Deputy Minister for Finance

Similar documents
GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23)

GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23)

Govt increases vetting threshold of contracts

In the matter of an Application by the KIGOMA URBAN WATER SUPPLY AND SEWERAGE AUTHORITY (KUWASA) For a Tariff and Charges Adjustment

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA NISHATI NA MADINI

In the matter of Application by the TANGA URBAN WATER SUPPLY AND SEWERAGE AUTHORITY (TANGA UWASA) For a Multi-Year Tariff Adjustment

Information for assessors (do not distribute this page to participants):

TANZANIA MARKETS PAN Sera zinazoboresha masoko

MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI KWA MWAKA 2017/18

Azimio la Umoja wa Mataifa Kuhusu Watetezi wa Haki za Binadamu

Miradi na jamii. 3.1 Utangulizi

Misamaha ya kodi Tanzania: Je, ni mikubwa sana na kutufanya tuwe tegemezi kwa misaada?

ORDER NO BACKGROUND

The Government is committed to improve marine transport and has a number

Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi (MMEM) Muhtasari Rakesh Rajani na George Omondi

TAARIFA FUPI KUHUSU SERA YA TAIFA YA ELIMU

HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA MHESHIMIWA DKT

RIPOTI YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA. Ifahamu Sekta ya Viwanda Vidogo na Biashara Ndogo. TOLEO Na.

SERA & TARATIBU YA YALE NEW HAVEN HEALTH

KUHUSU AFRODAD. Dira ya AFRODAD. Dhamira ya AFRODAD. AFRODAD inalenga mchakato sawa na endelevu wa maendeleo kuelekea Afrika yenye mafanikio.

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO

MWONGOZO WA UTUNGAJI WA SHERIA NDOGO NA USHIRIKI WA WANANCHI

MAKUBALIANO YA 2005 YA ULINZI NA UKUZAJI WA VIELELEZO VYA TAMADUNI ANUWAI

Mheshimiwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame M. Mbarawa (Mb.); Waheshimiwa Mawaziri na Wabunge wote mliohudhuria;

MKAKATI ATHARI YA MAZINGIRA NA KIJAMII YA KAZI YA PRO-ROUTES. Ombi kwa ajili ya fedha za umma wa mradi wa ziada

HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, MHESHIMIWA DKT. PHILIP I. MPANGO (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA SERIKALI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO

ATHARI ZA MABADILIKO YA TABIANCHI KWA UCHUMI WA ZANZIBAR

Songa kwenye kilele cha upeo. Masuala ya Msingi na Ujuzi juu ya Uendeshaji wa Serikali za Mitaa

TANZANIA OSAKA ALUMNI. Kitabu cha Mbinu Bora

Programu ya Uendelezaji Mifumo ya Maji Vijijini (PUMMV) katika Tanzania. Modeli wa Ukodishaji Mradi

Kubadili Sheria Za Mbegu Na Ulinzi Wa Aina Za Mbegu Na Mimea Nchini Tanzania

Mwongozo kwa Lugha Rahisi wa Sera ya Maendeleo ya Ushirika na Sheria ya Vyama vya Ushirika Tanzania Bara

Kuuelewa Mchakato wa Bajeti Tanzania Mwongozo wa Asasi za Kiraia

NGUZO KUMI ZA KILIMO KWANZA

UTANGULIZI ANUANI NA MANDHARI YA CHUO

JAMHURI YA KENYA. Mkakati wa Ushirikiano MUKHTASARI FY Public Disclosure Authorized. Public Disclosure Authorized

TAFSIRI RAHISI YA MPANGO WA MAENDELEO YA AFYA YA MSINGI (MMAM)

HOTUBA YA WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU: KAZI, AJIRA, VIJANA NA WENYE ULEMAVU MHE

Taarifa Kuhusu Hali ya Uchumi wa Tanzania

USIMAMIZI MKUU WA UBORA WA MAHURUJI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA FEDHA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO

KAMATI ZA KUDHIBITI UKIMWI NCHINI TANZANIA

UNACHOHITAJI KUJUA KUHUSU VIKWAZO VYA KULINDA MAISHA KATIKA USAIDIZI WA KIMATAIFA WA AFYA KWA MSAADA WA KIMATAIFA UNAOFADHILIWA NA MAREKANI

MAADHIMISHO YA MIAKA 15 YA FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY

Jifunze kusimamia pesa zako nchini Uskoti

3. Mheshimiwa Spika, 4. Mheshimiwa Spika,

Mwongozo wa Kutathimini mifumo ya Ugawanaji wa faida na Mapato Katika Miradi ya Jamii ya MKUHUMI

Ripoti ya Mwaka ya Utekelezaji wa MKUKUTA 2006/07

DIRA DHIMA. Kuendeleza, kuwezesha, kudhibiti na kusimamia matumizi endelevu ya Rasilimali za Nishati na Madini kwa manufaa ya Watanzania.

KIMAZINGIRA NA KIJAMII NA MPANGO WA UDHIBITI

Dibaji ya Mwenyekiti wa Kamati ya Pamoja ya Uongozi

Uzio wa pilipili unazuia tembo kuvamia mazao shambani! Jinsi ya kujenga na kudumisha uzio wa pilipili Tanzania

Huduma kwa wateja kupitia barua pepe na ujumbe mfupi Fig

RIPOTI YA WARSHA KUHUSU HABARI KWA AJILI YA UWAJIBIKAJI

Mwongozo wa Utekelezaji wa Njia za S5-UUE (KAIZEN)-UUU Tanzania

Ripoti Fupi ya Nchi kuhusu Kazi Zenye Staha TANZANIA (bara)

HAKI NA TARATIBU ZA AJIRA, KAZI NA HIFADHI YA JAMII

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA ELIMU SAYANSI TEKNOLOJIA NA UFUNDI MTAALA WA ELIMUMSINGI DARASA LA I NA LA II

4. Kanuni za Petroli (Ushiriki wa Watanzania) za mwaka 2017 zilianza kutumika rasmi tarehe 5 Novermba Shughuli za Petroli za kwanza ni

Utumiaji Wa Kiswahili Na Lugha Za Jamii Kijinsia Nchini Tanzania Y.P. MSANJILA University of Dar-es-Salaam, Tanzania

Dodoma ambako kikao cha Bunge kinaendelea kuja kushiriki japo sehemu ya uzinduzi wa mkutano.

Human Rights Are Universal And Yet...

MATUMIZI YA FACEBOOK KWA BIASHARA. Kwa Wanaoanza

HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA BENJAMIN WILLIAM MKAPA,KWA WANANCHI, 30 SEPTEMBA, 2001

Mradi wa Usimamizi Endelevu wa Rasilimali ya Madini Ukanda

TAMKO LA JUKWAA LA HAKI ZA WATOTO (TCRF) KUHUSU HAKI ZA WATOTO KATIKA KATIBA MPYA

UFUATILIAJI WA MIRADI NA TATHMINI

JHSPH MAADILI YA KUFANYA UTAFITI WA MASUALA YA BINAADAMU MUONGOZO WA MAFUNZO YA UTAFITI

MALENGO YA MAENDELEO ENDELEVU

Elimu ya Msingi inaelekea Upande Sahihi? Kufikiri na Nyerere Rakesh Rajani

Ufanisi katika Ufundishaji kwenye Shule za Msingi na Sekondari nchini Tanzania

Nilikua na Ndoto ya Kumaliza Shule Changamoto za Elimu ya Sekondari Tanzania

Kutetea Haki za Binadamu

HOTUBA YA WAZIRI WA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA MHESHIMIWA DKT

TANGA CEMENT PLC ANNUAL REPORT TAARIFA YA MWAKA.

Kufafanua Upya Elimu Bora Tanzania: Kutoka Zana za Dufundishia mpaka Uwezo wa Wanafunzi 1 Oktoba 2007

Azimio lililopitishwa na Mkutano Mkuu tarehe 18 Desemba 2013 [juu ya taarifa ya Kamati ya Tatu (A/68/456/Add.2)]

UKUZAJI WA ASALI AFRICA (HONEY CARE AFRICA)

TAARIFA YA MWAKA YA UTENDAJI KAZI IDARA YA UTAWALA BORA 2013/2014

BUNGE LA TANZANIA MKUTANO WA NANE. Kikao cha Ishirini na Nane Tarehe 16 Julai, (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A

EWURA scoops the highest rank in Africa s regulatory dispensation

RIPOTI YA KAMATI TEULE YA KUCHUNGUZA UPOTEVU WA NYARAKA ULIOTOKEA KATIKA TAASISI YA NYARAKA NA KUMBUKUMBU ZA TAIFA ZANZIBAR.

Draft 03 MWENGE KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO MWENGE

TANZANIA TAARIFA YA MWISHO WA UTEKELEZAJI

Mipango ya miradi katika udugu

Upande 1.0 Bajeti yako

BUNGE LA TANZANIA MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA SABA. Kikao cha Thelathini na Tisa Tarehe 1 Juni, (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A

Na Kituo cha Msaada wa Kisheria kwa Wanawake Toleola4

5. Mheshimiwa Spika, Bunge lako Tukufu lilijadili kwa kina Miswada ifuatayo:

Mwongozo wa Jamii juu ya Afya ya Mazingira

BUNGE LA TANZANIA MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA SABA. Kikao cha Saba Tarehe 13 Aprili, (Bunge Lilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A

SautiElimu. Sauti Yako Isikike

Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA KUMI NA TISA. Kikao cha Pili - Tarehe 14 Aprili, 2010

UNIVERSITY OF CAMBRIDGE INTERNATIONAL EXAMINATIONS General Certificate of Education Ordinary Level. SWAHILI 3162/01 Paper 1 May/June 2013

3 FEBRUARI, 2015 BUNGE LA TANZANIA MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA KUMI NA NANE. Kikao cha Saba - Tarehe 3 Februari, 2015

ONDOA MADINI YA RISASI KATIKA RANGI: LINDA AFYA YA WATOTO

HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA BENJAMIN WILLIAM MKAPA, KWA WANANCHI, TAREHE 31 JULAI 2001

Transcription:

ISSN: 1821-6021 Vol XI - No - 34 DID YOU KNOW? A procuring entity is?s required to use suppliers pliers?pliers?pliers?pliers among those awarded ed?ed?ed?ed framework agreements by GPSA for procurement?ents of common use items in the region where they are registered. Number of days after completion of the contract, within which a procuring entity is required to submit its contract implementation report to PPRA Inside 21 Procurement Opportunities TBA must enable Govt attain value for money in projects Cont...Pg 2 Mpanda council s tender award proposal for pump, solar power proper By TPJ Reporter Deputy Minister for Finance and Planning, Dr. Ashatu Kijaji, listens to Kasulu Town Director, Ms Fatina Hussein Laay (left), during inspection tour of the project. Others are officials from Kasulu Town Council. The Public Procurement Appeals Authority (PPAA) has ruled that the proposal to award contract in the Mpanda District Council tender for supply and installation of pump and solar power plant at Mwese Village was proper and that it should stand. The proposal had been challenged by Ensol Tanzania Limited, the bidder who had been disqualified by the council on the grounds that he had tendered a bidding document that had been altered and made different to the one issued by the entity regarding the bills of quantity. However, the appellant went to PAA with an allegation that the award proposal was flawed since the proposed winner did not submit bid security, thereby failing to meet tender requirements an act which, according to him, should have forced the council to disqualify the bidder. The appellant also claimed that being the only one who met the requirement on bid security he should have been picked as the winner. Mpanda District Council, on its part, countered the arguments By TPJ Reporter Deputy Minister for Finance and Planning Ashatu Kijaji has stressed to Tanzania Buildings Agency (TBA) that it must always strive to implement projects in a manner that would ensure Government attains value for money, TPJ has learnt. This was the message in the remarks Dr. Kijaji made when she was touring to assess progress on the construction of the Kasulu Town Council office, which is being implemented by TBA. The deputy minister was compelled to stress the matter after establishing that completion of the project was 12 months behind schedule despite the fact by first stating that the appellant s disqualification was proper according to procurement law, given that he had altered his tendering document, making it different to the one they had issued a statement which PPAA accepted as fact, observing that it was sufficient to prompt disqualification. Furthermore, the council countered the appellant s argument on bid security by stating that they waived that requirement and instead considered the tender securing declaration, an act which according to them - was allowed as per the instructions. With regards to the allegation that the award proposal was flawed since the proposed winner - unlike the appellant - had not submitted bid security, the Appeals Authority ruled that the allegation was devoid of merit as it would have been impossible for the council to compare the two bids because, at that stage, the latter had already been rejected and that therefore the proposed award stood unchallenged. Consequently, the Appeals Authority dismissed the appeal for lack of merits, declared that the award proposal was valid and ordered both parties to bear their own costs. 3-4 5 Awarded 6-8 GPNs Contracts

2 Govt directs TBA... From...Pg 1 that the Government, which is financing the works to the tune of more than TZS 2.5bn/-, had already disbursed the funds. She went further and advised the agency to increase the number of personnel capable of supervising all the projects they were implementing in order to complete them in time, if that was what it would take. She told TBA: We have the money [and it is] your responsibility to make sure we get value for money in our projects, she said. On learning that the project was struggling to recruit skilled artisans and labourers in the area, Dr. Kijaji called upon the residents of Kigoma Region to grab opportunities brought about by various projects being implemented by the Government, whose aim is to improve the economic wellbeing of citizens. In [the Government s] state of the economy report for the first year, we cited a research which showed Kigoma as among regions that lagged behind and this prompted the Government to deliberately give the region priority in development projects in order to uplift the standard of its people, she said. The deputy minister was in the region to inspect progress on various projects that are being financed by the Government. TAARIFA KATIKA TARAKIMU 21 Idadi ya siku baada ya kukamilika kwa mkataba, ambapo taasisi nunuzi inatakiwa kuwasilisha PPRA ripoti ya utekelezaji mkataba Je Wajua?? Taasisi nunuzi inatakiwa kutumia wazabuni wa ndani ya mkoa na wenye mikataba maalum ya GPSA ya vifaa na huduma mtambuka. Makala Sheria ya ununuzi wa umma inavyosaidia dhamira ya Tanzania ya viwanda - 2 Na Lugano Mwakyonya Katika toleo la tarehe 14/08/2018 tulichapisha makala iliyokuwa inasomeka Sheria ya ununuzi wa umma inavyosaidia dhamira ya Tanzania ya viwanda, makala ya leo katika toleo ni hitimisho la makala iliyopita. Faida ya Serikali na taasisi zake kununua kutoka kwa wazalishaji wa ndani 1: Kuongezeka kwa uzalishaji kutokana na kuongezeka kwa mahitaji sokoni; mahitaji yakiongezeka ni wazi kuwa watu wengi zaidi wataingia katika uzalishaji wa bidhaa au huduma hizo. Kwa mfano, ikiwa Serikali itafanya maboresho ya Sheria ya Ununuzi kwa kuweka kipengele cha asilimia fulani ya ununuzi wote wa taasisi za umma kuwa ni bidhaa zilizozalishwa ndani ya nchi, wajasiriamali wengi zaidi watapata ajira na watu wengi wataingia katika mzunguko wa biashara na ubunifu. Utafiti uliofanywa na taasisi ya ubunifu ya Manchester mwaka 2011 ulionyesha ya kuwa kampuni za ndani zikipata mikataba ya kutoa huduma au kusambaza bidhaa zinazotaka ubunifu kwa taasisi moja ya umma, asilimia 80 kati ya kampuni hizo hushinda mikataba ya kusamabaza bidha na huduma kwa taasisi nyingine za umma, asilimia 55 ya mauzo hupatikana kwa watu na kampuni binafsi na karibu asilimia 30 huanza kuongeza mauzo ya nje. 2: Imani kwa taasisi za fedha kuongezeka; taasisi za kifedha zinakua na imani kubwa na kuweza kutoa mikopo kwa wazalishaji mbalimbali kwa imani ya kuwa marejesho yatafanyika kwa wakati kwa kuwa bidhaa zinazozalishwa zina soko la uhakika.kwa kawaida msingi wa mkopo wowote ni uwezo wa mkopaji kufanya marejesho stahiki na kwa wakati sahihi. 3: Kuongezeka tija; kuongezeka kwa mahitaji kunaongeza ufanisi wa uzalishaji na ubora wa bidhaa. Mfano, ikiwa karibu shilingi trilioni nne zitaingizwa kwenye mahitaji ya bidhaa za ndani, ni wazi kuwa wajasiriamali wengi zaidi na wenye uwezo mkubwa zaidi wataingia katika uzalishaji na ubunifu utaongezeka na mwisho bidhaa bora zaidi zitazalishwa na maisha ya watanzania yatakuwa bora zaidi. 4: Kupungua kwa bei za bidhaa na huduma; wajasiriamali wengi zaidi wakiingia katika uzalishaji, bidhaa nyingi zaidi zitazalishwa na bei ya bidhaa itaanza kupungua taratibu mpaka pale itakapofanana na usambazaji. Mfano, wajasiriamali wengi zaidi wakiingia katika kutengeneza samani kama Keko Furniture, Magereza, Suma JKT na wengine wengi mwanzoni bei itakuwa kubwa na kadiri wazalishaji wengi zaidi wakianza kuingia bei inaanza kupungua mpaka sehemu fulani ambapo uhitaji na usambazaji utakapowiana. Hii inatokana na dhana ya soko kuamua bei kulingana na mahitaji na uzalishaji uliopo (Demand and Supply). Uhusiano wa Sheria ya Ununuzi wa Umma na Tanzania ya viwanda SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA UJENZI VIFAA HUDUMA USHAURI ELEKEZI MKAKATI WA KUNUNUA BIDHAA ZILIZOZALISHWA NDANI TANZANIA YA VIWANDA Mikakati ya kutumia bidhaa za ndani ikiwekwa kwa kuboresha Sheria ya Ununuzi Umma itakuwa chachu ya matokeo chanya katika kufanikisha Tanzania ya viwanda

3 This section provides summaries of open tender opportunities in Procuring Entities (PEs). More details of the tenders may be found on PPRA website www.ppra.go.tz. Prospective bidders are required to confirm the information provided hereunder or seek further details from respective PEs. GOODS Entity: ATCL Tender No: PA/100/2018/19/HQ/G/02 Tender Name: Supply of In - Flight Catering Services Consumables Price of Bid Document: TZS.100,000 Administration Block, First Floor, Julius Nyerere International Airport, Terminal I, P.O.Box 543, Dar es Salaam Deadline: 28 th August 2018, 14:00 HRS Entity: Tanesco - Tabora Tender No: PA/001/ 2018-19/WZN/G/ 26 Tender Name: Supply of Wooden Poles in Lot 1: Tabora Lot 2: Shinyanga Lot 3: Kigoma Lot 4: Katavi. Tanesco, P.O. Box 8, Tabora Deadline: 4 th September 2018, 14:30 HRS Entity: Rombo District Council Tender No: LGA/044/ HQ/2018/19/G/27 Tender Name: Supply of Weight Bridge Scale and Installation at Holili in Rombo DC Rombo District Council, P.O. Box 52, Rombo Deadline: 27 th August 2018, 11:00 HRS Entity: NSSF Tender No: PA/004/2017-18/ HQ/G/13 Tender Name: Supply of Network Equipment Procurement Opportunities NSSF, P.O. Box 1322, Dar es Salaam Deadline: To Be Shown in the Tender Document Entity: Ministry of Natural Resources and Tourism Tender No: ME/018/2018-19/ TDL/G/06/01 Tender Name: Supply, Installation and Commissioning o ICT Equipment for Production and Disaster Recovery Sites Ministry of Natural Resources and Tourism, P.O. Box 1351, Dar es Salaam Deadline: 04 th September 2018, 10:00 HRS Entity: Tarura - HQ Tender No: AE/092/2018/19/HQ/G/09 Tender Name: Supply of Office Furniture Tarura - HQ, PSPF Plaza, 8 th Floor UDOM Road, P. O. Box 11042, Dodoma Deadline: 04 th September 2018, 11:00 HRS Entity: Tarura - HQ Tender No: AE/092/2018/19/HQ/G/11 Tender Name: Supply and Fixing of Fabric Roller Shade Blind Curtain Complete Tarura - HQ, PSPF Plaza, 8 th Floor UDOM Road, P. O. Box 11042, Dodoma Deadline: 04 th September 2018, 11:00 HRS Entity: Ministry of Water and Irrigation Tender No: ME/011/2018-19/G/24 Tender Name: Supply of Lot 1: Water User Associations Safety Gears Lot 2: Communication Equipment Lot 3: Hand Working Tools Lot 4: Office Equipment Ministry of Water and Irrigation, P.O. Box 456, Dodoma Deadline: 28 th August 2018, 11:00 HRS Entity: Tanesco Tender No: PA/001/ 2018-19/ WZN/G/ 26 Tender Name: Supply of Wooden Poles Lot 1: Tabora Lot 2: Shinyanga Lot 3: Kigoma Lot 4: Katavi. Tanesco-Mwanza, P.O. Box 812 Mwanza Deadline: 04 th September 2018, 14:30 HRS Entity: TBA Tender No: AE/012/2018-19/ HQ/G/39 Tender Name: Supply and Installation of Computers, Servers, Printers and Internet Modems to Facil itate Operations of Epicor 10.1 in 26 TBA Regional Offices Tanzania Buildings Agency, P. O. Box 9542, Dar es Salaam Deadline: 31 st August 2018, 14:00 HRS Entity: Benjamin Mkapa Hospital Tender No: PA/148/2018-19/G/06 Tender Name: Supply, Installation and Commissioning, Training of Mortuary Equipments Benjamin Mkapa Hospital, P.O. Box 11088, Dodoma Deadline: 03 rd September 2018, 10:00 HRS Entity: TBS Tender No: PA/044/2018-19/HQ/ G/06-07 Tender Name: Supply of Tender 06: Office Stationery Tender 07: Cartridges and Tonners Price of Bid Document: TZS. 60,000 TBS, P.O. Box 9524, Dar es Salaam, Deadline: 31 st August 2018, 10:00 HRS Entity: MSD Tender No: IE-009/2018/19/HQ/G/50 Tender Name: Supply of ENT Consumable and Instruments and Manufactures Using Frame Work Agreements Price of Bid Document: USD. 50 Eligible Firms: International Method of Procurement: ICB MSD, P.O. Box 9081, Dar es Salaam Deadline: 14 th September 2018, 10:00 HRS WORKS Entity: Busokela District Council Tender No: LGA/157/W/2017-18/15 Tender Name: Construction of Water Projects in Lot 1: Mpata. Lot 2: Kanyelele Busokela District Council, P.O. Box 2, Tukuyu Deadline: 24 th August 2018, 10:00 HRS Cont...Pg 4

4 Editorial Board Chairman Eng. Awadhi Suluo Vice Chairman Mr. Yoswam Nyongera Members Qs. Bertha Ruteganywa Mr. Paul Bilabaye Adv. Daudi Momburi Mr. Nicodemus Ikonko Secretary Mr. Nelson Kessy Editor Eng. Nestor Ilahuka Contacts Public Procurement Regulatory Authority (PPRA), PPF Tower, 8th Floor, P.O. Box 49, Dar es Saalam. Tanzania Tel: +255 22 2121236; Fax: +255 22 2121238; email: ceo@ppra.go.tz; Website: www.ppra.go.tz The Editorial Board of TPJ wishes to invite from the general public, procurement related news and articles for publication in the Journal. The invited articles could be either in English or Kiswahili. Please submit the article through the following emails address:ebtechnical@ppra.go.tz The Editorial Board reserves the right to approve articles for publication in TPJ. Taasisi zinazoanzisha miradi yenye kuanzia thamani ya shilingi bilioni 5 zinatakiwa kuwasilisha PPRA mpango wa ununuzi wa miradi hiyo kwa mujibu wa waraka wa Hazina wa Mwaka 2017 Procurement Opportunities Entity: ATCL Tender No: PA/100/2018-19/HQ/W/02 Ubungo Plaza Limited, Tender Name: Proposed Major P.O. Box 55613, Dar es Salaam Renovation of Dodoma Station Deadline: 29 th August 2018, 14:00 HRS Office at Dodoma City Entity: TRA Price of Bid Document: N/A Tender No: AE/023/2017-18/ HQ/N/74 Tender Name: Provision Auctioneer ATCL, ing, Distract Agency and Court P.O.Box 543, ATC House, Brokerage Services in Various Junction of Ohio Street/Garden Regions Avenue/Pamba Road, Ilala- Dar es Salaam Price of Bid Document: TZS. 50,000 Deadline: 04 th September 2018, 14:00 HRS Entity: Sumbawanga Urban Water TRA, Supplya and Sanitation 28 Edward Sokoine Authority Drive,11105 Mchafukoge, Tender No: MPN/WSSA/2018/19/ Ilala CBD, P.O.Box 11491, GT/W/01 Lot 1-3 Dar es salaam Tender Name: Construction of water Deadline: 28 th August 2018, 10:00 HRS gravity mains at Mpanda Town Katavi Region Entity: Tanzania Library Services Lot 1: Supply of Pipes and Construc Board tion of Ikolongo II Gravity Tender No: PA/046/18-19/NC/21 main from Intake to Tender Name: Provision of Students Mapinduzi hill Hostel Services at Slads Lot 2: Construction of water tank Bagamoyo 1,000m3, House Guards and supply of pipes and constru Price of Bid Document: TZS. 200,000 Tanzania Library Services Board, P.O. Box 9283, Dar es Salaam Sumbawanga Urban Water Deadline: 29 th August 2018, 10:00 HRS Supply and Sanitation Authority, P.O.Box 192, Entity: Tanesco Sumbawanga Tender No: PA/001/2018-19/ Deadline: 3 rd September 2018, 10:00 HRS LZN/N/07 CONSULTANCY Entity: Ubungo Plaza Ltd Tender No: PA/114/HQ/2018-19/ NC/06 Tender Name: Provision of Preventive Maintenance and Repair Services of Plumbing System and Equipment at Ubungo Plaza Building Price of Bid Document: TZS. 50,000 Tender Name: Provision of Services for Cleaning and Gardening at Lake Zone Regions of Mwanza, Simiyu, Mara, Kagera and Geita regions and 60MW Nyakato Power Plant Tanesco- Mwanza, P.O. Box 812 Mwanza Deadline: 29 th August 2018, 14:30 HRS NON-CONSULTANCY Entity: Ubungo Plaza Ltd Tender No: PA/114/HQ/2018-19/ NC/06 Tender Name: Provision of Preventive Maintenance and Repair Services of Plumbing System and Equipment at ubungo Plaza Building Price of Bid Document: TZS. 50,000 Ubungo Plaza Limited, P.O. Box 55613, Dar es Salaam Deadline: 29 th August 2018, 14:00 HRS Entity: TRA Tender No: AE/023/2017-18/ HQ/N/74 Tender Name: Provision Auctioneer ing, Distract Agency and Court Brokerage Services in Various Regions Price of Bid Document: TZS. 50,000 TRA, 28 Edward Sokoine Drive,11105 Mchafukoge, Ilala CBD, P.O.Box 11491, Dar es salaam Deadline: 28 th August 2018, 10:00 HRS Entity: Tanesco Tender No: PA/001/2018-19/ LZN/N/07 Tender Name: Provision of Services for Cleaning and Gardening at Lake Zone Regions of Mwanza, Simiyu, Mara, Kagera and Geita regions and 60MW Nyakato Power Plant Tanesco- Mwanza, P.O. Box 812, Mwanza Deadline: 29th August 2018, 14:30 HRS

5 PLANNED PROCUREMENT FOR FINANCIAL YEAR 2018/19 - SUMMARY FORM & PUBLIC NOTICE Iringa District Council 1 Goods 25 3,197,182,270 2 Works 9 803,076,660 3 Consultancy Services - - 4 Non-Consultancy Services 6 246,919,160 40 4,247,178,090 Eastern Africa Statistical Training Centre 1 Goods 5 211,802,040 2 Works 1 53,275,000 3 Consultancy Services 1 3,500,000 4 Non-Consultancy Services 7 155,386,200 14 423,963,240 1 Goods 15 2,373,980,000 2 Works 1 35,000,000 3 Consultancy Services 10 937,740,000 4 Non-Consultancy Services 4 229,500,000 5 Disposal of Public Asset by Tender Nil 3,576,220,000 30 7,152,440,000 National Environment Management Council 1 Goods 12 2,481,017,100 2 Works 2 320,726,583 3 Non-Consultancy Services 8 1,637,470,060 Tanzania Commission for Universities 1 Goods 8 632,000,000 2 Works 1 100,000,000 3 Consultancy Services 1 60,000,000 4 Non-Consultancy Services 7 232,000,000 Fair Competition Commission 22 4,439,213,743 17 1,024,000,000 Dar es Salaam University College of Education 1 Goods 23 2,020,883,000 2 Works 4 1,887,000,000 3 Consultancy Services 2 176,250,000 4 Non-Consultancy Services 19 911,640,000 48 4,995,773,000 1 Goods 28 551,816,612,000 2 Works 4 30,000,000,000 3 Consultancy Services - - 4 Non-Consultancy Services 20 172,700,900,000 52 754,517,512,000 1 Goods 11 363,033,000 2 Works 30 13,792,993,000 3 Consultancy Services 2 225,714,000 4 Non-Consultancy Services 10 252,950,000 Geological Survey of Tanzania Tanroads - Simiyu 53 14,634,690,000 TAARIFA KWA UMMA Tunapenda kuwataarifu wadau wote wa (TPJ) kuwa kwa takribani miezi mitatu sasa Jarida hilo limekuwa halichapishwi na kusambazwa kupitia Gazeti la Daily News kama ilivyokuwa hapo awali kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu. Jarida hilo kwa sasa linaendelea kuchapishwa katika tovuti ya Mamlaka ambayo ni: www.ppra.go.tz Mamlaka inaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza. Imetolewa na; Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu

6 Procurement News Matumizi ya Force Account katika ujenzi na changamoto zake Na Dkt. Ramadhan Mlinga Mhadhiri, Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Katika siku za hivi karibuni, matumizi ya utaratibu wa Force Account yameongezeka sana hasa baada ya marekebisho ya Sheria ya Manunuzi ya umma ya Mwaka 2016 kuuingiza utaratibu huo wa manunuzi katika kifungu 64(5) cha Sheria ya Manunuzi ya Mwaka 2011 ikisomwa pamoja na marekebisho ya Sheria hiyo ya mwaka 2016. Pia Kifungu 64(6) cha Sheria hiyo kinatoa maana ya Force Account ambayo ni utaratibu wa Taasisi ya Umma kufanya ujenzi kwa kutumia wafanyakazi wake na mitambo yao wenyewe au kwa kushirikiana na Taasisi nyingne za umma au binafsi. Kifungu 64(5) cha Sheria kinaeleza mazingira ambayo Taasisi ya Umma inaweza kutumia utaratibu wa Force Account kama ifuatavyo: a) Kazi za ujenzi ni ndogo, zimetawanyika na ziko sehemu za pembezoni (vijijini) ambapo kampuni za ujenzi hazitavutiwa kuzifanya kazi hizo kwa bei inayoridhisha; b) Kazi za ujenzi zinatakiwa kufanyika bila kuathiri shughuli zingine zinazoendelea; na c) Kuna dharura ambayo inahitaji matangenezo ya haraka. Pia Kanuni 167(1) ya Kanuni za manunuzi ya umma za mwaka 2013 zikisomwa pamoja marekebisho yake ya mwaka 2016, pamoja na mazingira hayo yaliyotolewa na Sheria, imeongeza mazingira yafuatayo ambayo yanahalalisha matumizi ya Force Account: a) Hatari (risk) ya kuingiliana na kazi zinazoendelea ni bora ikabebwa na Taasisi ya Umma kuliko kubebwa na mkandarasi; b) Taasisi ya Umma ina wafanyakazi wenye ujuzi wa kusimamia na kutekeleza ujenzi; c) Ukarabati au ujenzi ni sehemu ya shughuli za kila siku za Taasisi ya Umma. Kama nilivyosema katika siku za karibuni kumekuwa na ongezeko la matumizi ya force account kwa baadhi ya Taasisi za Umma, hasa Halmashauri na Serikali za Mitaa. Swali la kujiuliza ni kuwa je matumizi ya utaratibu huo wa ujenzi yanatakelezwa kwa mujibu wa vifungu hivyo vya Sheria ya Manunuzi ya umma na kanuni Zake. Katika mada hii mimi nitajikita kwenye moja ya mazingira yanayohalalisha matumizi ya Force Account ambayo ni Taasisi ya Umma ina wafanyakazi wenye ujuzi wa kusimamia na kutekeleza ujenzi. Nimeamua kujikita kwenye eneo hili kwa vile ni eneo linalojielekeza kwenye maana ya utaratibu wa Force Account kama nilivyoueleza hapo juu Taasisi ya Umma kufanya ujenzi kwa kutumia wafanyakazi wake na mitambo yao wenyewe au kwa kushirikiana na Taasisi nyingine za umma au binafsi. Kwa hiyo swali la msingi la kujiuliza ni kuwa Je Taasisi ambazo zinatumia Force Account zina wafanyakazi wa kutosha na wenye ujuzi kusimamia na kutekeleza miradi ya ujenzi chini yao? Hili ni swali muhimu kujibiwa kwani ndio msingi wa kujua kuwa kazi hizo zitatekelezwa au zitatekelezwa kwa kiwango gani cha ufanisi. Labda kwa faida ya wasomaji wa makala hii nieleze baadhi ya Taasisi ambazo zimekuwa kwa muda mrefu zinatumia utaratibu wa Force Account kwenye ujenzi. TANESCO ni moja ya Taasisi kubwa za Umma ambapo utaratibu huo wa Force Account unatumika kwa kiasi kikubwa kwenye miradi ya kusambaza (distribution) umeme. Kitu cha kuzingatia kuhusu TANESCO ni kuwa wana vikosi kazi vinavyojumuisha wafanyakazi na magari maalumu kwa ajili ya kufanya kazi hizo, na jitihada zinafanywa kila mara kuviimarisha vikosi hivyo. Taasisi nyingine ni Shirika la Reli Tanzania, ambao nao wanafanya ukarabati wa reli kwa kutumia vikosi kazi vyao. Mimi mwenyewe nina uzoefu wa kutosha kuhusu matumizi Force Account katika ujenzi wa nyumba za kuishi za walimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Saam. Uzoefu huo niliupata nikiwa kama Msimamizi wa Mradi (Project Coordinator) wa Nyumba 40 za Walimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam mwaka 1994 hadi 1997.Mradi huo ulibuniwa mwanzoni wa Miaka ya 90 chini ya uongozi wa Rais Ali Hassan Mwinyi ili kukabiliana na uhaba wa nyumba za waalimu uliokuwepo chuoni wakati huo. Chini ya Mradi huo Wizara ya Sayansi na Elimu ya Juu ilitoa magari mawili kwa ajili ya kusomba vifaa muhimu vya ujenzi vikiwemo matofali ya kuchoma, Saruji, mchanga, kokoto, mawe, nondo, mbao n.k. Chuo kilikuwa na jukumu la kuchora ramani na kusimamia ujenzi wa nyumba kwa kutumia mafundi wenye ujuzi wa kujenga nyumba za matofali ya kuchoma waliopatikana kutoka Iringa na Songea. Mafundi waligawanywa kwenye vikosi viwili,kikosi cha Songea na cha Iringa, na kila kikosi walikuwa wanapewa ujenzi wa nyumba zao kwa mkataba wa ujenzi (labour only Contract). Kila Kikundi kilikuwa na msimamizi ambaye alikuwa Mkuu wa Kikundi na alikuwa ana jukumu la kupanga kazi za kila siku za kikundi chake na kuzisimamia kuhakikisha kuwa zinatekelezwa kwa ubora unaokubalika. Mimi kama Msimamizi, timu yangu ilijumuisha Mtunza Stoo, Mhasibu na Madereva. Jukumu langu lilikuwa ni kuhakikisha kuwa kila kikosi kina vifaa kinavyohitaji, kukakugua ujenzi na kuidhinisha malipo na kufanya malipo (kupitia kwa mhasibu) kwa kazi iliyofanyika. Ni vizuri tukaelewa kuwa Taasisi ya Umma inapotoa kazi kwa Mkandarasi, jukumu la utekelezaji wa ile kazi unahamia kwa mkandarasi. Taasisi ya Umma jukumu lake kubwa ni kuhakikisha kuwa mkandarasi anatekeleza kazi kwa kiwango cha ubora kilichoanishwa kwenye mkataba. Katika utaratibu huu inakuwa ni jukumu la Mkandarasi kutafuta vifaa vyote vya ujenzi, wafanyakazi na mitambo yote inayohitajika kutekeleza mradi kwa kiwango cha ubora kinachokubalika. Kazi ya Taasisi ya Umma ni kuhakikisha kuwa Mkandarasi amejenga kwa ubora unaokubalika na kumlipa malipo yake sahihi kwa kazi aliyofanya. Taasisi ya Umma inapoamua kuifanya kazi hiyo kwa utaratibu wa Force Account inakuwa ni jukumu lao kununua vifaa vyote vya ujenzi na kuhakikisha kuwa vinatumika kwenye ujenzi na hakuna upotevu wowote, kuhakikisha kuwa mitambo ya ujenzi inakuwepo, kuhakikisha kuwa wafanyakazi wenye ujuzi wanakuwepo na wanalipwa kwa kazi wanayoifanya, na kuhakikisha kuwa ujenzi unafanyika katika ubora unaokubalika. Kwa hiyo mfano, Halmashauri ya Serikali za Mitaa inapokuwa na kazi tatu, kazi mbili za Ujenzi wa madarasa katika shule mbili

7 Procurement News Matumizi ya Force Account katika ujenzi na changamoto zake kwenye vijiji tofauti, na kazi ya tatu ya ujenzi wa jengo la dispensary katika kijiji kingine ambazo imetoa mkataba kwa wakandarasi watatu, jukumu la Halmashauri ni kuwasimamia hao wakandarasi kuhakikisha wanafanya kazi kwa ubora unaotakiwa. Kazi inapofanywa na mkandarasi ni jukumu lake kuhakikisha kiwango cha ubora kinafikiwa. Hata pale itakapokuwa imeshindikana kufuatilia utendaji kazi wake kwa karibu, wajibu wake huo wa kujenga kwa kiwango cha ubora kinachokubalika unabaki pale pale. Itakapogundulika baadae kuwa amejenga kwa kiwango duni cha ubora inaruhusiwa kuzuia malipo yake na kumchukulia hatua za kisheria ikiwa ni pamoja na kusitisha mkataba naye na kuwasilisha jina la kampuni hiyo PPRA ili afungiwe kushiriki kwenye zabuni zinazotolewa na Taasisi za Umma. Lakini Halmashauri hiyo ikiamua kufanya kazi hizo kwa utaratibu wa Force Account itabidi ihakikishe kuwa inanunua na kuhifadhi vifaa vyote vya ujenzi vinavyotakiwa kwa shughuli za ujenzi wa miradi hiyo mitatu, inaajiri na kuwapangia kazi na kuwasimamia mafundi na vibarua wa kutekeleza miradi hiyo, inanunua na kukodisha vifaa na mitambo mbalimbali ya kufanyia kazi hizo. Katika hali hiyo lazima kuwepo na msimamizi wa kazi wa kudumu kutoka kwenye Halmashauri ambaye ndiye atawajibika na ubora wa kazi inayofanyika. Kwa hiyo pale Halmashauri inapotumia Force Account kiwango cha usimamiaji kinatakiwa kiwe cha karibu sana ili kuhakikisha hakuna udanganyifu wowote unaofanywa na wafanyakazi ikijumuisha wizi wa vifaa vya ujenzi. Kwa uzoefu nilionao, wizi wa vifaa vya ujenzi unaofanywa na wafanyakazi ni moja ya changamoto kubwa zilizoko katika sekta ya ujenzi hapa nchini. Na mara nyingi wizi huo unafanywa kwa ujanja sana na matokeo yake huyawezi kuyaona mara moja. Mfano ni pale fundi anapoamua kuiba saruji na kuchanganya zege yenye mchanganyiko dhaifu ambapo matokeo ya kukosekana ubora yanaweza kuonekana miaka mitano au hata kumi baadaye kwa nyumba kupata nyufa au hata kubomoka. Kulingana na Ripoti za Ukaguzi zilizofanywa na PPRA na Mkaguzi Mkuu wa Serikali, moja ya changamoto kubwa zinazokabili Taasisi za Umma hasa Halmashauri za Serikali za Mitaa ni ukosefu wa wafanyakazi wenye ujuzi wa kutosha ukilinganisha na idadi ya kazi wanazotakiwa kuzisimamia, na ukosefu wa magari na pikipiki kwa ajili ya kutembelea miradi na kuifanyia ukaguzi. Changamoto hii inakuwa kubwa zaidi pale ambapo miradi inatakelezwa kwa utaratibu wa Force Account badala ya kutumia wakandarasi. Baada ya kutoa maelezo hayo marefu kuhusu matumizi ya Force Account, kwa Taasisi ambazo zimeamua kutumia utaratibu huo ni bora wakajiuliza swali moja la msingi Je idadi ya miradi wanayotekeleza kwa utaratibu huo inalingana na idadi ya wafanyakazi walionao kusimamia kazi hizo? Kama hali siyo hiyo ni bora wakarejea na kufikiria mara mbili uamuzi wao wa kutumia utaratibu wa Force Account kwani kitakachojitokeza ni kutekeleza miradi kwa kiwango duni na kushindwa kumpata mtu wa kumwajibisha kwa ujenzi huo hafifu. Baada ya kutoa tahadhari katika matumizi ya utaratibu wa Force Account, ni vyema sasa nitoe suluhisho kwa wale wenye nia ya kutumia utaratibu huo. Kabla ya kutoa suluhisho, naomba nirejee moja ya sababu ambazo baadhi ya Taasisi nyingi wanazitoa kutetea uamuzi wao wa kutumia utaratibu wa Force Account ni kukwepa kile wanachokiita bei kubwa kutoka kwa wakandarasi. Sitaki kujiingiza kwenye mada ya bei zinazotolewa na wakandarasi, ila inabidi tukubaliane kuwa bei zinazotolewa na wakandarasi zinaweza kuwa kubwa kuliko za kutumia Force Account kwa vile mkandarasi anatakiwa arejeshe gharama zake zote za kununulia vifaa vya ujenzi, kutumia mitambo mbali mbali ya ujenzi na kuwalipa wafanyakazi. Juu ya gharama hizo, pia anatakiwa arejeshe gharama anazolipa kwa mujibu wa sheria mbali mbali za nchi anazowajibika kuzitekeleza. Kisha baada ya kurejesha gharama zake anatakiwa aweke kiasi cha faida kitakachoweza kufanya biashara yake ikue. Suluhisho ninalolitoa liko katika matumizi ya utaratibu mpya wa Manunuzi ulioanishwa kwenye Kanuni Mpya Namba 151A ya Kanuni za Manunuzi 2013 zikisomwa pamoja na Marekebisho yake ya Mwaka 2016. Kanuni hiyo inaainisha utaratibu wa kufanya manunuzi kwa kuwajulisha wazabuni kiasi cha bajeti iliyotengwa kwa kazi husika, na mzabuni atakayeleta zabuni inayozidi kiwango hicho cha bajeti zabuni yake itakataliwa. Nimeirejea Kanuni hiyo kwa lugha ya Kingereza hapa chini: National, International and restricted competitive tendering on fixed budget 151A.-(1) The National, international and restricted competitive tendering on fixed budget method may be used when the procurement budget is fixed. (2) The invitation for tender shall indicate the available budget and require the tenderer to bid within the budget. (3) The schedule of requirements shall be in a manner that ensures the budget is sufficient for execution of the contract. (4) Tender shall be subjected to evaluation. (5) Tender that exceeds the indicated budget shall be rejected. Kama nilivyosema hapo juu, dhamira ya Taasisi nyingi za Umma katika kutumia utaratibu wa Force Account ni kupunguza gharama. Lakini lengo hilo linaweza kuwa na matokeo hasi pale ambapo uwezo wa kusimamia utekelezaji wa miradi utakuwa mdogo. Kwa kutumia kanuni 151A Taasisi ya Umma itafanya tathimini ya kina juu ya gharama ya kutekeleza mradi huo kwa kumtumia mkandarasi. Tathmini, kwa mujibu wa kanuni 151A(3) itatakiwa izingatie kuwa bei iliyokadiriwa itamwezesha mkandarasi kutekeleza mradi huo kwa ufanisi. Hivyo tathimini hiyo itatakiwa izingatie gharama halisi za ujenzi na gharama ambazo mkandarasi zinamkabili katika kutekeleza matakwa ya sheria mbalimbali, na kiwango cha faida kinachoridhisha kwa mkandarasi. Kwa kutumia Kanuni hiyo ya 151A, Taasisi ya Umma itaweza kuwapata wakandarasi ambao wanaweza kutekeleza miradi mbalimbali katika bajeti walizozitenga na hivyo kukabiliana na changamoto za kuwa na miradi mingi inayotekelezwa kwa kutumia Force Account bila ya kuwa na usimamizi wa kutosha.

8 Procurement News Usimamizi mzuri wa mikataba ya manunuzi huleta thamani halisi ya fedha Mwakiselu Mwambange, Meneja Mkoa GPSA, Lindi Ununuzi wa umma ni moja ya sekta muhimu katika ukuaji wa maendeleo ya taifa kwani hutumia sehemu kubwa ya bajeti ya Serikali. Moja ya misingi mikuu ya ununuzi wa umma ni uzingatiaji wa lengo la kupata thamani halisi ya fedha. Ununuzi wa umma ni mchakato unaopitia hatua mbalimbali kama vile kuainisha mahitaji, kutengeneza nyaraka za zabuni, kutangaza zabuni, uchambuzi, kusaini mkataba na mwisho, kusimamia mkataba. Hatua zote hizi ni muhimu na zinapaswa kufuatwa na kusimamiwa ipasavyo kwa kuzingatia sheria, kanuni, pamoja na miongozo ya ununuzi wa umma ili kupata thamani halisi ya fedha. Makala hii itajadili hatua ya usimamizi wa utekelezaji wa mikataba, lengo kuu likiwa ni kubadilishana uzoefu na wadau wa ununuzi wa umma kwani uzeofu unaonyesha eneo hili halifanyi vizuri. Mambo ya kuzingatia wakati wa usimamizi wa mikataba ya ununuzi wa umma Kwa mujibu wa kanuni za ununuzi wa umma za mwaka 2013, mambo muhimu ya kuzingatia ni: Mikataba ya ununuzi wa vifaa; taasisi nunuzi inatakiwa kumteua msimamisi wa utekelezaji mkataba baada ya kusaini mkataba. Msimamizi huyo kwa kushirikiana na kamati ya mapokezi na ukaguzi wanatakiwa kuwasilisha taarifa ya mapokezi ya vifaa. Endapo mzabuni atachelewa kukamilisha majukumu yake kulingana na makubalianao ya mkataba taasisi nunuzi inaweza ikaomba ipewe taarifa ya kuchelewa kutekelezwa kwa mkataba kwa wakati, taasisi nunuzi inaweza kwenda hatua inayofuata ya kudai fidia kama mkataba utakuwa umeeleza hivyo. Ukaguzi na mapokezi ya vifaa vyote sharti ufanyike kabla ya kupokelewa ili kuona kama vinakidhi vigezo na specifications kama zilivyoainishwa kwenye mkataba husika. Afisa masuuli anapaswa kuteua kamati ya ukaguzi na mapokezi ya vifaa/bidhaa kwa kila zabuni, pamoja na call-off-order, jukumu kubwa la kamati hiyo ni kuangalia vifaa/bidhaa kama vinakidhi vigezo vya ubora,idadi pamoja na vigezo vingine kama vitakavyoelezwa kwenye mkataba. Endapo itatokea ukahitajika ukaguzi wa kitaalam, taasi nunuzi inaweza ikamualika mtaalam husika kwa ushauri wake au bidhaa hiyo inaweza kupelekwa kwa mtaalam. Kwa kuzingatia utaratibu ulioelezwa hapo juu, kamati ya ukaguzi na mapokezi itapokea vifaa baada ya kujiridhisha kuwa vimekidhi vigezo vya mkataba na nyaraka husika za mapokezi zinapaswa kusainiwa kwa ajili ya hatua za malipo kwa mzabuni. Mikataba ya huduma pamoja na kazi za ujenzi; taasisi inapaswa kusimamia kikamilifu ikiwa ni pamoja na utoaji wa taarifa za utendaji kazi wa siku,wiki au mwezi alizofanya mzabuni. Taarifa ziandaliwe na msimamizi wa mradi. Mzabuni anapaswa atimize wajibu wake katika kila hatua ya kazi, mfano kazi za ujenzi zina hatua mbalimbali na malipo yafanyike kwa awamu kulingana na kazi iliyofanyika na kukaguliwa na kutolewa hati ya uthibitisho kwa ajili ya malipo. Ikitokea mkandarasi au mtoa huduma hakutimiza majukumu yake ipasavyo,taasisi nunuzi inapaswa kumtaarifu kuhusiana na hilo na inaweza kusitisha malipo mpaka arekebishe mapungufu yaliyojitokeza. Endapo mzabuni hakuafikiana na taasi juu ya kurekebisha kasoro zake, taasisi nunuzi inapaswa kumtaarifu mzabuni juu ya uvunjwaji wa mkataba na inaweza kufuata hatua za kufungua mashitaka ya mgogoro kulingana na matakwa ya mkataba. Ikitokea mzabuni kashindwa kutoa huduma kulingana na viwango vilivyopo kwenye mkataba,au kashindwa kurekebisha makosa, kazi isiyoridhisha. Taasisi nunuzi inaweza chukua hatua zifuatazo: (i) Kusimamisha malipo yoyote yaliyobakia (ii) Kuitisha performance security. Malipo ya mwisho kwa mzabuni yafanyike baada ya taaasisi nunuzi kujiridhisha kuwa huduma au kazi imekamilika na kukidhi matakwa ya mkataba. Hatua hii itafanyika baada ya mtoa huduma/mkandarasi kuwasilisha maombi ya malipo yake. Mambo mtambuka katika usimamizi wa mikataba ya ununuzi wa umma Usimamizi wa mahusiano; Mikataba yenye ufanisi ni ile inayojali pamoja na mambo mengine uhusiano wa mtoa huduma na mpokea huduma,ni muhimu kutambua kuwa msingi wa kuendeleza mahusiano kwa pande hizi mbili ni kuleta uwazi na mawazo endelevu,kutatua migogoro katika utekelezaji wa mikataba na kuibua fursa za kuboresha. Mahusiano lazima yatazamwe kwa jicho la kitaalam na hatua za kitaalam zitumike kwenye usimamizi na kutatua migogoro ya kimkataba na siyo vinginevyo. Usimamizi wa viashiria hatarishi; Viashiria hatarishi ni matokeo ya mambo ambayo hayajapangwa au kutabirika, ambapo yakitokea yanaweza kuzuia utekelezaji wa jambo lililopangwa. Hivyo basi, usimamizi wa viashiria hatarishi ni sharti uwe timilifu. Mapitio ya utekelezaji wa mkataba; Mapitio ya utekelezaji wa mkataba ni kitendo cha kulinganisha utendaji kazi wa kifaa,kandarasi au huduma kulingana na vigezo vilivyowekwa na kukubalika kwenye mkataba husika. Mara nyingi eneo hili husahaulika hasa baada ya mkataba kukamilika, na wakati mwingine taasisi inaweza ikaingia mkataba mwingine bila kupitia hatua hii. Utekelezaji wa hatua hii utasaidia kujifunza na kutambua makosa na kufanya marekebisho kwa miradi ya baadae ambayo inafanana na miradi iliyokwishatekelezwa. Hitimisho Usimamizi sahihi wa mikataba ya ununuzi wa umma ni nguzo kuu ya upatikanaji wa thamani halisi ya fedha kwa ununuzi uliofanyika. Aidha usimamizi mzuri husaidia kuondoa migogoro na kupunguza upotevu wa rasilimali fedha, watu na muda. Rai yangu ni kuwa kila taasisi ihakikishe kuwa kila mkataba wa ununuzi unasimamiwa kikamilifu ili kufanikisha lengo la kupata thamani halisi ya fedha inayotumika.