Kifaa Maalum cha Kutazamia Jua: Maelekezo ya kutumia

Similar documents
Information for assessors (do not distribute this page to participants):

Hati ya kuhitimu kisomo Kenya (K.C.S.E)

GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23)

GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23)

Huduma kwa wateja kupitia barua pepe na ujumbe mfupi Fig

Sera ya Faragha. Upeo. Aina za Data na Mbinu za Ukusanyaji

JHSPH MAADILI YA KUFANYA UTAFITI WA MASUALA YA BINAADAMU MUONGOZO WA MAFUNZO YA UTAFITI

MATUMIZI YA FACEBOOK KWA BIASHARA. Kwa Wanaoanza

Utangulizi wa ugonjwa wa shinikizo la damu

Kiu Cha umtafuta Mungu

TIST (TANGA) HABARI MOTO MOTO. Kutunza miche yako. Take care of your seedlings. Take care of your trees

MTIHANI WA MWIGO WILAYA YA BUTERE MUMIAS-2007 Hati ya kuhitimu Elimu ya Sekondari Kenya

Siku ya kwanza. Mguso wa ngozi-kwa-ngozi (Ulezi wa kangaruu) Mtoto wako anaweza kuhisi mdundo wa moyo wako

N09/2/ABSWA/HP1/SWA/TZ0/XX/Q

Jifunze kusimamia pesa zako nchini Uskoti

Early Grade Reading Assessment for Kenya

Upande 1.0 Bajeti yako

ATHARI ZA MABADILIKO YA TABIANCHI KWA UCHUMI WA ZANZIBAR

Ufunguo wa Kutaalamika Haraka

SERA & TARATIBU YA YALE NEW HAVEN HEALTH

Azimio la Umoja wa Mataifa Kuhusu Watetezi wa Haki za Binadamu

Hati ya Kuhitimu Elimu ya Sekondari Kenya.( K.C.S.E)

Mukhtasari Wa Mabishano Kwa Na Dhidi Ya Vikombe Vingi Vya Ushirika

Kijitabu cha Maelezo cha Programu ya Famasia

usudi la Maisha Hakika katika kuumbwa mbingu na ardhi, na kupishana usiku na mchana, kuna kweli ishara kwa wenye akili, ambaye mkumbuke-

MUONGOZO WA UTUNZAJI WA URITHI WA UTAMADUNI 1 SECURITY AT MUSEUMS

Theolojia Ujumla. Mike Taylor Semester Munguishi Bible College

Hakimiliki na Jonathan Menn. Haki zote zimehifadhiwa TAFSIRI YA BIBLIA. Mwandishi. Jonathan M. Menn

Mwongozo wa Familia wa Kujifunza

KUWEZESHA MBINU ZA UZUIAJI MIMBA KATIKA SUHULA ZA AFYA: MASWALI 10 KWA VIKUNDI VYA JAMII KUZINGATIA

Kiswahili, utandawazi na umoja wa Afrika

BIBLICAL INSTRUCTION AND ENCOURAGEMENT FOR THE MAFUNDISHO YA BIBLIA NA HIMIZO KWA MISSION FIELD WORLDWIDE. KAZI YA KIMISHENI ULIMWENGUNI KOTE

Agano Lililofunikwa Kwa Damu

Human Rights Are Universal And Yet...

UNACHOHITAJI KUJUA KUHUSU VIKWAZO VYA KULINDA MAISHA KATIKA USAIDIZI WA KIMATAIFA WA AFYA KWA MSAADA WA KIMATAIFA UNAOFADHILIWA NA MAREKANI

Hatari, Haki za Usalama katika Bahari 03

CAUTION: BEFORE YOU BEGIN, ALWAYS MAKE SURE THE WEAPON IS UNLOADED AND SAFE TO HANDLE.

UMRI WA MAKAMO NA KUKOMA KWA HEDHI

Ultra-Small Footprint N-Channel FemtoFET MOSFET Test EVM

KUSHUKA KWA HADHI YA LUGHA ZA JAMII NCHINI TANZANIA YOHANA P. MSANJILA University of Dar es Salaam, Tanzania

Tora UTANGULIZI KWA TORA SOMO LA KWANZA

In the matter of an Application by the KIGOMA URBAN WATER SUPPLY AND SEWERAGE AUTHORITY (KUWASA) For a Tariff and Charges Adjustment

Ufundishaji wa lugha nyingine

AMMA KWA AFRIKA RATIBA/ITIKADI. Ratiba Maalum ya Kutibu Magonjwa Maambukizi na Hususan Fikra Zinazoleta Pooza Mwili na Akili

ORDER NO BACKGROUND

Vijana wanazungumza kuhusu ujinsia, maisha na uhusiano VIJANA WANAZUNGUMZA KUHUSU NGONO, MAISHA NA UHUSIANO. Training and Research Support Centre

Muongozo wa utatuzi. Kwa wasimamizi wa malaria RDTs 06/11/16. MALARIA Rapid Diagnostic Test

Misamaha ya kodi Tanzania: Je, ni mikubwa sana na kutufanya tuwe tegemezi kwa misaada?

International Labour Office. Kazi za Ndani Zenye Madhara kwa Watoto: Kijitabu cha Maelezo Mafupi

Oktoba-Desemba

Mwongozo wa Mafunzo Yaliyochanganywaya K4Health

MWONGOZO WA UTUNGAJI WA SHERIA NDOGO NA USHIRIKI WA WANANCHI

Mipango ya miradi katika udugu

KIJARIDA JUU YA HAKI ZA RAIA KATIKA MFUMO JINAI

MAKUBALIANO YA 2005 YA ULINZI NA UKUZAJI WA VIELELEZO VYA TAMADUNI ANUWAI

Kuwawezesha wasichana kwa kuboresha kujikubali na kujithamini Hivi Ndivyo Nilivyo

Usimulizi wa Riwaya ya Nyongo Mkalia Ini E. S. MOHOCHI University of Egerton, Kenya

4. Kanuni za Petroli (Ushiriki wa Watanzania) za mwaka 2017 zilianza kutumika rasmi tarehe 5 Novermba Shughuli za Petroli za kwanza ni

TANZANIA OSAKA ALUMNI. Kitabu cha Mbinu Bora

UNIVERSITY OF CAMBRIDGE INTERNATIONAL EXAMINATIONS General Certificate of Education Ordinary Level

Ellen White, waasisi wa Kiadventista,na Sabato Lunar

KUZALISHA MBEGU YA MAHARAGE KIJITABU CHA KWANZA

Uzio wa pilipili unazuia tembo kuvamia mazao shambani! Jinsi ya kujenga na kudumisha uzio wa pilipili Tanzania

TIST HABARI MOTO MOTO. Benefits of Loan Repayment. Faida za ulipaji wa mikopo U OTESHAJI W A M ITI Y A M ATUNDA

KANUNI ZA MAADILI MWONGOZO WA WANAFUNZI

74HC2G16; 74HCT2G16. The 74HC2G16; 74HCT2G16 is a high-speed Si-gate CMOS device. The 74HC2G16; 74HCT2G16 provides two buffers.

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara kuhusu WEMA

WEWE NI NANI? Toleo X Toleo Ukweli wa Injeli Toleo 23

Small, Gauge Pressure Sensor

UTANGULIZI ANUANI NA MANDHARI YA CHUO

Uponyaji Wa Laana. (Kumb. 28:1-14).

JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 1

Small Gage Pressure Sensor

TIST HABARI MOTO MOTO

TIST HABARI MOTO MOTO MAANDALIZI YA MWAKA 2000 Y2K PREPARATIONS SASA NI WAKATI WA KUANZA KUPANDA MBEGU ZAKO

Utumiaji Wa Kiswahili Na Lugha Za Jamii Kijinsia Nchini Tanzania Y.P. MSANJILA University of Dar-es-Salaam, Tanzania

Kutetea Haki za Binadamu

K. M a r k s, F. E n g e l s

Kufunga Milango - Uponyaji Kutokana na Athari za Giza

Haja Ya Dini. Author(s): Publisher(s): Translator(s): Category: Topic Tags: Featured Category: Published on Al-Islam.org (

B. Wanafunzi watapata ufahamu mkubwa wa kitabu hiki, na jinsi kinavyofundisha kuhusu kanisa.

Mwongozo wa Jamii juu ya Afya ya Mazingira

Kuuelewa Mchakato wa Bajeti Tanzania Mwongozo wa Asasi za Kiraia

Kiinimacho cha mahali: kiambishi tamati cha mahali -ni. Ridder Samsom na Thilo C Schadeberg Chuo Kikuu cha Leiden

Mfumo na maelezo ya kina ya mpango wa kimataifa wa viwango vya chakula kwa wenye matatizo ya kumeza (IDDSI) Juni 2017

UKUFUNZI WENYE NGUVU MMOJA-KWA-MMOJA

JAZANDA YA NJOZI KATIKA BAADHI YA MASHAIRI YA EUPHRASE KEZILAHABI (ONEIRIC IMAGES IN EUPHRASE KEZILAHABI S SELECTED POEMS) 1

Power Resistor for Mounting onto a Heatsink Thick Film Technology

"ATATOKEA MARA YA PILI, pasipo dhambi, kwa hao wamtazamiao kwa wokovu." Waebrania 9:28.

MUNGU ANADHIHIRISHWA KUPITIA KWA YESU KRISTO.

MACHAGUO YA UZAZI KUFIKIRIA KUWA MZAZI

walozaliwa, si kwa damu, wala mapenzi ya mwili, wala si kwa mapenzi ya mtu, mbali kwa Mungu. Sisi sio tena binadamu wa kawaida tu kwa sababu sisi ni w

UNABII WA BIBLIA. CBM Publishing 32 Blenheim Road, Far Cotton Northampton, England. NN4 8NW

UCHANGANUZI LINGANISHI WA SINTAKSIA YA SENTENSI SHARTI YA KISWAHILI SANIFU NA EKEGUSII CHUO KIKUU CHA NAIROBI

KENYA NATIONAL EXAMINATION COUNCIL REVISION MOCK EXAMS 2016 TOP NATIONAL SCHOOLS

-202mA. Pin 1 D1. Diode. Part Number Case Packaging DMC21D1UDA-7B X2-DFN ,000/Tape & Reel

KUUNGANISHA VIZAZI KUPITIA RADIO MWONGOZO KUTOKA AFRIKA KWA WAANDAJI WA VIPINDI VYA RADIO WANAOFANYAKAZI NA WATOTO NA VIJANA

Derating of the MOSFET Safe Operating Area Outline:

Kuwa na Ukimwi ni kama vile kutakiwa kuendelea kuuzima moto unaoniunguza bila kukoma.

MARUDIO K.C.S.E KNEC KISWAHILI KARATASI 102/2 MASWALI NA USAHIHISHO

Transcription:

: Maelekezo ya kutumia Kupatwa kamili kwa jua Jumatatu, 21 Agosti 2017 Agreement v1.4 Mar 2014 2014-2017 Eclipse2017.org, Eclipse2017.org, inc. inc.

TERMS AND CONDITIONS FOR USE OF SOLAR VIEWER Please read these Instructions for Use carefully before using the Solar Viewer. Your purchase and use of the Solar Viewer constitutes your agreement to these terms and conditions. Failure to follow these Instructions for Use may result in serious personal injury, including permanent eye damage. If you do not understand these Instructions or cannot follow them diligently and completely, then you should not look at the Sun at any time, with or without a Solar Viewer. The term Solar Viewer refers to the special cardboard-and-polymer optical products, marked SAFE FOR DIRECT SOLAR VIEWING, manufactured by Rainbow Symphony of Reseda CA, and sold by Eclipse2017.org for the purpose of viewing the Sun during the solar eclipse of August 21, 2017, by or under the direct supervision of a person 18 years of age or above and in accordance with these Instructions for Use. Observing the Sun directly, without the benefit of eye protection provided by the Solar Viewer, will likely result in serious personal injury, up to and including permanent eye damage and blindness. When these Instructions for Use are followed completely and precisely, the undamaged and unmodified Solar Viewer has been proven to be safe and effective in allowing direct, short-term, viewing of the Sun. If these Instructions for Use are not followed, or if damaged or modified Solar Viewers are used, permanent eye injury could result. You should never look directly at the Sun, with or without the aid of the Solar Viewer, if you have any temporary or permanent medical or other condition which either (1) prevents your use of the Solar Viewer according to these Instructions for Use, or (2) which predisposes you to an increased or special risk of incurring, worsening, or contributing to the effects of any optical or other medical, health, or other condition, by looking or attempting to look at the Sun. You should never attempt to perform any other activity (such as driving or walking) while using the Solar Viewer. You agree that if you let others use the Solar Viewer, you will provide each such user with a copy of these Instructions for Use and will make sure such user reads and understands the Instructions for Use before using the Solar Viewer. By using the Solar Viewer to view the Sun, you agree with the following: (a) you understand these Instructions for Use completely; (b) you understand and accept the risks associated with improper use of the Solar Viewer; (c) you accept full responsibility for, and assume all risks associated with, the act of viewing the Sun, with or without the use of the Solar Viewer; and (d) the Solar Viewer is fragile and any damage to it or modification of it will render it immediately and permanently unusable for its intended purpose. Release and Limitation of Liability By way of purchasing and using the Solar Viewer, you are irrevocably releasing, indemnifying, and holding harmless the manufacturer and seller from any liability, loss, claim and expense (including attorney s fees), including but not limited to bodily injury or other personal harm, which may result from using the Solar Viewer under any circumstances or conditions and irrespective of jurisdiction. Neither the manufacturer nor the seller will be responsible for any damages of any kind, irrespective of reasons, conditions or circumstances, including malfunctioning of the Solar Viewer. All risks associated with using the Solar Viewer rest solely and entirely with the user, irrespective of whether the Solar Viewer is used by the original purchaser or any third party. You fully understand and assume the risks in using the Solar Viewer. You confirm that you have read this release of liability and fully understand its terms and that you have given up substantial rights by purchasing and using the Solar Viewer. THE MANUFACTURER AND SELLER OF THE SOLAR VIEWER MAKE NO WARRANTY OF ANY KIND, EXPRESSED OR IMPLIED, WITH RESPECT TO THE SOLAR VIEWER, INCLUDING BUT NOT LIMITED TO THE IMPLIED WARRANTIES OF MERCHANTABILITY, FITNESS FOR A PARTICULAR PURPOSE, AND NON-INFRINGMENT. NEITHER THE MANUFACTURER NOR THE SELLER SHALL BE LIABLE FOR ANY OTHER DAMAGES, INCLUDING BUT NOT LIMITED TO DIRECT, INDIRECT, INCIDENTAL, SPECIAL, CONSEQUENTIAL, OR EXEMPLARY DAMAGES, WHETHER IN AN ACTION IN CONTRACT OR TORT (INCLUDING NEGLIGENCE AND STRICT LIABILITY), SUCH AS, BUT NOT LIMITED TO, LOSS OF ANTICIPATED PROFITS OR BENEFITS RESULTING FROM, OR ARISING OUT OF, OR IN CONNECTION WITH THE USE OR FURNISHING OF THE SOLAR VIEWER OR THE PERFORMANCE, USE OR INABILITY TO USE THE SAME, EVEN IF THE MANUFACTURER OR SELLER HAS BEEN ADVISED OF THE POSSIBILITY OF SUCH DAMAGES. IN NO EVENT WILL THE MANUFACTURER S OR SELLER S TOTAL LIABILITY EXCEED THE PRICE PAID FOR THE PRODUCT. Note Regarding Translations Translations of these Instructions for Use into various languages are provided AS-IS and solely for the convenience of the reader. Eclipse2017.org has made reasonable efforts to ensure the accuracy of the Translations; however, in the event of any perceived discrepancy in meaning or interpretation between the English version and any Translation, the English version will prevail. You should not act in reliance on anything contained in any Translation of these Instructions for Use, but should refer to the official English version. Agreement v2.0 Oct 2016 2016-2017

Solar Viewer Instruction Guide - Swahili v1.0 Apr 2014 1 KUPATWA KAMILI KWA JUA - 21 Agosti 2017 Karibu Marekani! Tuna furaha kuwa umetembea nchini mwetu ili kushuhudia tukio kamili la kupatwa kwa jua na tungependa kila mmoja aweze kujionea tukio hili la kuvutia kwa njia iliyo salama! Tunatoa ushauri huu kwa Kiswahili kwa manufaa yako. Toleo la ushauri, maagizo na taarifa ya makataa ( Maelezo ) haya kwa lugha ya Kingereza ndiyo chanzo cha kina na rasmi cha habari na mwongozo wa matumizi mema na yanayofaa kwa ili kuweza kuangalia jua mojakwa moja. Maelezo haya yanapatikana http://tinyurl.com/viewer-instructions na ni sharti uyasome, uyaelewe na uyazingatie ili kutumia. Kukosa kufuata maagizo haya kunaweza kusababisha madhara ya kusikitisha kwako. Wataalamu wa masomo ya sayari husema kwamba tukio la kupatwa kwa jua la Agosti 21 2017 litakuwa ni kupatwa kwa jua kiukamilifu lakini ili kuona ukamilifu, itabidi uwe katika eneo ndogo la ardhi ambalo linapitia Marekani (linalojulikana kama njia ya ukamilifu ). Kama hauko kwenye njia hiyo utaweza tu kuona kupatwa kwa sehemu ya jua! kwahiyo ni muhimu sana kujua kama uko kwenye eneo la njia ya ukamilifu na utaelezewa mbinu utakayoitumia. Njia ya ukamilifu MWONGOZO MFUPI WA KUTUMIA MAELEKEZO YA KINA Neno, kama kilivyotumiwa katika nakala hii kinaeleweka kuwakilisha Solar Viewer kilichozungumziwa kwenye taarifa ya makataa ya lugha ya Kingereza katika ukurasa wa kwanza wa nakala hii. Matumizi yako ya kutumia yanahusisha makubaliano ya kisheria. Ni sharti ufuate barabara na kwa ukamilifu maelezo yote, ushauri, na mwongozo ulio katika nakala ya maelezo ili kutumia wakati wowote unapoangalia jua. Ikiwa hauelewi maelezo hayo au hauwezi kuyazingatia barabara na kwa ukamilifu, au haukubaliani na masharti yake, basi unaagizwa na kushauriwa usijaribu kutazama jua wakati wowote ule.

Solar Viewer Instruction Guide - Swahili v1.0 Apr 2014 2 MWONGOZO MFUPI WA KUTUMIA KIFAA MAALUM CHA KUTAZAMIA JUA Mwongozo huu mfupi umedondolewa kutoka kwa mkusanyiko wa maelezo kamili yaliyoandikwa kwa Kiswahili, ambayo sharti uyasome, uelewe na ukubaliane nayo yote ili kutumia Kifaa Maalumu cha Kutazamia jua lililo katika tukio la kupatwa. 1) Anagalia eneo lako katika http://tinyurl.com/find-times, ili kubaini kama tukio la kupatwa kwa jua litakuwa kamili huko, na takriban wakati wa mapatano ya tukio lisilo kamili na (kama zinatumika) jumla ya awamu za eneo hilo. 2) Tukio kamili la kupatwa kwa jua ni la kuvutia sana lakini unaweza tu kulifurahia kikamilifu kama utakuwa kwenye njia ya tukio kamili ambayo iko katika upana wa kama maili mia moja pekee. Ikiwa haitawezekana kushuhudia tukio kamili kwenye eneo ulilopanga, tunakushauri uweze kufika kwenye eneo lililo katika mapitio/njia ya tukio kamili! 3) Kutumia, ili kuangalia kupatwa kwa jua, shika lensi ya Kutazama jua moja kwa moja mbele ya macho yako ili kuyakinga kutokana na madhara ya kutazama jua moja kwa moja. 4) Wakati unapopaswa kutumia Kutazama Jua: a. Kama tukio la kupatwa kwa jua HALITAKUWA kamili katika eneo lako, basi litazame kupitia Kifaa Maalum cha kila wakati. UNAHATARISHA MACHO YAKO KUPATA MADHARA YA KUDUMU KWA KUTAZAMA JUA BILA KINGA YA MACHO INAYOFAA! b. Kama tukio la kupatwa kwa jua LITAKUWA kamili kwenye eneo lako, basi ni SHARTI utazame jua kupitia wakati wowote sehemu ya jua iliyo na mwanga mkuu hata kama ni kipande kidogo tu inapoonekana. UNAHATARISHA MACHO YAKO KUPATA MADHARA YA KUDUMU IKIWA UTAKOSA KUFUATA AGIZO HILI! 5) Kwa maneno mengine, i. Hata hivyo, kwa kipindi kifupi cha tukio kamili PEKEE, wakati hakuna sehemu yoyote angavu ya jua inayoonekana unatakiwa kutazama tukio kamili la kupatwa kwa jua bila kutumia Kutazama Jua. ii. Ukweli ni kwamba, ukijaribu kutumia wakati wa tukio la kupatwa kamili hautaweza kuona chochote! iii. Ni SHARTI uanze kutumia tena Kutazama Jua kama tu tukio kamili linapokamilika na ile sehemu angavu ya jua imeanza kuonekana tena. KAMA SEHEMU YOYOTE YA DISKI ANGAVU YA JUA INAPOANZA KUONEKANA, NI SHARTI UANGALIE JUA KWA KIFAA MAALUM CHA KUTAZAMA JUA!

Solar Viewer Instruction Guide - Swahili v1.0 Apr 2014 3 MAAGIZO YA KINA YA KUTUMIA KIFAA MAALUM CHA KUTAZAMIA JUA Kwanza, kuna baadhi ya maneno ambayo unapaswa kuyaelewa! Kwa kila tukio la kupatwa kwa jua na kila eneo duniani, kuna maneno yanayotumiwa kuelezea matukio maalum. Haya yanafahamika kama: Jina la tukio Maelezo ya tukio Inavyodhihirika (tukio la kupatwa kwa jua lililo kamili) Inavyodhihirika (tukio la kupatwa kwa jua lisilo kamili) C1 Mwanzo wa awamu isiyo kamili C2 Mwanzo wa tukio kamili ** Halishuhudiwi! ** Katikati ya kupatwa Kipindi cha katikati cha kupatwa C3 Mwisho wa tukio kamili ** Halishuhudiwi! ** C4 Mwisho wa awamu isiyo kamili

Solar Viewer Instruction Guide - Swahili v1.0 Apr 2014 4 1) MAELEZO YA KUTUMIA KIFAA MAALUM CHA KUTAZAMA JUA 1) [kama zinatumika] Fungua kwa uangalifu. 2) Tunza kutazama Jua wakati hakitumiki. 3) Kagua Kutazama Jua kabla ya kukitumia; kama filamu ya lensi imeharibika au kujikunja kwa njia yoyote, basi kata Kutazama Jua na kukiharibu, na upate kingine kisichoharibika. 4) Ikiwa filamu ya lensi imeharibika kwa vyovyote vile, usitumie Kutazama Jua wakati wowote ule. 5) Usitoe filamu ya lensi kutoka kwenye Kutazama Jua na usitumie filamu ya lensi iliyotolewa kwa Kutazama Jua kwa vyovyote vile. 6) Lensi ya Kutazama Jua iliyoingizwa kama inavyostahili na isiyoharibika inaweza kukinga viwango hatari vya mwangaza unaoonekana,na hata miale hatari ya UV na miale mingine ya jua. Hivyo basi ni salama kabisa kutumia Kifaa Maalum cha Kutazama Jua, kama ilivyoagizwa katika maelezo haya kulitazama jua wakati wowote ule.hakuna miale ya kupatwa kwa jua isiyo ya kawaida ambayo inaweza kuongeza au kupunguza madhara ya kutazama jua wakati wake wa kupatwa. 7) Ni sharti utumie Kutazama Jua jinsi ilivyoelezwa hapa, ili kulitazama jua kwa usalama, wakati sehemu YOYOTE angavu ya diski ya jua inaonekana. Hii ni kweli licha ya nyakati zozote za matukio ya kupatwa kwa jua (yanayojulikana kama, C2 na C3 jinsi ilivyoelezewa hapo juu) ambayo umeshuhudia mahali popote. 8) Usitumie pamoja na darubini, kikuzi, kamera, lensi, kioo, au ( chombo cha kutumiwa machoni ), kifaa au kitu chochote ambacho kinaweza kupitisha au kuelekeza mwangaza. 9) Usielekeze chombo kama hicho kinachotumiwa machoni kwa jua na usije ukatazama umbo la Jua moja kwa moja ukitumia chombo chochote cha macho kinachoelekezwa kwa jua ama kwa njia yoyote ile kinachoweza kuvuta, kuelekeza au kurudisha mwanga wa jua. 10) Usikubali Kutazama Jua kitumiwe na wanyama au mtu yeyote asiyeweza kuona vyema, asiyeweza kusoma, kuelewa na kukubaliana na maagizo ya matumizi salama ya Kutazama Jua au kukubali kuwajibika kisheria kwa matokeo yanayoambatana na majukumu yake. 11) Kutumia Kutazama Jua: Weka Kutazama Jua kati ya macho yako na jua kisha utazame kupitia lensi ya Kifaa cha Kutazama Jua isiyoharibika, ukielekea jua, huku ukiweka kabisa lensi ya Kifaa Maalumu cha Kutazama Jua kati ya macho yako na jua kila wakati. Kwa kifaa cha Kutazama jua kilicho na umbo la miwani ya kijikaratasi kigumu, unaweza kukikuja kijikaratasi ili kuvalia Kutazama Jua jinsi unavyovalia miwani ya kawaida. Usije ukatazama jua mojakwa moja ikiwa bado hailko katika tukio la kupatwa kamili. (yaani, wakati kati ya C2 na C3 kama vile utakavyoona kwenye chati iliyoko hapa chini, kama majira hayo yanawezekana kwenye eneo lako), isipokuwa kutazama moja kwa moja kupitia kwa lensi ya Kutazama Jua kisichoharibika. 12) Usitumie kifaa au chombo kingine kujikinga unapotazama jua, ila tu lensi za Kifaa Maalumu cha Kutazama Jua ambazo zimewekwa kwenye fremu zake toka kiwandani. 13) Ikiwa una swali lolote kuhusu maelezo haya, tafadhali wasiliana na Eclipse2017.org kwenye http://tinyurl.com/viewer-questions.

Solar Viewer Instruction Guide - Swahili v1.0 Apr 2014 5 2) JIFAHAMISHE NA NYAKATI ZA MUTUKIO YA KUPATWA KWENYE JUA YA ENEO LAKO Kulingana na habari iliyotolewa kwenye http://tinyurl.com/find-times kwa eneo lako, kamilisha taarifa ifuatayo: Katika eneo langu, kupatwa kwa jua ni: NI KAMILI SI KAMILI (Weka mviringo kwa moja) Kama kupatwa kwa jua NI KAMILI katika eneo lako, basi fuata maelezo yaliyomo kwenye Kupatwa kwa jua NI KAMILI katika eneo langu sehemu hapa chini: Kama kupatwa kwa jua SI KAMILI katika eneo lako, basi fuata maelezo yaliyomo kwenye Kupatwa kwa jua SI KAMILI katika eneo langu sehemu hapa chini:

Solar Viewer Instruction Guide - Swahili v1.0 Apr 2014 6 ** KUPATWA KWA JUA NI KAMILI KATIKA ENEO LANGU ** Uko katika njia ya tukio kamili, na utashuhudia tukio adimu na la kuvutia! Ni muhimu sana uweze kujua ni lini tukio la kupatwa kwa jua ni kamili kwenye eneo lako. Utaweza kufanya hivyo kwa kuangalia nyakati kama vile umeona hapa chini na pia kwa sababu hakutakuwa na sehemu angavu inayoonekana kwenye diski ya jua wakati wa tukio kamili. 1) Kulingana na habari iliyotolewa na http://tinyurl.com/find-times kuhusiana na eneo lako haswa, andika nyakati unazotazamia kutukia kwa kila tukio la kupatwa kwa jua kama ilivyoandikwa hapa chini (tafadhari hakikisha unaweka sawa muda wa ukanda wako!): Kabla ya C1 C1 * Hakuna kupatwa kwa jua * Awamu isiyo kamili kuanza: C2 Awamu kamili kuanza: Baada ya C2, unaweza kutazamia kwa macho wazi Katikati ya kupatwa kutukia Unaweza kutazama kwa macho yaliyo wazi! C3 Awamu kamili kumalizika: tena C4 Baada ya C4 Awamu isiyo kamili kumalizika: * Hakuna kupatwa kwa jua * 2) Ingawa uko katika eneo la tukio kamili, bado itakulazimu kutumia Kutazama Jua unapoangalia jua kila wakati kabla ya C2 au baada ya C3, wakati tukio la kupatwa kwa jua siyo kamili.

Solar Viewer Instruction Guide - Swahili v1.0 Apr 2014 7 3) Unaweza kutazama jua moja kwa moja kwa macho yaliyo wazi (bila kutumia Kutazama Jua) IKIWA TU: a. Ikiwa tukio la kupatwa kwa jua ni kamili katika eneo lako (uko kwenye njia/pitio ), NA b. Wakati wa tukio kamili (takriban muda kuanzia C2 hadi C3 kwenye eneo lako kama ulivyoona hapo juu), NA c. uweze kuwa Wakati wowote sehemu ya diski angavu ya jua imefunikwa na mwezi kabisa. Nyakati halisi za ukamifu zitatofautiana pakubwa kulingana na eneo lako haswa na itabidi uwe umebainisha na kuweka kumbukumbu ya muda unaokisia kabla ya matukio. Nyakati unazoweka kwa kumbukumbu hapa juu ni zile zinazokaribia! 4) Tena, licha ya nyakati zilizotajwa katika nakala iliyoko hapa juu au zilizotolewa kutoka sehemu zingine zozote, sharti utazame jua ukitumia Kutazama Jua wakati WAKATI WOWOTE SEHEMU ya diski angavu ya jua iliyo inapoonekana. 5) Maelezo haya yanafuatwa na michoro ya ziada yenye uwazi ili kukusaidia kuelewa. Ni Sharti usome, uelewe na uzingatie taarifa zifuatazo: INANILAZIMU NIFUATE MAELEZO YOTE KUHUSU MATUMIZI YA KIFAA MAALUM CHA KUTAZAMIA JUA ILI NIWEZE KUKITUMIA KWA NJIA ILIYO SALAMA. IKIWA KUNA SEHEMU YOYOTE YA DISKI ANGAVU YA JUA INAONEKANA, SHARTI NITUMIE KIFAA MAALUM CHA KUTAZAMA JUA NINAPOTAKA KUANGALIA JUA.

Solar Viewer Instruction Guide - Swahili v1.0 Apr 2014 8 ** TUKIO LA KUPATWA KWA JUA SI KAMILI KWENYE ENEO LANGU ** Hauko kwenye njia ya tukio Kamili, na basi hautashuhudia kivutio cha tukio kamili la kupatwa kwa jua. (Tunakushauri kwenye njia ya tukio kamili ili uweze kushiriki katika kivutio hiki cha kushangaza!) 1) Kulingana na habari iliyotolewa kwenye http://tinyurl.com/find-times kuhusu eneo lako andika nyakati unazokisia kila tukio la kupatwa kwa jua kama ilivyonakiliwa hapa chini (tafadhari hakikisha unaweka sawa muda wa ukanda wako!): Kabla ya C1 C1 Katikati ya kupatwa C4 * Hakuna kupatwa kwa jua * Awamu isiyo kamili kuanza: kutukia: Awamu isiyo kamili kumalizika: Baada ya C4 * Hakuna kupatwa kwa jua * (Zingatia kwamba awamu za C2 na C3 hazijaratibiwa kwa kuwa tukio la kupatwa kwa jua si kamili kwenye eneo lako!) 2) Kwa kuwa tukio la kupatwa kwa jua sio kamili mahali ulipo, ni sharti utumie KILA WAKATI unapoangalia jua. Tena tunakushauri uweze kusafiri hadi kwenye njia ya tukio kamili. Kumbuka kubeba ili uweze kushuhudia awamu zisizo kamili za kupatwa kwa jua. 3) Maelezo haya yanafuatwa na michoro ya ziada yenye uwazi ili kukusaidia kuelewa. Ni Sharti usome, uelewe na uzingatie taarifa zifuatazo: INANILAZIMU NIFUATE MAELEZO YOTE KUHUSU MATUMIZI YA KIFAA MAALUM CHA KUTAZAMIA JUA ILI NIWEZE KUKITUMIA KWA NJIA ILIYO SALAMA. NI SHARTI NITUMIE KIFAA MAALUM CHA KUTAZAMA JUA KILA WAKATI NINAPOANGALIA JUA.