FOMU YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO SEHEMU A (TAARIFA ZA MWANAFUNZI) Picha ya mwanafunzi na aje na picha tatu Jina kamili (majina matatu). Tarehe ya kuzaliwa.. Uraia.. Jinsia Anuani ya mwanafunzi... Shule aliyotoka...simu E-mail. Je ana wazazi wote wawili? Ndiyo/Hapana Anaye baba peke yake Ndiyo/Hapana Anaye mama peke yake Ndiyo/Hapana Hana baba wala mama Ndiyo/Hapana SEHEMU B (TAARIFA ZA MZAZI) Jina la Baba: Hai? Ndiyo/Hapana Jina la Mama:. Hai? Ndiyo/Hapana Wanaishi pamoja/wametengana:... Jina la mlezi: (1) Uhusiano:.. Jina la mlezi: (2)... Uhusiano:.. Je walezi wote wanaishi pamoja?. ANWANI: (a) Mkoa:.. Wilaya.. Kata:. Mtaa.. No. ya nyumba:... (b) S.L. P. (c) No. za simu (i) Mkononi: (ii) Mezani:. MAHALI PAKAZI:.. Kazi yake... Simu:.. Mawasiliano ya dharula: Jina Simu. Uhusiano.. 1
SEHEMU C (UTHIBITISHO WA AFYA YA MWANAFUNZI) Majina matatu ya mwanafunzi Jinsia Tarehe ya kuzaliwa.. Tafadhali mzazi tunaomba umpime mwanafunzi na kushauri hali na mzingira yoyote maalum anayoweza kuhitaji ili kuboresha uwezo wake wa kumudu elimu ya bweni. 1. Kundi la damu 2. Sicle cell anaemia... 3. Uwezo wa kuona. 4. Kifafa... 5. Uwezo wa kusikia 6. Ulemavu wowote. 7. Utapiamlo. 8. Vidonda vya tumbo.. 9. Kisukari. 10. Blood Pressure... 11. Ukoma 12. Urefu 13. Uzito 14. Mzio/allegies.. 15. (a) Je, kutokana na ulemavu alionao, nini mahitaji ya ziada? (b) Je, ni vyakula gani hapaswi kula? (c) Je, ni dawa zipi hapaswi kutumia? 14. Maoni mengineyo ya daktari. Jina na sahihi ya Daktari... Cheo, Simu. Tarehe 2
Mwanafunzi anatakiwa kua na ufaulu wa alama ya A,B, au C (Credit ) katika tahasusi (Combination) anazotaka kusomea. MATOKEO YAKO YA KIDATO CHA NNE Namba uliyofanyia mtihani.. Namba ya shule uliyofanyia mtihani Jina la shule Division. Point.. SOMO HIST GEO KISW CIVI MATH BIO ENG CHEM PHY COMM BK ICS FRNC DARAJA MASOMO MENGINE KAMA ULIFANYA SOMO DARAJA MICHEPUO INAYOTOLEWA GILI HIGH SCHOOL HGE HGK HGL HKL KLF EGM ECA PCM PCB CBG PGM MCHEPUO WA KWANZA (1) ULIOCHAGUA NA MADARAJA YAKE MASOMO DARAJA MCHEPUO WA PILI (2) ULIO CHAGUA MASOMO DARAJA 3
SEHEMU D KANUNI NA TARATIBU ZA SHULE: 1. Mwanafunzi anapaswa kuongea kiingereza muda wote awapo shuleni. 2. Mwanafunzi anapaswa kuhudhuria vipindi vyote na kufanya kazi zote, nadharia na vitendo kama atakavyoelekezwa na mwalimu/msimamizi wake. 3. Mwanafunzi anapaswa kusimama na kusalimia watu wote wanaomzidi umri. 4. Mwanafunzi anapaswa kujifunza kuimba kwa usahihi na ukakamavu nyimbo zote rasmi za Taifa na shule 5. Mwanafunzi anapaswa kutii kwa hiari alama rasmi za Taifa na shule kama vile Bendera. 6. Mwanafunzi anapaswa kutumia lugha rasmi, isiyo na matusi wala kashfa kwa watu wote, wakubwa kwa wadogo. 7. Mwanafuzi anapaswa kutoa taarifa za uharibifu wa mali yake binafsi, wenzake au shule kwa viongozi wake na waalimu. 8. Mwanafunzi haruhusiwi kuwasiliana na mtu yeyote ikiwa ni pamoja na wazazi kwa namna yoyote bila kibali kutoka kwa mwalimu husika. 9. Mwanafunzi haruhusiwi kuuza kitu chochote au kufanya biashara yeyote awapo shuleni. 10. Mwanafunzi haruhusiwi kutoka nje ya eneo la shule bila ruhusa kutoka kwa mwalimu anayehusika, akionekana atachukuliwa hatua za kinidhamu. 11. Mwanafunzi haruhusiwi kutumia kilevi cha aina yeyote kama vile pombe, madawa ya kulevya n.k. 12. Mwanafunzi haruhusiwi kuvaa nguo, viatu au urembo usioruhusiwa shuleni. 13. Ni marufuku mwanafunzi kuwa na simu ya mkononi, vipodozi na silaha ya aina yeyote. 14. Mwanafunzi haruhusiwi kujihusisha na vitendo viovu vifuatavyo:- i. Ngono. ii. Mgomo wa adhabu au vinginevyo. iii. Kuwa na mahusiano ya kimapenzi. 15. Mwanafunzi hapaswi kujihusisha na vitendo vyovyote vya uchochezi. 16. Mwanafunzi hapaswi kubagua wenzake kwa vigezo vya dini, kabila, rangi na utaifa n.k. 17. Mwanafunzi haruhusiwi Kufanya udanganyifu wa aina yoyote katika mitihani kama kuibia kwa mwanafunzi mwenzake; kuingia chumba cha mtihani na karatasi, nguo au vitambaa vilivyo na maandishi; kuwasiliana na mwanafunzi mwenzake kwenye chumba cha mitihani wakati mtihani ukiendelea; n.k. 18. Mwanafunzi haruhusiwi Kupigana na wanafunzi, wafanyakazi au watu wengine 19. Mwanafunzi haruhusiwi kuingia shuleni na chakula chochote labda kwa idhini ya uongozi wa shule. Mwanafunzi akivunja kanuni na taratibu za shule atachukuliwa hatua za kinidhamu Jina la mwanafunzi Sahihi... 4
Tarehe SHULE ILIKO: Shule iko Kibaha Maili moja kilometa mbili (2) kutoka Morogoro Road. NAMNA YA KUFIKA: Kama unatokea Dar es Salaam utapita maili moja na TAMCO, halafu utaelekea barabara ya Bagamoyo ambapo utaona vibao vinavyoelekeza shule ilipo barabara ya machinjioni ya maili moja kwa mbele. MAELEKEZO MUHIMU WAKATI WA KUJIUNGA. 1. Awe amelipa karo yote ya awamu husika. 2. Awe amesoma na kuelewa kanuni na sheria za shule na kusaini kukubaliana nazo. 3. Awe amejaza kwa usahihi hati sehemu ya uthibitisho wa usajili wa mwanafunzi. 4. Awasilishe hati ya uthibitisho wa afya akiambatanisha vyeti muhimu endapo atakuwa na matatizo. 5. Alete vitu/vifaa vyote vilivyoelekezwa katika hati ya mahitaji binafsi ya mwanafunzi. 6. Hairuhusiwi kwa mwanafunzi kusuka wala kuwa na nywele ndefu. 7. Hakuna siku ya kuwatembelea watoto. (Visiting day) mpaka siku za likizo.hii itamsaidia mtoto kuweka akili yake katika hali ya kusoma tu. 8. Alete kivuli cha cheti chake cha kuzaliwa (photocopy). 9. Wastani wa shule ni 51 10. Kwa mwanafunzi aliyefeli haendi likizo anabaki shule kwa ajili ya masomo ya ziada kwa gharama ya mzazi 11. Wanafunzi wanao feli hupatiwa masomo ya ziada, jioni baada ya masomo ya kawaidi kwa gharama ya shule. 12. Darasa la mitihani kidato cha sita na watapatiwa masomo ya ziada asubuhi na jioni kwa gharama ya shule 13. Wanafunzi wanaosoma hesabu,geografia na sayansi waje na scientific calculator aina ya FX-991 MS au FX-991ES 14. Mwanafunzi mwenye kadi ya bima tunaomba aje na kadi yake ili kurahisisha huduma za matibabu. 15. Hatupokei pesa au kiasi chochote mkononi malipo yote yafanyike benki. 20. Nguo zote za mwanafunzi zinatakiwa kuandikwa jina lake kwa kudariziwa na uzi mweupe nguo zote soksi hadi nguo za ndani. 21. Mwanafunzi anatakiwa kuja na cheti cha matokeo(result slip original). Kama cheti cha matokeo hakijatoka utatakiwa kuja na nakala ya matokeo yako ya mtihani kutoka kwenye tovuti ya baraza la mitihani.ukiwa umewekea nyota namba yako na kuandika jina lako karibia na namba yako.. Malipo yote yafanyike benki (HATUPOKEI KIASI CHOCHOTE MKONONI) akaunti namba zifuatazo, MU-GILI COMPANY LTD, ACC.NO 080103000103 NBC. GILI SECONDARY SCHOOL. AKAUNTI NA. 2059960008 BANK OF AFRICA (BOA) 5
N.B Shule itafunguliwa tarehe 08/7/2017. Hakikisha mwanao anaripoti shuleni tarehe husika kwa elimu bora. Mwisho wa kupokea wanafunzi ni saa kumi kamili jioni. Hatupokei wanafunzi siku za Jumapili Asante. HATI YA UTHIBITISHO WA USAJILI WA MWANAFUNZI Mimi. Mwanafunzi wa kidato cha mwaka.. nathibitisha kuwa nimezisoma, nimezielewa na nitazifuata kikamilifu kanuni, taratibu na sheria za shule na nitashirikiana na uongozi wa shule kwa kipindi chote nitakachokuwa shuleni. Sahini ya mwanafunzi Jina la mzazi/mlezi Sahihi Tarehe Tarehe Simu ya mzazi/mlezi.. Sahihi ya Mkuu wa shule... Copy: mzazi/mlezi Faili la mwanafunzi Ndugu mzazi/mlezi.. Tunapenda kukufahamisha kuwa mwanao. Amekubaliwa kujiunga na shule yetu ya Gili Sekondari kidato cha mwaka MKUU WA SHULE 6
MCHANGANUO WA MALIPO YA ADA NA MALIPO YA AWALI. Form V Science. A Ada mwaka mzima Muhula wa kwanza Januari 3,400,000/= 1,140,000/= Muhula wa kwanza Aprili (Baada ya likizo fupi) 1,130,000/= 7 Muhula wa pili Juni 1,130,000/= Mahafali 30,000/= Pesa ya matumizi 50,000/= Mahitaji ya taaluma,sare za 350,000/= shule na huduma za library JUMLA 1,540,000/= 1,130,000/= 1,160,000/= Form V Arts and Business. A Ada mwaka mzima 3,200,000/= Muhula wa kwanza Januari 1,080,000/= Muhula wa kwanza Aprili (Baada ya likizo fupi) 1,060,000/= Muhula wa pili Juni 1,060,000/= Mahafali 30,000/= Pesa ya matumizi 50,000/= Mahitaji ya taaluma,sare za 350,000/= shule na huduma za library JUMLA 1,48 0,000/= 1,060,000/= 1,090,000/= Mwanafunzi atapewa mahitaji ya kujiunga yafuatayo baada ya malipo Sare za shule (Za darasani na zakushindi t-shirt tatu, sketi mbili, shati mbili, kaptula mbili) Kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha nne Gili secondary watapata punguzo la ada kiasi cha shs 500,000/= Mwanafunzi atakaye pata nafasi atatakiwa kulipa kiasi cha (540,000/= kwa mwanafunzi wa science) na (kiasi cha 480,000/= kwa mwanafunzi wa Arts au Business) ndani ya siku 14 baada ya kupata nafasi kwa ajili ya kushika nafasi na kiasi hichi ni kama ada ya awali. Pia kiasi hiki hakita rudishwa kwa mwanafunzi ambaye hata jiunga nasi kama atakua amshalipa. VITU VIFUATAVYO VINAPATIKANA SHULENI - Shuka nne za Pink. 50,000/= - Madaftari (3quire) 7 @ 3,500 = 24,500/= - Neti ya pembe nne nyeupe 12,000/= - Sweta. 15,000/= - Trakisuti. 25,000/= Karatasi hii ibakie kwa mzazi
- Nguo za michezo 15,000/= - Viatu vya shule 30,000/= Vitu tajwa hapo juu lipia benki kabisa njoo na slip utapewa vitu hivi shuleni SEHEMU D MAHITAJI MUHIMU, BINAFSI YA MWANAFUNZI MAHITAJI KIASI 1. Shuka za Pinki 4 2. Madaftari (counter books) QUIRE 4 7 3. Dawa ya meno kubwa na mswaki 2 4. Mafuta ya kupaka (baby care) 2 5. Neti ya pembe nne nyeupe 1 6. Taulo rangi ya pinki 1 7. Vitambaa vya mkononi (vyeupe ) 4 8. Viatu vyeusi visigino vifupi (Juma na roza mfano huo hapo chini) pea 2 9. Kiwi kubwa nyeusi 2 10. Shower jelly lita 3 11. Kandambili bluu (Bata bata) pea 2 12. Kanga pea 1 13. Begi la madaftari 1 14. Sanduku la nguo (la bati) 1 15. Sweta bluu 1 16. Nguo za kulalia (night dress pink) pea 2 17. Raba za michezo nyeupe pea 1 18. Soksi nyeupe pea 3 19. Ndoo ndogo 2 20. Trakisuti za bluu pea 1 (atapewa shuleni bei yake ipo chini) 21. Nguo za michezo (T-shirt na kaptula za bluu.) Pea 1 (atapewa shuleni bei yake ipo chini) 22. Sahani, kikombe, na kijiko pea 1 23. Pedi za wasichana bunda 4 24. Peni 20 25. Penseli 5 26. Mathematical seti 1 27. Nguo za ndani za kutosha 28. Sabuni ya kufulia miezi mitatu (miche 3 na ya unga omo kilo1 paketi 4) 29. Nguo za ndani za juu zote ziwe nyeupe kabisa. NB: 1. Mwanafunzi wenye kadi za bima tunaomba waje na kadi zao ili kurahisisha huduma ya matibabu. Malipo yote yafanyike benki kwa akaunti namba ifuatayo, Karatasi hii ibakie kwa mzazi MU-GILI COMPANY LTD, ACC. NO 080103000103 NBC. GILI SECONDARY SCHOOL. AKAUNTI NA. 2059960008 BANK OF AFRICA (BOA) 8