AMMA KWA AFRIKA RATIBA/ITIKADI Ratiba Maalum ya Kutibu Magonjwa Maambukizi na Hususan Fikra Zinazoleta Pooza Mwili na Akili
Notisi Maalum Matibabu, kama sayansi, ni somo linaloendeleza uwekezaji. Ujuzi wa kimatibabu unaongeza upana way ale ambayo mtu anajua, haswa matibabu. Yale ambayo yameandikwa humu; edita na walioindika wamehakikisha inakupa elimu inayofaa kila dosi na hali ya matumizi halitakuwa juu ya wachapishaji ila ni la mgonjwa anayeitumia Yaliyomo Utangulizi 3 Sheria la ufanano 3 Uhakikisho 4 Dosi dogo zaidi 4 Kubinafsisha mtu mwenyewe 4 Ni kama kwa mtu mmoja 5 Historia ya Homiopathi na Epidemia 5 Homiopathi na Epidemia Leo 6 Ukimwi Afrika 6 PC Resonance 7 Amma Resonance. Healing Foundation 8 Jinsi ya Kuandaa PC Resonance kwa mgonjwa 9 Jinsi ya Kutumia PC Resonance 9 Dosi kwa maambukizi madogo na Epidemi ya magonjwa 10 Dosi kwa maambukizi sugu na Epidemi ya magonjwa 10 Mahala pa kuanzia 11 Jinsi ya Kutibu Ukimwi 11 Matano Makuu Kwa magonjwa maambukizi 14 Matibabu ya kwanza kutibu magonjwa ya fikra ambayo hayajakomaa PC Resonance 15 Kutibu fikra inayopooza akili ukitumia PC Resonance 15 Matano makuu kwa fikra 15 Matibabu ya Homiopathi kiubinafsi ukitumia PC Resonance 15 Matano makuu kwa hali sugu 16 Siyo kwa matibu ya hospitali pekee 16 Fomu ya kurekodi kesi 16 Njia ya kupata PC Resonances 16 PC Resonance yanayopatikana kwa mataifa yanayokuwaa 17 2
Utangulizi Homipathi imeonyasha hakikisho la kutibu magonjwa ya epidemic na trauma kwa hali ya juu zaidi. Njia hii ya PC Resonances ndio dhabiti nay a haraka bila madhara yoyote. Pia ni ya bei ya chini. Karikulum hii inatumika kwa njia mbili: 1. Yaweza kutumika na homiopathi ambao washafunzwa kuhusu matibabu ya magojwa madogo nay ale sugu kwa njia ya kibinafsi. Hapa tutazungumzia njia ya nyepesi, ya bei nafuu ili kuongeza uwezekano wa kutoa tiba. 2. Yaweza tumika kama utangulizi kwa mahopathi. Inatoa funzo na mambo maalum ya kutibu hali husika Afrika: magonjwa epidemia, kwa mfano malaria, Ukimwi na Kifua kikuu na trauma iliyokawia kutokana na kunajisiwa au mauaji. Mdaktari waliohitimu hutumia karikulam hii na PC Resonaces kuzungumzia au kutibu wagonjwa. Wahudumu wa kiafya wanaweza kuitumia, lakini wagonjwa hawafai kuacha matumizi ya matibabu ya hospitali bila agizo la daktari ila wasiache kuwaona madaktari. PC Resonances haibadili matibabu ya kawaida na dawa za hospitali lakini zaweza kutumika iwapo dawa hizo hazipo. Sheria La Ufanano Huu ndio uti wa homiopathi, hujulikana pia kama Resonances. Tiba hii ilitambuliwa miaka mia kenda na Mgiriki Dkt. Hippocrotes. Alitambua kuwa homiopathi ni kubwa kushinda alopathi. Dkt. Samwel Hahnemann (1755-1843), alita Similia similibus curantur; akaibadili kwa homiopathi, sheria la ufanano. Kwa mfano, kitungu inayosababisha mwasho na machozi kwenye macho, yaweza kutumika kutibu homa. Iwekwe iwe maji maji (Allium cepa) yaweza kataibu mafua. 3
Uhakikisho Ili kuhakikisha uwezo wa dawa kutibu, una dhibiti hali kwa kutia sumu na kuona kuwa watu au wanyama wangapi watafariki. Homeopaths pia wanaweza kutumia funzo ya dawa za mti shamba kama kifaa kwa uhakikisho, kuna muungano kwa symptoms yanayopatikana. Dosi Dogo Zaidi Hahnemann anahakikisha kuwa tiba hii haileti madhara kwa njia inayoitwa potentisation. Potentisation inahusu kuiweka iwe maji maji na kutingisha (dynamisation) kutokana na potentisation kemikali yenye madhara yatatawanywa. Maji ina uwezo wa kukumbuka kemikali zilizotiwa ndani yake; uwezo wa tiba itaonekana na potentisation tiba ya homeopathy yapatikana. Symptoms yanatiliwa kwenye mtu mwenye afya nzuri ndio lionyeshe uwezo wa kutibu mtu mgonjwa. Tiba hili likitumiwa kwa njia sawa na salama haliwezi leta madhara kwa watoto au akina mama wajaa wazito. Kubinafsisha Mtu Mwenyewe Kila mtu binafsi ana tofauti ya vile anavyohisi akiwa anaugua. K wa mfano, kuumwa na kichwa mpaka unapata shida kufumbua macho (migraines) yanatofautiana ukizingatia: mahala pa chungu, muda na jinsi unavyohisi, kinachokisababisha. Haswa homeopath anafaa kuzingatia: hisia zake, historia yake na familia yake, akili, fikra jinsi ya kimwili: ndoto, tabia ya kulala, mazoea ya chakula. Hakuna wagonjwa wanaofanana. Homeopath anafaa kutilia maanani ujumla wa symptoms alizonazo. Hata hivyo symptoms zinazobainika zenyewe, ambazo si za kawaida, ndio zenye kipaombele. Hapa ndipo ubinafsi unapatikana. 4
Ni Kama Mtu Mmoja Kuna ubainisho kwa sheria la ubinafsisho kwa kila mgonjwa, ni kwa hali ya ujumla, kama epidemia na trauma. Kwa hali hizo, historia au tabia/mazoea ya mtu hazina manufaa. Magonjwa haya yanatokana na jamii ya mtu au kundi lake. Kupata tiba hii wagonjwa wote wanajumuishwa ni kama mtu mmoja. symptoms zote zikishajumuishwa tiba njema zaidi itapatikana kwa urahisi. Historia Ya Homiopathi Na Epidemia Hadi karne ya kumi na tisa na mapema karne ya ishirini homeopaths huko uropa na marekani zilikuwa zimeipa kipao mbele tiba ya magonjwa ya epidemia. Hapa chini ni maelezo kuhusu tiba hii kihistoria: Katiba epidemia hali ya vifo kati ya wagonjwa 100 ni ½ mpaka 1/8 katika hospitali za kihomiopathi ikilinganishwa na hospitali za kawaida (Dkt. Thomas L. Brad for d s in The Logic of Figures, 1990). Katika miaka ya 1854 kolera ilikuja to Palermo 1513 wanajeshi waligonjeka. Kwa hao 902 walitibiwa na dawa za kawaida, watu 386 walikufa, kushinda 42%; 611 walitibiwa na homiopathi, 25-4% walikufa. (Gebhardt 1929). 3% ya wagonjwa wa kolera chini ya tiba ya homiopathi walikufa (Cincinnati 1849) Hali ya Vifo ya Kolera chini ya tiba ya kawaida ni 40-70%. Homeopathi ilijulikana sana Marekani Kaskazini katika miaka ya kale kutokana na kazi zake za kutibu epidemia:- Epidemia ya diphtheria, san asana yellow fever kifo ilikuwa reti ya 55% ukitumia tiba ya kawaida, lakini chini ya 5% ukitumia tiba ya homeopathic. Epidemia sugu zaidi ni Great Influenza pandemic of 1918. Wakati huu tiba ya homeopathic ilitumika sana kama tiba au kinga. 1% ya wagonjwa walifariki chini ya tiba ya homeopathi (Homeoprophylaxis Fact or Fiction Todd Hoover MD). 5
Homiopathi Na Epidemia Leo Katika karne 20 madawa ya kawaida ilienea kutokana na kutambuliwa kwa penicillin. Homeopathy uliachwa na wagonjwa na kujitenga kwa matibabu ya magonjwa sugu kibinafsi. Tangu uropana marekani kuzingatia afya na usafi magonjwa ibuka yalipungua. Nchi ndogo ndogo za Afrika, ukitoa India, mpaka juzi uligundua homeopathy, magonjwa kama Malaria na kifua kikuu huua mamilioni kila mwaka. Ingawaje mataifa hutenga mamilioni ya pesa kwa miradi ya kupambana na magonjwa haya bado yanatambaa; kwa hivyo wanafaakujaribudawa za kienyeji na hata homeopathy bila kuiona kama mashindano ya mauzo. Kando ya magonjwa maambukizi, trauma kwa ujumla yaweza bainisha hali halisi kiafya. Hali kama catastrophes or war & genocide. Ukimwi Afrika Miaka ya 80 s mgonjwa wa kwanza wa ukimwi alipatikana magharibi. Ukimwi unasababishwa na virusi. Kitambo homosexual na wanaojidunga na madawa za kulevya. Ukimwi unapooza nguvu za mwili dhidi ya magonjwa na kwa hivyo kuleta kifo. ARVs ya kwanza zilikuwa ghali na zenye madhara mengi. Kule Ulaya janga hili ni dogo na haliuwi kama kitambo, hivyo mtu anawezaishi kawaida. Afrika pia hili janga lilizuka na kuwaua wengi. Hapa Afrika ugonjwa huu unaenea kupitia uhusiano wa kimapenzi na kutumia sindano moja wakati wa chanjo. Ugonjwa huu umekithiroii Afrika, kutokana na tamaduni, kama vile, kuwa na wake wengi,unajisi, urithi wa mke (shemeji). ARVs kitambo ilikuwa ghali kwa hivyo wasiojiweza walikufa bila matibabu. Serikali na hata mashirika yanawapa wagonjwa madawa bila malipo. Hapo mbeleni watu milioni 2 walikuwa wakifa; hata iwapo dawa ipo bado ripoti zaonyesha watu milioni 15 huko sub sahara kufa kati ya 2007 na 2002. Mwaka wa 2001, Peter chapel, Daktari Mzungu, alizuru Afrika, Ethiopia, kwa juhudi za kuwasaidia wagonjwa walio na virusi lakini jaribu lake aligundua haliko katika homeopathy 6
Mwaka wa 2002, alitoa jaribio lake mwenyewe na kuliita PC1. Alifurahia kuona wagonjwa wakila vizuri na kupata nguu; hata kurejea makazini. PC1 linatumika Afrika na madaktari wa homeopathy wanaofanya kazi ya ujima kwenye hospitali. Uchunguzi uliofanywa Malawi (2004) na DRC (2006) ulibaini kuwa PC1 unathibiti mwili na kuukinga dhidi ya magonjwa husika na maambukizi PC Resonances Katika homeopathy njia ya kuandaa dawa huanza haswa na vitu vilivyotoka kwa wanyama, mimea. Matayarisho huu utaenda kutingishwa (potentisation) ndio sumu zilizomo zibainiwe. Maji huhifadhi na kukumbuka mambo yote kuhusu substance: na haibakishi molikuli ya chembe halisi, ina nguvu kamili. Kitatengeza dawa inayoongeza mwili nguvu na afya. PC1 imetokana na homeopathic. Kutokana na teknolojia ya magonjwa bainifu PC Resonances hutayarishwa kwa epidemia tofauti, ukizingatia ujumla wa symptoms Uwezekano wa kutibu ugonjwa na PC Resonance inaongeza uzuri wa homeopathy haswa haina madhara na ufamakology; haihitaji ujuzi mwingi kwa ufuatilizi. Ukitumia ugonjwa bainifu kutibu magonjwa sugu ni vizuri kubainisha mgonjwa ili shughuli ya matibabu iendeshwe vema. Kwa hii teknolojia mpya mambo huwekwa moja kwa moja kwenye maji, hutengeza homeopathic Resonance na hakuna chembe hutumika. Hii inaonyesha kuwa hata kwa homeopathy ya hali ya juu hazina molikuli za chembe ikilinganishwa na ufamakoloji wa kawaida. Uzuri ulioko kwa njia hii ni lazima utafute chembe halisi, baada ya uhakikisho, inaonekana kufanana na tiba ya genus epidemicus ya ugonjwa wa epidemia. Uzuri mwingine wa homeopathy ni kuwa hauhitaji utumizi wa magonjwa (nosoders) ili kutengeza dawa. Teknolojia hii ya kutambua yaliyomo kwenye maji kuhusu magonjwa ambayo mgonjwa anagundua; kupata nguvu dhidi ya maambukizi. Resonnce hapa humanisha kuwa mambo yanayohitajika ni kujiponesha mwenyewe. Symptoms ya magonjwa ni nguvu dhidi ya magonjwa. Resonance ni patani ya nguvu dhidi ya magonjwa ni 7
uhakikisho wa mambo yaliyondani ya maji; nguvu itajiimarisha. Kwa tiba ya kawaida, jambo kuu ni kurudisha chini virusi, bacteria na vijidudu kwa kuviua na kuongeza mwili nguvu dhidi ya magonjwa. Teknolojia hii, yaani homeopathic, inafanya kwa njia ya ukanushi kwa kuimarisha mwili dhidi ya magonjwa. Ikitumika kwa njia mwafaka yaweza saidia kwa matumizi ya ARVs na PC1 kwa kutibu Ukimwi uliokithiri. Ujuzi kutokana na magonjwa maambukizi, PC Resonance yawezatumika pekee au pamoja na dawa za allopathic. Ili kupata matunda bora, ni vizuri kutumia homeopathi na tiba za kawaida. Yule aliye kwenye homeopathic hatumii dawa za kawaida zaidi na kujidhibiti dhidi ya afya iliyozorota. PC Resonances haina madhara na waandishi hawaja baini shida zozote. Amma Resonance Healing Foundation Peter Chapell amechangia haki kutokana na PC1 na PC Resonances zaidi kwa Afrika na nchi zingine kwaarhf, shirika la faida. ARHF hupatiana PC1 na PC Resonances kwa watu binafsi na makliniki huku Afrika na mataifa yanayokuwa, kulingana na hali, bila malipo ama kwa bei. ARHF hufanya uchunguzi ili kuibua tiba ya Ukimwi na magonjwa mengine ya epidemia na PC Resonances, na wanajukumu la kutoa mapato na kuchapisha. ARHF yanaweza kutimiza kazi zake kutokana na pesa zilizotoka nje. 8
Jinsi ya Kuandaa PC Resonance kwa Mgonjwa PC Resonance huja kama granuli. Hizo granuli huletwa kwa bahasha 5 sacheti kutengeza chupa tano. Chapte ya mwisho ni mwelekeo ya jinsi ya kupata granuli. Tengeza PC Resonance kwa dropa au chupa ya maji. 10-50 ml chupa za dropa. Weka granuli 2 kwa 10-50ml chupa za dropa. Ongezea maji minerali au maji safi. Ikiwekwa kadri miezi mitatu. Tumia maji 80-90% na 10-20% pombe au vodka ikiwa sawa na mgonjwa ili kuongeza uwekezaji. Wacaha chupa isimame kwa dakika chache mpaka mpaka granuli zianze kutawanyika. Liangushe juu ya bao au kitabu mara tano halafu iko tayari. 250-330-500ml chupa ya maji. Tumia chupa yenye minerali ya 250, 330 au 500ml za plastiki au ya glasi. Weka chembe mbili kwa chupa. Likitumika vizuri lawezaishi miezi mitatu. Tia vodka au pombe ikiwa sawa na mgonjwa. Wacha chupa isimame kwa muda; liangushe mara tano halafu iko sawa. Andika chupa na kodi ya pc na jina la mgonjwa. Kama ni chupa ya maji ya minerali utararua karatasi kwanza. Jinsi ya Kutumia PC Resonance Kwa chupa za dropa 555 (muangusho 5, dropi 5, sekunde 5). Kabla ya kuchukua dosi angusha chupa kwa kitabu au bao mara tano. Kisha weka tone 5 kwenye kijiko, kwenye mdomo. Weka mdomoni chini ya ulimi kwa sekunde tano kabla ya kumeza. Kwa chupa za maji- 515 (muangusho 5, kijiko 5, sekunde 5) Kabla ya kuchukua dosi angusha chupa kwenye kitabu au bao. Kisha haraka nywea kijiko kimoja kwa mdomo. Weka mdomoni, chini ya ulimi kwa sekunde 5 kisha umeze. 9
Kwa hizo zote Mdomo lazima iwe safi kabla ya kunywa Resonance. Usinywe au kula kitu kabla na baada ya kunywa dawa dakika 15. Pia usivute sigara. Maji lazima iwe safi,usitie chochote kwenye maji au chupa.tone zikitoka mingi meza tu.usinywe maji ukitumia chupa au kifuniko, hata usinywe kwa mkono.funga vizuri. Weka chupa mahala baridi na si kwa jua. Ikiwa una dosi moja kila siku, saa sio shida. PC Resonances ni salama kwa waja wazito,watoto wadogo,wazee na hata wanazozitumi madawa mengine Dosi ya maambukizi madogo na magonywa ya Epidemia Kwa hali ndogo vijidudu vinavyo sababisha magonywa,huchosha na kupooza mwili. Ili kuimarisha nguvu za mwili na uponyaji kibinanafsi.pc Resonance yaweza rudiwa. Kwa magonywa madogo kama malaria yaweza tumika kwa dakika 30-60 ukifuata 555. Ikiwa mgonywa anaendelea vizuri anaweza kubadili muda wa kuchukua dawa. Hii patani itatumika kwa magonywa madogo. Dosi ya maambukizi sugu na magonywa ya Epidemia Kwa hali hii mwili umeshindwa kujikinga dhidi ya magonywa.ikiwa sugu ugonywa. Huwa ina nguvu sawa na zile za mwili polepole ugonjwa huu utashinda mwili na afya Yako kuzorota. PC Resonance inayoifananisha symptoms hizo itadhibiti nguvu za mwili. Mgonjwa aweze endea vizuri au kupona kabisa.kwa magonjwa sugu kama:- ukimwi, magonjwa ya zinaa; chukua dosi kila siku-555. Ikiwa dosi moja haitoshi ongeza iwe mbili. 10
Mahala pa kuanzia Saa zingine mtu anaweza kuwa na magonjwa mawili au mengi. symptoms hizo za magonjwa Sugu hushinda magonjwa madogo.si vizuri kutumia PC Resonances mbili mara moja maana Itakuwa shida kubaini madhara. Sheria kuu ni ya kuanza matibabu ya hali sugu, lile linalokuangalia kwa uso,kwa mfano;kwa msichana alite na virusi na amenajisiwa, utaanza na mshtuko wa kunajisiwa kasha uelekee kutibu Sheria ya pili ni kuwa hali iliyo karibu na na PC Resonances kwa hali sugu kwa mfano; mgonjwa aliye na ukimwi na kifua kikuu: symptoms za kifua kikuu hukabili ya ukimwi. Tumia PC1 kwa ukimwi,kwa mfano;za mwili kukinga kifua kikuu vyema.pc1 ni tiba ya kifua kikuu na ukimwi. Sheria nyingine ni kuwa mgonjwa huumia kutokana na hali mbili, ukianza kutibu lile la karibu na pia la zamani.kwa mfano; msichana wa miaka16 ambaye alinunuliwa akiwa mototo na pia ana ugonjwa wa zinaa utaanza na maadhara ya ugonjwa wa zinaa ndio ndio ufuatilie shida la pili. Waweza kuchanganya PC Resonances kwa kupeana moja asubuhi na nyingine jioni.lakini kupata picha ni vizuri kutumia moja. Jinsi ya kutibu ukimwi Ukimwi ni kati ya janga mojawapo sugu hapa Afrika.Limepewa kipao mbele,matumizi ya ARVs ndio kuu humu Afrika.Mgonjwa huwekwa kwenye ARVs kulingana na nguvu za mwili wake kukinga ugonjwa (CD4). Mtu mzima ana CD4 karibu 1,000 au zaidi.kwa mtu aliye na virusi CD4 uhushuka kila mwaka karibu 50;mwanzo mtu upata homa.baada ya kupoteza CD4 mwili huangukiwa na magonjwa,bacteria na virusi. PC1 imetengenezwa kuongeza mwili nguvu laweza kupewa mtu katika fesi yoyote.halina madhara.kutokana na tofauti za kijinsia,nafasi,mawazo na hata ujira dawa tofauti ni za kwa wake na waume.pc1af ni ya wake na PC1AM ni ya waume. 11
Maambukizi madogo Ikiwa mgonjwa ameambukizwa kutokana na unajisi au mapenzi ya kiholela si rahisi kupata jibu ukienda hospitalini. Anafaa kwenda hospitalini ili apewe ARVs ama PC1 hadi apimwe tena;likizidi aendelee na PC1 kila siku.hadi symptoms`` zipotee:wiki sita ndio virusi zaweza onekana. Pre-Aids Stage Waweza kupewa PC1 hata katika steji zake za mapema.hata iwe mgonjwa haonyeshi kuwa na virusi,pc1 urudisha nguvu zilizopotea.pc1 haitibu mbali uongeza mtu nguvu dhidi ya magonjwa:haimkingi mtu kutoambukizwa.lishe bora na afya nzuri ni lazima.arvs ina madhara mengi kuliko PC1. PC1 hupewa kulingana na CD4 na kuacha mapenzi ya kiholela.ni vizuri kupima CD4 kila miezi mitatu, kwa kawaida chupa la PC1 linakaa miezi 2-3. Ukimwi (AIDS) ARVs hurudisha uzito wa virusi mwilini chini lakini haipi mwili nguvu ya kujikinga dhidi ya magonjwa; ina sumu kidogo ambayo huua nguvu hii.kwa hivyo,ni vyema kutumia PC1 na ARVs kwa pamoja.pc1 itadhibiti nguvu na pia kumaliza madhara inayoletwa na ARVs.Ikiwa madhara bado yapo;tumia ARVs,PC1 na HAART(pc50la).Ni vizuri kutumia PC1 na PC HAART kwa wakati tofauti.mtu hafai kuacha dawa(arvs) hata kama anahisi vizuri.waweza kunywa PC1 miezi 2-3 baada ya miezi sita; lakini waweza rudia ikiwa CD4 inashuka.pc1 na ARVs hazimalizi virusi mwilini kabisa.kila binadamu ana virusi na bacteria mwilini. Steji ya mwisho ya ukimwi Likianzishwa kwa steji hii ya ukimwi, ARVs haziokoi mtu, sawa na PC1. Lakini PC1 na ARVs zikijumlishwa zaweza kumsaidia mgonjwa. Tumia PC1 hata kama mgonjwa ako karibu kufariki. 12
Ukimwi na Kifua Kikuu Wagonjwa wa ukimwi wengi wana kifua kikuu. ARVs haziwezi kutibu na kifua kikuu. Tiba la Kifua kikuu ya hospitali baada ya miezi sita. Hata hivyo kifua kikuu hakina tiba halisi kwa maana zimeibuka. Matumizi ya PC1 kwa Ukimwi na PC 300t ya Kifua Kikuu hazileti shida. Ikiwa ana madawa ya kifua kikuu mpe PC Tuberculosis (PC 300t), meza mara moja asubuhi kila siku 555. Ikiwa symptoms zimepungua wacha matumizi ya dawa. Kila mara huwa wiki 4-8. Ukiwa na PC1 na PC300t huongeza mwili nguvu. Ukimwi na Malaria Ikiwa mgonjwa ana malaria anza na PC240m kwa malaria. Dosi: anza na tone 5 au Kijiko kimoja baada ya dakika 30 na kupunguza unapohisi vizuri. Tumia PC1, 555 mtindo kila siku. Ukimwi na Unajisi Mtu akinajisiwa karibuni akiwa hana virusi na mnajisi, ana virusi muone daktari. Mshtuko kuu ni juu ya unajisi. Anza na PC435p kwa unajisi, baada ya kila saa weka tone tano au kijijo kimoja. Mshtuko huu ukiisha anza sasa na virusi tumia PC435p boza na pc1 na urudie mara tatu kila siku. Ukipimwa utoke bila wacha dawa, ikiwa unayo endelea na dawa. Ukimwi na mayatima Kuwapoteza wapendwa ni jambo la huzuni na huleta mshtuko kwa watoto wakipoteza wazazi; kwani wanahitaji mapenzi. Mshtuko huu hutibiwa na PC309d dosi moja kila siku ama homeopathic Ignatia au Nattrum muriaticum Tumia sheria ya malaria na kifua kikuu kwa kutibu herpes. 13
Matano Makuu Kwa magonjwa maambukizi Ukimwi kwa wake/waume Ugonjwa wa zinaa Hepatitis Isugu au dogo Malaria Kifua Kikuu PC1AF/AM PC 180g PC 19 li PC 240m PC 300t Tiba tangu Magonjwa maambukizi saa zingine huwa mwanzo wa magonjwa sugu au inayojirudia shida hizi hutibiwa na PC Resonance inayofaa ugonjwa huo. Mfano: Kutozaa / Utasa ama magonjwa ya mifuko na mipira kutokana na ugonjwa wa zinaa tibu ukitumia PC 180g. Uchovu sugu tangu malaria tumia PC 240m. Kohozi sugu kutokana na kifua kikuu tumia PC 300t. 14
Matibu ya kwanza kutibu mshtuko wa fikra dogo na PC Resonance Kila mara dosi ya Resonance hulingana na hali ya ugonjwa. Kwa mambo madogo kama ajali au kuchomeka utapewa dawa dakika 10-30. Akiendelea vizuri muda katika dosi inaongezwa Mfuatilio huu ni sawa homeopathic dawa za kutibu magonjwa madogo. Kutibu Mshtuko / fikra iliyopooza na PC Resonance Kwa madhara sugu ya mshtuko, za muda mrefu, kama ajali, unajisi, vita: utatumia 555 mtawalia kila siku. Mshtuko huu ni kule kuona picha za athari zilizokukumba na huwezi kuyabadili. Tumia PC Resonance lakini kama hakuna mabadiliko uache dawa. Matano Makuu kwa Mshtuko Kubadili wazazi Kuchomeka Vita, Ugali, mauaji Maumivu Unajisi PC309g PC10b PC 304x PC 201j PC 435p Matibabu Ya Homeopathy kiubinafsi ukitumia PC Resonances Kutumia PC Resonances inayofananisha kinacho sababisha maambukizi / fikra, yaweza tibu hali sugu ama kuzuia kajirudia. Shida zaweza kuwa za kifikra au kimwili. Za kifikra lakini ni kama zinazo sababishwa na kunajisiwa inayoleta shida za mipira au kuumwa na koo kulia kwingi. Hapa ndipo unafaa kutumia PC Resonance ukizingatia sheria ya ufanano. Lazima uwe homeopath aliyefunzwa; utibu maambukizi yasiyo na madhara, k.v kunona kutokana na miaka na tabia za lishe: waweza kupoteza mwili kwa kula vyakula visivyo na sukari au mahindi mengi. Utasa ni ugumu kwa wanawake hapa Afrika; ugonjwa wa zinaa umekithiri Afrika na haitibiwi kikamilifu. Madhara sugu husababisha utasa na kumaliza nguvu za kiume. Historia ya ugonjwa huu tibu kwa PC 180g, mara moja kila siku tone tano kwa wiki nne. 15
Matatu Makuu kwa Hali sugu Ugonjwa wa sukari Presha Utasa PC 158n PC 423z PC 180g Siyo kwa Matibabu ya Hospitali Pekee. Kando ya Resonance kwa ugonjwa au mshtuko ni maalum kuzingatia hali ya uponyaji. Ni vyema kujua vikatalishi kwa hali au kesi ya kuhofia, muite daktari. Wagonjwa wanahitaji mapenzi bila ubaguzi kwa wanaomchunga. Wagonjwa wapewe nyumba nzuri, malezi mema, maji masafi, usafi. Lishe bora ni ya maana kwa wagonjwa. Wagonjwa waliozorota hawawezi kula chakula cha kawaida; uwape chakula maalum kama uji n.k. Wagonjwa wanywe maji mengi, haswa walio poteza maji kwa kuhara, kutapika na homa au joto. Mgonjwa ambaye ameshindwa kunywa chochote mpe cocacola. Kwa magonjwa maambukizi aliyenayo haifai kikombe, sahani kutumiwa na wengine. Lazima zioshwe kwa maji moto. Maambukizi madogo huleta joto jingi. Poesha mguu kwa kutoa soksi na kumwaga maji. Matakwa za watu kulingana na magonjwa sugu na madogo litaasiria chakula au vinywaji mtu anayotumia. Fomu za kurekodi Fomu mbili tofauti ya kurekodi yaweza patikana kwenye appendix ama kwa kijisaduku,fomu moja ni ya wagonjwa wa ukimwi:la pili ni la kurekodi magonjwa mengine yote. Jinsi ya kupata PC Resonance Waweza kupata PC Resonance kutoka kwa ARHF ukitumia orodha ifuatayo ARHF Postbus 68 9750 AB Harren Netherlands Info @ ARHF.nl www.arhf.nl 16
PC Resonances zinazopatikana kwa ncha zinazokuwa Magonjwa maambukizi Ukimwi kwa wanawake Ukimwi kwa wanaume Bilharzia Bubonic plague Chagas disease Kolera Dengue fever Diarrhoea in infant Gonorrhoea Hepatitis A Hepatitis B Hepatitis C Hepatitis all types Herpes type 1 & 2 Leprosy Malaria Rabies River blindness Salmonella enterits Scabies Sleeping sickness Syphilis Tuberculosis Typhoid fever Yellow fever PC1 AM PC1 AF PC132d PC131c PC148k PC141p PC153g PC152f PC180g PC198n PC1199p PC2190q PC191j PC192j PC230l PC240m PC282t PC253r PC184k PC290s PC321g PC293v PC300t PC 302v PC 350y Mshtuko / Fikra Abscess, Septic wound Adoption trauma Birth trauma 17 PC 401a PC 309g PC 308c
Burns Caesarean birth trauma Food poisoning Genocide / war trauma Grief trauma, long lasting Heart for side effects Injury Kwashiorkor / marasmus Natural catastrophe trauma Rape Sexual abuse trauma Shock trauma Snake bite Torture trauma Jamaa ambao hawakuzikwa Vaccination & PVS Wounds from bites PC 10b PC 314h PC 404d PC 304x PC 434n PC 501a PC 201j PC 220k PC 305z PC 435p PC 435p PC 11c PC 295x PC 311f PC 315k PC 320v PC 282t Magonjwa sugu Magonjwa ya sukari Presha Utasa PC 158n PC 423z PC 180g *Kilicho ndani ya Amma4Africa kit Other PC Resonances can be ordered by contacting info@arhf.nl or ordered directly at www.helios.co.uk Aliyetafsiri ni: Gordon Nyabade & Betty Ngode 18