MELKISEDECK LEON SHINE. katoliki.ackyshine.com

Similar documents
"ATATOKEA MARA YA PILI, pasipo dhambi, kwa hao wamtazamiao kwa wokovu." Waebrania 9:28.

MUNGU ALIUMBA ULIMWENGU 1 WETU NA VYOTE VILIVYO HAI

Ushindi ndani ya Kristo W. W. PRESCOTT

Kuiponya Picha Tuliyonayo Kuhusu Mungu

GRACE COMMUNION INTERNATIONAL KANUNI YA IMANI

Agano Lililofunikwa Kwa Damu

Information for assessors (do not distribute this page to participants):

walozaliwa, si kwa damu, wala mapenzi ya mwili, wala si kwa mapenzi ya mtu, mbali kwa Mungu. Sisi sio tena binadamu wa kawaida tu kwa sababu sisi ni w

Maisha Yaliyojaa Maombi

Theolojia Ujumla. Mike Taylor Semester Munguishi Bible College

Ndugu na dada zangu wapendwa,

Silaha Za Shetani. Ellis Forsman. Silaha Za Shetani (The Devices of Satan) 1

WAFUNAJI WA NAFSI ABC By Vagn Rasmussen Translation by Lydia Madsen

Inavyodaiwa na wanaochanganya Biblia. Ellis Forsman. Inavyodaiwa na Wanao changanya Biblia (Alleged Bible Contradictions) 1

Nia Dhidi Ya Kristo Je Unamheshimu?

Mafundisho Ya Msingi Wa Kikristo. Na Andrew Connally

Na Itafunika Wingi Wa Dhambi

Watumishi Wa Kristo. Ellis P. Forsman. Watumishi Wa Kristo (Servants Of Christ) 1

United Pentecostal Church June 2017

Kifo Na Mbingu. (Death And Heaven) Ellis P. Forsman. Kifo Na Mbingu (Death And Heaven) 1

Roho Mtakatifu Ni Nini?

Ndugu na dada zangu wapendwa,

MWONGOZO WA NAMNA YA KUHAMASISHA MAOMBI YA MCHANA NA USIKU YA SIKU 10.

Adhabu ya jino kwa jino na Musitakabali wa imani zetu

Tazama Yuaja. Kuhusu Toleo Hili. Umuhimu wa Mafundisho ya Biblia. Nguvu katika neno la Mungu.

Ndugu na dada zangu wapendwa,

Maisha Ya Mkristo Ni Nini?

MUNGU ANADHIHIRISHWA KUPITIA KWA YESU KRISTO.

FORWARD BY DANIEL SZMIOT

Kifo Na Mbingu (Death And Heaven)

Kwa Nini Yesu Alikufa Msalabani?

Aina Tatu Za Ibada. Ellis Forsman. Aina Tatu Za Ibada (Three Kinds Of worship) 1

YEHOVA-YIRE 1. 2 Baba yetu wa Mbinguni, tunakikaribia Kiti Chako cha. 3 Tunakushukuru kwa kutuzuru jana jioni. Tunaomba

Mzabibu Na Matawi. (The Vine And The Branches) Ellis P. Forsman. Mzabibu Na Matawi (The Vine And The Branches) 1

WAKOLOSAI MTAALA. B. Maoni: Tunapendekeza uwe na fafanuzi (commentary) yoyote yenye kushikilia mafundisho ya awali (conservative) katika Wakolosai.

MSAMAHA NA UPATANISHO

JE! MUNGU ANAMPA MWANAMKE HAKI YA KUTOA MIMBA IWAPO NI MHANGA WA UBAKAJI?

Patanishwa, Hesabiwa Haki, Takaswa

IBADA NA UMOJA WA KANISA Na Mchg. Dkt. Msafiri Mbilu

Kwa Kongamano Kuu 2016

Tafuteni Kwanza Ufalme Wa Mungu

IMANI NA MATENDO ELLEN G. WHITE

wasiofaa. Naomba sana kila raia afanye bidii awezavyo kumkaribia Mwenyezi Mungu vile anavyoona inafaa, lakini asipitishe hukumu juu ya wengine.

KAMA MUNGU YU PAMOJA NASI, BASI YAKO WAPI MATENDO YAKE YA AJABU?

Hati ya kuhitimu kisomo Kenya (K.C.S.E)

LALA. Terry Warford. LALA (Sleep - Terry Warford) 1

UKUFUNZI WENYE NGUVU MMOJA-KWA-MMOJA

UZAO WA NYOKA. 2 Basi, usiku huu, tuna malimbuko tu ya utukufu huo mkuu. 3 Kwa uchaji tunasimama kwa imani yetu katika Uwepo

B. Wanafunzi watapata ufahamu mkubwa wa kitabu hiki, na jinsi kinavyofundisha kuhusu kanisa.

JE, YAWEZEKANA KUISHI BILA KUTENDA DHAMBI?

KITABU CHA KUONGOZA FAMILIA

Rahisi. Mabingwa kwa ajili ya tunda la Roho Mtakatifu. Kitabu cha mwanafunzi. Rahisi

United Pentecostal Church April Kushangilia Kwa Sala

VITAMBULISHO VITA NO DHA HIRI VYA KA NISA LA KWELI LA MUNGU ALIYE HAI

NGUVU. Utangulizi. Yesu alisema,

RISALA FUPI YA KUMUWEZESHA MTU KUPAMBANUA NI IPI DINI YA HAKI MWANDISHI: SALEH M. KYAMBO

Uponyaji Wa Laana. (Kumb. 28:1-14).

Uongozi Siri Na Larry Chkoreff. Version 1.2 Desemba 2010

# 18 Uponyaji Kutokana na Kukataliwa

WEWE NI NANI? Toleo X Toleo Ukweli wa Injeli Toleo 23

PDF created with pdffactory trial version

UTARATIBU WA KANISA. 2 Jambo la kwanza ninalotaka kusema ni kwamba mchungaji. 3 Sisi tunaamini katika Kanisa la kimitume, tukifundisha

Mukhtasari Wa Mabishano Kwa Na Dhidi Ya Vikombe Vingi Vya Ushirika

GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23)

Mabingwa kwa ajili ya tunda la Roho Mtakatifu. Iliyoendelea sana. Iliyoendelea sana. Kitabu cha mwanafunzi

Kanuni. Muhimu za Kujifunza Biblia. Mchungaji Drue Freeman. Dan Hawkins & Joseph Brown. General Editors.

IM ETUPASA KUTIMIZA HA KI YOTE

maombi, kabla tu hatujalifungua Neno hili la Kiungu.

KUTAMBUA SIKU YA KO NA UJUMBE WAKE

UNIVERSITY OF CAMBRIDGE INTERNATIONAL EXAMINATIONS General Certificate of Education Ordinary Level. SWAHILI 3162/01 Paper 1 May/June 2013

Kocha Mkuu. mabingwa. itakuwa INASTAHILI. Ili Kutoa mafunzo kwa wanafunzi wako kuwa. itakuwa ya kuumiza. Itachukua muda. Itahitaji moyo wa kujitoa.

ONYO LA MWISHO KWA DUNIA

MASWALI NA MAJIBU JUU YA KITABU CHA MWANZO

BIBLICAL INSTRUCTION AND ENCOURAGEMENT FOR THE MAFUNDISHO YA BIBLIA NA HIMIZO KWA MISSION FIELD WORLDWIDE. KAZI YA KIMISHENI ULIMWENGUNI KOTE

Tumaini Kwa Afrika. Thomas Schirrmacher. Hoja 66. Dibaji na Prof. Mchungaji Dk. Thomas K. Johnson. Thomas Schirrmacher Tumaini Kwa Afrika TASCM RVB

UNABII WA BIBLIA. CBM Publishing 32 Blenheim Road, Far Cotton Northampton, England. NN4 8NW

KWA NINI SISI SI MADHEHEBU?

MAFUNDISHO YA UMISHENI

2 LILE NENO LILILONENWA

Oktoba-Desemba

H. M. Baagil, M. D. WAMY Studies on Islam

Kiumbe Kipya Katika Kristo

Ufunguo wa Kutaalamika Haraka

Ellen White, waasisi wa Kiadventista,na Sabato Lunar

usudi la Maisha Hakika katika kuumbwa mbingu na ardhi, na kupishana usiku na mchana, kuna kweli ishara kwa wenye akili, ambaye mkumbuke-

Mabingwa kwa ajili ya tunda la Roho Mtakatifu. Ngumu. Ngumu. Kitabu cha mwanafunzi

GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23)

Sura ya 7 Kielelezo: Tumepatanishwa na Mungu na Wanadamu

Rahisi. Kitabu cha mwanafunzi. Mabingwa kwa ajili ya tunda la Roho Mtakatifu. Rahisi

MUHTASARI WA SEMINA YA TAASISI YA BIBLIA NA UTUMISHI MOROGORO TAREHE 18/11/2014

UNIVERSITY OF CAMBRIDGE INTERNATIONAL EXAMINATIONS General Certificate of Education Ordinary Level

PICHA JALADANI. Naye ataona ni upuuzi usiopimika akiambiwa radio haikutengenezwa na yeyote bali ilijitengeneza:

Mwongozo wa Kanisa la Waadventista wa Sabato

Juni 3-9 Pata Manufaa Kamili kwakusomabiblia

MAHUBIRI TUNAYOWEZA KUONA

Kuzimu na Kurudi na Dr. Rawlings Documentary Video Transcript, TBN Films

KANISA NA UAMSHO Na Mchg. Dkt. Faith Lugazia

CONSTITUTION OF KENYA REVIEW COMMISSION (CKRC)

Mhashamu Askofu Jude Thaddaeus Ruwa ichi, Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania; Mwadhama Policarp Kardinali Pengo,

Pasaka Na Meza Ya Bwana Sehemu Ya 1

Transcription:

katoliki.ackyshine.com

SALA ZA ASUBUHI Kwa jina la Baba.. Ee Baba yetu Mungu mkuu,umenilinda usiku huu. Nakushukuru kwa moyo, ee Baba,Mwana na Roho. Nilinde tena siku hii,niache dhambi nikutii.naomba sana Baba wee, baraka yako nipokee. Bikira safi, Ee Maria nisipotee nisimamie. Mlinzi mkuu malaika wee kwa Mungu wetu niombee,nitake nitende mema tu na mwisho nije kwako juu.amina. NIA NJEMA Kumueshimu Mungu wangu,namtolea roho yangu. Nifanye kazi nipumzike,amri zake tu nishike. Wazo,neno,tendo lote namtolea Mungu pote Roho,Mwili chote changu. Pendo na uzima wangu. Mungu wangu nitampenda wala dhambi sitatenda. Jina lako nasifia,utakalo hutimia kwa utii navumili.

Teso na matata pia,nipe Bwana neema zako, niongeze sifa yako.amina. SALA YA MATOLEO Ee Yesu kwa mikono ya Bikira Maria,na kwa maungano na sadaka yako kuu. Ninakutolea sala,matendo,masumbuko na furaha zangu zote za leo. Ee Yesu ufalme wako utufikie.amina. BABA YETU Baba yetu uliye mbinguni,jina lako litukuzwe. Ufalme wako ufike.utakalo lifanyike duniani kama mbinguni. Utupe leo mkate wetu wa kila siku.utusamehe makosa yetu,kama tunavyo wasamehe na sisi waliyo tukosea. Usitutie katika kishawishi,lakini utuopoe maovuni.amina. SALAMU MARIA Salamu Maria,umejaa neema Bwana yu nawe,umebarikiwa kuliko wanawake wote,na Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa.

Maria mtakatifu Mama wa Mungu,utuombee sisi wakosefu sasa na saa ya kufa kwetu.amina. KANUNI YA IMANI Nasadiki kwa Mungu,Baba Mwenyezi,muumba mbingu na dunia. Na kwa Yesu Kristu Mwanaye wa pekee,bwana wetu aliyetungwa kwa Roho Mtakatifu,akazaliwa na Bikira Maria,akateswa kwa mamlaka ya ponsyo Pilato,akasulibiwa, akafa,akazikwa,akashukia kuzimu siku ya tatu akafufuka katika, akapaa mbinguni amekaa kuume kwa Mungu Baba Mwenyezi,toka huko atakuja kuwahukumu wazima na wafu. Nasadiki kwa Roho Mtakatifu,kanisa takatifu katoliki ushirika wa Watakatifu,maondoleo ya dhambi,ufufuko wa miili na uzima wa milele.amina. AMRI ZA MUNGU 1.Ndimi Bwana Mungu wako,usiabudu miungu wengine. 2.Usilitaje bure jina la Mungu wako. 3.Shika kitakatifu siku ya Mungu.

4.Waheshimu Baba na Mama upate miaka mingi na heri duniani. 5.Usiue. 6.Usizini. 7.Usiibe. 8.Usiseme uwongo. 9.Usitamani mwanamke asiye mke wako. 10.Usitamani mali ya mtu mwingine. AMRI ZA KANISA 1.Hudhuria misa takatifu domonica na sikukuu zilizo amuliwa. 2.Funga siku ya jumatano ya majivu,usile nyama siku ya Ijumaa kuuu. 3.Ungama dhambi zako walau mara moja kwa mwaka. 4.Pokea Ekarist takatifu hasa wakati wa Pasaka 5.Saidia kanisa katoliki kwa zaka. 6.Shika sheria katoliki za ndoa. SALA YA IMANI

Mungu wangu,nasadiki maneno yote linayo sadiki na kufundisha kanisa katoliki la Roma kwani ndiwe uliye fumbuliwa hayo,wala hudanganyiki na wala hudanganyi.amina. SALA YA MATUMAINI Mungu wangu,natumaini kwako nitapewa kwa njia ya Yesu Kristu,neema zako duniani na utukufu mbinguni.kwani ndiwe uliyeagana hayo nasi nawe mwamini.amina. SALA YA MAPENDO Mungu wangu,nakupenda zaidi ya chochote, kwani ndiwe mwema ndiwe mwenye kupendeza. Nampenda na jirani yangu kama nafisi yangu kwa ajiri yako.amina. SALA YA KUTUBU Mungu wangu,nimetubu sana dhambi zangu kwani ndiwe mwema,ndiwe mwenye kupendeza wachukizwa na dhambi. Basi sitaki kukosa tena nitafanya kitubio,naomba neema yako nipate kurudi.amina.

SALA KWA MALAIKA MLINZI Malaika mlinzi wangu,unilinde katika hatari zote za Roho na za Mwili.Amina. MALAIKA WA BWANA K.Malaika wa Bwana alimpasha habari Maria. W.Naye akapata mimba kwa Roho mtakatifu. Salamu Maria.. K.Ndimi mtumishi wa Bwana. W.Nitendewe ulivyo nena. Salamu Maria.. K. Neno la Mungu akatwaa Mwili. W. Akakaa kwetu. Salamu Maria. K. Utuombee Mzazi Mtakatifu wa Mungu. W. Tujaliwe ahadi za Kristu.

Tuombe Tunakuomba Ee Bwana utie neema yako mioyoni mwetu ili sisi tuliyojuwa kwa maelezo ya malaika kwamba, Kristu mwanao amejifanya mtu kwa mateso na msalaba wake. Tufikishwe kwenye utukufu wa ufufuko. Tunaomba hayo kwa njia ya Kristu Bwana wetu.amina. ATUKUZWE BABA Atukuzwe Baba na Mwana na Roho Mtakatifu,kama mwanzo na sasa na siku zote na milele.amina. K. Moyo Mtakatifu wa Yesu W.Utuhurumie. K. Moyo safi wa Bikira Maria. W. Utuombee. K. Mtakatifu Yosefu. W. Utuombee. K. Watakatifu somo wa majina yetu. W. Mtuombee.

K.Watakatifu wote wa Mungu. W.Mtuombee. Kwa jina la Baba.. MWISHO WA SALA ZA ASUBUHI SALA YA USIKU KABLA YA KULALA Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Amina. SALA YA KUSHUKURU Tunakushukuru, ee Mungu, kwa mapaji uliyotujalia leo. Amina. Baba yetu Salamu Maria SALA YA IMANI

Mungu wangu, nasadiki maneno yote. Linayosadiki na linayofundisha Kanisa Katoliki la Roma. Kwani ndiwe uliyetufumbulia hayo. Wala hudanganyiki, wala hudanganyi. Amina. SALA YA MATUMAINI Mungu wangu, natumaini kwako, nitapewa kwa njia ya Yesu Kristo. Neema zako hapa duniani, na utukufu mbinguni. Kwani ndiwe uliye agana hayo nasi, nawe mwamini. Amina. SALA YA MAPENDO Mungu wangu, nakupenda zaidi ya chochote. Kwani ndiwe mwema, ndiwe mwenye kupendeza. Nampenda na jirani yangu, kama nafsi yangu, kwa ajili yako. Amina. KUTUBU DHAMBI Tuwaze katika moyo wetu makosa ya leo tuliyomkosea Mungu kwa mawazo, kwa maneno, kwa vitendo na kwa kutotimiza wajibu. (Husubiri kidogo ).

Nakuungamia Mungu Mwenyezi, nanyi ndugu zangu, kwani nimekosa mno, kwa mawazo, kwa maneno, kwa vitendo, na kwa kutotimiza wajibu. Nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana. Ndiyo maana nakuomba Maria mwenye heri, Bikira daima, Malaika na Watakatifu wote, nanyi ndugu zangu, niombeeni kwa Bwana Mungu wetu. Mungu Mwenyezi atuhurumie, atusamehe dhambi zetu, atufikishe kwenye uzima wa milele. Amina. SALA YA KUWAOMBEA WATU Ee Mungu, nawaombea watu wa nchi hii, wapate kusikia maneno yako na kukupenda wewe Bwana Mungu wetu. SALA KWA MALAIKA MLINZI Malaika mlinzi wangu, unilinde katika hatari zote za roho na za mwili. Amina. MALAIKA WA BWANA

(kipindi kisicho cha Pasaka) Malaika wa Bwana alimpasha habari Maria. Naye akapata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu. Salamu, Maria,.. Ndimi mtumishi wa Bwana. Nitendewe ulivyonena. Salamu, Maria. Neno la Mungu akatwaa mwili. Akakaa kwetu. Salamu, Maria. Utuombee, Mzazi mtakatifu wa Mungu. Tujaliwe ahadi za Kristu. Tuombe: Tunakuomba, Ee Bwana, utie neema yako mioyoni mwetu, ili sisi tuliojua kwa maelezo ya Malaika kwamba Mwanao amejifanya Mtu kwa mateso na msalaba wake tufikishwe kwenye utukufu wa ufufuko. Tunaomba hayo kwa njia ya Kristu Bwana wetu. AMINA. AU;

MALKIA WA MBINGU (kipindi cha Pasaka) Malkia wa mbingu, furahi, aleluya. Kwani uliyestahili kumchukua, Aleluya. Amefufuka alivyosema, Aleluya. Utuombee kwa Mungu, Aleluya. Furahi shangilia, ee Bikira Maria, Alaluya. Kwani hakika Bwana amefufuka Aleluya. Tuombe Ee Mungu, uliyependa kuifurahisha dunia kwa kufufuka kwake Bwana wetu Yesu Kristu, Mwanao, fanyiza, twakuomba, kwa ajili ya Bikira Maria, tupate nasi furaha za uzima wa milele. Tunaomba hayo kwa njia ya Kristu Bwana wetu. Amina. ATUKUZWE (mara tatu) Atukuzwe Baba na Mwana na Roho Mtakatifu. Kama mwanzo na sasa na siku zote na milele. Amina.

KUJIKABIDHI Enyi Yesu, Maria na Yosefu nawatolea moyo na roho na uzima wangu! Enyi Yesu, Maria na Yosefu mnijilie saa ya kufa kwangu! Enyi Yesu, Maria na Yosefu mnijalie nife mikononi mwenu! (Rehema ya siku 300). WIMBO Kwa heri Yesu mpenzi mwema, Naenda usiudhike mno. Nakushukuru, nakupenda, Kwa hizo nyimbo za mwisho. Asubuhi nitarudi. Yesu kwa heri. Kwa heri Mama mtakatifu, Sasa napita pumzika. Asante kwa moyo na nguvu, Leo umeniombea.

Asubuhi nitarudi. Mama kwa heri. Kwa heri Yosefu mnyenyekevu, Kazi zatimilizika. Kama mchana, leo usiku, Nisimamie salama. Asubuhi nitarudi. Yosefu kwa heri. Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Amina. KUOMBA ULINZI WA USIKU Mungu wangu naenda kulala naomba malaika 14, waende nami, wawili juu, wawili chini, wawili upande wa kuume, wawili upande wa kushoto, wawili wanifunike, wawili waniamshe, wawili wanipeleke juu mbinguni. Mimi mtoto mdogo, roho yangu ni ndogo, haina nafasi kwa mtu yoyote ila kwa Yesu pekee. Amina. MWISHO WA SALA ZA JIONI

MWANDISHI: Melkisedeck Leon Shine Copyright All Rights Reserved, Ackyshine Tembelea katoliki.ackyshine.com Kupata majarida mengine