Date Printed: 04/23/2009 JTS Box Number: lfes 73 Tab Number: 4 Document Title: Shiriki katika uchaguzi wa vionguzi Document Date: 1994 Document Country: Document Language: lfes ID: Tanzania Swahili CE01889 I "~I ~nl * B D 8 A 3 E
m:jruijkji JKA 1rlIKA UC1ElIAGlUZII Wit,. VIONGOZTI
TUMIA HAKI YAKO Kijitabu hiki kimeandaliwa iii kumwezesha mwananchi kuelewa wajibu na haki yake ya uraia katika suala zima la uchaguzi wa Wilaya na Miji, Bunge na Rais. Suala la kujiandikisha Io:fJpiga kura na kufuatilia maelezo yatolewayo.18 IY..m. ya Uchaguzi katika hatua mbali mbali za uchaguzi ni muhimu katika kudumisha demokrasia ya kweli. Haki ya kuchagua viongozi ni kati ya haki muhimu za binadamu zinazotambuliwa na Jumuiya ya Kimataifa. Mwananchi unapojiandi~jsha umetoa mchango wako katika kuimarisha demokrasia. kupiga kura na ukajitokeza kupiga kura huwa Katika uchaguzi wa vyama vingi vya siasa kila mwananchi anayo haki ya kuchagua mgombea wa chama anachokipenda bila kushurutishwa au kurubuniwa. Hivyo ni hpiki va mpiga kura kumchagua mgombea anav~muona kuwa ana uwezo bila kujali rangi, dini au kabila. Kijitabu hiki kimeandaliwa kumsaidia mpigaji kura na t,akina uhusiano wowote wala upende>l~o wa chama cho chote cha sias.l. Lp.'lgo ni kumwezesha mpiga kura kusoma na kufuatilia picha zllizomo iii kutambua uwajibikaji wake katika hatua mbali mbali za upigaji kura. Msomaji anashauriwa kutumia pamoja na,:"enzake elimu iliyomo kwenye kijitabu hiki. KWA NINI KUPIGA KURA NI HAKI YAKO? 1. Baada ya kutimiza umri wa miaka 18 raia anao wajibu na haki katika taifa lake. Mojawapo ya wajibu ni kushiriki katika kuchagua viongozi na kuchaguliwa kuwa kiongozi. 2. Uchaguzi ndio unaotuwezesha kupata watu ambao watatuwakilisha Bungeni na katika Halmashauri za Wilaya na Miji. 3. Haki ya kupiga kura ni kati va haki za msingi za binadamu zinazotambuliwa na Umoja wa Mataifa. ESAURP'S COUNCil FOR DEMOCRACY
lrema Publishers Company limi'(ec:i S.L.P. 63115 DAR ES SALAAM The Eastern and Southern African Universities Research Programme (ESAURP) - Regional Council for Democracy, 1994 Chapa ya Kwanza, 1994 ISBN 95:17 25 001 7 Haki zote zimehifadhiwa. Hairusiwi kuiga, kunakili, kutafsiri, kupigisha chapa au kukitoa kitabu hiki kwa jinsi yoyote ile bila idhini ya TEMA Publishers Company Ltd.
SISI WAf(ULIMA PIA TUNAWEZA f.(upi(3a l,ura.'/ r NINO /..AK/NI LAZIMA f(u:7ianj) I ~/SH4 KWANZA Mwelekezaji anawahakildshia wakulima kuwa hakj ya kupiga kura ni haki ya kila raia mwenye umri wa miaka 18 na kuendelea.
WANAWAK WA/VAvOHAKISANA NA WANAUM( KUlJoMtJEA UON6021 Akina mama ni vyema wakajitokeza kwa wingi kugombea uongozi iii kutumia baki yao ya kikatiba ya asilimia 2S Da zaidi ya uwakilishi katika Halmashauri za Wilaya Da Miji na asilimia 15 katika Bunge.
UTA:JlJA:Tt.TINSI Y-"l ku.7/a.vbikisha kup'~a kulla? kutok,a.iya 1'11'1 MAE'-EKe'Zo YA njme. YA (/C#A6 u Z/ Usipojiandikisha kupiga kara hutaruhusiwa kupiga kura.
/Vi S,.:4 Z IPI MT" AWCNAZO II' AGaMB~.': UO'N~;O'~1. 1<'AIA MklEIVYE LlM!'?1 WA MIAIr"A Au MIDI, MWENY AKILI TlMAMI4 ANAYETII SHERIA AI", ANAY6;TAL-I IVfASLAHI VA #VATU NA TAIFA. -""'".. -~.- SLfa za uongozi ni mojawapo 18 vlgezo muhlmu vya kumpima mgombea.
?VA/ASIKIA MA T-'W6-A2D kljhu..ru A11/f(U7A,vO AlA klta CHAMA /.;-/l"afa;tj MKufAAiD NAKF,' KWA.AJI/III? Mwelekezaji anatoa maelezo ya kushiriki katika uchaguzi kwa wafanyakazi wa kiwandani.
UCflA6tl21 All WI1 CHAMA k'imo7a A (.J VYAMA wal61? hull NI U~HAetill I~ATlkA MFliMO INA vy~ V;A!6/ VVA SIAJ',q. SIL7UI IVITAM~HAGUA K10NG021 GAAJI? Mwelekezaji anawaelezea kwamba ni vyema kuchagua kiongozi bila kurubuniwa au kushurutishwa na mlu yeyote hasa katika mfumo wa \'yam~ vingi vya siasa.
Nt lrwetl MFUflADIJ,A. - of/a KIKISHI.A VINt71 UTA",-,CH,-,MINA MAcNDelcD va NeHI '{e7u-: Wanavyuo wanapata ueafanmi juu ya uhusiano kati ya demokrasia ya "yams vingi oa maendeleo.
TUTAJUA VIPI AA'''T'')kEO YA UCHAGUZI J o o kiva N.7IA HIZI HATA SISI wavuv/ TUTA;TUA /VIATO I\CO' V.A (..fc'rl A 6UZ/ Kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi.
AlA OAIA NI BVSAR,o, -rushiriki KA11kA SIJALA "ZN1-1A LA UCHACtfZ, INA VIO..,GOZI weru. NI VytMA ILl TU-rUMI HAlO YE1U \fa KUPIGrl KGI/?(l.,,. bora Watu kwa hawa maendeleo walifuatilia ya ut3ratihu taira. _ wk" a ujlandlklsha.. na kupiga kurn.iii kuplpata kiongoli
kl.tmbu~a 11/lkl Hit NI VA MP,AAlblA:ISHA kupi6a Ku_, tna KAP0;7/AA/DI'I<"/~"'A" HAKIKISHA KADf YAKO INA MUHuR! AlA ;JINA CA :;l/mqt>l..i4 kllpl61a JruNA,. AlA k'we3l1 SHANiYAll NA MJo!VI8A II.-I NAO WAJIANDIKIS'H k'u PIGIl ~URA K1Ia mara jikumbushe mambo muhlmu ""akall wa kupiga kura.
'r,4::ta ~.7"""".""... _, /"1A 7-17l:.1. Jiandikisbe kupiga kura, toa majina yako ka.mlli oa jibu kwa urasaba maswau yote uoayoulizwa.
DcMOkRASIA VA -rumekubaliaala ~AN4"P A/0Ir~/A VA MFVMbl<H'/ VYA'MA VIA/iSl UI kvjcjapa W/'tIflAJ'IJ.CW/ FvNSA 2AI.J>1 IrUCHA6L1A V,,"'HiU1ZJ" VIN61 MFUMO WA VY.'Rt~IJ)1 t<atika -ITATl/PA UH/J "KUPI6A J(URA \ Hudhuria mikutano ya maelekezo ya uchaguzi kama lnavyotolewa na Tume ya Uchaguzi.
Bk.JANA ( AlG".7A TUMUHt>3t) o Shirik.i katika uteuzi wa mgombea ambaye utatao awe mwakllishl wako.
, rushll?lki ILl VYAMA. Ni muhimu kuhudhuria mikutano ya kampeni za uchaguzi.
Nil s~'ra"za CHAMA NI..... Un.,/ ~''AO.. 8 KURA J7, ~,.. o... ti1hh' UCHAbUZI l1ta~uwa. KAB,AMBE.' klla MGOMBEA ZA PEkEE. o Kuwa msikivu na mtulivu kwenye mikutano ya kampeni, wasikllize wagombea iii uweze kuwaplma uwezo wao.
HA7UPASWI KUSHIRlkl KA71k'A "1.. M80 YA Fam. NI KWEU FlJ;TO INAONV6Sl/A KUTOJI'VMAA KISIASA,vA kuh'v,sa UVUM'''V4 NII>H4Mu VA K(./H5SHI;4..fU MANAZo VA WATLI 'WCN6IN~. =. matusi dhidi ya wag ombea EpukD kushiriki katika vitendo au mazungumzo ya uhudi DB nu wale usiokuballana na mawazo yao.
MIKlJTAHO MW[NZANbU NlN/lHUOHuRI _---- -----_..: :A NIMCTlANOIKI.sHA IIIA7IULIZA UTAPOTEZA flak! YAKO NI MAOHAKA JAN; NITAPATA k'iptmoi<rasia,va PIA KAMA N ISIPOPlbA KURA?. UNAOlUA KWAM8A KoRA YAKD Il1WA INAINEZA KULETA YA A~MPATA KIONG021 ~/)~,". Kupiga kura kuna kupa we we mwenyewe fursa ya kuamua ni akina nani wawe viongozi.
1'1/ V!Z<I!?/I(U'fAIOKI.OM KWA"'6'-4 I17IlJ{N/Q Y6 TV YC)I9,1(O I(W.-NY~ 1!J/?()-D/iA ILIYOTUlY-DII(W-4 /yjs Y.R KIIUO ella /((IP/S/A.,l(U,f'A AFADHAlI 1UMEWAHI, kwa KuWA BAADAYe I(UTAKUWAIVA FOLbVI Hakikisha unawahi kupiga kura katika muda uliopangwa.
"'YR.NIPASA,'-----. NIIVICHAGUE IVITU I"IMO:TA NI51HARIBu kura YANGU o Pig a kura kwa siri.
J k'u!?a YANGtP /lfj: I!IA"UHIM/Ji!<rWA- ~PATA 'OON60Z,1 BORA. o Tumbukiza kwenye klsanduku kinacbobusika
H~NGeRA SANA /31-. K.'v'A USHINOI ULiOUPATA. LLX'.'7USH~RcHCKCE UCHA.6UZI LIMe MA. <-' 2 I ka VY':-MA. AHSANTE SANA.. _ tfasiiuj(ui(u. UCHAG UZ.I ULIKUIVA Hu/?u NA H.AI< I Pokes matokeo ya uchaguzi oa uyakubali.
WATorl> NAFA.s{ MPAKA lr'uf/ir'ia LI!t1U YA ::J'IU NA kuwawcz.esi-ta kutoa /"iul>uma I(WA J.AMII, YAIOW Mb MA7IBABU. Uchaguzi wa viongozi bora unaimari hid jumla kwa kuboresha hudllma za '. s '~I_ltI lima za \\~10Io. akiu3 mama na laifa kwa Janlll "ama Af~:I. Ernul! u.k.
lema PUBLISHERS CO. L TO. ISBN 9987 25 001 7 DAR ES SALAAM