NAFASI YA MUZIKI ULIOPENDWA KATIKA FASIID YA KISWAHILI PAMELA M. Y NGUGI. Inkisiri. M a kala. AAP 64 (2000): Swahili Forum VII

Similar documents
Azimio la Umoja wa Mataifa Kuhusu Watetezi wa Haki za Binadamu

Utumiaji Wa Kiswahili Na Lugha Za Jamii Kijinsia Nchini Tanzania Y.P. MSANJILA University of Dar-es-Salaam, Tanzania

Kiswahili, utandawazi na umoja wa Afrika

Usimulizi wa Riwaya ya Nyongo Mkalia Ini E. S. MOHOCHI University of Egerton, Kenya

MAKALA: USHAIRI WA KISWAHILI KATIKA NJIA PANDA: KUTUMIA AU KUTOTUMIA METHALI

FANI KATIKA NYIMBO TEULE ZA ANASTACIA MUKABWA MBURU JAMES MUNGAI TASNIFU HII IMETOLEWA ILI KUTOSHELEZA BAADHI YA

Human Rights Are Universal And Yet...

KUSHUKA KWA HADHI YA LUGHA ZA JAMII NCHINI TANZANIA YOHANA P. MSANJILA University of Dar es Salaam, Tanzania

NAFASI YA MWANAMKE: JINSI INAVYOTETEWA KATIKA NYIMBO ZA TAARAB ZA ZANZIBAR ELIZABETH KANGOGO YEGO C50/68796/2011 IDARA YA ISIMU NA LUGHA

Mwongozo wa Utamaduni Toleo la Kwanza

UNIVERSITY OF CAMBRIDGE INTERNATIONAL EXAMINATIONS General Certificate of Education Ordinary Level. SWAHILI 3162/01 Paper 1 May/June 2013

Hati ya kuhitimu kisomo Kenya (K.C.S.E)

Information for assessors (do not distribute this page to participants):

DHANA NA MATKTIZO YA TAFSIRI:

TASFIDA KAMA MKAKATI WA UPOLE: UWIANO WA TASFIDA ZA KISWAHILI NA EKEGUSII

Tora UTANGULIZI KWA TORA SOMO LA KWANZA

Ufunguo wa Kutaalamika Haraka

JHSPH MAADILI YA KUFANYA UTAFITI WA MASUALA YA BINAADAMU MUONGOZO WA MAFUNZO YA UTAFITI

KUCHUNGUZA UJINSIA NA MATUMIZI YA LUGHA KATIKA METHALI ZA WAKURYA

LUGHA YA KISWAHILI KATIKA KUFUNDISHIA NA KUJIFUNZIA ELIMU SHULE ZA SEKONDARI

Haja Ya Dini. Author(s): Publisher(s): Translator(s): Category: Topic Tags: Featured Category: Published on Al-Islam.org (

MATUMIZI YA FACEBOOK KWA BIASHARA. Kwa Wanaoanza

Shabaha ya Mazungumzo haya

Elimu ya Msingi inaelekea Upande Sahihi? Kufikiri na Nyerere Rakesh Rajani

KISWAHILI KARATASI YA 2 LUGHA

MATUMIZI YA LUGHA KATIKA KANISA KATOLIKI: UCHANGANUZI WA UBADILISHAJI MSIMBO KATIKA MAHUBIRI

N09/2/ABSWA/HP1/SWA/TZ0/XX/Q

KUCHUNGUZA MASUALA YA KISIASA KATIKA RIWAYA ZA SHAABAN ROBERT: MFANO WA KUSADIKIKA NA KUFIKIRIKA

UJAGINA WA MWANAMKE KATIKA PANGO

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO

GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23)

Ufundishaji wa lugha nyingine

Kiu Cha umtafuta Mungu

Mukhtasari Wa Mabishano Kwa Na Dhidi Ya Vikombe Vingi Vya Ushirika

KENYA NATIONAL EXAMINATION COUNCIL REVISION MOCK EXAMS 2016 TOP NATIONAL SCHOOLS

MADA MATUMIZI YA TAKRIRI NA SITIARI KATIKA UTENZI WA RASI LGHULI JUSTUS MAUNDU NDUMBU C50/65902/2011 CHUO KIKUU CHA NAIROBI IDARA YA ISIMU NA LUGHA

MITAZAMO KUHUSU KISWAHILI MIONGONI MWA WAZUNGUMZAJI WA KIJALUO: KIFANI CHA SHULE ZA MSINGI KATIKA KAUNTI YA MIGORI. OWALA JAEL AKINYI C50/75493/2012

MAKUBALIANO YA 2005 YA ULINZI NA UKUZAJI WA VIELELEZO VYA TAMADUNI ANUWAI

Kitabu Cha Mafunzo Ya Uongozi Kwa Wanawake

Ripoti ya Maendeleo ya Binadamu 2013

CHUO KIKUU CHA NAIROBI

MAADHIMISHO YA MIAKA 15 YA FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY

CHUO KIKUU CHA NAIROBI IDARA YA KISWAHILI MAMLAKA NA ITIKADI KATIKA NYIMBO TEULE ZA TAARAB

MTIHANI WA MWIGO WILAYA YA BUTERE MUMIAS-2007 Hati ya kuhitimu Elimu ya Sekondari Kenya

Pronunciation: Mä-hret Zäläke Ndal-ka-tscho Molla Mare Gebre-gzabiär 1/12

usudi la Maisha Hakika katika kuumbwa mbingu na ardhi, na kupishana usiku na mchana, kuna kweli ishara kwa wenye akili, ambaye mkumbuke-

UTANGULIZI ANUANI NA MANDHARI YA CHUO

Mbinu za Ujenzi wa Wahusika na Usawiri wa Sifa Zao: Uhakiki wa Riwaya ya Dunia Uwanja Wa Fujo ya E. Kezilahabi

TAMKO LA JUKWAA LA HAKI ZA WATOTO (TCRF) KUHUSU HAKI ZA WATOTO KATIKA KATIBA MPYA

GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23)

Kutetea Haki za Binadamu

Elimukombozi, Lugha na Upashanaji Habari nchini Tanzania, katika Muktadha wa Utandawazi

UNIVERSITY OF CAMBRIDGE INTERNATIONAL EXAMINATIONS General Certificate of Education Ordinary Level

JAZANDA YA NJOZI KATIKA BAADHI YA MASHAIRI YA EUPHRASE KEZILAHABI (ONEIRIC IMAGES IN EUPHRASE KEZILAHABI S SELECTED POEMS) 1

KAMATI ZA KUDHIBITI UKIMWI NCHINI TANZANIA

Kifaa Maalum cha Kutazamia Jua: Maelekezo ya kutumia

SautiElimu. Sauti Yako Isikike

KUUNGANISHA VIZAZI KUPITIA RADIO MWONGOZO KUTOKA AFRIKA KWA WAANDAJI WA VIPINDI VYA RADIO WANAOFANYAKAZI NA WATOTO NA VIJANA

JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 1

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA ELIMU SAYANSI TEKNOLOJIA NA UFUNDI MTAALA WA ELIMUMSINGI DARASA LA I NA LA II

Mwongozo kwa familia zinazofanya kazi pamoja kwa maisha endelevu. Nyenzo ya Mafunzo

2.1.1 Kabla ya Ukoloni

UFASIHI SIMULIZI KATIKA RIWAYA ZA SHAABAN ROBERT: Mifano kutoka Adili na Nduguze na Wasifu wa Siti Binti Saad. Khatib Khamis Saleh

Kufafanua Upya Elimu Bora Tanzania: Kutoka Zana za Dufundishia mpaka Uwezo wa Wanafunzi 1 Oktoba 2007

Azimio lililopitishwa na Mkutano Mkuu tarehe 18 Desemba 2013 [juu ya taarifa ya Kamati ya Tatu (A/68/456/Add.2)]

KUCHUNGUZA DHAMIRA ZA NYIMBO ZA UGANGA KATIKA JAMII ZA WASWAHILI WILAYA YA MKOANI KUSINI PEMBA

Tanzania, sasa kondoo anayesubiri kuchinjwa

Misamaha ya kodi Tanzania: Je, ni mikubwa sana na kutufanya tuwe tegemezi kwa misaada?

UHUSIANO WA MIKAKATI YA UFUNDISHAJI WA FASIHI YA WATOTO YA KISWAHILI NA UMILISI WA KUSOMA KATIKA SHULE ZA MSINGI, KASARANI, KAUNTI YA NAIROBI, KENYA

KUCHUNGUZA MCHOMOZO KATIKA FASIHI YA KISWAHILI: UTAFITI LINGANISHI WA USHAIRI KATIKA DIWANI YA USTADHI ANDANENGA

Sera ya Faragha. Upeo. Aina za Data na Mbinu za Ukusanyaji

Hakimiliki na Jonathan Menn. Haki zote zimehifadhiwa TAFSIRI YA BIBLIA. Mwandishi. Jonathan M. Menn

Evaluation of Contextual Teaching of Kiswahili Proverbs in Secondary Schools in Kenya

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA ELIMU SAYANSI TEKNOLOJIA NA UFUNDI MTAALA WA ELIMUMSINGI DARASA LA III VI

MARUDIO K.C.S.E KNEC KISWAHILI KARATASI 102/2 MASWALI NA USAHIHISHO

TANZANIA OSAKA ALUMNI. Kitabu cha Mbinu Bora

Yaliyomo. Kuhusu kitabu hiki. Hautakuwa peke yako. Mfumo wa msaada ni wa manufaa sana wazazi wote wanahitaji!

V\ FANI KATIKA USHAIRI WA HASSAN MWALIMU MBEGA: UHAKIKI WA UPISHO WA UMALENGA NA DAFINA YA UMALENGA DONALD OMWOYO OSIEMO

Mwongozo wa Jamii juu ya Afya ya Mazingira

UFAHAMU NAME INDEX SCHOOLDATE UFAHAMU

Msigano wa Majina ya Walemavu katika Jamii ya Wazungumzaji Kiswahili: Mifano kutoka Tanzania

Hatari, Haki za Usalama katika Bahari 03

Songa kwenye kilele cha upeo. Masuala ya Msingi na Ujuzi juu ya Uendeshaji wa Serikali za Mitaa

Ufanisi katika Ufundishaji kwenye Shule za Msingi na Sekondari nchini Tanzania

Mhashamu Askofu Jude Thaddaeus Ruwa ichi, Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania; Mwadhama Policarp Kardinali Pengo,

Ripoti Fupi ya Nchi kuhusu Kazi Zenye Staha TANZANIA (bara)

Ndugu na dada zangu wapendwa,

JAMHURI YA KENYA. Mkakati wa Ushirikiano MUKHTASARI FY Public Disclosure Authorized. Public Disclosure Authorized

Vijana wanazungumza kuhusu ujinsia, maisha na uhusiano VIJANA WANAZUNGUMZA KUHUSU NGONO, MAISHA NA UHUSIANO. Training and Research Support Centre

MAPENDEKEZO YA MTANDAO WA WANAWAKE NA KATIBA TANZANIA

Theolojia Ujumla. Mike Taylor Semester Munguishi Bible College

SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI KITABU CHA MWANAFUNZI KIDATO CHA TANO

MUNGU ANADHIHIRISHWA KUPITIA KWA YESU KRISTO.

Utangulizi wa ugonjwa wa shinikizo la damu

HALIYA VITABUVYA WATOTOKATIKA TANZANIA

MACHAGUO YA UZAZI KUFIKIRIA KUWA MZAZI

TRANS-NZOIA COUNTY KCSE REVISION MOCK EXAMS 2015

2

Mipango ya miradi katika udugu

Kuwawezesha wasichana kwa kuboresha kujikubali na kujithamini Hivi Ndivyo Nilivyo

Transcription:

AAP 64 (2000): Swahili Forum VII 145-152 NAFASI YA MUZIKI ULIOPENDWA KATIKA FASIID YA KISWAHILI PAMELA M. Y NGUGI Inkisiri Nyimbo, kama tanzu ya fasihi yeyote ile zina majukumu mbalimbali ambayo hutekeleza katika jamii. Lengo kuu la fasihi ni lile la kuielimisha na hata kuiburudisha jamii. Ndivyo ilivyo katika nyimbo kwa sababu kupitia kwazo wanajamii huburudika na kuelimishwa.. Ni kwa sababu hiyo ndipo makala hii inalenga kuangalia nafasi ya nyimbo zinazopendwa katika fasihi ya Kiswahili. Huu ni utanzu ambao huwafikia watu wengi katika jamii. Kutokana na kutumia lugha ya Kiswahili, utanzu huu unaweza kueleweka na Wakenya wingi. Nchini Kenya, vyombo vya habari vimeipa fasihi hii nafasi kubwa sana na hivyo basi kuipanua hadhira yake. Hii ni kutokana na sababu kuwa fasihi hii inathaminiwa sana na wengi na ipewe nafasi kubwa katika vyombo vya habari hasa katika redio kwa muda mrefu. Ni kutokana na sababu hii ndipo tunajaribu kuonyesha nafasi yake katika fasihi ya Kiswahili. M a kala Mahusiano ya kijamii hujengwa kutokana na historia, mazingim na shughuli za watu za kila siku na imani yao pia.. Watu wa jamii moja mara nyingi husikilizana kwa lugha, mila na desturi. Misingi hiyo ya utamadununi na utamaduni wenyewe huwa ni vigezo maalum vya kumfanya mtu aitambue nafasi yake katika jamii na vile vile kutambua wajibu wake na majukumu yake, Mazrui (1986). Tanzu mojawapo inayodhihirisha utamaduni wa jamii ni muziki wake.. Wasanii hawa, hasa waimbaji wanaoimba kwa lugha ya Kiswahili nyimbo ambazo twaweza kuziita nyimbo-pendwa wamechukua nafasi kubwa katika kukuza lugha hii, utamaduni na mawasiliano..

146 PAMELA M. Y NGUGI Muziki umekuwa chombo ambacho kimewavutia wanadamu. Jambo hili limewafanya watu wa matabaka mbalimbali wakiwemo wanafalsafa na watu wa kawaida kujru:ibu kuelewa muziki - lakini hakuna fasili ambayo imeweza kueleza muziki ni nini hasa: Uasili wake haujulikani, kama anavyodai Schumann katika kofia (1994) kuwa: "Sayansi hutumia hisibati na umantiki, ushaiii nao hutumia maneno teule.... muziki ni yatima ambaye babake na mamake hawajulikani kamwe.. Hata hivyo, ni huu utata wa uasili wake ambao umefanya muziki uonekane kuwa kitu bora zaidi katika jamii" (Tafsiii yangu). Katika kutumia nyimbo, waimbaji hawa wameweza kuhifadhi historia na utamaduni wa jamii zao.. Hata hivyo, hivi sasa utaona kuwa maendeleo ya kisayansi na teknolojia yameanza kuiingiza jamii nyingi katika fasihi ya televisheni na video na hivyo kuonekana kama kwamba jambo hili linafifisha stru:ehe inayopitikana katika nyimbo (Mlacha, 1998}. Dhru:nlla kuu ya makala haya ni kuangalia nafasi ya nyimbo-pendwa katika fasihi ya Kiswahili. Mabadiliko katika jamii yamesababisha mabadiliko katika nyimbo na hivyo basi nyimbo zimekuwa na maudhui na fani tofauti kutegemea namnajamii ilivyobadilika. Uchunguzi uliofanywa juu ya nyimbo umeonyesha kuwa nyimbo ni kipengele muhimu sana katika jamii zote ulimwenguni. Nyimbo ni utanzu uliothaminiwa sana, na zilitawala katika mifumo yote yajamii, Brandel (1959). Akuno (1999) anasema kuwa muziki ni zaidi ya sauti tu ambazo huimbwa na kuchezwa. Muziki sio wazo la dhana fulani bali ni tajriba, ni tukio ambalo huwasilisha mambo mbalimbali yenye umuhimu katika jamii husika Akuno anaona nyimbo/muziki ukiwa na uamali wa kiujozi: Kwanza ni kama kiburudisho, muziki huendeleza uhusiano wa mtu binafsi, humstru: ehesha na kumwezesha mtu huyu kuwasilisha hisia zake Na kama tambiko, muziki huendeleza uhusiano wa kimazingiia - kwa kuwahusisha wanadamu na viumbe vingine vinavyopatikana katika mazingiia hayo. Katika kuangalia upande wa kijru:nii, Akuno anaona muziki kama chombo ambacho hutumiwa kuelezea histmia ya jamii, hutumiwa kupasha 11iumbe maalum kwa wanajru:nii hasa kutoka kizazi kimoja hadi kingine na hutumiwa hasa kuelezea histmia, imani, itikadi na kaida zajamii. Nyimbo ni zao la mazingiia ya jamii. Zinaweza kufananishwa na mtoto ambaye hufinyangwa na mambo

MUZIKI ULIOPENDWA KA TIKA F ASIHI Y A KISW AHILI 147 mengi katika historia ya jamii yake.. Hii inamaanisha kwamba muziki hauibuki katika ombwe tupu na hauwezi vilevile kujiundia mazingira yazo yenyewe. Mabadiliko na maendeleo ya muziki yamekuwa yakifuatana na historia ya watu wenyewe. Nyimbo huathiriwa sana na mambo yanayotendeka ulimwenguni.. Umuhimu wa muziki unadhihirika katika matumizi ya nyimbo katika wakati maalum kama njia mojawapo ya kuanzisha mabadiliko katika tabia za jamii au mtu binafsi, (McAI!ester 1971). Muziki umetumika kama njia mojawapo ya kujifundisha utamaduni na aghalabu hutumiwa katika kuelezea mtu mazingira yake na jinsi anavyoweza kuyatumia na kuyatunza vilivyo Nyirnbo vi1evile zimekuja kuchukuliwa kama chanzo cha elimu na jinsi ya kujieleza katika jamii na hasa katika sana ya ma.zllngumzo Nyimbo humfanya mtu ~jenge kumbukumbu ya vitu au tukio kwa urahisi na kumbukumbu hiyo huweza kudumu kwa muda mrefu sana.. Kwa mfano, masomo shuleni hufanikishwa kupitia nyimbo Muziki ulioimbwa kwa Kiswahili ni sehemu muhimu sana zirrazojenga utamaduni wa Wakenya. Kwa Wakenya wengi muziki ni neno lirraloeleweka kwa wananchi wengi kwa sababu watu hao huwa na upenzi wa muziki Kuhusu muziki ni nini, tunaweza kusema ni taaluma maalum ya sauti inayochanganya kwa usahihi sanaa na sayansi. Muziki ni sanaa katika matokeo na utendaji wake na ni sayansi katika maandalizi yake na utendaji, (Sekella, 1995). Wanamuziki wa Kenya wamegawanyika katika makundi mbalirnbali:- Watendaji wa muziki wa bendi, kwaya, taarabu na watendaji wa muziki wa kiasili.. Karibu kila kundi hutumia lugha ya Kiswahili linapokuwa na ujumbe maalum kwa wananchi. Muziki wa kiasili nao huweza kugeuzwa maneno ya lugha ya kiasili ya wimbo unaohusika hadi katika lugha ya kiswahili ili ujumbe wake uweze kueleweka kwa wasikilizaji wengi. Kenya irnepitia hatua mbalirnbali ya mabadiliko.. Hatua hizi zirneathiri nyimbo kwa njia tofauti tofimti. Tunacho kipindi kabla ya wageni au wakoloni. Huu ndio wakati ambapo nyimbo zilizoimbwa zilikuwa nyimbo za kikabila Wanajarnii, kulingana na lugha zao za mama walibuni nyimbo zao.. Kipindi cha pili ni cha maajilio ya wazungu.. Hiki ni kipindi ambacho mwafrika alidhalalishwa na mzungu. Hii ilikuwa dhuluma ambayo ilivuka mipaka ya uchumi na siasa

148 P AMELA M. Y NGUGI ikafikia hadi kwenye hali ya kumteka mwafrika kimawazo asiweze kuonea nyimbo zake fahru:i. Hapa ndipo mwafiika alipojiona kwru:nba yeye hakuwa na uwezo wa kufanya chochote na hata nyimbo zake hazikuwa na maana yoyote.. Kipindi hiki kilishuhudia nyimbo za kutoka nje na ru:nbazo zilianza kuonewa fahru:i Watu walianza kwenda katika majumba ya stru: ehe ili kucheza densi. Lugha iliyopendelewa sana ilikuwa ni Kingereza.. Hata hivyo nyimbo hizi hazikuwafikia watu wengi kwa sababu idadi ya watu waliokifahru:nu Kingereza ilikuwa ndogo nmo. Hata hivyo, waimbaji wachache waliendelea kutumia lugha ya Kiswahili katika muziki wao. Waimbaji kama vile Fadhili Williru:n, Daudi Kabaka, John Mwale na wengineo ni baadhi ya wanru:nuziki ru:nbao bado wanasifika sana katika kuimba kwa Kiswahili.. Hawa ndio watu waliosaidia kufanikisha lugha ya Kiswahili katika miaka ya sitini, na nyimbo zao zikajulikana kama nyimbo "zilizopendwa" hadi wa sasa.. Hivi sasa kuna bendi nyingi zinazoimba kwa Kiswahili, hizi ni pru:noja na "Them Mushrooms", Princess Jully", Munishi na nyingine nyingi ru:nbazo zinapendwa na idadi kubwa ya watu.. Wanainchi, kwa bahati nzuri hupendelea muziki wenye ujumbe na hasa ujumbe ulio katika lugha wanayoielewa ya Kiswahili. Na nyingi ya bendi hizi hutimiza wajibu huu. Sanaa ya uimbaji inaonyesha uwezo wa binadamu wa kusimulia au kupasha tajriba yake na ya jru:nii ya kila siku na kujru:ibu kuleta maana katika maisha ya kila siku.. Mru:nbo haya hufimyika kwa njia ya ukawaida nmo - kupitia kwenye nyimbo zilizopendwa. Nyimbo hizi huweza hata kuundwa upya na wananchi wenyewe kwa sababu mbalimbali. Kama asemavyo Cru:npbell (1976) nyimbo zimeundwa kru:na sanaa nyingine ili kunasa makini yetu. Sanaa hii basi ina ule ukale, uleo na hata ukesho. Kupitia nyimbo zilizopendwa, wanru:nuziki wa Kiswahili wanaweza kuangalia 'usasa' au dunia ya leo hapo baadaye, usasa huu utakuwa kama ukale utakao tuelekeza kufahru:nu histmia yetu ya wakati huo.. 'Usasa' huu unaweza kutusaidia katika kutab:iii ukesho na kujua nru:nna ya kukabiliana na ulimwengu ujao.. Muziki umetumiwa katika kupinga ukandru:nizwaji na uonevu katikajru:nii. Hapa ni pale ru:nbapo mwanru:nuziki anaangalia mru:nbo ya kisiasa. Jru:nbo hili lilidhihiiika wakati wa ukoloni ru:nbapo mwafiika alitumia nyimbo kru:na silaha kupigania uhmu. Muziki ulitumiwa kuwahimiza watu

MUZIKI ULIOPENDW A KA TIKA FASIHI Y A KISW AHILI 149 wapinge tamaduni za wakandamizaji. Waafrika walifanya hivi kwa kuchukuwa nyimbo za kisiasa na kuzipa mahadhi ya kidini ambapo kwa hakika maana ilikuwa tofauti na ile ya kidini Hivi sasa wanamuziki wa nyimbo zilizopendwa wanaimba nyimbo zinazowaelimisha na kuwahamasisha watu ili watekeleze kwa ufanisi sera na maagizo mbalimbali ya chama kinachotawala na serikali kwa jumla.. Nyimbo nyingi zinazosikika redioni zinahusu kuwahimiza watu kuwa na uwajibikaji, kilimo cha kisasa, uzazi wa mpango, vita dhidi ya Ukimwi, kuchagua viongozi bora na kufanya kazi kwa bidii.. Lugha ya Kiswahili imetumika kuimba nyimbo zenye ushauii kuhusu maisha, mapenzi, tabia =i na mbaya, ukulima bora na kadhalika.. Muziki hasa muziki wa 'zilizopendwa' ni sanaa ambayo huwaflkia watu wengi kupitia vyombo vya habari hasa redio na hata televisheni. Kwa hivyo hii ni sanaa ambayo haiwezi kupuuzwa kutokana na majukumu mbalimbali inayotekeleza. Vyombo vya habari virnetenga masaa kadhaa ya kuwabuiudisha watu kwa kuturnia nyimbo mbalimbali.. Balisidya (1987) anakubali kuwa sanaa hii ni sehernu mojawapo ya fasihi ya Kiswahili na inahitaji kufanyiwa uchunguza zaidi, kwa jinsi ambavyo watu wengi wanaweza kuipata.. Nyimbo za kisasa zinaweza kutupa rnwangaza kuhusu maisha ya watu duniani.. Finnegan (1970), anaserna kuwa nyirnbo-pendwa zina majukumu mbalimbali ya kutekeleza hasa katika kuangalia mitazamo ya jamii kiulimwengtl, na nyirnbo hizi hutekeleza majukumu haya kama zilivyo nyimbo za kijadi Mtazamo huu umeungwa rnkono na watu kama vile Kabira na Mutahi (1988), Agovi (1989), na wengine wengi ambao wanaona rnuziki kuwa utanzu teule inayodhihi!ika katika jamii hii inayobadilika. Nyimbo pendwa zimechukuliwa na wasomi wengi kuwa kama muingiliano wa masimulizi jadi na ukweli wa maisha ya hivi sasa, Nyimbo hizi hushughulikia mambo kama vile ukan,darnizwaji, kutamauka maishani, unyimwaji wa haki na umaskini/ubinafsi. Mambo haya ni mambo ya kisasa na huathi!i wanajamii kwa njia mbalimbali. Wairnbaji wa nyimbo zilizopendwa hushughulikia nyanja tofauti za maisha ya jarnii kama vile dini, uchurni na siasa. Kwa mfano, wao wanashughulikia ndoa na mapenzi kwa kuonyesha rnahusiano ya Iqjamii na migongano ya kirnawazo baina ya wazee na vijana au baina ya rnke na murne.. Katika nyakati hizi za mabadiliko katika uchumi na siasa waimbaji wamekuwa wakitunga nyimbo kwa kutuchorea picha ya jinsi mambo yalivyo. Wamekuwa katika mstaii wa rnbele

150 PAMELAM. Y NGUGI katika kuwatahadhruisha wanajamii kuhusu ugonjwa wa Ukimwi.. Muziki uliopendwa katika Kiswahili ni sanaa isiyo kuwa na mipaka ya ukabila. Ni sanaa ambayo huwaunganisha watu wa makabila mbalimbali kwa kutmnia lugha inayoeleweka na kuzungumzia tajriba sawa wanazozifahamu. Nyimbo hizi pia zimetumika kuimulika jamii kwa kuonyesha maendeleo yaliyopatikana katika nyanja mbalimbali Anapoikosoa jamii, mwimbaji huwa anachukuwa jukumu la kuhakiki jamii na hata kuielekeza.. Nyimbo hizi pia zinatmniwa kuwazindua watu waweze kufahamu haki zao hasa pale wanaponyimwa, zinatmniwa kama ajenti wa ukombozi.. Katika nyimbo hizi, pia kuna ufasihi hasa upande wa lugha. Sifa moja ambayo hubanisha nyimbo ni matmnizi yake ya lugha hasa zile tamathali za usemi kama vile tashbihi, methali, semi, jazanda taashira na majina ya majazi. Tamathali hizo zinazotumiwa na nyimbo huwa ama zimebuniwa katika jamii ya mwimbaji au zimebuniwa na mwimbaji mwenyewe lakini akazingatia kanuni za uundaji wake.. Hii inafanya tanzu hii iweze kuchunguzwa kwa makini kiusomi kwa kuchanganua ufani wake kupitia lugha iliyotumika.. Hata hivyo, waimbaji wa nyimbo-pendwa wamekumbana na vizingiti vingi. Kutokana na sababu kuwa wao ni wahakiki wa jrunii, baadhi ya nyimbo zao zimepigwa mruufuku, (mwangi 1992) na hivyo basi haziwaflkii watu wengi waliolengwa na haziwezi kutumiwa kama njia ya kuwazindua watu. Katika kule kuihaki jamii, wao-hulenga kuikosa, lakini mrua nyingi wao huwa hawafikiani na viongozi kuhusiana na maongozi yao.. Hitimisho Nyimbo zinazoimbwa kwa lugha ya Kiswahili huwaflkia watu wengi kutokana na sabau kuwa lugha ya Kiswahili ni lugha ya walio wengi. Nyimbo zilizopendwa zitaendelea kukua kufuatana na mabadiliko ya kihistoria na kifani ambayo yanasababishwa na watu wengi.. Hivyo basi, nyimbo hizi hazina budi kuchukuliwa kama sehemu moja ya Fasihi ya Kiswahili kwa kuangalia mchango wake kimaudhui na kifani. Na zinahitaji kusambazwa ili ziwafikie wanajamii wote.. Hii ina maanisha kuwa vyombo vya habrui vina majukumu ya kutekeleza katika kuhakikisha kwamba watu wengi wameweza kuzipata nyimbo hizi.. Kwa upande wa fasihi, haya ni mafanikio

MUZIK.IULIOPENDWAKATIKAFASIHIYAK.ISWAHILI 151 makubwa hasa kwa sababu tabia ya kupenda kusoma haijakomaa kwa wengi.. Vyombo vya habmi vinatumika kusainbaza fasihi hii kwa mainilioni ya watu. Hii ni kutokana na sababu kuwa kundi m~ja tu la waimbaji linaweza kufundisha idadi kubwa ya watu kwa wakati mmoja kuputia nyimbo zao.. Marejeleo Abdalla, A 1975 Utanzu wa Ushaiii wa Kiswahili na Maendeleo yake. Wasilisho lililotolewa katika idma ya Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dm es Salaam. Agovi, K 1989. The Political Relevance of Ghanaian Highlife Songs Since 1975, Research in Aftican Literature 20, 2: 194-201.. Akuno, E. A. 1999.. A conceptual Frainework for Research in Music Education within a Cultural Context Paper presented at cultural week seminm, Kenyatta University, Nairobi Balisidya M 1987. Adopted or Adapted? To New Swahili Oral Literature in Kiswahi1i, Kiswahili 54/L Brandel, R. 1959. The Music of Central Africa An Ethnomusicological study. London: Methuen Cainpbell, CA. 1976. An Introduction to the Music ofswahili Women, Seminm paper No 68 University ofn airobi. Finnegan, R. 1970. Oral Literature in Aftica. Oxford: Oxford University Press.. Kemoli, A 1978.. Music and the Creative Imagination of Afiica, in: Teaching of Aftican literature in schools, Vol. L Nairobi: Kenya Literature Bureau.. Kofie, N. N. 1994.. Contemporary Aftican Music in World Perspective.. Accra: Ghana University Press. Lukas, G. 1956. Studies in European Pluralism.. London: Hillway Publishing Co.. Mazrui, A 1986. The Afticans, London: BBC McAllester, D. 197L Readings in Ethnomusicology.. New York: Reprint Corporation.

152 P AMELA M.. Y NGUGI Mutahi, K. and Kabira, W.. 1988.. Gikuyu Oral Literature, Nairobi: Heinemann. Mutembei, A K. 1995 Korasi na Uhusiano wake na Sanaa za Maonyesho: Uchambuzi wa Kidayakronia, Kioo cha Lugha, Dares Salaam: Chuo Kikuu cha Dares Salaam. Mwangi, M. 1992. When KBC saysf No way, Daily Nation, 24th July 1992.. Ngngi wa Thiong'o.. 1981. Writer~ in Politics, Nairobi: Heinemann.. Sekella, M. 1995. Kiswahili katika Muziki wa Tanzania, katika Kiswahili na Vyombo rya Habari.. Dar es Salaam: Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Yalwala PM 1991. Uhakiki wa Maudhui Katika Nyimbo za John Mwale.. Unpublished M A Thesis, University of Nairobi.