Patanishwa, Hesabiwa Haki, Takaswa

Similar documents
Nia Dhidi Ya Kristo Je Unamheshimu?

Inavyodaiwa na wanaochanganya Biblia. Ellis Forsman. Inavyodaiwa na Wanao changanya Biblia (Alleged Bible Contradictions) 1

Kifo Na Mbingu. (Death And Heaven) Ellis P. Forsman. Kifo Na Mbingu (Death And Heaven) 1

Kifo Na Mbingu (Death And Heaven)

MUNGU ALIUMBA ULIMWENGU 1 WETU NA VYOTE VILIVYO HAI

Kwa Nini Yesu Alikufa Msalabani?

Kiumbe Kipya Katika Kristo

"ATATOKEA MARA YA PILI, pasipo dhambi, kwa hao wamtazamiao kwa wokovu." Waebrania 9:28.

Agano Lililofunikwa Kwa Damu

Maisha Ya Mkristo Ni Nini?

MUNGU ANADHIHIRISHWA KUPITIA KWA YESU KRISTO.

Mzabibu Na Matawi. (The Vine And The Branches) Ellis P. Forsman. Mzabibu Na Matawi (The Vine And The Branches) 1

GRACE COMMUNION INTERNATIONAL KANUNI YA IMANI

walozaliwa, si kwa damu, wala mapenzi ya mwili, wala si kwa mapenzi ya mtu, mbali kwa Mungu. Sisi sio tena binadamu wa kawaida tu kwa sababu sisi ni w

Ushindi ndani ya Kristo W. W. PRESCOTT

WAFUNAJI WA NAFSI ABC By Vagn Rasmussen Translation by Lydia Madsen

BIBLICAL INSTRUCTION AND ENCOURAGEMENT FOR THE MAFUNDISHO YA BIBLIA NA HIMIZO KWA MISSION FIELD WORLDWIDE. KAZI YA KIMISHENI ULIMWENGUNI KOTE

Watumishi Wa Kristo. Ellis P. Forsman. Watumishi Wa Kristo (Servants Of Christ) 1

Information for assessors (do not distribute this page to participants):

Tazama Yuaja. Kuhusu Toleo Hili. Umuhimu wa Mafundisho ya Biblia. Nguvu katika neno la Mungu.

IMANI NA MATENDO ELLEN G. WHITE

Theolojia Ujumla. Mike Taylor Semester Munguishi Bible College

Na Itafunika Wingi Wa Dhambi

Kuiponya Picha Tuliyonayo Kuhusu Mungu

Roho Mtakatifu Ni Nini?

MSAMAHA NA UPATANISHO

Tafuteni Kwanza Ufalme Wa Mungu

United Pentecostal Church June 2017

WEWE NI NANI? Toleo X Toleo Ukweli wa Injeli Toleo 23

JE, YAWEZEKANA KUISHI BILA KUTENDA DHAMBI?

UTARATIBU WA KANISA. 2 Jambo la kwanza ninalotaka kusema ni kwamba mchungaji. 3 Sisi tunaamini katika Kanisa la kimitume, tukifundisha

B. Wanafunzi watapata ufahamu mkubwa wa kitabu hiki, na jinsi kinavyofundisha kuhusu kanisa.

VITAMBULISHO VITA NO DHA HIRI VYA KA NISA LA KWELI LA MUNGU ALIYE HAI

Aina Tatu Za Ibada. Ellis Forsman. Aina Tatu Za Ibada (Three Kinds Of worship) 1

KAMA MUNGU YU PAMOJA NASI, BASI YAKO WAPI MATENDO YAKE YA AJABU?

usudi la Maisha Hakika katika kuumbwa mbingu na ardhi, na kupishana usiku na mchana, kuna kweli ishara kwa wenye akili, ambaye mkumbuke-

YEHOVA-YIRE 1. 2 Baba yetu wa Mbinguni, tunakikaribia Kiti Chako cha. 3 Tunakushukuru kwa kutuzuru jana jioni. Tunaomba

FORWARD BY DANIEL SZMIOT

MASWALI NA MAJIBU JUU YA KITABU CHA MWANZO

UKUFUNZI WENYE NGUVU MMOJA-KWA-MMOJA

UZAO WA NYOKA. 2 Basi, usiku huu, tuna malimbuko tu ya utukufu huo mkuu. 3 Kwa uchaji tunasimama kwa imani yetu katika Uwepo

WAKOLOSAI MTAALA. B. Maoni: Tunapendekeza uwe na fafanuzi (commentary) yoyote yenye kushikilia mafundisho ya awali (conservative) katika Wakolosai.

JE! MUNGU ANAMPA MWANAMKE HAKI YA KUTOA MIMBA IWAPO NI MHANGA WA UBAKAJI?

Silaha Za Shetani. Ellis Forsman. Silaha Za Shetani (The Devices of Satan) 1

MAFUNDISHO YA UMISHENI

UJASIRI WA YOHANA MBATIZAJI

maombi, kabla tu hatujalifungua Neno hili la Kiungu.

Adhabu ya jino kwa jino na Musitakabali wa imani zetu

2 LILE NENO LILILONENWA

Maisha Yaliyojaa Maombi

Uongozi Siri Na Larry Chkoreff. Version 1.2 Desemba 2010

Mafundisho Ya Msingi Wa Kikristo. Na Andrew Connally

KWA NINI SISI SI MADHEHEBU?

Mukhtasari Wa Mabishano Kwa Na Dhidi Ya Vikombe Vingi Vya Ushirika

United Pentecostal Church April Kushangilia Kwa Sala

NGUVU. Utangulizi. Yesu alisema,

Makasisi. Waingia Uislamu

Ndugu na dada zangu wapendwa,

MELKISEDECK LEON SHINE. katoliki.ackyshine.com

Kiu Cha umtafuta Mungu

MAHUBIRI TUNAYOWEZA KUONA

Ellen White, waasisi wa Kiadventista,na Sabato Lunar

IM ETUPASA KUTIMIZA HA KI YOTE

Ufunguo wa Kutaalamika Haraka

Uponyaji Wa Laana. (Kumb. 28:1-14).

Juni 3-9 Pata Manufaa Kamili kwakusomabiblia

LALA. Terry Warford. LALA (Sleep - Terry Warford) 1

Hati ya kuhitimu kisomo Kenya (K.C.S.E)

Kufunga Milango - Uponyaji Kutokana na Athari za Giza

Ndugu na dada zangu wapendwa,

# 18 Uponyaji Kutokana na Kukataliwa

Sura ya 7 Kielelezo: Tumepatanishwa na Mungu na Wanadamu

Rahisi. Kitabu cha mwanafunzi. Mabingwa kwa ajili ya tunda la Roho Mtakatifu. Rahisi

Tumaini Kwa Afrika. Thomas Schirrmacher. Hoja 66. Dibaji na Prof. Mchungaji Dk. Thomas K. Johnson. Thomas Schirrmacher Tumaini Kwa Afrika TASCM RVB

H. M. Baagil, M. D. WAMY Studies on Islam

Oktoba-Desemba

KUTAMBUA SIKU YA KO NA UJUMBE WAKE

Kanuni. Muhimu za Kujifunza Biblia. Mchungaji Drue Freeman. Dan Hawkins & Joseph Brown. General Editors.

Kuwa Macho Na Mbwa Mwitu (Watch Out for Wolves)

RISALA FUPI YA KUMUWEZESHA MTU KUPAMBANUA NI IPI DINI YA HAKI MWANDISHI: SALEH M. KYAMBO

KANISA NA UAMSHO Na Mchg. Dkt. Faith Lugazia

MIAKA 500 YA MATENGENEZO YA KANISA NA USHUHUDA WETU Na Askofu Dr. Abednego Keshomshahara

MWONGOZO WA NAMNA YA KUHAMASISHA MAOMBI YA MCHANA NA USIKU YA SIKU 10.

Rahisi. Mabingwa kwa ajili ya tunda la Roho Mtakatifu. Kitabu cha mwanafunzi. Rahisi

Mabingwa kwa ajili ya tunda la Roho Mtakatifu. Iliyoendelea sana. Kitabu cha mwanafunzi. Iliyoendelea sana

Iliyoendelea sana. Kitengo cha 2. Kitabu cha mwanafunzi Iliyoendelea sana

Kwa Kongamano Kuu 2016

Mwabudu Yehova, Mfalme wa Umilele. Miaka 100 ya Utawala wa Ufalme Inakuhusuje? UKURASA WA 12 NYIMBO: 97, 101. Kufanya Maamuzi ya Hekima Ukiwa Kijana

Kuzimu na Kurudi na Dr. Rawlings Documentary Video Transcript, TBN Films

Ndugu na dada zangu wapendwa,

UNIVERSITY OF CAMBRIDGE INTERNATIONAL EXAMINATIONS General Certificate of Education Ordinary Level. SWAHILI 3162/01 Paper 1 May/June 2013

ONYO LA MWISHO KWA DUNIA

MTIHANI WA MWIGO WILAYA YA BUTERE MUMIAS-2007 Hati ya kuhitimu Elimu ya Sekondari Kenya

Haja Ya Dini. Author(s): Publisher(s): Translator(s): Category: Topic Tags: Featured Category: Published on Al-Islam.org (

Kocha Mkuu. mabingwa. itakuwa INASTAHILI. Ili Kutoa mafunzo kwa wanafunzi wako kuwa. itakuwa ya kuumiza. Itachukua muda. Itahitaji moyo wa kujitoa.

Mabingwa kwa ajili ya tunda la Roho Mtakatifu. Iliyoendelea sana. Iliyoendelea sana. Kitabu cha mwanafunzi

Hatari, Haki za Usalama katika Bahari 03

Hakimiliki na Jonathan Menn. Haki zote zimehifadhiwa TAFSIRI YA BIBLIA. Mwandishi. Jonathan M. Menn

Mwongozo wa Kanisa la Waadventista wa Sabato

wasiofaa. Naomba sana kila raia afanye bidii awezavyo kumkaribia Mwenyezi Mungu vile anavyoona inafaa, lakini asipitishe hukumu juu ya wengine.

Transcription:

Patanishwa, Hesabiwa Haki, Takaswa na Ellis P. Forsman Patanishwa, Hesabiwa Haki, Takaswa (Reconciled-Justified-Sanctified) 1

Patanishwa, Hesabiwa Haki, Takaswa na Ellis P. Forsman Oktoba 14, 2011 Patanishwa, Hesabiwa Haki, Takaswa (Reconciled-Justified-Sanctified) 2

Patanishwa, Hesabiwa Haki, Takaswa Rumi.6:17-18 Wote tumetenda dhambi. Adamu na eva walileta dhambi ulimwenguni (Mwanzo 3). Tokea hapo wote wametenda dhambi. Rumi 3:14, Kama ilivyoandikwa, Hakuna mwenye haki, hakuna, hata mmoja. Rumi. 3:23, Kwa maana wote wametenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu; Tumepatanishwa Kwa nini tunahitaji kupatanishwa na Mungu. Kwa sababu dhambi humtenganisha mtu na Mungu. Yoh. 9:31, Basi tunajua kuwa Mungu hawasikii wenye dhambi, lakini mtu yeyote akiwa muabudu Mungu, na kufanya mapenzi yake, huyo anamsikia. Mshahara wa dhambi ni mauti (kutenganishwa umilele kutoka kwa Mungu hadi motoni). Rumi. 6:23, Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti, bali karama ya Mungu ni uzima wa milele kupitia Yesu Kristo Bwana wetu. Huu upatanisho unawezekanaje? Dhambi inamweka mtu mbali na Mungu. Tunahitaji kuwa mbali na dhambi. Katika kuongoka kwetu tunaacha na dhambi. Tuna batizwa kwa ajili ya ondoleo la dhambi. Matend. 2:38, Petro akawambia, tubuni, mkabatizwe kila mmoja wenu kwa jina la Yesu Kristo kwa ajili ya ondoleo la dhambi, na mtapokea kipawa cha Roho Mtakatifu. Tuna usulubisha utu wa kale wa dhambi, unazikwa katika ubatizo, na kuleta utu mpya wa kiroho katika Kristo. Rumi. 6:1-6, Tuseme nini basi? Tudumu katika dhambi ili neema izidi kuwa nyingi? Hasha! Sisi tulioifia dhambi tutaishije tena katika dhambi? Hamfahamu ya kuwa sisi sote tuliobatizwa katika Kristo Yesu tulibatizwa katika mauti yake? Basi tulizikwa pamoja naye kwa njia ya ubatizo katika mauti yake, kusudi kama Kristo alivyofufuka katika wafu kwa njia ya utukufu wa Baba, vivyo hivyo na sisi tuenende katika upya wa uzima. Kwa maana kama mlivyounganika naye katika mfano wa mauti yake, kadhalika mtaungana kwa mfano wa kufufuka kwake; mkijua neno hili, yakuwa utu wetu wa Patanishwa, Hesabiwa Haki, Takaswa (Reconciled-Justified-Sanctified) 3

kale ulisulubishwa pamoja naye, ili mwili wa dhambi ubatilike, tusitumikie dhambi tena. Paulo anaiweka wazi kwamba katika mpangilio huu tunawekwa huru kutoka dhambini. Rumi. 6:17-18, Lakini Mungu na ashukuriwe kwa maana mlikuwa watumwa wa dhambi, lakini mliitii kwa mioyo yenu ile namna ya elimu ambayo mliwekwa chini yake; na mlipokwisha kuwekwa huru mbali na dhambi, mkawa watumwa wa haki. Dhambi imekwenda, Mungu atatu tunukia- tunapatanishwa kwa Mungu. Tunahesabiwa haki Dikaioo (dik-ah-yo-o) Kiyunani, kamusi ya Strong # 1344 kufanya iwe na nguvu, kusamehe, kuthibitisha, kuimarisha. Muumini aliye habiwa haki anahesabiwa kuwa na haki katika Yesu Kristo, na anakubaliwa katika kuwa ndani ya haki yake. Kuhsabiwa haki huku inaonyesha kwamba huduma ya Mungu kwa mwenye dhambi ni sawa na kwamba hajawai kutenda dhambi sasa kwamba anachukuliwa binafsi kuwa na haki katika Kristo Yesu. Tunahesabiwa haki kwa neema ya Mungu. Rumi. 3:24, Wanahesabiwa haki bure kwa neema yake, kwa njia ya ukombozi ulio katika Kristo Yesu. Mtu lazima atii neema. Tito 2:11-12, Maana neema ya Mungu iwaokoayo wanadamu wote imefunuliwa; nayo yatufundisha kukataa ubaya na tama za kidunia; tupate kuishi kwa kiasi, na haki, na utauwa, katika ulimwengu huu wa sasa. Dhambi ikitoka tunapatanishwa kwa Mungu na kuhesabiwa hakiinafanywa kuwa sahihi. Rumi. 5:1, Basi tukiisha kuhesabiwa haki itokayo katika imani, na mwe imani kwa Mungu kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo. Rumi.5:9, Basi zaidi sana tukiisha kuhesabiwa haki katika damu yake, tutaokolewa na ghadhabu kwa yeye. 1 Wakor. 6:11, Na baadhi yenu mlikuwa watu wa namna hii; lakini mlioshwa, lakini mlitakaswa, lakini mlihesabiwa haki katika jina la Bwana Yesu Kristo, na katika Roho wa Mungu wetu. Patanishwa, Hesabiwa Haki, Takaswa (Reconciled-Justified-Sanctified) 4

Tunatakaswa Utakaso ( Hagiasmos; Kiyunani; Kamusi ya Strong # 38)- kazi ya Roho Mtakatifu kuwaweka watu pembeni katika wokovu na kumuwezesha awe mtakatifu kama jinsi Mungu alivyo mtakatifu. Kristo alipojitakasa ( Yohana 17:19), anamaannisha alijiweka wakfu katika kazi yake kama mkombozi. Yohana 17:19, Na kwa ajili yao najiweka wakfu mwenyewe, ili na hao watakaswe katika kweli. Neno takatifu inatoakana na chimbuko na inamaanisha mtu aliyetakaswa - mtu aliye wa Kristo. Hili neno rasmi inatokea katika 1 Wakor. 7:12-14, ambapo mwanaume asiyeamini inasemekana atakaswe na mkewe, haimaanishi kwamba yuko tofauti na tabia ya kawaida, bali anasimama katika hatua Fulani na Mungu. 1 Wakor. 7:12-14, Lakini watu wengine nawambia mimi, wala si Bwana, ya kwamba iwapo ndugu mmoja ana mke asiyeamini, na mke huyo anakubali kukaa naye, asimwache. Na mwanamke ambaye anamume asiyeamini, na mume huyo anakubali kukaa naye asimwache mumewe. Kwa maana yule mume asiyeamini hutakaswa katika mkewe, na Yule mke asiyeamini hutakaswa katika mumewe, kama isingekuwa hivyo watoto wenu wangekuwa si safi, bali sasa ni watakatifu. Sasa kwa vile sisi tu wake Kristo tunapaswa kuishi kwake. Waef. 4:1, Kwa hiyo nawasii mimi niliye mfungwa katika Bwana, mwenende kama inavyoustaili wito wenu mlioitiwa. Wakol. 3:1-4, Basi mkiwa mmefufuliwa pamoja na Kristo, yatafuteni yaliyo juu Kristo aliko, ameketi mkono wa kuume wa Mungu. Yafikirini yaliyo juu, siyo yaliyo katika nchi. Kwa maana mlikufa na uhai wenu umefichwa pamoja na Kristo katika Mungu. Kristo atakapofunuliwa, aliye uha wetu, ndipo na ninyi mtafunuliwa pamoja naye katika utukufu. 1 Wathes. 5:10, Ambaye alikufa kwa ajili yetu, ili tuishi pamoja naye, kwamba twakesha au kwamba twalala. Patanishwa, Hesabiwa Haki, Takaswa (Reconciled-Justified-Sanctified) 5

Hitimisho Je umeshatakaswa kupitia ubatizo? Yafuatayo ni hatua mhimu ili uweze kupatanishwa na Mungu na kuhesabiwa haki na Yesu Kristo kwa tukio hilo: Imani. Waeb. 11:6, Lakini pasipo imani haiwezekani kumpendeza, kwa maana mtu amwendeaye Mungu lazima aamini kwamba yeye yuko, na kwamba huwapa dhawabu wale wote wamtafutao. Nilipokuwa shuleni (nikiwa na miaka 17), kijana mmoja jirani yangu mwaka sawa na wangu aliniambia kwamba haamini kwamba Mungu yupo. Kwa vile nilikuwa nimeshabatizwa, nilichukua nafasi ya kuongea naye kuhusu maandiko. Akaniambia kuwa anaona kuishi maisha ya ukristo ni nzuri, lakini hakuwa na uhakika kwamba Mungu yupo. Lakini ilikuwa sehemu salama, labda anaweza kwenda kanisani, na atakapokufa na kusimama mbele za Mungu ( kama kuna Mungu) siku ya hukumu ( kama kuna hukumu), labda Mungu akiona kwamba amekwenda kanisani na akaishi maisha mazuri Mungu atampeleka mbinguni ( kama kuna mbingu), na siyo motoni (kama kuna moto). Nikamwambia, haiendi hivyo. Lazima umwamini kwa moyo wako wote lasivyo huwezi kumpendeza. Toba. Matendo. 2:38, Petro akawambia, tubuni, mkabatizwe kila mmoja wenu katika jina la Yesu Kristo kwa ajili ya ondoleo la dhambi, na mtapokea kipawa cha Roho Mtakatifu. Matend. 11:18,... Basi Mungu amewajalia hata mataifa nao toba liletalo uzima. wakati ulipokuwa unalala, ukasikia kelele katika chumba kingine, na ukafikiria mwenyewe, kuna mwizi ndani ya nyumba! kwa hiyo ukachukua simu ya mkononi, na kwa haraka ukawapigia polisi, ukiwambia kuna mwizi ndani kwako, na ukawapa namba ya nyumba yako. Muda mfupi ukasikia wanafika na wanamashika mwizi. Mwizi akapiga kelele, samahani; anaomba msamaha juu ya nini? Anaomba msamaha kwa sababu ameshikwa; na siyo kwamba ameiba. Katika toba ya kweli mwizi angeomba msamaha kwamba hataiba tena. Hiyo ndiyo toba ya kweli. Ni badiliko la nia linaloleta badiliko la matendo. Hiyo ndiyo tunatakiwa tufanye kabla hatujawa Wakristo. Kukiri. Rumi. 10:9-10, Kwa sababu ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka. Kwa maana kwa moyo mtu huamini hata kupata haki, na kwa kinywa hukiri hatakupata wokovu. Yesu Kristo ni mwana wa Mungu. Patanishwa, Hesabiwa Haki, Takaswa (Reconciled-Justified-Sanctified) 6

Kumbuka kwamba katika andiko hilo hapo juu imani (Kuamini), kutubu na kukiri ni KATIKA haki, maisha, au wokovu. Katika inamaanisha kuelekea kitu Fulani; siyo kwamba mtu ameshapata. Batizwa. Ni katika ubatizo tu ambapo haki, maisha, na wokovu unapatikana. Yesu, mwenyewe, alibatizwa kutimiza haki yote, Lakini Yohana alitaka kumzuia akisema, mimi nahitaji kubatizwa na wewe, nawe waja kwangu? Yesu akajibu akamwambia, kubali hivi sasa kwakuwa ndivyo itupasavyo kuitimiza haki yote. Basi akamkubali. Naye yesu alipokwisha kubatizwa mara akapanda kutoka majini, na tazama mbingu zika mfunukia, akamwona Roho wa Mungu akishuka kama hua akija juu yake; na tazama sauti kutoka mbinguni ikisema, Huyu ni mwanangu mpendwa wangu, ninaye pendezwa naye. Yesu alibatizwa kwa sababu Mungu alisema ni jambo zuri kufanya. Unaona ni jinsi gani ilimpendeza Mungu baada ya Yesu kubatizwa? Yesu pia akasema imekuwa kwetu kuitimiza haki yote. Tunabatizwa kwa sababu inatimiza haki yote, si kwa sababu ni kwa ajili ya haki yetu. Kwa kweli, tusipobatizwa, bado tupo katika dhambi. Petro akawambia, tubuni, mkabatizwe kila mmoja wenu kwa jina la Yesu Kristo kwa ajili ya ondoleo la dhambi, na mtapokea kipawa cha Roho Mtakatifu. (Matend 2:38). Petro, umesema ubatizo ni kwa ajili ya nini? kwa ajili ya ondoleo la dhambi. Kwa nini watu wanaacha hatua inayotuondoa dhambi? Yesu aliamuru kuwa ili tuufikie wokovu ni lazima tubatizwe. Akawaambia enendeni ulimwenguni mwote mkahubiri injili kwa kila kiumbe. Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini atahukumiwa. (Marko 16:15-16). Anania alimwambia Sauli ( kabla hajaitwa Paulo) kitu hicho icho, Sasa unakawilia nini? Simama, na ubatizwe na uoshwe dhambi zako, huku ukiliitia jina la Bwana. (Matnd. 22:16). Ubatizo ni hitaji lililotolewa na Mungu. Ubatizo unaitwa maziko. Basi tulizikwa pamoja naye kwa njia ya ubatizo katika mauti yake kusudi kama Kristo alivyofufuka katika wafu kwa njia ya utukufu wa Baba, vivyo hivyo na sisi tuenende katika upya wa uzima. Utuwetu wa kale lazima ufe ndani yetu. Hamfahamu ya kuwa sisi sote tuliobatizwa katika Kristo Yesu tulibatizwa katika mauti yake? Basi tulizikwa pamoja naye kwa njia ya ubatizo katika mauti yake kusudi kama Kristo alivyofufuka katika wafu kwa njia ya utukufu wa Baba, vivyo hivyo na sisi tuenende katika upya wa uzima. Kwa maana kama mlivyounganika naye katika mfano wa mauti yake, kadhalika Patanishwa, Hesabiwa Haki, Takaswa (Reconciled-Justified-Sanctified) 7

mtaunganika kwa mfano wa kufufuka kwake; mkijua neno hili ya kuwa utuwetu wa kale ulisulubishwa pamoja naye ili mwili wa dhambi ubatilike tusitumikie dhambi tena. (Rumi. 6:3-6). Ubatizo ni ramani ya Mungu inayotumika katika damu ya Yesu Kristo ndani ya maisha yetu kwa ubatizo. Tunakuwa huru katika dhambi zetu za zamani pale tu tunapo batizwa. Hii hai maanishi kunyunyiza. Andiko hilo juu inasema ubatizo ni maziko. Hatu peleki maiti makaburini na kuweka udongo kidogo juu yake; tunazika mwili. Kama hujawa mkristo, kwa nini usifanyike leo? Patanishwa, Hesabiwa Haki, Takaswa (Reconciled-Justified-Sanctified) 8

Patanishwa, Hesabiwa Haki, Takaswa (Reconciled-Justified-Sanctified) 9

Patanishwa, Hesabiwa Haki, Takaswa (Reconciled-Justified-Sanctified) 10

Patanishwa, Hesabiwa Haki, Takaswa (Reconciled-Justified-Sanctified) 11

Patanishwa, Hesabiwa Haki, Takaswa (Reconciled-Justified-Sanctified) 12