Mutugi Kamundi. Jemma Kahn. Kiswahili. Demane na pacha wake. Author - South African Folktale

Similar documents
UNIVERSITY OF CAMBRIDGE INTERNATIONAL EXAMINATIONS General Certificate of Education Ordinary Level

Information for assessors (do not distribute this page to participants):

Early Grade Reading Assessment for Kenya

UNIVERSITY OF CAMBRIDGE INTERNATIONAL EXAMINATIONS General Certificate of Education Ordinary Level. SWAHILI 3162/01 Paper 1 May/June 2013

Kuzimu na Kurudi na Dr. Rawlings Documentary Video Transcript, TBN Films

UNIVERSITY OF CAMBRIDGE INTERNATIONAL EXAMINATIONS General Certificate of Education Ordinary Level. SWAHILI 3162/01 Paper 1 May/June 2012

"ATATOKEA MARA YA PILI, pasipo dhambi, kwa hao wamtazamiao kwa wokovu." Waebrania 9:28.

Roho Mtakatifu Ni Nini?

Hati ya kuhitimu kisomo Kenya (K.C.S.E)

walozaliwa, si kwa damu, wala mapenzi ya mwili, wala si kwa mapenzi ya mtu, mbali kwa Mungu. Sisi sio tena binadamu wa kawaida tu kwa sababu sisi ni w

MUNGU ALIUMBA ULIMWENGU 1 WETU NA VYOTE VILIVYO HAI

Deutsche Welle, Learning by Ear 2009 Seite 1 People Who Make A Difference Liberia: Anita Varney Health Facilitator, Fishtown/Liberia

Na Itafunika Wingi Wa Dhambi

Mukhtasari Wa Mabishano Kwa Na Dhidi Ya Vikombe Vingi Vya Ushirika

VITAMBULISHO VITA NO DHA HIRI VYA KA NISA LA KWELI LA MUNGU ALIYE HAI

2 LILE NENO LILILONENWA

JAZANDA YA NJOZI KATIKA BAADHI YA MASHAIRI YA EUPHRASE KEZILAHABI (ONEIRIC IMAGES IN EUPHRASE KEZILAHABI S SELECTED POEMS) 1

Makasisi. Waingia Uislamu

usudi la Maisha Hakika katika kuumbwa mbingu na ardhi, na kupishana usiku na mchana, kuna kweli ishara kwa wenye akili, ambaye mkumbuke-

Kifo Na Mbingu. (Death And Heaven) Ellis P. Forsman. Kifo Na Mbingu (Death And Heaven) 1

SALAMA Dictionary Compiler Arvi Hurskainen University of Helsinki

UZAO WA NYOKA. 2 Basi, usiku huu, tuna malimbuko tu ya utukufu huo mkuu. 3 Kwa uchaji tunasimama kwa imani yetu katika Uwepo

Ufunguo wa Kutaalamika Haraka

IM ETUPASA KUTIMIZA HA KI YOTE

KWA NINI SISI SI MADHEHEBU?

Nia Dhidi Ya Kristo Je Unamheshimu?

Lesson 11 Weather and Seasons Hewa Majira

Ndugu na dada zangu wapendwa,

Watumishi Wa Kristo. Ellis P. Forsman. Watumishi Wa Kristo (Servants Of Christ) 1

Ushindi ndani ya Kristo W. W. PRESCOTT

Kifo Na Mbingu (Death And Heaven)

YEHOVA-YIRE 1. 2 Baba yetu wa Mbinguni, tunakikaribia Kiti Chako cha. 3 Tunakushukuru kwa kutuzuru jana jioni. Tunaomba

BIBLICAL INSTRUCTION AND ENCOURAGEMENT FOR THE MAFUNDISHO YA BIBLIA NA HIMIZO KWA MISSION FIELD WORLDWIDE. KAZI YA KIMISHENI ULIMWENGUNI KOTE

PYRINEX. 1 Liter INSECTICIDE

KAMA MUNGU YU PAMOJA NASI, BASI YAKO WAPI MATENDO YAKE YA AJABU?

JE! MUNGU ANAMPA MWANAMKE HAKI YA KUTOA MIMBA IWAPO NI MHANGA WA UBAKAJI?

Pasaka Na Meza Ya Bwana Sehemu Ya 1

MASWALI NA MAJIBU JUU YA KITABU CHA MWANZO

Iliyoendelea sana. Kitengo cha 2. Kitabu cha mwanafunzi Iliyoendelea sana

United Pentecostal Church June 2017

Agano Lililofunikwa Kwa Damu

Ndugu na dada zangu wapendwa,

TIST (TANGA) HABARI MOTO MOTO. Kutunza miche yako. Take care of your seedlings. Take care of your trees

KUTAMBUA SIKU YA KO NA UJUMBE WAKE

JE, YAWEZEKANA KUISHI BILA KUTENDA DHAMBI?

Mafundisho Ya Msingi Wa Kikristo. Na Andrew Connally

Jamii. ,,,^mm^mmm-<^^^^ illli MA RH-EREN.CE CENTRE

maombi, kabla tu hatujalifungua Neno hili la Kiungu.

JHSPH MAADILI YA KUFANYA UTAFITI WA MASUALA YA BINAADAMU MUONGOZO WA MAFUNZO YA UTAFITI

Kiu Cha umtafuta Mungu

Ellen White, waasisi wa Kiadventista,na Sabato Lunar

LBE 2009 Migration Episode 3: Living without documents

MSAMAHA NA UPATANISHO

GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23)

WAFUNAJI WA NAFSI ABC By Vagn Rasmussen Translation by Lydia Madsen

UJASIRI WA YOHANA MBATIZAJI

United Pentecostal Church April Kushangilia Kwa Sala

Human Rights Are Universal And Yet...

Uongozi Siri Na Larry Chkoreff. Version 1.2 Desemba 2010

Hatari, Haki za Usalama katika Bahari 03

Mbinu za Ujenzi wa Wahusika na Usawiri wa Sifa Zao: Uhakiki wa Riwaya ya Dunia Uwanja Wa Fujo ya E. Kezilahabi

If a tree falls - Deforestation in Africa"

Oktoba-Desemba

KUPWA NA KUJAA KWA BAHARI. (TIDES AND TIME)

Mzabibu Na Matawi. (The Vine And The Branches) Ellis P. Forsman. Mzabibu Na Matawi (The Vine And The Branches) 1

Aya : Talaka Ni Mara Mbili

WEWE NI NANI? Toleo X Toleo Ukweli wa Injeli Toleo 23

Adhabu ya jino kwa jino na Musitakabali wa imani zetu

TRANS-NZOIA COUNTY KCSE REVISION MOCK EXAMS 2015

UTARATIBU WA KANISA. 2 Jambo la kwanza ninalotaka kusema ni kwamba mchungaji. 3 Sisi tunaamini katika Kanisa la kimitume, tukifundisha

Tafuteni Kwanza Ufalme Wa Mungu

Haja Ya Dini. Author(s): Publisher(s): Translator(s): Category: Topic Tags: Featured Category: Published on Al-Islam.org (

MUNGU ANADHIHIRISHWA KUPITIA KWA YESU KRISTO.

Silaha Za Shetani. Ellis Forsman. Silaha Za Shetani (The Devices of Satan) 1

GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23)

Mwabudu Yehova, Mfalme wa Umilele. Miaka 100 ya Utawala wa Ufalme Inakuhusuje? UKURASA WA 12 NYIMBO: 97, 101. Kufanya Maamuzi ya Hekima Ukiwa Kijana

Inavyodaiwa na wanaochanganya Biblia. Ellis Forsman. Inavyodaiwa na Wanao changanya Biblia (Alleged Bible Contradictions) 1

Kiumbe Kipya Katika Kristo

Lishe na Ulaji Bora kwa Watu Wanaoishi na Virusi vya UKIMWI VIDOKEZO MUHIMU KATIKA UNUNUZI NA USALAMA WA CHAKULA

KENYA NATIONAL EXAMINATION COUNCIL REVISION MOCK EXAMS 2016 TOP NATIONAL SCHOOLS

IMANI NA MATENDO ELLEN G. WHITE

ONYO LA MWISHO KWA DUNIA

Tora UTANGULIZI KWA TORA SOMO LA KWANZA

# 18 Uponyaji Kutokana na Kukataliwa

UNABII WA BIBLIA. CBM Publishing 32 Blenheim Road, Far Cotton Northampton, England. NN4 8NW

Wanawake katika Uislamu

Kifaa Maalum cha Kutazamia Jua: Maelekezo ya kutumia

Wewe Maisha Yako Ndoto Zako. Kitabu cha Vijana Balehe

Kuwawezesha wasichana kwa kuboresha kujikubali na kujithamini Hivi Ndivyo Nilivyo

ORODHA YA WAJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI SPIKA MHE. PANDU AMEIR KIFICHO. Rais.

Theolojia Ujumla. Mike Taylor Semester Munguishi Bible College

Cambridge International Examinations Cambridge Ordinary Level

Patanishwa, Hesabiwa Haki, Takaswa

RISALA FUPI YA KUMUWEZESHA MTU KUPAMBANUA NI IPI DINI YA HAKI MWANDISHI: SALEH M. KYAMBO

AMMA KWA AFRIKA RATIBA/ITIKADI. Ratiba Maalum ya Kutibu Magonjwa Maambukizi na Hususan Fikra Zinazoleta Pooza Mwili na Akili

Kuwa Macho Na Mbwa Mwitu (Watch Out for Wolves)

TIST HABARI MOTO MOTO. Benefits of Loan Repayment. Faida za ulipaji wa mikopo U OTESHAJI W A M ITI Y A M ATUNDA

CONSTITUTION OF KENYA REVIEW COMMISSION (CKRC) VERBATIM REPORT OF

H. M. Baagil, M. D. WAMY Studies on Islam

K. M a r k s, F. E n g e l s

Transcription:

You are free to download, copy, translate or adapt this story and use the illustrations as long as you attribute in the following way: Demane na pacha wake Author - South African Folktale Adaptation - Mutugi Kamundi Illustration - Jemma Kahn Language - Kiswahili Level - Read aloud African Storybook Initiative 2014 Creative Commons: Attribution 4.0 Source www.africanstorybook.org Demane na pacha wake Mutugi Kamundi Jemma Kahn Kiswahili

Hapo zamani za kale paliondokea mvulana mmoja aliyeitwa Demane. Alikuwa na pacha mwenzake aliyeitwa Demazane. 1

2

Jitu lilikimbia kuelekea kwenye bwawa la maji. Lilichopeka kichwa kwenye matope likakwama huko. Liligeuka na kuwa kisiki cha mti uliokatwa. Nyuki walijenga mzinga wao kwenye kisiki hicho. Baadaye, Demane na Demazane walifurahia asali tamu kutoka kwa mzinga huo wa nyuki. Wazazi wao walipofariki, Demane na Demazane walienda kuishi na mjomba wao. Huko kwa mjomba wao, walitendewa mabaya. Walichapwa kwa vibiko virefu, na walipewa uji mwepesi mara moja tu kwa siku. Kwa sababu hiyo, walitoroka. 30 3

4 29

"Msinifanye mjinga," jitu lilisema kwa sauti likajitoma ndani ya nyumba. Lilifunga mlango na kufungua ule mfuko. Nyuki wale walichomoka kwa wingi na kumwuma kichwani, masikioni, na hata kwenye macho. Alishindwa kuona akarukaruka na kulia kwa uchungu mwingi. Hawakuwa na nyumba ya kuishi. Waliona pango wakaamua kuishi ndani mwake. Waliogopa kwa sababu walisikia kwamba majitu yaliyowala watu yaliishi karibu. Kwa hivyo waliunda mlango wenye nguvu. Wakafunga kiingilio na kuacha mashimo mawili ya kupitisha hewa na mwangaza. Kisha Demane akamwambia dadake, "Baki humu pangoni nikatafute chakula. Na usipike nyama kamwe. Majitu hupenda sana harufu ya nyama." 28 5

6 27

Jitu lilirudi na maji pamoja na watoto wake wawili, msichana na mvulana. Likamwambia msichana, "Kuna mlo mtamu ndani ya mfuko. Nenda ukaulete! Msichana alifungua mfuko kuona kilichokuwa ndani. Nyuki walimwuma mkono akalia akisema kwa sauti, "Inauma, inauma." "Nenda ukamsaidie," jitu lilimwambia mvulana kwa sauti. Pia mvulana aliumwa akalia kwa uchungu." Kila jioni Demane alirudi na nyama ya sungura, ndege au paa. Kila aliporudi pangoni aliimba: Demazane, Demazane, nimefika kwenye pango, nifungulie mlango, ndiye mimi si uongo, nimewinda na korongo, tupike kwa kikaango, ufungue kwa mpango, asiingie muongo. 26 7

8 25

Jitu lile lilipoondoka kwenda mtoni, Demane alikata kamba ya mfuko. Ulifunguka na dadake akatoka. Demane alibadilisha mfuko huo na mfuko wake uliojaa nyuki. Kisha yeye na dadake wakajificha na kungoja kuona kile ambacho kingetokea. Kesho yake alipata ukakamavu, akawasha moto ili kuondoa baridi. Lakini aliwasha moto huo ndani ya pango kwa kuogopa majitu. Aliufunga mlango kabisa. "Nina hakika hakuna hatari nikichoma nyama kwa moto huu. Chakula cha kuchomwa ni kitamu." 24 9

10 23

Demane aliona jitu lililojaa nywele limeketi karibu na moto. Mfuko mkubwa ulikuwa karibu naye. Alisongea karibu na jitu hilo akijifanya anachechemea kama mtu aliyeumia mguu. "Tafadhali babu," Demane alisema, "naomba unisaidie. Nimeumia mguu. Naomba maji ya kunywa." Jitu likasema, "Ngoja nikuletee maji lakini usiguse mfuko wangu. Jitu lilisema huku likiweka mfuko ule vizuri ndani ya nyumba." 22 11

Demane aliporudi nyumbani aliimba: Demazane, Demazane, nimefika kwenye pango, nifungulie mlango, ndiye mimi si uongo, nimewinda na korongo, tupike kwa kikaango, ufungue kwa mpango, asiingie muongo. Demane aliingia na kuiona nyama. Aliuliza, "Uliichomaje nyama bila moto?" "Niliichoma kwenye jua nje ya pango," Demazane alijibu upesi. Demane alikuwa amechoka. Hakuuliza swali tena. Waliendelea kufurahia chakula. 12 21

Demane aliporudi alipata mlango ukiwa wazi na Demazane hakuwa ndani. Lakini aliona jivu lililomwagwa kulekea msituni. Alifuata jivu hilo mpaka alipoona moto mbali. 20 13

Siku iliyofuata Demazane aliwasha moto akachoma nyama tena. Alpomaliza aliusikia wimbo. Demazane, Demazane, nimefika kwenye pango, nifungulie mlango, ndiye mimi si uongo, nimewinda na korongo, tupike kwa kikaango, ufungue kwa mpango, asiingie muongo. Lakini sauti hiyo haikuwa kama ya kakake. Demazane akajibu, "Hapana, wewe si kakangu. Sauti hiyo si yake." 14 19

Jitu kubwa lenye nywele mwili mzima lilijaa mlangoni. Likamchukua Demazane haraka. Lakini, Demazane aliokota jivu la jikoni akabeba. Alipokuwa akibebwa alimimina jivu lile njiani walikopitia. 18 15

Baada ya muda mfupi alisikia sauti tena ikiimba: Demazane, Demazane, nimefika kwenye pango, nifungulie mlango, ndiye mimi si uongo, nimewinda na korongo, tupike kwa kikaango, ufungue kwa mpango, asiingie muongo. Sauti hiyo ilifanana na ya kakake. Kwa hivyo aliufungua mlango. 16 17