSP) KWENYE SHUGHULI ZA MAFUTA NA GESI ASILIA NCHINI Utangulizi 1. Mamlaka

More information

Elimu Bora, lakini... C HakiElimu Elimu bora, lakini...

Elimu Bora, lakini... C HakiElimu Elimu bora, lakini... Elimu Bora, lakini... Shukrani za dhati kwa wote waliotusaidia katika kutayarisha kijitabu hiki: Nsa Kaisi, Mshauri wa Rais, kwa mchango wake mkubwa wa mawazo Wafanyakazi wote wa HakiElimu 2003-2004 Many

More information

TAARIFA FUPI KUHUSU SERA YA TAIFA YA ELIMU

TAARIFA FUPI KUHUSU SERA YA TAIFA YA ELIMU TAARIFA FUPI KUHUSU SERA YA TAIFA YA ELIMU TANZANIA EDUCATION NETWORK / MTANDAO WA ELIMU TANZANIA () 1.0 USULI Tanzania, sawa na nchi nyingine, ilitia saini Malengo ya Maendeleo ya Milenia na Malengo ya

More information

Kifaa Maalum cha Kutazamia Jua: Maelekezo ya kutumia

Kifaa Maalum cha Kutazamia Jua: Maelekezo ya kutumia : Maelekezo ya kutumia Kupatwa kamili kwa jua Jumatatu, 21 Agosti 2017 Agreement v1.4 Mar 2014 2014-2017 Eclipse2017.org, Eclipse2017.org, inc. inc. TERMS AND CONDITIONS FOR USE OF SOLAR VIEWER Please

More information

ORDER NO BACKGROUND

ORDER NO BACKGROUND In the matter of an Application by the DAR ES SALAAM URBAN WATER SUPPLY AND SEWERAGE AUTHORITY (DAWASA) For a Tariff Adjustment, Submitted on January 8 th, 2008 (TR-W-08-001) ORDER NO. 08-001 1.0 BACKGROUND

More information

JHSPH MAADILI YA KUFANYA UTAFITI WA MASUALA YA BINAADAMU MUONGOZO WA MAFUNZO YA UTAFITI

JHSPH MAADILI YA KUFANYA UTAFITI WA MASUALA YA BINAADAMU MUONGOZO WA MAFUNZO YA UTAFITI JHSPH MAADILI YA KUFANYA UTAFITI WA MASUALA YA BINAADAMU MUONGOZO WA MAFUNZO YA UTAFITI Mwongozo huu utatumika kama njia ya kuwafunza watafiti watakaohusika na utafiti unaohusu binadamu. Muongozo huu utatumika

More information

SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO

SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO KISWAHILI SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO YALIYOMO UTANGULIZI v MPANGILIO WA MASOMO YA KISWAHILI: KIDATO CHA TANO 1 FUNZO: Fasihi (Ukurasa

More information

Deputy Minister for Finance

Deputy Minister for Finance ISSN: 1821-6021 Vol XI - No - 34 DID YOU KNOW? A procuring entity is?s required to use suppliers pliers?pliers?pliers?pliers among those awarded ed?ed?ed?ed framework agreements by GPSA for procurement?ents

More information

Kijitabu cha Maelezo cha Programu ya Famasia

Kijitabu cha Maelezo cha Programu ya Famasia IDARA YA KUFIKIA HUDUMA ZA AFYA VERMONT Kijitabu cha Maelezo cha Programu ya Famasia GreenMountainCare MIASHA YENYE AFYA BORA ZAIDI Jedwali la Yaliyomo Jedwali la Yaliyomo... 2 Karibu kwenye Programu ya

More information

13 APRILI, 2012 BUNGE LA TANZANIA MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA SABA. Kikao cha Nne Tarehe 13 Aprili, (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A

13 APRILI, 2012 BUNGE LA TANZANIA MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA SABA. Kikao cha Nne Tarehe 13 Aprili, (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A BUNGE LA TANZANIA MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA SABA Kikao cha Nne Tarehe 13 Aprili, 2012 (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Mwenyekiti (Mhe. Jenista J. Mhagama) Alisoma Dua MWENYEKITI: Waheshimiwa

More information

Ellen White, waasisi wa Kiadventista,na Sabato Lunar

Ellen White, waasisi wa Kiadventista,na Sabato Lunar Ellen White, waasisi wa Kiadventista,na Sabato Lunar Ukristo leo unadhihirisha waumini karibu bilioni mbili katika maelfu ya madhehebu tofauti na tofauti na madhehebu. Kati ya hizi, zaidi ya 500 madhehebu

More information

Kufafanua Upya Elimu Bora Tanzania: Kutoka Zana za Dufundishia mpaka Uwezo wa Wanafunzi 1 Oktoba 2007

Kufafanua Upya Elimu Bora Tanzania: Kutoka Zana za Dufundishia mpaka Uwezo wa Wanafunzi 1 Oktoba 2007 Kufafanua Upya Elimu Bora Tanzania: Kutoka Zana za Dufundishia mpaka Uwezo wa Wanafunzi 1 Oktoba 2007 1. Utangulizi Changamoto kuu iliyopo kuhusiana na Elimu ya msingi nchini Tanzania kwa sasa ni namna

More information

Mheshimiwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame M. Mbarawa (Mb.); Waheshimiwa Mawaziri na Wabunge wote mliohudhuria;

Mheshimiwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame M. Mbarawa (Mb.); Waheshimiwa Mawaziri na Wabunge wote mliohudhuria; HOTUBA YA BALOZI MHANDISI JOHN W.H. KIJAZI, KATIBU MKUU KIONGOZI, WAKATI WA UFUNGUZI WA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAHANDISI KWA MWAKA 2017, UKUMBI WA JAKAYA KIKWETE, DODOMA, SEPTEMBA 7, 2017 Mheshimiwa Waziri

More information

BUNGE LA TANZANIA MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA PILI. Kikao cha Nne - Tarehe 29 Januari, (Kikao Kilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A

BUNGE LA TANZANIA MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA PILI. Kikao cha Nne - Tarehe 29 Januari, (Kikao Kilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A BUNGE LA TANZANIA MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA PILI Kikao cha Nne - Tarehe 29 Januari, 2016 (Kikao Kilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Naibu Spika (Mhe. Dkt. Tulia Ackson) Alikalia Kiti HATI ZA KUWASILISHA

More information

HOTUBA YA WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU: KAZI, AJIRA, VIJANA NA WENYE ULEMAVU MHE

HOTUBA YA WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU: KAZI, AJIRA, VIJANA NA WENYE ULEMAVU MHE HOTUBA YA WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU: KAZI, AJIRA, VIJANA NA WENYE ULEMAVU MHE. JENISTA MHAGAMA (MB), KATIKA KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA AFYA NA USALAMA MAHALI PA KAZI DUNIANI DODOMA, 28 APRILI

More information

UNIVERSITY OF CAMBRIDGE INTERNATIONAL EXAMINATIONS General Certificate of Education Ordinary Level. SWAHILI 3162/01 Paper 1 May/June 2013

UNIVERSITY OF CAMBRIDGE INTERNATIONAL EXAMINATIONS General Certificate of Education Ordinary Level. SWAHILI 3162/01 Paper 1 May/June 2013 www.xtremepapers.com UNIVERSITY OF CAMBRIDGE INTERNATIONAL EXAMINATIONS General Certificate of Education Ordinary Level *9257224991* SWAHILI 3162/01 Paper 1 May/June 2013 Additional Materials: Answer Booklet/Paper

More information

Misamaha ya kodi Tanzania: Je, ni mikubwa sana na kutufanya tuwe tegemezi kwa misaada?

Misamaha ya kodi Tanzania: Je, ni mikubwa sana na kutufanya tuwe tegemezi kwa misaada? Policy brief TZ.12/2010K Misamaha ya kodi Tanzania: Je, ni mikubwa sana na kutufanya tuwe tegemezi kwa misaada? 1. Utangulizi Kila mwaka Bunge la Tanzania hupitia na kuchanganua kwa makini bajeti ya Serikali.

More information

Uzio wa pilipili unazuia tembo kuvamia mazao shambani! Jinsi ya kujenga na kudumisha uzio wa pilipili Tanzania

Uzio wa pilipili unazuia tembo kuvamia mazao shambani! Jinsi ya kujenga na kudumisha uzio wa pilipili Tanzania Uzio wa pilipili unazuia tembo kuvamia mazao shambani! Jinsi ya kujenga na kudumisha uzio wa pilipili Tanzania Jinsi ya kujenga na kudumisha uzio wapilipili Tanzania Wildlife Division, Tanzania Wildlife

More information

Banana Investments Ltd

Banana Investments Ltd Toleo la 21 Jarida litolewalo na; Banana Investments Ltd TOLEO NAMBA 21 HALIUZWI APRIL JUNE HALIUZWI BODI YA WAHARIRI YALIYOMO Augustine Minja Mwenyekiti 078 5451 004 Gerald Lyimo Mjumbe Beatha Anthony

More information

Azimio lililopitishwa na Mkutano Mkuu tarehe 18 Desemba 2013 [juu ya taarifa ya Kamati ya Tatu (A/68/456/Add.2)]

Azimio lililopitishwa na Mkutano Mkuu tarehe 18 Desemba 2013 [juu ya taarifa ya Kamati ya Tatu (A/68/456/Add.2)] This unofficial translation is provided by the International Service for Human Rights Umoja wa Mataifa A/AZI/68/ Ugaw Jumla Mkutano Mkuu 30 Januari 2014 Kikao cha Sitini na Nane Dondoo ya Ajenda 69(b)

More information

Taarifa Kuhusu Hali ya Uchumi wa Tanzania

Taarifa Kuhusu Hali ya Uchumi wa Tanzania Taarifa Kuhusu Hali ya Uchumi wa Tanzania Benki Kuu ya Tanzania Septemba 2016 YALIYOMO 1.0 HALI YA UCHUMI WA TANZANIA... 3 1.1 UKUAJI WA UCHUMI... 3 1.2 MATAZAMIO YA UKUAJI WA UCHUMI MWAKA 2016... 4 1.3

More information

KUWEZESHA MBINU ZA UZUIAJI MIMBA KATIKA SUHULA ZA AFYA: MASWALI 10 KWA VIKUNDI VYA JAMII KUZINGATIA

KUWEZESHA MBINU ZA UZUIAJI MIMBA KATIKA SUHULA ZA AFYA: MASWALI 10 KWA VIKUNDI VYA JAMII KUZINGATIA KUWEZESHA MBINU ZA UZUIAJI MIMBA KATIKA SUHULA ZA AFYA: MASWALI 10 KWA VIKUNDI VYA JAMII KUZINGATIA Toleo la kwanza 2012 Mwandishi: USAID DELIVER PROJECT Wachangiaji: Gary Steele, John Snow, Inc. and Judith

More information

Hati ya Kuhitimu Elimu ya Sekondari Kenya.( K.C.S.E)

Hati ya Kuhitimu Elimu ya Sekondari Kenya.( K.C.S.E) 102/3 KISWAHILI FASIHI KARATASI YA 3 JULAI/AGOSTI 2011 MUDA: 2 ½ Kiswahili Fasihi Hati ya Kuhitimu Elimu ya Sekondari Kenya.( K.C.S.E) MAAGIZO Jibu maswali manne pekee Swali la kwanza ni lazima Maswali

More information

LUGHA YA KISWAHILI KATIKA KUFUNDISHIA NA KUJIFUNZIA ELIMU SHULE ZA SEKONDARI

LUGHA YA KISWAHILI KATIKA KUFUNDISHIA NA KUJIFUNZIA ELIMU SHULE ZA SEKONDARI LUGHA YA KISWAHILI KATIKA KUFUNDISHIA NA KUJIFUNZIA ELIMU SHULE ZA SEKONDARI SIKOMBE YIZUKANJI YORADI TASNIFU YA KISWAHILI KWA MINAJILI YA KUTUNUKIWA SHAHADA YA UZAMILI (MA. KISWAHILI) KITIVO CHA SANAA

More information

HAKI NA TARATIBU ZA AJIRA, KAZI NA HIFADHI YA JAMII

HAKI NA TARATIBU ZA AJIRA, KAZI NA HIFADHI YA JAMII HAKI NA TARATIBU ZA AJIRA, KAZI NA HIFADHI YA JAMII SHERIA KATIKA LUGHA RAHISI KIMETOLEWA NA CHAMA CHA WANASHERIA TANZANIA BARA (TANGANYIKA LAW SOCIETY) KWA UFADHILI WA TAASISI YA LEGAL SERVICE FACILITY

More information

BUNGE LA TANZANIA MKUTANO WA NANE. Kikao cha Ishirini na Nane Tarehe 16 Julai, (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A

BUNGE LA TANZANIA MKUTANO WA NANE. Kikao cha Ishirini na Nane Tarehe 16 Julai, (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA MKUTANO WA NANE Kikao cha Ishirini na Nane Tarehe 16 Julai, 2012 (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Spika (Mhe. Anne S. Makinda) Alisoma

More information

KIMAZINGIRA NA KIJAMII NA MPANGO WA UDHIBITI

KIMAZINGIRA NA KIJAMII NA MPANGO WA UDHIBITI Public Disclosure Authorized Public Disclosure Authorized Public Disclosure Authorized Public Disclosure Authorized!. viromen-alsc:a.. Environmental & Social MRADI WA UMEME WA GESI YA * Assessment & Management

More information

UNACHOHITAJI KUJUA KUHUSU VIKWAZO VYA KULINDA MAISHA KATIKA USAIDIZI WA KIMATAIFA WA AFYA KWA MSAADA WA KIMATAIFA UNAOFADHILIWA NA MAREKANI

UNACHOHITAJI KUJUA KUHUSU VIKWAZO VYA KULINDA MAISHA KATIKA USAIDIZI WA KIMATAIFA WA AFYA KWA MSAADA WA KIMATAIFA UNAOFADHILIWA NA MAREKANI UNACHOHITAJI KUJUA KUHUSU VIKWAZO VYA KULINDA MAISHA KATIKA USAIDIZI WA KIMATAIFA WA AFYA KWA MSAADA WA KIMATAIFA UNAOFADHILIWA NA 30 SEPTEMBA, 2017 UTANGULIZI Tarehe 23 Januari, 2017, Rais Donald Trump

More information

usudi la Maisha Hakika katika kuumbwa mbingu na ardhi, na kupishana usiku na mchana, kuna kweli ishara kwa wenye akili, ambaye mkumbuke-

usudi la Maisha Hakika katika kuumbwa mbingu na ardhi, na kupishana usiku na mchana, kuna kweli ishara kwa wenye akili, ambaye mkumbuke- Kusudi la Maisha hawatakuambia nini walihitimisha kupitia uchunguzi au hoja ya uchambuzi. Katika hali nyingi, hakika wao kukuambia nini mtu mwingine alisema... Au wao watakuambia nini kawaida kudhaniwa

More information

Vijana wanazungumza kuhusu ujinsia, maisha na uhusiano VIJANA WANAZUNGUMZA KUHUSU NGONO, MAISHA NA UHUSIANO. Training and Research Support Centre

Vijana wanazungumza kuhusu ujinsia, maisha na uhusiano VIJANA WANAZUNGUMZA KUHUSU NGONO, MAISHA NA UHUSIANO. Training and Research Support Centre Shangazi Stella Vijana wanazungumza kuhusu ujinsia, maisha na uhusiano VIJANA WANAZUNGUMZA KUHUSU NGONO, MAISHA NA UHUSIANO Training and Research Support Centre Zimbabwe Shangazi Stella Kiongozi cha Mwezeshaji

More information

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO MPANGO KAZI WA USHIRIKI WA MTOTO TANZANIA 2014-2019 JANUARI, 2014 Dibaji Kwa mujibu wa takwimu za Sensa ya Taifa ya Idadi

More information

MATUMIZI YA FACEBOOK KWA BIASHARA. Kwa Wanaoanza

MATUMIZI YA FACEBOOK KWA BIASHARA. Kwa Wanaoanza 1 Matumizi bora ya Facebook kwa Biashara MATUMIZI YA FACEBOOK KWA BIASHARA Kwa Wanaoanza For IT Services & Web Solutions Web: Email: info@dudumizi.com Phone: 0768816728 2 Matumizi bora ya Facebook kwa

More information

Siku ya kwanza. Mguso wa ngozi-kwa-ngozi (Ulezi wa kangaruu) Mtoto wako anaweza kuhisi mdundo wa moyo wako

Siku ya kwanza. Mguso wa ngozi-kwa-ngozi (Ulezi wa kangaruu) Mtoto wako anaweza kuhisi mdundo wa moyo wako Siku ya kwanza Baada tu ya mtoto kuzaliwa ni wakati wa kufurahia, lakini pia ni wa kuchosha. Kujua vitu vichache kuhusu kunyonyesha hufanya siku ya kwanza kuwa rahisi kidogo. Baada ya kujifungua Wakati

More information

International Labour Office. Kazi za Ndani Zenye Madhara kwa Watoto: Kijitabu cha Maelezo Mafupi

International Labour Office. Kazi za Ndani Zenye Madhara kwa Watoto: Kijitabu cha Maelezo Mafupi International Labour Office Kazi za Ndani Zenye Madhara kwa Watoto: Kijitabu cha Maelezo Mafupi 1 Hakimiliki Shirika la Kazi Duniani 2007 Kimechapwa mara ya kwanza 2007 Machapisho ya Ofisi ya Shirika la

More information

HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, MHESHIMIWA DKT. PHILIP I. MPANGO (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA SERIKALI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO

HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, MHESHIMIWA DKT. PHILIP I. MPANGO (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA SERIKALI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, MHESHIMIWA DKT. PHILIP I. MPANGO (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA SERIKALI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA 2018/19 1 I. UTANGULIZI 1. Mheshimiwa

More information

Ufunguo wa Kutaalamika Haraka

Ufunguo wa Kutaalamika Haraka 0 Ufunguo wa Kutaalamika Haraka Ufunguo wa Kutaalamika Haraka Kijitabu Kielelezo; Nakala ya Bila Malipo Yaliyomo 1 Yaliyomo Utangulizi...04 Habari Fupi Kuhusu...08 Fumbo la Ulimwengu wa Ng ambo ya Pili...11

More information

TANZANIA OSAKA ALUMNI. Kitabu cha Mbinu Bora

TANZANIA OSAKA ALUMNI. Kitabu cha Mbinu Bora K I T A B U C H A M B I N U B O R A C H A T O A U k u r a s a 1 TANZANIA OSAKA ALUMNI Kitabu cha Mbinu Bora Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa P.O. Box 1923, Dodoma. Novemba, 2012

More information

KUUNGANISHA VIZAZI KUPITIA RADIO MWONGOZO KUTOKA AFRIKA KWA WAANDAJI WA VIPINDI VYA RADIO WANAOFANYAKAZI NA WATOTO NA VIJANA

KUUNGANISHA VIZAZI KUPITIA RADIO MWONGOZO KUTOKA AFRIKA KWA WAANDAJI WA VIPINDI VYA RADIO WANAOFANYAKAZI NA WATOTO NA VIJANA KUUNGANISHA VIZAZI KUPITIA RADIO MWONGOZO KUTOKA AFRIKA KWA WAANDAJI WA VIPINDI VYA RADIO WANAOFANYAKAZI NA WATOTO NA VIJANA KUWEZESHA Radio za kijamii Kutumia Tehama Mwongozo huu umeandaliwa ili kuvipa

More information

Adhabu ya jino kwa jino na Musitakabali wa imani zetu

Adhabu ya jino kwa jino na Musitakabali wa imani zetu Adhabu ya jino kwa jino na Musitakabali wa imani zetu Nabii Musa alipotoka mlima Sinai kupewa amri kumi za Mungu zilizoko kwenye kitabu cha Kutoka 20:1 17, Mungu alimpa na sharia zingine ambazo lengo lake

More information

CGAP Smallholder Household Survey in Tanzania / Utafiti wa kaya ndogondogo Tanzania

CGAP Smallholder Household Survey in Tanzania / Utafiti wa kaya ndogondogo Tanzania CGAP Smallholder Household Survey in Tanzania / Utafiti wa kaya ndogondogo Tanzania Questionnaire for Individual Household Members/Dodoso kwa mwanakaya binafsi This questionnaire will be administered to

More information