N09/2/ABSWA/HP1/SWA/TZ0/XX/Q

Similar documents
Swahili B Higher level Paper 1 Swahili B Niveau supérieur Épreuve 1 Swahili B Nivel superior Prueba 1

Information for assessors (do not distribute this page to participants):

Hati ya kuhitimu kisomo Kenya (K.C.S.E)

MTIHANI WA MWIGO WILAYA YA BUTERE MUMIAS-2007 Hati ya kuhitimu Elimu ya Sekondari Kenya

Hati ya Kuhitimu Elimu ya Sekondari Kenya.( K.C.S.E)

GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23)

UNIVERSITY OF CAMBRIDGE INTERNATIONAL EXAMINATIONS General Certificate of Education Ordinary Level. SWAHILI 3162/01 Paper 1 May/June 2013

KENYA NATIONAL EXAMINATION COUNCIL REVISION MOCK EXAMS 2016 TOP NATIONAL SCHOOLS

Usimulizi wa Riwaya ya Nyongo Mkalia Ini E. S. MOHOCHI University of Egerton, Kenya

JHSPH MAADILI YA KUFANYA UTAFITI WA MASUALA YA BINAADAMU MUONGOZO WA MAFUNZO YA UTAFITI

Kiswahili, utandawazi na umoja wa Afrika

MATUMIZI YA FACEBOOK KWA BIASHARA. Kwa Wanaoanza

Early Grade Reading Assessment for Kenya

Mwongozo wa Utamaduni Toleo la Kwanza

Mwongozo wa Familia wa Kujifunza

Mwongozo kwa familia zinazofanya kazi pamoja kwa maisha endelevu. Nyenzo ya Mafunzo

(Hati ya kuhitimu kisomo cha sekondari Kenya (K.C.S.E)

LUGHA YA KISWAHILI KATIKA KUFUNDISHIA NA KUJIFUNZIA ELIMU SHULE ZA SEKONDARI

Yaliyomo. Kuhusu kitabu hiki. Hautakuwa peke yako. Mfumo wa msaada ni wa manufaa sana wazazi wote wanahitaji!

MARUDIO K.C.S.E KNEC KISWAHILI KARATASI 102/2 MASWALI NA USAHIHISHO

GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23)

KISWAHILI KARATASI YA 2 LUGHA

TASFIDA KAMA MKAKATI WA UPOLE: UWIANO WA TASFIDA ZA KISWAHILI NA EKEGUSII

Human Rights Are Universal And Yet...

KUCHUNGUZA MASUALA YA KISIASA KATIKA RIWAYA ZA SHAABAN ROBERT: MFANO WA KUSADIKIKA NA KUFIKIRIKA

Haja Ya Dini. Author(s): Publisher(s): Translator(s): Category: Topic Tags: Featured Category: Published on Al-Islam.org (

KUSHUKA KWA HADHI YA LUGHA ZA JAMII NCHINI TANZANIA YOHANA P. MSANJILA University of Dar es Salaam, Tanzania

Mukhtasari Wa Mabishano Kwa Na Dhidi Ya Vikombe Vingi Vya Ushirika

UNIVERSITY OF CAMBRIDGE INTERNATIONAL EXAMINATIONS General Certificate of Education Ordinary Level

Ufundishaji wa lugha nyingine

TATHMINI YA PAMOJA SHULE ZA UPILI ZA JIMBO LA MACHAKOS.

MTIHANI WA PAMOJA WA WEZOJE

UFAHAMU NAME INDEX SCHOOLDATE UFAHAMU

Kifaa Maalum cha Kutazamia Jua: Maelekezo ya kutumia

Jifunze kusimamia pesa zako nchini Uskoti

Huduma kwa wateja kupitia barua pepe na ujumbe mfupi Fig

Utumiaji Wa Kiswahili Na Lugha Za Jamii Kijinsia Nchini Tanzania Y.P. MSANJILA University of Dar-es-Salaam, Tanzania

Kuwawezesha wasichana kwa kuboresha kujikubali na kujithamini Hivi Ndivyo Nilivyo

Hakimiliki na Jonathan Menn. Haki zote zimehifadhiwa TAFSIRI YA BIBLIA. Mwandishi. Jonathan M. Menn

Hati ya kuhitimu kisomo Kenya (K.C.S.E)

B. Wanafunzi watapata ufahamu mkubwa wa kitabu hiki, na jinsi kinavyofundisha kuhusu kanisa.

CHUO KIKUU CHA NAIROBI IDARA YA KISWAHILI MAMLAKA NA ITIKADI KATIKA NYIMBO TEULE ZA TAARAB

Mbinu za Ujenzi wa Wahusika na Usawiri wa Sifa Zao: Uhakiki wa Riwaya ya Dunia Uwanja Wa Fujo ya E. Kezilahabi

TIST (TANGA) HABARI MOTO MOTO. Kutunza miche yako. Take care of your seedlings. Take care of your trees

CGAP Smallholder Household Survey in Tanzania / Utafiti wa kaya ndogondogo Tanzania

Elimu ya Msingi inaelekea Upande Sahihi? Kufikiri na Nyerere Rakesh Rajani

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO

Vijana wanazungumza kuhusu ujinsia, maisha na uhusiano VIJANA WANAZUNGUMZA KUHUSU NGONO, MAISHA NA UHUSIANO. Training and Research Support Centre

DHANA NA MATKTIZO YA TAFSIRI:

Ufunguo wa Kutaalamika Haraka

SautiElimu. Sauti Yako Isikike

UJAGINA WA MWANAMKE KATIKA PANGO

MTIHANI WA MWIGO WILAYA YA SUBUKIA

TRANS-NZOIA COUNTY KCSE REVISION MOCK EXAMS 2015

Mazoezi yaliyofanyika wakati wa warsha kuhusu Elimu-Jumuishi kwa Vitendo. Zanzibar, 7-10 Februari 2006

MTIHANI WA MWIGO WA WILAYA YA NANDI KASKAZINI 2013

KUUNGANISHA VIZAZI KUPITIA RADIO MWONGOZO KUTOKA AFRIKA KWA WAANDAJI WA VIPINDI VYA RADIO WANAOFANYAKAZI NA WATOTO NA VIJANA

Namba ya moduli 3 Kuangalia sanaa

1. UFAHAMU: (Alama 15)

UHUSIANO WA MIKAKATI YA UFUNDISHAJI WA FASIHI YA WATOTO YA KISWAHILI NA UMILISI WA KUSOMA KATIKA SHULE ZA MSINGI, KASARANI, KAUNTI YA NAIROBI, KENYA

Upande 1.0 Bajeti yako

Tora UTANGULIZI KWA TORA SOMO LA KWANZA

MACHAGUO YA UZAZI KUFIKIRIA KUWA MZAZI

Azimio la Umoja wa Mataifa Kuhusu Watetezi wa Haki za Binadamu

Utangulizi wa ugonjwa wa shinikizo la damu

JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 1

KUMBUKIZI YA MAREHEMU MWALIMU EDWIN SEMZABA

KUCHUNGUZA UJINSIA NA MATUMIZI YA LUGHA KATIKA METHALI ZA WAKURYA

Ndugu na dada zangu wapendwa,

MKAKATI ATHARI YA MAZINGIRA NA KIJAMII YA KAZI YA PRO-ROUTES. Ombi kwa ajili ya fedha za umma wa mradi wa ziada

ATHARI ZA KIISIMU ZA LAHAJA YA KIMAKUNDUCHI KATIKAKISWAHILI SANIFU KINACHOTUMIKA SHULENI MAKUNDUCHI ZANZIBAR

SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI KITABU CHA MWANAFUNZI KIDATO CHA TANO

Pronunciation: Mä-hret Zäläke Ndal-ka-tscho Molla Mare Gebre-gzabiär 1/12

Evaluation of Contextual Teaching of Kiswahili Proverbs in Secondary Schools in Kenya

MAFUNZO YA AFYA YA UZAZI: Nyongeza ya Mtalaa Kwa vijana

MADA MATUMIZI YA TAKRIRI NA SITIARI KATIKA UTENZI WA RASI LGHULI JUSTUS MAUNDU NDUMBU C50/65902/2011 CHUO KIKUU CHA NAIROBI IDARA YA ISIMU NA LUGHA

MAKUBALIANO YA 2005 YA ULINZI NA UKUZAJI WA VIELELEZO VYA TAMADUNI ANUWAI

Kiu Cha umtafuta Mungu

TIST HABARI MOTO MOTO. Benefits of Loan Repayment. Faida za ulipaji wa mikopo U OTESHAJI W A M ITI Y A M ATUNDA

Elimu Bora, lakini... C HakiElimu Elimu bora, lakini...

UFASIHI SIMULIZI KATIKA RIWAYA ZA SHAABAN ROBERT: Mifano kutoka Adili na Nduguze na Wasifu wa Siti Binti Saad. Khatib Khamis Saleh

International Labour Office. Kazi za Ndani Zenye Madhara kwa Watoto: Kijitabu cha Maelezo Mafupi

Uponyaji Wa Laana. (Kumb. 28:1-14).

Bustani 10,000 Katika Afrika. Alberto Prina

KENYA NATIONAL EXAMINATION COUNCIL REVISION MOCK EXAMS 2016 TOP NATIONAL SCHOOLS

MITAZAMO KUHUSU KISWAHILI MIONGONI MWA WAZUNGUMZAJI WA KIJALUO: KIFANI CHA SHULE ZA MSINGI KATIKA KAUNTI YA MIGORI. OWALA JAEL AKINYI C50/75493/2012

BUNGE LA TANZANIA MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA SABA. Kikao cha Thelathini na Tisa Tarehe 1 Juni, (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A

usudi la Maisha Hakika katika kuumbwa mbingu na ardhi, na kupishana usiku na mchana, kuna kweli ishara kwa wenye akili, ambaye mkumbuke-

FANI KATIKA NYIMBO TEULE ZA ANASTACIA MUKABWA MBURU JAMES MUNGAI TASNIFU HII IMETOLEWA ILI KUTOSHELEZA BAADHI YA

Nadharia za Uhakiki kama Mchakato wa Kutaalamisha Usomaji wa Fasihi

JE, YAWEZEKANA KUISHI BILA KUTENDA DHAMBI?

RIPOTI YA WARSHA KUHUSU HABARI KWA AJILI YA UWAJIBIKAJI

NAFASI YA MUZIKI ULIOPENDWA KATIKA FASIID YA KISWAHILI PAMELA M. Y NGUGI. Inkisiri. M a kala. AAP 64 (2000): Swahili Forum VII

ATHARI ZA KIMOFOFONOLOJIA ZA KIOLUSUBA KATIKA MATUMIZI YA KISWAHILI SANIFU KAMA LUGHA YA PILI

SERA & TARATIBU YA YALE NEW HAVEN HEALTH

MAKALA: USHAIRI WA KISWAHILI KATIKA NJIA PANDA: KUTUMIA AU KUTOTUMIA METHALI

Kocha Mkuu. mabingwa. itakuwa INASTAHILI. Ili Kutoa mafunzo kwa wanafunzi wako kuwa. itakuwa ya kuumiza. Itachukua muda. Itahitaji moyo wa kujitoa.

V\ FANI KATIKA USHAIRI WA HASSAN MWALIMU MBEGA: UHAKIKI WA UPISHO WA UMALENGA NA DAFINA YA UMALENGA DONALD OMWOYO OSIEMO

HALIYA VITABUVYA WATOTOKATIKA TANZANIA

Wewe Maisha Yako Ndoto Zako. Kitabu cha Vijana Balehe

Transcription:

N09/2/ABSWA/HP1/SWA/TZ0/XX/Q 88092387 SWAHILI B HIGHER LEVEL PAPER 1 SOUAHÉLI B NIVEAU SUPÉRIEUR ÉPREUVE 1 SUAHILI B NIVEL SUPERIOR PRUEBA 1 Tuesday 3 November 2009 (morning) Mardi 3 novembre 2009 (matin) Martes 3 de noviembre de 2009 (mañana) 1 h 30 m Candidate session number Numéro de session du candidat Número de convocatoria del alumno 0 0 QUESTION AND ANSWER BOOKLET INSTRUCTIONS TO CANDIDATES Write your session number in the boxes above. Do not open this booklet until instructed to do so. This booklet contains all the Paper 1 questions. Refer to the Text Booklet which accompanies this booklet. Section A: answer all the questions in the spaces provided. Each question is allocated [1 mark] unless otherwise stated. Section B: write your answer to the task in the space provided. The task is worth [20 marks]. LIVRET DE QUESTIONS ET RÉPONSES INSTRUCTIONS DESTINÉES AUX CANDIDATS Écrivez votre numéro de session dans la case ci-dessus. N ouvrez pas ce livret avant d y être autorisé(e). Ce livret contient toutes les questions de l Épreuve 1. Référez-vous au livret de textes qui accompagne ce livret. Section A : répondez à toutes les questions dans l espace réservé à cet effet. Sauf indication contraire, chaque question vaut [1 point]. Section B : écrivez votre réponse dans l espace réservé à cet effet. Cette tâche vaut [20 points]. CUADERNO DE PREGUNTAS Y RESPUESTAS INSTRUCCIONES PARA LOS ALUMNOS Escriba su número de convocatoria en las casillas de arriba. No abra este cuaderno hasta que se lo autoricen. Este cuaderno contiene todas las preguntas de la Prueba 1. Refiérase al cuaderno de textos que acompaña a este cuaderno. Sección A: responda a todas las preguntas en los espacios provistos. Cada pregunta tiene un valor de [1 punto] salvo que se indique algo distinto. Sección B: escriba su respuesta a la tarea en el espacio provisto. La tarea tiene un valor de [20 puntos]. 9 pages/páginas 0109 International Baccalaureate Organization 2009

2 N09/2/ABSWA/HP1/SWA/TZ0/XX/Q SEHEMU YA A KIFUNGU A MAWASILIANO KWA VITENDO KATIKA AFRIKA YA MASHARIKI Soma kifungu cha A na ujibu maswali yafuatayo. 1. Katika mstari wa 1 hadi wa 6 kwa nini kitendo cha kushikana mikono si sahihi katika baadhi ya jamii nyingine? 2. Kulingana na mstari wa 7 hadi wa 19 ni kwa nini watoto katika jamii za Afrika ya Mashariki wanapowaamkua watu wazima wanastahili kuambatanisha vitendo mwafaka? 3. Kulingana na mstari wa 7 hadi wa 21 taja matendo mawili ambayo mtoto katika jamii nyingi za Afrika ya Mashariki haruhusiwi kuyatenda anapozungumza na mtu mzima. [Alama 2] (a)............................................................................ (b)............................................................................ 4. Kulingana na mstari wa 22 hadi wa 29 taja tendo moja la mawasiliano ambalo hutumiwa zaidi na vijana kuliko watu wazima. 5. Kulingana na mstari wa 22 hadi wa 29 ili kitendo cha kuweka kidole cha shahada kwenye mdomo kifaulu anayekitumia anastahili kufanya nini? 6. Kutokana na mstari wa 30 hadi wa 38, hapa kuna sentensi mbili zinazosema kweli, kuhusu matumizi ya kidole shahada katika mazungumzo kati ya hizi zifuatazo. Chagua sentensi hizo na uandike herufi yake katika kisanduku pembeni. [Alama 2] A. Katika jamii za Afrika ya Mashariki ni sahihi kumwita mtu kwa kidole cha shahada mradi umekielekeza juu. B. Kidole cha shahada kinaweza kutumiwa kuwaonya watu. C. Kidole cha shahada kinaweza kutumiwa kupinga ushahidi wa jambo fulani. D. Kidole cha shahada kinaweza kutumiwa kueleza ushahidi fulani. 0209

3 N09/2/ABSWA/HP1/SWA/TZ0/XX/Q Kutoka kwa maelezo yaliyomo katika mstari wa 39 hadi wa 45 chagua jibu mwafaka kutoka kwa majibu uliyopewa hapo chini. Andika herufi kwenye kisanduku ulichopewa. 7. Ili kuweza kuvitumia baadhi ya vitendo vizuri katika mawasiliano katika baadhi ya jamii ya Afrika Mashariki ni muhimu A. kuelewa utamaduni na maana yake. B. kuzoea kuvitumia. C. kuwafahamu watu unaozungumza nao. D. kumtazama yule anayevitumia vitendo hivyo. 8. Ili mtu wa nje ya jamii za Afrika ya Mashariki aweze kuelewa vitendo vya jamii zake ni lazima A. aishi katika jamii ya hizi. B. aelewe maana na matumizi ya vitendo hivyo. C. avitumie vitendo hivyo kila mara. D. awe na vitendo sawa na vya watu wa jamii hizi. Linganisha kila mojawapo wa maneno yafuatayo kutoka kwenye kifungu na neno mwafaka kushoto linalokaribiana maana nalo. Umefanyiwa sentensi moja kama mfano. Zingatia: kuna majibu zaidi kuliko yale unayoyahitaji. Mfano: Licha (mstari 39) 9. Misingi (mstari 40) 10. Maksudi (mstari 43) 11. Budi (mstari 44) 12. Matumizi (mstari 45) I A. Utaratibu B. Hiari C. Majukumu D. Namna E. Lazima F. Nia G. Takiwa H. Shina I. Bali 0309 Turn over / Tournez la page / Véase al dorso

4 N09/2/ABSWA/HP1/SWA/TZ0/XX/Q KIFUNGU B FASIHI YA KISWAHILI KATIKA AFRIKA YA MASHARIKI Kauli zilizopo hapa chini ni kweli (K) au si kweli (S) kulingana na kifungu. Chagua jibu mwafaka. Kama ni kweli andika K kama si kweli andika S kwenye kisanduku pembeni mwa kila sentensi. Thibitisha jibu lako kwa kunukuu sehemu mwafaka kutoka kwa kifungu. Majibu yote mawili yanatakikana kwa alama moja. Ya kwanza imetolewa kama mfano. Mfano: Tamthilia ni tawi la fasihi. K Ni Kweli Si Kweli Thibitisho:....... Ni fani mojawapo ya fasihi......................................... 13. Tamthilia ina kazi sawa na riwaya na mashairi. 14. Kazi za Penina Mlama zinaangazia maswala ya jumla ya kijamii na ukombozi wa mwanawake. 15. Kazi za Ebrahim Hussein zinapendwa kwa sababu zinazungumzia maswala ya kijamii na kisanaa. 16. Riwaya ya Mzimu wa Watu wa Kale ni baadhi ya kazi za Ebrahim Hussein zilizoandikwa kwa utaalam mwingi. 17. Muhammed Said Abdulla ni miongoni mwa waandishi ambao wameandika riwaya nyingi za Kiswahili. 18. Shaaban Robert ni kati ya waandishi wa zamani ambaye sifa zake zimeenea. 0409

5 N09/2/ABSWA/HP1/SWA/TZ0/XX/Q Jibu maswali yafuatayo. 19. Kwa nini mwandishi anadai kuwa Shaaban Robert amechangia pakubwa kwenye Fasihi ya Kiswahili? 20. Kwa nini kazi za Euphrase Kezilahabi zinapendwa mno na wasomi wa vyuo vikuu? 21. Ni kitu gani kinachomtofautisha mwandishi Ken Walibora na waandishi wengine? 22. Kulingana na mstari wa 39 mwandishi anamaanisha nini anaposema mwandishi chipukizi? Kutoka kwa maelezo yaliyomo katika mstari wa 34 hadi wa 44 chagua jibu mwafaka kutoka kwa majibu uliyopewa hapo chini. Andika herufi kwenye kisanduku ulichopewa. 23. Mwandishi Ken Walibora ana uwezo wa kukuza fasihi ya Kiswahili kwa sababu A. kazi zake zinashughulikia maswala ya watu wazima. B. ameandika kazi nyingi kwa muda mfupi ambazo zinapendwa na watu. C. yeye ni mwandishi chipukizi. D. yeye ni mwandishi mashuhuri katika Afrika Mashariki. 24. Maneno ya mwandishi wametia fora (mstari wa 38) yanamaanisha A. wamependwa. B. wamejulikana. C. wameonekana. D. wamekuwepo. 25. Maneno ya mwandishi siku za usoni (mstari wa 43) yanamaanisha A. siku za baadaye. B. siku za sasa. C. siku zilizopita. D. siku za zamani. 0509 Turn over / Tournez la page / Véase al dorso

6 N09/2/ABSWA/HP1/SWA/TZ0/XX/Q KIFUNGU C NDOTO YA AMERIKA Sentensi zifuatazo ni muhtasari wa kifungu cha riwaya ulichokisoma. Kila sentensi moja inafupisha aya. Chagua sentensi inayotoa muhtasari wa aya iliyopeanwa na uandike herufi yake katika nafasi iliyoachwa wazi. Umefanyiwa aya moja kama mfano. Zingatia: kuna majibu zaidi kuliko yale unayoyahitaji. Mfano: Mstari wa 1 hadi 4 26. Mstari wa 5 hadi 8 27. Mstari wa 9 hadi 13 28. Mstari wa 14 hadi 18 29. Mstari wa 19 hadi 22 D A. Kutopenda shule kwa Madoa B. Ujinga wa Madoa C. Chuki ya Madoa kwa familia yake D. Familia ya Isa E. Tabia mbaya za Madoa F. Familia ya Madoa G. Shughuli za kilimo katika familia ya Isa H. Umuhimu wa kuota ndoto ya Amerika I. Mpango wa kwenda Marekani Soma kifungu cha C na ujibu maswali yafuatayo. 30. Kulingana mstari wa 19 hadi wa 22 mtu hufanya nini baada ya kuota ndoto ya Amerika? 31. Kulingana mstari wa 23 hadi wa 35 kwa nini Isa alilia na kuwa na huzuni? 32. Kulingana mstari wa 30 hadi wa 35 ni kwa nini Madoa hutoroka nyumbani kwao? 33. Kulingana mstari wa 36 hadi wa 41 ni tukio gani linaloonyesha Madoa hakuwa mwerevu shuleni? 0609

7 N09/2/ABSWA/HP1/SWA/TZ0/XX/Q Linganisha kila mojawapo wa maneno yafuatayo kutoka kwenye kifungu na neno mwafaka kushoto linalokaribiana maana nalo. Umefanyiwa sentensi moja kama mfano. Zingatia: kuna majibu zaidi kuliko yale unayoyahitaji. Mfano: Humcharaza (mstari 34) 34. Jawabu (mstari 41) 35. Kasi (mstari 45) 36. Vinabubujika (mstari 48) B A. Fikira B. Humpiga C. Shughuli D. Toka E. Haraka F. Jibu G. Mwangika 37. Kutokana na habari uliyoisoma, hapa kuna sentensi mbili zinazosema kweli, kati ya hizi zifuatazo. Chagua sentensi hizo na uandike herufi yake katika kisanduku pembeni. [Alama 2] A. Madoa alikasirika na Isa kwa sababu yeye alijua mambo mengi kumliko. B. Vyakula vilijipika vyenyewe na sahani zilijiosha zenyewe Marekani. C. Kila mara Isa alikumbuka vitu vingi alivyoota kuhusu Marekani. D. Ndoto ya Isa kuhusu Marekani haikuwa ya kweli. 0709 Turn over / Tournez la page / Véase al dorso

8 N09/2/ABSWA/HP1/SWA/TZ0/XX/Q SEHEMU YA B KIFUNGU D ATHARI ZA TEKNOLOJIA YA MAWASILIANO KATIKA JAMII ZA AFRIKA YA MASHARIKI Kamilisha swali lifuatalo kulingana na habari uliyopewa katika kifungu D. Andika angalau maneno 100. Usinukuu sehemu kubwa za kifungu. Hivi karibuni kumekuwa na malalamiko katika jamii yako kuhusu athari mbaya ambazo televisheni, simu za mkononi na tarakilishi huleta na jinsi vyombo hivi vinavyotishia maadili ya kijamii. Wewe ukiwa mwanachama wa kamati inayoandaa kampeni za kuwaelimisha vijana kuhusu hatari za vyombo hivi, umeombwa kuandika barua kwa mhariri wa mojawapo wa magazeti nchini mwako kueleza hatari hizi. Andika barua yako. 0809

9 N09/2/ABSWA/HP1/SWA/TZ0/XX/Q 0909