JAMHURI YA MUUNGANO IVA TANZANIA OFISI YA RAIS.TAMISEMI Namba za simu Mkuu wa shule 0784684613 S.L.P 23, Makamu Mkuu wa shule 0717134781 Shule Ya Sekondari Nyanduga, Tarime-Rorya, Patron: 0753379801 Email: nyandugasecondar5@gmail.com Tarehe 15,Mei,2O1B Mzazi /Mlen wa Mwanafunzi S.L.P YAH: MAELEKEZO YAKUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI NYANDUGA HALMASHAURI YA WILAYA YA RORYA, MKOA MARA, MWAKA 2018 l.nafurahi kukutaarifu kuwa mwanao amechaguliwa kujiunga na kidato cha Tano katika shule hii m*aka 2Ol8.tahasusi ya... Shule ya sekondari Nyanduga ipo umbali wa kilometa 11 Magharibi mwa barabara kuu ya mwanza-sirari. Ukitokea Mwanza unawenza kushuka Mika na kupanda magari ya Tarime- Utegi au Unaweza kwenda mpaka Tarime na kuchukua magari ya Utegi kwa gharama ya shilingi 2,500/:Ukifika utegi kuna usafiri wa bodaboda mpaka shuleni kwa gharama ya shilingi elfu moja. Muhula wa masomo unaanza tarehe...hivyo mwanafunzi anatakiwa kuripoti shuleni tarehe Ndugu mzazilmlez shule hii haitoi kabisa chakula tofauti na kile kinachotumiwa na wanafunzi wote kwa mwanafunzi mmojammoja(special diet). Vyakula vinavyotumika hapa shuleni ni ugali maharage, wali maharagwe,pia nylma kadri ratiba yao atakavyoikuta hapa shuleni. Mara mwanafunzi afikapo shuleni aripoti kwa Makamu Mkuu wa Shule kwa mapokezi na usajili ndani ya masaa ya kazi. Makamu Mkuu wa shule atahakikisha kwamba mwanafunzi amekuja na stakabadhi za malipo kutoka benki. Page 1 of 9
2.O MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA 2.L SARE YA SHULE a) Sare ya shule hii ni: i. Mashati mawili meupe za mikono mirefu na zenye mfuko mmoja tu.( nembo atawekewa hapa shuleni) ii. Suruali mbili, moja lenye rangi ya ugoro, ya pili ni lenye rangi ya dark blue ( suruali inatakiwa na marinda mawili kila upande,upana wa chini iwe futi(size) 16,iwe na tum up) iii. T-Shirt mbili zenye kola iv. Aje na sweta moja lenye rangi ya ugoro la kuvaa wakati wa baridi yenye shepu( alama) ya V shingoni b) Sare ya michezo kwa shule hii ni bukta na fulana(t-shirt) bluu, pamoja na viatu vya michezo. c) Viatu vya shule ni vyeusi vya kufunga na karnba vyenye visigino vifupi d) Soksijozi mbili vyeusi na khaki za shule. e) Mkanda wa kuvalia suruali ni mweusi wa ngozi. 0 Nguo za kushindia (shamba dress) ni ya rangi ya kijivu iwe na marinda mawili kila upande,upana wa chini iwe futi(size)l6,iwe na turn up. NB Uongozi wa shule inashauri sare zifuatazo za shule zichukuliwe sehemu moja kwenye duka na fundi walioko sentani karibu na shule. kwa lengo la kuepuka tatizo la kushona rangi isiyo takiwa na mtindo usiyotakiwa. sare hizo ni: suruali kwa shilingi 17,500/=kwa moja, T- Shirt zenye kola kwa gharama shilingi 10,000/= kwa moja.( hizi hela ni za kuleta mkononi) 2.2 ADA NA MICHANGO YA SHULE A. Ada ya shule kwa mwaka ni shilingi 70,0001: kwa muhula ni shilling 35,000/:unaweza kulipa yote kwa maramoja au kwa muhula.fedha hizo zilipwe kwenye akaunti ya shule A/C Na 30401200096 yenye jina la Nyanduga secondary school ( Recurrent A/C) Na michango mingine ilipwe kwenye A/C Na 30401200097 yenye jina Ia Nyanduga secondary school Development A/C (tafadhali andika jina a mwanafunzi kwenye pay in slip) B. MICHANGO INAYOTAKIWA KULIPWA NA KILA MZAZIIMLEZT. i) Shilingi 15,000/= kwa ajili ya ukarabati wa samani. 'ii) Shilingi 6,000/: kwa ajili ya kitambulisho na picha. (aje nayo mkononi) iii) Shilingi 20,0001= kwa ajili ya taaluma kwa mwaka na shilingi10,000/= kwa muhula iv)shilingi 30,000/:kwa ajili ya kuwalipa wapishi, walinzi na vibarua wengine kwa mwaka.shilingi I 5,000/: kwa muhula ir; Stritingi 40001= kwa ajili ya nembo ya shule (kwenye mashati mawili meupe, na t-shirt mbili zenye kola) (aje nayo mkononi) vi)shilingi 10,000/: kwa ajili ya huduma yakwanzana matibabu. (aje nayo mkononi) vii) Miundombinu ya maji 15,000/: viii) Dawa ya choo lita 5 ix) Shilingi 50OO/= Ya Tahadhari (Haitarejeshwa) Page 2 of 9
MUHIMUz?edha zote zilipwe benki isipokuwa gale galigoelekezua kupokeleuq. mkononi na sio aingineugo. C. MAIIITAJI MUHIMU AMBAYO MWANAFUNZI ANAPASWA KULETA SHI]LENI NI: D Ream ya karatasi ainayadouble A I (kwa mwaka) ii) Vitabu vya masomo ya tahasusi( orodha imeambatanishwa) iii) Godoro la upana wa futi 2.5x6 iv) Shuka mbili, rangi ya pinki au blue bahari(light blue) v) Vyombo vya chakula (sahani, bakuli,kijiko na kikombe). vi) Sanduku na kufuli kwa ajili ya kutunza vitu vyake vii)chandarua viii) Ndoo ya maji lita 20 kwa matumizi ya mwanafunzi ix) Dumu yalitatano la kutunza maji ya kunywa. x) D-light ndogo ya solar ya kutumia umeme ukikatika. xi) Kwanja ljembe 1 lenye mpini,reki I lenye mpini,ufagio yenye mpini laini wa ndani moja na Ufagio wa nje ainaya chelewa yenye mpini xii)aje na flat file moja kwa ajili ya kumtunzia nyaraka zake muhimu xiii) Wasilisha vivuli vya cheti cha kuzaliwa na result slip ya matokeo ya kidato cha nne. xiv) Toilet paper zakutosha, kwa matumizi yake,kuanziatano (aje nazo). xv) Dumu ya lita 20 ya kuchotea maji xvi) Pia usisahau kumpa mwanao fedha kidogo kwa ajili ya matumizi yake binafsi 3 MAKOSA YATAKAYOSABABISHA MWANAFUNZI KUFUKUZWA SHULE. i) Wizi Kutohudhuria masomo kwa zaidi ya siku 90 bila taarifa./utoro id iii) ir) Kugoma au kuhamasisha mgomo Kutoa lugha chafu kwa wanafuruiwenzake au walimu au walezi au jamii kwa ujumla v) Kupigana mwanafunzi kwa mwanafunzi, kumpiga mwalimu au na mtu yeyote yule. vi) Kusukalkunyoa mtindo usiokubalika shuleni.wanafunzi wote wanatakiwa kuwa na nywele fupi wakati wote wawepo shuleni. vii) Kufuga ndevu viii) Ulevi au unywaji wa pombe na matumizi ya madawa ya kulevya. ix) Uwtaji wa sigara x) Uasherati,uhusiano wa jinsia moja, kuoa au kuolewa xi) Kupata ujauzito au kutoa mimba xii) Kushiriki matendo ya uhalifu, siasa na matendo yoyote yale yanayovunja sheria zanchi. xiii) Kusababisha mimba au kumpa mimba msichana xiv) Kutembelea majumba ya starehe na nyumba zaktialawageni. xv) Kumiliki/kukutwa na simu ya mkononi katika mazingira ya shule. xvi) Kudharau ya bendera yataifa xvii) Kufanya jaribio lolote la kujiua au kutishia kujiua kama kunywa sumu n.k xviii) Uharibifu wa mali ya Umma kwa makusudi Page 3 of 9
MAKOSA MENGINE AMBAYO MWANAFUNZI APASWI KUYAFANYA AKIWA SHULENI NI: i) ii) iii) iv) v) vi) vii) viii) ix) x) xi) xii) xiii) xiv) xv) xvi) Kuvaa mavazi yasio sare za shule akiwa shuleni Kufuga kuchandefu na nywele ndefu. Kuiga mitindo ya kiuni isiyofaa.(eg Kuvaa kata-k). Kuchubua ngoziyamwili kwa kutumia madawa. Kwenda nje ya shule bila kuvaa sare ya shule. Kwenda nje ya shule bila ruhusa. Kuvaa kofia /bangili na mapambo mengineyasio sehemu ya sare ya shule. Kuwa na kamera na radio shuleni.(au kifaa chochote kinacho tumia umeme) Kutembelewa na wageni zaidi ya mara moja kwa mwezi ( siku ya jumamosi na jumapili ya kila mwisho wa mwezi ndiyo inaruhusiwa) Kukiuka RATIBA au utaratibu wa shule. Kupeleka wageni bwenini. Kwenda kwenye nyumba za walimu au wafanyakazi wengine bila ruhusa /sababu ya muhimu. Kula darasani/bwenini au kutunza aina yoyote ya chakula bwenini au kula kiporo. Kunyoa kipara au mtindo usiotakiwa. Kuvaa suruali bila mkanda. Kwenda jikoni/bwaloni na bukta au vesti. Tafadhali soma kwa makini maelezol maagizo haya na kuyatekeleza kikamilifu Nakutakia kila la kheri na safari njema I{ARIBU SANA SHULE YA SEKONDARI UYEUPUCE TsEltrt LAMECK LAWI OTIENO MKUU WA SHULE ' IIID'AtrTIII 'I!EIDgP-il' t---bc r & rart{e - fam-tllr* - Page 4 of 9
VIAMBATANISHO Kiambatanisho A SHULE YA SEKONDARI NYANDUGA (A I HTSTORTA/TAARTFA ya MWANAFUNZT 1. JinaLaUkoo......JinaLakwanza... JinaLaKati... 2. JinaLaM"zzilMlezi......:... 3. KamaNi Mlezi: Uhusiano......Namba Ya Simu... 4. Anwani Ya Kudumu Y amzazilmlezi... 5. Mahali Mwanafunzi Alipozaliwa: Mtaa wa/kuiji Cha... Kata ya...wilaya ya.mkoa Wa... 6. Dini....Dhehebu... 7. Unaingia Kidato Cha.......Tarehe/IVlwaka. 8. Kutoka ShuleYaSekondari...:...Wilaya....Mkoa... 9.Mzazi Wako Anafa ny a Kazi Ya Aj iralmkul i malb iashara Mahal i. 10. Usafiri Kutoka Hapa Shuleni Hadi Nyumbani Kwenu Ni: (Toa Maelezo) 1. 11. 11. Ndugu Wengine Ambao Wanaweza Kupelekewa Habari Nzuri Juu Yako/IVlaswalaYaShule Ni: i........uhusiano......namba Za Simu... ii....uhusiano......namba Za Simu. iii......uhusiano... NambaZa Simu... 12. Kabla Hujaja Hapa Shuleni Umepimwa Na Daktari? Ndiyo/Flapana Ni Ugonjwa Upi Ni Wa Kudumu Kwako...-... I 3. Sifa Maalumu Kama UnazoNo... 14. Unalipiwa/Utalipiwa Karo Na :(Taja Jina Anwani Yake Na Namba Za Simu) 15. Taarifa ZaWazazi Wako: Wapo( )Wamefariki( ) (Weka Alama Ya Vyema Panapohusika) Page 5 of 9
Nakiri Kuwa Maelezo Yaliopo Hapo Juu Ni Sahihi. Saini Ya Mwanafunzi Saini Ya MzazlMlezi MUHIMU;Mwanafunzi aje na picha zapassport nne(4) za wazazina ndugu wa karibu wanaoweza kumtembelea shuleni/kupewa taarifa yoyote kuhusu mwanafunzi, pamoja na namba zao SAHIHI za simu na nruapatikana muda wote. Mwanafunzi HASITUAITDIKIE namba yake ya simu akidai niyawazazi/waleziwake. BANDIKA PICHA ZA NDUGU WA KARIBU HAPA Jina: Uhusiano: Namba ya simu: Page 6 of 9
r tl il' ll Kiambatanisho B I SHULE YA SEKOIYDARI NYANDUGA i I MEDICAL EXAMINATION FORM (To be filled by an Authorized Government Medical Oflicer (Shartt ijazwe na Mganga Mkuu wa hospitali ya Serikali) Full name (Student).. Age....Height (in cms)...weight (in kgs)... 1. Blood count... (Red and White... 2. Stool Examination... 3. Urine analysis... 4. Syphilis and other V.D... 5. T.B and Leprosy Test... 6. Eye Test... 7. EarTest. 8. Chest Test. 9. Abdominal Test... 10. Blood Group (very crucial)... 11. Spleen.. I 2. H.I.V Test, Positive......Negative......(Tick where necessary) Additional information eg Physical defects or impairment, infections, chronic or family Diseases (eg Sickle cell)...;... I(Fullname)... Advanced Secgrndary Education. Designation... Station... Signature... Date...Rubber Stamp.....certifrthattheabovestudentisfit/isnotfittopursue Page 7 of 9
Kiambatanisho C SHULE YA SEKONDARI NYANDUGA KIAPO(HATII YA KUKUBALI KIAPO CHA MWANAFUNZI. Mimi (Jina La Mwanafunzi)......Nakubali Kwa Dhati Kabisa Nafasi Niliyopewa Na Taifa Kujiunga Na kidato cha tano katika Shule ya sekondari nyanduga ilioko wilayani Rorya Mkoa wa Mara. Naahidi Kufuata Sheria Zote Za Shule Na Taratibu ZoteKama Zilivyotolewa Na ZitakavyotolewaNa Uongozi Wa Shule Ya Sekondari Nyanduga. Saini Ya Mwanafunzi Tarehe KIAPO CHA MZAZIIMLEZI Mimi (Jina lamzazilmlezi)... Wa Mwanafunzi... Ambaye Ni Mzazil\llezi...Nimeyasoma Masharti Na Sheria Zote Za Shule Ya Sekondari Nyanduga ilioko wilayani Rorya Mkoa wa Mara Ambako Kijana Wangu Amechaguliwa Kujiunga na kidato cha tano.naahidi Kwamba Nitamhimiza Mwanangu Kufuata Sheria Na Taratibu Zote Za Shule. Aidha Naahidi Kushirikiana Na Uongozi Wa Shule Katika Malezi Bora ya Mwanangu Ili Baadaye Awe Raia Bora Na Mweme Wa Taifa Letu.Pia naahidi kumlipia ada na michango mingine ya shule. Saini YaMzazilMlezi... Tarehe Page 8 of 9
Kiambatanisho D SHULERYASEK.TT"#ff J["HiXtfr,*.,o Kila mwanafunzi anatakiwa kununua anghalau vitabu viwili kwa kila tahasusi HISTORY 1. Essentials in Advanced level History Paper 2 Based in new (2010) Syllabus, Written by Saleh Yasin 2. Contemporary History Events Volume l.writen by Shibitali CK. Tumain, Shibitali and Son Publisher. GEOGRAPHY l. Practical Geography A-Level by Kamil Z 2. An Intergraded Regional Studies On Human And Economic Geography Advanced Level Paper 2 by Msabila D.T 3. A Comprehensive Approach To Physical I Geography By Msabila D.T 4. Physical Geography Alive By Kamili.Z 5. Practical Geography By Njiku.C ENGLISH 1. Advanced Level English:A Practical Approach(Second Edition) by Nicholous Asheli. (Paper one) 2. Advanced Level English:A Practical A proach(second Edition) by Nicholous Asheli. (Paper two) 3. Oxford Advanced Learner's Dictionary KISWAHILI l.nadharia ya Fasihi Kldato cha 5 & 6 by J.A Maseko 2. Jikumbushe Kiswahili 2Kidato cha5&6 Maswali na majibu by Eliupendo W.Mbise na Leonard Mbikilwa. 3. Kivuli kinaishi-tamthiiya by Said Mohamed PHYSICS 1. TOM DUNCAN, S. CHAND'S For Class XI and XII, 2. ' ADVANCED LEVEL PHYSICS ( Principle of Physics) By M.Nelkon, 3. COMPRETMNSIVEPHYSICS. 4. Review Physics One and Two. 5. Graph Pads {Two) 4. Mathematical Set And Non Programmable Scientific Calculator kwa wanafunzi *cfiepuo (PGM) 5. Wrist Watch. MATHEMATrcS 1. Pure Mathematicsl& 2 by Backhouse.J.K 2. Advanced Level pure mathematics (Fourth edition)by Tranter,CJ 3. S Chand's Mathematics Revised By Dass.H.K (Viambatanlsho ArBrna C aijazwe na kuntdishwo,. shuleni) Page 9 of 9