Mukhtasari Wa Mabishano Kwa Na Dhidi Ya Vikombe Vingi Vya Ushirika

Similar documents
Information for assessors (do not distribute this page to participants):

Agano Lililofunikwa Kwa Damu

Nia Dhidi Ya Kristo Je Unamheshimu?

MUNGU ANADHIHIRISHWA KUPITIA KWA YESU KRISTO.

usudi la Maisha Hakika katika kuumbwa mbingu na ardhi, na kupishana usiku na mchana, kuna kweli ishara kwa wenye akili, ambaye mkumbuke-

Theolojia Ujumla. Mike Taylor Semester Munguishi Bible College

Aina Tatu Za Ibada. Ellis Forsman. Aina Tatu Za Ibada (Three Kinds Of worship) 1

UTARATIBU WA KANISA. 2 Jambo la kwanza ninalotaka kusema ni kwamba mchungaji. 3 Sisi tunaamini katika Kanisa la kimitume, tukifundisha

Ellen White, waasisi wa Kiadventista,na Sabato Lunar

Ushindi ndani ya Kristo W. W. PRESCOTT

Inavyodaiwa na wanaochanganya Biblia. Ellis Forsman. Inavyodaiwa na Wanao changanya Biblia (Alleged Bible Contradictions) 1

walozaliwa, si kwa damu, wala mapenzi ya mwili, wala si kwa mapenzi ya mtu, mbali kwa Mungu. Sisi sio tena binadamu wa kawaida tu kwa sababu sisi ni w

Ndugu na dada zangu wapendwa,

BIBLICAL INSTRUCTION AND ENCOURAGEMENT FOR THE MAFUNDISHO YA BIBLIA NA HIMIZO KWA MISSION FIELD WORLDWIDE. KAZI YA KIMISHENI ULIMWENGUNI KOTE

GRACE COMMUNION INTERNATIONAL KANUNI YA IMANI

Mafundisho Ya Msingi Wa Kikristo. Na Andrew Connally

"ATATOKEA MARA YA PILI, pasipo dhambi, kwa hao wamtazamiao kwa wokovu." Waebrania 9:28.

JE, YAWEZEKANA KUISHI BILA KUTENDA DHAMBI?

Mzabibu Na Matawi. (The Vine And The Branches) Ellis P. Forsman. Mzabibu Na Matawi (The Vine And The Branches) 1

B. Wanafunzi watapata ufahamu mkubwa wa kitabu hiki, na jinsi kinavyofundisha kuhusu kanisa.

Ufunguo wa Kutaalamika Haraka

WAFUNAJI WA NAFSI ABC By Vagn Rasmussen Translation by Lydia Madsen

Kifo Na Mbingu. (Death And Heaven) Ellis P. Forsman. Kifo Na Mbingu (Death And Heaven) 1

United Pentecostal Church June 2017

Maisha Yaliyojaa Maombi

MUNGU ALIUMBA ULIMWENGU 1 WETU NA VYOTE VILIVYO HAI

Roho Mtakatifu Ni Nini?

WAKOLOSAI MTAALA. B. Maoni: Tunapendekeza uwe na fafanuzi (commentary) yoyote yenye kushikilia mafundisho ya awali (conservative) katika Wakolosai.

WEWE NI NANI? Toleo X Toleo Ukweli wa Injeli Toleo 23

Tumaini Kwa Afrika. Thomas Schirrmacher. Hoja 66. Dibaji na Prof. Mchungaji Dk. Thomas K. Johnson. Thomas Schirrmacher Tumaini Kwa Afrika TASCM RVB

Pasaka Na Meza Ya Bwana Sehemu Ya 1

GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23)

Maisha Ya Mkristo Ni Nini?

Kanuni. Muhimu za Kujifunza Biblia. Mchungaji Drue Freeman. Dan Hawkins & Joseph Brown. General Editors.

UNABII WA BIBLIA. CBM Publishing 32 Blenheim Road, Far Cotton Northampton, England. NN4 8NW

KAMA MUNGU YU PAMOJA NASI, BASI YAKO WAPI MATENDO YAKE YA AJABU?

Kiu Cha umtafuta Mungu

UNIVERSITY OF CAMBRIDGE INTERNATIONAL EXAMINATIONS General Certificate of Education Ordinary Level. SWAHILI 3162/01 Paper 1 May/June 2013

UKUFUNZI WENYE NGUVU MMOJA-KWA-MMOJA

Tazama Yuaja. Kuhusu Toleo Hili. Umuhimu wa Mafundisho ya Biblia. Nguvu katika neno la Mungu.

Oktoba-Desemba

NGUVU. Utangulizi. Yesu alisema,

IMANI NA MATENDO ELLEN G. WHITE

Silaha Za Shetani. Ellis Forsman. Silaha Za Shetani (The Devices of Satan) 1

MAFUNDISHO YA UMISHENI

VITAMBULISHO VITA NO DHA HIRI VYA KA NISA LA KWELI LA MUNGU ALIYE HAI

Adhabu ya jino kwa jino na Musitakabali wa imani zetu

Human Rights Are Universal And Yet...

UJASIRI WA YOHANA MBATIZAJI

Kwa Nini Yesu Alikufa Msalabani?

Makasisi. Waingia Uislamu

Uongozi Siri Na Larry Chkoreff. Version 1.2 Desemba 2010

Ndugu na dada zangu wapendwa,

GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23)

Haja Ya Dini. Author(s): Publisher(s): Translator(s): Category: Topic Tags: Featured Category: Published on Al-Islam.org (

UZAO WA NYOKA. 2 Basi, usiku huu, tuna malimbuko tu ya utukufu huo mkuu. 3 Kwa uchaji tunasimama kwa imani yetu katika Uwepo

Tafuteni Kwanza Ufalme Wa Mungu

YEHOVA-YIRE 1. 2 Baba yetu wa Mbinguni, tunakikaribia Kiti Chako cha. 3 Tunakushukuru kwa kutuzuru jana jioni. Tunaomba

Iliyoendelea sana. Kitengo cha 2. Kitabu cha mwanafunzi Iliyoendelea sana

RISALA FUPI YA KUMUWEZESHA MTU KUPAMBANUA NI IPI DINI YA HAKI MWANDISHI: SALEH M. KYAMBO

ONYO LA MWISHO KWA DUNIA

MSAMAHA NA UPATANISHO

United Pentecostal Church April Kushangilia Kwa Sala

KUTAMBUA SIKU YA KO NA UJUMBE WAKE

Patanishwa, Hesabiwa Haki, Takaswa

Hakimiliki na Jonathan Menn. Haki zote zimehifadhiwa TAFSIRI YA BIBLIA. Mwandishi. Jonathan M. Menn

maombi, kabla tu hatujalifungua Neno hili la Kiungu.

Tora UTANGULIZI KWA TORA SOMO LA KWANZA

Kifo Na Mbingu (Death And Heaven)

Ndugu na dada zangu wapendwa,

Juni 3-9 Pata Manufaa Kamili kwakusomabiblia

MASWALI NA MAJIBU JUU YA KITABU CHA MWANZO

Hati ya kuhitimu kisomo Kenya (K.C.S.E)

wasiofaa. Naomba sana kila raia afanye bidii awezavyo kumkaribia Mwenyezi Mungu vile anavyoona inafaa, lakini asipitishe hukumu juu ya wengine.

MATUMIZI YA FACEBOOK KWA BIASHARA. Kwa Wanaoanza

Uponyaji Wa Laana. (Kumb. 28:1-14).

Sura ya 7 Kielelezo: Tumepatanishwa na Mungu na Wanadamu

JE! MUNGU ANAMPA MWANAMKE HAKI YA KUTOA MIMBA IWAPO NI MHANGA WA UBAKAJI?

H. M. Baagil, M. D. WAMY Studies on Islam

2 LILE NENO LILILONENWA

Mwongozo wa Kanisa la Waadventista wa Sabato

KANISA NA UAMSHO Na Mchg. Dkt. Faith Lugazia

MWONGOZO WA NAMNA YA KUHAMASISHA MAOMBI YA MCHANA NA USIKU YA SIKU 10.

Kuiponya Picha Tuliyonayo Kuhusu Mungu

Watumishi Wa Kristo. Ellis P. Forsman. Watumishi Wa Kristo (Servants Of Christ) 1

Kwa Kongamano Kuu 2016

MIAKA 500 YA MATENGENEZO YA KANISA NA USHUHUDA WETU Na Askofu Dr. Abednego Keshomshahara

LALA. Terry Warford. LALA (Sleep - Terry Warford) 1

Azimio la Umoja wa Mataifa Kuhusu Watetezi wa Haki za Binadamu

Rahisi. Kitabu cha mwanafunzi. Mabingwa kwa ajili ya tunda la Roho Mtakatifu. Rahisi

IBADA NA UMOJA WA KANISA Na Mchg. Dkt. Msafiri Mbilu

Kiumbe Kipya Katika Kristo

JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 1

Kocha Mkuu. mabingwa. itakuwa INASTAHILI. Ili Kutoa mafunzo kwa wanafunzi wako kuwa. itakuwa ya kuumiza. Itachukua muda. Itahitaji moyo wa kujitoa.

Kuwa Macho Na Mbwa Mwitu (Watch Out for Wolves)

Kuwawezesha wasichana kwa kuboresha kujikubali na kujithamini Hivi Ndivyo Nilivyo

FORWARD BY DANIEL SZMIOT

Kufunga Milango - Uponyaji Kutokana na Athari za Giza

Na Itafunika Wingi Wa Dhambi

Mabingwa kwa ajili ya tunda la Roho Mtakatifu. Iliyoendelea sana. Kitabu cha mwanafunzi. Iliyoendelea sana

Transcription:

Mukhtasari Wa Mabishano Kwa Na Dhidi Ya Vikombe Vingi Vya Ushirika (A Summary Of Arguments For And Against Individual Communion Cups) Na J D Logan Communion Cups) 1

Mukhtasari Wa Mabishano Kwa Na Dhidi Ya Vikombe Vingi Vya Ushirika (A Summary Of Arguments For And Against Individual Communion Cups) Na J D Logan Mei 10, 2012 Communion Cups) 2

Mukhtasari Wa Mabishano Kwa Na Dhidi Ya Vikombe Vingi Vya Ushirika (A Summary Of Arguments For And Against Individual Communion Cups) (Ufuatao ni utangulizi unaotoka katika kitabu kidogo Jenga Kulingana na Ramani. Iliyohaririwa 1925 katika Ukristo wa Pacific na ndugu wawili T C Hawloy na Eamost C Love, Ed.) Watumikiao mfano na kivuli cha mambo ya mbinguni, kama Musa alivyoagizwa na Mungu, alipokuwa tayari kuifanya ile hema; maana asema angalia ukavifanye vitu vyote kwa mfano ule ulioonyeshwa katika mlima. (Heb. 8:5). Kila andiko lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza, na kwa kuwaadibisha katika haki; ili mtu wa Mungu awe kamili, amekamilishwa apate kutenda kila tendo jema. (2 Tim. 3:16-17). Basi imani chanzo chake ni kusikia; na kusikia huja kwa neno la Kristo. (Rum. 10:17). Dini ya Yesu Kristo ni ufunuo kutoka kwa Mungu, na sio mageuko kutoka kwa mwanadamu. Ni mfumo wa wokovu kwa imani: hiyo ni, kwa kuamini kile ambacho Mungu amesema. Mamlaka ya ufunuo wa Mungu imetolewa na kumalizwa katika Biblia. Hakuna yeyote, kwa vile Yohana aliitimisha Ufunuo, amewezaa kunena kwa ajili ya Mungu kwa mamlaka, kama mitume walivyofanya; na kwamba Biblia ndio kiwango kamili na ramani kwa wanadamu wote kuendana nayo, kama wanapenda kufanya, kufanikiwa, safari ya kutoka duniani kwenda mbinguni. Ambayo nitaongeza maneno ya Petro, Kwa kuwa uweza wake wa Uungu umetukirimia vitu vyote vipasavyo uzima na utauwa, kwa kumjua yeye aliyetuita kwa utukufu wake na wema wake mwenyewe. (2 Pet. 1:3). Kwa vile mdahalo wa matumizi ya vikombe vingi umekuwa ukiendelea kwa zaidi ya miaka 100, mabishano mengi kwa na dhidi imependekezwa. Baadhi ya tarehe zifuatazo ni nyuma zaidi ya miaka 100 na zingine nimezisikia mwenyewe katika maisha yangu. Hakika ninataraji kwamba ukweli unaweza kutangazwa kwa kutoa neno la Yesu, kama Petro alivyosema, Basi Simoni Petro akamjibu, Bwana, twende kwa nani? Wewe unayo maneno ya uzima wa milele. (Yoh. 6:68). Communion Cups) 3

DHIDI YA WINGI Hazitambuliki kabisa katika Agano Jipya, hazijatamkwa hata na Kristo au mitume. Ni mapokeo yaliyoongezwa, tukiongea kimaandiko, zikiwa zimeanzishwa zaidi ya miaka mia iliyopita. Kanisa la Kristo iliziazima kutoka katika ulimwengu wa dini; chanzo kilekile ambacho jamii ya wamisionari walipotokea, vyombo vya mziki, ubatizo wa watoto wachanga, n.k. Tunapaswa kurudisha kila kitu ambacho tuliazima! Kuzitumia unakiuka barua ya sheria ya Kristo, maana kikombe kimoja pekee ndiyo inayoonyeshwa katika Agano Jipya. Kuzitumia unakiuka roho wa sheria ya Kristo kwa kufanya tendo la kila mtu kuwa na kikombe chake ambacho Kristo alikusudia kuwa ushirika. Kuzitumia ni maafikiano ya maombi yetu ya umoja wa kimaandiko juu ya msemo maarufu usemao: mahali ambapo maandiko hunena, tunanena; mahali ambapo maandiko yamenyamaza, tunanyamaza. Kiukweli hatuwezi kudai hivyo, wakati tunatumia vikombe vingi. Kuzitumia ukiuka mfano wa Kristo katika kuanzisha huduma ya ushirika. alitwaa kikombe Kuzitumia unakiuka agizo la wazi la Kristo, aliyesema: Nyweni nyote katika hiki. Kuzitumia unavuja amani na ushirika mzuri kati ya makusanyiko, kwa wale wanaopinga vikombe hawawezi kuabudu nao, hata kidogo kuliko wanavyofanya na vyombo vya mziki. Kuzitumia unakiuka ujumbe wa mwisho kutoka mbinguni unaokataza kuongeza katika sheria ya Mungu au maagano. Kuzitumia unafanya ibada ya bure kwa maana inaondoa maandiko ya Agano Jipya, maagizo ya wanadamu. (Marko 7:7). Kuzitumia kunaangamiza ishara ile ya amani kama ilivyo elezwa katika 1 Kor.10:16-17, ikisisitiza umoja wa mwili na damu. Communion Cups) 4

Kuzitumia kunapaswa kusitishwa mara moja, maana Kristo alisema, Kila pando asilolipanda Baba yangu aliye mbinguni, litang olewa. (Mat. 15:13). KWA UPANDE WA WINGI Siyo vizuri kunywa baada ya mwingine. Hatufanyi hivyo katika miji zetu. Jibu katika familia ambapo kuna upendo wowote wa kweli mtu anaweza kunywa baada ya mwingine na asifikirie chochote. Mara nyingi hufanyika. Hakuna kinacho patikana kwa kuwa mwema. Baadhi ya watu ni wema sana kwa ulimwengu huu. Ndugu fulani na fulani ni wachafu; anavuta tumbaku na kuingiza ndevu zake katika kikombe; na mara nyingi hasafishi pua lake, n.k. Jibu Hili halina ubishi wa vikombe vingi. Mtu anapaswa kumwambia ndugu fulani na fulani kujisafisha. Kijana wa Samweli alipotenda dhambi, watu waliomba wapewe mfalme. Walichotakiwa kufanya ni kuwasafisha waamzi. Walilivunja taifa kwa kubadilisha agano la Mungu badaala ya kuwarekebisha wale waliokuwa na hatia. Ebu tuziepuke makosa yao. Sheria ya Amerika inakataza kikombe kimoja. Jibu Ndiyo kuna sheria katika baadhi ya sehemu ambazo ni kinyume na kikombe kimoja, lakini hakujawahi kuwa na juhudi katika kuzifanyia kazi kwenye mambo ya dini na labda haitakuwepo. Lakini kunapaswa kuwepo na juhudi zinazoleta mkanganyiko katika ibada, ebu Kristo asimame aliposimama Petro na kusema, Tunapaswa kumtii Mungu kuliko mwanadamu, na kwa ukali tuchukue matokeo. Kuna hatari ya kukumbana na magonjwa ya hatari katika kikombe kimoja. Jibu Ndiyo, madaktari na wanasayansi watatuambia hivyo. Hataivyo, wanafunzi wameonyesha kwamba kuna hatari kubwa kwenye mikono michafu kwamba kutoka katika kikombe kimoja. Ikiwa kikombe kimoja ni kitu hatari, basi kanisa la Kristo lingekufa zamani sana. Kwa miaka mia hadi kurudi katika karne ya ishirini, waumini wa huu mwili mkuu katika taifa hili kubwa wamekutana na kushiriki katika kikombe cha ushirika. Wana afya na wenye nguvu kama mwili wowote wa kidini ninao ufahamu. Ikiwa sehemu ya hadithi ni kweli, kama wengine wanvyotaka tuamini, kwa kujali kupata magonjwa katika kukinywea kikombe cha ushirika, sote tungekuwa tumeshakufa kabla ya wanabaiolojia kugundua tatizo. Tumueshimu Mungu kuliko vijidudu! Communion Cups) 5

Kinyume na hilo, kama kuna mgonjwa wa kifua kikuu katika kusanyiko, kusanyiko lote litakuwa limekumbwa na tatizo la upumuaji. Vijidudu hivi haviambukizwi kwa kukinywea kikombe. Pia, vikombe tofauti vinapoanzishwa, mwenye ugonjwa bado anashikilia mkate na anauhakika kuacha vijidudu kwenye mkate, afuataye atapata wadudu. Piua vikombe hivi vinapotumika mara moja, huoshwa na kutunzwa hadi ibada ijayo. Isipokuwa zinachemshiwa maji kila wakati, wadudu ambao wako kwenye vikombe hivyo haziwezi kuuawa, bali zinasambazwa katika vikombe vingine Pia, kumbuka, wadudu wa kifua kikuu inasemekana wanabaki hai na ni hatari kwa miezi sita chini ya hali nzuri. Kinachomzuia mtu kupata mmoja wa wadudu hao walio hai juma pili ijayo ni nini? Hitimisho Kuna hatari kidogo katika kukinywea kikombe cha ushirika, kama ipo, na vikombe vingi hawaondoi Atari yote inaweza kuwepo. Wahubiri wetu viongozi uzihidhinisha. Jibu Hivyo ndivyo inavyoweza kusemwa kuhusu Jamii ya Wamisionari, vyombo vya mziki, mkate wa kumega kila mtu kuchukua wake, na kila aina ya utungwaji ambao umeenea katika amani ya ndugu na kuharibu njia ya kwenda mbinguni. Baadhi ya watu wamekwenda visivyo, hivyo ndivyo! Makanisa yetu yote yameongoza kwa kuzianzisha. Jibu Hii inafanana na Nambari 5. Yalikuwa ni makusanyiko yaliyostaarabika katika miji mikubwa ambao walianza kuzitumia. Hii ilifanyika mara zote kwa kushindana na madhehebu. Ilichukua miaka kadhaa ya mpito kwa hili kuweza hitimishwa. Mengi ya makanisa haya leo zimeanzisha kila aina ya matendo yasiyo ya kimaandiko. Nimesoma kuhusu vijana wakienda na gitaa katika madarasa ya biblia. Baadhi ya makusanyiko endelevu wanawatumia wanawake kusimamia ushirika wa meza ya Bwana. Ukianza kutoka katika ramani ya kimaandiko, hakuna njia nyingine yoyote unayoweza ili ushinde upotovu kikamilifu! Tunatumia vikombe viwili (wakati mwingine vitatu), kwa nini visiwe mia mbili? Jibu Hakika ni sawa! Kwa nini visiwe mia mbili? Hakuna kusanyiko linalotumia vikombe viwili, au zaidi kwa mamlaka ya Kristo. Aliye anzisha tendo hili, sifahamu. Lakini kitu kimoja kwa hakika, ni kwamba tendo hili halikuanzishwa na Kristo wala mitume. Hii haiwezi kutumika kama ubishi kwa ajili ya vikombe vingi, hadi mamlaka ya wawili zithibitike. Neno kikombe ni mfano. Communion Cups) 6

Jibu Wakati mwingine hii ni kweli, lakini siyo kila mara. Yesu alipo twaa kikombe, alichukua kikombe halisi; katika hili hakuwezi kuwa na shaka. Hataivyo, hii haitowi mamlka kutumia vikombe vingi. Maana kila muulapo mkate huu, na kukinywea kikombe, mwaitangaza mauti ya Bwana hata ajapo. (1 Kor. 11:26). Tuchukulie kwamba huu ni mfano, mbadala, alafu nini? Katika shauri hili chombo kinawekwa kwa kitu kilichobebwa. Chombo ni nini? kikombe. Ni nini kilichobebwa? uzao wa mzabibu. Kristo aliomba, Baba ikiwa ni mapenzi yako kikombe hiki kiniepuke. (Luka 22:42). Hapa tunaambiwa kwamba kikombe ni mfano, hakukuwa na kikombe halisi. Hiyo ni kweli. Yesu alikuwa anaongelea mfumo wa mateso uliokuwepo kwa wakati ule; ule wa kumlazimisha mteswaji kukinywea kikombe kilicho na uchafu, sumu inayouwa. Hii haisaidi katika matumizi ya vikombe vingi. Ni kilichomo ndani ya kikombe ndio kinahesabiwa, chombo hakihesabiwi. Jibu Wayahudi walikuwa na ubishi unaofanana na huu. Naye aapaye kwa hekalu, huapa kwa hilo, na kwa yeye akaye ndani yake. (Mat. 23:16 22). Kwa mukhutasari jibu la Yesu tunalo: Vipofu ninyi maana ni ipi iliyo kubwa, faharisi, au kikombe kinachotakasa faharisi? Yesu alisema, Nyweni nyote katika hiki (kikombe). Jibu Hii haitowi faraja kwa wale wanaotumia vikombe vingi, maana hii haikuwa kikombe cha Bwana, bali kikombe cha Pasaka. Hataivyo, kwa kikombe cha Bwana, tunafahamu jinsi walivyo kinywea wenyewe: wote walikinywea. (Marko 14:23). Hakuna awezaye kukinywea kikombe halisi hiyo ni, hakuna awezaye kumeza sehemu ya kikombe halisi. Jibu Tuna madhabahu ambao wale waihudumiao ile hema hawana ruhusa kula vitu vyake. (Heb. 13:10). Hapa, wengine husemwa kula vitu vya hema. Kama mtu atakula vya madhabahu kwa kula vitu vilivyotolewa katika hema, mtu anaweza kukinywea kikombe kwa kunywa kilichomo ndani yake. Hamwezi kushirikiana katika meza ya Bwana na katika meza ya mashetani. (1 Kor. 10:21). Hapa wengine husemwa kuwa wanakula meza. Kila mtu anafahamu kwamba katika kula kilichopo mezani, hitaji kamili ya lugha hii imetimizwa. Tuna ushirika wetu na Mungu, hataivyo, haileti tofauti ni vikombe vingapi tunavyotumia. Jibu Ubishi huu unafanya kusanyiko limege mkate wote pasipo sababu. Kama washiriki wengine katika kusanyiko hawatazami katika ushirika wa meza ya Bwana, kwa nini tunakutana? Mtu anaweza kuwa na ushirika na Mungu nyumbani au nje porini. Makosa haya yanasababishwa na kutokuelewa neno ushirika. Communion Cups) 7

Kuhusu neno hili, kamusi ya Vine inasema, koinonia, kuweka katika desturi (koinos), ushirikiano, ushirika, manisha kushiriki katika ukumbusho ya dhamana ya damu (kifo) cha Kristo na mwili wa Kristo, kama ilivyo kielelezo katika Meza ya Bwana, 1 Kor. 16:16, (Vine uk 115). Huwezi kuwa na ushirika wewe mwenyewe! Swali la kikombe ni swali lisilofundishika. Jibu Kwa heshima tunaeleza kwamba kikombe kimeonyeshwa hasa kila wakati chombo kinapo tajwa. Yesu alitwaa kikombe alipokuwa anaanzisha. Baadae, Paulo alipokuwa anatoa kwa kanisa alichokuwa nacho pokea kutoka kwa Bwana, anaainisha kikombe. Hii imefundishwa. kikombe cha Bwana imewekwa wazi zaidi katika maandiko kuliko siku ambayo ingenywewa. Alafu ubishi juu ya siku ya kwanza ya juma kama siku ya kukusanyika Wakristo inatosha sana. Ama ni swali ambalo halijafundishwa! Kusema kanisa linapaswa kuwa na kikombe kimoja ni kuweka sheria sehemu ambapo Mungu hakuweka. Jibu Hii ingeweza kuwa kweli kama Bwana mwenyewe asingeanzisha, kwa kutumia kikombe kimoja, na kuagiza, Fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu. (Luka 22:19). Je tunamwekea Mungu sheria tunapowaimiza watu wote wanaokuja kanisani kwenda katika maji ya ubatizo na kuzikwa pamoja na Bwana katika ubatizo? Hapana! Kwa nini? Kwa sababu Biblia inafundisha hivyo yenyewe. Sheria iliwekwa na Kristo, mwenyewe! Kwa kusisitiza hilo ndugu wanapaswa kutumia nyingi, na sio vikombe zaidi kuliko vinavyoonyeshwa katika maandiko, mtu haweki sheria kwa Mungu. Kanisa la Yerusalemu lilikuwa kubwa kiasi kwamba wote wasingeweza kukinywea kikombe kimoja. Jibu Huu ni ubishi ule ule unaofanywa na wanaochanganya kwamba kunyunyiza au kumwaga ni sahihi, kwa sababu watu elfu tatu wasingeweza kuzamishwa kwa siku moja. Lakini tunajibu kwa kuonyesha kuwa hakukuwa na sababu kwa mtu mmoja kuwabatiza wote. Hakuna sababu ya kuamini kuwa ndugu wote Yerusalemu walijaribu kumega mkate katika mkutano mmoja. Pia, tunaweza kuuliza, Ikiwa, unavyopendekeza, wote katika kanisa la Yerusalemu walikutana katika mkutano mmoja, je walitumia vikombe vingi na zaidi ya vyombo elfu tatu? Tunapaswa kukumbuka kuwa hivi havikuwepo hadi karibia miaka elfu mbili baadae! Hakuna mkate unaoweza kutengenezwa unaoweza kuwatosha zaidi ya watu elfu tatu, alafu Paulo anasema, sote ni washirika katika mkate huo mmoja. (1 Kor. 10:17). Hakika kuna mamlaka zaidi hapa kwa wingi wa mikate kama ilivyo kwa vikombe. Na kama kusanyiko linaweza kupata mamlaka ya vikombe vingi katika maandiko, hakika, kwa hali hiyo, inaweza pia kupata Communion Cups) 8

mamlaka ya kuwa na mikate mingi (wefa). Sasa kwa nini tunawapinga Roman Katholiki katika shauri hili, kama tunavyofanya? Ilikuw ni desturi ya Wayahudi kushiriki Pasaka kila wakati. Familia na mwanakondoo ndio walikuwa sehemu ya ibada. Lakini familia na mwanakondoo mara zote hawawi hivyo, kama matokeo, wakati mwingine familia walipaswa kujirudia. (angali Kutoka 12:4). Lakini sheria ilikuwa ni mwanakondoo wa nyumba. (ms3). Hakuna Myahudi ambaye angefikiri kusema, Familia yangu ni kubwa sana, nitachinja wanakondoo wawili. Mwanakondoo mmoja; mji mmoja. Kwa Wakristo kusanyiko na kikombe ni umoja wa ibada, Kama kunaweza kuwa na mabadiliko kwa sababu ya idadi, inaweza kuwa hiyo ya kusanyiko, siyo idadi ya vikombe. Nimewahi kuwa katika kusanyiko lililo na waumini kati ya mia hamsini na mia mbili na walikuwa wanahudumiwa kirahisi kwa kikombe kikubwa (kikombe). Kama kusanyiko linakuwa kubwa, tunapaswa kuruhusu kusanyiko lingine lianzishwe, na hivyo kutangaza kazi katika sehemu zingine. Kupinga vikombe vingi inasababisha mgawanyiko. Jibu Hili haliwezi kukataliwa, kama matumizi yake yanaendelea, au kama baadhi ya watu wanasisitiza katika kuanzisha vyombo vya mziki. Leo, tunawaheshimu ndugu waaminifu waliozeeka sasa waliokuwa kinyume na mkanganyiko huu na kama matokeo, waliliokoa kanisa. Leo hii, tunaendelea kukumbwa na adha ileile juu ya matumizi ya vikombe vingi. Lakini kuna sababu moja iliyobaki kwa wana wa Mungu; shikilia mfumo wa kweli wa ibada ya Mwokozi kwa gharama yoyote. Kama mgawanyiko lazima iwepo, na tayari ipo, na itakuwa, wengi watapotea kwa sababu ya ukengeufu, lakini watakaobaki wataokolewa. Lakini wote wakijikabidhi katika upotovu, Bwana atakuja na kukiondoa kiambaza chao katika sehemu yake na watapotea. Hataivyo, Bwana, hatalaumu mgawanyiko juu ya wale watakao baki waaminifu katika neno lake na ahadi. Hatuitaji kuwa na uoga juu ya hili. (Kuna ubishi mwingine mwingi unaotumiwa kutetea matumizi ya vikombe vingi, lakini hii zaidi au kidogo inawawakilisha wale wa miaka mia iliyopita. Tunawasihi ndugu zetu wanaoshiriki katika huu upotovu kutoka katika kweli kuacha hili na warudi katika ibada ya kweli kulingana na maandiko.) J D Logan Communion Cups) 9

Communion Cups) 10

Communion Cups) 11

Communion Cups) 12