SHULE YA SEKONDARI KIBAHA S.L.P 30053, KIBAHA SIMU NA Kibaha

Similar documents
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAISI-TAMISEMI HALMASHAURI YA WILAYA BUMBULI

HALMASHAURI YA WILAYA YA SUMBAWANGA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. OFISI YA RAIS- TAMISEMI.

2018/2019 OFISI YA RAIS-TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

Kumb.Na.BSS/A.6/33 Tarehe: 18 Juni 2018 YAH: MAAGIZO YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2018/2019

OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA WILAYA YA IRINGA SHULE YA SEKONDARI TOSAMAGANGA

JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAISI-TAMISEMI

FOMU YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO

JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI HALMASHAURI YA MANISPAA YA MPANDA SHULE YA SEKONDARI RUNGWA

JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

ARCHDIOCESE OF MWANZA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA

YAH: MAAGIZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI KAREMA KIDATO CHA TANO MWAKA 2018

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS - TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA BUKOBA.

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAGU

JAMHURI YA MUUNGANO IVA TANZANIA

KAWAWA JKT HIGH SCHOOL PO.BOX 213 MAFINGA IRINGA PHONE MOBILE, , , ,

Kumb.Na.HVEMS/JI/BT/018 Novemba 17, YAH: MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE CHINI YA TAASISI YA ROCK MEMORIAL EDUCATION TRUST 2018

Information for assessors (do not distribute this page to participants):

YAH: MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI WERUWERU HALMASHAURI YA MOSHI MKOA WA KILIMANJARO MWAKA 2018

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS - TAMISEMI

NAFASI ZA MASOMO MASOMO YA ASUBUHI

Huduma kwa wateja kupitia barua pepe na ujumbe mfupi Fig

GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23)

Hati ya kuhitimu kisomo Kenya (K.C.S.E)

SERA & TARATIBU YA YALE NEW HAVEN HEALTH

UTANGULIZI ANUANI NA MANDHARI YA CHUO

Human Rights Are Universal And Yet...

SautiElimu. Sauti Yako Isikike

Upande 1.0 Bajeti yako

GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23)

Jifunze kusimamia pesa zako nchini Uskoti

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA ELIMU SAYANSI TEKNOLOJIA NA UFUNDI MTAALA WA ELIMUMSINGI DARASA LA I NA LA II

KANUNI ZA MAADILI MWONGOZO WA WANAFUNZI

Ufanisi katika Ufundishaji kwenye Shule za Msingi na Sekondari nchini Tanzania

Tufundishane! Mwalimu Bora In this issue: Issue 6, December Do you want to be in our next issue?

TIST (TANGA) HABARI MOTO MOTO. Kutunza miche yako. Take care of your seedlings. Take care of your trees

Nilikua na Ndoto ya Kumaliza Shule Changamoto za Elimu ya Sekondari Tanzania

Elimu ya Msingi inaelekea Upande Sahihi? Kufikiri na Nyerere Rakesh Rajani

Mwongozo wa Familia wa Kujifunza

Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi (MMEM) Muhtasari Rakesh Rajani na George Omondi

MKAKATI ATHARI YA MAZINGIRA NA KIJAMII YA KAZI YA PRO-ROUTES. Ombi kwa ajili ya fedha za umma wa mradi wa ziada

Sera ya Faragha. Upeo. Aina za Data na Mbinu za Ukusanyaji

MWONGOZO WA UTUNGAJI WA SHERIA NDOGO NA USHIRIKI WA WANANCHI

JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 1

MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI KWA MWAKA 2017/18

KIJARIDA JUU YA HAKI ZA RAIA KATIKA MFUMO JINAI

Hatari, Haki za Usalama katika Bahari 03

Azimio la Umoja wa Mataifa Kuhusu Watetezi wa Haki za Binadamu

KITEGO CHA MAREKEBISHO NA HAKI ZA MTOTO

TIST HABARI MOTO MOTO MAANDALIZI YA MWAKA 2000 Y2K PREPARATIONS SASA NI WAKATI WA KUANZA KUPANDA MBEGU ZAKO

Early Grade Reading Assessment for Kenya

Kocha Mkuu. mabingwa. itakuwa INASTAHILI. Ili Kutoa mafunzo kwa wanafunzi wako kuwa. itakuwa ya kuumiza. Itachukua muda. Itahitaji moyo wa kujitoa.

Dodoma ambako kikao cha Bunge kinaendelea kuja kushiriki japo sehemu ya uzinduzi wa mkutano.

TIST HABARI MOTO MOTO. Benefits of Loan Repayment. Faida za ulipaji wa mikopo U OTESHAJI W A M ITI Y A M ATUNDA

TIST HABARI MOTO MOTO

Mwongozo kwa Lugha Rahisi wa Sera ya Maendeleo ya Ushirika na Sheria ya Vyama vya Ushirika Tanzania Bara

5. Mheshimiwa Spika, Bunge lako Tukufu lilijadili kwa kina Miswada ifuatayo:

4. Kanuni za Petroli (Ushiriki wa Watanzania) za mwaka 2017 zilianza kutumika rasmi tarehe 5 Novermba Shughuli za Petroli za kwanza ni

Elimu Bora, lakini... C HakiElimu Elimu bora, lakini...

TAARIFA FUPI KUHUSU SERA YA TAIFA YA ELIMU

Kifaa Maalum cha Kutazamia Jua: Maelekezo ya kutumia

ORDER NO BACKGROUND

JHSPH MAADILI YA KUFANYA UTAFITI WA MASUALA YA BINAADAMU MUONGOZO WA MAFUNZO YA UTAFITI

SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO

Deputy Minister for Finance

Kijitabu cha Maelezo cha Programu ya Famasia

13 APRILI, 2012 BUNGE LA TANZANIA MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA SABA. Kikao cha Nne Tarehe 13 Aprili, (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A

Ellen White, waasisi wa Kiadventista,na Sabato Lunar

Kufafanua Upya Elimu Bora Tanzania: Kutoka Zana za Dufundishia mpaka Uwezo wa Wanafunzi 1 Oktoba 2007

Mheshimiwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame M. Mbarawa (Mb.); Waheshimiwa Mawaziri na Wabunge wote mliohudhuria;

BUNGE LA TANZANIA MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA PILI. Kikao cha Nne - Tarehe 29 Januari, (Kikao Kilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A

HOTUBA YA WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU: KAZI, AJIRA, VIJANA NA WENYE ULEMAVU MHE

UNIVERSITY OF CAMBRIDGE INTERNATIONAL EXAMINATIONS General Certificate of Education Ordinary Level. SWAHILI 3162/01 Paper 1 May/June 2013

Misamaha ya kodi Tanzania: Je, ni mikubwa sana na kutufanya tuwe tegemezi kwa misaada?

Uzio wa pilipili unazuia tembo kuvamia mazao shambani! Jinsi ya kujenga na kudumisha uzio wa pilipili Tanzania

Banana Investments Ltd

Azimio lililopitishwa na Mkutano Mkuu tarehe 18 Desemba 2013 [juu ya taarifa ya Kamati ya Tatu (A/68/456/Add.2)]

Taarifa Kuhusu Hali ya Uchumi wa Tanzania

KUWEZESHA MBINU ZA UZUIAJI MIMBA KATIKA SUHULA ZA AFYA: MASWALI 10 KWA VIKUNDI VYA JAMII KUZINGATIA

Hati ya Kuhitimu Elimu ya Sekondari Kenya.( K.C.S.E)

LUGHA YA KISWAHILI KATIKA KUFUNDISHIA NA KUJIFUNZIA ELIMU SHULE ZA SEKONDARI

HAKI NA TARATIBU ZA AJIRA, KAZI NA HIFADHI YA JAMII

BUNGE LA TANZANIA MKUTANO WA NANE. Kikao cha Ishirini na Nane Tarehe 16 Julai, (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A

KIMAZINGIRA NA KIJAMII NA MPANGO WA UDHIBITI

UNACHOHITAJI KUJUA KUHUSU VIKWAZO VYA KULINDA MAISHA KATIKA USAIDIZI WA KIMATAIFA WA AFYA KWA MSAADA WA KIMATAIFA UNAOFADHILIWA NA MAREKANI

usudi la Maisha Hakika katika kuumbwa mbingu na ardhi, na kupishana usiku na mchana, kuna kweli ishara kwa wenye akili, ambaye mkumbuke-

Vijana wanazungumza kuhusu ujinsia, maisha na uhusiano VIJANA WANAZUNGUMZA KUHUSU NGONO, MAISHA NA UHUSIANO. Training and Research Support Centre

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO

MATUMIZI YA FACEBOOK KWA BIASHARA. Kwa Wanaoanza

Siku ya kwanza. Mguso wa ngozi-kwa-ngozi (Ulezi wa kangaruu) Mtoto wako anaweza kuhisi mdundo wa moyo wako

International Labour Office. Kazi za Ndani Zenye Madhara kwa Watoto: Kijitabu cha Maelezo Mafupi

HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, MHESHIMIWA DKT. PHILIP I. MPANGO (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA SERIKALI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO

Ufunguo wa Kutaalamika Haraka

TANZANIA OSAKA ALUMNI. Kitabu cha Mbinu Bora

KUUNGANISHA VIZAZI KUPITIA RADIO MWONGOZO KUTOKA AFRIKA KWA WAANDAJI WA VIPINDI VYA RADIO WANAOFANYAKAZI NA WATOTO NA VIJANA

Adhabu ya jino kwa jino na Musitakabali wa imani zetu

CGAP Smallholder Household Survey in Tanzania / Utafiti wa kaya ndogondogo Tanzania

Transcription:

Kumb.Na.KSS/. Tarehe:.. Ndugu:.. SHULE YA SEKONDARI KIBAHA S.L.P 30053, KIBAHA SIMU NA. 023-2402143 e-mail Kibaha Secondary@kec.or.tz www.kec.or.tz TAARIFA YA KUCHAGULIWA KUINGIA KIDATO CHA TANO 2018 Ninayo furaha kukufahamisha kuwa umechaguliwa kuingia kidato cha V mwaka wa masomo wa 2017 Unatakiwa kufika hapa shuleni tarehe 17/07/2018. Nafasi yako atapewa mtu mwingine kama hutafika shuleni baada ya 30/07/2018. Shule iko Kilometa 40 kutoka Dar es Salaam karibu na Kiwanda cha TANCHIN zamani TAMCO Scania kilicho upande wa kulia mwa barabara inayoelekea Morogoro). Fuata barabara iliyo kushoto ukitokea Dar es Salaam hadi Tumbi Hospitali kilipo kituo cha mabasi nje ya Geti dogo la Hospitali. Uliza njia ya kuelekea shule ya Sekondari Kibaha. Yafuatayo ni maelezo na maagizo ambayo unashauriwa kuyatumia kabla hujafika hapa shuleni. 1. MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA: (i) Fika shuleni ukiwa na cheti cha kuzaliwa. (ii) Fika na Fomu ya kupimwa ikiwa imejazwa kikamilifu na Daktari wa serikali. (iii) Fika na result slip ya kidato cha nne. (iv) Lete File/Jalada la kutunzia mitihani yako. (v) Fika shuleni ukiwa na kadi ya BIMA ya afya. 2.SARE YA SHULE: (i) Anatakiwa awe na suruali mbili (DARK-BLUE) na mashati mawili (MEUPE) yenye mikono mifupi yenye nembo ya shule, tai na fulana (T-shirt) ya Shule. Pia mwanafunzi anatakiwa awe na nguo rasmi za kushindia(shamba wear). Hivi vinapatikana shuleni. (ii) Viatu jozi moja au zaidi visivyochongoka wala kuinuka mbele. Hivi viwe vya ngozi rangi nyeusi (vyenye gidamu) vya kufungwa kwa kamba. Ndala hazitaruhusiwa kuvaliwa pamoja na sare ya shule. (iii) Soksi fupi jozi mbili za rangi nyeusi na zisizo na mapambo yoyote. (iv) Aje na mkanda mweusi wa ngozi wa suruali wenye buckle ndogo. (v) Bukta au kaptura kwa ajili ya michezo na kazi za mikono. (vi) Raba za michezo jozi moja (01) (vii) Aje na sweta (dark-blue) yenye shingo ya herufi V (viii) Aje na nguo za michezo. (track suit na bukta mbili za rangi ya Blue) TANBIHI: Nguo utakazopewa baada ya kulipia zinatosha,hivyo usije na nguo za nyumbani. 3.MAHITAJI MENGINE: (i) Kila mwanafunzi awe na Sahani, Bakuli, Kikombe, Kijiko kwa ajili ya chakula. (ii) Lete Shuka tatu za Bluu, mto na Foronya mbili, pamoja na Chandarua. (ukipenda unaweza kuleta blanketi moja ingawa hali ya hewa ya Kibaha ni ya joto. Vile vile ulete taulo moja ya kuogea na vifaa vingine vya usafi wa binafsi. (iii) (iv) (v) Ndoo 2 kwa ajili ya kutunzia maji ya kunywa na kuogea. Fika shuleni ukiwa na kwanja kwa ajili ya matumizi ya shule. Fika shuleni ukiwa na Mfagio laini 1, Mfagio Mgumu (hardbroom) 1, na Mpira Page 1 of 8

(vi) (vii) (viii) (ix) (x) (xi) (xii) wa kupigia deki 1 (Rubber squeezer), na Fagio la Chelewa lenye mkono. Dawa ya kusafishia choo Lita tano (AINA YA CARELINE). Toilet Paper kumi (10) au zaidi kwa matumizi binafsi. Godoro moja lenye Futi 2½ kwa 6 kwa matumizi binafsi(yanapatikana Maduka yaliyo jirani na shule) Truncker kwa ajili ya kuhifadhia vitu. Nguo za kushindia zinapatikana shuleni. (Suruali Mbili na Tshirt mbili zenye Nembo). Hairuhusiwi kuja na nguo za nyumbani Uniform zinapatikana shuleni (Suruali mbili na Tshirt mbili na mashati mawili yenye Nembo). Unatakiwa ulete Mathematical set (Mkebe wa vifaa vya Mahesabu) moja. (xiii) Kwa upande wa masomo unatakiwa kuleta daftari kubwa (counter books 4 Quire) zisizopungua 10. kwa muhula za kutosha kuandikia katika masomo yako yote (xiv) Shule yetu inafanya majaribio mengi. Leta ream mbili za karatasi za Photocopy Upeleke Ofisi ya Taaluma. (xv) (xvi) (xvii) (xviii) (xix) (xx) Alete scientific calculator kwa ajili ya wanafunzi wa kidato cha tano na sita Kwa watakaosoma Biology A-Level waje na Dissecting Kit ambayo wataitunza wenyewe. Fika shuleni na Jembe na mpini wake kwa ajili ya bustani ya shule. Jitahidi mnunulie mwanao vitabu vifuatavyo kwa ajili ya rejea:- 1. Physics advanced Level by Chand 2. Chemistry advanced level by Chand 3. Understanding Biology advanced level. 4. Principle of Biology form V VI. 5. Modern ABC Physics volume 1 and 2. 6. Modern ABC Biology volume 1 and 2 7. Business accounting 2 by Frank wood 11 edition 8. Advanced mathematics by Chand. Mfungulie mwanao akaunti kwa ajili ya kutunza fedha za matumizi. Mwanafunzi akabidhi stampu na bahasha kwa ajili ya kutuma fomu ya maendeleo ya kitaaluma kwa muhula. 4. FEDHA ZA MUHIMU KULIPWA a) Za kulipia benki Akaunti namba 21201100007 Kibaha secondary school subvention account nmb bank (i) Shilingi 70,000/= kwa ajili ya Ada kwa mwaka au shilingi 35,000 kwa muhula. (ii) Shilingi 15,000/= kwa ajili ya tahadhali (Caution money) (hazitarejeshwa) (iii) Shilingi 10,000/= kwa ajili ya gharama za Uanachama na matumizi ya Maktaba kwa mwaka. (iv) Shilingi 10,000/= kwa ajili ya Fomu ya kujiunga na shule. (v) Shilingi 65,000 kwa ajili ya samani za Shule. TANBIHI: Malipo yalipwe kupitia benki ya NMB na Stakabadhi ya malipo iletwe shuleni Na iandikwe jina la Mwanafunzi na kidato chake kwenye pay in slip ya Benki na si jina la mzazi. b) Za kuleta taslimu shuleni (vi) Shilingi 150,000 kwa ajili ya nguo za sare na nguo za kushindia(suluari 4,mashati 2,T shirts 3 na tai 1). (vii) Shilingi 8,000/= kwa ajili ya Kitambulisho cha shule na usajili. (viii) Shilingi 20,000/= kwa ajili ya maboresho ya Taaluma. (viii) Shilingi 10,000/= kwa ajili ya usafi wa nywele/ndevu kwa muhula. (x) Shilingi 50,000 kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa uzio wa shule (makubaliano vikao vya wazazi). Page 2 of 8

5. MAELEKEZO MENGINE MUHIMU: (i) Unapofika shuleni uripoti kwa mwalimu wa zamu ukiwa na Pay in Slips za Benki ambazo utazionyesha kwa msarifu msaidizi na yeye atakupatia risiti kwa malipo uliyolipia benki. Mwanafunzi hatapokelewa shuleni ikiwa hatakamilisha malipo ya Ada na michango mingine. (ii) Unatakiwa uwe na nauli ya kurudia nyumbani wakati wa likizo. Haturuhusu mwanafunzi kubaki shuleni wakati wa likizo. (iii) Pasi inaruhusiwa shuleni na ni lazima ijulishwe kwa mwalimu mlezi wa nyumba. (iv) Utakapofika hapa shuleni utasomewa sheria za shule na utaratibu mzima wa shule hii na utalazimika kuufuata. Ukikosa, hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yako. (v) Mwanafunzi wetu haruhusiwi kuendelea na masomo ya muhula kama hajakamilisha malipo yote. Itabidi arudi nyumbani kwa gharama za mzazi/mlezi wake ili kufuata michango hiyo. (vi) Mwanafunzi haruhusiwi kumiliki Simu, Laptop na Ipod shuleni. Akipatikana na vitu hivyo atasimamishwa masomo au kufukuzwa shule na simu itaharibiwa. (vii) Endapo mwanafunzi/mzazi/mlezi atakuwa na dharura awasiliane kwa kutumia simu ya shule. (viii) Mzazi anaruhusiwa kuja kumsalimia mtoto wake kila jumapili ya mwisho wa mwezi kwa miezi ya Februari,Aprili,Augasti na Oktoba tu. 6.MAKOSA YANAYOWEZA KUSABABISHA KUFUKUZWA SHULENI. (i) Kumiliki simu ya mkononi na laini shuleni. (ii) Wizi,uasherati,ubakaji na ushoga. (iii) Ulevi,uvutaji bangi na matumizi ya madawa ya kulevya. (iv) Makosa ya jinai. (v) Kupigana au kupiga (vi) Kuharibu kwa makusudi mali ya umma (vii) Kudharau Bendera ya Taifa. (viii) Kuoa (ix) Kugoma,kuchochea na kuongoza au kuvuruga amani na usalama. (x) Kukataa adhabu kwa makusudi. 7. KIKAO CHA WAZAZI Shule ina utaratibu wa vikao vya wazazi ambavyo hufanyika kila mwaka. Lengo kuu la vikao hivyo ni kupanga na kusimamia mipango mbalimbali ya kuboresha taaluma, nidhamu na miundombimu ya shule. Mwaka huu kikao kitafanyika tarehe 25.8.2018 kuanzia saa tatu kamili. Unatakiwa usikose kuhudhuria 8.HITIMISHO Mwisho natumia fursa hii kwa niaba ya walimu, wafanyakazi na wanafunzi wote wa shule hii kukukaribisha hapa shuleni na naamini utatumia vizuri nafasi hii uliyopewa na Taifa ya kukuongezea elimu yako. Karibu sana. Nakala kwa: Maafisa Elimu (M) Ambilikile, C.M, Mkuu wa Shule, SHULE YA SEKONDARI KIBAHA. SIMU YA MKONONI: 0752 453639/0717 054360 MIKOA YOTE YA TANZANIA BARA Taarifa kwa wanafunzi Page 3 of 8

Anuani...... Tarehe:... Mkuu wa Shule, Shule ya Sekondari Kibaha, S.L.P. 30053, KIBAHA YAH: BARUA YA KUKUBALI KUJIUNGA NA SHULE HII Aksante kwa barua yako Kumb.Na.. ya tarehe (a) (b) (c) (d) (e) Nakubali/sikubali nafasi niliyopewa ya Kidato cha Tano kwa mwaka. Niko tayari/siko tayari kufuata sheria, maagizo na masharti yote ya Kibaha Sekondari Nitahudhuria/Sitahudhuria masomo yote ninayotakiwa kusoma hapa shuleni Nikishindwa kuhudhuria bila sababu ya msingi nifukuzwe shule. Nitaleta/Sitaleta (i) (ii) (iii) (iv) (v) Uthibitisho wa Uraia/Cheti cha kuzaliwa (Affidavit hairuhusiwi) Vitu vinavyohitajika kwa matumizi yangu Cheti cha Afya Fomu ya kuandikisha na habari zangu za mzazi/mlezi wangu. Result slip ya kidato cha nne. Aksante....... JINA NA SAHIHI YA MWANAFUNZI JINA NA SAHIHI Page 4 of 8

FOMU YA KUANDIKISHA SHULENI NA HABARI ZA WAZAZI WA MWANAFUNZI SEHEMU A: (HABARI ZA MWANAFUNZI): 1. Jina kamili (Kama kwenye mtihani) 2. Tarehe ya kuzaliwa Dini..Dhehebu 3. Mahali na Wilaya ulipozaliwa. 4. Shule ulipomaliza Kidato cha IV.., Mwaka uliomaliza 5. Kidato unachokuja kuingia hapa shule ya Sekondari ya Kibaha 6. Namba yako ya mtihani Kidato cha nne ilikuwa 7. Michezo unayopendelea: TANBIHI: Hairuhusiwi kubadili dini ukiwa shuleni au kushawishi wanafunzi wengine kubadili dini. 1 2 3 JINA LA MCHEZO MAHALI/SHULE MWAKA 8. Kazi yeyote ya uongozi uliyowahi kufanya kama vile kiongozi wa michezo, kwaya, ngoma, kiranja, maktaba n.k. MADARAKA AU UONGOZSHULE/MAHALI MWAKA 9. Mambo unayopendelea kufanya nje ya masomo (kama vile michezo, mpira, bustani, ushonaji viatu, nguo, michezo ya kuigiza). kuimba 1.2. 3.. 10. Ndugu wa karibu wa mwanafunzi (wa kiume/wa kike) k.m. Mjomba, mama, shangazi, kaka, dada kufuatana na umri wao wa kuzaliwa. 1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. JINA LA NDUGU KAZI ANAYOFANYA UHUSIANO NA MWANAFUNZI KIWANGO CHA ELIMU ANUANI NAMBA YA SIMU Nathibitisha kwamba habari zilizotolewa hapo juu ni kweli. Naahidi kuwa na tabia nzuri, mchapa kazi na mwenye bidii ya masomo. Tarehe:.. Sahihi ya Mwanafunzi Page 5 of 8

SEHEMU B: (HABARI ZA MZAZI/MLEZI): 1. Jina kamili 2. Kazi yake. 3. Mahali anapoishi... Anwani ya nyumbani Kijiji.Kata Tarafa Wilaya.Mkoa 4. (a) Anuani ya Mahali pa kazi ya mzazi/mlezi. (b) Nambari ya simu.. 5. Dini ya mzazi.. Madhehebu. 6. Anuani kamili ya nyumbani ambako mtoto atakuwa anakwenda siku za likizo. 7. Anwani ya kazini (ikiwa inatofautiana na hiyo hapo juu na kila mara inapobadilika tunaomba utuarifu rasmi kwa barua kupitia Mkuu wa Kata, Tarafa au wa Kijiji chako) 8. Nathibitisha kwamba habari zilizotolewa hapo juu ni za kweli. 9. Naahidi kushirikiana na walimu kuhakikisha kwamba kijana wangu anakuwa na tabia nzuri, mchapa kazi na mwenye bidii ya masomo. Tarehe..Sahihi ya Mzazi/Mlezi Page 6 of 8

MINISTRY OF EDUCATION AND VOCATIONAL TRAINING KIBAHA SECONDARY SCHOOL P.O BOX 30053, KIBAHA SPECIAL REQUEST FOR MEDICAL EXAMINATION The Medical Officer.From Headmaster,(GOVERNMENT M.O) Kibaha Secondary School, Date: Name of Student... Date Term.. Year.. I shall be very grateful if you will kindly examine the above named student and give us a report regarding his fitness to undertake studies well in our school. A: PRELIMINARY INFORMATION: MEDICAL HISTORY NO DISEASE YES NO DISEASE YES NO DISEASE YES NO 1. Tuberculosis 7 Kidney/ trouble 13 Operation 19 2. Asthma 8 Diabetes 14 Eye disorder 20 3 Pneumonia 9 Neverous breakdown 15 V.D 21 4 Heart 10 Ear/Noise/Throat 16 Disabled 22 trouble trouble 5 Recurrent 11 Skin disorder/ 17 indigestion disease 6 Jaundice 12 Anaemia 18 B: VITAL STATISTICS Age.. Height Weight.. Blood group Blood pressure. Pulse rate.. Systolic Diastolic. C: MEDICAL EXAMINATION: REMARKS/TREATMENT EAR RT. LT. VISION RT. EYE LT. EYE THROAT CHEST EXAMINATION ABDOMINAL EXAM. LIVER SPLEEN OTHER COMMENTS M.S. SYSTEM UPPER LIMBS LOWER LIMBS SKIN ANY OTHER FINDING Page 7 of 8

D: LABORATORY EXAMINATIONS/INVESTIGATION: (1) STOOL: - Ova..Leucocytes (2) URINALYSIS: PROTEIN GLUCOSE SEDMENT: - OVA Leucocytes (3) Hb. (4) B/S. (5) VDRL (6) WBC Total Differential: N L M E B.. (7) X-ray Chest (If necessary). (8) ANYOTHERINVESTIGATION MEDICAL CERTIFICATE: We request the medical officer to complete the following: I have examined the above named student and considered that he is physically fit/unfit for most activities taken at the school as my findings indicated above. Date: Station..Dr s Name: Signature Thank you in advance. Ambilikile C,M, Headmaster, KIBAHA SECONDARY SCHOOL. Page 8 of 8