Hills View Catholic Diocese of Tanga Magunga District Hospital Road Mob:+255-784808420, +255 718 661681, +255 714901004 www.rmet.ac.tz, email: saroce2013@gmail.com KOROGWE, TANZANIA Kumb.Na.HVEMS/JI/BT/018 Novemba 17, 2017. Mpendwa Mzazi /Mlezi wa YAH: MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE CHINI YA TAASISI YA ROCK MEMORIAL EDUCATION TRUST 2018 Ninafurahi kukujulisha kuwa mwanao. amechaguliwa na Baraza la Taaluma la Taasisi ya Rock Memorial Education Trust kujiunga na: Darasa la.katika Shule yake ya Mchepuo wa Kiingeraza Hills View. - Kidato cha I katika shule yake ya Sekondari Hill View Bweni/ Mchanganyiko - Kozi.katika Chuo chake cha Elimu ya Awali cha Mt. Rock 1. Shule ilipo: Tupo km 2 ½ kutoka stendi mpya ya mabasi Kilole pembeni mwa barabara iendayo hospitali ya Wilaya Magunga au Kwamgoma. Mwambie kondakta akushushe CRDB na NMB bank. Unaweza kufika kwa bajaji sh. 1,000/ au pikipiki sh.1000/ 2. Afya: Mtoto apimwe afya na daktari na kumjazia Fomu Na. CHRS iliyoambatanishwa na kuirejesha kwa Msajili kabla au siku ya kuripoti. Juhudi zifanyike za kutibia shida zilizo Bainika kabla ya kuripoti na aje na vyeti vya tiba pamoja na Bima yake ya Afya 3. Kuripoti Shuleni: Mtoto aripoti Jumamosi tarehe 06, Januari kuanzia saa 2:00 asubuhi hadi saa 11:00 jioni akiwa nadhifu na Ream 1 A4 kila mtoto aletwe na Mzazi, Mlezi au Mfadhili wake. Atakayechelewa siku 3 baada ya tarehe 6, Januari atalipa tozo la usumbufu la shs. 10,000/. 4. Ada : Gharama za Elimu na Malazi kwa mwaka wa kwanza wa masomo ya Pre School ni Tshs. 990,000/; Nursery Tshs. 950,000/ na Baby Tshs. 720,000/ Ada hii ikilipwa yote kabla ya Sept. 30 ya mwaka wa masomo, atapata punguzo la ada Tshs. 100,000/ kwa kipindi chote cha masomo akianzia drs. linalofuatia ili mradi malipo yawe yanafanyika kabla au ifikapo 30/9 kila mwaka.
Jedwali lifuatalo laweza kukuongoza ingawa halizuii mfumo wa ulipaji kwa mikupuo. Awamu za ulipaji kwa mwaka 2018 Awamu za ulipaji kwa miaka inayofuata Darasa Jan Mei Agosti Jan Mei Agosti Baby 300,000/ 220,000/ 200,000/ 250,000/ 220,000/ 150,000/ Nusery 400,000/ 300,000/ 250,000/ 350,000/ 300,000/ 200,000/ Pr. School 400,000/ 350,000/ 240,000/ 350,000/ 320,000/ 220,000/ Malipo yote yafanywe kwa Mmiliki :- Rock Memorial Education Trust A/Cs 41503500031 NMB au OIJ1098887200 CRDB au TIGOPESA namba ya Kampuni 757575 na mlete mwanao na Original Pay in Slip ya fedha hizo ikiwa na jina lake na darasa ili apewe stakabadhi. Ada ikishapokelewa hairudishwi. 5. Sare: Mtoto aandaliwe na sare 2 za darasani (Brown na Cream) Isteem No. 1 na 2 za kushindia kama sampuli ya vitambaa ilivyoambatishwa. Tshirt sh. 10,000/ na Sweta sh. 15,000/, vinapatikana hapa shuleni. Sare zote zifumwe vizuri majina ya mtoto kwa uzi. Sketi za wasichana ziwe inch 5 kutoka kwenye magoti. 6. Matandiko: Shule ina kitanda na godoro. Mtoto aje ana chandarua 3 x 6 mashuka 2 ya rangi kijani au bluu na vyote vifumwe jina la mtoto kwa uzi. 7. Ratiba ya kutembelea watoto katika mwaka: Wazazi wanakaribishwa kuwatembelea watoto wa Nursery - Drs. II ni kila J mosi ya kwanza ya mwezi na Drs. III-VII Machi 3 na Novemba 3, 2018. Si ruhusa mzazi kuja na chakula au kinywaji chochote siku hizo. Siku ya Mahafali Septemba 8 tu ndiyo wazazi wanaruhusiwa kuja na chakula na wanachangia sh. 10,000/. 8. Mwisho: Ni matumaini ya uongozi wa shule hii kwamba utayazingatia maelekezo haya ili kupunguza usumbufu kwa maendeleo ya taaluma na malezi ya mwanao na kuwatakieni sikukuu njema ya Christmas mwaka mpya wa 2018. Karibu Hills View, C. Mhuza Mkuu wa Shule Nakala: Meneja wa Shule
Hills View Catholic Diocese of Tanga Magunga District Hospital Road Mob:+255-784808420, +255 718 661681, +255 714901004 www.rmet.ac.tz, email: saroce2013@gmail.com KOROGWE, TANZANIA Tafadhali jaza fomu hii na uirejesha kwa msajili siku ya kumleta. Weka alama (V) kwa Mafunzo unayoomba: Baby ( ); Chekechea ( ); Awali ( ); Darasa la ( ) 1. Majina matatu kamili ya mtoto.drs. Mwk.. 2. Tarehe ya kuzaliwa.namba ya cheti cha kuzaliwa. Mahali alipozaliwa.. 3. Jina la Baba/Mama/Mlezi. 4. Kazi yake Kijiji/Mtaa..Kata.. Wilaya. Anuani.. Simu ya ofisini. Simu Kiganjani Barua Pepe Simu ya ndugu wa karibu... Uraia....Dini.. 5. Taarifa ya afya ya mtoto: Ijazwe na Daktari, kuzingatia maradhi haya: Donda koo.pepo punda...kisukari. Kifafa.Kifua kikuu. Mapunye Meno....Ukojozi. Minyoo. Pumu Vidonda tumbo: Hernia na ugonjwa mwengine. 6. Mtoto ana mzio (allergy) au ugonjwa mwingine: Eleza:... Mtoto wako anatumia matibabu nyumbani? Ndiyo/Hapana kama ndio ni aina gani ya dawa (tiba). Mtoto wako akiugua Malaria ni dawa gani humtibu? Jina la Daktari. saini Mhuri Tarehe... 7. Uthibitisho: Mimi..Baba/Mama/Mlezi wa. Nathibitisha kwamba kama mwanangu atajiunga na shule hii nitashirikiana kwa karibu na uongozi wa shule katika kustawisha taaluma na maadili ya mtoto wangu. Nitakubaliana na kanuni na sheria za shule na kulipa kwa wakati kama itakavyoelekezwa mara kwa mara.
JinaBaba/Mama/Mlezi saini..tarehe Mwalimu Mkuu..saini..tarehe HILLS VIEW ENGLISH MEDIUM SCHOOL FOMU YA UDAHILI MAJINA KAMILI YA MTOTO Darasa.. Mahitaji Muhimu ya jumla kwa maisha muafaka ya watoto wote shuleni: Shuka 2 (Kijani / Bluu) ( ) Track suit 1...... ( ) Nguo za ndani 6.... ( ) Soksi nyeupe 2.. ( ) Raba na Bukta na Tshirt za michezo 1... ( ) Viatu vyeusi ( vya kuchomeka sio bajaji) 2... ( ) Taulo 1 ( Kijani au Bluu) ( ) Kanda mbili pea 3.. ( ) Mafuta ya kujipaka 2 ( Baby care/ Vaseline). ( ) Dawa ya meno 2Kubwa.. ( ) Miswaki 2.. ( ) Miche ya sabuni ( Jamaa) 4.. ( ) Mkanda mweusi inchi 1 ½ 2. ( ) Sabuni za kuogea 6... ( ) Soap dish 1... ( ) Chandarua 1 ( 3x6)... ( ) Vitana 2... ( ) Ndoo ndogo 1 (Drs. III VII)... ( ) Kiwi kopo kubwa 2. ( ) Ream 1 A4 (Drs. III VII).. ( ) * Kwa mtoto wa kike muandalie Kanga pea 1 NB: Malipo mengine muhimu: - Fedha ya tahadhari sh. 10,000/
- Udahili sh. 10,000/ - Fedha ya matumizi sh. 20,000/