Picha ni hati miliki ya Ushirikiano wa Maendeleo ya Watoto(PCD), Imperial College London. Maelezo

Similar documents
Utangulizi wa ugonjwa wa shinikizo la damu

Information for assessors (do not distribute this page to participants):

Lishe na Ulaji Bora kwa Watu Wanaoishi na Virusi vya UKIMWI VIDOKEZO MUHIMU KATIKA UNUNUZI NA USALAMA WA CHAKULA

Jamii. ,,,^mm^mmm-<^^^^ illli MA RH-EREN.CE CENTRE

Lishe na Ulaji Bora kwa Watu Wanaoishi na Virusi vya UKIMWI

AMMA KWA AFRIKA RATIBA/ITIKADI. Ratiba Maalum ya Kutibu Magonjwa Maambukizi na Hususan Fikra Zinazoleta Pooza Mwili na Akili

Siku ya kwanza. Mguso wa ngozi-kwa-ngozi (Ulezi wa kangaruu) Mtoto wako anaweza kuhisi mdundo wa moyo wako

UNIVERSITY OF CAMBRIDGE INTERNATIONAL EXAMINATIONS General Certificate of Education Ordinary Level. SWAHILI 3162/01 Paper 1 May/June 2013

GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23)

PYRINEX. 1 Liter INSECTICIDE

Jifunze kusimamia pesa zako nchini Uskoti

TAFSIRI RAHISI YA MPANGO WA MAENDELEO YA AFYA YA MSINGI (MMAM)

Hati ya kuhitimu kisomo Kenya (K.C.S.E)

Human Rights Are Universal And Yet...

Uzalishaji wa mboga na matunda ni muhimu kwa afya na kipato

GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23)

Uwepo, Athari na Udhibiti wa Sumu-Suvu Kwenye Vyakula vya

2 Usimamizi wa Rutuba ya Udongo Tanzania Organic Agriculture Movement

International Labour Office. Kazi za Ndani Zenye Madhara kwa Watoto: Kijitabu cha Maelezo Mafupi

KILIMO CHA VITUNGUU MAJI NA VITUNGUU TWAUMU (SWAUMU)

UMRI WA MAKAMO NA KUKOMA KWA HEDHI

TIST (TANGA) HABARI MOTO MOTO. Kutunza miche yako. Take care of your seedlings. Take care of your trees

Azimio la Umoja wa Mataifa Kuhusu Watetezi wa Haki za Binadamu

JAMHURI YA KENYA. Mkakati wa Ushirikiano MUKHTASARI FY Public Disclosure Authorized. Public Disclosure Authorized

Kuwa na Ukimwi ni kama vile kutakiwa kuendelea kuuzima moto unaoniunguza bila kukoma.

TIST HABARI MOTO MOTO

Mwongozo wa Familia wa Kujifunza

Hatari, Haki za Usalama katika Bahari 03

KUWEZESHA MBINU ZA UZUIAJI MIMBA KATIKA SUHULA ZA AFYA: MASWALI 10 KWA VIKUNDI VYA JAMII KUZINGATIA

Yaliyomo. Kuhusu kitabu hiki. Hautakuwa peke yako. Mfumo wa msaada ni wa manufaa sana wazazi wote wanahitaji!

Ufundishaji wa lugha nyingine

ATHARI ZA MABADILIKO YA TABIANCHI KWA UCHUMI WA ZANZIBAR

Wewe Maisha Yako Ndoto Zako. Kitabu cha Vijana Balehe

MATUMIZI YA FACEBOOK KWA BIASHARA. Kwa Wanaoanza

JHSPH MAADILI YA KUFANYA UTAFITI WA MASUALA YA BINAADAMU MUONGOZO WA MAFUNZO YA UTAFITI

Mwongozo wa Jamii juu ya Afya ya Mazingira

HOTUBA YA WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU: KAZI, AJIRA, VIJANA NA WENYE ULEMAVU MHE

4 WADUDU,MAGONJWA NA MAGUGU

MALENGO YA MAENDELEO ENDELEVU

Ni kwa nini mkulima awe maskini?

Uhakika wa Mbegu kwa Uhakika wa Chakula MWONGOZO WA UZALISHAJI WA MBEGU ZA ASILI ZA MAHINDI

Mwongozo wa Kitaifa wa Ujumbe wa Uzazi wa Mpango

Bustani 10,000 Katika Afrika. Alberto Prina

Kijitabu cha Maelezo cha Programu ya Famasia

pages/mkulima-mbunifu/

Early Grade Reading Assessment for Kenya

Ufunguo wa Kutaalamika Haraka

UNACHOHITAJI KUJUA KUHUSU VIKWAZO VYA KULINDA MAISHA KATIKA USAIDIZI WA KIMATAIFA WA AFYA KWA MSAADA WA KIMATAIFA UNAOFADHILIWA NA MAREKANI

MTI KWA MATUMIZI YA KILA AINA HDRA

MTIHANI WA MWIGO WILAYA YA BUTERE MUMIAS-2007 Hati ya kuhitimu Elimu ya Sekondari Kenya

Kufafanua Upya Elimu Bora Tanzania: Kutoka Zana za Dufundishia mpaka Uwezo wa Wanafunzi 1 Oktoba 2007

Miradi na jamii. 3.1 Utangulizi

TANZANIA MARKETS PAN Sera zinazoboresha masoko

Shabaha ya Mazungumzo haya

Kutetea Haki za Binadamu

Kifaa Maalum cha Kutazamia Jua: Maelekezo ya kutumia

Njia bora za ukusanyaji na upimaji maziwa

TAARIFA FUPI KUHUSU SERA YA TAIFA YA ELIMU

Palliative Care Toolkit

Pronunciation: Mä-hret Zäläke Ndal-ka-tscho Molla Mare Gebre-gzabiär 1/12

KUZALISHA MBEGU YA MAHARAGE KIJITABU CHA KWANZA

Utumiaji Wa Kiswahili Na Lugha Za Jamii Kijinsia Nchini Tanzania Y.P. MSANJILA University of Dar-es-Salaam, Tanzania

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO

Utunzaji, Uhifadhi na Usafirishaji Bora wa Maziwa

Kocha Mkuu. mabingwa. itakuwa INASTAHILI. Ili Kutoa mafunzo kwa wanafunzi wako kuwa. itakuwa ya kuumiza. Itachukua muda. Itahitaji moyo wa kujitoa.

JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 1

KUUNGANISHA VIZAZI KUPITIA RADIO MWONGOZO KUTOKA AFRIKA KWA WAANDAJI WA VIPINDI VYA RADIO WANAOFANYAKAZI NA WATOTO NA VIJANA

Njia Bora za Ukusanyaji na Upimaji Maziwa

CGAP Smallholder Household Survey in Tanzania / Utafiti wa kaya ndogondogo Tanzania

UKUZAJI WA ASALI AFRICA (HONEY CARE AFRICA)

Kuwawezesha wasichana kwa kuboresha kujikubali na kujithamini Hivi Ndivyo Nilivyo

SERA & TARATIBU YA YALE NEW HAVEN HEALTH

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA ELIMU SAYANSI TEKNOLOJIA NA UFUNDI MTAALA WA ELIMUMSINGI DARASA LA I NA LA II

Hati ya Kuhitimu Elimu ya Sekondari Kenya.( K.C.S.E)

ONDOA MADINI YA RISASI KATIKA RANGI: LINDA AFYA YA WATOTO

KITEGO CHA MAREKEBISHO NA HAKI ZA MTOTO

Vijana wanazungumza kuhusu ujinsia, maisha na uhusiano VIJANA WANAZUNGUMZA KUHUSU NGONO, MAISHA NA UHUSIANO. Training and Research Support Centre

Shamba Darasa na Stadi za Maisha kwa Vijana (SDSMV) Tanzania. Kiongozi Cha Mwezeshaji. Jaap Van Pol na Francesca Dalla Valle

Adhabu ya jino kwa jino na Musitakabali wa imani zetu

Mwongozo huu wa ufugaji kuku wa Asilia umezinduliwa rasmi leo tarehe 1 Agosti 2009 wakati wa sikukuu ya Wakulima Tanzania mjini Mbeya

Azimio lililopitishwa na Mkutano Mkuu tarehe 18 Desemba 2013 [juu ya taarifa ya Kamati ya Tatu (A/68/456/Add.2)]

Mwongozo wa Utamaduni Toleo la Kwanza

Mwongozo kwa familia zinazofanya kazi pamoja kwa maisha endelevu. Nyenzo ya Mafunzo

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara kuhusu WEMA

Uzio wa pilipili unazuia tembo kuvamia mazao shambani! Jinsi ya kujenga na kudumisha uzio wa pilipili Tanzania

Mfumo na maelezo ya kina ya mpango wa kimataifa wa viwango vya chakula kwa wenye matatizo ya kumeza (IDDSI) Juni 2017

Maoni ya Wananchi juu ya Huduma za VVU na UKIMWI Nchini Tanzania

MTIHANI WA MWIGO WA WILAYA YA NANDI KASKAZINI 2013

Misamaha ya kodi Tanzania: Je, ni mikubwa sana na kutufanya tuwe tegemezi kwa misaada?

MAFUNZO YA AFYA YA UZAZI: Nyongeza ya Mtalaa Kwa vijana

Upande 1.0 Bajeti yako

Deutsche Welle, Learning by Ear 2009 Seite 1 People Who Make A Difference Liberia: Anita Varney Health Facilitator, Fishtown/Liberia

Dibaji ya Mwenyekiti wa Kamati ya Pamoja ya Uongozi

Makala ya Mshiriki wa Mafunzo

Unyanyasaji wa Watoto & Kutelekezwa

USIMAMIZI MKUU WA UBORA WA MAHURUJI

MAKUBALIANO YA 2005 YA ULINZI NA UKUZAJI WA VIELELEZO VYA TAMADUNI ANUWAI

UTANGULIZI ANUANI NA MANDHARI YA CHUO

Mazoezi yaliyofanyika wakati wa warsha kuhusu Elimu-Jumuishi kwa Vitendo. Zanzibar, 7-10 Februari 2006

Elimu ya Msingi inaelekea Upande Sahihi? Kufikiri na Nyerere Rakesh Rajani

Transcription:

Mwongozo wa kufundisha afya katika shule na jamii kupitia wafanyakazi wa afya

Hati zifuatazo zimeandikwa kwa ushirikiano kati ya Partnership for child Development (PCD) yani Ushirikiano wa Maendeleo ya Mtoto, na Serikali ya Kenya, Taasisi ya Utafiti ya Kenya ya magonjwa (KEMRI) na International Rescue Committee, Umoja wa Mataifa wa Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) na Shirika la Chakula Duniani (WFP). Maudhui imeanzishwa kushughulikia changamoto za afya na maarifa, mitazamo na mazoea ya jamii la Turkana na kambi la Kakuma zinazohusiana na; tabia ya Kula, viini vya ungojwa na maambukizi, Trachoma, Usafi wa Maji na Mazingira. Taarifa zilikusanywa kupitia utafiti wa shule za msingi nafasihi ya mapitio ya data sekondari ili kuhakikisha ujumbe pia kuti maanani umuhimu wa mazingiramaalum na utamaduni. Picha ni hati miliki ya Ushirikiano wa Maendeleo ya Watoto(PCD), Imperial College London. Maelezo PCD@imperial.ac.uk

Kitangulizi Mathumuni ya kijitabu hiki ni kupatia wafanyakazi wa afya wa kambi ya wakimbizi kakuma na habari kuwasaidia kufundisha na kuwasiliana kuhusu madhara ya kutokula chakula bora magonjwa yanayo wadhuru siku hizi kambini na maeneo jirani. Kijitabu hiki ni mojawapo ya maelekezo ya kuchangia kuhusu afya ya jamii pamoja na mazingira bora ya afya, maelezo ya lishe bora kwa madhumuni ya kuboresha afya ya jamii kambini na maeneo jirani. Kulingana na habari zilizopatikana baada ya kukadiria mahitaji, kijitabu hiki kinapeana habari muhimu ambayo wenyeji wanaweza kutumia kujikinga pamoja na familia zao magonjwa pamoja na vyakula wanavyo tumia kwa lishe bora. Kitabu hiki kita patiana elimu na hoja pia habari kuhusu uzuiaji wa magonjwa, ulaji wa lishe bora na wakati wa kutafuta matibabu ya magonjwa yanayo wakabili. Lishe bora ina umuhimu mkubwa kwa afya ya mama na watoto, inachangia pakubwa ukuaji wa mtoto, ukomavu wa akili na pia kuzuia uambukizi wa magonjwa. Jumbe za usafi na mazingira bora ina faidi watu kwa maarifa ambayo yata badilisha tabia na kuzuia uambukizaji wa magonjwa tofauti tofauti. Mwisho, itachangia kwa habari kuhusu magonjwa na uzuiaji na pia wakati wa kuhitaji matibabu ambayo itasaidia jamii kushughulikia afya na kuwapa nafasi nzuri kuishi kwenye mazingira ya afya na maisha mazuri. 3

Ishara na Muundo Kitabu hiki kina ujumbe kwa mambo manne ambayo yanaweza kusaidia wafanya kazi wa afya kupeana ujumbe wa afya na lishe bora kwa wananchi wa kakuma. Kila sehemu inaelekeza kiini cha habari, ikieleza hali ya afya na magonjwa na njia mwafaka za kujizuia pamoja na jamii na familia wasipate Marathi na pia kusambaza magonjwa. Sehemu ya mwisho inazungumzia mamboa yote yanayoweza kusaidia uzuiaji wa magonjwa katha na Marathi mengineyo. Kiini cha habari zifuatazo hapa chini zinaweza kusaidia kujumuisha jamii na kusaidia uelewaji wa hatari za magonjwa na pia wanacho takiwa kufanya kujizuia na lishe isiyo faa. Ishara: 1. 2. 3. 4. 5. Elimu ya lishe Umuhimu wa lishe bora una zungumziwa kwa ufasaha, ambapo kula chakula chenye madini yote na vyenye aina tofauti za vyakula pamoja na kuzidisha madini bora ya afya ya watu Kaunti ya Turkana. Kuepuka ugonjwa wa macho Sehemu hii inzungumzia zaidi ugonjwa wa macho unaosababishwa na viini ambavyo vinapatikana sana ndani ya kambi ya Kakuma. Mbinu zinaelezwa jinsi ya kuzuia ugonjwa wa macho kutumia tahathari SAFE (upasuaji, madawa, kuosha uso, kuboresha mazingira). Malaria Ni ugonjwa mbaya ambao unsambazwa na mbu. Sehemu hii inatujuza kuhusu vimelea (vidudu) na kueleza vile vinavyo smbazwa kwa wanadamu, dalili na jinsi ya kutibu na pia njiwa za kujikinga kuambikizwa na ugonjwa wa malaria. Zuia Minyoo! Sehemu hii inahusika na minyoo ya tumbo, vile wafanyavyo mwilini, vile zina sambazwa jinsi ya kujizuia kupata minyoo na la kufanya ukiwa umeambukizwa. Maji, mazingira na usafio (WASH) Sehemu hii inazungumzia umuhimu wa kuosha mikono mara kwa mara na pia uso kuzuia magonjwa kwa jamii. Inatufunza kitakacho tokes kukiwa hakuna maji, mazingira bora ama usafi na pia la kufanya kutahathari na la kufanya ukiwa mgonjwa. Ina sisitiza sana umuhimu wa kutumia choo na kuosha mikono baada ya kutoka chooni na pia wakati wa kupika chakula. 4

1: Elimu ya lishe Lishe hafifu inatokea wakayi watu hawapati chakula chenye nguvu, protein, mafuta, vitamin na madini muhimu kutoka kwa chakula wanacho kula. Haya madini yanahitajika kwenye mwili ili kufanikisha, hasa lishe duni inasababishi motto kutokuwa inavyo hitajika na huweza pia kusababisha unyonge na umbilikimo, pia iki tatiza uwezo wa mtoto kusoma vizuri. Baathi ya lishe duni zinapotokea (chini ya miaka mitano) ni vigumu sana kurekebika. Ndio maana kuna umuhimu wa kutengneza chakula kizuri kwa jamii na watoto wadogo na pia kuhakikisha watoto wanakula chakula cha kutosho. Pamoja na hivyo, hata kama chakula ni kizuri, kama mtu ana njaa siku yeyote ile ni vigumu kuzingatia na kufanya mambo magumu, ni vizuri kila familia kula chakula bora na chenye madini muhimu. Kuendelesha jamii elimu juu ya vyakula vinavyo faa kula ina changia sana kubadilisha tabia zao za kubadili tabia zao wale vyakula vya kujenga miili yao Ishara: 1. 2. 3. 4. Umuhimu wa kula vyakula vyenye afya: GLOW GROW na GO Ujumbe na aina tofaiti za vyakula Tunawezaje kuongeza uzuri wa chakula chetu? Uduni wa madini muhimu Micronutrient deficiencies Vyakula vilivyo jaza madini muhimu wa kuvijua. Baraza la kufundisha 1: Vyakula vyenye Afya Vyakula viwe na vitu muhimu kama vile GO, GROW and GLOW G Tatu. Hizi aina tatu za vyakula vinaelezwa hapa. 1. Ni nini lishe bora? Kwanini ni muhimu? Lishe bora ni chakula chenye anina tatu za vyakula; chakula cha kujenga mwili, vyakula vya kupatia mwili nguvu, vyakula vya kuzuia magonja. Hizi aina tatu za vyakula vinakumbukwa kama GO, GROW and GLOW vyakula Gs Tatu. Vyakula vya GO vyakula vyenye kupatiana nguvu (carbohydrates kama vile nafaka na vyakula kama mihogo, viazi 5

tamu, karoti na mafuta). Vinatupa nguvu ya kuendelea na kazi ngumu na kwa mda mrefu, Tusipokula vyakula vya kuongeza nguvu mara nyingi tutakuwa na uchovu na huwezi kufanya shughuli za kila siku. Vyakula vya kukua GROW ni vya kujenga mwili (kama nyama, maharagwe and maziwa), Vinatu fanya kukuwa, omekana na nguvu na wenye afya. Usipokula vyakula vya kujenga mwili, watoto wanaweza kuwa na mwili mdogo sana dhidi ya umri wao. Vyakula vya GLOW ni vyakula vya kukinga mwilivikiwa vime jaa vitamin na nadini (matunda na mboga za majani). (Vina saidia kukuza akili (ubongo) na kufanya mwili kuwa na nguvu na kukuwa vizuri. Vinatusaidia kukinga magonjwa na pia husaidia baada ya kupona ugonjwa. Tusipokula vyakula vyakuzuia kwa wingi tunaweza kuugua nmara kwa marana tuta pona pole pole sana. 2. Tunaweza je kuboresha vyakula vyetu na vitu tunavyo kula? Ili kuwa na afya bora na pia kusaidia familia kuwa na afya jamii wanahimizwa kutengeneza vyakula vya nyumbani hivi: Tengeneza aina tofauti za vyakula kutoka kwa vikundi vya GO, GROW and GLOW Ongeza ukulaji wa vitamin na madini kwa kula matunda safi, mboga za majani. ma. Machungwa, matunda ya njano na mboga za majani mabichi zina lishe bora. Lima shamba dogo la mboga pamoja na matunda ili yaliwe yangali mazuri. Himiza mama kunyonyesha watoto wao hadi miezi sita Maziwa ya mama yana lishe zote mototo ana hitaji ili kukua na mguvu na pia kuzuia maambukizi ya magonjwa. Kusitisha unyonyeshaji wa motto yaweza kusababisha kukua kwa shida na kusababisha motto apate magonjwa katha. Kula vyakula kama nyama za ngombe, mbuzi, samaki na kuku ambavyo vina madini muhimu yanayoweza kuzuia ukosefu wa damu. Ukiwa huna damu ya kutosha, kuna kuwa na ukosefu wa hewa mwilini. Hii husababisha uchovu, usumbufu, kukosa hewa na huweza kuzimia. Usipike mboga zaidi, hii ina sababisha madini muhimu kupotea ndanin ya maji hivyo kuharibu. Pika kidogo tuu ndio upate madini ya sawa. 3. Kuongeza madini, kwa chakula Madini ya aina Fulani yana hitajika kwa mwili kwa asili mia kidogo kidogo. Ukosefu wa hayo madini husababisha mwili kukosa vitu vya muhimu na huwa sana kwa watoto. Kwenye sehemu hii madini muhimu ya afya ya jamii yana zungumziwa hapa, yanapopatikana, na muhimu wake kwa mwili, ukosefu na jinsi ya kuzungumzia kupitia kuongeza madini kwenye vyakula. 4. Kutambua madini, kazi zinazofanya, na shida zinazoletwa kwa upungufu wake. Madini ndani ya vyakula yana hitajika mwilini na vitu vilivyo hai kwa maisha yao yote. Madini hutumika kwa mambo mengi kwa maish ya wanadamu. Madini huchangia sehemu nyingi za maisha. Madini inayo maslahi katika wizara ya afya ni Vitamin A, Iodine, Zinki na iron. Ukosefu wa haya madini kwa maisha ya kila siku yana julikana kama Ukosefu. Ukosefu wa haya madini husababishwa na: Mchanga mahali Fulani una kosa madini Fulani. Vyakula vya jamii Fulani havina madini muhimu. Magonjwa ya aina Fulani yana sababisha ukosefu wa madini Fulani. 6

Baathi ya mathara yanaelezwa hapa: Aina ya madini yanapotoka Kazi yake mwilini Vitamini A Madini ya Iodini Maziwa, mayai, maini, mboga za majani kama vile spinachi, sukuma wiki na machungwa, matunda, karoti, malenge, viazi tamuna papayu Chumvi iliyo na iodini, maziwa ya ngombe na mayai Ni muhimu kwa afya ya macho na kuona vizuri. Pia inafanya ngozi kuwa nadhifu na yenye afya. Ina zuia kuhara, ukambe, utapiamulo. Ukosefu a vitamini A husababisha kuto ona vizuri na pia upofu wa usiku. Inasadia mwili katika kupumua na kukua kwa misuli. Ni muhimu sana kwa kukua na kuongeza nguvu ya ubongo na neva. Iodini hupatikana kwenye vyakula vinavyo pandwa mchngani wenye hayo madini kwa wingi. Mchanga usio namadini ya iodine unapatikana sehemu za milimani. Ukosefu wa iodini leads husababisha ugonjwa wa goita (uvimbe kwenye shingo). Inweza kuwa hali mbaya sana hasa kwa mama wajawazito kusababisha kuzaa watoto wenye uzani mdogo, uavia mimba na watoto walemavu. Madini ya chuma Nyama, samaki, maini, spinachi, mayai, mboga za majani Husaidia damu kuwa na afya nzuri. Kama huli vya kutosha inasababisha ukosefu wa damu, uchovu, uvuvu, kizunguzungu na kuumwa na kichwa. Madini ya Zinc Nyama, kuku, samaki, maziwa, nafaka na njugu Husaidi kufanya mwili kuwa na afya na kuendeleza ukuaji wa mototo na baru baru. Ukosefu wa madini ya zinc ina sababisha kutokua na magonjwa kama vile kuhara. Ukosefu wa madini yeyote ni vigumu san kutambua. Kuzuia ni kujaribu kula vyakula vyenye hayo madini na chakula cha muhimu. 7

5. Mazungumzo juu ya kuongeza madini kwa chakula Ili kuzuia ukosefu wa madini kwa jamii, vyakula Fulani vya weza kuongezewa madini ambapo vitaminni, na madini vinachanganywa kuongeza lishe za muhimu. Eleza vyakula vyote vilivyo ongezwa madini Kenya vina alama ya kuthihirisha. Onyesha hiyo alama. Uliza kama nyumbani wana chakula chenye hiyo alama Waulize jamii kama wanajua hivi vyakula ambavyo vimeongezwa madini. Kanuni: Zungumzia kuhusu ana nyingi za vyakula ambavyo wako navyo hapo nyumbani na uliza kama kuna vyakula vilivyo ongezewa madini ama vyaweza kuongezewa madini. 6. Kuhakikisha umekula vyakula vilivyo ongezwa madini muhimu Serikali ya Kenya imesema kuna aina Fulani ya vyakula vya vinavyo weza kuongezewa madini: Unga wa ngano umeongezwa Zinc and chuma Unga wa mahindi umeongezwa Zinc and chuma Chumvi imeongezwa Iodini Mafuta ya kupikia yameongezwa vitamini A Eleza kwamba ni vizuri kununua vyakula ambavyo vimeongezwa madini na vitamin kila wakati iwezekanavyo ili kuwa na afya nzuri. Pia tuangalie vile vyakula vinavyo fungwa, kama vile chumvi, sukari, ma futa ili kuwa na afya bora nyumbani. 8

2: SAFE from Trachoma Taswira Trachoma ni ungonjwa unaosabishwa na vimelea na hatimaye kusababisha upofu na huambukizwa na mikono michafu, nguo na nzi ambao hubeba vimelea hivyo. Mapema kabla ya maambukizi, trachoma huwa haina dalili, lakinimaambukizi husababisha muwasho, macho mekundu na kutoa usaa. Dalili zingine ni kuwashwa kwa macho na kuathiriwa na mwangaza mkali kwa macho. Vimelea husambazwa sana na kati ya watoto wadogo na hatimaye kusababisha upofu wa macho. Trachomahuathiri jamii maskini, na wanaoshi katika misongamano na pia wanaoishi bila maji safi. Jamii zinazoishi maeneo kame na kavu pia huathirika pakubwa. Uzuiaji wa maambukizi huhusishwa sana na uoshaji wa uso (ambao hupunguza uvujaji wa macho ambayo husababisha maambukizi na pia nzi), mazingira safi na uwepo wa maji safi piahupunguza maambukizi. Upofu wa macho unaweza kuzuiwa, wakati haswa ubora wa mazingira safi umetiliwa maanani na jamii zote. Pia unaweza kuzuiwa kwa kutumia maji safi, kunawa nyuso na sabuni na pia mikono. Utafiti unaonyesha kuwa, kupunguza kunya mahali ambapo hakuna vyoo ni muhimu katika kupunguza maambukizi haya ya trachoma na kipindupindu. Mikakati ya WHO ni kuangamiza ugonjwa wa trachoma hapo mwaka wa 2020 wakitumia mikakati inayofahamika kama SAFE (Surgery, Antibiotics, Facial cleanliness and Envirnmental improvement). Maudhui Maelezo yafuatayo yananuiwa kusaidia jamii na elimu ya kuikinga dhidi ya trachoma. Sehemu ifuatayo imepeana vipengele muhimu vya afya kuhusu tabia zitakazosaidia kuzuia maambukizi hayo. Vipengele: 1. 2. 3. 4. Trachoma ni nini? Husambazwaje? Tutawezaje kusitisha ugonjwa huu? Hutibiwa vipi ugonjwa huu? 1. Trachoma ni nini? Trachoma ni ugonjwa wa maambukizi ya macho unaosababishwa na uchafu (vimelea). Hatimaye, husababisha upofu wa macho kwani husababishakubambuka kwa kope za macho kwanza ugonjwa huu ndio kiini kikuu kinachosababisha upofu ambao hatimaye unaweza kuzuiwa. Ni muhimu kwa jamii zinazokabiliwa na maambukizi kufahamu jinsi ya kujikinga kutokana na maambukizi haya sas na pia kwa siku zijazo na lipi la kufanya iwapo wataambukizwa. Ni muhimu pia kuzitia moyo jamii zilizoathirika kutafuta huduma za matibabu kwa nja ya madawa ama upasuaji kabla ya kupofuka macho. 9

2. Trachoma husambazwaje? Trachoma husababishwa na uchafu na vimelea, pia trachoma inaeza ambukizwa kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine kupitia uhusiano wa karibu hususani kwa vitu vilivyoathirika kutokana na ugonjwa huo. Trachoma huambukizwa haswa wakati kitu kimegusa jicho lililoathirika na baadaye kugusa jicho ambalo halija athirika, kwa mfano: Taweli, vitambaa vya mkono na karatasi ya chooni Vidole Nzi 3. Tutawezaje sitisha/komesha trachoma? Usambazaji wa Trachoma unaweza komeshwa kupitia aina tofauti za utendakazi.tunafahamu SAFE. S is for Surgery: Baadhi ya watu walioambukizwa trachoma kwa muda mrefu wanaweza fanyiwa upasuaji ili kurekebisha macho yao. A is for Antibiotics: Baadhi ya watu walioambukizwa na vimelea hivyo wapate madawa ili kuuwa viini hivyo. F is for Facial cleanliness: Kuweka uso kuwa msafi ili kuzuia nzi kubeba viini hivyo kwa macho. E is for Environmental improvement: Kwa kuimarisha usafi wa shule na nyumba, na matumizi ya vyoo, unaeweza punguza nzi karibu na wewe na hatimaye kupunguza uwezekano wa kupata viini vinavyosababisha trachoma. Upasuaji na madawa yanahitajika kwa visa muhimu, lakini tunaweza kuhusika kwa sasa ili kuzuia ogonjwa wa trachoma. Kuweka uso na pia uimarishaji wa usafi wa shuleni na nymbani utaweza kupunguza nafasi za uambukizaji wa trachoma. Shughuli: Katika kiwango cha boma na pia kila mhusika ama wahusika wa boma, angalia vitu ama shughuli ambazo zinaweza changia sana katika maambukizi ya trachoma na pia vitu vinavyoweza kuzuia usambazaji huo. Baadhi ya vitu hivyo ni: Nyumba safi, jiko. Matumizi ya choo ama ufukiaji wa kinyesi. Uoshaji wa uso na usaidizi wa watoto wa changa kunawa mikono. Unapotembea katika kila boma, angalia vitu vizuri na vibaya kwa wanajamii. Elezea athari zilizoko,(kwa mfano uwepo wa nzi kwa nyuso za watoto) na jinsi ya kuzizuia (mfano kwa kunawa uso na kuweka mazingara safi). 10

3: Malaria Utangulizi Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na mbu. Huathiri mamilioni ya watu ulimwenguni mzima na pia husababisha ugonjwa kwa watoto na wamama waja wazito. Viini vyenyewe hutambulikana kama Plasmodium ambavyo huishi kwa damu. Mbu zilizoathirika na viini hivyo husababisha ugonjwa huo kupitia kuuma wakati inapofyonza damu. Walioambukizwa malaria huwa wagonjwa sana, wakiwa na homa kali, kuhara, kutapika, kuumwa na kichwa au kuhisi baridi mwilini. Huhisi kuchoka kwa sababu ya upungufu wa damu mwilini kwani viini hivyo vya plasmodium huzaana na kuongezeka mwilini. Kwa watoto, na pia wamama waja wazito, malaria yaweza kuwaathiri zaidi. Tiba ya haraka ni kumeza tembe za malaria ili kupunguza ueneaji wa viini hivyo. Watu pia wanaweza kujikinga kwa kulala ndani ya vyandarua kwani mbu zinazosababisha malaria huuma usiku. Matumizi ya vyandarua ama unyunyiziaji wa dawa kwa manyumba pia husaidia kuuwa mbu kabla ikuume na kusababisha madhara. Maudhui Agenda zifuatazo zinanuiwa kuhamasisha jamii kuhusu athari za malaria, utoaji wa mafunzo ya kujizuia wao na familia zao kutokana na malaria na kugundua dalili za malaria ili kutoa matibabu mapema. Vipengele: 1. 2. 3. 4. 5. 6. Malaria ni nini? Huambukizwaje? Nani yuko hatarini? Hutibiwaje? Uzuizi wa dawa za malaria dhidi ya kinga ni nini? Tunawezaje kuzuia maambukizi ya malaria? 1. Malaria ni nini? Malaria ni ugonjwa unaosababisha kifo. Hufanya watu kuwa wanyonge na kushindwa na kufanya kazi ama pia kusoma vizuri, na husababishwa na mbu. Unaposhikwa na malaria, mtu huhisi uchovu, homa, kuumwa na kichwa ama pia kuendesha is a killer disease. Viini vya malaria hujulikana kama Plasmodium na vidogo sana zaidi ya mbu. Vinapokuwa ndani ya mwili, huongezeka na mwishowe kumaliza chembechembe za damu hivyo kusababisha ukosefu wa damu mwilini. 2. Huambukizwaje? Malaria huambukizwa kupitia mbu. Mbu aina ya Anopheles ndo huhusika sana. Huishi katika kila nchi ote ulimwenguni ambapo viwango vya joto ni shwari. Wakati mwengine inaweza maanisha malaria ni ugonjwa wa msimu. Huwa wakati wa mvua pekee. Mbu ya kike huitaji maji kulea mayai. Ni muhimu basi kupunguza maji yaliyosimama karibu na nyumba na kufunika vyombo vya maji karibu na maeneo yenu ili kupunguza hali hii. Mbu ambayo haijaathirkia huathirika inapouma mtu aliyeathirika. 3. Nani yuko hatarini? Kila mtu aliyeumwa na mbu aliyeathirika yumo hatarni, lakini watoto wachanga na wamama waliowjswszito wamo hatarini zaidi na wanaweza kuaga kfuatia ugonjwa huo. Ni muhimu basi endapo mtu wa jamii yuko na malaria umsaidie apate matibabu. Wengine huibuwa kinga sababu ya kukaa na viini hivyo kwa muda mrefu, hii ndio sababu watoto na waliokuja karibuni wamo katika hatari ya kuuguwa na malaria. 4. Hutibiwaje? Iwapo unashuku ama unajua mtu aliyeathirika na ugonjwa huu, ni muhimu kupata usaidizi wa kimatibabu katika kituo cha afya. Tiba ni kupeana dawa za malaria. Ikiwa hali hii itasalia kama haijatibiwa, huenda ikasababisha kifo. 11

5. Uzuizi wa dawa za malaria dhidi ya kinga ni nini? Huu ni ule wakati viini vya malaria, kwa muda hushindwa kuhisi makali ya dawa na hivyo kuwa sugu katika kukabiliana na viini hivyo. Mgonjwa hushindwa kupata afueni hata baada ya kumeza tembe hizo. Hii ni hatari kwa sababu matibabu watakayopokea hayatawasaidia. Tukio hili linatendeka sana ulimwenguni na sana ni kwa sababu ya dawa duni ama kutomaliza dawa zote unapopewa kwa matibabu. Ni muhimu kuhakikisha dawa ni za kiwango kizuri. Ni muhimu pia kuhakikisha na anameza kiwango sawa cha dawa hizo alizopewa mpaka apate nafuu. Ni muhimu pia kuhakikisha dawa zinazofanya kazi zafanya! 6. Unaweza kujizuiaje na wengine kupata malaria? Kulala chini ya chandarua huzuia mbu kuuma kwani mbu za malaria huuma usiku. Hii ni muhimu kwa watoto wachanga katika jamii na vile vile wamama wajawazito. Ni muhimu pia kulala chini ya chandarua ikiwa umeambukizwa malaria kwani huzuia mbu kutoathirika. Vyandarua vinafaa kufunika mwenye amelala na kuchomekezwa chini ya godoro Mashimo ama alama zilizobuniwa kwa chandarua hicho zafaa kurekebishwa haraka ili kuzuia mbu. Kuvaa nguo zinazofunika mkono na miguuwakati wa usiku pia husaidia. Ni muhimu kuzuia watoto wachanga kwa kutumia njia hii. Dawa ya kufukiza ni kemikali inayoweza kuuwa mbu au kupunguza maisha ya mbu a hivyo kuuma watu wachache. Vyandarua na kunyunyuzia vyumba na dawa hizi mwishowe husaidia kuzuia mbu kutouma. Dawa hizi za kemikalli zinafaa kunyunyiziwa kila baada ya miezi 6 hadi mwaka mmoja. Ikiwa una chandarua cha kudumu. kinafaa kubadilishwa bssds ys miaka 3. Mbu aina ya Anopheles hupenda kuishi kwa maji, ziwa, kidimbwi, na pia mosquitoes like to breed in water, lakes, ponds and even little pools of water made in potholes and ditches. Ikiwezekana hakikisha ya kuwa hakuna maji yaliyotulia karibu na nyumba. Shughuli : Uliza mwenye nyumba kama wana vyandarua vya mbu?uliza kuonyeshwa. Elezea tofautikati ya LLIN na chandarua kinachostahili kutibiwa kila baada ya mwaka. Ikiwa kuna mashimo kwa chandarua elezea sababu ya mashimo hayo na jinsi yanaweza kurekebishwa. Onyesha njia nzuri na mwafaka ya kulala kwa chandarua hicho. (completely covered and with the edges of the net tucked into the mattress). Uliza mwenye nyumba walichokuwa wakifanya kwa kitanda usiku uliopita? Elezea umuhimu wa kujifunika usiku, kuwa kwa nyumba na kuzuia kuumwa na mbu wakati wa msimu. 12

4: ZUIA minyoo! Taswira Soil-transmitted helminths (STH) ni minyoo ambazo huishi kwa tumbo na husambazwa kupitia mchanga, mikono, na wakati mwenginekupitia kwa chakula ambacho hakijapikwa vizuri ama kusafishwa vizuri na huwa na mayai ya Minyoo. Maambukizi husababisha uchovu, kuumwa na tumbo na kufura kitambi. Baada ya muda Minyoo hizo huchangia kutohudhuria shule na matokeo duni na pia kiwango cha chini cha lishe kwa ukuaji na maendeleo. Kwa watu wazima, kuna shida ukuaji na uwezo wa kufanya kazi na kubidika katika utendaji majukumu ya siku kwa siku kwani Minyoo huishi kwa tumbo na hula chakula kilichonuiwa hivyo basi kudorora kiafya na kutokuwa vyema. Maudhui Zifuatazo ni ajenda za mafunzo kwa lengo la kuwafahamisha wanachama wa jumuiya hatari ya maambukizi ya vimelea minyoo, na njia ambazo wanaweza kujilinda na kulinda familia kupitia tabia ya usafi na jinsi ya kuvunja mzunguko wa kuambukizwa. Lengo la ujumbe wa afya ni muhimu kusaidia kuzingatia kuwa natabia ya usafi. Vipengele: 1. 2. 3. 4. Minyoo ni nini? Huambukizwaje? Tunawezaje kusitisha tatizo hili la minyoo? Maana ya Echinococcus jinnsi ya kuizuia 1. Minyoo ni nini? Elezea wanajamii kwamaba Minyoo huishi kwa tumbo na kuzuia chakula na madini kufika katika sehemu zinazostahili za miili ya watot. Maambukizi na Minyoo huwafanya kuchoka, kuumwa na tumbo na kuwafanya kuhisi wanyonge. Kwa watoto. maambukizi huzuia ukuaji na pia huzuia kutohudhuria shule na hatimaye kupata matokeo duni. Kwa watu wazima, na pia watoto, mambukizi husababisha ugumu wa kufanya kazi vyema za siku baada ya siku. Kuna aina tatu ya maambukizi ya STH: hookworm, roundworm, and whipworm. 13

2. Huambukizwaje? Elezea kwamba Minyoo hutaga mayai ambayo hutoka kwa tumbo kupitia kinnyesi na kuambukiza watu wengine kupitia ngozi, chakula na mikono ambayo haikusafishwa vizuri baada ya kugusa mayai yaliyo kwa kinyesi. Kupokea matibabu mara moja kila mwaka huangamiza minyookatika mwili na hatimaye kupunguza idadi ya Minyoo. Madawa haya ni salama na unahitaji tu tembe moja! Tembelea kituo chako cha afya upate matibabu. Mayai ya Hookworm huanguliwa kwa kinyesi na kutmbea mahali mtu alitupa kinyesi kupitia kwa miguu. Mayai ya Roundworm na whipworm huganda kwa mikono na chakula kutoka nje. Kula kutumia mikono chafu ama kuweka mikono michafu husababisha maambukizi. 3. Tunawezaje kusitisha tatizo hili la minyoo? Minyoo zinaweza kuzuiwa kwa njia tofauti: 1. Kutumia choo kila mara 2. Kunawa mikono baada ya kutumia choo, kuosha motto na baada ya kula. 3. Kuvaa viatu. 4. Kupokea matibabu ya Minyoo mara moja kila mwaka. Elezea kuwa utumizi wa choo huzuia watu wengine kukanyaga kinyes na hatimaye kuambukizwa hookworm, na pia hueka kinyesi mbali na watu wengine na mikono. Mayai ya wadudu wengine hukaa kwa muda mrefu katika mazingira, hii inamaanisha yanaweza kuchukuliwa kwa urahisi bila ufahamu wa kujua umegusa kinyesi Eleza umuhimu wa kunawa mikono:kunawa mikono na sabuni baada ya kuenda choo huangua mayai ya wadudu hawa endapo yataganda kwa mikono na hivyo kuifanya mikono kuwa salama kucheza na marafiki ama kula. Minyoo yengine huishi kwa mchanga, kwa hivyo ni vizuri kunawa mikono baada ya kucheza na mchanga ama kutoka shambani. Kuvaa viatu pia huzuia maambukizi ya hookworm ambazo huishi kwa mchangana karibu na nyumba pia. Zinaweza kuganda kwa ngozi na kutambaa ndani, kabla ziingie kwa tumbo. 4. Echinococcus na jinsi ya kuizuia Echinococcus ni aina nyingine ya Minyoo ambayo kwa kawaida haishi kwa binadamu, bali huishi kwa mbwa na ng ombe, kondoo na mbuzi pia huwa na Minyoo hizi. Kwa kawaida, njia ya maambukizi huwa ni kati ya mbwa na wanyama wanaofugwa, wakiambukiza kupitia nyama ya ng ombe ama mbuzi (kupitia kwa mbwa) na kutokakwa kinyesi cha mbwa ikirudi kwa ng ombe. Wakati mwengine, watu huambukizwa kwa kula kinyesi cha mbwa ka bahati mbaya na hatimaye kusababisha ugonjwa wa hydatid. Hii hutokea kutokana na uchafu, mikono michafu ama kunywa maji kutoka kwa kidimbwi kilichowachwa wazi. Ugonjwa huu ni vigumu kupata matibabu kwa hiyo ni vyema mtu kujikinga kwa mara ya kwanza. Njia za kuzuia maambukizi haya ni kama ifuatavyo: Kunawa mikono kabla ya kugusa chakula kila mara Kutibu maji yaliyochotwa kutokakwa kidimbwi kilichowachwa wazi kabla ya kunywa. 14

5: Maji na Usafi wa Mazingira and wa mwili Taswira Uhaba wa maji na usafi duni wa kiafya yote haya yamesababisha maambukizi kupitia uchafu kama vile kinyesi. WASH yaani Water, Sanitation and Hygiene ni muhimu katika kuzuia magonjwa kwa hali kama vile kuharisha trachoma na maambukizi ya wadudu. Kwa muktasari, maji safi huzuia usambazaji wa magonjwa yanayohusiana na maji kama vile kuharisha na kipindupindu. Kuharisha ni baadhi ya magonjwa matatu ambayo husababisha vifo kwa watoto. Vile vile, usafi wa maji huzuia usambazaji wa magonjwa kama vile trachoma na magonjwa mengine yanayosababishwa na wadudu. Maambukizi ya magonjwa haya yanaweza kutokea kupitia hali duni za kiafya kwa sababu ya uhaba wa maji safi ya kuosha. Mbinu za usafi, kama vile kuongeza matumizi ya vyoo inaweza kusaidia kuweka kinyesi na vitu vingine vinavyosababisha maambukizi mbali na watu na hivyo kuzuia nzi kuzaa. Kinyesi kwa mara nyingi huweka mayai ya wadudu na pia uchafu. Hookworm kwa mfano hupatikana kwa kinyesi na inaweza kusambazwa kupitia kutembea kwa kinyesi na kutonawa mikono kabla ya kula na kutayarisha chakula. Mabadiliko kuhusu huduma za WASH ni lazima ziambatane na mabadiliko ya mapendekezo kuhusu afya, ambayo ndo maana elimu ya afya na habari ni muhimu. Maudhui Agenda za mafunzo zifuatazo zimelenga kuhamasisha wahusika wa jamii kuhus njia ambazo wanaweza kujikinga wao pamoja na jamii zao kutokana na vimelea na viini vinavyosababisha maambukizi. Kiini kikuu cha ujumbe wa afya ni vipi maambukizi ya vimelea na viini vinaweza kuafikiwa kupitia uoshaji wa mikono, matumizi ya vyoo safi na uvaaji wa viatu. Vipengele: 1. 2. 3. 4. 5. Kwa nini uwekaji safi wa mikono na nyuso ni muhimu? Kuharisha ni nini na ni vipi inaweza kutibiwa? Ni vipi tunaweza kudumisha usafi wa mikono nyuso? Wakati muhimu wa kutekeleza uoashaji a mikono Jua lini na vile utaweza kutibu maji kabla ya kunywa. 1. Kwa nini uwekaji wa mikono na nyuso ni muhimu? Magonjwa mengi husababishwa na uchafu ama viini ambavyo husambaa kupitia kwa mikono michafu na mazingira machafu. Magonjwa haya ni Minyoo, trachoma na kipindupindu. Elezea jamii na wenye nyumbas: Viini vingi huwa kwa kinyesi na inaweza kukupea ugonjwa iwapo utakula ama kunywa kwa bahati mbaya. Huwa ni vidogo mno, kwa hiyo hatuwezi kuviona na ni muhimu mtu kuwa muangalifu. Unawaji wa kawaida wa mikono baada ya kutumia choo na kabla ya kutayarisha chakula unaweza kupuguza mizigo mingi ya magonjwa na athari zake. 15

2. Kuharisha ni nini na ni vipi kunaweza kutibiwa? Uliza mwenye jamii jinsi anavyoeza kuelezea ya kwamba kuna kuharisha? Eleza kwamba: DKuharisha hutokana na kula chakula ama maji machafuyaliyo na viini hivyo. Kunaweza sababishwa na kutumia mikono chafu. Viini i vinaweza kukusababisha ukawa mgonjwa na kufanya tumbo kuwa na shida na hatimaye kuharisha. Viini hivi ni vimelea na Minyoo ambavyo ni vidogo mno. Huanza kidogokwa kimo na hatimaye kukuwa kwa urefu wa zaidi 35cm E lezea jamii kwa vile viini viko kwa mchanga ni muhimu kuepuka yafuatayo: Matumizi ya choo kumaanisha watu hawatagusa kinyesi Kunawa mikono kumaanisha hutashika viini au hata kula na mikono chafu. Kuweka choo kuwa kisafi kumaanisha hutabeba uchafu unapoenda choo Kutoenda choo ama kunya karibu na maji husambaza viini kupitia kwa maji. Kuvaa viatu. Hatua hizi pia ni muhimu kwa kuzuia trachoma: kujiweka msafi na nyumba yako na shule itaondoa nzi ambazo husababisha kuenea kwa trachoma. Dalili za kuendesha ni kama kunya damu, ama kutoa choo laini kwa siku kwa muda wa siku tatu. Husababisha kuishiwa na maji mwilini. Watoto wachanga wanaweza poteza uhai sababu ya kuishiwa na maji mwilini. Lipi la kufanya ikiwa kuna mtu katika jamii ambaye anaharisha? Eleza kwamba: Ni muhimu kuhakikisha kwamba mgonjwa anakunywa maji mengi na kula chakula kilicho na madini ili kustiri upotevu wa maji mwilini. Kwa kawaidakikombe kimoja (250ml) cha maji kwa kila kipindi. Oral Rehydration Therapy pia husaidia na endapo atakuwa mgonjwa sana, ORS pia husaidi mwili. Eleza njia ya kutengeza ORS nyumbani ukitumia yafuatayo: Vijiko 6 vya sukari. Kijiko ½ teaspoon chumvi. Litre moja ya maji masafi yaliyotibiwa. Elezea pia ni muhimu kuhakikisha ya kwamba vipimo ni kamili. 16

5. Kunywa maji masafi Maji yaliyochotwa kutoka kwa mto ama kidimbwi kilichowazi yanafaa kutibiwa kabla ya matumizi ili kupunguza viini na uchafu na hatimaye kuifanya kuwa salama. Kwa mfano: Kuchemsha maji: maji yanafaa kuwa yakichemka kwa muda wa dakika 10. 3. Jinsi ya kuweka uso na mikono yako kuwa safi Eleza jinsi ya kunawa mikonos: 1. Loa mikono yako na maji safi 2. Weka sabuni kwa mikono yote 3. Sunza mikono ukitumia maji safi Ikiwa sabuni haipo, tumia jivu Kunawa uso fanya hivyo pia. Kutibu na aquatabs, PUR. Kutumia chlorine: 1/8 yakijiko kidogo cha unga huo kwa lita 10 za maji. Unga huo unafaa kuwa mkavu na kuhifadhiwa kwa mkebe uliofunikwa. Maji na Chlorine yanafaa yatulie kwa muda wa dakika 30. Kuua vini vya ungojwa vilivyomo ndani ya maji kwa kutumia nguvu za miali ya jua: Jua hua na miyale ambayo pia huaribu viini vinavyosababisha maradhi. Acha maji yatulie kwa chupa kwa muda masaa matano. 4. Ni wakati gani unafaa kunawa mikono na uso? Wahusika wote wa jamii wanapaswa kunawa nyuso zao kila siku kupunguza athari za kupta trachoma. Unafaa kunawa mikono na sabuni ama jivu baada ya kuenda chooni ili kupunguza viini. Unafaa kunawa mikono kabala ya kula chakula ama kutayarisha chakula kuzuia maambukizi. Mikono inafaa kusafishwa baada ya kubadiliisha mtoto. Mikono inafaa kusafishwa kabla ya kunyonyesha. 17

Maelezo 18

Maelezo 19

Partnership for Child Development Imperial College London School of Public Health Norfolk Place London W2 1PG www.schoolsandhealth.org @schoolshealth