GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23)

Similar documents
GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23)

In the matter of an Application by the KIGOMA URBAN WATER SUPPLY AND SEWERAGE AUTHORITY (KUWASA) For a Tariff and Charges Adjustment

In the matter of Application by the TANGA URBAN WATER SUPPLY AND SEWERAGE AUTHORITY (TANGA UWASA) For a Multi-Year Tariff Adjustment

ORDER NO BACKGROUND

HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA MHESHIMIWA DKT

Information for assessors (do not distribute this page to participants):

MAKUBALIANO YA 2005 YA ULINZI NA UKUZAJI WA VIELELEZO VYA TAMADUNI ANUWAI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA NISHATI NA MADINI

MWONGOZO WA UTUNGAJI WA SHERIA NDOGO NA USHIRIKI WA WANANCHI

Huduma kwa wateja kupitia barua pepe na ujumbe mfupi Fig

EWURA scoops the highest rank in Africa s regulatory dispensation

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA FEDHA

RIPOTI YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI

Lesson 11 Weather and Seasons Hewa Majira

Taarifa Kuhusu Hali ya Uchumi wa Tanzania

HALMASHAURI YA WILAYA YA TUNDURU MUHTASARI WA MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI ULIOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA KLASTA YA MLINGOTI TUNDURU TAREHE 27/07/2017

4. Kanuni za Petroli (Ushiriki wa Watanzania) za mwaka 2017 zilianza kutumika rasmi tarehe 5 Novermba Shughuli za Petroli za kwanza ni

Misamaha ya kodi Tanzania: Je, ni mikubwa sana na kutufanya tuwe tegemezi kwa misaada?

MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI KWA MWAKA 2017/18

Songa kwenye kilele cha upeo. Masuala ya Msingi na Ujuzi juu ya Uendeshaji wa Serikali za Mitaa

Kubadili Sheria Za Mbegu Na Ulinzi Wa Aina Za Mbegu Na Mimea Nchini Tanzania

JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 1

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

TANZANIA MARKETS PAN Sera zinazoboresha masoko

Govt increases vetting threshold of contracts

ATHARI ZA MABADILIKO YA TABIANCHI KWA UCHUMI WA ZANZIBAR

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO

Azimio la Umoja wa Mataifa Kuhusu Watetezi wa Haki za Binadamu

Mwongozo wa Kutathimini mifumo ya Ugawanaji wa faida na Mapato Katika Miradi ya Jamii ya MKUHUMI

KIMAZINGIRA NA KIJAMII NA MPANGO WA UDHIBITI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA. Ifahamu Sekta ya Viwanda Vidogo na Biashara Ndogo. TOLEO Na.

RIPOTI YA WARSHA KUHUSU HABARI KWA AJILI YA UWAJIBIKAJI

Newsletter. RC Arusha: I assure you my full support for Zone office. Motto: Fair Regulation for Positive IMPACT NOT FOR SALE SEPTEMBER 2017

HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, MHESHIMIWA DKT. PHILIP I. MPANGO (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA SERIKALI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO

Deputy Minister for Finance

Kuuelewa Mchakato wa Bajeti Tanzania Mwongozo wa Asasi za Kiraia

NGUZO KUMI ZA KILIMO KWANZA

TIST HABARI MOTO MOTO

MKAKATI ATHARI YA MAZINGIRA NA KIJAMII YA KAZI YA PRO-ROUTES. Ombi kwa ajili ya fedha za umma wa mradi wa ziada

DIRA DHIMA. Kuendeleza, kuwezesha, kudhibiti na kusimamia matumizi endelevu ya Rasilimali za Nishati na Madini kwa manufaa ya Watanzania.

Je! imezingatia maslahi ya mkulima mdogo?

TAARIFA YA MWAKA YA UTENDAJI KAZI IDARA YA UTAWALA BORA 2013/2014

TANZANIA TAARIFA YA MWISHO WA UTEKELEZAJI

UNACHOHITAJI KUJUA KUHUSU VIKWAZO VYA KULINDA MAISHA KATIKA USAIDIZI WA KIMATAIFA WA AFYA KWA MSAADA WA KIMATAIFA UNAOFADHILIWA NA MAREKANI

TIST (TANGA) HABARI MOTO MOTO. Kutunza miche yako. Take care of your seedlings. Take care of your trees

Sera ya Faragha. Upeo. Aina za Data na Mbinu za Ukusanyaji

The Government is committed to improve marine transport and has a number

MAPENDEKEZO YA MTANDAO WA WANAWAKE NA KATIBA TANZANIA

KAMATI ZA KUDHIBITI UKIMWI NCHINI TANZANIA

TAARIFA FUPI KUHUSU SERA YA TAIFA YA ELIMU

Kutetea Haki za Binadamu

KIJARIDA JUU YA HAKI ZA RAIA KATIKA MFUMO JINAI

UFUATILIAJI WA MIRADI NA TATHMINI

Mheshimiwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame M. Mbarawa (Mb.); Waheshimiwa Mawaziri na Wabunge wote mliohudhuria;

Mradi wa Usimamizi Endelevu wa Rasilimali ya Madini Ukanda

TANZANIA OSAKA ALUMNI. Kitabu cha Mbinu Bora

Mwongozo wa Utekelezaji wa Njia za S5-UUE (KAIZEN)-UUU Tanzania

5. Mheshimiwa Spika, Bunge lako Tukufu lilijadili kwa kina Miswada ifuatayo:

Miradi na jamii. 3.1 Utangulizi

MALENGO YA MAENDELEO ENDELEVU

SERA & TARATIBU YA YALE NEW HAVEN HEALTH

HAKI NA TARATIBU ZA AJIRA, KAZI NA HIFADHI YA JAMII

Mheshimiwa Spika, Mheshimiwa Spika,

HISTORIA, MAENDELEO NA MABADILIKO YA KATIBA TANZANIA TANGU UHURU HADI MIAKA HAMSINI YA UHURU 9 DESEMBA 2011.

TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA SERIKALI KUTOKA KWENYE SEKTA MBALI MBALI ILIYOWASILISHWA KWENYE KIKAO CHA KAMATI YA USHAURI MKOA (RCC) TAREHE

Azimio lililopitishwa na Mkutano Mkuu tarehe 18 Desemba 2013 [juu ya taarifa ya Kamati ya Tatu (A/68/456/Add.2)]

UTANGULIZI. 1. Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako. 2. Mheshimiwa Spika, awali ya yote nitumie fursa hii kuungana na

Bustani 10,000 Katika Afrika. Alberto Prina

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO

RIPOTI YA KAMATI TEULE YA KUCHUNGUZA UPOTEVU WA NYARAKA ULIOTOKEA KATIKA TAASISI YA NYARAKA NA KUMBUKUMBU ZA TAIFA ZANZIBAR.

KUHUSU AFRODAD. Dira ya AFRODAD. Dhamira ya AFRODAD. AFRODAD inalenga mchakato sawa na endelevu wa maendeleo kuelekea Afrika yenye mafanikio.

HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA BENJAMIN WILLIAM MKAPA,KWA WANANCHI, 30 SEPTEMBA, 2001

Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi (MMEM) Muhtasari Rakesh Rajani na George Omondi

BUNGE LA TANZANIA MKUTANO WA NANE. Kikao cha Ishirini na Nane Tarehe 16 Julai, (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A

Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA ISHIRINI KIKAO CHA KUMI NA MBILI TAREHE 22 JUNI, 2005

28 JUNI, 2018 MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA KUMI NA MOJA. Kikao cha Hamsini na Tisa Tarehe 28 Juni, (Mkutano Ulianza Saa 3.

Dibaji ya Mwenyekiti wa Kamati ya Pamoja ya Uongozi

TANGA CEMENT PLC ANNUAL REPORT TAARIFA YA MWAKA.

Utumiaji Wa Kiswahili Na Lugha Za Jamii Kijinsia Nchini Tanzania Y.P. MSANJILA University of Dar-es-Salaam, Tanzania

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA ELIMU SAYANSI TEKNOLOJIA NA UFUNDI MTAALA WA ELIMUMSINGI DARASA LA I NA LA II

Muhtasari wa taarifa ya warsha ya wataalamu juu ya mfumo wa habari kwa njia ya ramani (PGIS), Morogoro, Juni 30 - Julai 1, 2014

Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document)

Ripoti Fupi ya Nchi kuhusu Kazi Zenye Staha TANZANIA (bara)

UNIVERSITY OF CAMBRIDGE INTERNATIONAL EXAMINATIONS General Certificate of Education Ordinary Level. SWAHILI 3162/01 Paper 1 May/June 2013

3. Mheshimiwa Spika, 4. Mheshimiwa Spika,

Mwongozo kwa Lugha Rahisi wa Sera ya Maendeleo ya Ushirika na Sheria ya Vyama vya Ushirika Tanzania Bara

Hati ya kuhitimu kisomo Kenya (K.C.S.E)

Toleo No. 137 Limesambazwa kwa Taasisi na Idara zote MEM Septemba 16-22, 2016 TETEMEKO. Wabunge WAKALA WA JIOLOJIA TANZANIA

HOTUBA YA WAZIRI WA KILIMO MHESHIMIWA MHANDISI DKT. CHARLES JOHN TIZEBA (MB) KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA YA WIZARA YA KILIMO KWA

USIMAMIZI MKUU WA UBORA WA MAHURUJI

LUGHA YA KISWAHILI KATIKA KUFUNDISHIA NA KUJIFUNZIA ELIMU SHULE ZA SEKONDARI

Ripoti ya Mwaka ya Utekelezaji wa MKUKUTA 2006/07

Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA KUMI NA SITA

Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA NNE. Kikao cha Nane Tarehe 23 Juni, 2006

Statement of indicative wholesale water charges and charges scheme

JAMHURI YA KENYA. Mkakati wa Ushirikiano MUKHTASARI FY Public Disclosure Authorized. Public Disclosure Authorized

Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA KUMI NA TISA. Kikao cha Pili - Tarehe 14 Aprili, 2010

TAMKO LA JUKWAA LA HAKI ZA WATOTO (TCRF) KUHUSU HAKI ZA WATOTO KATIKA KATIBA MPYA

MAADHIMISHO YA MIAKA 15 YA FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY

HOTUBA YA WAZIRI WA KILIMO MIFUGO NA UVUVI MHESHIMIWA, ENG. DKT. CHARLES JOHN TIZEBA (MB.) KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA YA WIZARA

Transcription:

GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER (Made under Section 23) THE ELECTRICITY (STANDARDIZED SMALL POWER PROJECTS TARIFF) ORDER, 2015 Citation 1. This Order may be cited as the Electricity (Standardized Small Power Projects Tariff) Order, 2015. Commencement 2. This Order shall take effect from 1 st April, 2015. Background 3. The Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) adopted a standardized mechanism for development of Small Power Projects (SPP) in Tanzania in 2008 under which Standardized Power Purchase Agreement (SPPA) for main grid and mini-grid were approved. Furthermore, the Standardized Tariff Methodology (STM) based on avoided cost of TANESCO for main grid and mini grid were also approved. The mechanism provides for annual adjustment of applicable tariff of power sold by SPPs, based on approved methodology. 4. The Working Group on Small Power Development (WGSPD), currently hosted by the Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA), meets annually; and based on latest available information computes the applicable tariff for the particular year based on TANESCO s avoided thermal generation cost. The WGSPD submits the computed tariff to EWURA for approval. The WGSPD, which met on 27 th January 2015, deliberated on the matter and submitted the proposed avoided cost tariffs for 2015 to EWURA for its approval. EWURA scrutinised the proposed tariffs for their reasonableness and prudence. 5. Following a review of the 2008 SPP program, a Second Generation SPP program has been proposed. Furthermore a Standardised Tariff Methodology has been proposed for hydro and biomass power generation projects with a capacity not exceeding 10MW. It has been proposed that tariffs for solar and wind generation projects be determined based on a 1

competitive bidding process. Stakeholders Consultation Cap 414 6. Consistent with Section 19(2)(b) of the Energy and Water Utilities Regulatory Authority Act, EWURA conducted inquiries to collect views from stakeholders on the proposed Second Generation SPP Framework. The inquiries were conducted in February, May and December 2014. In addition, between 13 th and 27 th February 2015, EWURA conducted inquiries to collect views from stakeholders on the proposed 2015 avoided cost tariffs. Consequently, EWURA is satisfied that, at the closure of the inquiry process, it has gathered adequate information to support its recommendations to the Board. Decision 7. EWURA Board of Directors, having met on 12 th February 2015 to consider the matter decided that: (a) All SPPs will operate based on the 2 nd Generation SPP Framework with the exception of those SPPs that will continue to use the 2008 avoided cost tariff setting methodology as stipulated in Rule xx of the Electricity (Development of Small Power Projects) Rules 2015; i. The Standardized Small Power Purchase Tariff for hydro and biomass projects, of not more than 10MW, connecting to the Main Grid and Isolated Mini-Grid is as shown in the First Schedule; ii. iii. The Standardized Small Power Purchase Tariff shown in the First Schedule will be adjusted annually based on the United States Producer Price Index; Tariffs for solar and wind projects, of not more than 10MW, connecting to the Main Grid and Isolated Mini-Grid will be determined through a competitive bidding process; and (b) The Standardised Small Power Purchase Tariff, effective 1 st April 2015, for SPPs that will continue to use 2008 avoided cost tariff setting methodology will be as shown in the Second and Third Schedule; Revocation 8. This Order revokes the Electricity (Standardized Small Power Projects Tariff for Year 2014), Order Number 014-025. 2

FIRST SCHEDULE Standardized Small Power Projects Tariff Minihydro Power Plant Biomass Power Plant Size Tariff (US$/kWh) Size Tariff (US$/kWh) 100kW 0.155 150kW 0.146 200kW 0.179 200kW 0.141 300kW 0.169 250kW 0.140 400kW 0.161 500kW 0.134 500kW 0.157 750kW 0.129 750kW 0.149 1MW 0.123 1MW 0.147 2MW 0.115 2MW 0.138 3MW 0.108 3MW 0.128 4MW 0.102 4MW 0.126 5MW 0.098 5MW 0.123 6MW 0.095 6MW 0.120 7MW 0.091 7MW 0.118 8MW 0.088 8MW 0.115 9MW 0.087 9MW 0.114 10MW 0.085 10MW 0.112 SECOND SCHEDULE Main Grid Connection using Avoided Cost Tariff Description Standardized Small Power Purchase Tariff Seasonally adjusted Standardized SPPT Payable in 2014 Tariff 2015 Approved Tariff Percentage Change 197.31 190.94-3.23% Dry season 236.78 229.13-3.23% Wet season 177.58 171.85-3.23% 3

Description THIRD SCHEDULE Mini Grid Connection using Avoided Cost Tariff 2014 Tariff 2015 Approved Tariff Percentage Change Standardized SPP Tariff 482.64 493.97 2.35%..., 2015....... Felix Ngamlagosi Director General 4

TANGAZO LA SERIKALI Na.... LA TAREHE SHERIA YA UMEME (NA. 131) AGIZO (Imetolewa chini ya Kifungu Na. 23) AGIZO LA UMEME (BEI ZA MIRADI MIDOGO YA UMEME), 2015 Kichwa cha Agizo Kuanza Kutumika Utangulizi 1. Agizo hili litajulikana kama, Agizo la Umeme (Bei za Miradi Midogo ya Umeme), 2015 2. Agizo hili litaanza kutumika tarehe 1 Aprili 2015. 3. Mwaka 2008, Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) iliridhia mfumo wa kuendeleza miradi midogo ya umeme kwa kuidhinisha Mikataba Mahsusi ya Ununuzi wa Umeme ( Standardised Power Purchase Agreement ) kwa miradi itakayounganishwa katika Gridi ya Taifa na Gridi Ndogo, pamoja na Kanuni ya Kukokotoa Bei ya Umeme kwa miradi hiyo. Mfumo huo huwezesha kila mwaka kukokotoa bei ya umeme utakaouzwa na wawekezaji wa miradi midogo, inayounganishwa katika Gridi ya Taifa na Gridi Ndogo. 4. Kikosi Kazi cha Uendelezaji wa Miradi Midogo ya Umeme ambacho huratibiwa na EWURA hukutana kila mwaka na kukokotoa bei itakayotumika kwa mwaka husika na kuwasilisha EWURA ili iidhinishwe. Kikosi Kazi kilikutana tarehe 27 January 2015 na kupendekeza kwa EWURA bei ya umeme kwa mwaka 2015. Bei hizo za kuuza umeme zilizopendekezwa zilihakikiwa na EWURA. 5. Kufuatia mapitio ya mfumo wa kuendeleza miradi midogo ya umeme, mfumo mpya wa kuendeleza miradi midogo ya umeme umependekezwa. Imependekezwa kuwe na kanuni ya kukokotoa bei za umeme kutoka kwenye miradi midogo ya kufua umeme kwa kutumia maji, taka za miji na mabaki yatokanayo na kilimo. Pia, imependekezwa kuwa bei za umeme kutoka kwenye miradi midogo ya kufua umeme kwa kutumia jua na upepo ipatikane kutokana na mfumo wa ushindani. Ushirikishwaji wa Wadau Sura ya 414 6. Kulingana na Kifungu Na. 19(2)(b) cha Sheria ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji, kutoka tarehe 13 27 Februari 2015 EWURA ilitoa tangazo kwa umma kupitia vyombo mbalimbali vya habari ili kupata maoni ya wadau kuhusu mapendekezo ya 5

bei mpya ya mwaka 2015 yaliyotolewa na Kikosi Kazi cha Uendelezaji wa Miradi Midogo ya Umeme. Pia, EWURA ilifanya taftishi na kukusanya maoni ya wadau kuhusu pendekezo la mfumo mpya wa kuendeleza miradi midogo ya umeme. Taftishi zilifanyika mwezi Februari, Mei na Disemba 2014. Baada ya kukamilika kwa kipindi cha taftishi, EWURA imekusanya na kutathmini maoni ya wadau na imejiridhisha kuwa mapendekezo hayo yana mantiki. Maamuzi 7. Bodi ya Wakurugenzi ya EWURA, katika kikao cha tarehe 12 Februari 2015, ilijadili mapendekezo hayo na kutoa uamuzi kwamba: (a) Miradi midogo ya umeme itaendelezwa kulingana na pendekezo jipya la mfumo wa kuendeleza miradi midogo isipokuwa kwa miradi ambayo itaendelea kutumia mfumo wa uliyopitishwa mwaka 2008 kama inavyoainishwa katika Taratibu Na. xx ya Taratibu za Kuendeleza Miradi Midogo ya Umeme ya 2015; i. Miradi midogo ya kufua umeme kwa kutumia maji na taka za miji na mabaki yatokanayo na kilimo itauza umeme katika Gridi ya Taifa na Gridi Ndogo kwa bei inavyoonyeshwa katika Jedwali la Kwanza; ii. iii. Bei zilizopo katika Jedwali la Kwanza zitarekebishwa kila mwaka kulingana na mfumuko wa bei za wazalishaji wan nchi ya Marekani; Bei za umeme kutoka katika miradi midogo ya kufua umeme kwa kutumia jua na upepo itatokana na mfumo wa ushindani; na (b) Kwa miradi midogo ya umeme itakayoendelea kutumia mfumo wa kuuza umeme uliopitishwa mwaka 2008 bei ya kuuza umeme kuanzia tarehe 1 Aprili 2015, itakuwa kama inavyoainishwa katika Jedwali la Pili na Jedwali la Tatu. Kusitisha 8. Agizo hili linasitisha Agizo la Kurekebisha Bei ya Umeme kwa Miradi Midogo ya Umeme Namba 014-025 la mwaka 2014. 6

JEDWALI LA KWANZA Bei ya Umeme kwa Miradi Midogo Mtambo wa Kufua Umeme kwa Kutumia Maji Ukubwa Bei ya Umeme (US$/kWh) 100kW 0.155 Mtambo wa Kufua Umeme kwa Kutumia Taka za Mji na Mabaki ya Kilimo Bei ya Umeme Ukubwa (US$/kWh) 150kW 0.146 200kW 0.179 200kW 0.141 300kW 0.169 250kW 0.140 400kW 0.161 500kW 0.134 500kW 0.157 750kW 0.129 750kW 0.149 1MW 0.123 1MW 0.147 2MW 0.115 2MW 0.138 3MW 0.108 3MW 0.128 4MW 0.102 4MW 0.126 5MW 0.098 5MW 0.123 6MW 0.095 6MW 0.120 7MW 0.091 7MW 0.118 8MW 0.088 8MW 0.115 9MW 0.087 9MW 0.114 10MW 0.085 10MW 0.112 JEDWALI LA PILI Bei ya Umeme kwa Miradi Midogo Unaouzwa Kwenye Gridi ya Taifa kwa Kulingana na Mfumo wa Mwaka 2008 Maelezo Bei ya 2014 Bei Iliyoidhinishwa kwa 2015 Mabadiliko katika Asilimia 197.31 190.94-3.23% Bei ya Umeme kwa Miradi Midogo Bei Itakayolipwa Msimu wa Ukame 236.78 229.13-3.23% 7

Kulingana Msimu na (Augosti hadi Novemba) Msimu wa Mvua (Januari hadi Julai na Desemba) 177.58 171.85-3.23% JEDWALI LA TATU Bei ya Umeme kwa Miradi Midogo Unaouzwa kwenye Gridi Ndogo kulingana na Mfumo wa Mwaka 2008 Maelezo Bei ya 2014 Bei Iliyoidhinishwa kwa 2015 Mabadiliko katika Asilimia Bei ya Umeme kwa Miradi Midogo 482.64 493.97 2.35%..., 2015....... Felix Ngamlagosi Mkurugenzi Mkuu 8