NAME INDEX SCHOOLDATE USHAIRI

Similar documents
Hati ya kuhitimu kisomo Kenya (K.C.S.E)

MTIHANI WA MWIGO WILAYA YA BUTERE MUMIAS-2007 Hati ya kuhitimu Elimu ya Sekondari Kenya

Hati ya Kuhitimu Elimu ya Sekondari Kenya.( K.C.S.E)

Information for assessors (do not distribute this page to participants):

UNIVERSITY OF CAMBRIDGE INTERNATIONAL EXAMINATIONS General Certificate of Education Ordinary Level. SWAHILI 3162/01 Paper 1 May/June 2013

1. UFAHAMU: (Alama 15)

N09/2/ABSWA/HP1/SWA/TZ0/XX/Q

Ushindi ndani ya Kristo W. W. PRESCOTT

"ATATOKEA MARA YA PILI, pasipo dhambi, kwa hao wamtazamiao kwa wokovu." Waebrania 9:28.

TATHMINI YA PAMOJA SHULE ZA UPILI ZA JIMBO LA MACHAKOS.

Hati ya kuhitimu kisomo Kenya (K.C.S.E)

GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23)

Human Rights Are Universal And Yet...

Theolojia Ujumla. Mike Taylor Semester Munguishi Bible College

walozaliwa, si kwa damu, wala mapenzi ya mwili, wala si kwa mapenzi ya mtu, mbali kwa Mungu. Sisi sio tena binadamu wa kawaida tu kwa sababu sisi ni w

Roho Mtakatifu Ni Nini?

Agano Lililofunikwa Kwa Damu

MTIHANI WA MWIGO WA WILAYA YA NANDI KASKAZINI 2013

PDF created with pdffactory trial version

Ufunguo wa Kutaalamika Haraka

MUNGU ANADHIHIRISHWA KUPITIA KWA YESU KRISTO.

JAZANDA YA NJOZI KATIKA BAADHI YA MASHAIRI YA EUPHRASE KEZILAHABI (ONEIRIC IMAGES IN EUPHRASE KEZILAHABI S SELECTED POEMS) 1

Kifo Na Mbingu. (Death And Heaven) Ellis P. Forsman. Kifo Na Mbingu (Death And Heaven) 1

YEHOVA-YIRE 1. 2 Baba yetu wa Mbinguni, tunakikaribia Kiti Chako cha. 3 Tunakushukuru kwa kutuzuru jana jioni. Tunaomba

(Hati ya kuhitimu kisomo cha sekondari Kenya (K.C.S.E)

MUNGU ALIUMBA ULIMWENGU 1 WETU NA VYOTE VILIVYO HAI

Aina Tatu Za Ibada. Ellis Forsman. Aina Tatu Za Ibada (Three Kinds Of worship) 1

Usimulizi wa Riwaya ya Nyongo Mkalia Ini E. S. MOHOCHI University of Egerton, Kenya

KENYA NATIONAL EXAMINATION COUNCIL REVISION MOCK EXAMS 2016 TOP NATIONAL SCHOOLS

2 LILE NENO LILILONENWA

GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23)

KAMA MUNGU YU PAMOJA NASI, BASI YAKO WAPI MATENDO YAKE YA AJABU?

Maisha Yaliyojaa Maombi

MASWALI NA MAJIBU JUU YA KITABU CHA MWANZO

Adhabu ya jino kwa jino na Musitakabali wa imani zetu

Tafuteni Kwanza Ufalme Wa Mungu

KWA NINI SISI SI MADHEHEBU?

Kwa Nini Yesu Alikufa Msalabani?

Kuiponya Picha Tuliyonayo Kuhusu Mungu

K. M a r k s, F. E n g e l s

MSAMAHA NA UPATANISHO

United Pentecostal Church June 2017

IMANI NA MATENDO ELLEN G. WHITE

UTARATIBU WA KANISA. 2 Jambo la kwanza ninalotaka kusema ni kwamba mchungaji. 3 Sisi tunaamini katika Kanisa la kimitume, tukifundisha

Aya : Talaka Ni Mara Mbili

MARUDIO K.C.S.E KNEC KISWAHILI KARATASI 102/2 MASWALI NA USAHIHISHO

Kiu Cha umtafuta Mungu

KUTAMBUA SIKU YA KO NA UJUMBE WAKE

maombi, kabla tu hatujalifungua Neno hili la Kiungu.

UZAO WA NYOKA. 2 Basi, usiku huu, tuna malimbuko tu ya utukufu huo mkuu. 3 Kwa uchaji tunasimama kwa imani yetu katika Uwepo

Deutsche Welle, Learning by Ear 2009 Seite 1 People Who Make A Difference Liberia: Anita Varney Health Facilitator, Fishtown/Liberia

Kifo Na Mbingu (Death And Heaven)

usudi la Maisha Hakika katika kuumbwa mbingu na ardhi, na kupishana usiku na mchana, kuna kweli ishara kwa wenye akili, ambaye mkumbuke-

Makasisi. Waingia Uislamu

Watumishi Wa Kristo. Ellis P. Forsman. Watumishi Wa Kristo (Servants Of Christ) 1

IM ETUPASA KUTIMIZA HA KI YOTE

SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI KITABU CHA MWANAFUNZI KIDATO CHA TANO

Haja Ya Dini. Author(s): Publisher(s): Translator(s): Category: Topic Tags: Featured Category: Published on Al-Islam.org (

UNABII WA BIBLIA. CBM Publishing 32 Blenheim Road, Far Cotton Northampton, England. NN4 8NW

Mukhtasari Wa Mabishano Kwa Na Dhidi Ya Vikombe Vingi Vya Ushirika

Elimukombozi, Lugha na Upashanaji Habari nchini Tanzania, katika Muktadha wa Utandawazi

Ellen White, waasisi wa Kiadventista,na Sabato Lunar

JE, YAWEZEKANA KUISHI BILA KUTENDA DHAMBI?

TRANS-NZOIA COUNTY KCSE REVISION MOCK EXAMS 2015

Oktoba-Desemba

Tazama Yuaja. Kuhusu Toleo Hili. Umuhimu wa Mafundisho ya Biblia. Nguvu katika neno la Mungu.

WAKOLOSAI MTAALA. B. Maoni: Tunapendekeza uwe na fafanuzi (commentary) yoyote yenye kushikilia mafundisho ya awali (conservative) katika Wakolosai.

Na Itafunika Wingi Wa Dhambi

United Pentecostal Church April Kushangilia Kwa Sala

Silaha Za Shetani. Ellis Forsman. Silaha Za Shetani (The Devices of Satan) 1

B. Wanafunzi watapata ufahamu mkubwa wa kitabu hiki, na jinsi kinavyofundisha kuhusu kanisa.

Early Grade Reading Assessment for Kenya

V\ FANI KATIKA USHAIRI WA HASSAN MWALIMU MBEGA: UHAKIKI WA UPISHO WA UMALENGA NA DAFINA YA UMALENGA DONALD OMWOYO OSIEMO

NGUVU. Utangulizi. Yesu alisema,

Swahili B Higher level Paper 1 Swahili B Niveau supérieur Épreuve 1 Swahili B Nivel superior Prueba 1

Rahisi. Mabingwa kwa ajili ya tunda la Roho Mtakatifu. Kitabu cha mwanafunzi. Rahisi

UFAHAMU NAME INDEX SCHOOLDATE UFAHAMU

MAANA HALISI IMAAN ( I )

Mbinu za Ujenzi wa Wahusika na Usawiri wa Sifa Zao: Uhakiki wa Riwaya ya Dunia Uwanja Wa Fujo ya E. Kezilahabi

HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA BENJAMIN WILLIAM MKAPA,KWA WANANCHI, 30 SEPTEMBA, 2001

If a tree falls - Deforestation in Africa"

VITAMBULISHO VITA NO DHA HIRI VYA KA NISA LA KWELI LA MUNGU ALIYE HAI

JHSPH MAADILI YA KUFANYA UTAFITI WA MASUALA YA BINAADAMU MUONGOZO WA MAFUNZO YA UTAFITI

Rahisi. Kitabu cha mwanafunzi. Mabingwa kwa ajili ya tunda la Roho Mtakatifu. Rahisi

WEWE NI NANI? Toleo X Toleo Ukweli wa Injeli Toleo 23

Kifaa Maalum cha Kutazamia Jua: Maelekezo ya kutumia

JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 1

ST. GEORGE S GIRLS SECONDARY SCHOOL-NAIROBI

MATUMIZI YA FACEBOOK KWA BIASHARA. Kwa Wanaoanza

Ndugu na dada zangu wapendwa,

FORWARD BY DANIEL SZMIOT

wasiofaa. Naomba sana kila raia afanye bidii awezavyo kumkaribia Mwenyezi Mungu vile anavyoona inafaa, lakini asipitishe hukumu juu ya wengine.

Nia Dhidi Ya Kristo Je Unamheshimu?

TIST (TANGA) HABARI MOTO MOTO. Kutunza miche yako. Take care of your seedlings. Take care of your trees

LBE 2009 Migration Episode 3: Living without documents

CONSTITUTION OF KENYA REVIEW COMMISSION (CKRC)

Mafundisho Ya Msingi Wa Kikristo. Na Andrew Connally

AMMA KWA AFRIKA RATIBA/ITIKADI. Ratiba Maalum ya Kutibu Magonjwa Maambukizi na Hususan Fikra Zinazoleta Pooza Mwili na Akili

JE! MUNGU ANAMPA MWANAMKE HAKI YA KUTOA MIMBA IWAPO NI MHANGA WA UBAKAJI?

CONSTITUTION OF KENYA REVIEW COMMISSION (CKRC) VERBATIM REPORT OF

Transcription:

NAME INDEX SCHOOLDATE 1. 2007 (Lazima) USHAIRI Soma shairi hili kasha maswali yanayofuata 1. Tohara,usimwazie,mwanamke, Tohara, usikaribie,mwili wake, Tohara, usiifikie,ngozi yake, Tohara ya mwanamke,katwaani siwazie! 2. Tohara, hiyo haramu,adha kwake, Tohara, ni kubwa sumu,si kufu yake, Tohara, ni za kudumu,dhara zake, Tohara ya mwanamke,katwaani siwazie! 3. Tohara,kile kijembe,usikishike, Tohara, yule kiumbe, si haki yake, Tohara,usimtimbe,kwayo makeke, Tohara, usimtimbe,kwayo makeke, Tohara ya mwanamke, katwaani siwazie! 4. Tohara,ni tamaduni,usiyashike, Tohara,ati uzimani,ajumuike, Tohara, umaaluni,kwa mwanamke, Tohara ya mwnamke,katwaani siwazie! 5. Tohara, akijifungua,ataabike, Tohara, yaweza ua,hufa wanawake, Tohara, inausumbua,uhai wake, Tohara ya mwanamke,katwaani siwazie! 6. tohara, na siku hizi,haya uyashike, Tohara, gonjwa umaizi,lije limshike, Tohara, ageuke uzi,huo mwili wake, Tohara, ya mwanamke, katwaani siwazie! 1

7. Tohara, nasisitiza,mwanamke, Tohara, inaibeza,hadhi yake, Tohara, inadumaza,fikira yake, Tohara ya mwanamke,zamu yake ipitile! a) Eleza dhamira ya msanii katika shairi hili (alama 2) b) Fafanua madhara manne ya tohara kwa mwanamke (alama 4) c) Taja na ueleze mbinu mbili za kifasihi zilizotumika katika shairi (alama 4) d) Kulingana na mshairi mwanamke hupashwa tohara kwa nini? (alama 2) e) Andika ubeti wa sita katika lugha natahri (alama 4) 2

f) Eleza maana ya maneno yafuatayo kama yalivyotumika katika shairi i. Adha ii. Usimtimbe g) Upashaji wa tohara kwa mwanamke ni mojawapo ya maswala ibuka katika jamii yetu.taja maswala ibuka mengine mawili yanayohusu mwanamke. (alama 2) 3

2. 2009 USHAIRI Jibu swali la 2 au la 3 Soma shairi hili kasha ujibu maswai yanayofuata KIBARUWA: Abdilatif Abdalla Kwenye shamba hilo kubwa asilani hakunyi mvuwa! Ni kwa mitilizi ya jasho langu ndiyo hunweshazewa Kweye shmba hilo kubwa sasa imeshaiva kahawa Na binuze ni matone ya damu yangu niliyotowa Ndipo mte ukatipuza! Buni hiyo itakaangwa buni hiyo itapondwapondwa Buni hiyo itasagwa na buni hiyo itafyondwafyondwa Bali itabaki nyeusi kama ngozi yangu kibarurwa Waulize ndege nyimbo nyanan watutumbuizao Iulize na mito kwa furaha maji itiririkao Uulize na upepo mkali kwa ghadhabu uvumao - Viulize:Ni nani araukae na mapema kuzitema mbuga na kuzilaza? Viulize: Ni nani akweaye minazi tangu kuchapo hadi lingiapo giza? Viulize: Ni nani abebeshwaye mizigo hadi maungo yakageuka shaza? Halafuye hana faida moja apatayo wala malipo yanayotosheleza- Isipokuwa kusundugwa na kutupiwa matambara na vyakula vilivyooza? Viulize: Ni nani huyo nii nani! Viulize: Ni nani ayalimaye mashamba na kuyapaliliya 4

Na mimea kochokocho ikajaa kwa uzito ikajinamiya? Hatimaye nani atajirikaye mali yakammiminikiya Akaota na kitambi kama mja mzito wa miezi tisiya Na akaongeza magari na wanawake kutoka na kuingiya? Viulize: Ni nani huyo ni nani? Na hao ndege kwa nyimbo nyanana watumbuizao Nayo hiyo mito kwa furaha maji itiririkao Na huo upepo mkali wenye ghadhabu uvumao Vyote hivyo vitatu vitakujibu kwa umoja wao; Ni kibaruwa manamba ndiye mtendaji hayo! (a)eleza dhamira ya shairi hili (alama 2) (b)kwa kutoa mifano, eleza aina mbili za idhini ya kishairi alizotumia mshairi (alama 4) (c)kwa kurejelea ubeti wa tatu taja na ueleze tamathali ya usemi na mbinu ya kimuundo iliyotumika (alama 4) (d)huku ukitoa mifano, eleza kwa kifupi mwelekeo wa mshairi kuhusu vibarua. (alama 4) 5

(e)andika ubeti wa tano katika lugha ya nathari. (alama 4) (f)onyesha utata wa maana katika matumizi ya Kibaruwa Manamba (alama 2) 3. 2009 Soma shairi hili kasha ujibu maswali yanayofuata: Kila Mchimba Kisima Musa mzenga 1. Tenda utendapo tendo, tenda tendo kwa hekima, Liandamane nwenenndo, sawa na yako kalmia, Kalmia yenye upendo kufurahisha mtima, Kila mchimba kisima, budi huingia mwenyewe. 2. Utendapo la faraja, tendo ni yako salama, Ya kukupa kila tija, na ushindi wa daima, Lupate njema daraja, duninani ni kiyama, Kila mchimba kisima, budi huingia mwenyewe. 3. Utendapo la miuja, tendo ni yako nakama 6

Ya kukutia harija, hasara kukuandama, Usione afuwaja, mwanzo na yako hatima, Kila chimba kisima, budi huingia mwenyewe 4. Nakwambia uelewe, pulika ninayosema, Si ari ya mwenginewe, kumuonya kwa lazima, Mtu hufunza mwanawe, kwanza ajue heshima, Kila mchimba kisima, budi huingia mwenyewe. 5. Nisipokwambia wewe, kukufunza kila jema, Kusudi nikuongowe, uepukwe na tuhuma Matusi ndimi nipawe, ila na kila lawama, Kila mchimba kisima, budi huingia mwenyewe. 6. Hii si heri ujuwe, matusi kunigandama, Hadhi usiniuzuwe, hamithilishwa na nyama, Fikiri moyo utuwe, nikupapo taaluma Kila mchimba kisima, budi huingia mwenyewe 7. Shika tena utamvuwe, wasia huu ni mwema, Matendo usipunguwe, mazuri kutenda hima, Yatende ubarikiwe, upawe na taadhima, Kila mchimva kisima, budi huinia mwenyewe 8. Yakupasa uchunguwe, kila jambo kulipima, Upime ufafanuwe, mambo yote kwa alama, La kuwaka ulijuwe, pia lii la kuzima, Kila mchimba kisima, budi huingia mwenyewe (a) Eleza maudhui ya shairi hili (alama 4) (b) Ujumbe unaowasilishwa shairi hili una hadhira lengwa tate. Zitaje na utoe mifano. (alama 6) 7

(c) Eleza umuhimu wa kipokeo kinachotumiwa katika shairi hili. (alama 4) (d) Andika ubeti wa tano kwa lugha ya nathari. (alama 4) (e) Eleza maana ya msamiati ufuatao kama ulivyotumiwa katika shairi: (i) afuwaja (ii) taaluma (alama 2) 8

4. 2010 Soma shairi hili kisha ujibu maswali yanayofuata. Dhamiri yangu Dhamiri imenifunga shingoni. Nami kama mbuzi nimefungwa Kwenye mti wa utu. Kamba ni fupi Na nimekwishachora duara. Majani niwezayo kufikia yote nimekula. Ninaona majani mengi mbele yangu Lakini siwezi kuyafikia: kamba, kamba. Oh! Nimefungwa kama mbwa. Nami kwa mbaya bahati, katika Uhuru kupigania, sahani ya mbingu Nimeipiga teke na niigusapo kwa mdomo Mbali zaidi inakwenda na siwezi tena Kuifikia na hapa nilipofungwa Nimekwishapachafua na kuhama siwezi. Kamba isiyoonekana haikatiki. Nami sasa sitaki ikatike, maana, Mbuzi wa kamba alipofunguliwa, mashamba Aliharibu na mbwa aliuma watu. Ninamshukuru aliyenifunga hapa Lakini lazima nitamke kwa nguvu "Hapa nilipo sina uhuru!" (E. Kezilahabi) (a) Taja mambo manne ambayo mshairi analalamikia. (alama 4) (b) Kwa nini mshairi haoni haja ya yeye kuwa huru? (alama 2) 9

(c) Eleza rnaana ya mshororo ufuatao kama ulivyotumiwa katika "Kamba isiyoonekana haikatiki." (alama 2) (d) Taja na utoe mifano ya aina mbili za tamathali zilizotumika katika shairi hili. (alama 4) (e) Kwa kutoa mifano miwili, eleza jinsi matumizi ya mishata yanavyojitokeza katika shairi hili. (f) Andika ubeti wa pili kwa lugha nathari. (alama 4) 10

5. 2012 SEHEMU D: USHAIRI Jibu swali la 6 au la 7. Soma shairi lifuatalo kisha ujibu maswali. Said A. Mohamed: Mbele Ya Safari 1 Ilipoanza safari, ilianza kwa dhiki Tulishikana kwa ari, kwenda safari ya haki Tukawa ni majabari, nyoyo zisitaharuki Tukajizatiti 2.Njaa ikawa thabiti, na kiu kutamalaki Nasi tulitia dhati, tusijali kuhiliki Ingawa mbele mauti,dhila na mingi mikiki Tulijizatiti 3. Huu mwisho wa safari,tukaambiwa ni haki Shangwe kwetu na fahari, utumwa hatuutaki Kuwa mbele ya safari, juhudi iliyobaki Tulijizatiti 4. Ile ilikuwa ndoto, mwisho wake mafataki Nguvu zimechomwa moto,sahala mekiiwa dhiki Wagombania kipato, utashi haukatiki Na kutabakari 5. Msafara ukasita, kwenye mlima wa haki Kijasho kinatuita. mlima haupandiki Basi sote 'kajipeta, kukikwea kilima hiki Twataka hazina 6.Tukiwa migongo wazi,tukainama kwa shaki. Tukawa'chia ukwezi, kialeni wadiriki Wakapanda bila kazi, kuteremsha miliki Wakaitapia 7. Wakafikia makazi. ya pumbao na ashiki Huko wakajibarizi, kwenye raha lakilaki Wakaisahau ngazi, ya umma ulomiliki Mbele ya safari 8. Na hazina yetu sote, kuishusha hawataki Wamo wanatema mate, kwa umati halaiki Imezima nia yote, kiza hakitakasiki Mbele ya safari 11

(a) Eleza safari inayorejelewa katika shairi hili. (alama 2) (b) Onyesha kinaya cha safari inayozungumziwa. (alama 6) (c) Taja na ueleze bahari mbili za shairi hili ukizingatia: (alama 4) (i) mizani; (ii) vina. (d) Andika ubeti wa saba kwa lugha ya nathari. (alama 4)

(e) Eleza umuhimu wa aina mbili za uhuru wa kishairi zilizotumiwa katika ubeti wa sita. (alama 4) 7. Soma shairi lifuatalo kisha ujibu maswali. 1. Wakati tunywapo chai hapa upcnuni 4 Sasa tukisubiri ndoto tusizoweza kuzitekeleza tena Na kuwatazama watoto wetu Tumalizie machicha ya chai yetu ya jioni Wakicheza bembea kwa furaha Bila ya kutematema na kwa tabasamu Tujue kamba ya bembea yetu imeshalika Na baada ya hapo tujilambe utamuutamu Na bado kidogo tutaporomoka Uliobakia kwenye midomo yetu 2. Kulikuwa na wakati ulinisukuma juu 5 Tukikumbuka siku ilee ya kwanza Nikaenda zaidi ya nusu duara Tulipokutana jioni chini ya mwembe Kulikuwa na wakati nilikudaka Tukitafuta tawi zuri gumu Ulipokaribia kuanguka La kufunga bembea yetu Na kulikuwa na wakati tulibebana kwa zamu Naye mbwa Simba akisubiri Mmoja wima akisukuma mwingine amekaa 3.Wakati huo, japo tulipaa mbele na nyuma Tulicheka kwa matumaini yaliyotiwa chumvi Na kisha tukaongozana jikoni kupika chajio Ilikuwa adhuhuri yetu 6. Lakini kabla hatujaondoka kimyakimya Kukamilisha nusu duara iliyobaki Tuhakikishe vikombe vyetu ni safi

(E. Kezilahabi)

(a) Fafanua maana ya kijuujuu na maana ya kitamathali ya shairi hili. (alama 6) (b) Bainisha matumizi ya vipengele vifuatavyo katika shairi: (alama 6) (i) Usimulizi: (ii) (iii) Usambamba; Taswira. (c) Tambulisha mzungumzaji (nafsi-neni) katika shairi hili. (alama 2) (d) Fafanua toni ya shairi hili. (alama 4)

(e) Eleza maana ya mshororo: "Tuhakikishe vikombe vyetu ni safi." (alama 2)