Jifunze kusimamia pesa zako nchini Uskoti

Similar documents
Information for assessors (do not distribute this page to participants):

Upande 1.0 Bajeti yako

SERA & TARATIBU YA YALE NEW HAVEN HEALTH

Utangulizi wa ugonjwa wa shinikizo la damu

GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23)

Sera ya Faragha. Upeo. Aina za Data na Mbinu za Ukusanyaji

Huduma kwa wateja kupitia barua pepe na ujumbe mfupi Fig

Kijitabu cha Maelezo cha Programu ya Famasia

KUWEZESHA MBINU ZA UZUIAJI MIMBA KATIKA SUHULA ZA AFYA: MASWALI 10 KWA VIKUNDI VYA JAMII KUZINGATIA

GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23)

Human Rights Are Universal And Yet...

MATUMIZI YA FACEBOOK KWA BIASHARA. Kwa Wanaoanza

Mwongozo kwa Lugha Rahisi wa Sera ya Maendeleo ya Ushirika na Sheria ya Vyama vya Ushirika Tanzania Bara

TIST (TANGA) HABARI MOTO MOTO. Kutunza miche yako. Take care of your seedlings. Take care of your trees

UNACHOHITAJI KUJUA KUHUSU VIKWAZO VYA KULINDA MAISHA KATIKA USAIDIZI WA KIMATAIFA WA AFYA KWA MSAADA WA KIMATAIFA UNAOFADHILIWA NA MAREKANI

JHSPH MAADILI YA KUFANYA UTAFITI WA MASUALA YA BINAADAMU MUONGOZO WA MAFUNZO YA UTAFITI

JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 1

CGAP Smallholder Household Survey in Tanzania / Utafiti wa kaya ndogondogo Tanzania

MACHAGUO YA UZAZI KUFIKIRIA KUWA MZAZI

Miradi na jamii. 3.1 Utangulizi

Hatari, Haki za Usalama katika Bahari 03

UTANGULIZI ANUANI NA MANDHARI YA CHUO

Ufunguo wa Kutaalamika Haraka

In the matter of an Application by the KIGOMA URBAN WATER SUPPLY AND SEWERAGE AUTHORITY (KUWASA) For a Tariff and Charges Adjustment

Uzio wa pilipili unazuia tembo kuvamia mazao shambani! Jinsi ya kujenga na kudumisha uzio wa pilipili Tanzania

Azimio la Umoja wa Mataifa Kuhusu Watetezi wa Haki za Binadamu

Siku ya kwanza. Mguso wa ngozi-kwa-ngozi (Ulezi wa kangaruu) Mtoto wako anaweza kuhisi mdundo wa moyo wako

Misamaha ya kodi Tanzania: Je, ni mikubwa sana na kutufanya tuwe tegemezi kwa misaada?

International Labour Office. Kazi za Ndani Zenye Madhara kwa Watoto: Kijitabu cha Maelezo Mafupi

ATHARI ZA MABADILIKO YA TABIANCHI KWA UCHUMI WA ZANZIBAR

MKAKATI ATHARI YA MAZINGIRA NA KIJAMII YA KAZI YA PRO-ROUTES. Ombi kwa ajili ya fedha za umma wa mradi wa ziada

4. Kanuni za Petroli (Ushiriki wa Watanzania) za mwaka 2017 zilianza kutumika rasmi tarehe 5 Novermba Shughuli za Petroli za kwanza ni

Hati ya kuhitimu kisomo Kenya (K.C.S.E)

Vijana wanazungumza kuhusu ujinsia, maisha na uhusiano VIJANA WANAZUNGUMZA KUHUSU NGONO, MAISHA NA UHUSIANO. Training and Research Support Centre

Ripoti ya Maendeleo ya Binadamu 2013

Mwongozo kwa familia zinazofanya kazi pamoja kwa maisha endelevu. Nyenzo ya Mafunzo

Mwongozo wa Jamii juu ya Afya ya Mazingira

HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA MHESHIMIWA DKT

Programu ya Uendelezaji Mifumo ya Maji Vijijini (PUMMV) katika Tanzania. Modeli wa Ukodishaji Mradi

Kuuelewa Mchakato wa Bajeti Tanzania Mwongozo wa Asasi za Kiraia

HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA BENJAMIN WILLIAM MKAPA, KWA WANANCHI, TAREHE 31 JULAI 2001

Kifaa Maalum cha Kutazamia Jua: Maelekezo ya kutumia

JAMHURI YA KENYA. Mkakati wa Ushirikiano MUKHTASARI FY Public Disclosure Authorized. Public Disclosure Authorized

TIST HABARI MOTO MOTO

Mwongozo wa Kutathimini mifumo ya Ugawanaji wa faida na Mapato Katika Miradi ya Jamii ya MKUHUMI

TANZANIA OSAKA ALUMNI. Kitabu cha Mbinu Bora

Ripoti Fupi ya Nchi kuhusu Kazi Zenye Staha TANZANIA (bara)

Kilimo cha kiekolojia cha Wakulima Wadogo Hufanikisha Haki za Mazingira

Usimulizi wa Riwaya ya Nyongo Mkalia Ini E. S. MOHOCHI University of Egerton, Kenya

MWONGOZO WA UTUNGAJI WA SHERIA NDOGO NA USHIRIKI WA WANANCHI

HAKI NA TARATIBU ZA AJIRA, KAZI NA HIFADHI YA JAMII

UKUZAJI WA ASALI AFRICA (HONEY CARE AFRICA)

Ufundishaji wa lugha nyingine

Taarifa Kuhusu Hali ya Uchumi wa Tanzania

Mwongozo wa Familia wa Kujifunza

Kiswahili, utandawazi na umoja wa Afrika

Uponyaji Wa Laana. (Kumb. 28:1-14).

Mipango ya miradi katika udugu

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAISI-TAMISEMI HALMASHAURI YA WILAYA BUMBULI

Bustani 10,000 Katika Afrika. Alberto Prina

Summaries of GC Reports 2012, Vol. 2, Sec. 1, Swahili

Waandishi: wa Toleo la 5. Scholastica Jullu Athanasia A. Soka Safina Hassan Mary Njau. Toleo la 5: 2008 ISBN

Kutetea Haki za Binadamu

KUUNGANISHA VIZAZI KUPITIA RADIO MWONGOZO KUTOKA AFRIKA KWA WAANDAJI WA VIPINDI VYA RADIO WANAOFANYAKAZI NA WATOTO NA VIJANA

SautiElimu. Sauti Yako Isikike

KUHUSU AFRODAD. Dira ya AFRODAD. Dhamira ya AFRODAD. AFRODAD inalenga mchakato sawa na endelevu wa maendeleo kuelekea Afrika yenye mafanikio.

LBE 2009 Migration Episode 3: Living without documents

Yaliyomo. Kuhusu kitabu hiki. Hautakuwa peke yako. Mfumo wa msaada ni wa manufaa sana wazazi wote wanahitaji!

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA FEDHA

TIST HABARI MOTO MOTO MAANDALIZI YA MWAKA 2000 Y2K PREPARATIONS SASA NI WAKATI WA KUANZA KUPANDA MBEGU ZAKO

Kufafanua Upya Elimu Bora Tanzania: Kutoka Zana za Dufundishia mpaka Uwezo wa Wanafunzi 1 Oktoba 2007

KIMAZINGIRA NA KIJAMII NA MPANGO WA UDHIBITI

UMRI WA MAKAMO NA KUKOMA KWA HEDHI

Mukhtasari Wa Mabishano Kwa Na Dhidi Ya Vikombe Vingi Vya Ushirika

Mazoezi yaliyofanyika wakati wa warsha kuhusu Elimu-Jumuishi kwa Vitendo. Zanzibar, 7-10 Februari 2006

In the matter of Application by the TANGA URBAN WATER SUPPLY AND SEWERAGE AUTHORITY (TANGA UWASA) For a Multi-Year Tariff Adjustment

Na Kituo cha Msaada wa Kisheria kwa Wanawake Toleola4

Utumiaji Wa Kiswahili Na Lugha Za Jamii Kijinsia Nchini Tanzania Y.P. MSANJILA University of Dar-es-Salaam, Tanzania

USIMAMIZI MKUU WA UBORA WA MAHURUJI

MAKUBALIANO YA 2005 YA ULINZI NA UKUZAJI WA VIELELEZO VYA TAMADUNI ANUWAI

Kuwawezesha wasichana kwa kuboresha kujikubali na kujithamini Hivi Ndivyo Nilivyo

Pronunciation: Mä-hret Zäläke Ndal-ka-tscho Molla Mare Gebre-gzabiär 1/12

Dibaji ya Mwenyekiti wa Kamati ya Pamoja ya Uongozi

TANZANIA MARKETS PAN Sera zinazoboresha masoko

TAMKO LA JUKWAA LA HAKI ZA WATOTO (TCRF) KUHUSU HAKI ZA WATOTO KATIKA KATIBA MPYA

Mwongozo wa Mafunzo Yaliyochanganywaya K4Health

Mwongozo wa Utamaduni Toleo la Kwanza

Elimu ya Msingi inaelekea Upande Sahihi? Kufikiri na Nyerere Rakesh Rajani

Elimu-Jumuishi Kwa Vitendo

Kocha Mkuu. mabingwa. itakuwa INASTAHILI. Ili Kutoa mafunzo kwa wanafunzi wako kuwa. itakuwa ya kuumiza. Itachukua muda. Itahitaji moyo wa kujitoa.

TANZANIA TAARIFA YA MWISHO WA UTEKELEZAJI

ORDER NO BACKGROUND

RIPOTI YA WARSHA KUHUSU HABARI KWA AJILI YA UWAJIBIKAJI

Deputy Minister for Finance

NGUO MPYA ZA UKOLONI. Mikataba ya Ushirikiano wa Kiuchumi kati ya Umoja wa Ulaya na Afrika. Agosti 2017

5. Mheshimiwa Spika, Bunge lako Tukufu lilijadili kwa kina Miswada ifuatayo:

TAARIFA FUPI KUHUSU SERA YA TAIFA YA ELIMU

KAMATI ZA KUDHIBITI UKIMWI NCHINI TANZANIA

Kuwa na Ukimwi ni kama vile kutakiwa kuendelea kuuzima moto unaoniunguza bila kukoma.

Kitabu Cha Mafunzo Ya Uongozi Kwa Wanawake

Transcription:

Jifunze kusimamia pesa zako nchini Uskoti Mradi wa kujua kuhusu Pesa Aprili 2011 FLP - Swahili Mradi wa kujua kuhusu Pesa Ipindi vyetu vya maelezo vya bure, warsha na kozi hutoa fursa ya kujifunza kuhusu kusimamia pesa zako, kupanga na kujitayarisha kwa maisha yako ya baadaye, na kutatua masuala yoyote unayoweza kuwa nayo ya pesa au hati za madai. Kijitabu hiki kinaonyesha mada zilizoelezwa katika warsha zetu, zinazoonyesha ni nanai anapaswa kuhudhuria na jinsi ya kupata nafasi. Huto maelezo muhimu kuhusu kila ya warsha hizi na huangazia mahali pa kupata ushauri wa kifedha. Warsha ni kuhusu nini? Warsha zetu huto maelezo kuhusu: Benki na akiba, bajeti, kukopa pesa, hati za madai, bima, kuajiriwa; na kuanza biashara yako. Ni nani anaweza kuhudhuria warsha hizi? Mtu yeyote anaweza kuhudhuria warsha hizi lakini yanafaa sana kwa watu walio na hali Ya Ukimbizi au haki ya kubakia katika Uingereza. Warsha huwa mara kwa mara katika mwaka katika maeneo mengi katika Glasgow. Gharama ya usafiri hulipwa na utunzaji wa watoto unaweza kupatika utakaposema. Nitapaje kujua zaidi zu kupanga nafasi katika warsha itakayofuata? Kwa maelezo kuhsu warsha zitakazofuata au kupanga nafasi, tuma barua pepe kwa: financialworkshops@scottishrefugeecouncil.org.uk au rejelea kwa tovuti yetu: http://www.scottishrefugeecouncil.org.uk/how_we_can_help/i_have_refugee_status/leave_to_rema in_in_the_uk/financial_literacy_project

Maelezo yafuatayo yanaonyesha mada zinazoelezwa kwenye warsha hizi, pia hutoa vidokezo muhimu na maelzo yanayoweza kukusaidia kusimamia pesa zako. Benki na akiba Kuna aina nyingi za akaunti za benki na kila lina chaguo na umaarufu wake tofauti. Rejelea kwa kijitabu cha Halmashauri ya Wakimbizi ya Uskoti Jinsi ya kufungua akaunti ya benki ili kujua mengi kuhusu kufungua akaunti.: http://www.scottishrefugeecouncil.org.uk/assets/0000/0188/how_to_open_a_bank_account_ June_2010.pdf Aina zingine kwa akaunti za benki ni akaunti za vyama vya mikopo. Hizi huwa sawa na benki, na hutumika mitaani na hutoa huduma za ushauri pamoja na huduma za kawaida za kifedha. Fuatilia: punde unapopata akaunti ya benki au ya chama cha mkopo, ni muhhimu sana kuwa ufuatilie pesa zinaingia na kutoka katika akaunti yako ili kuhakikisha kuwa hutakosa pesa au kupokea gharama za benki kwa kutoa zaidi. Kukopa Kuna maeneo tofauti ya njia za kukopa pesa. Unaweza kukopa pesa kwa njia tofauti kama vile mikopo, kadi za mikopo, katalogi, maduka ya kulipia kila wiki au deni la akaunti ya benki. Mara nyingine hili ni kwa sababu ya kulipia bidhaa na mara nyingine ni kupata fedha.. Gharama ya kukopa pesa kwa njia zilizo hapo juu hulingana. Kwa hivyo ni muhimu sana kuelewa sheria na masharti. Unapaswa kulipa riba unapokopa pesa; hii huitwaapr Kiwango cha Asilmia ya Mwaka(APR). Kwa jumla jinsi APR ilivyo juu ndivyo pia kiasi cha pesa ambazo unafaa kulipa. Unaweza kukosa kukopa pesa iwapo una kipimo cha chini cha kukopa. Kipimo cha chini cha mkopo ni utathmini kwa uwezo wako wa kulipa pesa kwa mdaiwa, kama vile benki. Kipimo chako cha ukopaji huamuliwa pamoja na idadi ya mambo kam vile historia yako ya anwani, hali ya ajira, mapato na historia yako ya kulipa madeni.. Unaweza kuwajibika kutuma ombi la kupat amkopo. Baadhi ya mikopo inayopatikana ni pamoja na:

Mkopo wa uadilifu wa UKBA Mkopo wa uadlifu ni mkopo usio na riba unaotolewa na Ofisi ya Nyumbani ili kuwasaidia wakimbizi. Jua mengi zaidi kwenye tovuti yetu ya Ofisi ya Nyumbani: http://www.ukba.homeoffice.gov.uk/aboutus/workingwithus/workingwithasylum/integration/int egrationloan/. Mkopo wa upeo wa tatizo Mkopo huu ni kiasi cha pesa zinazopatikana kutoka kwa Fedha za Jamii ili kukusaidia kununua vyombo vya nyumbani iwapo kuna dharura au msiba. Utapaswa kulipa pesa hizi baadaye, lakini hakuna riba inayolipishwa. Hii inamaanisha kuwa unalipa pesa ambazo ulikopa Jua mengi kuhusu mkopo huu, pamoja na mahitaji ya kustahilina jinsi ya kutuma ombi, kwenye tovuti ya Directgov: http://www.direct.gov.uk/en/moneytaxandbenefits/benefitstaxcreditsandothersupport/on _a_low_income/dg_10018856 Hati za madai Iwapo umepokea hali ya ukimbizi au haki ya kubakia katika Uingereza, utawajibika kulipia gharama zako za gesi na stima za kupikia, zakuwasha na kuweka joto nyumbani mwako. Gharama hizi zinaweza kuwa za juu sana na bei yake inaweza kubadilika mwakani. Kwa hivyo unapswa kuangalia gharama hizi ili kuhakikisha kuwa hulipi zaidi au kidogo. Nyumba yako lazima iwe na mita, na lazima uisome mita hiyo wakati utakapoingia kwenye nyumba hiyo; unaweza ten akupigia kampuni ya gesi na maelezo hayo. Kusoma mita yako mara kwa mara huhakikisha kuwa unajua ni kiasi kipi cha nishati unachotumia; hii itakusaidia kuelewa hati yako ya madai. Pata ushauri zaidi kuhusu hati zako za gesi na umeme kwenye tovuti ya Wateja ya Consumer Focus Scotland: http://www.consumerfocus.org.uk/scotland/files/2010/11/tenants-advice-leaflet2.pdf Unaweza kulipia mafuta yako kwa njia zingine kadhaa,kwa mfano kwa kulipa katika posta, benki au kwa njia ya maiwa ambapo unatoa idhin kwa pesa kutolewa kwenye akaunti yako kwa wakati fulani uliowekwa. Ni muhimu sana kuwa uweke hati zako na usome mita yako nyumbani, usipofanya hivi, inaweza kuwa rahisi sana kuingia katika madeni na hati zako za madai. Jua mengi zaidi kuhusu gharama ya nishati katika Kijitabu cha Halmashauri ya Wakimbizi ya Uskoti Mwongozo wa makazi kwa wakimbizi katika Uskoti: Gharama za Nishati kinachopatikana kwenye tovuti yetu.: http://www.scottishrefugeecouncil.org.uk/assets/0000/0215/l8_-_fuel_poverty18 Nov_2009.pdf

Bima Kuna aina nyingi za bima zinazopatikana, kwa mfano, bima ya afya, bima ya afya ya binafs, bima ya vitu vya nyumbani, bima ya ulinzi wa malipo na bima ya gari. Iwapo unaendesha gari lazima uwe angalau na bima ya aina ya tatu, lakini aina hizo zingine ni za hiari. Mara nyingi mkimu wa makazi yako anaweza kukusaidia kupanga bima ya vitu vya nyumbani kwa bei ya chini. Katika viwango tofauti katika maisha yako itakuwa muhimu kwako kuzingatia ni aina gani za bima zinaweza kufaa kwako na kwa jamii yako. Unaweza kununua bma moja kwa moja kutoka kwa kampuni za utaalamu za bima kupitia njia ya simu au tovuti. Unaweza kununua bima pia kutoka kwa benki, maduka makubwa na maduka mengine. Unapswa pia kutafuta bei nzuri zaidi na ulinganishe gharama hizo kwa kutumia tovuti ya ulinganishi kama http://www.gocompare.com/ Kuanza kazi Utakapoanza kufanya kazi, kutakuwa na mabadiliko katika faida unazopokea. Job Centre Plus na mawakala wengine wa ushauri wa fedha wanaweza kufanya Vipimo vya kuwa sawa kazini, ili kukusaidia kufanya uamuzi unaofaa kuhusu iwapo uko afadhali ukifanya kazi. Wanaweza pia kukueleza ni fada gani unazostahili kupata. Kuwa katika masomo ya wakato wote pia yataaathiri faida zako. Pata maelezo kuhusu faida kutoka kwa tovuti ya Directgov: http://www.direct.gov.uk/en/diol1/doitonline/doitonlinebycategory/dg_172666 Unapoanza kazi, unapaswa kupata karatasi ya maelezo ya malipo kila mara, ambayo itaonyesha ni pesa ngapi umepat na makato kutoka kwa malipo yako yote. Kwa kawaida utalipa ushuru na bima ya kitaifa ; pesa kamili unazolipa hulingana na nambari ya sababu, ikiwa ni pamoja na kiasi unachokadiria kupata mwakani, au iwapo una kazi zaidi ya moja. Jua mengi kuhusu makato na kusimamia pesa zako kwa kutazama video kwenye tovuti ya BBC: http://www.bbc.co.uk/raw/money/new_job/managing_while_you_work.shtml Kuanzisha biashara Iwapo ungependa kujiajiri au kuanza biashara yako mwenyewe; kuna mashirika kadhaa ambayo yanaweza kukupa ushauri wa: Business Gateway inaweza kukupa ushauri na maelezo ya kuanza pamoja na usaidizi uliopo kwa biashara zinazoendelea. Rejelea kwa tovuti yetu kwa maelezo zaidi: http://www.bgateway.com

HMRC (Her Majesty s Revenue and Customs) pia wanapatikana kukupa usaidizi kuhusu kutatua masalio ya ushuru. Rejelea kwa tovuti ya HMRC kwa maelezo zaidi: www.hmrc.gov.uk Ninaweza kupata wapi ushauri zaidi wa kifedha? Iwapo utahitaji maelezo zaidi kuhusu kozi hizi na masuala mengine yanayohusika, wasiliana na mfanyakazi katika Halmashauri ya Wakimbizi ya Uskoti : Financialworkshops@scottishrefugeecouncil.org.uk au piga simu kwa 0141 248 9799. Ushauri wa bure, wa kweli na wa ufaragha unapatikana katika GAIN (Mfumo wa Maelezo na Ushauri wa Glasgow). Rejelea kwa tovuti ya GAIN www.gain4u.org.uk kwa maelezo zaidi kuhusu wakala ulio karibu nawe au simu yao ya usaidizi katika 0808 801 1011.