SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO

Similar documents
Hati ya kuhitimu kisomo Kenya (K.C.S.E)

Information for assessors (do not distribute this page to participants):

MTIHANI WA MWIGO WILAYA YA BUTERE MUMIAS-2007 Hati ya kuhitimu Elimu ya Sekondari Kenya

Hati ya Kuhitimu Elimu ya Sekondari Kenya.( K.C.S.E)

UNIVERSITY OF CAMBRIDGE INTERNATIONAL EXAMINATIONS General Certificate of Education Ordinary Level. SWAHILI 3162/01 Paper 1 May/June 2013

SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI KITABU CHA MWANAFUNZI KIDATO CHA TANO

Human Rights Are Universal And Yet...

Usimulizi wa Riwaya ya Nyongo Mkalia Ini E. S. MOHOCHI University of Egerton, Kenya

Mwongozo wa Familia wa Kujifunza

Huduma kwa wateja kupitia barua pepe na ujumbe mfupi Fig

TATHMINI YA PAMOJA SHULE ZA UPILI ZA JIMBO LA MACHAKOS.

GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23)

Ufunguo wa Kutaalamika Haraka

Kufafanua Upya Elimu Bora Tanzania: Kutoka Zana za Dufundishia mpaka Uwezo wa Wanafunzi 1 Oktoba 2007

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAISI-TAMISEMI HALMASHAURI YA WILAYA BUMBULI

Ufundishaji wa lugha nyingine

Elimu ya Msingi inaelekea Upande Sahihi? Kufikiri na Nyerere Rakesh Rajani

Early Grade Reading Assessment for Kenya

Ufanisi katika Ufundishaji kwenye Shule za Msingi na Sekondari nchini Tanzania

N09/2/ABSWA/HP1/SWA/TZ0/XX/Q

usudi la Maisha Hakika katika kuumbwa mbingu na ardhi, na kupishana usiku na mchana, kuna kweli ishara kwa wenye akili, ambaye mkumbuke-

UNIVERSITY OF CAMBRIDGE INTERNATIONAL EXAMINATIONS General Certificate of Education Ordinary Level

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA ELIMU SAYANSI TEKNOLOJIA NA UFUNDI MTAALA WA ELIMUMSINGI DARASA LA I NA LA II

Evaluation of Contextual Teaching of Kiswahili Proverbs in Secondary Schools in Kenya

Adhabu ya jino kwa jino na Musitakabali wa imani zetu

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA

Tora UTANGULIZI KWA TORA SOMO LA KWANZA

Tufundishane! Mwalimu Bora In this issue: Issue 6, December Do you want to be in our next issue?

Theolojia Ujumla. Mike Taylor Semester Munguishi Bible College

GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23)

UTANGULIZI ANUANI NA MANDHARI YA CHUO

Hakimiliki na Jonathan Menn. Haki zote zimehifadhiwa TAFSIRI YA BIBLIA. Mwandishi. Jonathan M. Menn

Utangulizi wa ugonjwa wa shinikizo la damu

ATHARI ZA KIISIMU ZA LAHAJA YA KIMAKUNDUCHI KATIKAKISWAHILI SANIFU KINACHOTUMIKA SHULENI MAKUNDUCHI ZANZIBAR

WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI TAASISI YA ELIMU TANZANIA MTAALA WA ELIMU YA MSINGI TANZANIA

V\ FANI KATIKA USHAIRI WA HASSAN MWALIMU MBEGA: UHAKIKI WA UPISHO WA UMALENGA NA DAFINA YA UMALENGA DONALD OMWOYO OSIEMO

JAZANDA YA NJOZI KATIKA BAADHI YA MASHAIRI YA EUPHRASE KEZILAHABI (ONEIRIC IMAGES IN EUPHRASE KEZILAHABI S SELECTED POEMS) 1

HALMASHAURI YA WILAYA YA SUMBAWANGA

Kiu Cha umtafuta Mungu

Vijana wanazungumza kuhusu ujinsia, maisha na uhusiano VIJANA WANAZUNGUMZA KUHUSU NGONO, MAISHA NA UHUSIANO. Training and Research Support Centre

Elimukombozi, Lugha na Upashanaji Habari nchini Tanzania, katika Muktadha wa Utandawazi

SautiElimu. Sauti Yako Isikike

UFASIHI SIMULIZI KATIKA RIWAYA ZA SHAABAN ROBERT: Mifano kutoka Adili na Nduguze na Wasifu wa Siti Binti Saad. Khatib Khamis Saleh

Utumiaji Wa Kiswahili Na Lugha Za Jamii Kijinsia Nchini Tanzania Y.P. MSANJILA University of Dar-es-Salaam, Tanzania

JHSPH MAADILI YA KUFANYA UTAFITI WA MASUALA YA BINAADAMU MUONGOZO WA MAFUNZO YA UTAFITI

KENYA NATIONAL EXAMINATION COUNCIL REVISION MOCK EXAMS 2016 TOP NATIONAL SCHOOLS

MITAZAMO KUHUSU KISWAHILI MIONGONI MWA WAZUNGUMZAJI WA KIJALUO: KIFANI CHA SHULE ZA MSINGI KATIKA KAUNTI YA MIGORI. OWALA JAEL AKINYI C50/75493/2012

LUGHA YA KISWAHILI KATIKA KUFUNDISHIA NA KUJIFUNZIA ELIMU SHULE ZA SEKONDARI

Misamaha ya kodi Tanzania: Je, ni mikubwa sana na kutufanya tuwe tegemezi kwa misaada?

MATUMIZI YA FACEBOOK KWA BIASHARA. Kwa Wanaoanza

KUUNGANISHA VIZAZI KUPITIA RADIO MWONGOZO KUTOKA AFRIKA KWA WAANDAJI WA VIPINDI VYA RADIO WANAOFANYAKAZI NA WATOTO NA VIJANA

Yaliyomo. Kuhusu kitabu hiki. Hautakuwa peke yako. Mfumo wa msaada ni wa manufaa sana wazazi wote wanahitaji!

Mwongozo wa Utamaduni Toleo la Kwanza

"ATATOKEA MARA YA PILI, pasipo dhambi, kwa hao wamtazamiao kwa wokovu." Waebrania 9:28.

SERA & TARATIBU YA YALE NEW HAVEN HEALTH

Jifunze kusimamia pesa zako nchini Uskoti

Ellen White, waasisi wa Kiadventista,na Sabato Lunar

Haja Ya Dini. Author(s): Publisher(s): Translator(s): Category: Topic Tags: Featured Category: Published on Al-Islam.org (

TIST HABARI MOTO MOTO MAANDALIZI YA MWAKA 2000 Y2K PREPARATIONS SASA NI WAKATI WA KUANZA KUPANDA MBEGU ZAKO

UHUSIANO WA MIKAKATI YA UFUNDISHAJI WA FASIHI YA WATOTO YA KISWAHILI NA UMILISI WA KUSOMA KATIKA SHULE ZA MSINGI, KASARANI, KAUNTI YA NAIROBI, KENYA

Forum:MyElimu Home for Students to Share Knowledge Thread: Dunia Uwanja Wa Fujo

KUCHUNGUZA UFASIHI SIMULIZI UNAOJITOKEZA NDANI YA HADITHI ZA KUSADIKIKA NA ADILI NA NDUGUZE

PDF created with pdffactory trial version

Namba ya moduli 3 Kuangalia sanaa

TASFIDA KAMA MKAKATI WA UPOLE: UWIANO WA TASFIDA ZA KISWAHILI NA EKEGUSII

Ushindi ndani ya Kristo W. W. PRESCOTT

KUCHUNGUZA MASUALA YA KISIASA KATIKA RIWAYA ZA SHAABAN ROBERT: MFANO WA KUSADIKIKA NA KUFIKIRIKA

Agano Lililofunikwa Kwa Damu

FANI KATIKA NYIMBO TEULE ZA ANASTACIA MUKABWA MBURU JAMES MUNGAI TASNIFU HII IMETOLEWA ILI KUTOSHELEZA BAADHI YA

MUNGU ALIUMBA ULIMWENGU 1 WETU NA VYOTE VILIVYO HAI

Kiswahili, utandawazi na umoja wa Afrika

ATHARI ZA KIMOFOFONOLOJIA ZA KIOLUSUBA KATIKA MATUMIZI YA KISWAHILI SANIFU KAMA LUGHA YA PILI

Mazoezi yaliyofanyika wakati wa warsha kuhusu Elimu-Jumuishi kwa Vitendo. Zanzibar, 7-10 Februari 2006

Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi (MMEM) Muhtasari Rakesh Rajani na George Omondi

KUMBUKIZI YA MAREHEMU MWALIMU EDWIN SEMZABA

Mafundisho Ya Msingi Wa Kikristo. Na Andrew Connally

HALIYA VITABUVYA WATOTOKATIKA TANZANIA

Azimio la Umoja wa Mataifa Kuhusu Watetezi wa Haki za Binadamu

NAFASI YA MWANAMKE: JINSI INAVYOTETEWA KATIKA NYIMBO ZA TAARAB ZA ZANZIBAR ELIZABETH KANGOGO YEGO C50/68796/2011 IDARA YA ISIMU NA LUGHA

KISWAHILI KARATASI YA 2 LUGHA

AMMA KWA AFRIKA RATIBA/ITIKADI. Ratiba Maalum ya Kutibu Magonjwa Maambukizi na Hususan Fikra Zinazoleta Pooza Mwili na Akili

Roho Mtakatifu Ni Nini?

KUCHUNGUZA UJINSIA NA MATUMIZI YA LUGHA KATIKA METHALI ZA WAKURYA

Elimu-Jumuishi Kwa Vitendo

Mwongozo wa Mwezeshaji

FOMU YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO

IMANI NA MATENDO ELLEN G. WHITE

MARUDIO K.C.S.E KNEC KISWAHILI KARATASI 102/2 MASWALI NA USAHIHISHO

JE, YAWEZEKANA KUISHI BILA KUTENDA DHAMBI?

Deutsche Welle, Learning by Ear 2009 Seite 1 People Who Make A Difference Liberia: Anita Varney Health Facilitator, Fishtown/Liberia

JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 1

Juni 3-9 Pata Manufaa Kamili kwakusomabiblia

Mbinu za Ujenzi wa Wahusika na Usawiri wa Sifa Zao: Uhakiki wa Riwaya ya Dunia Uwanja Wa Fujo ya E. Kezilahabi

Kocha Mkuu. mabingwa. itakuwa INASTAHILI. Ili Kutoa mafunzo kwa wanafunzi wako kuwa. itakuwa ya kuumiza. Itachukua muda. Itahitaji moyo wa kujitoa.

Makala ya Mshiriki wa Mafunzo

MUNGU ANADHIHIRISHWA KUPITIA KWA YESU KRISTO.

KUCHUNGUZA MCHOMOZO KATIKA FASIHI YA KISWAHILI: UTAFITI LINGANISHI WA USHAIRI KATIKA DIWANI YA USTADHI ANDANENGA

TRANS-NZOIA COUNTY KCSE REVISION MOCK EXAMS 2015

MADA MATUMIZI YA TAKRIRI NA SITIARI KATIKA UTENZI WA RASI LGHULI JUSTUS MAUNDU NDUMBU C50/65902/2011 CHUO KIKUU CHA NAIROBI IDARA YA ISIMU NA LUGHA

TIST (TANGA) HABARI MOTO MOTO. Kutunza miche yako. Take care of your seedlings. Take care of your trees

Transcription:

KISWAHILI SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO

KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO YALIYOMO UTANGULIZI v MPANGILIO WA MASOMO YA KISWAHILI: KIDATO CHA TANO 1 FUNZO: Fasihi (Ukurasa ) 8 Funzo: Vitendawili (Ukurasa) 9 Funzo: Hadithi (Ukurasa 9) 10 Funzo: Methali (Ukurasa 1) 11 Funzo: Nahau (Ukurasa 0) 1 Funzo: Nyimbo (Ukurasa ) 1 Funzo: Tamathali za usemi (Ukurasa8) 1 Funzo: Rejista (Ukurasa ) 1 Funzo: Kunyambua vitenzi (Ukurasa ) 1 Funzo: uhakiki (ukurasa 0) 18 Funzo: Ufupisho (Ukurasa 8) 0 Funzo: Hotuba (Ukurasa ) 1 Funzo: Aina za tungo (ukurasa 9) Funzo: UTUNGAJI: BARUA (ukurasa 81) 9 iii

KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO UTANGULIZI Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wa waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule za sekondari. Ni cha kukidhi haja ya muhtasari wa sekondari nchini Rwanda. Kitabu cha mwalimu kidato cha tano,kina ndani mwake mpangilio wa masomo yatakayofundishwa wanafunzi wa kidato husika,ambayo ni pamoja na: Fasihi, tamathali za usemi, matumizi ya lugha ya Kiswahili, munyambuliko wa vitenzi, uhakiki, ufupisho, hotuba, aina za tungo, kupambanua na kuchambua tungo, na utungaji wa barua mbalimbali. Kitabu hiki kimeandikwa na Bwana NIYIRORA Emmanuel na NDAYAMBAJE Ladislas wote kutoka Chuo Kikuu cha Elimu cha Kigali (KIE). Kitabu hiki kitawasaidia walimu kufundisha lugha ya Kiswahili ambayo ni lugha ya kibantu na iliyopiga hatua kimatumizi, kimsamiati, na yenye kutumiwa na jamii mbalimbali barani Afrika na ulimwengu kwa ujumla. Tunawatakia mafanikio mema walimu wote watakaotumia kitabu hiki. NIYIRORA Emmanuel na NDAYAMBAJE Ladislas, Juni, 01 v

KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO MPANGILIO WA MASOMO YA KISWAHILI: KIDATO CHA TANO MUHULA WA KWANZA WIKI VIPINDI FUNZO SHABAHA VIFAA Ukurasa MAZOEZI YA ZIADA Ukurasa 1 1 Fasihi simulizi na Fasihi Andishi Kuwaongoza wanafunzi kujua tofauti iliyopo kati ya Fasihi Simulizi na Fasihi andishi Ubao kitabu Kutoa tofauti iliyopo kati ya fasihi simulizi na fasihi andishi 1 Tanzu za Fasihi simulizi na za fasihi andishi Kuwaongoza wanafunzi kuzijua na kuzifafanua tanzu za fasihi simulizi na za fasihi andishi ubao vitabu Kutoa na kufafanua tanzu za fasihi 8 1 Vitendawili - Kuwaongoza wanafunzi kujua maana na matumizi ya vitendawili. - Kuwaongoza wanafunzi kujua,kutega na kutegua vitendawili Vitabu ubao Kutega na kutegua vitendawili 8 1 Hadithi - Kuwaongoza wanafunzi kuandika mtungo wa kuendeleza hadithi waliyoisoma. - Kusoma na kufahamu hadithi Vitabu ubao 9 Kusoma hadithi fupi 1 1

KISWAHILI: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI WIKI VIPINDI FUNZO SHABAHA VIFAA Ukurasa MAZOEZI YA ZIADA Ukurasa 1 Riwaya - Kuwaongoza wanafunzi kujua maana ya riwaya na tofauti iliyopo kati ya riwaya na hadithi fupi. - Kuwaongoza wanafunzi kujua vipengele muhimu na tofauti vya riwaya na hadithi fupi Kitabu ubao 1 Kutofautisha riwaya na hadithi fupi 1 1 Methali - Kuwaongoza wanafunzi kujua maana na matumizi ya methali na kutoa mifano ya methali - kuwaongoza wanafunzi kujua kuzitumia methali kimuktadha 1 Kuzifafanua methali na kuzieleza 19 1 Nahau Kuwaongoza wanafunzi kujua maana na matumizi ya nahau kimuktadha 0 Kuzifafanua nahau na kuzitumia katika sentensi 8 1 Nyimbo - Kuwaongoza wanafunzi kujua maana ya nyimbo - kuwaongoza wanafunzi kupambanua tungo kulingana na muktadha Kuimba na kuanisha nyimbo za Kiswahili

KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO WIKI VIPINDI FUNZO SHABAHA VIFAA Ukurasa MAZOEZI YA ZIADA Ukurasa 9 1 Tamathali za usemi - Kuwaongoza wanafunzi kujua na kutumia tamathali za usemi: sitiari,tashibiha,kejeli,tasfida,dihaka,ta kriri,. - kuwaongoza wanafunzi kujua mafumbo mbalimbali ya kitamathali na kuyafumbua 8 Kutumia tamathali za usemi 10 1 Rejista za kidini, za kortini, hotelini, za jamaa na za sokoni, mahakamani, Kuwaongoza wanafunzi kujua maana ya rejista na matumizi ya rejista mbalimbali za Kiswahili zinazotumiwa katika mazingira mbalimbali kama hotelini, mahakamani, n.k Kutumia rejista mbalimbali 11 MITIHANI YA MWISHO WA MUHULA WA KWANZA 1 MUHULA WA PILI WIKI VIPINDI FUNZO SHABAHA VIFAA Ukurasa MAZOEZI YA ZIADA Ukurasa 1 1 Kunyambua vitenzi Kuwaongoza wanafunzi kujua unyambulishaji wa vitenzi Kitabu ubao Mazoezi kuhusu unyambulishaji 9

KISWAHILI: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI WIKI VIPINDI FUNZO SHABAHA VIFAA Ukurasa MAZOEZI YA ZIADA Ukurasa 1 Kunyambua vitenzi Kuwaongoza wanafunzi kuonyesha viambishi vya nafsi Ubao kitabu Mazoezi kuhusu unyambulishaji 9 1 Kunyambua vitenzi Kuwaongoza wanafunzi kuonyesha viambishi vya njeo Kitabu ubao Mazoezi kuhusu unyambulishaji 9 1 Uhakiki Kuwaongoza wanafunzi kufahamu maana ya uhakiki Kitabu ubao 0 Mazoezi ya kufafanua uhakiki 1 Uhakiki Kuwaongoza wanafunzi kuelewa sababu za uhakiki Kitabu ubao 0 Mazoezi ya kuzingatia sababu za uhakiki 1 Uhakiki Kuwaongoza wanafunzi kujua aina za uhakiki na kuzitumia katika zao za fasihi Kitabu ubao 1 Mazoezi ya kuzingatia aina za uhakiki

KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO WIKI VIPINDI FUNZO SHABAHA VIFAA Ukurasa MAZOEZI YA ZIADA Ukurasa 1 Uhakiki - Kuwaongoza wanafunzi jinsi ya kufanya uhakiki na namna ya kutumia vipengele muhimu katika uhakiki - kuwaongoza wanafunzi kufahamu sifa za uhakiki na matatizo yanayoweza kupatikana katika uhakiki wa kazi za fasihi Kitabu ubao Mazoezi ya kutumia vipengele muhimu katika uhakiki 8 1 Ufupisho - Kuwaongoza wanafunzi kueleza maana ya ufupisho - kuwaongoza wanafunzi kujua kutumia kaida na taratibu za ufupisho Kitabu ubao 8 Mazoezi kuhusu ufupisho - kuwaongoza wanafunzi kufupisha kazi wanazopewa 9 1 Hotuba - Kuwaongoza wanafunzi kujua na kueleza maana ya hotuba - kuwaongoza wanafunzi kutaja kueleza aina za hotuba Kitabu ubao Kueleza aina za hotuba 9 10 1 Hotuba - Kuwaongoza wanafunzi kujua muundo wa hotuba - kuwaongoza wanafunzi kuyunga hotuba Kitabu ubao Kutunga hotuba 9 11 1 MITIHANI YA MWISHO WA MUHULA WA PILI

KISWAHILI: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI MUHULA WA TATU WIKI VIPINDI FUNZO SHABAHA VIFAA Ukurasa MAZOEZI YA ZIADA Ukurasa 1 1 Tungo - kuwaongoza wanafunzi kujua maana ya tungo - kuwaongoza wanafunzi kuonyesha sehemu za tungo Kitabu ubao 9 Kutunga tungo mbalimbali na kuziainisha tungo 0 1 Aina za tungo - Kuwaongoza wanafunzi kuzianisha tungo - kuwaongoza wanafunzi kujua maana ya kila aina ya tungo Kitabu ubao 0 Kutofautisha aina za tungo 1 Aina za tungo Kuwaongoza wanafunzi kutunga tungo za kila aina Kitabu ubao 0 Kutunga tungo za aina mbalimbali 1 Uchambuzi wa tungo Kuwaongoza wanafunzi kujua njia mbalimbali za kuchanganua tungo Kitabu ubao Kutofautisha njia ya maneno na njia ya visanduku 9 1 Uchambuzi wa tungo Kuwaongoza wanafunzi namna ya kutumia njia ya maneno Kitabu ubao Kuchanganua tungo mbalimbali kwa kutumia njia ya maneno 9

KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO WIKI VIPINDI FUNZO SHABAHA VIFAA Ukurasa MAZOEZI YA ZIADA Ukurasa 1 Uchambuzi wa tungo Kuwaongoza wanafunzi kutumia njia ya visanduku Kitabu ubao Kuchanganua tungo kwa kutumia njia ya visanduku 9 1 Uchambuzi wa tungo Kuwaongoza wanafunzi kujua namna ya kutumia njia ya matawi katika uchambuzi wa tungo Kitabu ubao Kuchanganua tungo kwa kutumia njia ya matawi 8 1 Barua za kirafiki -Kuwaongoza wanafunzi kujua maana ya barua -kuwaongoza wanafunzi kuandika barua za kirafiki Kitabu ubao 81 Kuandika barua ya kirafiki 8 9 1 Barua za kikazi Kuwaongoza wanafunzi kutunga barua za kikazi na kufuatilia mpangilio wake Kitabu ubao 9 Kuandika barua ya kikazi 9 10 1 Barua za kibiashara na za gazetini -Kuwaongoza wanafunzi kuandika barua ya kibiashara na kufuatilia mpangilio wake -kuwaongoza wanafunzi kutunga barua za gazetini kufuatilia kanuni zake Ubao kitabu 9 Kuandika barua za kibiashara na za gazetini 9

KISWAHILI: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI FUNZO: Fasihi (Ukurasa ) SHABAHA: Kuwaongoza wanafunzi kujua tofauti iliyopo kati ya Fasihi simulizi na Fasihi andishi. Taratibu Hatua Kazi ya mwalimu Kazi ya mwanafunzi 1. Kueleza maana ya Fasihi Kuuliza maswali a. Fasihi simulizi Kuandika maelezo madaftarini b. Fasihi andishi Kujibu maswali ya mwalimu c. Tofauti kati ya fasihi hizi. Kutoa vipengele bainifu vyake. Kuuliza maswali 8

KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO Funzo: Vitendawili (Ukurasa) Shabaha: Kuwaongoza wanafunzi kutegua vitendawili na mafumbo na kufurahia taratibu Kazi ya mwalimu Kazi ya mwanafunzi 1. Kueleza maana ya vitendawili Kutoa mifano. Kutega vitendawili Kuvitegua vitendawili a. Nyumba yangu ina nguzo moja Uyoga b. Ninazitoa zikarudi Nywele c. Anachora bila ya kutumia akili Konokono. Kuwaongoza wanafunzi wategeane vitendawili Kutegeana vitendawili. Kusaidia kukusanya vitendawili Kutaja vitendawili bora. Kupitia mafumbo mengi Kuyasoma na kuyatatua. Kuwashindanisha kwa vitendawili vyao Kushindana kwa makundi Majibu ya vitendawili 1. Nywele. Konokono. Mungu. Moto. Usingizi. Mauti. Kinyonga 8. Muwa 9. Twiga 10. Jua 9

KISWAHILI: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI Funzo: Hadithi (Ukurasa 9) Shabaha Kuwaongoza wanafunzi kujua maana ya hadithi na tofauti iliyopo kati ya hadithi fupi na riwaya. Taratibu Hatua: Kazi ya mwalimu Kazi ya mwanafunzi 1. Kuwaongoza wanafunzi kuandika mtungo wa kuendeleza hadithi yao Kuandika mtungo. Mwalimu asisitize: Kuandika taratibu a. Kiini cha mtungo (Maudhui) Kutilia maanani kazi b. Kupanga kabla ya kuandika Kutumia alama za vituo c. Mawazo tofauti katika aya tofauti d. Lugha sanifu (Sahihi) e. Maendelezo sahihi (Mtiririko sawa) f. Alama za uandishi. Kusahihisha maswali: Tofauti iliyopo kati ya hadithi fupi na riwaya: RIWAYA Ndefu vya kuzidi kiasi Maneno mengi mno Wahusika wengi Mtiririko wa visa vingi na changamani Wahusika wakuu waweza kuwa wengi Mandhari ya mazingira mengi Ploti, muundo na msuko changamani HADITHI FUPI Fupi kabisa Maneno machache Wahusika wachache Mtiririko wa kisa kimoja kisicho changamani Mhusika mkuu ni mmoja Mandhari ya mazingira mamoja Pliti, muundo na msuko wa moja kwa moja 10

KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO Funzo: Methali (Ukurasa 1) Shabaha Kuwaongoza wanafunzi kujua maana na matumizi ya methali zinazotaja wanyama na wadudu Taratibu Hatua: Kazi ya mwalimu Kazi ya mwanafunzi 1. Kuongoza na kuhimiza Kutoa hadithi fupi. Kushindanisha kuanzisha methali Kumaliza kwa makundi. Kueleza faida za methali Kutambua methali zilizomo a) Ukitaka mtu aandamane na wazuri b) Asifuate kila aambiwalo bila kufikiria. Kuongoza kupitia funzo Kutoa maelezo yake. Kuhimiza na kushirikisha Kuulizana wenyewe. Kusahihisha maandishi yao Kutoa majibu ya mazoezi: a) Haba na haba hujaza kibaba: Kidogo kidogo, kisha huongezeka.polepole ndio mwendo.haraka haraka haina baraka. b) Pole pole ndio mwendo: Usifanye jambo lolote Kwa pupa.haraka haraka haina baraka. c) Aliyeshiba hamjui mwenye njaa: Aghalabu banadamu akishakuwa ameshiba (yaani amejaza tumbo), huwa anaamini kwamba watu wengine nao wameshiba.lakini ukweli ni kwamba nusu (kama si zaidi) ya hao watu awaonao huwa wamo katika njaa kali tena pengine ya kufisha.msemo huu watuhusu sote 11

KISWAHILI: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI tulioshiba na tulio na njaa.kwa wale wasioshiba, msemo unawakumbusha juu ya wajibu wao kwa watu wengine.wawaasa wasiridhike na nafsi zao binafsi, bali pia wajishughulishe na taabu, shida na matatizo ya wengine. Wale wenye njaa ni watu ambao wana taabu, shida na matatizo.hawa wanakumbushwa wasiwaangalie wale wenye uwezo na walioridhika nafsi bali wayaone matatizo na shida kama ni zao tu.baada ya kuuona na kuuelewa ukweli huo, wafanye jitihada wao wenyewe ya kuondoa matatizo yanayowakabili. c) Ajaye hupokewa: Kila mtu ni lazima awe mstahimilivu kwa yoyote yanayomfikia, kwani hayo huwa ni malimwengu yanayomkabili yeye na ambayo hawezi kujikinga nayo. e) Jungu kuu halikosi ukoko: Mtu mkubwa au mzito haishiwi katu katakata.hawezi kuishiwa na vitu vyote kwa kiwango cha kukosa na hata pato dogo. f) Kunguru mwoga hukimbiza bawale: Kujihadhari si hofu.watu wenye nguvu chache hujitenga mbali na wenye nguvu nyingi za ujana kwa woga na tahadhari, ili wasije wakaponzwa. g) Asiyekujua hakuthamini: Yaani, asiyekujua hakujali.kama mtu hakujui aghalabu si rahisi kwake kukufanyia mema. h) Gogo halianguki mara mbili: Mtu mkubwa akianguka, basi ameanguka na kuinuka kwake ni taabu.hivi hakuna nafasi ya kuanguka tena.pia mtu mwenye busara akijikwaa, mara moja haridi tena jambo lilelile.kosa moja latosha kumfundisha mtu kutorudia kosa hilo baada ya dhiki au adhabu ya kosa hilo. i) Mchumia juani hulia kivulini: Mtu anayepanda mbegu zake kwa uchovu, madhara, na machozi atavuna kwa shangwe na miteremo. 1

KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO Funzo: Nahau (Ukurasa 0) Shabaha: Kuwaongoza wanafunzi kujua matumizi bora ya nahau kimuktadha Taratibu Hatua: Kazi ya mwalimu Kazi ya mwanafunzi 1. Kuongoza na kuhimiza Kuchambua hadithi. Kupitia matumizi ya lugha Kutoa nahau zilizomo. Kutoa hadithi fupi Kuzifafanua nahau hizo. Kushindanisha makundi Kuwaelezea wenzao. Kusaidia na kusahihisha Majibu ya mazoezi a. Kuwa kigori, kuwa mwanamwali b. Kutamani kitu sana kwa kuvutika nacho c. Kwa kila hali d. Kuongea vibaya juu yake (mtu huyo) e. Kuronga mazungumzo ya kupoteza wakati f. Kuwa na mimba g. Kulewa pombe h. kuongeza maneno zaidi ya yaliyokuwepo ili kuchonganisha i. Kujuta, kupata shida j. Kuogopa 1

KISWAHILI: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI Funzo: Nyimbo (Ukurasa ) Shabaha Kuwaongoza wanafunzi kujua aina mbalimbali za nyimbo na matumizi yake ya kimuktadha Taratibu Hatua: Kazi ya mwalimu Kazi ya mwanafunzi 1. Kuongoza na kuhimiza Kuimba. Kuwasaidia wanafunzi kimahadhi Kutunga nyimbo zao wenyewe. Kuwapa kazi za makundi Kuelezeana miktadha ya nyimbo Majibu ya maswali: 1. Bwana mdogo nyamaza, Kipenzi cha roho yangu Kipi unachokiwaza, Kikulizacho mwanangu Tulia na kujilaza Nyamaza mpenzi wangu.. Malaika Malaika, nakupenda Malaika.Nami nifanyeje, kijana mwenzio, nashindwa na mali sina we, oh ningekuoa Malaika. Fedha zasumbua roho yangu. Fedha oh! Zasumbua roho yangu.. Nyimbo za matanga huwa zaimbwa kwenye kilio, kwa maziko/mazishi.. Nyimbo za mapenzi huwa zaimbwa kwa ajili ya mpenzio, hususa mwendani.zile za harusi, kwa upande mwingine, huwa zaimbwa wakati wa kuoza msichana, au kutoa mahari. 1

KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO Funzo: Tamathali za usemi (Ukurasa8) Shabaha: Kuwaongoza wanafunzi kujua kutumia vizuri tamathali za usemi mbalimbali. Taratibu Hatua: Kazi ya mwalimu Kazi ya mwanafunzi 1. Kuongoza na kuhimiza Kutoa shairi fupi. Kushindanisha makundi Kutaja tamathali za usemi zilizomo. Kueleza umuhumu wa tamathali za usemi Kufafanua maana zake. Kumshirikisha yeyote Kuandika madaftarini. Kupitia funzo pamoja Majibu Tamathali za usemi zilizotumiwa: 1. Takriri neno, Tashihisi.. Takriri neno, Chuku, Tashihisi.. Sitiari. Sitiari. Tashibiha. Tafsida. Chuku 1

KISWAHILI: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI Funzo: Rejista (Ukurasa ) Shabaha: Kuwaongoza wanafunzi kujua maana na matumizi bora na ya kimuktadha ya rejista Taratibu Hatua: Kazi ya mwalimu Kazi ya mwanafunzi 1. Kueleza maana ya rejista Kufuatilia karibu. Kuongoza na kuhimiza Kugundua mojawapo ya rejista. Kuwashirikisha wanafunzi Kutumia rejista kwa kuzungumza. Kufafanua matumizi bora na ya kimuktadha. Kuwapa fursa ya kuzigundua rejista maalum Majibu: 1. Rejista ya kortini. Kuotea, Harusi, Kuunawa mpira, Mpira kuwa mwingi, Kuvisha kanzu.. Hii ni bei gani, Punguza kidogo, Piga bei, Patana bei, Tia bei, Shusha kile. 1

KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO Funzo: Kunyambua vitenzi (Ukurasa ) Shabaha: Kuwaongoza wanafunzi kuonyesha viambishi mbalimbali vinavyounda vitenzi. Taratibu Hatua: Kazi ya mwalimu Kazi ya wanafunzi 1. Kueleza maana ya unyambulishaji Kufanya mazoezi. Kutoa vitenzi vya kunyambuliwa Kuyasahihisha ubaoni. Kuhimiza wanafunzi na kuwashirikisha Kuonyesha viambishi vya vitenzi. Kutoa mifano elekezi a) Vya njeo. Kusaidia na kusahihisha b) Vya nafsi Majibu: 1. Nafsi Njeo Tu- Ni- Tu- Ta- U- Ta- Na- Ta- A- Ki-. kupigana, kupiganisha Kuchafusha, Kuchafuka Kupikika, Kupikisha Kulewesha, Kuleweka 1

KISWAHILI: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI Funzo: uhakiki (ukurasa 0) Shabaha: kuwaongoza wanafunzi kufahamu maana ya uhakiki, kutumia vipengele muhimu vya uhakiki wa kazi za fasihi, namna ya kufanya uhakiki wa kari mbalimbali za fasihi. Taratibu: Hatua Kazi ya mwalimu Kueleza maana ya uhakiki Kukumbusha kazi zote za fasihi Kazi ya mwanafunzi Kufumbua fumbo la mwalimu Kutaja kazi zote za fasihi Hadithi Shairi Riwaya. Kuwataka na kuhakiki (shairi) kuhakiki shairi kwa kutumia vipengele muhimu vya uhakiki kama muundo, wahusika, na mandhari Majibu ya maswali Muundo BETI: Shairi hili ni la beti tatu. Kila ubeti una mistari mine. Kila mstari una silabi/mizani kumi na sita. Shairi lina vina vya kati -ni-, -ngu-, na -ma-, na vina vya mwisho -we- na -ngu-. 18

KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO Shairi lina beti zinazojitosheleza na kila ubeti una mstari wa kituo ambao haubadiliki. Mtindo Shairi limetumia mtindo wa kitarbia ama unne. Kila ubeti una mistari mine. Huu ni mtindo wa kitabu kizima cha mshairi akilimali Snowhite. Hata tenzi nazo zimetumia mistari minne. Inasisitizwa kuwa hiki ni kipengele kidogo tu cha mtindo. Kwa maelezo zaidi ya mtindo, rejea uhakiki wa hadithi katika kitabu hiki. Wahusika Tunaweza kusema kuwa shairi hili linaonyesha kutumia wahusika wa aina mbili Kuna wahusika watu na kuna wahusika vitu, k.v. ua. Aidha, uhusika wa ua katika undani wake unasimama badala ya mtu ambate ni kipenzi (cha kike) Mandhari/mazingira Shairi hili limetumia mandhari pana katika maana kwamba inaweza kuwa ya mjini au shambani. Inaweza kuwa ya Tanzania au nje ya Tanzania. Lakini kwa vile mwandishi wa shairi hili ni mwenyeji wa Tanzania na ameiandika kazi hii akiwa hapa na kwa ajili ya wasemaji wa Kiswahili, tunaweza kusema kuwa mandhari ya shairi ni Tanzania. 19

KISWAHILI: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI Funzo: Ufupisho (Ukurasa 8) Shabaha Kuwaongoza wanafunzi kujua maana na taratibu za ufupisho Taratibu Hatua: Kazi ya mwalimu Kazi ya mwanafunzi 1. Kueleza na kuhimiza Kujigawanya katika makundi. Kuwaongoza wanafunzi Kutoa hadithi. Kusahihisha kazi zao Kuisahihisha hadithi hiyo. Kutoa istilahi husika Kuandika madaftarini. Kuandika ubaoni Majibu: Nguvu zake Lazima uanguke chini Anayeogopwa Hakuugua hata mara moja Walishambuliwa na simba Kuparuza Shenzi Anayejivunia uwezo fulani humpata anayemzidi 0

KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO Funzo: Hotuba (Ukurasa ) Shabaha: Kuwaongoza wanafunzi kuelewa maana, muundo na aina za hotuba Taratibu Hatua: Kazi ya mwalimu 1. Kuwaongoza wanafunzi kuelewa maana ya hotuba Kazi ya mwanafunzi Kutoa hotuba mbele ya darasa. Kueleza aina za hotuba Kuonyesha sehemu za hotuba:. Kufafanua muundo:mwanzo, mwili na mwisho Mwanzo. Kuwasomea hotuba Mwili. Kuwahimiza na kuwashirikisha Mwisho. Kutoa mada za kuvutia Majibu: 1. Hotuba ya kushirikisha, hotuba ya kuarifu, na hotuba ya kuburudisha. a) Mwanzo:yaani sehemu ya kwanza ya hotuba yenye lengo la kuwafanya watu wawe makini, kuonyesha umuhimu wa mada, kueleza lengo la hotuba, kujiotambulisha na kuonyesha mpangilio wa hotuba. b) Mwili: Yaani sehemu ambayo inazingatia mambo muhimu kuhusu mada ya hotuba c) Mwisho: Yaani sehemu ambayo hutaja hitimisho kwa yaliyojadiliwa katika hotuba yote, pamoja na mambo mengine ya msemaji. 1

KISWAHILI: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI Funzo: Aina za tungo (ukurasa 9) Shabaha: kuwaongoza wanafunzi kuainisha na kutofautisha aina za tungo Taratibu Hatua Kazi ya mwalimu Kazi ya mwanfunzi 1. Kuhimiza na kuongoza 1. Kusema mifano ya tungo kadhaa. Kuandika tungo katika ubao. Kusema mifano iliyoandikwa na mwalimu. Kuwauliza maana ya kila tungo. Kueleza maana za kila tungo. Kutaja aina za tungo. kufanya mazoezi madaftarini. Kuandika mazoezi. Kuandika majibu katika madaftari. Kusahihisha majibu ya wanafunzi Majibu 1: A a) Mwalimu anafundisha Kiswahili. b) Wao watakuja kesho asubuhi. c) Yeye anaandika daftarini. d) Fatuma na Alisa wanajua hisabati. e) Sisi sote tulikuwa pamoja hapo Tella Vista. B. Tungo tata 1. Mwalimu Juma anakutafuta. Aje Jumamosi. Ali hali ndiyo sababu hana hali Tungo zisizo na utata 1. Watoto wanacheza mpira. Khamis anasaidia mamake kupika chakula

KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO Njia za kutatua utata katika sentensi. 1. Kutumia alama za vituo.. Kusisitizia neno katika sentensi.. Kuchunguza aina za maneno katika sentensi. Mfano: Mwalimu, Juma anakutafuta. Mwalimu Juma, anakutafuta. Ali hali ndiyo sababu hana hali. N T U T N Majibu : A 1. Wakati atakapokuja nitaondoka. T.T T.S. Walikuwa wa kwanza waliofika saa moja. T.S T.T. Anayebukua sana si mshindi. T.T T.S Majibu : A 1. Wanafunzi walirudi nyumbani kwa sababu walimukosa mwalimu.. Baba analonga na wageni lakini mama anapika chakula jikoni.. Wanazuoni wote ni wasomi ilhali wasomi wote si wanachuo.

KISWAHILI: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI Majibu : A 1. Waliohudhuria wote wamefaulu mitihani. T.T T.S. Mwanafunyi alieshinda mwaka jana ameenda urusi. T.T T.S. Wote watachaguliwa watakaofika mapema. T.S T.T. Wakati alipopita wote wamemuangilia. T.T T.S. vilikuwa vitamu alivyotupikia. T.S T.T Majibu : A 1. Angemngojea saa tatu angemuona uso kwa uso.. Ungeweka rutuba shambani ungepata mavuno ya kutosha.. Angelienda Marekani angepata alama nyingi. Majibu : A 1. S K KT N T KN Kalisa anamtembelea Kamali N

KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO. S KN K N V T Mtu mrefu ameondoka. S KN KT N T KN N KV V KN N E Mtoto anamletea mama yake kuni jana

KISWAHILI: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI. S KN KT N KV T KV V V V KN N KE E E Kijana Yule mrefu alimnunulia mwanangu soda jana asubuhi. S KN KT N T KN N KV V E Mawike alipata faranga nyingi mno. S KN KT N V T N Mwalimu mwema anawasaidia wanafunzi

KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO. S S1 S KN KT KN KT N T N U N T Mama anapika chakula na baba analala 8. S KN KT N T KN N V Ø amemletea gari nzuri 9. S KN KT N T KV V KU U KN N KU U N Rais alisema hayo kwa amri ya jeshi

KISWAHILI: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI 10. S KN KT N T KN KE N KV E E V KN N V Mwalimu aliwapatia wanafunzi wote alama zao leo asubuhi TANBIHI: Ikumbukwe kwamba wakati tunapochambua sentensi vielezi havitangulii sentensi. Vinapotangulia sentensi, lazima viwekwe mwishoni mwa sentensi 8

KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO Funzo: UTUNGAJI: BARUA (ukurasa 81) Shabaha: Kuwaongoza wanafunzi kujua kuandika barua ya kirafiki. Taratibu Hatua Kazi ya mwalimu Kazi ya mwanafunzi 1. Kuwasomesha barua ya kirafiki Kufurahia barua hiyo.. Kueleza sehemu za barua: a) Anuani ya mwandishi na tarehe kuelewa namna zinavyoandikwa b) Maana kukumbushana yanavyotarajiwa Maamkizi, c) Mwanzo wa barua, d) Kiini cha baru e) Hitimisho na mwisho wa barua. Kuonyesha mfano wa barua ya Kirafiki. Kutambua barua ya kirafiki inavyoandikwa. Kusaidia na kusahihisha. Kuandika barua ya Kirafiki inavyotakikana Majibu: a) Hizi zifuatazo ni sehemu za barua ya Kirafiki: (a) Anuani ya Mwandishi na Tarehe Anuani ya mwandishi huandikwa kwenye pembe ya juu, upande wa kulia wa karatasi 9

KISWAHILI: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI (b) Maamkizi Baada ya kuandika anuani, inampasa anayeandika kuruka msitari mmoja na kisha kuanzia kwenye pambizo la kushoto la kalatasi kuandika maamkizi. (c) Mwanzo wa barua Kwa kawaida, barua ya kidugu huanzia kwa salamu na kumjulia hali anayetumiwa barua. (d) Kiini cha barua Mwanzo wa aya mpya huanzia kwa herufi kubwa kwenye msitari unaofuatia, chini ya alama ya mkato.barua za kirafiki kwa kawaida huanza kwa salamu au kujuliana hali. (e) Hitimisho na mwisho wa barua Barua ihitimishwe kwa maneno ya kuvutia.barua hizi za kidugu humalizika kama vile: Wako mpendwa, Ndimi kakako mpendwa, b) Muundo wa barua ya Kirafiki: Anuani ya Mwandishi Maamkizi.................. Mwisho wa barua Jina la mwandishi. 0

KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO c) Mpangilio wa mshazari ni mpangilio ambao mahali pa kuanzia msitari ni tofauti na pengine.mf:shule ya Msingi ya Cyintare, S.L.P. MUSANZE, Januari 8, 01. Mpangilio wima ni mpangilio ambao mahali pa kuanzia panelingana.mf: Shule ya Msingi ya Cyintare S.L.P. MUSANZE. Januari 8, 01. MAJIBU (b): a) Shule ya Upili ya Buhuga S.L.P.8 MUSANZE. Wilaya ya Gakenke, Mkoa wa Kasikazini, Nchi ya Rwanda, Machi, 0, 01 Nelson Mpendwa, Habari zako! Ninakuandikia barua hii kwa ajili ya kukujulisha habari zangu na kukualikia kunitembelea. Rafiki ya Nelson, ninakuandikia barua hii ili nikujulishe kuwa ninataka mimi na wewe tutembelee mahali tofauti nchinirwanda.unakumbuka ya kwamba siku zilizopita ulienda bila kujjua mahali pengine isipokuwa kwetu kwa sababu tulikosa fursa. Wakati huu ni wa likizo nina muda wa kutosha ndiyo sababu ni taka uje katika Mwezi wa Julai.Kama nilivyokwambia nchini Rwanda kuna mahali pazuri pa kutembelea.hapo ni:mbuga ya wanyama ya Virunga, ndani mwake utaona Sokwe na pundamilia.nyumba ya hifadhi ya mila na desturi vya Rwanda ndani mwake utona vifaa vya zamani.tutalitembelea 1

KISWAHILI: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI tena Jiwe la Bagenge ammbalo unalisikia sikia katika historia ya wanyarwanda.kwa hiyo ninakungonjea. Rafikio Mpenzi, Emmanuel MANIRAGABA. 1) Anuani ya mwandishi Maamkizi Kichwa cha barua(kuh:) Mwisho wa barua Saini Majina ya mwandishi.

KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO ) Barua ya Kirafiki Barua rasmi Anuani ya mwandishi Tarehe maamkizi barua yenyewe hitimisho saini jina la mwandishi Anuani ya mwandishi kummbukumbu namba anuani ya mwandikiwa maamkizi kichwa cha barua (kuh:maombi) hitimisho saini jina Cheo cha mwandishi. Tofauti kubbwa zaidi yahii ni kwamba barua ya kikazi inaweza kuandikwa kihorera lakini barua rasmi ina kanuni ambazo ni lazima kuzitimiza, zikikosekana barua hii haitakuwa bado na thamani. MAJIBU(b) Nchi ya Rwanda Mkoa wa Kasikazini Wilaya ya Gakenke y Tarafa ya Kivuruga, Tarehe: Januari, 01. Kumb NO KB//01 Afisa wa Uajiri S.L.P.10 KIGALI, Rwanda. Bwana,

KISWAHILI: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI KUH:Maombi ya Kazi ya kuwa Meneja Ninayo heshima ya kukuandikia barua hii kwa ajili ya kukuomba kazi ya kuwa Meneja wahalmashauri yako. Mimi ni mwanamke wa umri wa miaka 0, mimi ni Mnyarwanda, ninamiliki shahada ya Biashara ambayo niliipata kutoka Chuo Kikuu cha Kigali cha Mali na Benki katika mwaka wa 001.Mimi nikimaliza masomo nimekuwa Meneja wa Benki ya Kigali tawi la GAKENKE.Ndiyo sababu ninaomba kazi ya kuwa Meneja katika Halmashauri ya Rwanda. Wako Mtiifu, NIYONKURU Odile Meneji wa BK GAKENKE. Shule ya Upili YA Kabgayi S.L.P.1, MUHANGA, Juni-1-01. Rafiki Mpenzi, Pokea salamu nyingi kutoka kwangu.natumaini kwamba hujambo na kuwa una afya njemma.nami huku shuleni ni muzima na ninaendelea vizuri na masomo. Paulo mwenzangu, samahani sana kwa kusema haya, lakini nilishituka kwa niliyoyasikia kuhusu namna ulivyofukuzwa shuleni kwa sababu ya kuwa umetumia dawa za kulevya na kushiliki ulevi huko shuleni. Madhumuni yangu ni kukushauri kuhusu mambo mambo hayo mabaya, kwani dawa zile ni kama UKIMWI mwilini na huwafyonza wanadamu na kuwaletea kifo wanaozitumia. Na sitaki kupoteza rafiki tamaniwa kama wewe. Ndiyo sababu, nakuombeni kuepukana na tabia hizo mbaya ili kupata maishamema na matamu.

KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO Na hatimaye, dawa zile humtendesha mabaya anayezitumia na kumfanya kama debe tupu. Pia dawa zile ni moja miongoni mwa vitu vinavyoleta nidhamu mbaya sana katika shule na kuathiri vibaya nidhamu za wanafunzi wenzake. Lo! Hivi si kukutisha bali ni kukuonya ili uepukane na hali hii kwani ninakutakia maisha mema na kutimiza masomo yako ipasavyo.kumbuka walivyosema wahenga asiyesikia la mkuu, huvunjika mguu.usitoendelea na masomo yako utakueje?kumbuka kuwa siku hizi Elimu ndiyo raslimali ya binadamu. Hebu nimalizie hapa, ni matumaini yangu kuwa shauri na maonyo haya yakifuatiliwa, yatakupigisha hatua kubwa maishani. Wasaalam, Ndimi Rafikiyo akupendaye, Venuste BAGIRANEZA. MAREJEO Ndalu, A.(199). Mwangaza wa Kiswahili,E.A.E.P Limited: Nairobi. TUKI. (00/00/199/198). Fasihi simulizi: Vitendawili,Chuo kikuu cha Dar es Salaam: Dar es Salaam. Ngure, A. (00/00/00/00/00). Fasihi simulizi kwa shule zasekondari, Phoenix Publishers: Nairobi. TUKI. (00/00/199/1981). Fasihi Simulizi : Methali: Chuo Kikuu cha Dar es Salaam: Dar es Salaam. Wizara ya Mafunzo ya Msingi na Sekondari. (198). Kitabu cha KiswahiliIV-VC: Kitabu cha Mwanafunzi, Regie de l Imprimerie Scolaire: Kigali. Kihore,Y.M.,Massamba, D.P.B., Msanjila,Y.P.(008/00/00). Sarufi Maumbo ya Kiswahili Sanifu (SAMAKISA):Sekondari na Vyuo, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam: Dar es Salaam. MASSAMBA, D.P.B, KIHORE,Y.M, Hokororo, J.I(001/1999). SarufiMiundo ya Kiswahili Sanifu(SAMIKISA): Sekondari na Vyuo, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam: Dar es Salaam

KISWAHILI: SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI RWABUSHAIJA,M.(00). Masomo ya msingi wa Kiswahili, Fountain Publishers: Kampala. Bakhressa Salim, K.&Islam K.(1999/1998/199/199/199). Kiswahili Sanifu: Darasa la saba, Oxford University Press: Oxford New York. Mbunda, M.(199). Misingi ya uhakiki wa Fasihi, English Press Limited: Nairobi. DIETSCH, B.M (00/000/1998). Reasoning& writing well, M C Graw Hill Companies: New York. Pearson, J,C& Nelson, P.E&Titsworth,S.&Horter,L.(00). Human communication, MC Graw Hill Companies. TUKI. (00). Kamusi ya Kiswahili Sanifu,Chuo Kikuu cha Dar es Salaam: Dar es Salaam Kitabu cha Kiswahili: kidato cha tano Mwongozo wa mwalimu kimeandikwa na NIYIRORA Emmanuel na NDAYAMBAJE Ladislas wote kutoka Chuo Kikuu cha Elimu cha Kigali (KIE). Kitabu hiki kitawasaidia walimu kufundisha somo la Kiswahili wakifuata mpangilio ambao umeandikwa katika kitabu hiki. Mafunzo na shabaha vitamsaidia mwalimu kujiandaa vizuri kabla ya kufundisha somo.