Mwongozo wa Familia wa Kujifunza

Size: px
Start display at page:

Download "Mwongozo wa Familia wa Kujifunza"

Transcription

1 Shule za umma za kata ya Fayette 1 Mwongozo wa Familia wa Kujifunza Muhtasari wa yale watoto wanastahili kufahamu na kuweza kufanya na njia za familia kuongeza masomo nyumbani. Tunaamini familia ni wenzetu. Niwa kwanza na waelimishaji wa watoto wenye nguvu zaidi. Pamoja tutahakikisha mafanikio ya wanafunzi wote. -Mrakibu Emmanuel Caulk, Shule za umma za kata ya Fayette Darasa 1

2 Kuhusu mwongozo wetu wa kujifunza: Mwongozo huu unawakilisha baadhi ya vitu muhimu mtoto wako anapaswa kujua na kuweza kufanya kufikia MWISHO wa mwaka wa shule katika usanaa wa lugha ya Kiingereza (ELA) na Hesabu. Malengo ya kujifunza inasaidia familia na walimu kujua lini wanafunzi wanahitaji msaada zaidi na lini wanahitaji changamoto zaidi. Familia zinaweza kufanya nini? Kuna mengi ya kufanya kumsaidia mtoto wako kujifunza na kusaidia kuwatayarisha kwa maisha yao ya mbeleni. Haya ni mambo machache ambayo yatawasaidia wanafunzi kufanikiwa: 1. Shiriki na mtoto wako jinsi masomo yalivyo muhimu kwako. Waambie elimu inastahili, kwamba ni msingi wa mafanikio. 2. Fanya shule iwe kipaumbele kwa kumpeleka mtoto wako shuleni kwa wakati kila siku. 3. Hudhuria mikutano ya mzazi-mwalimu na shughuli zingine za shule inapowezekana. 4. Shiriki na shule kujenga kuheshimiana. 5. Himiza uhuru; ruhusu watoto wako wafanye makosa na wakubali wajibu wa chaguo lao. 6. Jadiliana na mtoto wako kuhusu nini kinatendeka shuleni. 7. Wasiliana mara kwa mara na walimu wa mtoto wako kuhakikisha mtoto wako anafanya maendeleo kwa mwaka mzima. 8. Una haki ya kujua jinsi mtoto wako anavyoendelea; usisite kuwasiliana na mwalimu wake kama una mswali. Kuzungumza na Mwalimu wa Mtoto wako Ni muhimu kuwasiliana na mwalimu wa mtoto wako na shule mara kwa mara kuhusu maendeleo ya mtoto wako kuhusu malengo ya masomo. Hapa kuna mifano ya maswali ya kuuliza: Mtoto wangu ana nguvu wapi na ni wapi anahitaji kuboresha? Maendeleo ya mtoto wangu yanapimwa vipi katika mwaka mzima? Naweza kuona mifano ya kazi za mtoto wangu? Vipi wanafikia ama hawafikii malengo ya masomo? Mtoto wangu yuko njiani kufikia malengo ya kiwango cha darasa? Kama sivyo, misaada gani shule itatoa? Naweza kufanya nini nyumbani? Mtoto wangu yuko kwa ama juu ya matarajio ya masomo? Kama ndivyo, nini kingine shule inaweza kutoa? Naweza kufanya nini nyumbani? Mtoto wangu anajifnuza Kiingereza. Kukua kwa lugha ya mtoto wangu kunasaidiwa vipi shuleni? 2 Darasa 1

3 Kuzungumza na Mtoto wako Hii inasikika kama kawaida? Shule ilikuwaje leo? Sawa Ulifanya nini? Hakuna Hiyo ni sawa, endelea kuuliza! Wanafunzi ambao wazazi wao wanazungumza nao kuhusu shule hufanya vizuri kimasomo katika shule. Hapa kuna njia unaweza kumhusisha mtoto wako na usaidie mafaniko yake: Teua wakati kila siku kuzungumza na mtoto wako kuhusu shule. Uliza mtoto wako akueleze jambo moja walisoma leo. Nini mtoto wako anafaikiri kuwa inavutia sana? Nini inaonekana ngumu? Tizama ama pitia makaratasi na miradi ambayo mtoto wako analeta nyumbani kutoka shuleni. Uliza mtoto wako: unajuaje hivo? Unadhani nini? Unatambua nini? Kwa nini uliifanya vile ama hivi? Kuna njia nyingine ya kupata jawabu hilo? Pongeza mtoto wako kwa kazi ngumu na bidii, sio tu kwa majibu sahihi. Uliza maswali kuhusu mtoto wako anafikiria nini: Unajuaje? Unafikiri nini? Unatambua nini? Uliifanya hivyo kwa nini? Kuna njia nyingine ya kupata jawabu hilo? Kusaidia kujifunza mbali na nyumbani Kujifunza hakusimami wakati wanafunzi wanaacha shule. Hapa kuna njia ambazo unaweza kusaidia kujifunza nje ya darasani: Somea mtoto wako, soma na mtoto wako, na uhimize wakati wa familia wa kusoma katika lugha ambayo unajisikia starehe. Tengeneza mahali patulivu na starehe na uunde ratiba ya kila mara kwa wanafunzi wako kufanya kazi za shuleni za kufanyia nyumbani ama shughuli nyingine. Hakikisha wewe na mtoto wako mko na kadi ya maktaba na mnahudhuria shughuli za kusoma kwa familia nzima. Jaribu kuanzisha ratiba ya mara kwa mara ya kufanya homework ama shughuli zingine za kujifunza. Tumia mwongozo huu kulenga malengo machache ya kujifunza, jaribu maoni kadha ya kujifunza nyumbani. Shule za umma za kata ya Fayette 3

4 Nini mwanafunzi wako anapaswa kujua na kuweza kufanya katika sanaa ya Lugha ya Kiingereza (ELA): Msingi wa Ustadi/Lugha Fuata sheria za majadiliano, kama vile kusikiliza wengine, kuzungumza mmoja mmoja, na kuuliza maswali ili kuelewa ni nini mtu mwingine amesema. Chagua maneno kwa vikundi, kama vile tofauti (furaha/huzuni) na vitu vinavyoishi (mbwa, paka, miti). Tambua maana sawa ya neno lenye maana mengi, kulingana na sentensi ama aya ambapo neno linatumika (kwa mfano, kuamua kama neno popo linamaanisha mnyama anayepepea ama klabu inayotumika kwa besiboli). Kusoma na Fasihi Tumia foniki na ujuzi mwingine kutambua mambo yasiyo ya kawaida wakati unasoma, kama vile picha, maneno yanayojulikana katika neno, na dalili za yaliyopo. Tambua wazo kuu na maelezo muhimu katika vitabu vya nonfiction kama vile simple Machines na Allen Fowler ama mafunzo ya hadithi katika vitabu vya fiction kama vile Frog and Toad Are Friends (Chura na mwanawe ni marafiki) na Arnold Lobel. Tambua tofauti mbali mbali katika hadithi; wahusikia, makao, ploti, tatizo/ suluhisho na mtindo wa vituko kwenya hadithi. Kadiria ni nini kitafanyika mara katika hadithi na eleza kama au la makadirio yalikuwa sawa. Soma kwa sauti na sahihi vitabu vya kiwango ya gredi-yako (hakuna makosa), haraka, na mfululizo. Kuandika Andika na uonyehse hadithi ambazo zina mwanzo, katikati, na mwisho na tumia sentensi wenya muundo kamilifu, herufi kubwa, nafasi, na alama. Jaribu kuandika maneno ambayo haelezi ukitumia maarifa ya sauti za herufi. Andika kuhusu mada, peana ukweli kadhaa, na peana baadhi ya hisia za kufunga. 4 Darasa 1

5 Jinsi ya kuhimiza kujifunza ELA nyumbani Soma kwa sauti kwa watoto wako kila siku. Read aloud to your child every day. Tengeneza flashi kadi ukitumia maneno ambayo mtoto wako anajifunza shuleni. Tumia kadi kufanya michezo kama Nenda vua (Go Fish) ama kumbukumbu (Memory). Unapokuwa ukisoma hadithi, simama na kumuuliza mtoto wako nini kitafanyika baadaye. Unda hadithi na mtoto wako ukitumia vibaraka ama wanyama waliojazwa ukitumia sauti tofauti kwa wahusika tofauti. Baada ya kusoma vitabu vya nonfiction ama makala, zungumza kuhusu uliyojifunza. Himiza mtoto wako kuleta vitabu nyumbani kutoka shuleni na kuvisoma kwa sauti. Msaidie kutambua maneno magumu na toa maoni kwamba asome tena ili kupata uzoefu (kusoma kwa haraka, sawa, na vizuri). Uliza mtoto wako aandike kuhusu jambo maalum kwake, kama vile sherehe ya kuzaliwa. Tafadhali ungana na mwalimu wa mtoto wako na uulize kuhusu rasilimali za masomo ya nyumbani zinazohusika na programu za kipekee za kusoma na kuandika. Shule za umma za kata ya Fayette 5

6 Nini mwanafunzi wako anapaswa kujua na kuweza kufanya katika Hesabu: Suluhisha kuongeza na kutoa katika masuala ya maneno katika hali ya kuongeza ma kuondoa kutoka kwa. Suluhisha matatizo kwa kufikiri kuhusu uhusiano kati ya nambari, kwa mfano: , hiyo Tumia vyombo, michoro, na maandishi kuonyesha mbinu na ufumbuzi. Kiakili ongeza na kuondia ndani ya 10. Kwa mfano: Kama nina tano na ninataka 8, ninahitaji ngapi zaidi? Eleza na ufananishe miundo. Vunja muundo ili kuunda nyingine mpya. Kwa mfano: ukitumia vitalu, tambua kuwa pembetatu 6 zinatengeza hexagoni. Ndani ya 120, hesabu mbele na kurudi nyuma kwa moja na kumi kuanzia kwenya nambari yeyote. Sema na kuandika wakati ukitumia saa ya analog na ya digital kwa masaa na kwa nusu saa. Pima urefu wa kitu ukitumia chombo kifupi kama kitengo cha urefu (pini za karatasi, mapeni). Kusanya, onyesha, na eleza data. Kwa mfano: tengenewa picha, chati, ama grafu ambayo inaonyesha ni wanyama wangapi wako katika kikombe cha kupasua. Tumia kalenda kutambua tarehe, miezi, na siku za wiki. 6 Darasa 1

7 Njia za kuhimiza masomo ya Hesabu nyumbani Hesabu na ufananishe ukusanyaji wa vifaa na mtoto wako. Kwa mafano: hesabu coins, vikundi vya wanyama ama magari, ama picha katika vitabu. Uliza ni vikundi vipi vya vifaa vina zaidi, vikundi vipi vina vichache. Tundika kalenda sehemu ambayo mtoto wako ataiona na kuitumia kirahisi. Onyesha tarehe muhimu za familia yako, kama vile siku za kuzaliea ama safari za familia. Jadili na mtoto wako ni nini kinatendeka katika tarehe ya leo na uliza, jana ilikuwa tarehe ngapi? ama siku ngapi zimebakia hadi tuende kwenye soko Jumamosi? Fanya michezo na himiza uzoefu wa kuongeza na kuondoa. Kwa mfano: Hi Ho Cherry-o, uno, Dominoes, Chutes na Ngazi, ifunge juu, (mkusanyiko/ kumbukumbu), Go Fish (Nenda vua), blink. Pima umbali na kiasi cha vitu katika nyumba yako kama vile klipu za karatasi ma vijiti ya popsiko. Kabla kupima, uliza mtoto wako akadirie, Unadhani kujaza hii meza kwa urefu itachukua Klipu ngapi za karatasi? Pamoja, zunguka na kuangalia ndani ya nyumba kutambua miundo tofauti. Wacha mtoto wako aeleze miundo kulingana na tabia zake. Kwa mfano: uliza maswali kama vile, hii fremu ya mstatili ya picha ina pande ngapi? Tafadhali ungana na mwalimu wa mtoto wako na uulize kuhusu rasilimali za masomo ya nyumbani zinazohusika na programu za kipekee za hesabu kwa shule yako. Shule za umma za kata ya Fayette 7

8 FAYETTE COUNTY PUBLIC SCHOOLS 1126 Russell Cave Road Lexington, KY Brosha hii imechapishwa na shule za umma za kata ya fayette. Ilitengenezwa Fall 2016

Information for assessors (do not distribute this page to participants):

Information for assessors (do not distribute this page to participants): R&P Cultural Orientation Model Assessment Written Version Swahili Information for assessors (do not distribute this page to participants): This written version of the Model Cultural Orientation (CO) Assessment

More information

Hati ya kuhitimu kisomo Kenya (K.C.S.E)

Hati ya kuhitimu kisomo Kenya (K.C.S.E) 102/3 KISWAHILI KARATASI YA 3 Fasihi Julai/Agosti 2013 MUDA : SAA 2 ½ Hati ya kuhitimu kisomo Kenya (K.C.S.E) Kiswahili Karatasi 3 Julai/ Agosti Muda: Saa 2 ½ MAAGIZO: Andika jina lako na nambari yako

More information

Yaliyomo. Kuhusu kitabu hiki. Hautakuwa peke yako. Mfumo wa msaada ni wa manufaa sana wazazi wote wanahitaji!

Yaliyomo. Kuhusu kitabu hiki. Hautakuwa peke yako. Mfumo wa msaada ni wa manufaa sana wazazi wote wanahitaji! Yaliyomo Kuhusu kitabu hiki Kuhusu kitabu hiki.........................................................1 Unapojisikia vibaya.........................................................2 Unapoanza kuwa mzima

More information

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA ELIMU SAYANSI TEKNOLOJIA NA UFUNDI MTAALA WA ELIMUMSINGI DARASA LA I NA LA II

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA ELIMU SAYANSI TEKNOLOJIA NA UFUNDI MTAALA WA ELIMUMSINGI DARASA LA I NA LA II JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA ELIMU SAYANSI TEKNOLOJIA NA UFUNDI MTAALA WA ELIMUMSINGI DARASA LA I NA LA II JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA ELIMU SAYANSI TEKNOLOJIA NA UFUNDI MTAALA

More information

Vijana wanazungumza kuhusu ujinsia, maisha na uhusiano VIJANA WANAZUNGUMZA KUHUSU NGONO, MAISHA NA UHUSIANO. Training and Research Support Centre

Vijana wanazungumza kuhusu ujinsia, maisha na uhusiano VIJANA WANAZUNGUMZA KUHUSU NGONO, MAISHA NA UHUSIANO. Training and Research Support Centre Shangazi Stella Vijana wanazungumza kuhusu ujinsia, maisha na uhusiano VIJANA WANAZUNGUMZA KUHUSU NGONO, MAISHA NA UHUSIANO Training and Research Support Centre Zimbabwe Shangazi Stella Kiongozi cha Mwezeshaji

More information

Early Grade Reading Assessment for Kenya

Early Grade Reading Assessment for Kenya EDDATA II Early Grade Reading Assessment for Kenya Baseline Instruments: Kiswahili and English EdData II Technical and Managerial Assistance, Task Number 4 Contract Number EHC-E-01-04-00004-00 Strategic

More information

Ufundishaji wa lugha nyingine

Ufundishaji wa lugha nyingine CHUO CHA ELIMU CHA KIMATAIFA OFISI YA ELIMU YA KIMATAIFA Ufundishaji wa lugha nyingine Na Elizabeth B. Bernhardt ELIMU MAZOEA KITABU NA. 20 1 Chuo cha Elimu cha Kimataifa (The International Academy of

More information

UNIVERSITY OF CAMBRIDGE INTERNATIONAL EXAMINATIONS General Certificate of Education Ordinary Level. SWAHILI 3162/01 Paper 1 May/June 2013

UNIVERSITY OF CAMBRIDGE INTERNATIONAL EXAMINATIONS General Certificate of Education Ordinary Level. SWAHILI 3162/01 Paper 1 May/June 2013 www.xtremepapers.com UNIVERSITY OF CAMBRIDGE INTERNATIONAL EXAMINATIONS General Certificate of Education Ordinary Level *9257224991* SWAHILI 3162/01 Paper 1 May/June 2013 Additional Materials: Answer Booklet/Paper

More information

Human Rights Are Universal And Yet...

Human Rights Are Universal And Yet... Human Rights Are Universal And Yet... Episode 05 Title : The right to education Author : Julien Adayé Editor : Aude Gensbittel Translator : Anne Thomas, Eric Ponda Proofreader: Pendo Paul Characters (sounds,

More information

Kufafanua Upya Elimu Bora Tanzania: Kutoka Zana za Dufundishia mpaka Uwezo wa Wanafunzi 1 Oktoba 2007

Kufafanua Upya Elimu Bora Tanzania: Kutoka Zana za Dufundishia mpaka Uwezo wa Wanafunzi 1 Oktoba 2007 Kufafanua Upya Elimu Bora Tanzania: Kutoka Zana za Dufundishia mpaka Uwezo wa Wanafunzi 1 Oktoba 2007 1. Utangulizi Changamoto kuu iliyopo kuhusiana na Elimu ya msingi nchini Tanzania kwa sasa ni namna

More information

Elimu ya Msingi inaelekea Upande Sahihi? Kufikiri na Nyerere Rakesh Rajani

Elimu ya Msingi inaelekea Upande Sahihi? Kufikiri na Nyerere Rakesh Rajani Elimu ya Msingi inaelekea Upande Sahihi? Kufikiri na Nyerere Rakesh Rajani HakiElimu: Mfululizo wa Mada za Uchambuzi Namba. 2003.4S Elimu ya Msingi inaelekea Upande Sahihi? Kufikiri na Nyerere 1 Rakesh

More information

JHSPH MAADILI YA KUFANYA UTAFITI WA MASUALA YA BINAADAMU MUONGOZO WA MAFUNZO YA UTAFITI

JHSPH MAADILI YA KUFANYA UTAFITI WA MASUALA YA BINAADAMU MUONGOZO WA MAFUNZO YA UTAFITI JHSPH MAADILI YA KUFANYA UTAFITI WA MASUALA YA BINAADAMU MUONGOZO WA MAFUNZO YA UTAFITI Mwongozo huu utatumika kama njia ya kuwafunza watafiti watakaohusika na utafiti unaohusu binadamu. Muongozo huu utatumika

More information

MTIHANI WA MWIGO WILAYA YA BUTERE MUMIAS-2007 Hati ya kuhitimu Elimu ya Sekondari Kenya

MTIHANI WA MWIGO WILAYA YA BUTERE MUMIAS-2007 Hati ya kuhitimu Elimu ya Sekondari Kenya Jina Nambari.. Shule... 102/3 KISWAHILI FASIHI KARATASI YA 3 JULAI / AGOSTI. 2007 MUDA: SAA 2 ½ MTIHANI WA MWIGO WILAYA YA BUTERE MUMIAS-2007 Hati ya kuhitimu Elimu ya Sekondari Kenya 102/3 KISWAHILI FASIHI

More information

UTANGULIZI ANUANI NA MANDHARI YA CHUO

UTANGULIZI ANUANI NA MANDHARI YA CHUO UTANGULIZI International Montessori Teachers College (IMTC), ni chuo kilichoanzishwa hapa nchini Tanzania mwaka 2012 na kinatoa kozi ya kimataifa ya ualimu wa watoto wadogo (yaani child care and nursery

More information

Elimu-Jumuishi Kwa Vitendo

Elimu-Jumuishi Kwa Vitendo Elimu-Jumuishi Kwa Vitendo Taarifa ya Warsha Kuhusu Elimu-Jumuishi Iliyofanyika Zanzibar, 7-10 Februari 2006 Kujifunza hakuna mwisho. Kazi ya vikundi imenipa fursa ya kujieleza bila kuhofia kuwa ningekosea.

More information

TIST (TANGA) HABARI MOTO MOTO. Kutunza miche yako. Take care of your seedlings. Take care of your trees

TIST (TANGA) HABARI MOTO MOTO. Kutunza miche yako. Take care of your seedlings. Take care of your trees TIST (TANGA) HABARI MOTO MOTO Tel. +255748-537720/632013, P.O.BOX 6049 MOROGORO E-Mail info@ tist.org April 2004 Take care of your seedlings This year, thousands of seedlings have been planted in the TIST

More information

Ufanisi katika Ufundishaji kwenye Shule za Msingi na Sekondari nchini Tanzania

Ufanisi katika Ufundishaji kwenye Shule za Msingi na Sekondari nchini Tanzania Ufanisi katika Ufundishaji kwenye Shule za Msingi na Sekondari nchini Tanzania Desemba 2014 1 Shukurani Ripoti hii iliandikwa na Dk. Mkumbo. Ushauri wa kitaalamu ulitolewa na Elizabeth Missokia na Godfrey

More information

Namba ya moduli 3 Kuangalia sanaa

Namba ya moduli 3 Kuangalia sanaa Rasilimali za Msingi Mafunzo Ya Jamii Na Sanaa Namba ya moduli 3 Kuangalia sanaa Sehemu ya 1 Kuchunguza Kazi za Sanaa zionekanazo Sehemu ya 2 Kuandaa Shughuli za Sanaa kwa Vitendo- Sehemu ya 3 Kutumia

More information

Tufundishane! Mwalimu Bora In this issue: Issue 6, December Do you want to be in our next issue?

Tufundishane! Mwalimu Bora In this issue: Issue 6, December Do you want to be in our next issue? Tufundishane! Let s teach each other! This newsletter is published by The Foundation for Tomorrow and is meant to be a venue for teachers and schools to share and learn from each other s best practices.

More information

Mazoezi yaliyofanyika wakati wa warsha kuhusu Elimu-Jumuishi kwa Vitendo. Zanzibar, 7-10 Februari 2006

Mazoezi yaliyofanyika wakati wa warsha kuhusu Elimu-Jumuishi kwa Vitendo. Zanzibar, 7-10 Februari 2006 Mazoezi yaliyofanyika wakati wa warsha kuhusu Elimu-Jumuishi kwa Vitendo Zanzibar, 7-10 Februari 2006 Imechapishwa na: The Atlas Alliance Schweigaardsgt 12 SLP 9218 Grønland 0134 Oslo, Norway Simu: +47

More information

KUUNGANISHA VIZAZI KUPITIA RADIO MWONGOZO KUTOKA AFRIKA KWA WAANDAJI WA VIPINDI VYA RADIO WANAOFANYAKAZI NA WATOTO NA VIJANA

KUUNGANISHA VIZAZI KUPITIA RADIO MWONGOZO KUTOKA AFRIKA KWA WAANDAJI WA VIPINDI VYA RADIO WANAOFANYAKAZI NA WATOTO NA VIJANA KUUNGANISHA VIZAZI KUPITIA RADIO MWONGOZO KUTOKA AFRIKA KWA WAANDAJI WA VIPINDI VYA RADIO WANAOFANYAKAZI NA WATOTO NA VIJANA KUWEZESHA Radio za kijamii Kutumia Tehama Mwongozo huu umeandaliwa ili kuvipa

More information

Huduma kwa wateja kupitia barua pepe na ujumbe mfupi Fig

Huduma kwa wateja kupitia barua pepe na ujumbe mfupi Fig KITINI CHA JINSI YA KUTUMIA MFUMO WA SIMU YA KIGANJANI KATI YA BARAZA LA FAMASI NA WAMILIKI WA MADUKA NA WATAALAMU WA DAWA YALIYOMO UTANGULIZI... 3 SEHEMU YA KWANZA: MALIPO YA KUHUISHA VIBALI... 4 1.1

More information

Jifunze kusimamia pesa zako nchini Uskoti

Jifunze kusimamia pesa zako nchini Uskoti Jifunze kusimamia pesa zako nchini Uskoti Mradi wa kujua kuhusu Pesa Aprili 2011 FLP - Swahili Mradi wa kujua kuhusu Pesa Ipindi vyetu vya maelezo vya bure, warsha na kozi hutoa fursa ya kujifunza kuhusu

More information

Kocha Mkuu. mabingwa. itakuwa INASTAHILI. Ili Kutoa mafunzo kwa wanafunzi wako kuwa. itakuwa ya kuumiza. Itachukua muda. Itahitaji moyo wa kujitoa.

Kocha Mkuu. mabingwa. itakuwa INASTAHILI. Ili Kutoa mafunzo kwa wanafunzi wako kuwa. itakuwa ya kuumiza. Itachukua muda. Itahitaji moyo wa kujitoa. Ili Kutoa mafunzo kwa wanafunzi wako kuwa mabingwa itakuwa ya kuumiza. Itachukua muda. Itahitaji moyo wa kujitoa. Mkuu Inahitaji dhabihu. Unahitaji kujisukuma hadi mwisho wako. Lakini nakupa ahadi hii,

More information

Azimio la Umoja wa Mataifa Kuhusu Watetezi wa Haki za Binadamu

Azimio la Umoja wa Mataifa Kuhusu Watetezi wa Haki za Binadamu The Human Rights Centre Uganda Azimio la Mkutano Mkuu 53/144 (8 Machi 1999) Azimio la Umoja wa Mataifa Kuhusu Watetezi wa Haki za Binadamu AZIMIO KUHUSU HAKI NA WAJIBU WA MTU BINAFSI, VIKUNDI NA JUMUIYA

More information

MATUMIZI YA FACEBOOK KWA BIASHARA. Kwa Wanaoanza

MATUMIZI YA FACEBOOK KWA BIASHARA. Kwa Wanaoanza 1 Matumizi bora ya Facebook kwa Biashara MATUMIZI YA FACEBOOK KWA BIASHARA Kwa Wanaoanza For IT Services & Web Solutions Web: Email: info@dudumizi.com Phone: 0768816728 2 Matumizi bora ya Facebook kwa

More information

Mwongozo kwa familia zinazofanya kazi pamoja kwa maisha endelevu. Nyenzo ya Mafunzo

Mwongozo kwa familia zinazofanya kazi pamoja kwa maisha endelevu. Nyenzo ya Mafunzo Mwongozo kwa familia zinazofanya kazi pamoja kwa maisha endelevu Nyenzo ya Mafunzo Vi Agroforestry Vi Agroforestry ni shirika la ushirikiano la maendeleo la Sweden, linalopambana dhidi ya umasikini na

More information

Siku ya kwanza. Mguso wa ngozi-kwa-ngozi (Ulezi wa kangaruu) Mtoto wako anaweza kuhisi mdundo wa moyo wako

Siku ya kwanza. Mguso wa ngozi-kwa-ngozi (Ulezi wa kangaruu) Mtoto wako anaweza kuhisi mdundo wa moyo wako Siku ya kwanza Baada tu ya mtoto kuzaliwa ni wakati wa kufurahia, lakini pia ni wa kuchosha. Kujua vitu vichache kuhusu kunyonyesha hufanya siku ya kwanza kuwa rahisi kidogo. Baada ya kujifungua Wakati

More information

Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi (MMEM) Muhtasari Rakesh Rajani na George Omondi

Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi (MMEM) Muhtasari Rakesh Rajani na George Omondi Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi (MMEM) Muhtasari Rakesh Rajani na George Omondi HakiElimu: Mfululizo wa Mada za Uchambuzi Namba. 2003. 6S Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi (MMEM) Muhtasari

More information

Kifaa Maalum cha Kutazamia Jua: Maelekezo ya kutumia

Kifaa Maalum cha Kutazamia Jua: Maelekezo ya kutumia : Maelekezo ya kutumia Kupatwa kamili kwa jua Jumatatu, 21 Agosti 2017 Agreement v1.4 Mar 2014 2014-2017 Eclipse2017.org, Eclipse2017.org, inc. inc. TERMS AND CONDITIONS FOR USE OF SOLAR VIEWER Please

More information

Kuwawezesha wasichana kwa kuboresha kujikubali na kujithamini Hivi Ndivyo Nilivyo

Kuwawezesha wasichana kwa kuboresha kujikubali na kujithamini Hivi Ndivyo Nilivyo Kuwawezesha wasichana kwa kuboresha kujikubali na kujithamini Hivi Ndivyo Nilivyo Mazoezi ya wenye umri wa miaka 11-14 Hivi Ndivyo Nilivyo kwa wenye umri wa miaka 11-14 Kuhusu Hivi Ndivyo Nilivyo Ikiwa

More information

SERA & TARATIBU YA YALE NEW HAVEN HEALTH

SERA & TARATIBU YA YALE NEW HAVEN HEALTH Eneo La Huduma: Huduma Ya Ushirika Wa Biashara Kichwa: Sera Ya Mipango Ya Msaada Wa Kifedha SERA & TARATIBU YA YALE NEW HAVEN HEALTH Tarehe Kupitishwa: 09/20/2013 Tarehe Ya Ufanisi: 09/20/2013 1/1/2017

More information

Hati ya Kuhitimu Elimu ya Sekondari Kenya.( K.C.S.E)

Hati ya Kuhitimu Elimu ya Sekondari Kenya.( K.C.S.E) 102/3 KISWAHILI FASIHI KARATASI YA 3 JULAI/AGOSTI 2011 MUDA: 2 ½ Kiswahili Fasihi Hati ya Kuhitimu Elimu ya Sekondari Kenya.( K.C.S.E) MAAGIZO Jibu maswali manne pekee Swali la kwanza ni lazima Maswali

More information

Elimu Bora, lakini... C HakiElimu Elimu bora, lakini...

Elimu Bora, lakini... C HakiElimu Elimu bora, lakini... Elimu Bora, lakini... Shukrani za dhati kwa wote waliotusaidia katika kutayarisha kijitabu hiki: Nsa Kaisi, Mshauri wa Rais, kwa mchango wake mkubwa wa mawazo Wafanyakazi wote wa HakiElimu 2003-2004 Many

More information

SautiElimu. Sauti Yako Isikike

SautiElimu. Sauti Yako Isikike SautiElimu Sauti Yako Isikike SautiElimu Sauti Yako Isikike Mtayarishaji : Godfrey Telli Mchangiaji : Robert Mihayo Mhariri : Rakesh Rajani Shukrani za dhati kwa timu ya waandaaji wa SautiElimu 1-10: Lilian

More information

Tora UTANGULIZI KWA TORA SOMO LA KWANZA

Tora UTANGULIZI KWA TORA SOMO LA KWANZA SOMO LA KWANZA UTANGULIZI KWA TORA For videos, study guides and other resources, visit Third Millennium Ministries at thirdmill.org. 2014 nathird Millennium Ministries Haki zote zimehifadhiwa. Hakuna sehemu

More information

Elimu Ina Umuhimu gani katika Jamii? Kuelekea Elimu Sahihi

Elimu Ina Umuhimu gani katika Jamii? Kuelekea Elimu Sahihi Elimu Ina Umuhimu gani katika Jamii? Kuelekea Elimu Sahihi Gervas Zombwe 1 1. Utangulizi Katika mazingira ya kawaida kabisa ndani ya jamii yetu, Imezoeleka kusikia au kuona watu wakioanisha dhana ya elimu

More information

Sera ya Faragha. Upeo. Aina za Data na Mbinu za Ukusanyaji

Sera ya Faragha. Upeo. Aina za Data na Mbinu za Ukusanyaji Sera ya Faragha Katika Sera hii ya Faragha ( Sera ), sisi, Qualcomm Incorporated na makampuni yetu tanzu (kwa pamoja sisi au yetu ), tunatoa maelezo kuhusu jinsi tunavyokusanya, kutumia, kuchakata, na

More information

UHUSIANO WA MIKAKATI YA UFUNDISHAJI WA FASIHI YA WATOTO YA KISWAHILI NA UMILISI WA KUSOMA KATIKA SHULE ZA MSINGI, KASARANI, KAUNTI YA NAIROBI, KENYA

UHUSIANO WA MIKAKATI YA UFUNDISHAJI WA FASIHI YA WATOTO YA KISWAHILI NA UMILISI WA KUSOMA KATIKA SHULE ZA MSINGI, KASARANI, KAUNTI YA NAIROBI, KENYA UHUSIANO WA MIKAKATI YA UFUNDISHAJI WA FASIHI YA WATOTO YA KISWAHILI NA UMILISI WA KUSOMA KATIKA SHULE ZA MSINGI, KASARANI, KAUNTI YA NAIROBI, KENYA NA SELINA RHOBI CHACHA E55/23475/11 TASNIFU HII IMEWASILISHWA

More information

Mwongozo wa Utamaduni Toleo la Kwanza

Mwongozo wa Utamaduni Toleo la Kwanza Mwongozo wa Utamaduni Toleo la Kwanza Kubadilishana Tamaduni za Kijerumani na za Kitanzania Limeandaliwa na Anna Hoppenau, Johannes Hahn, Oliva Lyimo na Lisa Bendiek German-Tanzanian Partnership (DTP)

More information

MACHAGUO YA UZAZI KUFIKIRIA KUWA MZAZI

MACHAGUO YA UZAZI KUFIKIRIA KUWA MZAZI This booklet on Becoming a Parent was developed by the Tanzania Home Economics Association with support from Our Bodies Ourselves. Other booklets and more information on the project are available at. MACHAGUO

More information

KUWEZESHA MBINU ZA UZUIAJI MIMBA KATIKA SUHULA ZA AFYA: MASWALI 10 KWA VIKUNDI VYA JAMII KUZINGATIA

KUWEZESHA MBINU ZA UZUIAJI MIMBA KATIKA SUHULA ZA AFYA: MASWALI 10 KWA VIKUNDI VYA JAMII KUZINGATIA KUWEZESHA MBINU ZA UZUIAJI MIMBA KATIKA SUHULA ZA AFYA: MASWALI 10 KWA VIKUNDI VYA JAMII KUZINGATIA Toleo la kwanza 2012 Mwandishi: USAID DELIVER PROJECT Wachangiaji: Gary Steele, John Snow, Inc. and Judith

More information

SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO

SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO KISWAHILI SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO YALIYOMO UTANGULIZI v MPANGILIO WA MASOMO YA KISWAHILI: KIDATO CHA TANO 1 FUNZO: Fasihi (Ukurasa

More information

WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI TAASISI YA ELIMU TANZANIA MTAALA WA ELIMU YA MSINGI TANZANIA

WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI TAASISI YA ELIMU TANZANIA MTAALA WA ELIMU YA MSINGI TANZANIA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI TAASISI YA ELIMU TANZANIA MTAALA WA ELIMU YA MSINGI TANZANIA 2007 i WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI TAASISI YA ELIMU TANZANIA MTAALA WA ELIMU YA MSINGI TANZANIA

More information

N09/2/ABSWA/HP1/SWA/TZ0/XX/Q

N09/2/ABSWA/HP1/SWA/TZ0/XX/Q N09/2/ABSWA/HP1/SWA/TZ0/XX/Q 88092387 SWAHILI B HIGHER LEVEL PAPER 1 SOUAHÉLI B NIVEAU SUPÉRIEUR ÉPREUVE 1 SUAHILI B NIVEL SUPERIOR PRUEBA 1 Tuesday 3 November 2009 (morning) Mardi 3 novembre 2009 (matin)

More information

Ufunguo wa Kutaalamika Haraka

Ufunguo wa Kutaalamika Haraka 0 Ufunguo wa Kutaalamika Haraka Ufunguo wa Kutaalamika Haraka Kijitabu Kielelezo; Nakala ya Bila Malipo Yaliyomo 1 Yaliyomo Utangulizi...04 Habari Fupi Kuhusu...08 Fumbo la Ulimwengu wa Ng ambo ya Pili...11

More information

LUGHA YA KISWAHILI KATIKA KUFUNDISHIA NA KUJIFUNZIA ELIMU SHULE ZA SEKONDARI

LUGHA YA KISWAHILI KATIKA KUFUNDISHIA NA KUJIFUNZIA ELIMU SHULE ZA SEKONDARI LUGHA YA KISWAHILI KATIKA KUFUNDISHIA NA KUJIFUNZIA ELIMU SHULE ZA SEKONDARI SIKOMBE YIZUKANJI YORADI TASNIFU YA KISWAHILI KWA MINAJILI YA KUTUNUKIWA SHAHADA YA UZAMILI (MA. KISWAHILI) KITIVO CHA SANAA

More information

TAARIFA FUPI KUHUSU SERA YA TAIFA YA ELIMU

TAARIFA FUPI KUHUSU SERA YA TAIFA YA ELIMU TAARIFA FUPI KUHUSU SERA YA TAIFA YA ELIMU TANZANIA EDUCATION NETWORK / MTANDAO WA ELIMU TANZANIA () 1.0 USULI Tanzania, sawa na nchi nyingine, ilitia saini Malengo ya Maendeleo ya Milenia na Malengo ya

More information

Utangulizi wa ugonjwa wa shinikizo la damu

Utangulizi wa ugonjwa wa shinikizo la damu Utangulizi wa ugonjwa wa shinikizo la damu BLOOD PRESSURE UK Shinikizo la damu ndicho chanzo kikubwa cha ulemavu na vifo vya mapema kule Uingereza, kupitia kiharusi, mshtuko wa moyo na maradhi ya moyo.

More information

Makala ya Mshiriki wa Mafunzo

Makala ya Mshiriki wa Mafunzo JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII Ushauri Nasaha na Upimaji wa VVU kwa Hiari Makala ya Mshiriki wa Mafunzo Mpango wa Taifa wa Kudhibiti UKIMWI Machi 2010 Kimetafsiriwa kutoka

More information

Elimukombozi, Lugha na Upashanaji Habari nchini Tanzania, katika Muktadha wa Utandawazi

Elimukombozi, Lugha na Upashanaji Habari nchini Tanzania, katika Muktadha wa Utandawazi Elimukombozi, Lugha na Upashanaji Habari nchini Tanzania, katika Muktadha wa Utandawazi Martha Qorro 1 1.0 Utangulizi Elimu ni suala la jamii ambalo mipango na taratibu zake zinahitaji kushirikisha wadau

More information

Uzio wa pilipili unazuia tembo kuvamia mazao shambani! Jinsi ya kujenga na kudumisha uzio wa pilipili Tanzania

Uzio wa pilipili unazuia tembo kuvamia mazao shambani! Jinsi ya kujenga na kudumisha uzio wa pilipili Tanzania Uzio wa pilipili unazuia tembo kuvamia mazao shambani! Jinsi ya kujenga na kudumisha uzio wa pilipili Tanzania Jinsi ya kujenga na kudumisha uzio wapilipili Tanzania Wildlife Division, Tanzania Wildlife

More information

Hatari, Haki za Usalama katika Bahari 03

Hatari, Haki za Usalama katika Bahari 03 Hatari, Haki za Usalama katika Bahari 03 AEG swahili Bahari ya Aegean Brosha ya maelezo hii ni kwa watu wanaofikiria kuvuka bahari ya Aegean kati ya Ugiriki na Uturuki.Kuvuka kihramu ni uhalifu katika

More information

HALMASHAURI YA WILAYA YA SUMBAWANGA

HALMASHAURI YA WILAYA YA SUMBAWANGA HALMASHAURI YA WILAYA YA SUMBAWANGA E- mail: uchilesekondari@yahoo.com P.O. BOX 582 Mob: +255 (0) 752 476 389 SUMBAWANGA KUMB. NA. USS/JOINING/F.V/03 10 Juni 2017...... YAH: MAAGIZO YA KUJIUNGA NA KIDATO

More information

usudi la Maisha Hakika katika kuumbwa mbingu na ardhi, na kupishana usiku na mchana, kuna kweli ishara kwa wenye akili, ambaye mkumbuke-

usudi la Maisha Hakika katika kuumbwa mbingu na ardhi, na kupishana usiku na mchana, kuna kweli ishara kwa wenye akili, ambaye mkumbuke- Kusudi la Maisha hawatakuambia nini walihitimisha kupitia uchunguzi au hoja ya uchambuzi. Katika hali nyingi, hakika wao kukuambia nini mtu mwingine alisema... Au wao watakuambia nini kawaida kudhaniwa

More information

JAZANDA YA NJOZI KATIKA BAADHI YA MASHAIRI YA EUPHRASE KEZILAHABI (ONEIRIC IMAGES IN EUPHRASE KEZILAHABI S SELECTED POEMS) 1

JAZANDA YA NJOZI KATIKA BAADHI YA MASHAIRI YA EUPHRASE KEZILAHABI (ONEIRIC IMAGES IN EUPHRASE KEZILAHABI S SELECTED POEMS) 1 SWAHILI FORUM 11 (2004): 69-73 JAZANDA YA NJOZI KATIKA BAADHI YA MASHAIRI YA EUPHRASE KEZILAHABI (ONEIRIC IMAGES IN EUPHRASE KEZILAHABI S SELECTED POEMS) 1 GRAZIELLA ACQUAVIVA This article is based upon

More information

KANUNI ZA MAADILI MWONGOZO WA WANAFUNZI

KANUNI ZA MAADILI MWONGOZO WA WANAFUNZI Swahili TANGAZO LA MATARAJIO NA JUKUMU KANUNI ZA MAADILI MWONGOZO WA WANAFUNZI Lengo letu ni kuwezesha mazingira ya jumuiya ya ushirikiano yanayowapatia wanafunzi wote kwa kila kiwango fursa ya kufikia

More information

MAFUNZO YA AFYA YA UZAZI: Nyongeza ya Mtalaa Kwa vijana

MAFUNZO YA AFYA YA UZAZI: Nyongeza ya Mtalaa Kwa vijana MAFUNZO YA AFYA YA UZAZI: Nyongeza ya Mtalaa Kwa vijana Umeigwa kwa Mtindo wa Kenya a program of the International Youth Foundation The International Youth Foundation (IYF) invests in the extraordinary

More information

GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23)

GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23) GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER (Made under Section 23) THE ELECTRICITY (STANDARDIZED SMALL POWER PROJECTS TARIFF) ORDER, 2016 citation 1. This Order may be cited

More information

Mwongozo wa Mwezeshaji

Mwongozo wa Mwezeshaji JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII Ushauri Nasaha na Upimaji wa VVU kwa Hiari Mwongozo wa Mwezeshaji Mpango wa Taifa wa Kudhibiti UKIMWI Machi 2010 Kimetafsiriwa kutoka lugha

More information

Mwongozo kwa Lugha Rahisi wa Sera ya Maendeleo ya Ushirika na Sheria ya Vyama vya Ushirika Tanzania Bara

Mwongozo kwa Lugha Rahisi wa Sera ya Maendeleo ya Ushirika na Sheria ya Vyama vya Ushirika Tanzania Bara Mwongozo kwa Lugha Rahisi wa Sera ya Maendeleo ya Ushirika na Sheria ya Vyama vya Ushirika Tanzania Bara Umetayarishwa na Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tanzania kwa Kushirikiana na Idara ya Maendeleo

More information

Mwongozo wa Mafunzo Yaliyochanganywaya K4Health

Mwongozo wa Mafunzo Yaliyochanganywaya K4Health Mwongozo wa Mafunzo Yaliyochanganywaya K4Health Wasiojua kusoma na kuandika katika karne ya 21 hawatakuwa wale wasiojua kusoma na kuandika lakini wale ambao hawawezi kujifunza, kutojifunza na kujifunza

More information

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA ELIMU SAYANSI TEKNOLOJIA NA UFUNDI MTAALA WA ELIMUMSINGI DARASA LA III VI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA ELIMU SAYANSI TEKNOLOJIA NA UFUNDI MTAALA WA ELIMUMSINGI DARASA LA III VI JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA ELIMU SAYANSI TEKNOLOJIA NA UFUNDI MTAALA WA ELIMUMSINGI DARASA LA III VI JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA ELIMU SAYANSI TEKNOLOJIA NA UFUNDI MTAALA WA

More information

Shamba Darasa na Stadi za Maisha kwa Vijana (SDSMV) Tanzania. Kiongozi Cha Mwezeshaji. Jaap Van Pol na Francesca Dalla Valle

Shamba Darasa na Stadi za Maisha kwa Vijana (SDSMV) Tanzania. Kiongozi Cha Mwezeshaji. Jaap Van Pol na Francesca Dalla Valle Programu kuhusu msaada wa sera kwa ajira vijijini na kazi yenye heshima kwa uhimizaji maisha sawa endelevu vijijini kulingana na mabadiliko ya tabia nchi Shamba Darasa na Stadi za Maisha kwa Vijana (SDSMV)

More information

Palliative Care Toolkit

Palliative Care Toolkit KISWAHILI TRANSLATION INPATIENT CARE OUTPATIENT CLINIC HOME-BASED CARE DAY CARE SUPPORT HOSPITAL PALLIATIVE CARE TEAM Physical Psychological Spiritual Social Palliative Care Toolkit Improving care from

More information

Mipango ya miradi katika udugu

Mipango ya miradi katika udugu Partnerschaftlich Projekte planen Mipango ya miradi katika udugu 2 Dibaji... 3 Utangulizi... 4 I. Nafasi ya (Wajibu wa) Fedha katika Udugu: Mtazamo wa Ki-indonesi... 5 II. Namna UEM Inavyowezesha Miradi

More information

GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23)

GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23) GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER (Made under Section 23) THE ELECTRICITY (STANDARDIZED SMALL POWER PROJECTS TARIFF) ORDER, 2015 Citation 1. This Order may be cited

More information

Kiu Cha umtafuta Mungu

Kiu Cha umtafuta Mungu ZAIDI YA NAKALA MILLION 3 ZIMECHAPISHWA KATIKA LUGHA 59 KOTE DUNIANI K Kiu Cha umtafuta Mungu Huduma ya Daktari Richard A. Bennett ilianza katika mabaraza ya miji. Akiwa mwanafunzi chuoni, alikumbana na

More information

Miradi na jamii. 3.1 Utangulizi

Miradi na jamii. 3.1 Utangulizi 3.1 Utangulizi Miradi na jamii Lengo la sura hii ni mapitio ya mazingira pana ambayo chini ya ardhi kwa ajili ya maendeleo vijijini upatikanaji wa maji inafaa. majadiliano wakapanga meneja, au kiongozi

More information

UFUATILIAJI WA MIRADI NA TATHMINI

UFUATILIAJI WA MIRADI NA TATHMINI JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa MFUMO WA RUZUKU YA MAENDELEO YA MTAJI WA SERIKALI ZA MITAA (LDCDG) UFUATILIAJI WA MIRADI NA TATHMINI Kijitabu cha Mshiriki

More information

CGAP Smallholder Household Survey in Tanzania / Utafiti wa kaya ndogondogo Tanzania

CGAP Smallholder Household Survey in Tanzania / Utafiti wa kaya ndogondogo Tanzania CGAP Smallholder Household Survey in Tanzania / Utafiti wa kaya ndogondogo Tanzania Questionnaire for Individual Household Members/Dodoso kwa mwanakaya binafsi This questionnaire will be administered to

More information

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO MPANGO KAZI WA USHIRIKI WA MTOTO TANZANIA 2014-2019 JANUARI, 2014 Dibaji Kwa mujibu wa takwimu za Sensa ya Taifa ya Idadi

More information

TATHMINI YA PAMOJA SHULE ZA UPILI ZA JIMBO LA MACHAKOS.

TATHMINI YA PAMOJA SHULE ZA UPILI ZA JIMBO LA MACHAKOS. www.eeducationgroup.com JINA NAMBA YAKO...... SAHIHI YA MTAHINIWA... TAREHE:...... 102/1 KISWAHILI KARATASI YA 1 INSHA MUDA :SAA 1 ¾ TATHMINI YA PAMOJA SHULE ZA UPILI ZA JIMBO LA MACHAKOS. Hati ya kuhitimu

More information

NAFASI ZA MASOMO MASOMO YA ASUBUHI

NAFASI ZA MASOMO MASOMO YA ASUBUHI NAFASI ZA MASOMO Shule yetu, iliyoanza mwaka 1974, inazingatia taaluma na maadili kwa kufuata sera ya elimu ya Kanisa Katoliki. Ni ya mchepuo wa biashara. Inapokea wanafunzi wa kike na wa kiume, wa kutwa

More information

TANZANIA OSAKA ALUMNI. Kitabu cha Mbinu Bora

TANZANIA OSAKA ALUMNI. Kitabu cha Mbinu Bora K I T A B U C H A M B I N U B O R A C H A T O A U k u r a s a 1 TANZANIA OSAKA ALUMNI Kitabu cha Mbinu Bora Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa P.O. Box 1923, Dodoma. Novemba, 2012

More information

TIST HABARI MOTO MOTO MAANDALIZI YA MWAKA 2000 Y2K PREPARATIONS SASA NI WAKATI WA KUANZA KUPANDA MBEGU ZAKO

TIST HABARI MOTO MOTO MAANDALIZI YA MWAKA 2000 Y2K PREPARATIONS SASA NI WAKATI WA KUANZA KUPANDA MBEGU ZAKO TIST HABARI MOTO MOTO Tel. 026-2322246 P.O.BOX 53 MPWAPWA E-Mail tist@twiga.com 01 October 2000 Y2K PREPARATIONS Holes and Seedlings made ready for the year 2000 programme By Gayo Mhila The process of

More information

Rahisi. Mabingwa kwa ajili ya tunda la Roho Mtakatifu. Kitabu cha mwanafunzi. Rahisi

Rahisi. Mabingwa kwa ajili ya tunda la Roho Mtakatifu. Kitabu cha mwanafunzi. Rahisi Rahisi kitengo cha 2 Mabingwa kwa ajili ya tunda la Roho Mtakatifu Rahisi Rahisi Kitabu cha mwanafunzi Kuwa bingwa.wewe na Mimi lazima tujifunze kuishi kwa tunda la Roho Mtakatifu, na kupigana dhidi ya

More information

KISWAHILI KARATASI YA 2 LUGHA

KISWAHILI KARATASI YA 2 LUGHA KISWAHILI KARATASI YA 2 LUGHA Maagizo (a) Andika jina lako na namba yako katika nafasi ulizoachiwa hapo juu. (b) Tia sahihi yako na tarehe ya mtihani katika nafasi ulizoachiwa hapo juu. (c) Jibu maswali

More information

HALIYA VITABUVYA WATOTOKATIKA TANZANIA

HALIYA VITABUVYA WATOTOKATIKA TANZANIA AAP 68 (2001)- Swahi1i Fomm Vill 171-183 HALIYA VITABUVYA WATOTOKATIKA TANZANIA J S. MADUMULLA Whither is fled the visionary gleam Where is it now, the glory and the dream Wapi kimekimbilia, kianga cha

More information

UKUFUNZI WENYE NGUVU MMOJA-KWA-MMOJA

UKUFUNZI WENYE NGUVU MMOJA-KWA-MMOJA UKUFUNZI WENYE NGUVU MMOJA-KWA-MMOJA Dynamic Churches International Simeon Oyui P. O. Box 798-00515 Bukubura, Nairobi, Kenya EAST AFRICA Email: ncc_africa@yahoo.com Dynamic Churches International 164 Stonegate

More information

Theolojia Ujumla. Mike Taylor Semester Munguishi Bible College

Theolojia Ujumla. Mike Taylor Semester Munguishi Bible College Theolojia 1 Ujumla Mike Taylor Semester 1 2014-2015 Munguishi Bible College MIKE TAYLOR 2014 THEOLOJIA 1 i THEOLOJIA Utangulizi! 1 1. Kumfahamu Mungu katika Injili! 3 1.1. Mawazo Makuu 3 1.2. Maana ya

More information

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA SIMU NA: (027) 2642082 TANGA (OFISI) 0784 889 099 TANGA (NYUMBANI) Tovuti: www.tangaschool.sc.tz Barua pepe: tangaschool@yahoo.com JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI HALMASHAURI YA

More information

KENYA NATIONAL EXAMINATION COUNCIL REVISION MOCK EXAMS 2016 TOP NATIONAL SCHOOLS

KENYA NATIONAL EXAMINATION COUNCIL REVISION MOCK EXAMS 2016 TOP NATIONAL SCHOOLS KENYA NATIONAL EXAMINATION COUNCIL REVISION MOCK EXAMS 2016 TOP NATIONAL SCHOOLS ALLIANCE BOYS HIGH SCHOOL KISWAHILI KARATASI YA 2 SCHOOLS NET KENYA Osiligi House, Opposite KCB, Ground Floor Off Magadi

More information

Unyanyasaji wa Watoto & Kutelekezwa

Unyanyasaji wa Watoto & Kutelekezwa Child Abuse & Neglect 43(2015)8 21 Orodha Yaliyomo inapatikana katika ScienceDirect Unyanyasaji wa Watoto & Kutelekezwa Nakala ya Utafiti Mbinu za kuimarisha mifumo ya ulinzi wa mtoto kuanzia chini kwenda

More information

Kimesanifiwa na:- E.D.Kissuu ECOMM TANZANIA S.L.P ,Dar es Salaam. Simu:

Kimesanifiwa na:- E.D.Kissuu ECOMM TANZANIA S.L.P ,Dar es Salaam. Simu: Kimesanifiwa na:- E.D.Kissuu ECOMM TANZANIA S.L.P. 21425,Dar es Salaam. Simu: +255 713 607 207 edkissuu@gmail.com Katuni zimechorwa na: Adam Lutta Babatau Inc. Box 13565 Dar es salaam, Simu:+255 713 474200

More information

MWONGOZO WA UTUNGAJI WA SHERIA NDOGO NA USHIRIKI WA WANANCHI

MWONGOZO WA UTUNGAJI WA SHERIA NDOGO NA USHIRIKI WA WANANCHI MWONGOZO WA UTUNGAJI WA SHERIA NDOGO NA USHIRIKI WA WANANCHI 2012 MWONGOZO WA UTUNGAJI WA SHERIA NDOGO NA USHIRIKI WA WANANCHI 2012 Kitabu hiki kimetayarishwa na Shirika la Equality for Growth (EfG) Equality

More information

JAMHURI YA KENYA. Mkakati wa Ushirikiano MUKHTASARI FY Public Disclosure Authorized. Public Disclosure Authorized

JAMHURI YA KENYA. Mkakati wa Ushirikiano MUKHTASARI FY Public Disclosure Authorized. Public Disclosure Authorized horized Public Disclosure Authorized Public Disclosure Authorized Public Disclosure Authorized JAMHURI YA KENYA Mkakati wa Ushirikiano FY2014-2018 MUKHTASARI Mkakati wa Ushirikiano wa Jamhuri ya Kenya

More information

MITAZAMO KUHUSU KISWAHILI MIONGONI MWA WAZUNGUMZAJI WA KIJALUO: KIFANI CHA SHULE ZA MSINGI KATIKA KAUNTI YA MIGORI. OWALA JAEL AKINYI C50/75493/2012

MITAZAMO KUHUSU KISWAHILI MIONGONI MWA WAZUNGUMZAJI WA KIJALUO: KIFANI CHA SHULE ZA MSINGI KATIKA KAUNTI YA MIGORI. OWALA JAEL AKINYI C50/75493/2012 MITAZAMO KUHUSU KISWAHILI MIONGONI MWA WAZUNGUMZAJI WA KIJALUO: KIFANI CHA SHULE ZA MSINGI KATIKA KAUNTI YA MIGORI. OWALA JAEL AKINYI C50/75493/2012 TASNIFU HII IMEWASILISHWA KUTOSHELEZA BAADHI YA MAHITAJI

More information

United Pentecostal Church June 2017

United Pentecostal Church June 2017 Kwa Nini Tusali? Jarida la Maombi ya Wanawake Kimataifa "Chagua" Ladies Prayer International kwa Facebook United Pentecostal Church June 2017 Tuko na wafuasi Facebook katika Marekani, Hong Kong, Philippines,

More information

MTIHANI WA MWIGO WA WILAYA YA NANDI KASKAZINI 2013

MTIHANI WA MWIGO WA WILAYA YA NANDI KASKAZINI 2013 JINA:. SAHIHI: NAMBARI:. TAREHE:.. 102/2 KISWAHILI LUGHA KARATASI YA PILI JULAI / AGOSTI 2013 MUDA: SAA 2 ½ MTIHANI WA MWIGO WA WILAYA YA NANDI KASKAZINI 2013 Cheti cha Kuhitimu Kisomo cha Sekondari KISWAHILI

More information

Rahisi. Kitabu cha mwanafunzi. Mabingwa kwa ajili ya tunda la Roho Mtakatifu. Rahisi

Rahisi. Kitabu cha mwanafunzi. Mabingwa kwa ajili ya tunda la Roho Mtakatifu. Rahisi kitengo cha 3 Rahisi Mabingwa kwa ajili ya tunda la Roho Mtakatifu Rahisi Rahisi Kitabu cha mwanafunzi Kuwa bingwa.wewe na mimi lazima tujifunze kuishi kwa tunda la Roho Mtakatifu, na kupigana na dhambi

More information

ATHARI ZA KIISIMU ZA LAHAJA YA KIMAKUNDUCHI KATIKAKISWAHILI SANIFU KINACHOTUMIKA SHULENI MAKUNDUCHI ZANZIBAR

ATHARI ZA KIISIMU ZA LAHAJA YA KIMAKUNDUCHI KATIKAKISWAHILI SANIFU KINACHOTUMIKA SHULENI MAKUNDUCHI ZANZIBAR ATHARI ZA KIISIMU ZA LAHAJA YA KIMAKUNDUCHI KATIKAKISWAHILI SANIFU KINACHOTUMIKA SHULENI MAKUNDUCHI ZANZIBAR SALEH ABDELSALAM MOHAMMED SALEH TASINIFU ILIYOWASILISHWA KWA AJILI YA KUKAMILISHA MASHARTI YA

More information

Swahili B Higher level Paper 1 Swahili B Niveau supérieur Épreuve 1 Swahili B Nivel superior Prueba 1

Swahili B Higher level Paper 1 Swahili B Niveau supérieur Épreuve 1 Swahili B Nivel superior Prueba 1 Swahili B Higher level Paper 1 Swahili B Niveau supérieur Épreuve 1 Swahili B Nivel superior Prueba 1 Monday 9 November 2015 (afternoon) Lundi 9 novembre 2015 (après-midi) Lunes 9 de noviembre de 2015

More information

TIST HABARI MOTO MOTO. Benefits of Loan Repayment. Faida za ulipaji wa mikopo U OTESHAJI W A M ITI Y A M ATUNDA

TIST HABARI MOTO MOTO. Benefits of Loan Repayment. Faida za ulipaji wa mikopo U OTESHAJI W A M ITI Y A M ATUNDA TIST HABARI MOTO MOTO Tel. 026-2322246, P.O.BOX 53 MPWAPWA E-Mail tist@ twiga.com 01 June 2001 Benefits of Loan Repayment As the date of repayment nears, 15 June, groups are busy preparing crops, digging

More information

Mukhtasari Wa Mabishano Kwa Na Dhidi Ya Vikombe Vingi Vya Ushirika

Mukhtasari Wa Mabishano Kwa Na Dhidi Ya Vikombe Vingi Vya Ushirika Mukhtasari Wa Mabishano Kwa Na Dhidi Ya Vikombe Vingi Vya Ushirika (A Summary Of Arguments For And Against Individual Communion Cups) Na J D Logan Communion Cups) 1 Mukhtasari Wa Mabishano Kwa Na Dhidi

More information

Mabingwa kwa ajili ya tunda la Roho Mtakatifu. Iliyoendelea sana. Kitabu cha mwanafunzi. Iliyoendelea sana

Mabingwa kwa ajili ya tunda la Roho Mtakatifu. Iliyoendelea sana. Kitabu cha mwanafunzi. Iliyoendelea sana kitengo cha 3 Iliyoendelea sana Iliyoendelea sana Mabingwa kwa ajili ya tunda la Roho Mtakatifu Iliyoendelea sana Kitabu cha mwanafunzi Kuwa bingwa.wewe na mimi lazima tujifunze kuishi kwa tunda la Roho

More information

Usimulizi wa Riwaya ya Nyongo Mkalia Ini E. S. MOHOCHI University of Egerton, Kenya

Usimulizi wa Riwaya ya Nyongo Mkalia Ini E. S. MOHOCHI University of Egerton, Kenya Nordic Journal of African Studies 9(2): 49-59 (2000) Usimulizi wa Riwaya ya Nyongo Mkalia Ini E. S. MOHOCHI University of Egerton, Kenya UTANGULIZI Tukichunguza hazina ya uhakiki uliofanywa katika taaluma

More information

Kijitabu cha Maelezo cha Programu ya Famasia

Kijitabu cha Maelezo cha Programu ya Famasia IDARA YA KUFIKIA HUDUMA ZA AFYA VERMONT Kijitabu cha Maelezo cha Programu ya Famasia GreenMountainCare MIASHA YENYE AFYA BORA ZAIDI Jedwali la Yaliyomo Jedwali la Yaliyomo... 2 Karibu kwenye Programu ya

More information

USIMAMIZI MKUU WA UBORA WA MAHURUJI

USIMAMIZI MKUU WA UBORA WA MAHURUJI USIMAMIZI MKUU WA UBORA WA MAHURUJI MWONGOZO KWA WAFANYABIASHARA WADOGO NA WA WASTANI WANAOUZA BIDHAA NJE YA NCHI TOLEO LA PILI Geneva 2011 ii IKISIRI YA HUDUMA YA HABARI ZA BIASHARA ID=42653 2011 F-09.03

More information

Mabingwa kwa ajili ya tunda la Roho Mtakatifu. Iliyoendelea sana. Iliyoendelea sana. Kitabu cha mwanafunzi

Mabingwa kwa ajili ya tunda la Roho Mtakatifu. Iliyoendelea sana. Iliyoendelea sana. Kitabu cha mwanafunzi kitengo cha 2 Iliyoendelea sana Iliyoendelea sana Mabingwa kwa ajili ya tunda la Roho Mtakatifu Iliyoendelea sana Kitabu cha mwanafunzi Kuwa bingwa.wewe na Mimi lazima tujifunze kuishi kwa tunda la Roho

More information