JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAISI-TAMISEMI Namba za simu Shule ya sekondari Mkingaleo Mkuu wa shule -0716544244 S.L.P 1802 Makamu Mkuu wa shule -0713788225 Tarehe Matroni/Patroni-0764435107/0718495791 Mzazi/Mlezi wa Mwanafunzi. S.L.P YAH: MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI MKINGALEO HALMASHAURI YA WILAYA YA MKINGA MKOA WA TANGA MWAKA 2017 1. Nachukua fursa hii kukujulisha kuwa umechaguliwa kujiunga na kidato cha Tano mwaka2017/2018 katika shule ya sekondari Mkingaleo.Nkupongeza sana kwa kupata bahati hii na ninaamini kua utaitumia vizuri kwa manufaa ya Taifa.Utakua mkondo. Shule ipo mkoa wa Tanga Wilaya ya Mkinga,ili uweze kufika utapaswa kupanda magari stendi kuu ya mkoa wea Tanga [kange],hapoi utapata magari yanayokwenda Mkinga na utashuka shule ya sekondari Mkingaleo utakua umefika. 2. Kwa muda wote utakaokua hapa shuleni unategemewa kuonesha bidii kubwa sana katika masomo.na shughuli nyingine utakazokua unazifanya.vile vile unatarajiwa kuonesha nidhamu ya hali ya juu na kuzingatia sharia za shule na kanuni za shule.vitendo vya uvivu,utovu wa nidhamu na kutozingatia sharia na kanuni za shule hazitovumiliwa kamwe. 3. Muhula wa wamasomo utaanza tarehe.. hivyo Mwanafunzi anatakiwa kuripoti shuleni tarehe... Mwisho wa kuripoti ni tarehe
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA. Sare za shule:- unapaswa kufika na sare zifuatazo;- [i] Sare ya darasani Sketi ndefu yenye slips [malinda ya box] kiunoni na upana wa inchi 15.Mashati yaenye mikono mirefu mawili [2] moja la rangi ya pinki na jingine jeupe,nusu kanzu ya pinki na nyeupe na juba la pinki na nyeupe [ii] Sare baadea ya saa za darasani;- Gauni lenye marinda madogo yakuvuta,nusu kanzu na juba kitambaa cha drafti yenye rangi nyeupe na blue Fulana rangi ya kijivu utaipata shuleni - Tsh 7000 Sweta la rangi ya kijivu Kanga pea mbili [2] [iii] Nguo za michezo Track Suit ya rangi ya purpe [zambarau] Raba nyeupe pamoja na soksi nzito [iv] Viatu vya rangi nyeusi visivyo na urembo wala kisigino kirefu NB Kwa wale watakaoshindwa kushona sare [uniform] zinapatikana shuleni ADA NA MICHANGO YA SHULE [a] Ada kwa mwaka ni shilling Tsh 7000/= na 3500/= kwa muhula [b] Michgango inayotakiwa kulipwa na kila mzazi ni;- i. Shilingi 15000/= kwa ajili ya ukarabati wa thamani. ii. Shilingi 6000/= kwa ajili ya kitambulisho. iii. Shilingi 20000/= kwa ajili ya taaluma. iv. Shilingi 30000/= kwa ajili ya kuwalipia wapishi,walinzi na vibarua wengine. v. Shilingi 2000/= kwa ajili ya nembo ya shule vi. Shilingi 10000/= kwa ajili ya huduma ya kwanza Tsh.5000/=na Bima ya afya [wanafunzi washauriwe kujiunga na mfuko wa Bima ya Afya CHF kikaya] vii. Shilingi 20000/=mitihani ya kujipima MOCK viii. Shilingi 5000/=kwa ajili ya fedha ya tahadhari[haitarudishwa] ix. Shilingi 10000/=kwa ajili ya jiko.
[C] Mahitaji ya muhimu ambayo mwanafunzi anapaswa kuleta shuleni i. Ream ya karatasi moja [1] kwa mwaka ii. Vitabu vya kujisomea vinavyoendana na mchepuo wake. iii. Scientific calculator iv. Godoro 2.5 ft [futi mbili na nusu] v. Mashuka mawili[2] ya pinki vi. Chandarua moja [1] rangi ya blue vii. Vyombo vya chakula [sahani,bakuli,kijiko na sahani] viii. Ndoo mbili [2] ndogo ix. Pasi ya mkaa x. Ndala za kuogea xi. Sanduku la bati trank/sanduku imara analoweza kufungia vifaa vyake kwa usalama. xii. Kwanja 1 na fagio moja [SOFT BLOOM] xiii. Picha passport size 2000/= atapigia shuleni. xiv. Kalamu za wino,rule ndefu na pencil xv. Aje na cheti cha kuzaliwa na result slip original NB:-Vitu ambavyo haviruhusiwi kuwa navyo Simu ya kiganjani Redio Laptop Pasi ya umem Heater Nguo za nyumbani Vyakula au kinywaji cha aina yeyote ile.
3. MAKOSA YATAKAYOSABABISHA MWANAFINZI KUFUKUZWA SHULE i. Wizi ii. Kutohudhuria masomo kwa zaidi ya siku 90 bila taarifa iii. Kugoma na kuhamasisha mgomo iv. Kutoa lugha chafu kwa wanafunzi wenzake,walimu/walezi na jamii kwa ujumla. v. Kupigana mwanafunzi kwa mwanaunzi,kumpiga mwalimu au mtu yeyote Yule. vi. Wanafunzi wote wanatakiwa kua na nywele fupi wakati wote wawapo shuleni. vii. Ulevi au unywaji wa pombe na matumizi ya madawa ya kulevya. viii. Uasherati,uhusiano wa jinsia moja,kuolewa. ix. Kupata ujauzito au kutoa mimba x. Kushiriki matendo ya uhalifu,siasa na matendo yeyote yale yanayvunja sharia za nchi. xi. Kutembelea majumba ya starehe na nyumba za kulala wageni. xii. Kudharau bendera ya Taifa xiii. Kufanya jaribio lolote la kutaka kujiua au kutishia kujiua kama kunywa sumu n.k. xiv. Uhareibifu wa mali ya Umma kwa makusudi. VIAMBATANISHO NA FOMU MUHIMU. [a] Fomu ya uchunguzi wa afya [Medical Examination Form] ambayo itajazwa na M gaga wa hospitali ya serikali. [b] Form ya maelezo binafsi kuhusu historia ya mwanafunzi/mkataba wa kutoshiriki katika mgomo,fujo, na makosa ya kijinai. [c] Fomu ya mzazi kukili kukubaliana na sharia,kanuni, kilipa ada, michango na maelekezo mengine yatakayotolewa na shule. [d] Picha nne (4) za wazazi na ndugu wa karibu na wanafunzi wanaoweza kumtembelea mwanafunzi pamoja na namba zao za simu. 5. Tafadhali soma kwa makini maelezo/maagizo haya na kuyatekeleza kikamilifu. KARIBU SANA KATIKA SHULE HII Saini ya Mkuu wa Shule Jina la Mkuu wa Shule
JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA REQUEST FOR MEDICAL EXAMINATION MKINGA LEO SECONDART SCHOOL P.O BOX 1802 DATE... MEDICAL OFFICER,.. GOVN. HOSPITAL..... OFISI YA RAISI TAMISEMI. NAME OF PUPIL. Please examine the above girl to ascertain her fitness for further studies. MEDICAL CERTIFICATE (To be completed by the medical officer) I have examined the above named with regard to: HEADMISTRESS. Skin... Eyes....... Ears... Chest. Spleen... Abdomen.. Urine. Stool.. Hemoglobin..
And I considered: 1. She is good health, free from infections disease, worms, bilharzias and fit to go to school. 2. She is now fit to return to school having treatment for.. NAME AND SIGNATURE OF MEDICAL OFFICER.. DATE.
KITAMBULISHO B SHULE YA SEKONDARI MKINGALEO FOMU YA KUKUBALI NAFASI ULIYOPEWA. SEHEMU A: HABARI ZA MWANAFUNZI (Ijazwe na mwanafunzi) 1. Jina kamili... 2. Tarehe ya kuzaliwa Dini Dhehebu 3. Mahali alipozaliwa Mji/Kijiji 4. Mahali anapoishi sasa hivi 5. Anuani KUKUBALI NAFASI (ijazwe na mwanafuzi) Mimi.. ambaye maelezo yangu ni hayo hapo juu: Nimesoma maagizo yote ya kujiunga na shule ya Sekondari mkingaleo na ninakubali kutimiza masharti yote yaliyoaagizwa na kutii sharia za shule. Nina ahidi kwamba niwapo shuleni nitajitahidi kuzingatia maelezo yote yanayotolewa mara kwa mara na walezi wangu ili kupata taaluma bora na inayotakiwa. Sahihi ya Mwanafunzi Tarehe SEHEMU B: Habari za Mzazi/Mlezi (Ijazwe na Mzazi/Mlezi) 1. Jina kamili..... 2. Mzazi/Mlezi wa. 3. Kazi.. 4. Mahali unapoishi.. 5. Anuani... 6. Sahihi ya Mzazi/Mlezi... 7. Tarehe....