JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA. Ifahamu Sekta ya Viwanda Vidogo na Biashara Ndogo. TOLEO Na.

Similar documents
GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23)

GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23)

TANZANIA MARKETS PAN Sera zinazoboresha masoko

NGUZO KUMI ZA KILIMO KWANZA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA NISHATI NA MADINI

Mradi wa Usimamizi Endelevu wa Rasilimali ya Madini Ukanda

Mheshimiwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame M. Mbarawa (Mb.); Waheshimiwa Mawaziri na Wabunge wote mliohudhuria;

Misamaha ya kodi Tanzania: Je, ni mikubwa sana na kutufanya tuwe tegemezi kwa misaada?

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO

Ripoti Fupi ya Nchi kuhusu Kazi Zenye Staha TANZANIA (bara)

JAMHURI YA KENYA. Mkakati wa Ushirikiano MUKHTASARI FY Public Disclosure Authorized. Public Disclosure Authorized

Taarifa Kuhusu Hali ya Uchumi wa Tanzania

MAADHIMISHO YA MIAKA 15 YA FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY

TAARIFA FUPI KUHUSU SERA YA TAIFA YA ELIMU

Ripoti ya Mwaka ya Utekelezaji wa MKUKUTA 2006/07

Kubadili Sheria Za Mbegu Na Ulinzi Wa Aina Za Mbegu Na Mimea Nchini Tanzania

HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA MHESHIMIWA DKT

UKUZAJI WA ASALI AFRICA (HONEY CARE AFRICA)

Dibaji ya Mwenyekiti wa Kamati ya Pamoja ya Uongozi

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA FEDHA

HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA BENJAMIN WILLIAM MKAPA,KWA WANANCHI, 30 SEPTEMBA, 2001

MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI KWA MWAKA 2017/18

TAFSIRI RAHISI YA MPANGO WA MAENDELEO YA AFYA YA MSINGI (MMAM)

3. Mheshimiwa Spika, 4. Mheshimiwa Spika,

MKAKATI ATHARI YA MAZINGIRA NA KIJAMII YA KAZI YA PRO-ROUTES. Ombi kwa ajili ya fedha za umma wa mradi wa ziada

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

MALENGO YA MAENDELEO ENDELEVU

HOTUBA YA WAZIRI WA KILIMO MHESHIMIWA MHANDISI DKT. CHARLES JOHN TIZEBA (MB) KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA YA WIZARA YA KILIMO KWA

ATHARI ZA MABADILIKO YA TABIANCHI KWA UCHUMI WA ZANZIBAR

In the matter of an Application by the KIGOMA URBAN WATER SUPPLY AND SEWERAGE AUTHORITY (KUWASA) For a Tariff and Charges Adjustment

Utumiaji Wa Kiswahili Na Lugha Za Jamii Kijinsia Nchini Tanzania Y.P. MSANJILA University of Dar-es-Salaam, Tanzania

TANZANIA OSAKA ALUMNI. Kitabu cha Mbinu Bora

HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, MHESHIMIWA DKT. PHILIP I. MPANGO (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA SERIKALI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO

UTANGULIZI. 1. Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako. 2. Mheshimiwa Spika, awali ya yote nitumie fursa hii kuungana na

Programu ya Uendelezaji Mifumo ya Maji Vijijini (PUMMV) katika Tanzania. Modeli wa Ukodishaji Mradi

HOTUBA YA WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU: KAZI, AJIRA, VIJANA NA WENYE ULEMAVU MHE

KAMATI ZA KUDHIBITI UKIMWI NCHINI TANZANIA

Mwongozo kwa Lugha Rahisi wa Sera ya Maendeleo ya Ushirika na Sheria ya Vyama vya Ushirika Tanzania Bara

NGUO MPYA ZA UKOLONI. Mikataba ya Ushirikiano wa Kiuchumi kati ya Umoja wa Ulaya na Afrika. Agosti 2017

HAKI NA TARATIBU ZA AJIRA, KAZI NA HIFADHI YA JAMII

UTANGULIZI ANUANI NA MANDHARI YA CHUO

Miradi na jamii. 3.1 Utangulizi

WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI TAASISI YA ELIMU TANZANIA MTAALA WA ELIMU YA MSINGI TANZANIA

Uhakika wa Mbegu kwa Uhakika wa Chakula MWONGOZO WA UZALISHAJI WA MBEGU ZA ASILI ZA MAHINDI

HOTUBA YA WAZIRI WA KILIMO MIFUGO NA UVUVI MHESHIMIWA, ENG. DKT. CHARLES JOHN TIZEBA (MB.) KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA YA WIZARA

Nilikua na Ndoto ya Kumaliza Shule Changamoto za Elimu ya Sekondari Tanzania

Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi (MMEM) Muhtasari Rakesh Rajani na George Omondi

SERA & TARATIBU YA YALE NEW HAVEN HEALTH

Information for assessors (do not distribute this page to participants):

MKAKATI WA PILI WA TAIFA WA KUDHIBITI UKIMWI ( )

Dodoma ambako kikao cha Bunge kinaendelea kuja kushiriki japo sehemu ya uzinduzi wa mkutano.

MAPENDEKEZO YA MTANDAO WA WANAWAKE NA KATIBA TANZANIA

MKAKATI WA PILI WA TAIFA WA KUDHIBITI UKIMWI ( )

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara kuhusu WEMA

5. Mheshimiwa Spika, Bunge lako Tukufu lilijadili kwa kina Miswada ifuatayo:

MAKUBALIANO YA 2005 YA ULINZI NA UKUZAJI WA VIELELEZO VYA TAMADUNI ANUWAI

Mwongozo wa Kutathimini mifumo ya Ugawanaji wa faida na Mapato Katika Miradi ya Jamii ya MKUHUMI

TANGA CEMENT PLC ANNUAL REPORT TAARIFA YA MWAKA.

In the matter of Application by the TANGA URBAN WATER SUPPLY AND SEWERAGE AUTHORITY (TANGA UWASA) For a Multi-Year Tariff Adjustment

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Songa kwenye kilele cha upeo. Masuala ya Msingi na Ujuzi juu ya Uendeshaji wa Serikali za Mitaa

Azimio la Umoja wa Mataifa Kuhusu Watetezi wa Haki za Binadamu

HOTUBA YA WAZIRI WA AFYA MHESHIMIWA

DIRA DHIMA. Kuendeleza, kuwezesha, kudhibiti na kusimamia matumizi endelevu ya Rasilimali za Nishati na Madini kwa manufaa ya Watanzania.

Ripoti ya Maendeleo ya Binadamu 2013

BUNGE LA TANZANIA MKUTANO WA NANE. Kikao cha Ishirini na Nane Tarehe 16 Julai, (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A

HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA BENJAMIN WILLIAM MKAPA, KWA WANANCHI, TAREHE 31 JULAI 2001

Huduma kwa wateja kupitia barua pepe na ujumbe mfupi Fig

Ufanisi katika Ufundishaji kwenye Shule za Msingi na Sekondari nchini Tanzania

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO

28 JUNI, 2018 MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA KUMI NA MOJA. Kikao cha Hamsini na Tisa Tarehe 28 Juni, (Mkutano Ulianza Saa 3.

The Government is committed to improve marine transport and has a number

Kuuelewa Mchakato wa Bajeti Tanzania Mwongozo wa Asasi za Kiraia

KUHUSU AFRODAD. Dira ya AFRODAD. Dhamira ya AFRODAD. AFRODAD inalenga mchakato sawa na endelevu wa maendeleo kuelekea Afrika yenye mafanikio.

Sera ya Faragha. Upeo. Aina za Data na Mbinu za Ukusanyaji

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

BUNGE LA TANZANIA MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA KUMI NA MOJA. Kikao cha Hamsini na Tatu Tarehe 19 Juni, (Bunge Lilianza Saa Tatu Asubuhi)

Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA ISHIRINI KIKAO CHA KUMI NA MBILI TAREHE 22 JUNI, 2005

KUSHUKA KWA HADHI YA LUGHA ZA JAMII NCHINI TANZANIA YOHANA P. MSANJILA University of Dar es Salaam, Tanzania

UNACHOHITAJI KUJUA KUHUSU VIKWAZO VYA KULINDA MAISHA KATIKA USAIDIZI WA KIMATAIFA WA AFYA KWA MSAADA WA KIMATAIFA UNAOFADHILIWA NA MAREKANI

Bustani 10,000 Katika Afrika. Alberto Prina

Human Rights Are Universal And Yet...

Azimio lililopitishwa na Mkutano Mkuu tarehe 18 Desemba 2013 [juu ya taarifa ya Kamati ya Tatu (A/68/456/Add.2)]

TAARIFA YA MWAKA YA UTENDAJI KAZI IDARA YA UTAWALA BORA 2013/2014

Jifunze kusimamia pesa zako nchini Uskoti

Kitabu Cha Mafunzo Ya Uongozi Kwa Wanawake

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA ELIMU SAYANSI TEKNOLOJIA NA UFUNDI MTAALA WA ELIMUMSINGI DARASA LA I NA LA II

TIST HABARI MOTO MOTO MAANDALIZI YA MWAKA 2000 Y2K PREPARATIONS SASA NI WAKATI WA KUANZA KUPANDA MBEGU ZAKO

Elimu ya Msingi inaelekea Upande Sahihi? Kufikiri na Nyerere Rakesh Rajani

Unyanyasaji wa Watoto & Kutelekezwa

UFUPISHO WA 35. Hali ya kiulimwengu ya Tekinolojia ya kibiashara/ugeuzi jeni na uboreshaji mazao: Clive James Chair, ISAAA Board of Directors

Kiswahili, utandawazi na umoja wa Afrika

USIMAMIZI MKUU WA UBORA WA MAHURUJI

Muhtasari wa taarifa ya warsha ya wataalamu juu ya mfumo wa habari kwa njia ya ramani (PGIS), Morogoro, Juni 30 - Julai 1, 2014

SautiElimu. Sauti Yako Isikike

3 FEBRUARI, 2015 BUNGE LA TANZANIA MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA KUMI NA NANE. Kikao cha Saba - Tarehe 3 Februari, 2015

Ripoti hii ni kwa heshima ya wale wanaharakati wengi wa Tanzania ambao ndio binafsi wanaopitia hali iliyoangaziwa, na vilevile wale walioyapoteza

Kilimo cha kiekolojia cha Wakulima Wadogo Hufanikisha Haki za Mazingira

UFUATILIAJI WA MIRADI NA TATHMINI

MWONGOZO WA USHIRIKISHWAJI KATIKA KUPANGA MATUMIZI YA ARDHI WORLD BANK

Transcription:

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA Ifahamu Sekta ya Viwanda Vidogo na Biashara Ndogo TOLEO Na. 1, Desemba, 2012

Yaliyomo Orodha ya Vifupisho -------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------3 1.0 Utangulizi -------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------4 2.0 Umuhimu wa Sekta ya Viwanda Vidogo na Biashara Ndogo Katika Taifa Letu -------------5 3.0 Hali ya Sekta --------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------6 4.0 Miongozo ya Kuendeleza Sekta -------------------------------------------------------------------------------------------------------------------8 5.0 Fursa za Kuendeleza Sekta ---------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------9 6.0 Mafanikio yaliyopatikana Katika Sekta ----------------------------------------------------------------------------------------------13 7.0 Hitimisho -------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------14 2

iii. Upatikanaji mitaji Wizara kupitia Mfuko wa Wafanyabiashara Wananchi (NEDF) unaoendeshwa na SIDO imeweza kutoa huduma ya mikopo ya zaidi ya shilingi bilioni 21 kwa kwenye zaidi ya miradi midogo 46,000 na kuwezesha kupatikana kwa ajira zaidi ya 160,000. iv. Fursa za Masoko Wajasiriamali wadogo 228 wanaozalisha bidhaa na huduma mbalimbali wameweza kuunganishwa na makampuni makubwa na ya kati. Aidha, zaidi ya wajasiriamali wadogo 1500 waliwezeshwa kushiriki maonesho ya biashara katika kipindi cha mwaka 2011/ 2012. Juhudi hizi zimesaidia jasiriamali ndogo kuzalisha bidhaa bora na kuweza kuhimili ushindani wa soko nchini na hata baadhi za bidhaa kupenya katika masoko ya nje ya Tanzania. v. Elimu kwa ujasiriamali wadogo 14 Wizara kwa kushirikiana na SIDO katika kipindi cha mwaka 2011/ 2012 pekee imeweza kutoa mafunzo ya ujuzi ya usindikaji nafaka na matunda kwa wajasiriamali 1,764, usindikaji wa mafuta ya alizeti, utengenezaji sabuni, mishumaa, chaki, utengenezaji wa mizinga ya kisasa na usindikaji wa asali kwa wajasiriamali 2,054 kupitia kozi 143. Aidha, wajasiriamali 63 walipata mafunzo ya usindikaji wa ngozi na bidhaa zake. Mafunzo hayo yamewawezesha wajasiriamali kufanya kazi kwa kujiamini na kuweza kuzalisha bidhaa bora zenye kukubalika na soko la ndani na nje ya nchi. Hali kadhalika, wajasiriamali 10,964 walipata mafunzo ya huduma za kuendeleza ujasiriamali, wajasiriamali 16,138 walipata huduma za ushauri na ugani. 7.0 Hitimisho Sekta ya Viwanda Vidogo na Biashara Ndogo ni sehemu kubwa ya Sekta Binafsi hapa nchini. Sekta hii inabeba ahadi ya kulikomboa taifa letu kiuchumi na kijamii na kuliwezesha taifa letu kufikia Dira yake ya Maendeleo ya mwaka 2025. Hivyo, Wizara inatoa rai kwa wadau wote wa Sekta hii wakiwemo Washirika wa Maendeleo kushirikiana katika kuiendeleza sekta hii muhimu ili iweze kuwa shindani na yenye kujenga msingi wa maendeleo ya sekta zingine. Orodha ya Vifupisho CAMARTEC Centre for Agricultural Mechanization and Rural Technology CTI Confederation of Tanzania Industries CoET College of Engineering and Technology CHC Consolidated Holding Corporation EPZ Export Processing Zone EPZA Export Processing Zone Authority GDP Gross Domestic Product JICA Japan International Cooperation Agency LAT Leather Association of Tanzania NBS National Bureau of Stastistics NDC National Development Corporation PSRC Parastatal Sector Reform Commission SEZ Special Economic Zone SME Small and Medium Enterprise SIDO Small Industries Development Organization TCCIA Tanzania Chamber of Commerce, Industry and Agriculture TEMDO Tanzania Engineering and Manufacturing Design Organisation TILT Tanzania Institute of Leather Technology TIRDO Tanzania Industrial Research and Development Organisation TFDA Tanzania Food and Drug Association TANTRADE Tanzania Development Authority TAHA Tanzania Horticulture Association TGF Tanzania Gatsby Foundation TRA Tanzania Revenue Authority UNDP United Nations Development Programme UNIDO United Nations Industrial Development Organisation 3

1.0 Utangulizi Sekta ya Viwanda Vidogo na Biashara Ndogo (Small and Medium Enterpises - SMEs) ni mtambuka ambayo inagusa shughuli zote za kiuchumi kutegemeana na ukubwa wa shughuli husika. Baadhi ya shughuli za kiuchumi katika sekta hiyo ni kama uvuvi, uwindaji, dukawala, migahawa, maduka ya dawa, uchimbaji madini, ufugaji nyuki, usindikaji, viwanda, karakana, mawasiliano, utengenezaji vipuri, kliniki, shule, uchezaji ngoma, usafirishaji, ushauri nasaha na utafiti. Ili kuweza kufahamu kama shughuli fulani ya kiuchumi ni ya sekta Viwanda Vidogo na Biashara Ndogo kuna vigezo vinavyotumika ambavyo nchi huwa zinakubaliana kulingana na mazingira halisi ya kiuchumi na kijamii. Vigezo ambavyo hutumika na nchi nyingi ni pamoja na idadi ya ajira, kiwango cha mtaji kinachowekezwa katika shughuli na mapato yatokanayo na mauzo ya bidhaa. Kwa Tanzania, vigezo vya kuitambulisha sekta hii vilivyokubalika vimeainishwa vyema katika Sera ya Maendeleo ya Viwanda Vidogo na Biashara Ndogo ya Mwaka 2003 ambavyo ni idadi ya ajira pamoja na kiwango cha uwekezaji katika shughuli. Kulingana na Sera hiyo, sekta hii hutambulika kama ifutavyo: 4 Viwanda Vidogo na Biashara Ndogo Sana (Micro Enterprises) ambazo huajiri watu wasiozidi 4 na kuwa na mtaji wa uwekezaji (mashine) wa chini ya Shilingi milioni 5 za kitanzania. Viwanda Vidogo na Biashara Ndogo (Small Enterprises) ambazo huajiri kuanzia watu 5 na 49 na kuwa na mtaji uwekezaji (mashine) wa kati ya Shilingi milioni 5 hadi milioni 200 za kitanzania. Viwanda vya Kati na Biashara za Kati (Medium Enterprises) ambazo huajiri kati ya watu 50 na 99 na kuwa na mtaji wa uwekezaji (mashine) wa kati ya Shilingi milioni 200 na milioni 800 za kitanzania. Kwa kutambua umuhimu wa maendeleo ya teknolojia, tafsiri ya sekta inalichukulia suala la ajira kwa tahadhari. Endapo ajira katika shughuli inayoendeshwa itakuwa kwenye vigezo tajwa hapo juu, lakini mtaji ukawa nje ya vigezo hivyo, shughuli husika haihesabiki kama ni ya sekta hii. Kwa mfano, kama kiwanda kimeajiri watu 20 tu na mtaji wake ni Shs. Billioni moja kiwanda hiki kitahesabika ni kikubwa na kama kuna fursa maalum katika sekta kiwanda kama hicho hakitahusika. Baadhi ya zana za kilimo zinazozalishwa katika karakana za SIDO pamoja na CAMARTEC 6.0 Mafanikio Yaliyopatikana Katika Sekta Katika harakati ya kutekeleza Mikakati ya Sera ya Maendeleo ya Viwanda Vidogo na Biashara Ndogo na kuwawezesha wajasiriamali wadogo kutumia fursa zilizopo, sekta imeweza kupata mafanikio kadhaa. i. Ufanisi katika mlolongo wa thamani Programu ya Muunganisho wa Ujasiriamali Vijijini (MUVI) imewezesha uanzishwaji na uimarishaji wa vyama/vikundi 319 vya wazalishaji na wakulima vyenye wanachama 15,482. Aidha, program hii imewezesha kuimarisha mifumo ya usambazaji wa mbegu bora na pembejeo katika mikoa ya mradi. ii. Taarifa za Sekta Ili kuwezesha wadau wa sekta kupanga mipango endelevu ya kuendeleza sekta, na kuongeza kasi ya upatikanaji na usambazaji wa taarifa zinazohusiana na sekta, Wizara imekamilisha utafiti wa sekta ya Viwanda Vidogo na Biashara Ndogo nchini (SME Baseline Survey). 13

2.0 Umuhimu wa Sekta ya Viwanda Vidogo na Biashara Ndogo katika Taifa Letu Mjasiriamali mdogo akitumia fursa ya maonesho kuuza bidhaa zake katika moja ya Maonyesho ya wajasiriamali katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam v. Fursa za Mitaji Wizara kupitia SIDO imekuwa ikitoa mitaji kwa wajasiriamali wadogo katika mikoa yote yenye ofisi. Mikopo hii ni pamoja na ile ya Mfuko wa Wafanyabiashara Wananchi (National Entrepreneurship Development Fund (NEDF) na wakati mwingine baadhi ya Washirika wa Maendeleo huitumia SIDO kufikisha mikopo yao kwa walengwa wao. vi. Teknolojia na Ubunifu Wizara inaratibu utafutaji, uzalishwaji kwa wingi na kusambazwa kwa teknolojia na zana za kilimo zinazoleta tija kwa wajasiriamali wadogo ikiwa ni pamoja na kuhamasisha wajasiriamali wadogo kujenga misingi ya ubunifu. Kupitia karakana za SIDO na Kituo cha Zana za Kilimo na Ufundi Vijijini (CAMARTEC) zana nyingi za kurahisisha uzalishaji wa bidhaa na usindikaji wa mazao ya kilimo zimeweza kupatikana. 12 Ni dhahili kuwa Sekta ya Viwanda Vidogo na Biashara Ndogo ina nafasi ya kipekee katika taifa letu. Hata hivyo, ni vigumu kupata maneno halisi ya kueleza umuhimu wa Sekta hii katika taifa na jumuia ya kitanzania. Ili kuyatendea haki maelezo ya umuhimu huo, inahitaji muda mrefu na kurasa nyingi katika kitabu. Katika makala hii tutaeleza kwa kifupi umuhimu wa sekta katika Tanzania tukigusia zaidi masuala ya uchumi na kijamii. Kwanza kabisa, sekta hii ina mchango mkubwa katika ajira kwa watanzania. Katika kuajiri, sekta hii haibagui makundi yoyote ya kijamii kushiriki katika shuguli za kiuchumi na hivyo hutoa fursa kwa wananchi wa makundi mbalimbali ya kijamii hususan wanawake na vijana ambao wengi wao hawabahatiki kupata fursa za ajira rasmi katika sekta mbalimbali kutokana na sababu nyingi zikiwemo viwango hafifu vya elimu na ujuzi. Vilevile, sekta hii imekuwa ni kimbilio kubwa la kundi la vijana wengi wanaomaliza masomo katika vyuo mbalimbali hapa nchini. Na hivyo kuleta matumaini makubwa ya kuiboresha sekta hii kwa kutumia ujuzi na nyenzo wanazozipata wakiwa masomoni. Hivi sasa sekta inasemekana kuwa mwajiri namba mbili kwa watanzania baada ya kilimo na inaajiri watanzania zaidi ya millioni tano. Pili, ushiriki wa Watanzania wengi katika shughuli za kiuchumi kumeiwezesha sekta kuchangia kwa kiasi kikubwa katika pato la Taifa. Baada ya utafiti wa kina imebainika kuwa, hivi sasa sekta inachangia asilimia 27 katika pato la Taifa. Sekta hii pia imekuwa ni kichocheo cha ukuaji wa uchumi katika maeneo ya vijijijni na imechangia sana katika kukuza vipato vya wananchi wengi. Kwa mantiki hiyo, Sekta ina nafasi muhimu na kubwa katika harakati za kuondoa umaskini na hata kusaidia katika kupunguza wimbi la uhamiaji wa watu toka vijijini kwenda mjini. Tatu, sekta hii ni chimbuko la maendeleo ya ujasiriamali na sekta binafsi ya nchi yetu kwa vile inatoa mwanya mkubwa kwa watanzania kujifunza kuendesha shughuli za biashara na uzalishaji. Hii hasa imewezekana kwa kuzingatia ukweli kuwa uingiaji katika sekta hii unakuwa ni rahisi kwa kuwa wakati mwingine huhitaji mtaji mdogo na teknolojia rahisi. Mwisho, Sekta hii ni kiungo mahiri kwa sekta ya kilimo na maliasili. Kwa hivi sasa kuna wajasiriamali wengi wanaojihusisha na uongezaji thamani wa mazao ya kilimo 5

na maliasili. Aidha shughuli hii hufanyika kwa kutumia teknolojia rahisi na yenye gharama nafuu ambazo zinatengenezwa na baadhi ya wajasiriamali wadogo hapa nchini. Hii, imewezesha wajasiriamali kuanzisha viwanda vidogo vya usindikaji mazao ya kilimo na kuwezesha kupunguza upotevu wa mazao baada ya mavuno (Post harvest losses). Hapa chini ni baadhi tu ya bidhaa za wajasiriamali wadogo vilivyotokana na mafunzo hayo. Baadhi ya bidhaa zinapatikana katika maduka makubwa (supermarkets). 3.0 Hali Ya Sekta Kama ilivyotangulia kuelezwa hapo awali, Sekta ya Viwanda Vidogo na Biashara Ndogo inahusisha shughuli za sekta zote za kiuchumi. Takriban, katika kila shughuli za kiuchumi, sekta hii inachukua nafasi kubwa. Hata hivyo shughuli nyingi za sekta hii ziko katika sekta isiyo rasmi. Kwa ujumla picha ya mgawanyo wa sekta hii unasimama kama inavyoonekana katika mchoro hapa chini: Mgawanyo wa SMEs Tasnia za Kati 6 Tasnia Ndogo Sana Zisizo Rasmi Tasnia Ndogo Tasnia Ndogo Kabisa Rasmi Kutokana na takwimu zilizopo, kuna jumla ya wajasiriamali wadogo milion 2.7 ambao wanamiliki jasiriamali milioni 3.2. Katika mgawanyo wa kijinsia, takwimu zinaonyesha kuwa washiriki wengi wa sekta hii ni wanawake kwa asilimia 54.3 na asilimia 45.7 Baadhi ya bidhaa zilizosindikwa na wajasiriamali wadogo kutokana na malighafi zinazopatikana nchini iv. Fursa za Masoko Wizara kwa kushirikiana na SIDO imekuwa ikiendesha maonesho ya biashara ya Kikanda. Maonesho haya hufanyika kila Kanda ya Tanzania mara moja kwa mwaka na hii huwarahisishia Wajasiriamali wadogo wengi kushiriki katika katika kila maonesho. Mgawanyo wa Kanda hizi ulizingatia ukaribu wa mikoa na hujumuisha Kanda sita ambazo ni: Kaskazini ijumuishayo mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Manyara; Ziwa ijumuishayo mikoa ya Mwanza, Kagera, Mara na Shinyanga; Kati ijumuishayo Mikoa ya Kigoma, Tabora, Singida na Dodoma; Pwani ijumuishayo mikoa ya Dar es Salaam, Morogoro na Pwani; Kusini ijumuishayo mikoa ya Ruvuma, Lindi na Mtwara; na Nyanda za Juu Kusini ijumuishayo mikoa ya Iringa, Rukwa na Mbeya. Aidha, Wizara inashirikiana na SIDO kuwaunganisha wajasiriamali wadogo na wafanyabiashara wakubwa ili wauze bidhaa zao. 11

Baadhi ya Wajasiriamali waliopata fursa za kuhudhuria mafunzo ya uendeshaji biashara na ujasiriamali yaliyotolewa na SIDO mjini Dodoma iii. Uhamasishaji wa uzalishaji na utengenezaji wa bidhaa mpya Katika harakati za kuhamasisha wajasiriamali kutengeneza bidhaa mpya, SIDO imekuwa ikitoa huduma ya mafunzo maalum katika usindikaji wa mazao ya kilimo. Mafunzo haya yamefanikiwa na kuwawezesha wajasiriamali wengi kuingia katika huduma za usindikaji wa vyakula. wakiwa ni wanaume. Hata hivyo shughuli nyingi za sekta hii zimejikita katika kununua na kuuza yaani biashara ambayo inawakilisha asilimia 55 wakati jasiriamali za huduma ni asilimia 30. Wajasirimali wachache hujihusisha na uzalishaji ambazo zinafikia asilimia 13.6 na nyinginezo zinachukua asilimia 1 kama inavyofafanuliwa katika jedwali Namba 1. Kama ilivyokwishaelezwa hapo awali pia, sekta hii imeajiri takribani Watanzania milioni 5.2 wengi wao wakiwa wamiliki wa moja kwa moja wa hizo jasiriamali kama inavyofafanuliwa na jedwali Namba 2. Jedwali Namba1: Mgawanyo wa Jasiriamali Kisekta Idadi ya Waajiriwa Biashara Huduma Uzalishaji Nyinginezo Mwajiriwa 1-4 1,710,884 942,596 406,426 14,830 Waajiriwa 5 au zaidi 40,012 21,639 23,965 2,534 Jedwali Namba 2: Mgawanyo wa Jasiriamali Kijinsia Idadi ya Waajiriwa Wanaume Wanawake Mwajiriwa 1 833,279 1,259,817 Waajiriwa 2-4 537,546 444,295 Waajiriwa 5 au zaidi 75,287 12,263 Wananchi wanaojishughulisha na sekta hii wamegawanyika katika makundi ya umri tofauti kama inavyoonekana katika jedwali Namba 3. Jedwali Namba 3: Mgawanyo wa Umri wa Wajasriamali Tanzania Umri Wanawake% Wanaume% Chini ya Miaka 25 11.6 10.4 Miaka 25-34 34.2 38.4 Miaka 35-44 31.8 29.4 Miaka 45-54 16.0 15.4 Zaidi ya Miaka 55 6.4 6.8 Sekta hii inaendeshwa na Watanzania wa viwango na kada mbalimbali za elimu. Taarifa zilizopo zinaonyeshwa kuwa wengi wa wajasiriamali hao wana elimu ya msingi na wachache sana wana elimu ya chuo kikuu na ya ufundi. Watafiti wengi wa sekta 10 7

hii wanadai kuwa elimu ya waendesha miradi ina mahusiano ya moja kwa moja na ukuaji wa biashara zao pamoja na urasimishaji wa biashara. Kama madai haya ni ya kweli, inawezekana yanachangia ukubwa wa sekta isiyo rasmi na umiliki mkubwa wa sekta hii kuwa chini ya mtu mmoja. Kwa ujumla viwango vya elimu vya waendesha sekta vimeainishwa katika Jedwali Namba 4. Jedwali Namaba 4: Viwango vya elimu wamiliki wa shughuli za sekta Kiwango cha Elimu Wasiosoma kabisa Elimu ya Msingi bila kuhitimu Waliohitimu Elimu ya Msingi Elimu ya Sekondari bila kuhitimu Waliohitimu Elimu ya Sekondari Elimu ya Ufundi Chuo Kikuu 4.0 Miongozo ya kuendeleza Sekta 8 Asilimia 7.4 7.2 73.5 3.8 7.3 0.6 0.3 Kimsingi, Wizara ya Viwanda na Biashara na tafsiri ya Taifa ya Viwanda Vidogo na Biashara Ndogo inahusika na sekta rasmi. Lakini kwa hali halisi, imekuwa ni vigumu kuachana na sekta isiyo rasmi kwa kuwa ni kubwa mno na yenye ufanisi mdogo. Ili kuweza kuboresha utendaji wa sekta isiyo rasmi, Wizara imekuwa na mikakati endelevu ya kuboresha mazingira ya biashara ili kuwezesha sekta isiyo rasmi kuwa rasmi. Shughuli za maendeleo ya sekta hii zinaongozwa na Sera ya Maendeleo ya Viwanda Vidogo na Biashara Ndogo ya Mwaka 2003, ambayo mikakati ya utekelezaji wake imejikita katika kuboresha mifumo ya sheria na taratibu; kuimarisha miundombinu na maeneo ya kufanyia kazi; Kuimarisha ujasiriamali na masoko ya huduma za uendelezaji wa biashara; kuboresha fursa za upatikanaji wa fedha kwa sekta; kuimarisha uwezo wa wadau katika kutekeleza program za sera hiyo; kuimarisha viwanda vijijini; masuala mtambuka hasa mazingira; jinsia ; makundi maalum na kukabiliana na maambukizi na usambazaji wa virusi vya ukimwi. Utekelezaji wa Sera ya Maendeleo ya Viwanda Vidogo na Biashara Ndogo unazingatia mipango mikuu ya kitaifa ikiwemo Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025, Mkakati wa Kupunguza Umaskini (MKUKUTA I &II), Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2010, Mpango wa taifa wa maendeleo wa miaka mitano na Azma ya KILIMO KWANZA hasa nguzo namba 7 inayokazia masuala ya upatikanaji wa zana na pembejeo za kuboresha kilimo na uongezaji thamani wa mazao ya kilimo. 5.0 Fursa za kuendeleza Sekta Kufuatia utekelezaji wa mikakati ya Sera ya Maendeleo ya Viwanda Vidogo na Biashara Ndogo, Wizara kwa kushirikiana na wadau wa sekta imewezesha sekta kuwa na fursa za aina nyingi zinazowasaidia wajasiriamali wadogo kuendeleza shughuli zao. Fursa hizi zinajumuisha program na huduma mbalimbali zitolewazo na Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo SIDO pamoja na wadau wengine. Baadhi ya program na huduma hizo ni hizi zifuatazo: i. Programu ya Muunganisho wa Ujasiriamali Vijijini (MUVI) Programu hii imejikita katika kuongeza ufanisi wa thamani ya mazao ya kilimo ikitumia njia ya mlolongo wa thamani (value chain). Bidhaa zinazohusika ni mazao ya alizeti, mihogo, mifugo, matunda na nyanya katika Wilaya 19 za mikoa sita ambayo ni: Mkoa wa Iringa: Iringa Vijijini, Kilolo na Njombe; Mkoa wa Manyara: Simanjiro, Hanang na Babati; Mkoa wa Pwani: Bagamoyo, Rufiji na Mkuranga; Mkoa wa Ruvuma: Songea Vijijini, Namtumbo na Mbinga; Mkoa wa Mwanza: Sengerema, Kwimba na Ukerewe ; na Mkoa wa Tanga: Muheza, Korogwe, Kilindi na Handeni. ii. Huduma za Kuendeleza Biashara Wizara kupitia SIDO imekuwa ikitoa huduma za kuendeleza na kuendesha biashara ikiwa ni pamoja na mafunzo, ushauri na huduma za ugani. Aidha, SIDO imekuwa ikiwawezesha wajasiriamali wadogo kupata vifungashio vya bidhaa zao. 9