MTIHANI WA MWIGO WILAYA YA BUTERE MUMIAS-2007 Hati ya kuhitimu Elimu ya Sekondari Kenya

Size: px
Start display at page:

Download "MTIHANI WA MWIGO WILAYA YA BUTERE MUMIAS-2007 Hati ya kuhitimu Elimu ya Sekondari Kenya"

Transcription

1 Jina Nambari.. Shule /3 KISWAHILI FASIHI KARATASI YA 3 JULAI / AGOSTI MUDA: SAA 2 ½ MTIHANI WA MWIGO WILAYA YA BUTERE MUMIAS-2007 Hati ya kuhitimu Elimu ya Sekondari Kenya 102/3 KISWAHILI FASIHI KARATASI YA 3 JULAI / AGOSTI MUDA: SAA 2 ½ MAAGIZO Jibu maswali manne Swali la kwanza ni la lazima Usijibu maswali mawili kutoka sehemu moja. Karatasi hii ina kurasa 4 zilizopigwa chapa 1

2 Watahiniwa lazima wahakikishe kurasa zote zimepigwa chapa sawa sawa na kuwa maswali yote yamo. USHAIRI Soma shairi lifuatalo kisha ujibu maswali. 1. Lau dunia nanena, tuseme si ati ati, Mauti kawa hakuna, katika wote wakati, Vipi tungelisongana, tunaoishi tiati? 2. Dunia ingetatana, na kizazi katikati, Huku kwazaliwa bwana, kule kwazawa binti, Vipi tungeliona, na kuzaa hatuwati? 3. Lau mauti hakuna, tungesongana sharuti, Kwa viumbe kukazana, wanadamu na manyati, Vipi tungelijazana, kwa kusitawi umati? 4. Walakini subuhana, kapanga sisi na miti, Ili tusizidi sana, si wengi na si katiti, Maisha ya kupishana, yule ende yule keti, 5. Ndipo dunia kufana, ikawa kama yakuti, Kwa uwezewe Rabana, kaipanga madhubuti, Maisha kugawiana, kayagawa kwa mauti, 6. Njia ingekuwa hapana, pembeni na katikati, Sote tungeambatana, pa kulima hatupati, Na njaa ingetutafuna, pa kulima hatupati, 7. Peleleza utaona, hayataki utafiti, Kama tungelikongana, ingelikuwa ni bahati, 2

3 Vipi tungelisukumana, katika hiyo hayati? 8. Mbele sitakwenda tena, hapa mwisho nasukuti, Yaeleni waungwana, shauri yake jabaruti, Yote tuloelezana, katenda bila senti, MASWALI a) Shairi hili ni la bahari gani? (alama 2) b) kwa kutoa mifano mwafaka onyesha jinsi mtunzi wa shairi hili alivyotumia uhuru wa utunzi (alama 2) c) Eleza muundo wa shairi hili (alama 4) c) Andika ubeti wa tano katika lugha nathari. (alama 4) d) Tambulisha mbinu zozote mbili za lugha zilizotumiwa na mshairi (alama 4) e) Eleza maana ya maneno haya kama yalivyotumika katika shairi i)katiti ii) yakuti iii) Hatuwati iv) Nasukuti (alama 4) SEHEMU B KIFO KISIMANI: KITHAKA WA MBERIA 2. Eleza jinsi utawala wa mtemi Bokono unavyodhihirisha udikteta. (alama 20) AU kimoja hakipo tena kimenyakuliwa na kozi. Mheshimuni kozi. a) Eleza muktadha wa dondoo hili (alama 4) b) Taja na ueleze mbinu mbili za lugha zinazojitokeza katika dondoo hili. 3

4 (alama 4) c) Kipi kinachonyakuliwa na kina umuhimu upi? (alama 6) d) Fafanua sifa za mnenaji (alama 6) SEHEMU YA C MWISHO WA KOSA 4. Jadili jinsi mwandishi alivyoisawiri jinsia ya kike (alama 20) Au Ninajua hayo. Juu ya hivyo sidhani kuwa tunaweza kufanya lolote. Hatuwezi kuyaingilia, hayo ni maisha yao. Ni yeye tu Muna, atakayeweza kutenda lolote. a) Eleza muktadha wa dondoo hili. (alama 4) b) Mzungumziwa alikuwa na nia gani. (alama 4) c) Kwa vipi msemaji anaweza kulaumiwa kwa kuchangia katika jambo analolishughulikia. (alama 4) d) Eleza visababisho vinne vya ugomvi kati ya Muna na Hasani. (alama 8) SEHEMU YA D HADITHI FUPI: MAYAI WAZIRI WA MARADHI 6. Eleza maswala yafuatayo jinsi yanavyojitokeza katika hadithi ya mayai waziri wa maradhi. AU a) Ukombozi b) Uongozi mbaya c) Elimu d) Ushirikina (alama 20) 7. Majuto ni mjukuu, Onyesha ukweli wa methali hii kwa kurejelea hadithi zifuatazo. a) Uteuzi wa moyoni. b) Ndimi za mauti. c) Pwaguzi d) Fumbo la mwana. (alama 20) SEHEMU YA E FASIHI SIMULIZI 8. a) Taja na ueleze aina zozote tano za Hadithi. (alama 5) b) Tofautisha kati ya (i) Mbolezi na Bembezi (ii) Vitendawili na chemsha bongo. (alama 4) 4

5 c) Eleza umuhimu wa vitanza ndimi (alama 3) d) Taja na ueleze sifa nne ambazo mtambaji anapaswa kuwa nazo. (alama 4) e) (i) Fafanua maana ya methali. (alama 2) (ii) Taja methali zinazohusu: a) Kilimo b) Kuliwaza. (alama 2) MWISHO 5

Hati ya Kuhitimu Elimu ya Sekondari Kenya.( K.C.S.E)

Hati ya Kuhitimu Elimu ya Sekondari Kenya.( K.C.S.E) 102/3 KISWAHILI FASIHI KARATASI YA 3 JULAI/AGOSTI 2011 MUDA: 2 ½ Kiswahili Fasihi Hati ya Kuhitimu Elimu ya Sekondari Kenya.( K.C.S.E) MAAGIZO Jibu maswali manne pekee Swali la kwanza ni lazima Maswali

More information

Hati ya kuhitimu kisomo Kenya (K.C.S.E)

Hati ya kuhitimu kisomo Kenya (K.C.S.E) 102/3 KISWAHILI KARATASI YA 3 Fasihi Julai/Agosti 2013 MUDA : SAA 2 ½ Hati ya kuhitimu kisomo Kenya (K.C.S.E) Kiswahili Karatasi 3 Julai/ Agosti Muda: Saa 2 ½ MAAGIZO: Andika jina lako na nambari yako

More information

TATHMINI YA PAMOJA SHULE ZA UPILI ZA JIMBO LA MACHAKOS.

TATHMINI YA PAMOJA SHULE ZA UPILI ZA JIMBO LA MACHAKOS. www.eeducationgroup.com JINA NAMBA YAKO...... SAHIHI YA MTAHINIWA... TAREHE:...... 102/1 KISWAHILI KARATASI YA 1 INSHA MUDA :SAA 1 ¾ TATHMINI YA PAMOJA SHULE ZA UPILI ZA JIMBO LA MACHAKOS. Hati ya kuhitimu

More information

NAME INDEX SCHOOLDATE USHAIRI

NAME INDEX SCHOOLDATE USHAIRI NAME INDEX SCHOOLDATE 1. 2007 (Lazima) USHAIRI Soma shairi hili kasha maswali yanayofuata 1. Tohara,usimwazie,mwanamke, Tohara, usikaribie,mwili wake, Tohara, usiifikie,ngozi yake, Tohara ya mwanamke,katwaani

More information

1. UFAHAMU: (Alama 15)

1. UFAHAMU: (Alama 15) 1. UFAHAMU: (Alama 15) Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali. Afisa wa ukaguzi wa abiria na mizigo alimrudishia cheti chake cha usafiri na kubofya tarakilishi yake kuashiria kuanza kumhudumia mteja

More information

MTIHANI WA MWIGO WA WILAYA YA NANDI KASKAZINI 2013

MTIHANI WA MWIGO WA WILAYA YA NANDI KASKAZINI 2013 JINA:. SAHIHI: NAMBARI:. TAREHE:.. 102/2 KISWAHILI LUGHA KARATASI YA PILI JULAI / AGOSTI 2013 MUDA: SAA 2 ½ MTIHANI WA MWIGO WA WILAYA YA NANDI KASKAZINI 2013 Cheti cha Kuhitimu Kisomo cha Sekondari KISWAHILI

More information

Early Grade Reading Assessment for Kenya

Early Grade Reading Assessment for Kenya EDDATA II Early Grade Reading Assessment for Kenya Baseline Instruments: Kiswahili and English EdData II Technical and Managerial Assistance, Task Number 4 Contract Number EHC-E-01-04-00004-00 Strategic

More information

N09/2/ABSWA/HP1/SWA/TZ0/XX/Q

N09/2/ABSWA/HP1/SWA/TZ0/XX/Q N09/2/ABSWA/HP1/SWA/TZ0/XX/Q 88092387 SWAHILI B HIGHER LEVEL PAPER 1 SOUAHÉLI B NIVEAU SUPÉRIEUR ÉPREUVE 1 SUAHILI B NIVEL SUPERIOR PRUEBA 1 Tuesday 3 November 2009 (morning) Mardi 3 novembre 2009 (matin)

More information

KENYA NATIONAL EXAMINATION COUNCIL REVISION MOCK EXAMS 2016 TOP NATIONAL SCHOOLS

KENYA NATIONAL EXAMINATION COUNCIL REVISION MOCK EXAMS 2016 TOP NATIONAL SCHOOLS KENYA NATIONAL EXAMINATION COUNCIL REVISION MOCK EXAMS 2016 TOP NATIONAL SCHOOLS ALLIANCE BOYS HIGH SCHOOL KISWAHILI KARATASI YA 2 SCHOOLS NET KENYA Osiligi House, Opposite KCB, Ground Floor Off Magadi

More information

ST. GEORGE S GIRLS SECONDARY SCHOOL-NAIROBI

ST. GEORGE S GIRLS SECONDARY SCHOOL-NAIROBI ST. GEORGE S GIRLS SECONDARY SCHOOL-NAIROBI FORM 4 AUGUST HOLIDAY HOMEWORK 2018 English 1. Read the passage below and then answer the questions that follow. You may think that expecting food to change

More information

Information for assessors (do not distribute this page to participants):

Information for assessors (do not distribute this page to participants): R&P Cultural Orientation Model Assessment Written Version Swahili Information for assessors (do not distribute this page to participants): This written version of the Model Cultural Orientation (CO) Assessment

More information

Hati ya kuhitimu kisomo Kenya (K.C.S.E)

Hati ya kuhitimu kisomo Kenya (K.C.S.E) Jina... Namba yako... Sahihi... Tarehe... 102/2 KISWAHILI Karatasi ya 2 Lugha Julai/Agosti 2013 MUDA : SAA 2 ½ Hati ya kuhitimu kisomo Kenya (K.C.S.E) Kiswahili Karatasi 2 Julai/ Agosti Muda: Saa 2 ½ MAAGIZO:

More information

JAZANDA YA NJOZI KATIKA BAADHI YA MASHAIRI YA EUPHRASE KEZILAHABI (ONEIRIC IMAGES IN EUPHRASE KEZILAHABI S SELECTED POEMS) 1

JAZANDA YA NJOZI KATIKA BAADHI YA MASHAIRI YA EUPHRASE KEZILAHABI (ONEIRIC IMAGES IN EUPHRASE KEZILAHABI S SELECTED POEMS) 1 SWAHILI FORUM 11 (2004): 69-73 JAZANDA YA NJOZI KATIKA BAADHI YA MASHAIRI YA EUPHRASE KEZILAHABI (ONEIRIC IMAGES IN EUPHRASE KEZILAHABI S SELECTED POEMS) 1 GRAZIELLA ACQUAVIVA This article is based upon

More information

Usimulizi wa Riwaya ya Nyongo Mkalia Ini E. S. MOHOCHI University of Egerton, Kenya

Usimulizi wa Riwaya ya Nyongo Mkalia Ini E. S. MOHOCHI University of Egerton, Kenya Nordic Journal of African Studies 9(2): 49-59 (2000) Usimulizi wa Riwaya ya Nyongo Mkalia Ini E. S. MOHOCHI University of Egerton, Kenya UTANGULIZI Tukichunguza hazina ya uhakiki uliofanywa katika taaluma

More information

GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23)

GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23) GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER (Made under Section 23) THE ELECTRICITY (STANDARDIZED SMALL POWER PROJECTS TARIFF) ORDER, 2016 citation 1. This Order may be cited

More information

"ATATOKEA MARA YA PILI, pasipo dhambi, kwa hao wamtazamiao kwa wokovu." Waebrania 9:28.

ATATOKEA MARA YA PILI, pasipo dhambi, kwa hao wamtazamiao kwa wokovu. Waebrania 9:28. KUJA KWA KRIST0 MARA YA PILI "ATATOKEA MARA YA PILI, pasipo dhambi, kwa hao wamtazamiao kwa wokovu." Waebrania 9:28. Mara nyingi sana kuja kwa Kristo mara ya pili huangaliwa tu kama fundisho la dini. Ni

More information

SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO

SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO KISWAHILI SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO YALIYOMO UTANGULIZI v MPANGILIO WA MASOMO YA KISWAHILI: KIDATO CHA TANO 1 FUNZO: Fasihi (Ukurasa

More information

MARUDIO K.C.S.E KNEC KISWAHILI KARATASI 102/2 MASWALI NA USAHIHISHO

MARUDIO K.C.S.E KNEC KISWAHILI KARATASI 102/2 MASWALI NA USAHIHISHO 102 1B KISWAHILI KARATASI 1B OCT/ NOV 1995 2 ½ HOURS Jibu maswali yote MARUDIO K.C.S.E KNEC 1995 2010 KISWAHILI KARATASI 102/2 MASWALI NA USAHIHISHO 1. UFAHAMU Soma Makala yatuatayo kisha ujibu maswali

More information

usudi la Maisha Hakika katika kuumbwa mbingu na ardhi, na kupishana usiku na mchana, kuna kweli ishara kwa wenye akili, ambaye mkumbuke-

usudi la Maisha Hakika katika kuumbwa mbingu na ardhi, na kupishana usiku na mchana, kuna kweli ishara kwa wenye akili, ambaye mkumbuke- Kusudi la Maisha hawatakuambia nini walihitimisha kupitia uchunguzi au hoja ya uchambuzi. Katika hali nyingi, hakika wao kukuambia nini mtu mwingine alisema... Au wao watakuambia nini kawaida kudhaniwa

More information

Kifaa Maalum cha Kutazamia Jua: Maelekezo ya kutumia

Kifaa Maalum cha Kutazamia Jua: Maelekezo ya kutumia : Maelekezo ya kutumia Kupatwa kamili kwa jua Jumatatu, 21 Agosti 2017 Agreement v1.4 Mar 2014 2014-2017 Eclipse2017.org, Eclipse2017.org, inc. inc. TERMS AND CONDITIONS FOR USE OF SOLAR VIEWER Please

More information

Agano Lililofunikwa Kwa Damu

Agano Lililofunikwa Kwa Damu Agano Lililofunikwa Kwa Damu na Ellis Forsman Agano Lililofunikwa Kwa Damu (The Blood-Sealed Covenant) 1 Agano Lililofunikwa Kwa Damu na Ellis Forsman Oktoba 14, 2012 Agano Lililofunikwa Kwa Damu (The

More information

UFASIHI SIMULIZI KATIKA RIWAYA ZA SHAABAN ROBERT: Mifano kutoka Adili na Nduguze na Wasifu wa Siti Binti Saad. Khatib Khamis Saleh

UFASIHI SIMULIZI KATIKA RIWAYA ZA SHAABAN ROBERT: Mifano kutoka Adili na Nduguze na Wasifu wa Siti Binti Saad. Khatib Khamis Saleh UFASIHI SIMULIZI KATIKA RIWAYA ZA SHAABAN ROBERT: Mifano kutoka Adili na Nduguze na Wasifu wa Siti Binti Saad Khatib Khamis Saleh Tasinifu ya Uzamili Katika Kiswahili Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Septemba,

More information

Tora UTANGULIZI KWA TORA SOMO LA KWANZA

Tora UTANGULIZI KWA TORA SOMO LA KWANZA SOMO LA KWANZA UTANGULIZI KWA TORA For videos, study guides and other resources, visit Third Millennium Ministries at thirdmill.org. 2014 nathird Millennium Ministries Haki zote zimehifadhiwa. Hakuna sehemu

More information

MTIHANI WA PAMOJA WA WEZOJE

MTIHANI WA PAMOJA WA WEZOJE Jina... Nambari yako.. Shule.. Tarehe... Sahihi ya Mtahiniwa.... 102/2 KISWAHILI Karatasi ya 2 Kidato cha 4 LUGHA ( Ufahamu, Muhtasari, Matumizi ya lugha na Isimu jamii) Aprili 2013 Muda: Saa 2 1 / 2 MTIHANI

More information

HALMASHAURI YA WILAYA YA SUMBAWANGA

HALMASHAURI YA WILAYA YA SUMBAWANGA HALMASHAURI YA WILAYA YA SUMBAWANGA E- mail: uchilesekondari@yahoo.com P.O. BOX 582 Mob: +255 (0) 752 476 389 SUMBAWANGA KUMB. NA. USS/JOINING/F.V/03 10 Juni 2017...... YAH: MAAGIZO YA KUJIUNGA NA KIDATO

More information

KISWAHILI KARATASI YA 2 LUGHA

KISWAHILI KARATASI YA 2 LUGHA KISWAHILI KARATASI YA 2 LUGHA Maagizo (a) Andika jina lako na namba yako katika nafasi ulizoachiwa hapo juu. (b) Tia sahihi yako na tarehe ya mtihani katika nafasi ulizoachiwa hapo juu. (c) Jibu maswali

More information

Watumishi Wa Kristo. Ellis P. Forsman. Watumishi Wa Kristo (Servants Of Christ) 1

Watumishi Wa Kristo. Ellis P. Forsman. Watumishi Wa Kristo (Servants Of Christ) 1 Watumishi Wa Kristo na Ellis P. Forsman Watumishi Wa Kristo (Servants Of Christ) 1 Watumishi Wa Kristo na Ellis P. Forsman Oktoba 14, 2011 Watumishi Wa Kristo (Servants Of Christ) 2 Sisi ni watumishi Watumishi

More information

TRANS-NZOIA COUNTY KCSE REVISION MOCK EXAMS 2015

TRANS-NZOIA COUNTY KCSE REVISION MOCK EXAMS 2015 TRANS-NZOIA COUNTY KCSE REVISION MOCK EXAMS 2015 KISWAHILI KARATASI YA PILI SAA 2 ½ SCHOOLS NET KENYA Osiligi House, Opposite KCB, Ground Floor Off Magadi Road, Ongata Rongai Tel: 0711 88 22 27 E-mail:infosnkenya@gmail.com

More information

UFAHAMU NAME INDEX SCHOOLDATE UFAHAMU

UFAHAMU NAME INDEX SCHOOLDATE UFAHAMU NAME INDEX SCHOOLDATE 1. 1995 1. UFAHAMU UFAHAMU Soma makala yafuatayo kisha ujibu maswali Ama kweli maisha ya vijana wa kisasa yanatofautiana na kuhitilafiana pakubwa na yale ya wazee wao. Sio katika

More information

JHSPH MAADILI YA KUFANYA UTAFITI WA MASUALA YA BINAADAMU MUONGOZO WA MAFUNZO YA UTAFITI

JHSPH MAADILI YA KUFANYA UTAFITI WA MASUALA YA BINAADAMU MUONGOZO WA MAFUNZO YA UTAFITI JHSPH MAADILI YA KUFANYA UTAFITI WA MASUALA YA BINAADAMU MUONGOZO WA MAFUNZO YA UTAFITI Mwongozo huu utatumika kama njia ya kuwafunza watafiti watakaohusika na utafiti unaohusu binadamu. Muongozo huu utatumika

More information

(Hati ya kuhitimu kisomo cha sekondari Kenya (K.C.S.E)

(Hati ya kuhitimu kisomo cha sekondari Kenya (K.C.S.E) JINA. NAMBARI YAKO SHULE...TAREHE.. SAHIHI.. 102/2 KISWAHILI KARATASI YA 2 UFAHAMU, UFUPISHO, MATUMIZI YA LUGHA NA ISIMU JAMII MUDA: SAA 2 ½ (Hati ya kuhitimu kisomo cha sekondari Kenya (K.C.S.E) MAAGIZO

More information

Haja Ya Dini. Author(s): Publisher(s): Translator(s): Category: Topic Tags: Featured Category: Published on Al-Islam.org (

Haja Ya Dini. Author(s): Publisher(s): Translator(s): Category: Topic Tags: Featured Category: Published on Al-Islam.org ( Published on Al-Islam.org (https://www.al-islam.org) Home > Haja Ya Dini Haja Ya Dini Author(s): Allamah Sayyid Saeed Akhtar Rizvi [3] Publisher(s): Bilal Muslim Mission of Tanzania [4] Katika kijitabu

More information

JE, YAWEZEKANA KUISHI BILA KUTENDA DHAMBI?

JE, YAWEZEKANA KUISHI BILA KUTENDA DHAMBI? JE, YAWEZEKANA KUISHI BILA KUTENDA DHAMBI? JOE CREWS 1 JE, YAWEZEKANA KUISHI BILA KUTENDA DHAMBI? Na Joe Crews (Hotuba Na. 16 ya Mambo ya Kweli Yanayoshangaza) Mfasiri: M. Mwamalumbili Is It Possible To

More information

Kiswahili, utandawazi na umoja wa Afrika

Kiswahili, utandawazi na umoja wa Afrika Kiswahili, utandawazi na umoja wa Afrika Stephen N. Kamau Abstract It is a fact that in the recent past, globalization has gradually taken shape in Africa and as such the continent has no choice but to

More information

Lesson 11 Weather and Seasons Hewa Majira

Lesson 11 Weather and Seasons Hewa Majira Lesson 11 Weather and Seasons Hewa Majira This lesson will introduce you to: - Vocabulary related to weather, seasons, and climate - How to ask for and give temperatures - How to understand the weather

More information

Human Rights Are Universal And Yet...

Human Rights Are Universal And Yet... Human Rights Are Universal And Yet... Episode 05 Title : The right to education Author : Julien Adayé Editor : Aude Gensbittel Translator : Anne Thomas, Eric Ponda Proofreader: Pendo Paul Characters (sounds,

More information

V\ FANI KATIKA USHAIRI WA HASSAN MWALIMU MBEGA: UHAKIKI WA UPISHO WA UMALENGA NA DAFINA YA UMALENGA DONALD OMWOYO OSIEMO

V\ FANI KATIKA USHAIRI WA HASSAN MWALIMU MBEGA: UHAKIKI WA UPISHO WA UMALENGA NA DAFINA YA UMALENGA DONALD OMWOYO OSIEMO gftgff AROGAHA COLLECTION MADA: V\ FANI KATIKA USHAIRI WA HASSAN MWALIMU MBEGA: UHAKIKI WA UPISHO WA UMALENGA NA DAFINA YA UMALENGA NA: DONALD OMWOYO OSIEMO TASNIFU HII IMETOLEWA ILI KUTOSHELEZA BAADHI

More information

UNIVERSITY OF CAMBRIDGE INTERNATIONAL EXAMINATIONS General Certificate of Education Ordinary Level. SWAHILI 3162/01 Paper 1 May/June 2013

UNIVERSITY OF CAMBRIDGE INTERNATIONAL EXAMINATIONS General Certificate of Education Ordinary Level. SWAHILI 3162/01 Paper 1 May/June 2013 www.xtremepapers.com UNIVERSITY OF CAMBRIDGE INTERNATIONAL EXAMINATIONS General Certificate of Education Ordinary Level *9257224991* SWAHILI 3162/01 Paper 1 May/June 2013 Additional Materials: Answer Booklet/Paper

More information

UTARATIBU WA KANISA. 2 Jambo la kwanza ninalotaka kusema ni kwamba mchungaji. 3 Sisi tunaamini katika Kanisa la kimitume, tukifundisha

UTARATIBU WA KANISA. 2 Jambo la kwanza ninalotaka kusema ni kwamba mchungaji. 3 Sisi tunaamini katika Kanisa la kimitume, tukifundisha UTARATIBU WA KANISA Tumemaliza hivi punde ule mkutano mkubwa wa siku, tano usiku kwenye Maskani, ambapo, kwa neema ya Mungu na kwa msaada Wake, nimejaribu sana, kwa Maandiko, kuliweka Kanisa la Bwana Yesu

More information

Ufunguo wa Kutaalamika Haraka

Ufunguo wa Kutaalamika Haraka 0 Ufunguo wa Kutaalamika Haraka Ufunguo wa Kutaalamika Haraka Kijitabu Kielelezo; Nakala ya Bila Malipo Yaliyomo 1 Yaliyomo Utangulizi...04 Habari Fupi Kuhusu...08 Fumbo la Ulimwengu wa Ng ambo ya Pili...11

More information

Kifo Na Mbingu. (Death And Heaven) Ellis P. Forsman. Kifo Na Mbingu (Death And Heaven) 1

Kifo Na Mbingu. (Death And Heaven) Ellis P. Forsman. Kifo Na Mbingu (Death And Heaven) 1 Kifo Na Mbingu (Death And Heaven) Na Ellis P. Forsman Kifo Na Mbingu (Death And Heaven) 1 Kifo Na Mbingu (Death And Heaven) Na Ellis P. Forsman Oktoba 11, 2011 Kifo Na Mbingu (Death And Heaven) 2 Kifo

More information

Theolojia Ujumla. Mike Taylor Semester Munguishi Bible College

Theolojia Ujumla. Mike Taylor Semester Munguishi Bible College Theolojia 1 Ujumla Mike Taylor Semester 1 2014-2015 Munguishi Bible College MIKE TAYLOR 2014 THEOLOJIA 1 i THEOLOJIA Utangulizi! 1 1. Kumfahamu Mungu katika Injili! 3 1.1. Mawazo Makuu 3 1.2. Maana ya

More information

MUNGU ANADHIHIRISHWA KUPITIA KWA YESU KRISTO.

MUNGU ANADHIHIRISHWA KUPITIA KWA YESU KRISTO. MUNGU ANADHIHIRISHWA KUPITIA KWA YESU KRISTO. MUHTASARI WA UTANGULIZI WA THIOLOGIA YA USHIRIKA WA NAFSI TATU ZA UUNGU. GRACE COMMUNION INTERNATIONAL LIVING AND SHARING THE GOSPEL MUNGU ANADHIHIRISHWA NA

More information

IMANI NA MATENDO ELLEN G. WHITE

IMANI NA MATENDO ELLEN G. WHITE IMANI NA MATENDO ELLEN G. WHITE IMANI NA MATENDO IMANI NA MATENDO Hotuba na Makala za Ellen G. White Masomo kutoka katika Hotuba zake Kumi na Tisa zilizotolewa Nzima au kwa Sehemu kuanzia mwaka 1881

More information

MTIHANI WA MWIGO WILAYA YA SUBUKIA

MTIHANI WA MWIGO WILAYA YA SUBUKIA JINA..NAMBARI YAKO. TAREHE SHULE SAHIHI YA MTAHINIWA 102/2 KISWAHILI KARATASI YA PILI LUGHA SAA 2½ JULAI/AGOSTI MTIHANI WA MWIGO WILAYA YA SUBUKIA 102/2 KISWAHILI LUGHA KARATASI YA 2 MAAGIZO Jibu maswali

More information

SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI KITABU CHA MWANAFUNZI KIDATO CHA TANO

SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI KITABU CHA MWANAFUNZI KIDATO CHA TANO KISWAHILI 5 SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI KITABU CHA MWANAFUNZI KIDATO CHA TANO KITABU CHA MWANAFUNZI KIDATO CHA TANO YALIYOMO YALIYOMO UTANGULIZI iii iv SURA YA KWANZA : FASIHI. 1 SURA YA PILI : TAMATHALI

More information

KUCHUNGUZA MCHOMOZO KATIKA FASIHI YA KISWAHILI: UTAFITI LINGANISHI WA USHAIRI KATIKA DIWANI YA USTADHI ANDANENGA

KUCHUNGUZA MCHOMOZO KATIKA FASIHI YA KISWAHILI: UTAFITI LINGANISHI WA USHAIRI KATIKA DIWANI YA USTADHI ANDANENGA KUCHUNGUZA MCHOMOZO KATIKA FASIHI YA KISWAHILI: UTAFITI LINGANISHI WA USHAIRI KATIKA DIWANI YA USTADHI ANDANENGA AUGUSTINO TENDWA TASNIFU ILIYOWASILISHWA KWA AJILI YA KUTIMIZA SHARTI PEKEE LA KUTUNUKIWA

More information

UNIVERSITY OF CAMBRIDGE INTERNATIONAL EXAMINATIONS General Certificate of Education Ordinary Level

UNIVERSITY OF CAMBRIDGE INTERNATIONAL EXAMINATIONS General Certificate of Education Ordinary Level UNIVERSITY OF CAMBRIDGE INTERNATIONAL EXAMINATIONS General Certificate of Education Ordinary Level * 899145 4 672* SWAHILI 3162/01 Paper 1 May/June 2010 Additional Materials: Answer Booklet/Paper READ

More information

MAKALA: USHAIRI WA KISWAHILI KATIKA NJIA PANDA: KUTUMIA AU KUTOTUMIA METHALI

MAKALA: USHAIRI WA KISWAHILI KATIKA NJIA PANDA: KUTUMIA AU KUTOTUMIA METHALI MAKALA: USHAIRI WA KISWAHILI KATIKA NJIA PANDA: KUTUMIA AU KUTOTUMIA METHALI Na Joseph Nyehita Maitaria Mwanafunzi wa Ph.D Idara ya Kiswahili na Lugha za Kiafrika Chuo Kikuu cha Kenyatta Ikisiri Makala

More information

Kifo Na Mbingu (Death And Heaven)

Kifo Na Mbingu (Death And Heaven) Kifo Na Mbingu (Death And Heaven) Na Ellis P. Forsman The Rapture And Millennialism 1 Kifo Na Mbingu Na Ellis P. Forsman Octoba 11, 2011 The Rapture And Millennialism 2 Kifo Na Mbingu Heb. 9:27 Ili kufika

More information

Mwongozo wa Familia wa Kujifunza

Mwongozo wa Familia wa Kujifunza Shule za umma za kata ya Fayette 1 Mwongozo wa Familia wa Kujifunza Muhtasari wa yale watoto wanastahili kufahamu na kuweza kufanya na njia za familia kuongeza masomo nyumbani. Tunaamini familia ni wenzetu.

More information

Ushindi ndani ya Kristo W. W. PRESCOTT

Ushindi ndani ya Kristo W. W. PRESCOTT Ushindi ndani ya Kristo W. W. PRESCOTT 1 Ushindi Ndani ya Kristo Na W. W. Prescott Mfasiri: M. Mwamalumbili Victory in Christ - Kiswahili 2 Yaliyomo Alinipenda Mimi Aliishi kwa ajili Yangu Mimi Alikufa

More information

walozaliwa, si kwa damu, wala mapenzi ya mwili, wala si kwa mapenzi ya mtu, mbali kwa Mungu. Sisi sio tena binadamu wa kawaida tu kwa sababu sisi ni w

walozaliwa, si kwa damu, wala mapenzi ya mwili, wala si kwa mapenzi ya mtu, mbali kwa Mungu. Sisi sio tena binadamu wa kawaida tu kwa sababu sisi ni w MAMLAKA Tunamshukuru Bwana kwa vile alivyo na yale aliyoyatenda. Tukiweza tu kumfikiria hata tukiwa na mahitaji mbalimbali, yeye atatutimizia. Tusiwatazame watu, tusijitazame sisi wenyewe, tumtazame Mungu

More information

Ellen White, waasisi wa Kiadventista,na Sabato Lunar

Ellen White, waasisi wa Kiadventista,na Sabato Lunar Ellen White, waasisi wa Kiadventista,na Sabato Lunar Ukristo leo unadhihirisha waumini karibu bilioni mbili katika maelfu ya madhehebu tofauti na tofauti na madhehebu. Kati ya hizi, zaidi ya 500 madhehebu

More information

Evaluation of Contextual Teaching of Kiswahili Proverbs in Secondary Schools in Kenya

Evaluation of Contextual Teaching of Kiswahili Proverbs in Secondary Schools in Kenya Evaluation of Contextual Teaching of Kiswahili Proverbs in Secondary Schools in Kenya Oduori T. Wamubi Prof. Simala, K. Inyani Profesa Mshiriki Masinde Muliro University of Science and Technology Prof.

More information

RISALA FUPI YA KUMUWEZESHA MTU KUPAMBANUA NI IPI DINI YA HAKI MWANDISHI: SALEH M. KYAMBO

RISALA FUPI YA KUMUWEZESHA MTU KUPAMBANUA NI IPI DINI YA HAKI MWANDISHI: SALEH M. KYAMBO RISALA FUPI YA KUMUWEZESHA MTU KUPAMBANUA NI IPI DINI YA HAKI MWANDISHI: SALEH M. KYAMBO 1 RISALA FUPI copyright Hidaya Creativity, publishing Department. P.O. BOX 44799, 00100, GPO, NAIROBI-KENYA. Haki

More information

UJASIRI WA YOHANA MBATIZAJI

UJASIRI WA YOHANA MBATIZAJI Toleo 14 BIBLICAL INSTRUCTION AND ENCOURAGEMENT FOR THE MAFUNDISHO YA BIBLIA NA HIMIZO KWA MISSION FIELD WORLDWIDE. KAZI YA KIMISHENI ULIMWENGUNI KOTE UJASIRI WA YOHANA MBATIZAJI Hazina ya maelezo kutoka

More information

Uponyaji Wa Laana. (Kumb. 28:1-14).

Uponyaji Wa Laana. (Kumb. 28:1-14). 41 Uponyaji Wa Laana Ijapokuwa baraka ni kinyume cha laana, kuna mambo yanayofanana katika vitu hivyo. Ni maneno yaliyotajwa, yaliyoamriwa, au kuandikwa katika Biblia kwa nguvu na mamlakao ya kiroh kwa

More information

Adhabu ya jino kwa jino na Musitakabali wa imani zetu

Adhabu ya jino kwa jino na Musitakabali wa imani zetu Adhabu ya jino kwa jino na Musitakabali wa imani zetu Nabii Musa alipotoka mlima Sinai kupewa amri kumi za Mungu zilizoko kwenye kitabu cha Kutoka 20:1 17, Mungu alimpa na sharia zingine ambazo lengo lake

More information

PDF created with pdffactory trial version

PDF created with pdffactory trial version المملكة العربية السعودية وزارة التعليم العالي الجامعة الا سلامية بالمدينة المنورة عمادة البحث العلمي قسم الترجمة تعريف موجز بالا سلام بل( لغة السواحلية) ١ بسم االله الرحمن الرحیم MAELEZO KWA UFUPI KUHUSU

More information

Ndugu na dada zangu wapendwa,

Ndugu na dada zangu wapendwa, UJUMBE WA URAIS WA KWANZA, MEI 2014 Na Rais Thomas S. Monson Upendo Asili ya Injili Hakika hatuwezi kumpenda Mungu kama hatuwapendi wasafiri wenzetu katika safari hii ya maisha duniani. ninafurahia mawazo

More information

KUCHUNGUZA UFASIHI SIMULIZI UNAOJITOKEZA NDANI YA HADITHI ZA KUSADIKIKA NA ADILI NA NDUGUZE

KUCHUNGUZA UFASIHI SIMULIZI UNAOJITOKEZA NDANI YA HADITHI ZA KUSADIKIKA NA ADILI NA NDUGUZE KUCHUNGUZA UFASIHI SIMULIZI UNAOJITOKEZA NDANI YA HADITHI ZA KUSADIKIKA NA ADILI NA NDUGUZE MUHAMMED ALI SALIM TASINIFU ILIYOWASILISHWA KWA AJILI YA KUTIMIZA SEHEMU YA MASHARTI YA KUTUNIKIWA SHAHADA YA

More information

Mazoezi yaliyofanyika wakati wa warsha kuhusu Elimu-Jumuishi kwa Vitendo. Zanzibar, 7-10 Februari 2006

Mazoezi yaliyofanyika wakati wa warsha kuhusu Elimu-Jumuishi kwa Vitendo. Zanzibar, 7-10 Februari 2006 Mazoezi yaliyofanyika wakati wa warsha kuhusu Elimu-Jumuishi kwa Vitendo Zanzibar, 7-10 Februari 2006 Imechapishwa na: The Atlas Alliance Schweigaardsgt 12 SLP 9218 Grønland 0134 Oslo, Norway Simu: +47

More information

BIBLICAL INSTRUCTION AND ENCOURAGEMENT FOR THE MAFUNDISHO YA BIBLIA NA HIMIZO KWA MISSION FIELD WORLDWIDE. KAZI YA KIMISHENI ULIMWENGUNI KOTE

BIBLICAL INSTRUCTION AND ENCOURAGEMENT FOR THE MAFUNDISHO YA BIBLIA NA HIMIZO KWA MISSION FIELD WORLDWIDE. KAZI YA KIMISHENI ULIMWENGUNI KOTE Toleo 10 BIBLICAL INSTRUCTION AND ENCOURAGEMENT FOR THE MAFUNDISHO YA BIBLIA NA HIMIZO KWA MISSION FIELD WORLDWIDE. KAZI YA KIMISHENI ULIMWENGUNI KOTE UBATIZO WA MUUMINI Tubuni mkabatizwe kila mmoja kwa

More information

KUMBUKIZI YA MAREHEMU MWALIMU EDWIN SEMZABA

KUMBUKIZI YA MAREHEMU MWALIMU EDWIN SEMZABA SWAHILI FORUM 23 (2016): 144-153 KUMBUKIZI YA MAREHEMU MWALIMU EDWIN SEMZABA ELIZABETH MAHENGE & EMMANUEL MBOGO Wasifu wa Marehemu hadi kufika chuoni Mwalimu Edwin Charles Semzaba alizaliwa Muheza tarehe

More information

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA SIMU NA: (027) 2642082 TANGA (OFISI) 0784 889 099 TANGA (NYUMBANI) Tovuti: www.tangaschool.sc.tz Barua pepe: tangaschool@yahoo.com JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI HALMASHAURI YA

More information

B. Wanafunzi watapata ufahamu mkubwa wa kitabu hiki, na jinsi kinavyofundisha kuhusu kanisa.

B. Wanafunzi watapata ufahamu mkubwa wa kitabu hiki, na jinsi kinavyofundisha kuhusu kanisa. Waefeso Mtaala I. Habari kwa Ujumla A. Mkufunzi: Don Walker na kutafsiriwa na Chris Mwakabanje B. Kila darasa ni takribani dakika 38. II. Maelezo na Kusudi A. Mafunzo haya ni uchambuzi wa kina katika Waefeso,

More information

Hakimiliki na Jonathan Menn. Haki zote zimehifadhiwa TAFSIRI YA BIBLIA. Mwandishi. Jonathan M. Menn

Hakimiliki na Jonathan Menn. Haki zote zimehifadhiwa TAFSIRI YA BIBLIA. Mwandishi. Jonathan M. Menn TAFSIRI YA BIBLIA Mwandishi Jonathan M. Menn B.A., University of Wisconsin-Madison, 1974 J.D., Cornell Law School, 1977 M.Div., Trinity Evangelical Divinity School, 2007 Equipping Church Leaders-East Africa

More information

If a tree falls - Deforestation in Africa"

If a tree falls - Deforestation in Africa LEARNING BY EAR If a tree falls - Deforestation in Africa" EPISODE EIGHT: "FARM is born" AUTHOR: Romie Singh EDITORS: Thomas Mösch, Jan-Philipp Scholz PROOFREADING: Natalie Glanville-Wallis List of characters

More information

Maisha Yaliyojaa Maombi

Maisha Yaliyojaa Maombi (A Prayer-Filled Life) na Terry Warford (A Prayer-Filled Life) 1 (A Prayer-Filled Life) na Terry Warford Nov 5, 2011 (A Prayer-Filled Life) 2 Sura ya nne nay a tano ya kitabu cha Ufunuo ni vifungu vinavyovutia.

More information

Mwongozo wa Utamaduni Toleo la Kwanza

Mwongozo wa Utamaduni Toleo la Kwanza Mwongozo wa Utamaduni Toleo la Kwanza Kubadilishana Tamaduni za Kijerumani na za Kitanzania Limeandaliwa na Anna Hoppenau, Johannes Hahn, Oliva Lyimo na Lisa Bendiek German-Tanzanian Partnership (DTP)

More information

UHUSIANO WA MIKAKATI YA UFUNDISHAJI WA FASIHI YA WATOTO YA KISWAHILI NA UMILISI WA KUSOMA KATIKA SHULE ZA MSINGI, KASARANI, KAUNTI YA NAIROBI, KENYA

UHUSIANO WA MIKAKATI YA UFUNDISHAJI WA FASIHI YA WATOTO YA KISWAHILI NA UMILISI WA KUSOMA KATIKA SHULE ZA MSINGI, KASARANI, KAUNTI YA NAIROBI, KENYA UHUSIANO WA MIKAKATI YA UFUNDISHAJI WA FASIHI YA WATOTO YA KISWAHILI NA UMILISI WA KUSOMA KATIKA SHULE ZA MSINGI, KASARANI, KAUNTI YA NAIROBI, KENYA NA SELINA RHOBI CHACHA E55/23475/11 TASNIFU HII IMEWASILISHWA

More information

Mwongozo kwa familia zinazofanya kazi pamoja kwa maisha endelevu. Nyenzo ya Mafunzo

Mwongozo kwa familia zinazofanya kazi pamoja kwa maisha endelevu. Nyenzo ya Mafunzo Mwongozo kwa familia zinazofanya kazi pamoja kwa maisha endelevu Nyenzo ya Mafunzo Vi Agroforestry Vi Agroforestry ni shirika la ushirikiano la maendeleo la Sweden, linalopambana dhidi ya umasikini na

More information

Inavyodaiwa na wanaochanganya Biblia. Ellis Forsman. Inavyodaiwa na Wanao changanya Biblia (Alleged Bible Contradictions) 1

Inavyodaiwa na wanaochanganya Biblia. Ellis Forsman. Inavyodaiwa na Wanao changanya Biblia (Alleged Bible Contradictions) 1 Inavyodaiwa na wanaochanganya Biblia na Ellis Forsman Inavyodaiwa na Wanao changanya Biblia (Alleged Bible Contradictions) 1 Inavyodaiwa na wanaochanganya Biblia na Ellis Forsman Oktoba 8, 2011 Inavyodaiwa

More information

MASWALI NA MAJIBU JUU YA KITABU CHA MWANZO

MASWALI NA MAJIBU JUU YA KITABU CHA MWANZO MASWALI NA MAJIBU JUU YA KITABU CHA MWANZO Sasa, kama ye yote ana swali lo lote wanalotaka kulileta,, basi, hebu yasogezeni tu juu hapa, acha mtoto fulani ayalete au vyo vyote mtakavyo. Au, labda, tukimaliza

More information

Usimulizi katika Utenzi wa Swifa ya Nguvumali

Usimulizi katika Utenzi wa Swifa ya Nguvumali 73 Rosemary N. Burundi, Mwenda Mukuthuria na Enock S. Matundura Ikisiri Makala haya yanachunguza usimulizi katika Utenzi wa Swifa ya Nguvumali uliotungwa na Hassan bin Ismail. Yanachunguza jinsi fani ya

More information

Tafuteni Kwanza Ufalme Wa Mungu

Tafuteni Kwanza Ufalme Wa Mungu Tafuteni Kwanza Ufalme Wa Mungu na Ellis P. Forsman God) 1 Tafuteni Kwanza Ufalme Wa Mungu na Ellis P. Forsman Oktoba 7, 2011 God) 2 Tafuteni Kwanza Ufalme Wa Mungu Mat. 6:24-34 Yesu alitoa maelezo haya

More information

Oktoba-Desemba

Oktoba-Desemba Oktoba-Desemba 2014 1 Habari za Unabii wa Biblia 8 13 24 Katika toleo hili: 25 28 33 3 MwanaFiladelfia wa Karne ya 21 ni nani? Je, Yesu alifundisha kwamba kungekuwepo na tofauti kubwa baina ya Wakristo

More information

Utumiaji Wa Kiswahili Na Lugha Za Jamii Kijinsia Nchini Tanzania Y.P. MSANJILA University of Dar-es-Salaam, Tanzania

Utumiaji Wa Kiswahili Na Lugha Za Jamii Kijinsia Nchini Tanzania Y.P. MSANJILA University of Dar-es-Salaam, Tanzania Nordic Journal of African Studies 16(1): 18 29 (2007) Utumiaji Wa Kiswahili Na Lugha Za Jamii Kijinsia Nchini Tanzania Y.P. MSANJILA University of Dar-es-Salaam, Tanzania ABSTRACT This paper has attempted

More information

KUCHUNGUZA MASUALA YA KISIASA KATIKA RIWAYA ZA SHAABAN ROBERT: MFANO WA KUSADIKIKA NA KUFIKIRIKA

KUCHUNGUZA MASUALA YA KISIASA KATIKA RIWAYA ZA SHAABAN ROBERT: MFANO WA KUSADIKIKA NA KUFIKIRIKA KUCHUNGUZA MASUALA YA KISIASA KATIKA RIWAYA ZA SHAABAN ROBERT: MFANO WA KUSADIKIKA NA KUFIKIRIKA BIBIANA MASSAWE AMBROSE TASINIFU ILIYOWASILISHWA KWA AJILI YA KUTIMIZA SHARTI PEKEE LA KUTUNUKIWA DIGRII

More information

Aina Tatu Za Ibada. Ellis Forsman. Aina Tatu Za Ibada (Three Kinds Of worship) 1

Aina Tatu Za Ibada. Ellis Forsman. Aina Tatu Za Ibada (Three Kinds Of worship) 1 Aina Tatu Za Ibada na Ellis Forsman Aina Tatu Za Ibada (Three Kinds Of worship) 1 Aina Tatu Za Ibada na Ellis Forsman Octoba 15, 2011 Aina Tatu Za Ibada (Three Kinds Of worship) 2 Aina Tatu Za Ibada Yoh.

More information

FOMU YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO

FOMU YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO FOMU YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO SEHEMU A (TAARIFA ZA MWANAFUNZI) Picha ya mwanafunzi na aje na picha tatu Jina kamili (majina matatu). Tarehe ya kuzaliwa.. Uraia.. Jinsia Anuani ya mwanafunzi... Shule

More information

UNABII WA BIBLIA. CBM Publishing 32 Blenheim Road, Far Cotton Northampton, England. NN4 8NW

UNABII WA BIBLIA. CBM Publishing 32 Blenheim Road, Far Cotton Northampton, England. NN4 8NW Kama unataka kujifunza zaidi njia ya Mkristo wa kweli anavyopaswa kuishi, basi ni lazima ujifunze Biblia. Ili kukusaidia; Kanise la Christadelphian Bible Mission limechapisha kijitabu kuhusu mafunzo ya

More information

Huduma kwa wateja kupitia barua pepe na ujumbe mfupi Fig

Huduma kwa wateja kupitia barua pepe na ujumbe mfupi Fig KITINI CHA JINSI YA KUTUMIA MFUMO WA SIMU YA KIGANJANI KATI YA BARAZA LA FAMASI NA WAMILIKI WA MADUKA NA WATAALAMU WA DAWA YALIYOMO UTANGULIZI... 3 SEHEMU YA KWANZA: MALIPO YA KUHUISHA VIBALI... 4 1.1

More information

Elimu Bora, lakini... C HakiElimu Elimu bora, lakini...

Elimu Bora, lakini... C HakiElimu Elimu bora, lakini... Elimu Bora, lakini... Shukrani za dhati kwa wote waliotusaidia katika kutayarisha kijitabu hiki: Nsa Kaisi, Mshauri wa Rais, kwa mchango wake mkubwa wa mawazo Wafanyakazi wote wa HakiElimu 2003-2004 Many

More information

KWA NINI SISI SI MADHEHEBU?

KWA NINI SISI SI MADHEHEBU? KWA NINI SISI SI MADHEHEBU? Nimejaliwa kurudi mimbarani tena baada ya kama,, nadhani, karibu kutokuwepo kwa muda wa miezi mitatu. Kindi wamekuwa na wakati mgumu, na mimi pia. Loo, nimeburudika, hata hivyo,

More information

Kiu Cha umtafuta Mungu

Kiu Cha umtafuta Mungu ZAIDI YA NAKALA MILLION 3 ZIMECHAPISHWA KATIKA LUGHA 59 KOTE DUNIANI K Kiu Cha umtafuta Mungu Huduma ya Daktari Richard A. Bennett ilianza katika mabaraza ya miji. Akiwa mwanafunzi chuoni, alikumbana na

More information

United Pentecostal Church June 2017

United Pentecostal Church June 2017 Kwa Nini Tusali? Jarida la Maombi ya Wanawake Kimataifa "Chagua" Ladies Prayer International kwa Facebook United Pentecostal Church June 2017 Tuko na wafuasi Facebook katika Marekani, Hong Kong, Philippines,

More information

K. M a r k s, F. E n g e l s

K. M a r k s, F. E n g e l s W a (any a kazi wa nchi zote, unganeni! K. M a r k s, F. E n g e l s Maelezo ya chama cha kikomunist Idara ya Maendcleo Moscow Tafsiri hii ya "Maelezo ya Chama cha Kikomunist" inatokana na maandishi

More information

Na Itafunika Wingi Wa Dhambi

Na Itafunika Wingi Wa Dhambi Na Itafunika Wingi Wa Dhambi na Ellis Forsman Na Itafunika Wingi Wa Dhambi (And Shall Hide A Multitude Of Sins) 1 Na Itafunika Wingi Wa Dhambi na Ellis Forsman Oktoba 10, 2011 Na Itafunika Wingi Wa Dhambi

More information

Roho Mtakatifu Ni Nini?

Roho Mtakatifu Ni Nini? Roho Mtakatifu Ni Nini? kwa ajili ya mkutano. Mkutano huu utakuwa tofauti, kidogo na ile ya kawaida tunayokuwa nayo hapa. Kwa kawaida, kila wakati tunapokuja pamoja hapa, ni mkutano kwa wa kwa ajili ya

More information

Jumuiya ya Waislamu Waahmadiyya Tanzania

Jumuiya ya Waislamu Waahmadiyya Tanzania na Hadhrat Mirza Ghulam Ahmad wa Qadian Masihi Mauʻudi na Imam Mahdi as Jumuiya ya Waislamu Waahmadiyya Tanzania HOTUBA YA SIALKOT Tafsiri ya Kiswahili ya: Lecture Sialkot (Urdu) Imeelezwa na: Hadhrat

More information

CGAP Smallholder Household Survey in Tanzania / Utafiti wa kaya ndogondogo Tanzania

CGAP Smallholder Household Survey in Tanzania / Utafiti wa kaya ndogondogo Tanzania CGAP Smallholder Household Survey in Tanzania / Utafiti wa kaya ndogondogo Tanzania Questionnaire for Individual Household Members/Dodoso kwa mwanakaya binafsi This questionnaire will be administered to

More information

MADA MATUMIZI YA TAKRIRI NA SITIARI KATIKA UTENZI WA RASI LGHULI JUSTUS MAUNDU NDUMBU C50/65902/2011 CHUO KIKUU CHA NAIROBI IDARA YA ISIMU NA LUGHA

MADA MATUMIZI YA TAKRIRI NA SITIARI KATIKA UTENZI WA RASI LGHULI JUSTUS MAUNDU NDUMBU C50/65902/2011 CHUO KIKUU CHA NAIROBI IDARA YA ISIMU NA LUGHA MADA MATUMIZI YA TAKRIRI NA SITIARI KATIKA UTENZI WA RASI LGHULI NA JUSTUS MAUNDU NDUMBU C50/65902/2011 CHUO KIKUU CHA NAIROBI IDARA YA ISIMU NA LUGHA TASNIFU HII IMETOLEWA ILI KUTOSHELEZA BAADHI YA MAHITAJI

More information

UTANGULIZI ANUANI NA MANDHARI YA CHUO

UTANGULIZI ANUANI NA MANDHARI YA CHUO UTANGULIZI International Montessori Teachers College (IMTC), ni chuo kilichoanzishwa hapa nchini Tanzania mwaka 2012 na kinatoa kozi ya kimataifa ya ualimu wa watoto wadogo (yaani child care and nursery

More information

maombi, kabla tu hatujalifungua Neno hili la Kiungu.

maombi, kabla tu hatujalifungua Neno hili la Kiungu. ALAMA YA MNYAMA Sasa, kesho usiku Daima tunaonyesha jambo moja,, Bwana Yesu Kristo, ni hivyo tu, na lo lote ambalo ni mapenzi Yake ya Kiungu kwetu kufanya. Lakini kama ni mapenzi Yake ya Kiungu kesho usiku,

More information

Kuiponya Picha Tuliyonayo Kuhusu Mungu

Kuiponya Picha Tuliyonayo Kuhusu Mungu 134 Kuiponya Picha Tuliyonayo Kuhusu Mungu Picha tuliyonayo kuhusu Mungu ni mojawapo ya kizuizi kikubwa cha kupata uponyaji wetu. Mara nyingi huwa hatujui vizuri kwamba Mungu anatupenda kwa hivyo angependa

More information

LUGHA YA KISWAHILI KATIKA KUFUNDISHIA NA KUJIFUNZIA ELIMU SHULE ZA SEKONDARI

LUGHA YA KISWAHILI KATIKA KUFUNDISHIA NA KUJIFUNZIA ELIMU SHULE ZA SEKONDARI LUGHA YA KISWAHILI KATIKA KUFUNDISHIA NA KUJIFUNZIA ELIMU SHULE ZA SEKONDARI SIKOMBE YIZUKANJI YORADI TASNIFU YA KISWAHILI KWA MINAJILI YA KUTUNUKIWA SHAHADA YA UZAMILI (MA. KISWAHILI) KITIVO CHA SANAA

More information

MUNGU ALIUMBA ULIMWENGU 1 WETU NA VYOTE VILIVYO HAI

MUNGU ALIUMBA ULIMWENGU 1 WETU NA VYOTE VILIVYO HAI MUNGU ALIUMBA ULIMWENGU 1 WETU NA VYOTE VILIVYO HAI Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi. Mwanzo 1:1 Kwa kuwa katika yeye vitu vyote viliumbwa, vilivyo mbinguni na vilivyo juu ya nchi. Wakolosai

More information

Makasisi. Waingia Uislamu

Makasisi. Waingia Uislamu 1 Makasisi Waingia Uislamu 2 KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU MAKASISI WAINGIA UISLAMU Yaliyomo 1. KASISI YUSUFU ESTES ALIYEKUWA MFANYABIASHARA WA KIKRISTO & MUHUBIRI (USA)...

More information