JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 1

Similar documents
Azimio la Umoja wa Mataifa Kuhusu Watetezi wa Haki za Binadamu

UNIVERSITY OF CAMBRIDGE INTERNATIONAL EXAMINATIONS General Certificate of Education Ordinary Level. SWAHILI 3162/01 Paper 1 May/June 2013

KIJARIDA JUU YA HAKI ZA RAIA KATIKA MFUMO JINAI

GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23)

Azimio lililopitishwa na Mkutano Mkuu tarehe 18 Desemba 2013 [juu ya taarifa ya Kamati ya Tatu (A/68/456/Add.2)]

TAMKO LA JUKWAA LA HAKI ZA WATOTO (TCRF) KUHUSU HAKI ZA WATOTO KATIKA KATIBA MPYA

MAPENDEKEZO YA MTANDAO WA WANAWAKE NA KATIBA TANZANIA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO

Information for assessors (do not distribute this page to participants):

Na Kituo cha Msaada wa Kisheria kwa Wanawake Toleola4

Kutetea Haki za Binadamu

KITEGO CHA MAREKEBISHO NA HAKI ZA MTOTO

HAKI NA TARATIBU ZA AJIRA, KAZI NA HIFADHI YA JAMII

MAKUBALIANO YA 2005 YA ULINZI NA UKUZAJI WA VIELELEZO VYA TAMADUNI ANUWAI

Hatari, Haki za Usalama katika Bahari 03

UNACHOHITAJI KUJUA KUHUSU VIKWAZO VYA KULINDA MAISHA KATIKA USAIDIZI WA KIMATAIFA WA AFYA KWA MSAADA WA KIMATAIFA UNAOFADHILIWA NA MAREKANI

Ripoti hii ni kwa heshima ya wale wanaharakati wengi wa Tanzania ambao ndio binafsi wanaopitia hali iliyoangaziwa, na vilevile wale walioyapoteza

SERA & TARATIBU YA YALE NEW HAVEN HEALTH

Mwongozo kwa Lugha Rahisi wa Sera ya Maendeleo ya Ushirika na Sheria ya Vyama vya Ushirika Tanzania Bara

GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23)

Sera ya Faragha. Upeo. Aina za Data na Mbinu za Ukusanyaji

KUSHUKA KWA HADHI YA LUGHA ZA JAMII NCHINI TANZANIA YOHANA P. MSANJILA University of Dar es Salaam, Tanzania

Waandishi: wa Toleo la 5. Scholastica Jullu Athanasia A. Soka Safina Hassan Mary Njau. Toleo la 5: 2008 ISBN

Elimu ya Msingi inaelekea Upande Sahihi? Kufikiri na Nyerere Rakesh Rajani

MWONGOZO WA UTUNGAJI WA SHERIA NDOGO NA USHIRIKI WA WANANCHI

Kimesanifiwa na:- E.D.Kissuu ECOMM TANZANIA S.L.P ,Dar es Salaam. Simu:

HOTUBA YA WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU: KAZI, AJIRA, VIJANA NA WENYE ULEMAVU MHE

MAADHIMISHO YA MIAKA 15 YA FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY

MACHAGUO YA UZAZI KUFIKIRIA KUWA MZAZI

JAMHURI YA KENYA. Mkakati wa Ushirikiano MUKHTASARI FY Public Disclosure Authorized. Public Disclosure Authorized

Ripoti Fupi ya Nchi kuhusu Kazi Zenye Staha TANZANIA (bara)

Kijitabu cha Maelezo cha Programu ya Famasia

Misamaha ya kodi Tanzania: Je, ni mikubwa sana na kutufanya tuwe tegemezi kwa misaada?

MKAKATI ATHARI YA MAZINGIRA NA KIJAMII YA KAZI YA PRO-ROUTES. Ombi kwa ajili ya fedha za umma wa mradi wa ziada

MALENGO YA MAENDELEO ENDELEVU

HUDUMA ZA AFYA KWA WOTE

JHSPH MAADILI YA KUFANYA UTAFITI WA MASUALA YA BINAADAMU MUONGOZO WA MAFUNZO YA UTAFITI

RIPOTI YA WARSHA KUHUSU HABARI KWA AJILI YA UWAJIBIKAJI

Nilikua na Ndoto ya Kumaliza Shule Changamoto za Elimu ya Sekondari Tanzania

Kifaa Maalum cha Kutazamia Jua: Maelekezo ya kutumia

UTANGULIZI ANUANI NA MANDHARI YA CHUO

HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA BENJAMIN WILLIAM MKAPA,KWA WANANCHI, 30 SEPTEMBA, 2001

Mazoezi yaliyofanyika wakati wa warsha kuhusu Elimu-Jumuishi kwa Vitendo. Zanzibar, 7-10 Februari 2006

Human Rights Are Universal And Yet...

Summaries of GC Reports 2012, Vol. 2, Sec. 1, Swahili

Jifunze kusimamia pesa zako nchini Uskoti

SUALA NYETI NI VURUGU Mashambulizi dhidi ya Wana LGBT katika Pwani ya Kenya H U M A N R I G H T S W A T C H

KUUNGANISHA VIZAZI KUPITIA RADIO MWONGOZO KUTOKA AFRIKA KWA WAANDAJI WA VIPINDI VYA RADIO WANAOFANYAKAZI NA WATOTO NA VIJANA

Uponyaji Wa Laana. (Kumb. 28:1-14).

Utumiaji Wa Kiswahili Na Lugha Za Jamii Kijinsia Nchini Tanzania Y.P. MSANJILA University of Dar-es-Salaam, Tanzania

Mwongozo wa Utamaduni Toleo la Kwanza

HISTORIA, MAENDELEO NA MABADILIKO YA KATIBA TANZANIA TANGU UHURU HADI MIAKA HAMSINI YA UHURU 9 DESEMBA 2011.

Mwongozo kwa familia zinazofanya kazi pamoja kwa maisha endelevu. Nyenzo ya Mafunzo

MIONGOZO MIWILI KUPAA NA KUTUNGULIWA KWA AZIMIO LA ARUSHA

Songa kwenye kilele cha upeo. Masuala ya Msingi na Ujuzi juu ya Uendeshaji wa Serikali za Mitaa

PDF created with pdffactory trial version

Unyanyasaji wa Watoto & Kutelekezwa

International Labour Office. Kazi za Ndani Zenye Madhara kwa Watoto: Kijitabu cha Maelezo Mafupi

Huduma kwa wateja kupitia barua pepe na ujumbe mfupi Fig

MATUMIZI YA FACEBOOK KWA BIASHARA. Kwa Wanaoanza

Utangulizi wa ugonjwa wa shinikizo la damu

Kitabu Cha Mafunzo Ya Uongozi Kwa Wanawake

KUWEZESHA MBINU ZA UZUIAJI MIMBA KATIKA SUHULA ZA AFYA: MASWALI 10 KWA VIKUNDI VYA JAMII KUZINGATIA

TAARIFA YA MWAKA YA UTENDAJI KAZI IDARA YA UTAWALA BORA 2013/2014

MKAKATI WA PILI WA TAIFA WA KUDHIBITI UKIMWI ( )

Ripoti ya Maendeleo ya Binadamu 2013

Pronunciation: Mä-hret Zäläke Ndal-ka-tscho Molla Mare Gebre-gzabiär 1/12

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA

Mheshimiwa Spika, Mheshimiwa Spika,

Elimu-Jumuishi Kwa Vitendo

wasiofaa. Naomba sana kila raia afanye bidii awezavyo kumkaribia Mwenyezi Mungu vile anavyoona inafaa, lakini asipitishe hukumu juu ya wengine.

Yaliyomo. Kuhusu kitabu hiki. Hautakuwa peke yako. Mfumo wa msaada ni wa manufaa sana wazazi wote wanahitaji!

Msigano wa Majina ya Walemavu katika Jamii ya Wazungumzaji Kiswahili: Mifano kutoka Tanzania

Ripoti ya Mwaka ya Utekelezaji wa MKUKUTA 2006/07

Dibaji ya Mwenyekiti wa Kamati ya Pamoja ya Uongozi

Hati ya kuhitimu kisomo Kenya (K.C.S.E)

Ellen White, waasisi wa Kiadventista,na Sabato Lunar

Kubadili Sheria Za Mbegu Na Ulinzi Wa Aina Za Mbegu Na Mimea Nchini Tanzania

Haja Ya Dini. Author(s): Publisher(s): Translator(s): Category: Topic Tags: Featured Category: Published on Al-Islam.org (

UKUZAJI WA ASALI AFRICA (HONEY CARE AFRICA)

MKAKATI WA PILI WA TAIFA WA KUDHIBITI UKIMWI ( )

KUHUSU AFRODAD. Dira ya AFRODAD. Dhamira ya AFRODAD. AFRODAD inalenga mchakato sawa na endelevu wa maendeleo kuelekea Afrika yenye mafanikio.

Deutsche Welle, Learning by Ear 2009 Seite 1 People Who Make A Difference Liberia: Anita Varney Health Facilitator, Fishtown/Liberia

TAFSIRI RAHISI YA MPANGO WA MAENDELEO YA AFYA YA MSINGI (MMAM)

Miradi na jamii. 3.1 Utangulizi

AZAKI PIGA KURA UCHAGUZI MKUU TANZANIA OKTOBA. #TanzaniaTuitakayo OKTOBA 2015 ILANI YA UCHAGUZI YA AZAKI TANZANIA.

Ufunguo wa Kutaalamika Haraka

Adhabu ya jino kwa jino na Musitakabali wa imani zetu

(Hati ya kuhitimu kisomo cha sekondari Kenya (K.C.S.E)

Agano Lililofunikwa Kwa Damu

KISWAHILI KARATASI YA 2 LUGHA

UMRI WA MAKAMO NA KUKOMA KWA HEDHI

TANZANIA OSAKA ALUMNI. Kitabu cha Mbinu Bora

TAARIFA FUPI KUHUSU SERA YA TAIFA YA ELIMU

Wanawake katika Uislamu

Ufundishaji wa lugha nyingine

Taarifa Kuhusu Hali ya Uchumi wa Tanzania

RIPOTI YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI

Afya Bora, Utu na Kinga. Ripoti ya Mashauriano ya Kiufundi Aprili 2009, Hammamet, Tunisia

United Pentecostal Church June 2017

Transcription:

The Human Rights Centre Uganda JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 1 AZIMIO LA KIMATAIFA JUU YA HAKI ZA KIBINADAMU SURA YA NNE YA KATIBA YA JAMHURI YA UGANDA YA 1995: MASIMULIZI YALIYOFASIRIWA KWA URAHISI NA KUFUPISHWA

Azimio la kimataifa juu ya haki za kibinadamu sura ya nne ya katiba ya jamhuri ya Uganda ya 1995: masimulizi yaliyofasiriwa kwa urahisi na kufupishwa UTANGULIZI Sura ya nne ya katiba ya Jamhuri ya Uganda ya 1995, ina haki za kimsingi za kibinadamu, na uhuru unaowastahiki binadamu wote. Sura ya 4 ya katiba ya Jamhuri ya Uganda ya 1995, ina haki za kimsingi za kibinadamu, zinazowastahili binadamu wote. Hizo ni haki za kimsingi kwa walimwengu wote, zikiwa za umuhimu kwa usawa na uwiano. Kijitabu hiki, ni cha kwanza kwa matoleo ya Kituo cha Shirika la Haki za kibinadamu la Uganda, ambacho kimefasiriwa/kimetafsiriwa kwa lugha za kienyeji zinazozungumzwa sana nchini Uganda. Lugha hizo ni: Acholi, Ateso, Kiswahili, Lango, Luganda, Runyankore, Rukiga, Runyoro na Rutooro. Kituo hiki cha haki za Kibinadamu kinafahamu/tambua tafsiri za aina mbalimbali zilizofanywa na mashirika mengine kuhusu Katiba, na kimefanya juhudi zaidi kwa kurahisisha na kufupisha maazimio yaliyomo kwenye Sura ya Nne. Kituo hiki kinalenga kuwapasha taarifa umma kuhusu uhuru na haki zao za kimsingi, huku tukikuhimiza usambaze taarifa kama uwezavyo. Pongezi maalumu zifikie Ubalozi wa Ufalme wa Norway, na shirika la Irish Aid kwa misaada ya kifedha, iliyowezesha uzalishaji wa kijitabu hiki. Kituo hiki pia kinatoa pongezi kwa Tume ya Kurekebisha Sheria ya Uganda (Uganda Law Reform Commission), kwa misaada yake ya kiufundi kwa kurahisisha na kufupisha Sura ya Nne. Kiwahili 2011 The Human Rights Centre Uganda 1

JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 1 Sehemu ya 4 ya Katiba ilyofanyiwa marekebisho Kifungu 20 1. Watu wote tumezaliwa huru, tuna haki sawa na heshima sawa. Haki zetu hazitokani na serikali au nchi yoyote. 2. Haki zangu na uhuru wangu, lazima viheshimiwe na vilindwe na serikali, vyombo vyote vya serikali na watu wote. Kifungu 21. 1. Niko sawa mbele ya sheria na nina haki za kulindwa na sheria. 2. Sistahili kubaguliwa au kubagua mtu yoyote kutokana na kabila, jinsia, rangi, mahali pa kuzaliwa, dini, mazingira, siasa, ulemavu, jamii na hali ya uchumi. 3. Bunge lazima lipitishe sheria za kuondoa ubaguzi na unyanyasaji kwenye jamii yetu. Kifungu 22. 1. Nina haki ya kuuishi na haki hiyo haitolewi ila kupitia sheria ya kifo ilyopitiswa na kuhakikiswa na mahakama iliyokubalika. 2. Utoaji wa mamba ni marufuku hadi sheria iruhusu. Kifungu 23 1. Mtu hawezi kukamatwa au kuwekwa jelani hadi sheria zulizotungwa kwenye katiba zitumike. 2. Mtu akikamatwa au mtu akifungwa, lazima aelezwe sababu za kukamatwa kwake, awekwe mahali panaporuhusiwa na sheria na apelekwe mahakamani kwenye muda wa masaa arobaini na nane/manane. 3. Mtu yoyote akipelekwa mahakamani kwa ajili ya kosa, anaweza kupewa rufani ikiwa mahakama itakubali. 2 The Human Rights Centre Uganda Kiwahili

Azimio la kimataifa juu ya haki za kibinadamu sura ya nne ya katiba ya jamhuri ya Uganda ya 1995: masimulizi yaliyofasiriwa kwa urahisi na kufupishwa 4. Mtu yoyote akikamatwa au kufungwa bila makosa yoyote, atapewa fidia ya kufungwa au kukamatwa bila kosa. Kifungu 24. 1. Hakuna mtu yoyote anayeruhusiwa kuumiza mtu yoyote kimawazo, kumpiga mtu yoyote au kumnyanyasa mtu yoyote. Kifungu 25. 1. Hakuna mtu yoyote atakayefanya mtumwa au kuishi kwenye utumwa. 2. Hakuna mtu yoyote atayefanyishwa kazi kwa nguvu ila kwa sababu zifuatazo; i. Ikiwa ni uamuzi wa mahakama inayokubalika. Ikiwa ni kazi kwenye gereza kwa ajili ya usafi au kuendeleza sehemu alipofungiwa mtu. i Ikiwa ni kazi ya Askari wa jeshi linalohusika. iv. Ikiwa ni kazi wakati wa kipindi cha dharura au wakati wa maafa. v. Ikiwa ni kazi inayoruhusiwa kwenye jamii au mazingira. Kifungu 26. 1. Kila mtu ana haki ya kumiliki mali na vitu, kumiliki pekee yake au kumiliki na watu wengine. 2. Mali ya mtu haiwezi kuchukuliwa isipokuwa kwenye hali ifuatayo: i. Mali ikitakiwa kwa ulinzi wa nchi, matumizi ya umma, usalama kwa jumla, ulinzi wa tabia nzuri kwenye jamii au kwa afya ya jam Kiwahili The Human Rights Centre Uganda 3

JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 1 Mali ya mtu itatumiwa baada ya kumpa fidia ya mali hiyo. 3. Hakuna sheria itakayomkataza mtu kushitaki na kwenda mahakamani ikiwa mali yake na vitu vyake vitachukuliwa kwa nguvu. Kifungu 27 Sote tuna haki ya ulinzi wa miili yetu, nyumba zetu na mali yetu; na vitu hivyo havikaguliwi bila ruhusa. Nyumba zetu na mali na vitu vyetu havikaguliwi bila ruhusa na haviingiwi bila ruhusa. Kifungu 28. 1. Watu wote tuna/nina haki ya kusikilizwa mahakamani na hukumu halali kutolewa na mahakama inayokubalika kisheria na bila kuchelewesha kesi na unafuu wa kusikilizwa. 2. Mtu yoyote anaposhitakiwa kwa kufanya kosa, yafuatayo huzingatiwa: i. Mtu hana kosa mpaka apatikane na hatia. Mtu lazima afahamishwe kosa alilofanya kwenye lugha anayoifahamu. i Lazima mtu apewe muda wa kujitetea. iv. Mtu aruhusiwe kwenda mahakamani na kupata hakimu. v. Mtu ana haki ya kupata huduma za hakimu wa Taifa ikiwa ameshitakiwa kwa kosa la jinai kama vile kifo au kufungwa maisha. vi. Mtu ana haki ya kutumia Mkalimani mahakamani ikiwa mtu huyo hafahamu lugha inayotumiwa mahakamani. v Mtu ana haki ya kusaidiwa na mashahidi wake na kuwauliza 4 The Human Rights Centre Uganda Kiwahili

Azimio la kimataifa juu ya haki za kibinadamu sura ya nne ya katiba ya jamhuri ya Uganda ya 1995: masimulizi yaliyofasiriwa kwa urahisi na kufupishwa maswali mashahidi wa upande unaomshitaki. 3. Mtu akishitakiwa kwa kufanya kosa, lazima awepo wakati wa kesi inapofanyika, isipokuwa mahakama ikimkataza kuwepo kwenye kesi kwa sababu za tabia ya mtu huyo kuweza kudhorotesha kesi hiyo. 4. Mtu hawezi kutiwa kwenye hatia ya kufanya kosa la jinai ikiwa halikuwa kosa la jinai wakati alipotenda kosa hilo. 5. Mtu hawezi kushitakiwa kwa kosa la jinai ikiwa alisamehewa kosa hilo kulingana na sheria. 6. Mtu hawezi kushitakiwa tena kwa kosa alilosamehewa au kwa kesi aliyoshinda isipokuwa mahakama kuu ikiamrisha kurudiwa kwa kesi hiyo. 7. Makosa yote lazima yawe kwenye sheria, Mtu hawezi kuwekwa hatiani kwa kosa ambalo haliko kwenye sheria, isipokuwa mahakama ikitoa uamuzi huo. 8. Mke au mume wa mtu hatalazimishwa kutoa ushahidi dhidi ya mwenzake kwenye makosa ya jinai. Kifungu 29. Watu wote wana haki zifuatazo; i. Haki ya uhuru wa mawazo na uhuru wa kuabudu na ibada. Uhuru wa kuongea na kujieleza. i Uhuru wa kutenda na kuabudu kwenye dini ya uamuzi wake kulingana na katiba ya nchi. Kiwahili The Human Rights Centre Uganda 5

JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 1 iv. Uhuru wa kukutana na kuandamana kwa amani. v. Uhuru wa kujiunga na mashirika na kujiunga kwa vyama vya siasa. vi. Uhuru wa kusafiri na kuishi mahali popote nchini Uganda. v Uhuru wa kuingia, kutoka na kurudi nchini Uganda. vi Haki ya kuwa na Pasipoti na haki ya kuwa na vyeti vya kusafiria. Kifungu 30. Wote tuna haki ya kupata elimu. Kiungu 31. 1. Watu wote wenye miaka 18 na zaidi wana haki ya kuoa, kuolewa na kuanzisha familia. 2. Ndoa za watu wenye jinsia moja ni marufuku na hazikubaliki kisheria. 3. Ndoa ni makubaliano kati ya mwanamme na mwanamke. 4. Mume na mke wana haki sawa wakati wakioana, wakati wa ndoa na wakati wanapoachana. Haki juu ya watoto na haki juu ya mali na kadhalika. 5. Ni jukumu la wazazi wawili kuwatunza, kuwahudumia na kuwakuza watoto wao. 6. Watoto hawatatenganishwa na wazazi wao au na walinzi wao ila kwa sheria. 7. Bunge lazima litunge sheria za kuwalinda wajane na wajane wa kiume kuhusu mali ya waliokufa, walio oana na watoto waliobaki. 6 The Human Rights Centre Uganda Kiwahili

Azimio la kimataifa juu ya haki za kibinadamu sura ya nne ya katiba ya jamhuri ya Uganda ya 1995: masimulizi yaliyofasiriwa kwa urahisi na kufupishwa Kifungu 32. 1. Taifa lazima liboreshe hali ya watu wenye matatizo ya kimaumbile kulingana na miaka yao, jinsia, ulemavu, historia na mila na utamaduni wao. 2. Sheria yoyote ile, mila na utamaduni vinavyonyanyasa maendeleo ya wanawake au maendeleo ya watu wa kikundi Fulani ni marufuku na imekatazwa kwenye katiba. Kifungu 33. 1. Wanawake wote wamezaliwa huru na haki sawa kama wanaume. 2. Taifa lazima liendeleze na litoe nafasi ya maendeleo ya wanawake. 3. Taifa lazima lilinde wanawake na lilinde haki za wanawake kwa kuzingatia hali yao ya uzazi na kuzaa. 4. Wanawake wana haki kama za wanaume na wapewe usawa kwenye shughuli za siasa, uchumi na jam 5. Wanawake wana haki ya kupinga unyanyasaji kutokana na historia, mila na utamaduni wetu. Kifungu 34. 1. Watoto wote wana haki ya kuwajua wazazi wao, kulelewa na wazazi wao au kulelewa na walinzi wao. Kiwahili 2. Taifa na wazazi wa watoto wana jukumu la kuwapa elimu watoto wote. 3. Hakuna mtu yoyote atakayenyima mtoto huduma ya matibabu, elimu, au huduma yoyote kwa ajili ya diini au imaani yake. 4. Hakuna mtoto atakayetumiwa vibaya kiuchumi, kufanyishwa kazi zinazoingiliana na elimu ya mtoto, au kazi inayodhuru afya The Human Rights Centre Uganda 7

JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 1 ya mtoto huyo, kazi inayodhuru akili ya mtoto au kazi inayodhuru hali ya maisha ya kawaida na maendeleo ya mtoto. 5. Watoto yatima wote na watoto wenye matatizo ya kimaumbile wana haki ya kulindwa na Taifa. 6. Mtoto mhalifu hafungwi kwenye jela na watu wakubwa. Kifungu 35 1. Walemavu wote wana haki ya kuheshimiwa na haki ya kutendewa utu. 2. Taifa litahakikisha kwamba walemavu wote wanatumia na kuendeleza vipaji vyao. Kifungu 36. 1. Watu wa hali ya chini wana haki ya kushiriki kwenye ngazi za kuchukua uamuzi. Mipango ya Taifa izingatie mawazo an fikra ya watu hao. Kifungu 37. 1. Una haki ya kuhusika, kutenda na kuendeleza mila zako, lugha zetu, utamaduni, imani au diini kibinafsi au kwa pamoja na wengine. Kifungu 38. 1. Una haki ya kuchagua Serikali na kushiriki kwenye mipango ya Serikali kwa binafsi au kwa kupitia wajumbe tuliowachagua. 2. Una haki ya kuelekeza mipango ya Serikali kwa kupitia vitendo vya amani au kupitia vitendo vya mashirika ya umma. Kifungu 39. 1. Una haki ya mazingira safi na mazingira salama kwa afya yetu. 8 The Human Rights Centre Uganda Kiwahili

Azimio la kimataifa juu ya haki za kibinadamu sura ya nne ya katiba ya jamhuri ya Uganda ya 1995: masimulizi yaliyofasiriwa kwa urahisi na kufupishwa Kifungu 40. 1. Una haki ya kufanya kazi na kufanya kazi kwenye mazingira masafi na mazuri. 2. Una haki ya kupumuzika na kupata mapumziko ya kazi yanayolipwa. 3. Una haki ya kutumia elimu uliyopata na tunaruhusiwa kufanya kazi halali na kufanya biashara halali. 4. Kila mfanyakazi ana haki ya kuwa kwenye chama cha biashara cha uamuzi wake na kushiriki kwa jumla kulinda malengo yake ya uchumi. 5. Kila mfanyakazi ana haki ya kujiuzulu au kukataa ajira kulingana na sheria. 6. Wanawake wajawazito ambao ni wafanyakazi wana haki ya kulindwa na waajri wao wakati wa uja uzito na baada ya kujifungua. Kifungu 41. Una haki ya kupata habari zilizohifadhiwa na Serikali isipokuwa habari hizo zikiwa zitaathiri ulinzi wa Taifa au ku kudhuru haki ya mtu mwingine. Kifungu 42. Una haki ya kutendewa sawa na maafisa wa utawala au vyombo vya utawala na tuna haki ya kupinga uamuzi wa vyombo hivyo mahakamani. Kifungu 43. 1. Ni jukumu lako kuheshimu haki za wengine na kulinda haki zetu kwa kutoingilia haki za wengine au kuingilia haki za umma. 2. Kutumia haki zetu kunaweza kuwa na mipaka kwa ajili ya manufaa ya umma, lakini mipaka hiyo hayihusiani na: Kiwahili The Human Rights Centre Uganda 9

JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 1 i. Unyanyasaji wa kisiasa. Kufungwa bila kesi mahakamani. i Kufanyika kwa kitendo chochote ambacho hakikubaliki kwenye umma au kitendo chochte ambacho hakikubaliki kwenye katiba. Kifungu 44. Kwa namna yoyote haki zifuatazo haziwezi kutolewa: i. Uhuru wa kutoadhibiwa, haki ya kutoteswa, na haki ya kutoondolewa hadhi. Uhuru wa kutokuwa mtumwa au kutokuwa kwenye utumwa i Haki ya kutosikilizwa kikamilifu. iv. Haki ya kuomba mahakama kupelekwa mahakamani ili kupinga kufungo unachokitumikia. Kifungu 45. Unaruhusiwa kuwa na haki za Binadamu na haki za uhuru kama iliyotajwa kwenye Katiba na unaruhusiwa haki zote ambazo hazikutajwa kwenye Kaiba ya nchi. Kifungu 46. 1. Bunge linaweza kupitisha sheria ya kuruhusu sheria Fulani zitungwe kwenye wakati wa kipindi cha dharura kwa kuwafunga watu Fulani kwenye kipindi cha dharura. 10 The Human Rights Centre Uganda Kiwahili

Azimio la kimataifa juu ya haki za kibinadamu sura ya nne ya katiba ya jamhuri ya Uganda ya 1995: masimulizi yaliyofasiriwa kwa urahisi na kufupishwa Kifungu 47. Ikiwa mtu yoyote atafungwa chini ya sheria za kipindi cha dharura lazima: i. Mtu huyo atafahamishwa kwa maandishi sababu zilizomfanya afungwe kwenye kipindi kisicho zidi saa 24. Mke au mume au mtu anayehusiana na mfungwa yoyote atafahamishwa kwenye kipindi cha saa 72. i Tangazo la kumfunga mtu litatolewa kwenye gazette ya Serikali kwenye kipindi cha siku 30 na kuelezea sababu za kufungwa mtu huyo na sheria iliyotumika. Kifungu 48. 1. Tume ya Uganda ya haki za Binadamu lazima itazame kesi ya mtu aliyefungwa chini ya sheria za kipindi cha dharura kwenye muda wa siku 21 na kila baada ya siku zisozozidi kipindi cha siku 30. 2. Tume?Halmashauri ya haki za Binadamu inaweza kuamrisha kuachiliwa kwa mtu aliyefungwa chini ya sheria za kipindi cha dharura au kupinga kukamatwa au kufungwa mtu huyo. 3. Mtu aliyefungwa chini ya sheria za kipindi cha dharura ana haki ya kupelekwa mbele ya Kamisheni ya haki zabinadamu au kuwakilishwa na wakili wakati kesi yake inapokuwa inaangaliwa upya. Kifungu 49. 1. Serikali ikitangaza kipindi cha dharura nchini lazima ifahamishe Bunge na Serikali itangaze habari ya dharura kila mwezi, asaerikali itangaze yafuatayo: i. Majina na idadi ya watu waliofungwa kwa kipindi hicho. Kiwahili The Human Rights Centre Uganda 11

JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 1 Hatua zipi zilizochukuliwa na Serikali kwa kushirikiana na Kamisheni ya haki za Binadamu. i Idadi ya kesi zilizishuhulikiwa na Kamisheni ya haki za Binadamu. 2. Wakati wa mwisho wa kipindi cha dharura kilicho kubaliwa na katiba, watu wote waliofungwa wataachiliwa isipokuwa mtu mwenye kosa la ziada. Kifungu 50. 1. Una wajibu wa kesi yako kusikilizwa upya mahakamani ikiwa haki zetu kwenye katiba zimekiukwa na kesi zetu kupelekwa mahakamani. 2. Mtu yoyote au kikundi chochote kina haki ya kutetea haki ya mtu mwengine au haki ya kikundi chochote kingine. 3. Bunge lazima litunge sheria za kuongezea nguvu haki za Binadamu na uhuru wa kimsingi. Kifungu 53. Haki zako zikikiukwa, unaweza kutowa malalamiko yako kwenye Kamishen ya Uganda ya haki za Binadamu ambayo ina amri ya kufanya mabadiliko na kuangalia kesi yako upya. 12 The Human Rights Centre Uganda Kiwahili

The Human Rights Centre Uganda, P. O. Box 25638, Kampala, Uganda. Telephone: +256 414 266186 E-mail: hrcug@hrcug.org Website: www.hrcug.org