Mabingwa kwa ajili ya tunda la Roho Mtakatifu. Iliyoendelea sana. Iliyoendelea sana. Kitabu cha mwanafunzi

Similar documents
Rahisi. Mabingwa kwa ajili ya tunda la Roho Mtakatifu. Kitabu cha mwanafunzi. Rahisi

Mabingwa kwa ajili ya tunda la Roho Mtakatifu. Ngumu. Ngumu. Kitabu cha mwanafunzi

Information for assessors (do not distribute this page to participants):

Rahisi. Kitabu cha mwanafunzi. Mabingwa kwa ajili ya tunda la Roho Mtakatifu. Rahisi

Mabingwa kwa ajili ya tunda la Roho Mtakatifu. Iliyoendelea sana. Kitabu cha mwanafunzi. Iliyoendelea sana

Kocha Mkuu. mabingwa. itakuwa INASTAHILI. Ili Kutoa mafunzo kwa wanafunzi wako kuwa. itakuwa ya kuumiza. Itachukua muda. Itahitaji moyo wa kujitoa.

MUNGU ALIUMBA ULIMWENGU 1 WETU NA VYOTE VILIVYO HAI

Ushindi ndani ya Kristo W. W. PRESCOTT

"ATATOKEA MARA YA PILI, pasipo dhambi, kwa hao wamtazamiao kwa wokovu." Waebrania 9:28.

Mabingwa kwa ajili ya tunda la Roho Mtakatifu. Ngumu. Ngumu. Kitabu cha mwanafunzi

Inavyodaiwa na wanaochanganya Biblia. Ellis Forsman. Inavyodaiwa na Wanao changanya Biblia (Alleged Bible Contradictions) 1

Agano Lililofunikwa Kwa Damu

Theolojia Ujumla. Mike Taylor Semester Munguishi Bible College

WEWE NI NANI? Toleo X Toleo Ukweli wa Injeli Toleo 23

walozaliwa, si kwa damu, wala mapenzi ya mwili, wala si kwa mapenzi ya mtu, mbali kwa Mungu. Sisi sio tena binadamu wa kawaida tu kwa sababu sisi ni w

WAFUNAJI WA NAFSI ABC By Vagn Rasmussen Translation by Lydia Madsen

Iliyoendelea sana. Kitengo cha 2. Kitabu cha mwanafunzi Iliyoendelea sana

Ndugu na dada zangu wapendwa,

Roho Mtakatifu Ni Nini?

MELKISEDECK LEON SHINE. katoliki.ackyshine.com

Maisha Yaliyojaa Maombi

FORWARD BY DANIEL SZMIOT

NGUVU. Utangulizi. Yesu alisema,

MSAMAHA NA UPATANISHO

United Pentecostal Church June 2017

Kwa Nini Yesu Alikufa Msalabani?

Nia Dhidi Ya Kristo Je Unamheshimu?

Kuiponya Picha Tuliyonayo Kuhusu Mungu

Hati ya kuhitimu kisomo Kenya (K.C.S.E)

MUNGU ANADHIHIRISHWA KUPITIA KWA YESU KRISTO.

Kifo Na Mbingu. (Death And Heaven) Ellis P. Forsman. Kifo Na Mbingu (Death And Heaven) 1

Na Itafunika Wingi Wa Dhambi

Ndugu na dada zangu wapendwa,

UKUFUNZI WENYE NGUVU MMOJA-KWA-MMOJA

Ellen White, waasisi wa Kiadventista,na Sabato Lunar

Tazama Yuaja. Kuhusu Toleo Hili. Umuhimu wa Mafundisho ya Biblia. Nguvu katika neno la Mungu.

GRACE COMMUNION INTERNATIONAL KANUNI YA IMANI

JE, YAWEZEKANA KUISHI BILA KUTENDA DHAMBI?

Watumishi Wa Kristo. Ellis P. Forsman. Watumishi Wa Kristo (Servants Of Christ) 1

Mzabibu Na Matawi. (The Vine And The Branches) Ellis P. Forsman. Mzabibu Na Matawi (The Vine And The Branches) 1

Silaha Za Shetani. Ellis Forsman. Silaha Za Shetani (The Devices of Satan) 1

Uongozi Siri Na Larry Chkoreff. Version 1.2 Desemba 2010

KAMA MUNGU YU PAMOJA NASI, BASI YAKO WAPI MATENDO YAKE YA AJABU?

Maisha Ya Mkristo Ni Nini?

UNIVERSITY OF CAMBRIDGE INTERNATIONAL EXAMINATIONS General Certificate of Education Ordinary Level. SWAHILI 3162/01 Paper 1 May/June 2013

Kifo Na Mbingu (Death And Heaven)

United Pentecostal Church April Kushangilia Kwa Sala

usudi la Maisha Hakika katika kuumbwa mbingu na ardhi, na kupishana usiku na mchana, kuna kweli ishara kwa wenye akili, ambaye mkumbuke-

Sura ya 7 Kielelezo: Tumepatanishwa na Mungu na Wanadamu

WAKOLOSAI MTAALA. B. Maoni: Tunapendekeza uwe na fafanuzi (commentary) yoyote yenye kushikilia mafundisho ya awali (conservative) katika Wakolosai.

Ufunguo wa Kutaalamika Haraka

Kanuni. Muhimu za Kujifunza Biblia. Mchungaji Drue Freeman. Dan Hawkins & Joseph Brown. General Editors.

MAFUNDISHO YA UMISHENI

B. Wanafunzi watapata ufahamu mkubwa wa kitabu hiki, na jinsi kinavyofundisha kuhusu kanisa.

Patanishwa, Hesabiwa Haki, Takaswa

Adhabu ya jino kwa jino na Musitakabali wa imani zetu

Uponyaji Wa Laana. (Kumb. 28:1-14).

MWONGOZO WA NAMNA YA KUHAMASISHA MAOMBI YA MCHANA NA USIKU YA SIKU 10.

BIBLICAL INSTRUCTION AND ENCOURAGEMENT FOR THE MAFUNDISHO YA BIBLIA NA HIMIZO KWA MISSION FIELD WORLDWIDE. KAZI YA KIMISHENI ULIMWENGUNI KOTE

Tumaini Kwa Afrika. Thomas Schirrmacher. Hoja 66. Dibaji na Prof. Mchungaji Dk. Thomas K. Johnson. Thomas Schirrmacher Tumaini Kwa Afrika TASCM RVB

UTARATIBU WA KANISA. 2 Jambo la kwanza ninalotaka kusema ni kwamba mchungaji. 3 Sisi tunaamini katika Kanisa la kimitume, tukifundisha

Tafuteni Kwanza Ufalme Wa Mungu

JE! MUNGU ANAMPA MWANAMKE HAKI YA KUTOA MIMBA IWAPO NI MHANGA WA UBAKAJI?

Mukhtasari Wa Mabishano Kwa Na Dhidi Ya Vikombe Vingi Vya Ushirika

IMANI NA MATENDO ELLEN G. WHITE

Kuzimu na Kurudi na Dr. Rawlings Documentary Video Transcript, TBN Films

UZAO WA NYOKA. 2 Basi, usiku huu, tuna malimbuko tu ya utukufu huo mkuu. 3 Kwa uchaji tunasimama kwa imani yetu katika Uwepo

maombi, kabla tu hatujalifungua Neno hili la Kiungu.

Mafundisho Ya Msingi Wa Kikristo. Na Andrew Connally

Kuwa Macho Na Mbwa Mwitu (Watch Out for Wolves)

VITAMBULISHO VITA NO DHA HIRI VYA KA NISA LA KWELI LA MUNGU ALIYE HAI

Juni 3-9 Pata Manufaa Kamili kwakusomabiblia

wasiofaa. Naomba sana kila raia afanye bidii awezavyo kumkaribia Mwenyezi Mungu vile anavyoona inafaa, lakini asipitishe hukumu juu ya wengine.

Oktoba-Desemba

YEHOVA-YIRE 1. 2 Baba yetu wa Mbinguni, tunakikaribia Kiti Chako cha. 3 Tunakushukuru kwa kutuzuru jana jioni. Tunaomba

MACHAGUO YA UZAZI KUFIKIRIA KUWA MZAZI

# 18 Uponyaji Kutokana na Kukataliwa

Ndugu na dada zangu wapendwa,

MATUMIZI YA FACEBOOK KWA BIASHARA. Kwa Wanaoanza

Makasisi. Waingia Uislamu

MAHUBIRI TUNAYOWEZA KUONA

UJASIRI WA YOHANA MBATIZAJI

MASWALI NA MAJIBU JUU YA KITABU CHA MWANZO

Early Grade Reading Assessment for Kenya

2 LILE NENO LILILONENWA

Aina Tatu Za Ibada. Ellis Forsman. Aina Tatu Za Ibada (Three Kinds Of worship) 1

UNABII WA BIBLIA. CBM Publishing 32 Blenheim Road, Far Cotton Northampton, England. NN4 8NW

Kwa Kongamano Kuu 2016

RISALA FUPI YA KUMUWEZESHA MTU KUPAMBANUA NI IPI DINI YA HAKI MWANDISHI: SALEH M. KYAMBO

KITABU CHA KUONGOZA FAMILIA

LALA. Terry Warford. LALA (Sleep - Terry Warford) 1

Jifunze kusimamia pesa zako nchini Uskoti

Elimu ya Msingi inaelekea Upande Sahihi? Kufikiri na Nyerere Rakesh Rajani

Mwongozo wa Utamaduni Toleo la Kwanza

KWA NINI SISI SI MADHEHEBU?

KUTAMBUA SIKU YA KO NA UJUMBE WAKE

UNABII WA HABARI ZA BIBLIA

Kiu Cha umtafuta Mungu

Mwabudu Yehova, Mfalme wa Umilele. Miaka 100 ya Utawala wa Ufalme Inakuhusuje? UKURASA WA 12 NYIMBO: 97, 101. Kufanya Maamuzi ya Hekima Ukiwa Kijana

MIAKA 500 YA MATENGENEZO YA KANISA NA USHUHUDA WETU Na Askofu Dr. Abednego Keshomshahara

Transcription:

kitengo cha 2 Iliyoendelea sana Iliyoendelea sana Mabingwa kwa ajili ya tunda la Roho Mtakatifu Iliyoendelea sana Kitabu cha mwanafunzi

Kuwa bingwa.wewe na Mimi lazima tujifunze kuishi kwa tunda la Roho Mtakatifu, na kupigana dhidi ya dhambi zetu kila siku. Hili si zoezi rahisi na litahitaji muda, jasho, mafunzo na juhudi. Shule ya jumapili kwa ajili ya tunda la Roho Mtakatifu Wagalatia 5:22-23 Njoo kwa darasa hili kila siku kwa zoezi lako na mafunzo na usikize kocha wako. Jifunze mstari wa kukariri, sikiza Hadithi ya Biblia, na upate usaidizi jinsi ya kupiga nje dhambi ambazo zinapigana kwenye moyo wako. Kisha wakati wa wiki, ingia kwenye uwanja ukiweka katika zoezi kila somo katika maisha yako halisi. Kila wakati unapofanya kazi yako ya nyumbani yenye jina, "ndani ya uwanja" unatupa ngumi kubwa kwa dhambi.! ENDELEA NA PIGANO,na unaweza shinda mashindano na UWE SHUJAA! 1

1 Uvumilivu dhidi ya kukosa uvumilivu Hadithi ya Biblia: Ndama ya dhahabu. Kutoka 32 "mkiwezeshwa kwa uwezo wote, kwa kadiri ya nguvu ya utukufu wake, mpate kuwa na saburi ya kila namna na uvumilivu pamoja na furaha" Wakolosai 1:11 Nafikiria nitafika haraka na hizi 1. Ni kwa jinsi gani Mungu anazungumza nasi? Nini jambo la mwisho Alisema kwako? 2. Mambo gani tunaweza kufanya ili tusisahau miujiza ya Mungu kwa haraka kama Waisraeli walivyofanya katika hadithi ya leo? 3. Maana ya umilele ni nini? Ni jinsi gani inawezekana kwamba sisi tutaishi milele? U T K U T O T I I A L Y W L E R S W M R B M I F K U V U M I L I V U M D M O U T U N I C B S I U A K L U M A M S A A U M P O I M U D A A R W J I I L N W N G O J A R I L G E Z A G D K E K A Z E O W I G U O P L A M A L W A I S R A E L I F R E UVUMILIVU WAISRAELI OKOLEWA MAPIGO UTUMWA ULINZI MUSA MLIMA KUTOTII NGOJA MUDA UMILELE MUNGU BARAKA MIUJIZA Andika kwenye sakafu kile Mungu amekufanyia awali, kisha weka jiwe kama doa la alama. Fanya moja kanisani, kila mwanafunzi akifanya doa lake maalumu, na kufanya lingine nyumbani wakati wa wiki. Baada ya kuweka jiwe doa ya alama yako, shiriki na mtu mwingine kile Mungu alichofanya. 2

2 S H I N I K I Z A I S G O J K U B A L I K A P H M M E R V K O M A A K A A A K L A U M U Y V W A Y B R R H V M U C H U N G U U A I U M L D H A M B I B L F S Z A I H P O I M A U I I T U E V K R I L W K N W K O N K U H E R I K U L A I K I K G K I W A M A T E S O Uvumilivu dhidi ya Huzuni Hadithi ya Biblia: Ayubu ateseka na uvumilivu Ayubu 1-2 Wakati mwingine nahisi kulia kwa ndani, lakini naweza kutabasamu. "Hii ndiyo faraja yangu katika taabu yangu, Ya kwamba ahadi yako imenihuisha." Zaburi 119:50 UVUMILIVU HUZUNI UCHUNGU MATESO VUMILIA HERI AYUBU SHABULIWA LAUMU DHAMBI SHINIKIZA MARAFIKI KOMAA MKRISTO KUBALIKA 1.Kwa nini Mungu anaruhusu sisi tuteseke? 2. Kwa nini mpendwa wetu aliweza kufa? 3. Inawezekana aje mateso kuwa baraka? Andika asante kwa Mungu juu ya jambo ambapo uliteseka. Jaribu kusema kama alivyofanya Ayubu, "Bwana alitoa, na Bwana ametwaa. Jina la Bwana lisifiwe. Shiriki na wengine katika darasa ushuhuda wako kama unaweza. 3

3 Uvumilivu dhidi ya Kiburi Hadithi ya Biblia: Mfalme Nebukadreza Danieli 4 "Heri mwisho wa neno kuliko mwanzo wake, Na mvumilivu rohoni kuliko mwenye roho ya kiburi." Mhubiri 7:8 Sitaki kunyenyekea!ni lazima nifanye hivo? 1. Je, unafikiri mfalme kweli alikuwa wazimu na kula nyasi? N Y E N Y E K E Z W A Z U L M H A R I B U U U K D H A M B I K M S V T I M I Z A R S H I U J I A M I N I I A F M W E T E K T R F K U U M F A L M E M A I N L G I M U N G U R B G I M U K I R I U I U O V Z K R W M I J I R J U A H A D I D E R I A 2. Angeweza aje mfalme kujinyenyekeza mwenyewe ili Mungu asifanye hivyo? 3. Je, watu wanajifanya kuwa kama wafalme katika jamii yako? Na inaonekana aje? Fanya shughuli kadhaa kujinyenyekeza. Unaweza kumpa mtu nafasi yako katika mstari, epuka kutazama kipinda katika runinga ambapo wahusika wamejaa kiburi, peana sehemu yako katika jukwaa au mbele ya wengine, au ruhusu wengine kuwa sahihi. 4 KIBURI DHAMBI HARIBU MFALME JIAMINI MIJI MUNGU NYENYEKEZWA UVUMILIVU NGOJA TIMIZA AHADI KIRI SIFU SIFA

4 Uvumilivu dhidi ya Hasira Hadithi ya Biblia: Daudi, Nabali na Abigaili 1 Samweli 25 HASIRA HISIA POFUSHA KOSA SAWA DAUDI NABALI ABIGAILI LIPIZA KISASI HATARI MLO SAFIRI ULINZI HERI SAHIHI H U K I M L O C V N B G H F H D S S P O F U S H A R A H S A W A U S A W S A H I H I H B E S S U T L G F D A U D I W E R A R D I O A I H A A E A B I G A I L I F R P R N B R W T Y U I G D H I S I A I I Z J I D L I P I Z A K I S A S I R I I 1. Kuna kosa gani kukasirika tunapo kosewa? 2. Umewahi kukosewa wakati ulikuwa sawa? Eleza. 3. Je, Mungu siku zote atanilipizia kisasi? Usiangalie! Sitaki kushikwa! (kwa sababu hio hufanya nikasirike sana) "Mwe na hasira, ila msitende dhambi; jua lisichwe na uchungu wenu bado haujawatoka..." Waefeso 4:26 Nunua vitu vichache vidogo vya kupeana kama zawadi. Wakati unapokuwa na hasira, toa bidhaa kwa mtu uliye na hasira naye. Jaribu kuondoa hasira yako kwa kutoa zawadi ndogo kwa watu, na kutazama jinsi uvumilivu wako unavyokua. 5

5 Uvumilivu dhidi ya KUJITAKIA HAKI Hadithi ya Biblia: Manna na kware Kutoka 16: 1-18 "Nanyi vumilieni, mthibitishe mioyo yenu, kwa maana kuja kwake Bwana kunakaribia. Ndugu, msinung'unikiane, msije mkahukumiwa. Angalieni, mwamuzi amesimama mbele ya milango." Yakobo 5: 8-9 Naamini yakuwa nastahili yote,ile yote ambayo hii mikono inaweza beba! JITAKIA HAKI STAHILI MTU TUNUKU AMINI MAJIVUNO KUDAI MUNGU OMBAOMBA VUMILIA TUMAINIA MANNA KWARE MIUJIZA LALAMIKA H J I T A K I A H A K I R T G E R T M E R T D M U O E Y D A S S I B D M A I D M V G K G T U N U K U A U A B U D W M A J I V U N O J I A M B A A H X C D S G C I F O I H R N I D F M T U Z Z I M L J E N L A L A M I K A H B I B R A I T T U M A I N I A A D G H J U I H J K G D B J K S 1. Ni vitu gani tunatarajia kopokea kutoka kwa serikali yetu? 2. Watu husema nini sana wakati wananung unika na kulalamika kuhusu kile ambacho hawana? 3. Umewahi kujaribiwa kudai kitu kutoka kwa Mungu? Wiki hii hudaiwi na mtu chochete. Kila wakati unapotaka kuomba kitu, jizuie mwenyewe. Kila wakati unapo jizuia mwenyewe kuomba chakula, kibali, muda, au msaada; unashinda dhidi ya dhambi hii. 6

6 Wema dhidi ya Kulinganisha Hadithi ya Biblia: Mfalme Sauli na Daudi 1 Samweli 18: 5-16 Jarida langu ni bora kuliko lako. Najuwa hiyo! "Lakini kila mtu na aipime kazi yake mwenyewe, ndipo atakapokuwa na sababu ya kujisifu ndani ya nafsi yake tu, wala si kwa mwenzake." Wagalatia 6:4 1. Nani huwa unajilinganisha naye kwa kaiwaida? Huwa inakufanya uhisi aje? 2. Kwa njia zipi unaona kujilinganisha kwenye facebook ama mitandao mingine ya kijamii kwenye mzunguko ya marafiki wako? 3. Watu katika jamii yako huwa wanajaribu kuwa na sherehe kubwa na bora?kwa njia ipi? G P I G A K E L E L E U H U S U D U Y U I U K H P E S A T R W N W A T O F A U T I A G E R T D S U D G H T A N I D G A L I E R U N G M H J W I V U F G I I U W E Z O M J G F S N E W A N A W A K E H E T Y U I F A N A N A F UKARIMU WENGINE WATU UWEZO PESA WIVU DAUDI SAULI WANAWAKE TOFAUTI FANANA PIGA KELELE HUSUDU LINGANISHA Jipatie mwenyewe mipira midogo 20 mwanzoni mwa wiki. Kila wakati unapo jipata ukijilinganisha na wengine, ondoa mpira moja. Hii ni pamoja na facebook au maombi mengine kwenye mtandao ambapo sisi mara nyingi hujilinganisha na wengine. Kama inahitajika, funga facebook kwa wiki nzima. 7

7 Wema dhidi ya Udanganyifu Hadithi ya Biblia: Petro amkana Kristo Mathayo 26: 31-35, 69-75 Niangalie! Napeperuka nikiwa peke yangu! 1. Ni nini inamfanya mnafiki? 2. Je umewahi shushwa na kasfa la kanisa? Ni lipi? 3. Ni wakati upi sawa kuficha ukweli? PIGANA DHAMBI UDANGANYIFU FICHA UKWELI UADILIFU WANAFIKI MHUBIRI ISHI MAFUNZOK PETRO KATALIWA YESU MSAMAHA TUBU "Sikuketi pamoja na watu wa ubatili, Wala sitaingia mnamo wanafiki." Zaburi 26:4 P E T R O G H U T M S A M A H A D I U A D I L I F U R I S H I D F H G S U D A N G A N Y I F U Y U T A A K A T A L I W A R T Y B T G U M N A Y E S U E W A N A F I K I B B A R T Y M A F U N Z O Y R F U U I A F I C H A S U K W E L I C R E W Wiki hii, enda kwa mtu ambaye ulimdanganya, na umwambie ukweli. Omba msamaha kwa uongo, na kuwaomba wakusamehe. Kila wakati unaporudi na kusema ukweli itakuwa ushindi mwingine mkubwa dhidi ya dhambi hii. 8

8 1. Ni sheria gani zilizo katika jamii zenyu ambapo unawajibu wakusaidia walio na mahitaji? 2. Katika jamii yako, ni kwa njia gani watu husema si shida yangu na kukataa kusaidia? 3. Je umoja katika mwili wa Kristo unafanana aje? UKARIMU dhidi ya kujiondoa Hadithi ya Biblia: Ruthu na Naomi Ruthu 1: 8-22 Sihitaji kusaidia yeyote,kwa sababu ANGALIA! Sina umbo la ukweli! Mimi ni blob tu! Mstari wa kukariri : Usiwanyimewatu mema yaliyo haki yao,ikiwa katika uwezo wa mkono wako kuyatenda. Mithali 3:27 H K U J I O N D O A E R T J K F S I L I K A Q W H U R T Y N S D U A E S G E N M S A A D A N A H H S G K U T O J I H U S I S H A U I P M R T Y N R D H I N F E L I F G H I U A E M I B M T A Z A M O T F R A S W E N G I N E F H D I Z H N Y A N A N I C U H A D A KUJIONDOA MTAZAMO KUTOJIHUSISHA FELI YA NANI SHIDA MSAADA WENGINE KANUNI HESHIMA SILIKA SHERIA RUTHU NAOMI UNGANISHA Tafuta mtu wa kumsaidia, hasa kama "sio tatizo lako." Mpe mtu asiye na makao, au labda mtoto katika shule anayehitaji kalamu mpya au Raba. Hakikisha kuwa hawana husiano na wewe, na kwamba huna wajibu au haja ya kumsadia. 9

9 UKARIMU dhidi ya FITINA Hadithi ya Biblia: Esta aokoa watu wake Esta 3-5 Ouch! inauma wakati wengine ni wachoyo kwangu 1. Kwa nini Mungu anataka kuondoa watu wote waovu? 2. Karibu kila taifa lina hadithi jinsi walivyojaribu kuua kabila nzima la watu. Ni hadithi ipi ya taifa lenu? 3. Watoto huzaliwa wasafi na bila dhambi? UKARIMU FITINA SABABISHA JERAHA DHURU MWINGINE HAMON PANGA UA WAYAHUDI MCHOYO KISASI ESTA KARAMU D H U R U H J G F W K S A B A B I S H A A D U K A R I M U Y R M W I N G I N E A A S E S T A J K J H M E H A M O N H E U U R T S D F G H R D F I T I N A E R A I J K L P A N G A H D T M C H O Y O R A G "Ndugu zangu, nimehakikishwa mimi mwenyewe kwa habari zenu ya kuwa ninyi nanyi mmejaa wema, mmejazwa elimu yote, tena mwaweza kuonyana." Warumi 15:14 Linda mtu wiki hii kutokana na mtu anayewakosea bila sababu. Tunapo linda mtu mwingine, pia tunakabiliana na dhambi hii katika mioyo yetu wenyewe. Hatarisha sifa yako mwenyewe kwa kulinda mtu mwingine. 10

10 WEMA dhidi ya kutojali Hadithi ya Biblia: Sodoma na Gomora Mwanzo 18: 16-33 Kwa nini niwe na wasiwasi kuhusu mtu mwingine? Niko na shida yangu chini ya shimo hili! 1.Unaweza kufanya nini Bwana mwenyewe akijionyesha kwa nyumba yako kwa kuzuru? 2.Ni kutojali kupi kulioko katika majirani wako? Je watu husema, sio shida yangu? 3.Malaika ni halisi? Kuna malaika kwenye darasa lenu sasa hivi? WEMA JALI WENGINE KUTOJALI KUKOSA SHAUKU MSISIMUKO MUNGU ABRAHAMU MALAIKA HARIBU MIJI HURUMA MOYO H J K Y G F T W E M A O P W H E R S M S I S I M U K O W Q H E A S D K U K O S A E R T Y G H U N R H I M N M A L A I K A O J J R G I A H I G O P J A B R A H A M U I B U D J U G B H J N M J G L I M N U K C I F K U T O J A L I I U A E P U V "Kwake huyo atakaye kuzima roho inapasa atendewe mema na rafiki; Hata kwake huyo aachaye kumcha Mwenyezi." Ayubu 6:14 Omba na uulize Mungu ili aongeze shauku katika moyo wako wiki hii. Tafuta kitu unachoweza kufanya kwa wengine ili kuongeza shauku yako kwa wengine. Tembelea huduma fulani na kujifunza kuhusu kile wanachokifanya, saidia katika makazi unaolisha watu wengine, au kutazama video kuhusu mahitaji duniani kote. Shiriki mahali uwezavyo. 11

11 WEMA dhidi ya Uovu Hadithi ya Biblia: Herode na Yohana Luka 3: 18-20, Mathayo 14: 1-12 1. Mbinguni itafanana aje, na ni nani wataenda huko? 2. Kuzimu kutafanana aje, na ni nani wataenda huko? 3. Je, mambo maouvu ambayo watu hufanya yanaweza kuumiza roho yangu? F M U N G U H D F M B A T I Z A J I O I H A B W K E Y Y N E Y W A I H O O G R A A N S A H U U O R N A W N A O N D I A U E A N V I E S D M M M A U H J H Z E A U B T U M A I N I A WEMA UOVU MOYO WANAUME TUMAINIA MUNGU HERODE YOHANA MBATIZAJI TAYARISHA MBINGUNI JEHANAMU HAKI BWANA Sikuwa na wazo yakuwa watu wanaweza kuwa wachoyo hivi.inaweza nichukua muda kutoka chini ya uzito huu "Uache mabaya ukatende mema, Utafute amani ukaifuatie." Zaburi 34:14 Angalia karibu nawe kwa uwepo wa uovu, ambapo mtu anaumiza mwingine bila sababu. Tafuta njia ya kuingilia kati wiki hii ili ulinde mtu asiye na hatia. Labda kumsaidia atembee njia tofauti kwenda nyumbani kutoka shuleni, kumpa chakula cha mchana, au kuwa na kundi la watu 4 wajiunge na wewe kutembea pamoja. 12

12 Uzuri dhidi ya JITIHADA ZA Ubinafsi Hadithi ya Biblia: Mnara wa Babeli Mwanzo 11: 1-9 WEMA UBINAFSI JITIHADA UWEZO HESHIMA MALI TOFAUTI UMAARUFU PATA MWANGALIFU MNARA BABELI NYENYEKEZWA JITAHIDI U B I N A F S I B N H M F T B N P A S H E S H I M A D F A S O E M A D F W X V M W A N G A L I F U N T N Y E N Y E K E Z W A I B A W A A F V M V J I T A H I D I N U E R D X C A U M A A R U F U B M T Z A V J I T I H A D A B A B E L I O B C 1. Taja baadhi ya mifano ya umaarufu wa Kikristo. Je, unafikiri kwamba wakati mwingine watu hutaka kujifanyia jina wenyewe? 2. Je, maisha yanaweza kuwa rahisi jinsi gani ikiwa Mungu mwenyewe ako dhidi yako? 3. Ni njia gani ambazo tunaweza kujinyenyekeza ili Mungu asifanye hivyo? Mimi ni wa kutisha! Nikitaka kitu mimi hukiendea! "Msitende neno lo lote kwa kushindana wala kwa majivuno; bali kwa unyenyekevu, kila mtu na amhesabu mwenziwe kuwa bora kuliko nafsi yake." Wafilipi 2:3 Usifanye lolote wiki hii ili kuongeza umaarufu wako au kujulikana. Kila wakati nafasi ikijitokeza, kataa. Unapofanya hivyo, utakuwa unapiga ngumi dhambi hii ya ujanja. 13

13 WEMA Dhidi ya Uchafu Hadithi ya Biblia: Yusufu na Potifa Mwanzo 39: 1-21 Naweza kukimbia kutoka kwa hali kwa kupanda ngazi juu? 1. Je, unafikiri nini kuhusu wanafunzi wote katika shule yako walio na marafiki wa kiume/marafiki wa kike? 2. Je, wewe una sura nzuri/mrembo? 3. Je, Kama mtu ameumizwa, ameharibiwa na hawezi tena kuwa msafi? UCHAFU VITENDO ONYESHA MIOYO YUSUFU UTUMWA POTIFA MKE KAA SAFI NDANI "Kwa hiyo twawaombea ninyi sikuzote, ili Mungu wetu awahesabu kuwa mmekustahili kuitwa kwenu, akatimiza kila haja ya wema na kila kazi ya imani kwa nguvu" 2 Wathesalonike 1:11 U C H Y U S U F U T U M W A B N B I P O T I F A M L C Q P N D A O D R M I M E C H E R Y H A S K U R A A H I N Y O N Y E S H A I A V I T E N D O O I U K A A P O F T F S M K E I R Y U I M E C H A F U L I W A A V B N O Linda moyo wako wiki hii. Kama kuna kitu kimefanywa dhidi yako, kumbuka kwamba wao ndio waliokosa, sio wewe. Sema katika maombi kila siku, "Mimi ni msafi mbele yako, Mungu". Kama umefanya kitu dhidi ya mtu mwingine, omba radhi kwa mtu huyo na pia Mungu. Kisha unaweza kuomba, "Mimi ni msafi mbele yako, Mungu." 14

moja 1...Ngumi dhidi ya kila dhambi HAIWEZI nje. kuziondoa Unataka kuondoa-kabisa? Endelea kupiga ngumi mara nyingi. Bali Mungu aonyesha pendo lake yeye mwenyewe kwetu sisi, kwa kuwa Kristo alikufa kwa ajili yetu, tulipokuwa tungali wenye dhambi. Warumi 5:8 Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na wa haki hata atuondolee dhambi zetu, na kutusafisha na udhalimu wote. 1 Yohana 1:9 Tazama mimi naliumbwa katika hali ya uovu, mama yangu alinichukua mimba hatiani. Zaburi 51:5 Champions 2 Advanced Swahili www.childrenareimportant.com info@childrenareimportant.com We are located in Mexico. DK Editorial Pro-Visión A.C.