Kuwa Macho Na Mbwa Mwitu (Watch Out for Wolves)

Similar documents
Mzabibu Na Matawi. (The Vine And The Branches) Ellis P. Forsman. Mzabibu Na Matawi (The Vine And The Branches) 1

Kwa Nini Yesu Alikufa Msalabani?

Agano Lililofunikwa Kwa Damu

Silaha Za Shetani. Ellis Forsman. Silaha Za Shetani (The Devices of Satan) 1

WEWE NI NANI? Toleo X Toleo Ukweli wa Injeli Toleo 23

Watumishi Wa Kristo. Ellis P. Forsman. Watumishi Wa Kristo (Servants Of Christ) 1

"ATATOKEA MARA YA PILI, pasipo dhambi, kwa hao wamtazamiao kwa wokovu." Waebrania 9:28.

Nia Dhidi Ya Kristo Je Unamheshimu?

Maisha Ya Mkristo Ni Nini?

Theolojia Ujumla. Mike Taylor Semester Munguishi Bible College

Inavyodaiwa na wanaochanganya Biblia. Ellis Forsman. Inavyodaiwa na Wanao changanya Biblia (Alleged Bible Contradictions) 1

MUNGU ALIUMBA ULIMWENGU 1 WETU NA VYOTE VILIVYO HAI

Ushindi ndani ya Kristo W. W. PRESCOTT

JE, YAWEZEKANA KUISHI BILA KUTENDA DHAMBI?

MUNGU ANADHIHIRISHWA KUPITIA KWA YESU KRISTO.

WAKOLOSAI MTAALA. B. Maoni: Tunapendekeza uwe na fafanuzi (commentary) yoyote yenye kushikilia mafundisho ya awali (conservative) katika Wakolosai.

WAFUNAJI WA NAFSI ABC By Vagn Rasmussen Translation by Lydia Madsen

walozaliwa, si kwa damu, wala mapenzi ya mwili, wala si kwa mapenzi ya mtu, mbali kwa Mungu. Sisi sio tena binadamu wa kawaida tu kwa sababu sisi ni w

Tazama Yuaja. Kuhusu Toleo Hili. Umuhimu wa Mafundisho ya Biblia. Nguvu katika neno la Mungu.

Tumaini Kwa Afrika. Thomas Schirrmacher. Hoja 66. Dibaji na Prof. Mchungaji Dk. Thomas K. Johnson. Thomas Schirrmacher Tumaini Kwa Afrika TASCM RVB

Kuiponya Picha Tuliyonayo Kuhusu Mungu

BIBLICAL INSTRUCTION AND ENCOURAGEMENT FOR THE MAFUNDISHO YA BIBLIA NA HIMIZO KWA MISSION FIELD WORLDWIDE. KAZI YA KIMISHENI ULIMWENGUNI KOTE

Maisha Yaliyojaa Maombi

Ndugu na dada zangu wapendwa,

Ndugu na dada zangu wapendwa,

Patanishwa, Hesabiwa Haki, Takaswa

usudi la Maisha Hakika katika kuumbwa mbingu na ardhi, na kupishana usiku na mchana, kuna kweli ishara kwa wenye akili, ambaye mkumbuke-

Aina Tatu Za Ibada. Ellis Forsman. Aina Tatu Za Ibada (Three Kinds Of worship) 1

Information for assessors (do not distribute this page to participants):

Ellen White, waasisi wa Kiadventista,na Sabato Lunar

IMANI NA MATENDO ELLEN G. WHITE

Kifo Na Mbingu. (Death And Heaven) Ellis P. Forsman. Kifo Na Mbingu (Death And Heaven) 1

MSAMAHA NA UPATANISHO

Mukhtasari Wa Mabishano Kwa Na Dhidi Ya Vikombe Vingi Vya Ushirika

United Pentecostal Church June 2017

LALA. Terry Warford. LALA (Sleep - Terry Warford) 1

UTARATIBU WA KANISA. 2 Jambo la kwanza ninalotaka kusema ni kwamba mchungaji. 3 Sisi tunaamini katika Kanisa la kimitume, tukifundisha

Roho Mtakatifu Ni Nini?

UJASIRI WA YOHANA MBATIZAJI

B. Wanafunzi watapata ufahamu mkubwa wa kitabu hiki, na jinsi kinavyofundisha kuhusu kanisa.

MAHUBIRI TUNAYOWEZA KUONA

Ufunguo wa Kutaalamika Haraka

UKUFUNZI WENYE NGUVU MMOJA-KWA-MMOJA

ONYO LA MWISHO KWA DUNIA

Mafundisho Ya Msingi Wa Kikristo. Na Andrew Connally

Sura ya 7 Kielelezo: Tumepatanishwa na Mungu na Wanadamu

NGUVU. Utangulizi. Yesu alisema,

Tafuteni Kwanza Ufalme Wa Mungu

Uongozi Siri Na Larry Chkoreff. Version 1.2 Desemba 2010

Kifo Na Mbingu (Death And Heaven)

KAMA MUNGU YU PAMOJA NASI, BASI YAKO WAPI MATENDO YAKE YA AJABU?

maombi, kabla tu hatujalifungua Neno hili la Kiungu.

PDF created with pdffactory trial version

RISALA FUPI YA KUMUWEZESHA MTU KUPAMBANUA NI IPI DINI YA HAKI MWANDISHI: SALEH M. KYAMBO

United Pentecostal Church April Kushangilia Kwa Sala

GRACE COMMUNION INTERNATIONAL KANUNI YA IMANI

Na Itafunika Wingi Wa Dhambi

Juni 3-9 Pata Manufaa Kamili kwakusomabiblia

FORWARD BY DANIEL SZMIOT

KANISA NA UAMSHO Na Mchg. Dkt. Faith Lugazia

UNIVERSITY OF CAMBRIDGE INTERNATIONAL EXAMINATIONS General Certificate of Education Ordinary Level. SWAHILI 3162/01 Paper 1 May/June 2013

MAFUNDISHO YA UMISHENI

Oktoba-Desemba

UZAO WA NYOKA. 2 Basi, usiku huu, tuna malimbuko tu ya utukufu huo mkuu. 3 Kwa uchaji tunasimama kwa imani yetu katika Uwepo

Uponyaji Wa Laana. (Kumb. 28:1-14).

Ndugu na dada zangu wapendwa,

JE! MUNGU ANAMPA MWANAMKE HAKI YA KUTOA MIMBA IWAPO NI MHANGA WA UBAKAJI?

Kocha Mkuu. mabingwa. itakuwa INASTAHILI. Ili Kutoa mafunzo kwa wanafunzi wako kuwa. itakuwa ya kuumiza. Itachukua muda. Itahitaji moyo wa kujitoa.

Haja Ya Dini. Author(s): Publisher(s): Translator(s): Category: Topic Tags: Featured Category: Published on Al-Islam.org (

wasiofaa. Naomba sana kila raia afanye bidii awezavyo kumkaribia Mwenyezi Mungu vile anavyoona inafaa, lakini asipitishe hukumu juu ya wengine.

UNABII WA BIBLIA. CBM Publishing 32 Blenheim Road, Far Cotton Northampton, England. NN4 8NW

Rahisi. Mabingwa kwa ajili ya tunda la Roho Mtakatifu. Kitabu cha mwanafunzi. Rahisi

Makasisi. Waingia Uislamu

MWONGOZO WA NAMNA YA KUHAMASISHA MAOMBI YA MCHANA NA USIKU YA SIKU 10.

Kiu Cha umtafuta Mungu

MIAKA 500 YA MATENGENEZO YA KANISA NA USHUHUDA WETU Na Askofu Dr. Abednego Keshomshahara

Kiumbe Kipya Katika Kristo

Kanuni. Muhimu za Kujifunza Biblia. Mchungaji Drue Freeman. Dan Hawkins & Joseph Brown. General Editors.

VITAMBULISHO VITA NO DHA HIRI VYA KA NISA LA KWELI LA MUNGU ALIYE HAI

YEHOVA-YIRE 1. 2 Baba yetu wa Mbinguni, tunakikaribia Kiti Chako cha. 3 Tunakushukuru kwa kutuzuru jana jioni. Tunaomba

Hakimiliki na Jonathan Menn. Haki zote zimehifadhiwa TAFSIRI YA BIBLIA. Mwandishi. Jonathan M. Menn

KWA NINI SISI SI MADHEHEBU?

Hati ya kuhitimu kisomo Kenya (K.C.S.E)

Mhashamu Askofu Jude Thaddaeus Ruwa ichi, Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania; Mwadhama Policarp Kardinali Pengo,

Tora UTANGULIZI KWA TORA SOMO LA KWANZA

Adhabu ya jino kwa jino na Musitakabali wa imani zetu

KUTAMBUA SIKU YA KO NA UJUMBE WAKE

MUHTASARI WA SEMINA YA TAASISI YA BIBLIA NA UTUMISHI MOROGORO TAREHE 18/11/2014

MASWALI NA MAJIBU JUU YA KITABU CHA MWANZO

Rahisi. Kitabu cha mwanafunzi. Mabingwa kwa ajili ya tunda la Roho Mtakatifu. Rahisi

Mabingwa kwa ajili ya tunda la Roho Mtakatifu. Iliyoendelea sana. Iliyoendelea sana. Kitabu cha mwanafunzi

MELKISEDECK LEON SHINE. katoliki.ackyshine.com

Mabingwa kwa ajili ya tunda la Roho Mtakatifu. Iliyoendelea sana. Kitabu cha mwanafunzi. Iliyoendelea sana

Mabingwa kwa ajili ya tunda la Roho Mtakatifu. Ngumu. Ngumu. Kitabu cha mwanafunzi

Kufunga Milango - Uponyaji Kutokana na Athari za Giza

Iliyoendelea sana. Kitengo cha 2. Kitabu cha mwanafunzi Iliyoendelea sana

IM ETUPASA KUTIMIZA HA KI YOTE

Kwa Kongamano Kuu 2016

UNABII WA HABARI ZA BIBLIA

Usimulizi wa Riwaya ya Nyongo Mkalia Ini E. S. MOHOCHI University of Egerton, Kenya

Transcription:

Kuwa Macho Na Mbwa Mwitu (Watch Out for Wolves) Na Ellis P. Forsman Kuwa Macho Na Mbwa Mwitu (Watch Out for Wolves) 1

Kuwa Macho Na Mbwa Mwitu Na Ellis P. Forsman Oktoba 7, 2011 Kuwa Macho Na Mbwa Mwitu (Watch Out for Wolves) 2

Kuwa Macho Na Mbwa Mwitu! Math. 7:15-20 Watu wengi wanapenda kufiria kwamba unaweza kuwaamini viongozi wa kidini. Wahudumu mara nyingi uhubiri katika mimbari kuhusina na watu unaoweza kuamini. Watu kila mara wata amini kile ambacho mhubiri, kuhani, au rabi anasema kuwa ni kweli. Lakini, Yesu aliwaambia wanafunzi wake kuwa macho na manabii wa uongo. Math.7:15-20, Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa mwitu wakali. Mtawatambua kwa matunda yao. Je! Watu huchuma zabibu katika miiba, au tini katika mibaruti? Vivyo hivyo kila mti mwema huzaa matunda mazuri; na mti mwovu huzaa matunda mabaya. Mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mwovu kuzaa matunda mazuri. Kila mti usiozaa tunda zuri hukatwa ukatupwa motoni. Ndiposa kwa matunda yao mtawatambua. Wanaweza kujitokeza kama kondoo, lakini kwa ndani ni mbwa mwitu wakali,tunatakiwa tuweze kuwatambua, kujua wanachokitafuta. Je leo unawajali manabii wa uongo? Unapaswa kuwa jail! Mafundisho mengi makuu yanadai kuwa wengi wanaongozwa vibaya. Tunatakiwa tukumbushe hatari, na kujua jinsi ya kuwa weka alama mbwa mwitu ye yote ambaye anaweza kuja tulipo! Kwa maneno ya Mwokozi wetu katika Math. 7:15-20 safi katika akili zetu, napenda kuchukua nafasi hii ili kuweza kujikumbusha TUwe Macho na Mbwa Mwitu ebu nirudie kusisitiza pointi kwamba... Kutakuwa na Manabii wa Uongo Jinsi Paulo alivyo onya maranyingi... Kwa wazee wa Efeso. Matendo. 20:28-31, Jitunzeni nafsi zenu, na lile kundi lote nalo, ambalo Roho Mtakatifu amewaweka ninyi kuwa waangalizi ndani yake, mpate kulilisha kanisa lake Mungu alilolinunua na damu yake mwenyewe. Najua mimi yakuwa baada ya kuondoka kwangu, mbwa mwitu wakali wataingia kwenu, Kuwa Macho Na Mbwa Mwitu (Watch Out for Wolves) 3

wasilihurumie kundi; tena katika ninyi wenyewe watainuka watu wakisema mapotovu, wawavute hao wanafunzi wawaandamie wao. Kwa hiyo kesheni mkikumbuka ya kwamba miaka mitatu, usiku na mchana sikuacha kumwonya kila mtu kwa machozi. Ana waambia wajitunze nafsi zao, hata kati yao wenyewe kuna watu ambao wangeinuka, wakiwadanganya watu. Kwa kanisa la Korintho. 2 Wakor. 11:13-15, Maana watu kama hao ni mitume wa uongo, watendao kazi kwa hila, wanaojigeuza wawe mfano wa mitume wa Kristo. Wala si ajabu, maana shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru. Basi si neno kubwa watumishi wake nao wakijigeuza wawe mfano wa watumishi wa haki, ambao mwisho wao utakuwa sawasawa na kazi zao. Akizungumzia waalimu wa uongo waliokuwepo wakati huo, wakijitokeza kama wahudumu wa kweli, ni kama jinsi shetani alivyojitokeza kama malaika wa mwanga. Kwa mhubiri mdogo Timotheo. 1 Tim. 4:1-3, Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengi watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani; kwa unafiki wa watu wasemao uongo, wakichomwa moto dhamiri zao wenyewe; wakiwazuia watu wasioe, na kuwaamuru wajiepushe na vyakula ambavyo Mungu aliviumba vipokewe kwa shukrani na walio na imani wenye kuijua hiyo kweli. 2 Tim. 3:1-9, Lakini ufahamu neno hili, ya kuwa siku za mwisho kutakuwako nyakati za hatari. Maana watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, wenye kutukana, wasitii wazazi wao, wasio na shkrani, wasio safi, wasio wapenda wa kwao, wasioyaka kufanya suluhu, wasingiziaji, wasiojizuia, wakali, wasiopenda mema, wasaliyi, wakaidi, wenye kujivuna, wapendao anasa kuliko kupenda Mungu; wenye mfano wa utauwa, lakini wakikana nguvu zake; hao nao ujiepushe nao. Kwa maana katika hao wamo wale wajiingizao katika nyumba za watu, na kuchukua mateka wanawake wajinga wenye mizigo ya dhambi, waliochukuliwa na tama za namna nyingi; wakijifunza siku zote ila wasiweze kabisa kuufikia ujuzi wa kweli. Na kama vile Yane na Yambre walivyopingana na Musa, vivto hivyo na hawa wapingana na ile kweli ni watu walioharibika akili zao, wame kataliwa kwa mambo ya imani. Lakini hawataendelea sana; maana upumbavu wao utakuwa dhahiri kwa watu wote, kama vile na upumbavu wa hao ulivyokuwa dhahiri. Kuwa Macho Na Mbwa Mwitu (Watch Out for Wolves) 4

Onyo dhidi ya ukengeufu ambao utakuja, akielezea tabia na mbinu za hao watakao wapotosha watu. Jinsi waandishi wengine wa Agano Jipya wanavyosema. Petro, katika kuwaambia kuinuka kwa waalimu wa uongo. 2 Petr. 2:1-3, Lakini kuliondokea manabii wa uongo katika wale watu, kama vile kwenu kutakavyokuwako waalimu wa uongo, watakaoingiza kwa werevu uzushi wa kupoteza, wakimkana hata Bwana aliyewanunua, wakijiletea uharibifu usiokawia. Na wengi watafuata ufisadi wao; na kwa hao njia ya kweli itatukanwa. Na katika kutamani watajipatia faida kwenu kwa maneno yaliyotungwa; ambao hukumu yao tangu zamani haikawii, wala uvunjifu wao hausinzii. Yohana, akiwaita watu kuzijaribu roho. 1 Yohana 4:1, Wapenzi, msiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetoka kwa Mungu, kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani. Yuda, akiandika kuhusu baadhi ambao tayari wameshaingia. Yuda 1:3-4, Wapenzi nilipokuwa nikifanya bidii sana kuwaandikia habari ya wokovu ambao ni wetu sisi sote, naliona imenilazimu kuwaandikia, ili niwaonye kwamba mwishindanie imani waliokabithiwa watakatifu mara moja tu. Kwa maana kuna watu waliojiingiza kwa siri, watu walioandikiwa tanguzamani hukumu hii, makafiri, wabadilio neema ya Mungu wetu kuwa ufisadi, nao humkana yeye aliye peke yake Mola, na Bwana Yesu Kristo. Kwa maonyo mengine mengi, hili si somo la kuchukua kirahisi! Lakini tutawatambuaje mbwa mwitu wanapojitokeza kwa upole (kama kondoo)? Shukrani kwa Yesu na neno la Mungu... Tunaweza Kuwatambua Manabii wa Uongo Kwa kuona matunda ya maisha yao. Tutawafahamu kwa matunda yao. Math.7:16-20, Mtawatambua kwa matunda yao. Je! Watu huchuma zabibu katika miiba, au tini katika mibaruti? Vivyo hivyo kila mti mwema huzaa matunda mazuri; na mti mwovu huzaa matunda mabaya. Mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mwovu kuzaa matunda mazuri. Kila mti usiozaa tunda zuri hukatwa ukatupwa motoni. Ndiposa kwa matunda yao mtawatambua. Kuwa Macho Na Mbwa Mwitu (Watch Out for Wolves) 5

Kile kilichoko ndani ya mioyo yao itatoka nje, kwa maana katika moyo wa mtu hutoka mawazo mabaya. Marko 7: 21-23, Kwa maana ndani ya mioyo ya watu hutoka mawazo mabaya, uasherati, wivu, uuaji, uzinzi, tama mbaya, ukorofi, hila, ufisadi, kijicho, matukano, kiburi, upumbavu. Haya yote yaliyo maovu yatoka ndani, nayo yamtia mtu unajisi. Kwa hiyo, waalimu wa uongo na manabii wa uongo maranyingi wanakanwa... Kwa tamaa zao (ilivyo onyeshwa na mtindo wa maisha yao mabovu). Kwa ufisadi wao (ilivyo onyeshwa na uhusiano wa uzinzi) Kwa kutamani uongozi (jinsi ilivyoonyeshwa na wakuu wa dini). Nipe muda, matendo ya kweli ya manabii wa uongo itaonekana kwa matunda ya maisha yao! Kwa kuangalia matunda ya mafundisho yao; kutambua mbinu zao. Wakifanya kazi kwa siri. 2 Petr. 2:1, Lakini kuliondokea manabii wa uongo katika wale watu, kama vile kwenu kutakavyokuwako waalimu wa uongo, watakaoingia kwa werevu uzushi na kupoteza, wakimkana hata Bwana aliyewanunua, wakijiletea uharibifu usiokawia. Badala ya kuwa wazi kwa mmoja na wote. 2 Wakor. 8:20-21, Tukijiepusha na neno hili, mtu asije akatulaumu kwa habari ya karama hii tunayoitumikia; tukitangulia kufikiri yaliyo mema, si mbele za Bwana tu, ila na mbele ya wanadamu. Wakijieleza kwa tama. 2 Petr. 2:3, Na katika kutamani watajipatia faida kwenu kwa maneno yaliyotungwa; ambayo hukumu yao tangu zamani haikawii, wala uvunjifu wao hausinzii. Wanawavuta watu kwa kutumia maneno mazuri ambayo na wao wanapenda kusikia ( kama vile afya na utajiri), badala ya kuwaandaa watu kwa kile Wakristo wanaweza kutarajia. Matend. 14:23, Na walipokwisha kuwachagulia wazee katika kila kanisa, na kuomba pamoja na kufunga, wakawaweka katika mikono ya Bwana waliyemwamini. 2 Tim. 3:12, Naam, na wote wapendao kuishi maisha ya utauwa katika Kristo Yesu wataudhiwa. Kuwa Macho Na Mbwa Mwitu (Watch Out for Wolves) 6

Wakitumia maneno ya udanganyifu. 2 Tim. 3:13, Lakini watu wabaya na wadanganyaji wataendelea, na kuzidi kuwa waovu, wakidanganya na kudanganyika. 2 Petr. 2:3, Na katika kutamani watajipatia faida kwenu kwa maneno yaliyotungwa; ambayo hukumu yao tangu zamani haikawii, wala uvunjifu wao hausinzii. Wakigeuza maandiko ili kuweza kuthibitisha ujumbe wao (ni sawa na jinsi shetani alivyojaribu kumjaribu Yesu), badala ya kushikilia neno la Mungu kwa haki. 2 Tim. 2:14-16, Uwakumbushe mambo hayo, ukiwaonya machoni pa Mungu, wasiwe na mashindano ya maneno, ambayo hayana faida, bali huwaharibu wasikiao. Jitahidi kujionyesha kuwa umekubaliwa na Mungu, mtenda kazi asiye na sababu ya kutahayari, ukitumia kwa halali neno la kweli. Jiepushe na maneno yasiyo na maana, ambayo si ya dini, kwa kuwa wataendelea zaidi katika maovu. Kutambua mafundisho yao. Jinsi wanavyo pindua na kuyapotosha maandiko. Wagal. 1:8-9, Lakini ijapokuwa sisi au malaika wa mbinguni atawahubiri ninyi injili yo yote isipokuwa hiyo tuliyowahubiri na alaniwe. Kama tulivyotangulia kusema, na sasa, nasema tena, mtu awaye yote akiwahubiri ninyi injili yo yote isipokuwa hiyo mliyoipokea, na alaniwe. Injili yao inaweza kuanza vizuri, lakini wakaibadilisha. Mafundisho yao mara nyingi imewekwa katika kumwelezea mtu, na si maandiko. Jinsi wanavyofundisha kile ambacho hakika ni kinyume na maandiko. Kumbu. 13:1-4, Kukizuka katikati yako manabii, au mwotaji wa ndoto, akikutolea ishara au ajabu, ikatukia hiyo ishara au hiyo ajabu aliyokuambia akisema, na tuifuate miungu mingine usiyoijua, tuitumikie hiyo; wewe usiyasikize maneno ya nabii Yule au yule mwotwji wa ndoto, kwa kuwa BWANA, Mungu wenu, yuawajaribu, apatekujua kwamba mwampenda BWANA Mungu wenu kwa mioyo yenu yote na roho zenu zote. Tembeeni kwa kumfuata BWANA, Mungu wenu; mcheni na kushika maagizo yake na kuisikia sauti yake, nanyi mtumikieni na kushikamana naye. Kuwa Macho Na Mbwa Mwitu (Watch Out for Wolves) 7

Hata kama wakijitokeza wanakuwa tayari kufanya ishara na maajabu! Jaribio la mwisho ni jinsi wanavyofundisha ukilinganisha na neno la Mungu na lile la mitume wake. 1 Yoh. 4:1, Wapenzi, msiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani. 1 Yoh. 4:6, Sisi twatokana na Mungu. Yeye amjuaye Mungu atusikia; yeye asiyetokana na Mungu hatusikia. Katika hili twamjua Roho wa kweli, na roho ya upotevu, Hitimisho Haipaswi kuhukumu mioyo ya hao wanaodai kuwa wanazungumza kwa niaba ya Mungu. Tunahitaji tu kuwa wachunguzi wa matunda. Matunda ya maisha yao na mafundisho yao yatakuwa wazi haraka iwezekanavyo. Hivi ndivyo tunavyoweza Kuwa Macho na Mbwa Mwitu! Hakika, hii inaonyesha kwamba ujuzi wetu kwa neno la Mungu inafaa... Kujua ni nini cha kutafuta katika maisha ya nabii wa uongo. Kujua ni nini cha kusikiliza katika mafundisho ya nabii wa uongo. La sivyo, hatutakuwa na utofauti na Waisreli, ambao Mungu alisema: Hosea 4:6, Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa: kwa sababu wameikataa marifa, name pia nitawakataa, kwamba hakutakuwa na kuhani kwangu: naona mmesahau sheria ya Mungu wenu, name pia nitawasahau watoto wako. Je umeimizwa kuwatambua mbwa mwitu katika mavazi ya kondoo, kama ukimwona mmoja? Kuwa Macho Na Mbwa Mwitu (Watch Out for Wolves) 8

Kuwa Macho Na Mbwa Mwitu (Watch Out for Wolves) 9

Kuwa Macho Na Mbwa Mwitu (Watch Out for Wolves) 10

Kuwa Macho Na Mbwa Mwitu (Watch Out for Wolves) 11

Kuwa Macho Na Mbwa Mwitu (Watch Out for Wolves) 12