Mfumo na maelezo ya kina ya mpango wa kimataifa wa viwango vya chakula kwa wenye matatizo ya kumeza (IDDSI) Juni 2017

Similar documents
Njia za upimaji wa mpango wa kimataifa wa viwango vya chakula kwa wenye matatizo ya kumeza (IDDSI) VYAKULA VINYWAJI VYA KAWAIDA

Information for assessors (do not distribute this page to participants):

Lishe na Ulaji Bora kwa Watu Wanaoishi na Virusi vya UKIMWI

Huduma kwa wateja kupitia barua pepe na ujumbe mfupi Fig

GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23)

Muongozo wa utatuzi. Kwa wasimamizi wa malaria RDTs 06/11/16. MALARIA Rapid Diagnostic Test

Siku ya kwanza. Mguso wa ngozi-kwa-ngozi (Ulezi wa kangaruu) Mtoto wako anaweza kuhisi mdundo wa moyo wako

GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23)

Utangulizi wa ugonjwa wa shinikizo la damu

TIST (TANGA) HABARI MOTO MOTO. Kutunza miche yako. Take care of your seedlings. Take care of your trees

Lishe na Ulaji Bora kwa Watu Wanaoishi na Virusi vya UKIMWI VIDOKEZO MUHIMU KATIKA UNUNUZI NA USALAMA WA CHAKULA

SERA & TARATIBU YA YALE NEW HAVEN HEALTH

TIST HABARI MOTO MOTO

Kifaa Maalum cha Kutazamia Jua: Maelekezo ya kutumia

Hati ya kuhitimu kisomo Kenya (K.C.S.E)

Hatari, Haki za Usalama katika Bahari 03

Upande 1.0 Bajeti yako

Njia Bora za Ukusanyaji na Upimaji Maziwa

UMRI WA MAKAMO NA KUKOMA KWA HEDHI

AMMA KWA AFRIKA RATIBA/ITIKADI. Ratiba Maalum ya Kutibu Magonjwa Maambukizi na Hususan Fikra Zinazoleta Pooza Mwili na Akili

Utunzaji, Uhifadhi na Usafirishaji Bora wa Maziwa

Misamaha ya kodi Tanzania: Je, ni mikubwa sana na kutufanya tuwe tegemezi kwa misaada?

Uwepo, Athari na Udhibiti wa Sumu-Suvu Kwenye Vyakula vya

Yaliyomo. Kuhusu kitabu hiki. Hautakuwa peke yako. Mfumo wa msaada ni wa manufaa sana wazazi wote wanahitaji!

Njia bora za ukusanyaji na upimaji maziwa

Miradi na jamii. 3.1 Utangulizi

Kijitabu cha Maelezo cha Programu ya Famasia

PYRINEX. 1 Liter INSECTICIDE

2 Usimamizi wa Rutuba ya Udongo Tanzania Organic Agriculture Movement

MATUMIZI YA FACEBOOK KWA BIASHARA. Kwa Wanaoanza

Jamii. ,,,^mm^mmm-<^^^^ illli MA RH-EREN.CE CENTRE

KILIMO CHA VITUNGUU MAJI NA VITUNGUU TWAUMU (SWAUMU)

MKAKATI ATHARI YA MAZINGIRA NA KIJAMII YA KAZI YA PRO-ROUTES. Ombi kwa ajili ya fedha za umma wa mradi wa ziada

K. M a r k s, F. E n g e l s

Mwongozo wa Utamaduni Toleo la Kwanza

Human Rights Are Universal And Yet...

TANZANIA OSAKA ALUMNI. Kitabu cha Mbinu Bora

MACHAGUO YA UZAZI KUFIKIRIA KUWA MZAZI

MUONGOZO WA UTUNZAJI WA URITHI WA UTAMADUNI 1 SECURITY AT MUSEUMS

Ripoti ya Maendeleo ya Binadamu 2013

UTANGULIZI ANUANI NA MANDHARI YA CHUO

KUWEZESHA MBINU ZA UZUIAJI MIMBA KATIKA SUHULA ZA AFYA: MASWALI 10 KWA VIKUNDI VYA JAMII KUZINGATIA

Jifunze kusimamia pesa zako nchini Uskoti

Mwongozo wa Kitaifa wa Ujumbe wa Uzazi wa Mpango

Uzazi wa Mpango. Uzazi wa Mpango. Kulinganisha Ufanisi wa Njia za Uzazi wa Mpango. iwe na ufanisi zaidi. Zenye ufanisi.

Kuwawezesha wasichana kwa kuboresha kujikubali na kujithamini Hivi Ndivyo Nilivyo

International Labour Office. Kazi za Ndani Zenye Madhara kwa Watoto: Kijitabu cha Maelezo Mafupi

Ufundishaji wa lugha nyingine

Kiswahili, utandawazi na umoja wa Afrika

NGUO MPYA ZA UKOLONI. Mikataba ya Ushirikiano wa Kiuchumi kati ya Umoja wa Ulaya na Afrika. Agosti 2017

ONDOA MADINI YA RISASI KATIKA RANGI: LINDA AFYA YA WATOTO

Elimu ya Msingi inaelekea Upande Sahihi? Kufikiri na Nyerere Rakesh Rajani

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara kuhusu WEMA

JHSPH MAADILI YA KUFANYA UTAFITI WA MASUALA YA BINAADAMU MUONGOZO WA MAFUNZO YA UTAFITI

Programu ya Uendelezaji Mifumo ya Maji Vijijini (PUMMV) katika Tanzania. Modeli wa Ukodishaji Mradi

Mwongozo kwa Lugha Rahisi wa Sera ya Maendeleo ya Ushirika na Sheria ya Vyama vya Ushirika Tanzania Bara

Unyanyasaji wa Watoto & Kutelekezwa

Uzio wa pilipili unazuia tembo kuvamia mazao shambani! Jinsi ya kujenga na kudumisha uzio wa pilipili Tanzania

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA. Ifahamu Sekta ya Viwanda Vidogo na Biashara Ndogo. TOLEO Na.

Ni kwa nini mkulima awe maskini?

TIST HABARI MOTO MOTO MAANDALIZI YA MWAKA 2000 Y2K PREPARATIONS SASA NI WAKATI WA KUANZA KUPANDA MBEGU ZAKO

ATHARI ZA MABADILIKO YA TABIANCHI KWA UCHUMI WA ZANZIBAR

Mukhtasari Wa Mabishano Kwa Na Dhidi Ya Vikombe Vingi Vya Ushirika

USIMAMIZI MKUU WA UBORA WA MAHURUJI

JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 1

Ufanisi katika Ufundishaji kwenye Shule za Msingi na Sekondari nchini Tanzania

Kubadili Sheria Za Mbegu Na Ulinzi Wa Aina Za Mbegu Na Mimea Nchini Tanzania

Ufunguo wa Kutaalamika Haraka

Vijana wanazungumza kuhusu ujinsia, maisha na uhusiano VIJANA WANAZUNGUMZA KUHUSU NGONO, MAISHA NA UHUSIANO. Training and Research Support Centre

Kufafanua Upya Elimu Bora Tanzania: Kutoka Zana za Dufundishia mpaka Uwezo wa Wanafunzi 1 Oktoba 2007

Summaries of GC Reports 2012, Vol. 2, Sec. 1, Swahili

Kuwa na Ukimwi ni kama vile kutakiwa kuendelea kuuzima moto unaoniunguza bila kukoma.

In the matter of an Application by the KIGOMA URBAN WATER SUPPLY AND SEWERAGE AUTHORITY (KUWASA) For a Tariff and Charges Adjustment

KUUNGANISHA VIZAZI KUPITIA RADIO MWONGOZO KUTOKA AFRIKA KWA WAANDAJI WA VIPINDI VYA RADIO WANAOFANYAKAZI NA WATOTO NA VIJANA

In the matter of Application by the TANGA URBAN WATER SUPPLY AND SEWERAGE AUTHORITY (TANGA UWASA) For a Multi-Year Tariff Adjustment

Muhtasari wa taarifa ya warsha ya wataalamu juu ya mfumo wa habari kwa njia ya ramani (PGIS), Morogoro, Juni 30 - Julai 1, 2014

Shamba Darasa na Stadi za Maisha kwa Vijana (SDSMV) Tanzania. Kiongozi Cha Mwezeshaji. Jaap Van Pol na Francesca Dalla Valle

pages/mkulima-mbunifu/

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO

KUZALISHA MBEGU YA MAHARAGE KIJITABU CHA KWANZA

HAKI NA TARATIBU ZA AJIRA, KAZI NA HIFADHI YA JAMII

Mazoezi yaliyofanyika wakati wa warsha kuhusu Elimu-Jumuishi kwa Vitendo. Zanzibar, 7-10 Februari 2006

Dibaji ya Mwenyekiti wa Kamati ya Pamoja ya Uongozi

MAKUBALIANO YA 2005 YA ULINZI NA UKUZAJI WA VIELELEZO VYA TAMADUNI ANUWAI

Kutetea Haki za Binadamu

TAFSIRI RAHISI YA MPANGO WA MAENDELEO YA AFYA YA MSINGI (MMAM)

Mwongozo wa Mwezeshaji

KISWAHILI KARATASI YA 2 LUGHA

Sera ya Faragha. Upeo. Aina za Data na Mbinu za Ukusanyaji

Kilimo cha kiekolojia cha Wakulima Wadogo Hufanikisha Haki za Mazingira

Kuuelewa Mchakato wa Bajeti Tanzania Mwongozo wa Asasi za Kiraia

Palliative Care Toolkit

Uzalishaji wa mboga na matunda ni muhimu kwa afya na kipato

JAMHURI YA KENYA. Mkakati wa Ushirikiano MUKHTASARI FY Public Disclosure Authorized. Public Disclosure Authorized

UFUATILIAJI WA MIRADI NA TATHMINI

Uhakika wa Mbegu kwa Uhakika wa Chakula MWONGOZO WA UZALISHAJI WA MBEGU ZA ASILI ZA MAHINDI

Azimio la Umoja wa Mataifa Kuhusu Watetezi wa Haki za Binadamu

Wewe Maisha Yako Ndoto Zako. Kitabu cha Vijana Balehe

TANZANIA MARKETS PAN Sera zinazoboresha masoko

TAMKO LA JUKWAA LA HAKI ZA WATOTO (TCRF) KUHUSU HAKI ZA WATOTO KATIKA KATIBA MPYA

Transcription:

VYAKULA VYA KAWAIDA LAINI NA UKUBWA WA TONGE LA KUNG ATA VILIVYOSAGW A NA VITEPE VILIVYO PONDW A VYA MAJIMAJI VIZITO SANA VIZITO KIASI VIZITO KIDOGO VYEPESI VYEPESI SANA VINYWAJI Mfumo na maelezo ya kina ya mpango wa kimataifa wa viwango vya chakula kwa wenye matatizo ya kumeza (IDDSI) Imetafsiriwa na kikundi cha watanzania wanaojishughulisha na taaluma ya lishe: Alice G. Temu, PhD, Registered Dietitian, Golden Life Management, Canada Agnes C. Kihamia, MSc., Nutrition Specialist, NORCAP/UNICEF, Afghanistan Peter S. Mamiro, PhD, Nutritionist & Food Scientist, SUA, Tanzania Juni 2017 UTANGULIZI ya kumeza The International 1

Dysphagia Diet Standardisation Initiative (IDDSI) ulizinduliwa mwaka 2013 kwa madhumuni ya kuanzisha istilahi na ufafanuzi mpya wa kimataifa kuelezea urekebishaji wa uepesi wa vyakula na uzito wa vinywaji vinavyotumiwa na watu walio na matatizo ya kumeza wa umri wowote, katika mpangilio wa huduma yeyote, na utamaduni wowote. Miaka mitatu mfululizo ya kazi iliyofanywa na kamati ya kimataifa ya viwango vya vyakula kwa watu wenye matatizo ya kumeza, imetoa nakala ya mwisho ya mfumo wa viwango vya vyakula kwa watu wenye matatizo ya kumeza ambao una hatua za viwango 8, kuanzia hatua ya chini mpaka juu (0-7). Viwango hivyo vinatambulika kwa kutumia namba, maandishi na rangi. Nakala hii inatoa maelekezo ya viwango vyote vya IDDSI kwa undani zaidi. Vielelezi vinadhihirishwa na njia rahisi za vipimo ambazo zinaweza kutumiwa na watu wenye matatizo ya kumeza, wahudumu, madaktari, wataalamu wa huduma za chakula, ama viwanda kuthibitisha viwango vya vyakula vinavyofaa. Nakala hii inabidi isomwe pamoja na nakala za njia za upimaji wa IDDSI, uthibitishaji wa IDDSI, na nakala za maswali yanayoulizwa mara kwa mara (http://iddsi.org/framework/). Kamati ya IDDSI inapenda kutambua hamu na ushirikiano wa jumuiya ya kimataifa, ikiwa ni pamoja na wagonjwa, wahudumu, wataalam wa afya, viwanda, vyama vya wataalam na watafiti. Pia tunapenda kuwashukuru wadhamini wetu kwa msaada wao wa hali na mali. Tafadhali tembelea tovuti hii www.iddsi.org kwa maelezo zaidi Kamati ya IDDSI: Wenyeviti: Peter Lam (Kanada) na Julie Cichero (Australia); Wanakamati: Jianshe Chen (China), Roberto Dantas (Brazili), Janice Duivestein (Kanada), Ben Hanson (Uingereza), Jun Kayashita (Japani), Caroline Lecko (Uingereza), Mershen Pillay (ZAF), Luis Riquelme (Marekani), Soenke Stanschus (Ujerumani), Catriona Steele (Kanada). Wanakamati wa zamani: Joe Murray (Marekani) ya kumeza (IDDSI) ni chombo kinachojitegemea na si kwa ajili ya kupata faida. IDDSI inashukuru idadi kubwa ya mashirika na viwanda kwa msaada wa kifedha na kadhalika. Wadhamini hawajashirikishwa katika kubuni wala kutengeneza mfumo huu wa IDDSI. Utengenezaji wa IDDSI (2012---2015) IDDSI inapenda kutambua na kushukuru wadhamini wafuatao kwa msaada wao wa hali na mali kuwezesha utengenezaji wa mfumo wa IDDSI: Nestlé Nutrition Institute (2012---2015) Nutricia Advanced Medical Nutrition (2013---2014) Hormel Thick & Easy (2014---2015) Campbell s Food Service (2013---2015) apetito (2013---2015) Trisco (2013---2015) Food Care Co. Ltd. Japan (2015) Flavour Creations (2013---2015) Simply Thick (2015) Lyons (2015) Utekelezaji wa mfumo wa IDDSI unaendelea. IDDSI inashukuru sana wadhamini wote wanaosaidia 2

utekelezaji. http://iddsi.org/about---us/sponsors/ 3

0 VYEPESI SANA Maelezo / Tabia Kinatiririka kama maji Mtiririko wa haraka Unaweza kunywa kwa njia ya aina yeyote ya chuchu, kikombe, au mrija ipasavyo kulingana na umri na uwezo Mantiki ya mumbile inayofaa kwa kiwango hiki cha wororo Uwezo wa kumudu vimiminika vya aina zote kwa usalama Njia ya upimaji http://iddsi.org/framework/drink-testing-methods/ IDDSI Flow Test* Upimaji wa mtiririko wa IDDSI Kimiminika kinatiririka kupitia ncha ya bomba la sindano la mililita 10 ndani ya sekunde 10 bila kuacha mabaki (angalia maelekezo ya upimaji wa mtiririko wa IDDSI*). 4

1 VYEPESI Maelezo / Tabia Mantiki ya maumbile inayofaa kwa kiwango hiki cha uzito Kizito kuliko maji Kinahitaji juhudi kidogo kunywa kuliko kimiminika chepesi sana Kinatiririka kwenye mrija, ncha ya bomba la sindano, chuchu Sawa na uzito wa maziwa ya chupa ya watoto wachanga Zaidi sana kinatumika kwa watoto wodogo kama kinywaji kinachomiminika taratibu lakini kinapita kwenye chuchu. Kutiririka kwenye chuchu kuzingatiwe kulingana na kesi na kesi Njia ya upimaji http://iddsi.org/framework/drink-testing-methods/ IDDSI Flow Test* Upimaji wa mtiririko wa IDDSI Kimiminika kinatiririka kupitia ncha ya bomba la sindano la mililita 10 na kuacha kiasi cha mililita 1 4 ndani ya sekunde 10 (rejea maelekezo ya upimaji wa mtiririko wa IDDSI*). 5

2 VIZITO KIDOGO Maelezo / Tabia Kinatiririka kutoka kwenye kijiko Kinanyweka, kinamiminika haraka kutoka kwenye kijiko, lakini taratibu kuliko kinywaji chembamba Juhudi inahitajika kunywa kinywaji cha uzito huu kwa kutumia mrija wa kawaida (mrija wa kawaida wenye mzingo wa inchi 0.209 au milimeta 5.3) Mantiki ya maumbile inayofaa kwa kiwango hiki cha uzito Kama vinywaji vyepesi vitatiririka kwa haraka vidhibitiwe kwa usalama, vinywaji vizito kidogo sana vinatiririka kwa mwendo mdogo kidogo Inafaa ikiwa uwezo wa kuzungusha ulimi umepungua kidogo Njia ya upimaji http://iddsi.org/framework/drink-testing-methods/ IDDSI Flow Test* Upimaji wa mtiririko wa IDDSI Kimiminika kinatiririka kupitia ncha ya bomba la sindano la mililita 10 na kuacha kiasi cha mililita 4 8 ndani ya sekunde 10 (rejea maelekezo ya upimaji wa mtiririko wa IDDSI*). 6

3 3 VYA MAJIMAJI VIZITO KIASI Maelezo / Tabia Mantiki ya maumbile inayofaa kwa kiwango hiki cha uzito Njia ya upimaji http://iddsi.org/framework/drink-testing-methods/ and http://iddsi.org/framework/food-testing-methods/ IDDSI Flow Test* Upimaji wa mtiririko wa IDDSI Jaribio la kudondosha matone ya mtiririko wa vyakula kwa uma Jaribio la kugeuza kijiko juu chini Jaribio la vijiti vya kulia Jaribio la kidole Vinaweza kunywewa kutoka kwenye kikombe Juhudi inahitajika kunyonya kutoka kwenye bomba la mrija wa kawaida au mrija mpana (mrija mpana = inchi 0.275 au milimeta 6.9) Haviwezi kunyonywa, kupangwa wala kufinyangwa kwenye sahani Haviwezi kuliwa kwa kutumia uma kwa sababu kitadondoka kupitia mianya kati ya meno ya uma Vinaweza kuliwa kwa kutumia kijiko Havihitaji mchakato wa mdomo wala kutafunwa - vinaweza kumezwa moja kwa moja Vyepesi bila vipande (mabonge, nyuzinyuzi, vipande vya maganda au ngozi, chembe chembe za mifupa mwororo au mfupa migumu) Kama ulimi hauwezi kumudu vinywaji vizito kidogo (Kiwango cha 2), Kiwango hiki cha Vya Majimaji/Vizito Kiasi kinaweza kufaa Kinachukuwa muda zaidi mdomoni Kinahitaji juhudi kuzungusha ulimi Wenye maumivu wakati wa kumeza Kimiminika kinatiririka kupitia ncha ya bomba la sindano la mililita 10 na kuacha kiasi cha zaidi ya mililita 8 ndani ya sekunde 10 (rejea maelekezo ya upimaji wa mtiririko wa IDDSI*). Kinadondoka taratibu kupitia mianya kati ya meno ya uma Meno ya uma hayaachi alama safi Kinasambaa kama kikimwagwa kwenye eneo lililo sawasawa Kinamwagika kwa urahisi kutoka kwenye kijiko wakati kimegeuzwa juu chini, hakinganganii kwenye kijiko Vijiti vya kulia havifai kwa wororo huu Haiwezekani kushika sampuli ya chakula hiki kwa kutumia vidole. Hata hivyo, ukikishika chakula hiki kinapenya kiurahisi kati ya kidole gumba na vidole vingine na kuacha alama za mabaki au mnato kwenye vidole ulivyotumia kukishika. Aina ya vyakula maalum au Orodha ya vyakula vifuatavyo inaweza kufaa katika kiwango cha 3 cha 7

mifano mingine (Orodha hii haina kikomo) Upimaji wa IDDSI: Chakula cha kwanza cha mtoto mchanga (uji wa mchele ama matunda yaliyosagwa) Mchuzi Maji matamu ya matunda Jaribio la uma kupima mtiririko wa IDDSI: MAJIMAJI VIZITO KIASI Kinadondoka taratibu kwa matone kupitia mianya kati ya meno ya uma 8

4 4 VILIVYOPONDWAPONDWA VIZITO SANA Maelezo / Tabia Mantiki ya maumbile inayofaa kwa kiwango hiki cha uzito Njia ya upimaji http://iddsi.org/framework/drink-testing-methods/ and http://iddsi.org/framework/food-testing-methods/ Kwa kawaida huliwa kwa kijiko (kwa uma inawezekana pia) Haviwezi kunywewa kwa kikombe Haviwezi kunyonywa kwa mrija Havihitaji kutafuna Vinaweza kuvutwa, kupangwa au kusongwa Vinatiririka taratibu kwenda chini lakini hakiwezi kumwagika Vinaanguka kutoka kwenye kijiko kikiinamishwa chini na kinaendelea kushikilia sura yake kwenye sahani Hakuna mabonge Havinati Sehemu ya maji haitengani na sehemu ngumu ya chakula Kama udhibiti wa ulimi umepungua kwa kiasi kikubwa, kiwango hiki kinaweza kuwa rahisi kumudu Kinahitaji nguvu kidogo ya kuinua ulimi kuliko kwa vyakula Vilichosagwa na Vitepe (kiwango cha 5), Laini na Ukubwa wa Tonge la Kung ata (kiwango cha 6) na Vya Kawaida (kiwango cha 7), lakini zaidi kuliko Vya Majimaji/Vizito Kiasi (kiwango cha 3) Hakihitaji kung ata wala kutafuna Kuongezeka kwa mabaki ni hatari kama kinanata Chakula chochote kinachohitaji kutafunwa, kukusanywa na kutengeneza tonge hakifai Wenye maumivu wakati wa kutafuna au kumeza Wenye mapengo, meno bandia yasiyotosha vizuri IDDSI Flow Test* Upimaji wa mtiririko wa IDDSI Hakuna mtiririko au matone kupitia ncha ya bomba la sindano la mililita 10 baada ya sekunde 10 (rejea maelekezo ya upimaji wa mtiririko wa IDDSI*). 9

Jaribio la mgandamizo wa uma Jaribio la kudondosha matone kwa uma Jaribio la kugeuza kijiko juu chini Jaribio la vijiti vya kulia Jaribio la vidole Viashiria kuwa sampuli ni nzito sana Vyakula maalumu au mifano mingine Meno ya uma yanaweza kuacha alama ya michirizi ya umbo la uma juu ya uso wa chakula na/au kubaki na alama ya mgandamizo kutoka kwenye uma Hakuna mabonge Sampuli inakaa kama mlima/rundo juu ya uma, kiasi kidogo kinaweza kupita kati ya mianya ya meno ya uma na kuunda kitu kama mkia, lakini hakiwezi kupita kati ya mianya ya meno ya uma au kuendelea kudondoka Kinadondoka kwa urahisi kutoka kwenye kijiko kikigeuzwa juu chini, hakigandi kwenye kijiko Vijiti vya kulia havifai kwa wororo huu Haiwezekani kushika sampuli ya vyakula hivi kwa vidole. Hata hivyo, wororo huu unateleza kwa urahisi kati ya kidole gumba na vidole vingine na kuacha alama ya mabaki ya chakula Hakidondoki kutoka kwenye kijiko kikigeuzwa juu chini Aina zifuatazo zinaweza kuwa zinafaa kwa kiwango cha 4 cha IDDSI: Vilichopondwapondwa vinafaa kwa watoto wachanga (kwa mfano, nyama ya kusaga, uji mzito) IDDSI Jaribio la kuangusha matone kwa uma: Kinakaa kama mlima au lundo juu ya uma Kiasi kidogo kinaweza kupita na kuunda kitu kama mkia chini ya uma Hakiundi donge, hakipiti, hakitiririki wala kuendelea kudondoka kupitia mianya ya meno ya uma Jaribio la kugeuza kijiko juu chini: Chakula kinabaki na umbo lake kwenye kijiko; sio imara na hakinati; chakula kidogo kinabaki kwenye kijiko 10

5 VILIVYOSAGW A NA VITEPE Maelezo / Tabia Mantiki ya maumbile inayofaa kwa kiwango hiki cha uzito Vinaweza kuliwa kwa kijiko Mara nyingine vinaweza kuliwa na vijiti vya kulia, ikiwa mtu anaweza kumudu kutumia mikono Vinaweza kuchotwa na kuumbwa (mfano wa umbo la mpira) kwenye sahani Laini na vitepe bila majimaji pembeni Mabonge madogo dogo yanayoonekana kwenye chakula (ukubwa wa milimeta 2-4 kwa watoto; milimeta 4 kwa watu wazima) Ni rahisi kusaga mabonge kwa ulimi Havihitaji kung ata Vinahitaji kutafunwa kidogo Nguvu ya ulimi peke yake inaweza kutumika kuvunja vipande vidogo laini vya wororo huu Nguvu ya ulimi inahitajika kusukuma tonge Wenye maumivu au uchovu wakati wa kutafuna Wenye mapengo au meno bandia yasiyotosha vizuri Njia ya upimaji http://iddsi.org/framework/food-testing-methods/ Jaribio la mgandamizo wa uma Jaribio la kudondosha matone kwa uma Jaribio la kugeuza kijiko juu chini Jaribio la vijiti vya kulia Jaribio la vidole Vikigandamizwa na uma vipande vinapita kwa urahisi katikati ya mianya ya meno ya uma Vinaweza kusagwa kwa urahisi na mgandamizo mdogo wa uma (shinikizo halitakiwi kufanya ukucha wa dole gumba kupauka kuwa mweupe) Sampuli iliyochotwa inakaa kama bonge au mlima kwenye uma na haiwezi kupita kwa urahisi au kuendelea kutiririka kati ya mianya ya meno ya uma Kina mshikamano wa kutosha kushikilia sura yake kwenye kijiko Kijiko kilichojaa lazima kidondoke kama kikigeuzwa juu chini, kikigeuzwa kwa upande, ama kikitingishwa kidogo; sampuli lazima iteremke kwa urahisi na kuacha chakula kidogo sana kwenye kijiko, yaani sampuli haipaswi kunata Kiasi kilichochotwa kinaweza kusambaa ama kushuka kidogo sana kwenye sahani Vijiti vya kulia vinaweza kutumika kuchotea au kushikilia wororo huu ikiwa sampuli ina unyevu na imeshikamana na mtu anaweza kumudu kutumia vijiti vya kulia Ni rahisi kushika sampuli ya wororo huu kwa kutumia vidole; ndogo laini, chembe za mviringo zinaweza kusagwa kwa urahisi kwa vidole. Chakula hiki kitapelekea hisia ya unyevu na alama ya majimaji kwenye vidole. 11

Vyakula maalumu au mifano mingine: NYAMA Iliyosagwa laini sana au kukatwa vipande vidogovidogo sana, msago laini (vipande ukubwa wa milimeta 2-4) Hutumika na mchuzi mzito sana, laini na ambao haumiminiki Kama wororo huu hauwezi kusagwa na kuwa laini inatakiwa upondwepondwe SAMAKI Iliyopondwa kwenye sosi au mchuzi laini na mzito sana usiomiminika TUNDA Hudumia tunda lililopondwapondwa Chuja majimaji ya matunda ya ziada NAFAKA Nzito sana na laini yenye mabonge laini (milimeta 2-4) Wororo uliolainishwa kikamilifu Maziwa ama maji yeyote yanatakiwa yasitengane na nafaka. Chuja maji ya ziada kabla ya kuhudumia MKATE Mkate wenye jeli au ulioloana ambao una unyevu sana na umechovywa kwenye jeli Usitumie mkate wa kawaida wala mkate mkavu isipokuwa kwa ushauri wa mtaalamu wa mambo ya matatizo ya kumeza MCHELE Sio wakunata au wa kuganda (hasa mchele mfupi) na usiwe na chembechembe mojamoja ambazo zimetengana wakati ukipikwa na kupakuliwa (haswa mchele mrefu) Tumia nafasi kati ya mianya ya meno ya uma kuamua kama vipande vilivyosagwa ni sawa au si sawa na (kwa watoto kiasi cha milimeta 2 hadi 4, milimeta 4 kwa watu wazima) 12

6 Maelezo / Tabia Mantiki ya maumbile inayofaa kwa kiwango hiki cha uzito LAINI NA UKUBWA WA TONGE LA Vinaweza kuliwa kwa uma Vinaweza kusagwa/kuvunjwavunjwa kwa mgandamizo wa uma, kijiko au vijiti vya kulia Visu havihitajiki kukata vyakula hivi, lakini vinaweza kutumika kujazia uma au kijiko Kutafuna kunahitajika kabla ya kumeza Laini na vitepe bila kutofautisha sehemu ya majimaji na sehemu ngumu ya chakula Vipande vya ukubwa wa kiwango cha tonge kufuatana na uwezo wa kutafuna Watoto, Watu wazima vipande ukubwa wa milimeta 15 = sentimeta 1.5 Havihitaji kung'ata Vinahitaji kutafunwa Nguvu ya ulimi inahitajika kuzungusha chakula kwa ajili ya kutafuna na kuweka chakula mdomoni wakati wa kutafuna Ulimi unahitajika kuzungusha tonge kwa ajili ya kumeza Wenye maumivu au uchovu wa kutafuna Wenye mapengo au meno bandia yasiyoyotosha vizuri Njia ya upimaji http://iddsi.org/framework/food-testing-methods/ Jaribio la mgandamizo wa uma Mgandamizo kutoka kwenye uma ulioshikwa kwa upande unaweza kutumika kukata wororo huu vipande vidogo vidogo Wakati sampuli ya chakula yenye ukubwa wa kidole gumba (kama sentimeta 1.5 kwa sentimeta 1.5) inagandamizwa kwa kutumia mgongo wa uma kiasi kwamba kidole gumba kinapauka na kuwa cheupe, sampuli inasagika na kubalika umbo, na hairudii katika umbo lake la awali wakati uma umeondolewa Jaribio la mgandamizo wa Mgandamizo kutoka kwenye kijiko kilichoshikwa kwa upande kijiko kinaweza kutumika kukata wororo huu vipande vidogo vidogo Wakati sampuli yenye ukubwa wa kidole gumba (kama sentimeta 1.5 kwa sentimeta 1.5 cm) inagandamizwa na mgongo wa kijiko, sampuli inapondeka na kubadilika umbo, na hairudii katika umbo lake la awali wakati kijiko kimeondolewa Jaribio la vijiti vya kulia Vijiti vya kulia vinaweza kutuma kuvunja wororo huu katika vipande vidogo vidogo Tumia sampuli yenye ukubwa wa kidole gumba (kama sentimeta 1.5 Jaribio la vidole kwa sentimeta 1.5). Inawezekana kusaga sampuli ya wororo huu kwa 13

kutumia mgandamizo wa vidole kiasi kwamba kidole gumba na vidole vingine vinapauka kuwa vyeupe. Sampuli haitarudia umbo lake la awali wakati umeacha kugandamiza. Vyakula maalumu au mifano mingine: NYAMA Nyama iliyopikwa, laini isiyozidi ukubwa wa sentimeta 1.5 kwa sentimeta 1.5 Kama haiwezi kuhudumiwa kwa wororo huu hauwezi katika ukubwa wa sentimeta 1.5 kwa sentimeta 1.5, hudumia iliyosagwa na yenye unyevunyevu SAMAKI Samaki iliyopikwa laini ya kutosha kuvunjwa vipande vidogo vidogo kwa uma, kijiko na vijiti vya kulia Hakikisha hakuna mifupa MSETO/MCHUZI/SOSI Mchuzi lazima uwe mzito Unaweza kuwa na nyama, samaki ama embogamboga kama baada ya kupikwa ni laini vipande havizidi ukubwa wa sentimeta 1.5 kwa sentimta 1.5 Hakikisha hakuna mabonge makubwa MATUNDA Tumia yaliyosagwa Sehemu ya kambakamba ya tunda haifai Chuja juisi ya ziada Tathmini uwezo wa mtu kula matunda yenye maji mengi (mfano tikiti maji) ambapo juisi inatengana na sehemu ngumu ya tunda mdomoni wakati wa kutafuna MBOGAMBOGA Mbogamboga zilizopikwa kwa mvuke au kuchemshwa zenye ukubwa wa Sentimeta 1.5 kwa sentimeta 1.5 baada ya kupikwa Mbogamboga za kukaanga mara nyingi huwa ngumu na sio laini NAFAKA Nyororo na yenye mabonge laini yasiyozidi ukubwa wa sentimeta 1.5 kwa sentimeta 1.5 inakubalika wororo umelainishwa kikamilifu MKATE Maji ya ziada lazima yakaushwe Hakuna kutumia mkate mpaka mtu amefanyiwa tathmini na mtaalamu wa matatizo ya kumeza kuona kwamba inafaa, kwa misingi ya mtu binafsi MCHELE Usiwe na chembechembe /chenga, wa kunata au wa kuganda Ukucha wa kidole gumba unapauka kuwa mweupe Sampuli inasagwa na hairudii sura yake ya awali wakati mgandamizo umeondolewa au wakati umeacha kugandamiza 14

Ukucha wa kidole gumba unapauka kuwa mweupe LAINI NA UKUBWA WA TONGE Sampuli inasambaratika na kuharibika, na hairudii sura yake ya awali wakati mgandamizo umeondolewa 15

7 Maelezo / Tabia Mantiki inayofaa kwa kiwango hiki cha uzito VYA KAWAIDA Vyakula vya kawaida, vyakula vya kila siku vya mifumo mbalimbali ambayo vinafaa kimaendeleo na kwa umri sawia Mbinu yeyote inaweza kutumika kwa kula vyakula hivi Vyakula vinaweza kuwa vigumu, vya kutafunika ama laini kiasilia Ukubwa wa sampuli ya ngazi ya 7 hauna vipingamizi, kwa hiyo vyakula vinaweza kuwa na ukubwa mbalimbali Vipande vidogo au vikubwa kuliko milimeta 8 (Watoto) Vipande vidogo au vikubwa kuliko milimeta 15 sawa na sentimeta 1.5 (Watu wazima) Hakuna vikwazo vya wororo katika ngazi hii Ni pamoja na vipande vigumu, vya kutafunika, vyenye nyuzinyuzi, vikavu, au vinavyomeguka Ni pamoja na vyakula ambavyo vina mbegu, nyuzinyuzi ndani ya ngozi, magamba au mifupa Ni pamoja na vyakula na vinywaji vya namna mbili ama namna ya mchanganyiko Uwezo wa kung'ata vyakula vigumu au laini na kutafuna kwa muda wa kutosha kiasi kwamba kuunda mshikamano laini kama tonge ambalo liko tayari kumezwa Uwezo wa kutafuna vyakula vya mifumo yote bila kuchoka kiurahisi Uwezo wa kuondoa mfupa au mifupa laini mdomoni ambayo haiwezi kumezwa kwa usalama Njia ya upimaji Haihusiani 16

VYAKULA VYA MPITO Maelezo / Tabia Mantiki ya maumbile inayofaa kwa kiwango hiki cha uzito Njia ya upimaji Vyakula ambavyo vinaanza kama wororo fulani (mfano kigumu) halafu vinabadilika kuwa wororo mwingine hasa wakati vina unyevu (mfano maji au mate yametumika), au wakati mabadiliko ya hali ya joto yametokea (mfano kupasha joto) Havihitaji kung'ata Vinahitaji kutafunwa kidogo Ulimi unaweza kutumika kuvunja vyakula hivi mara joto linapobadilika au kwa kuongeza unyevu/mate Inaweza kutumika kwa ajili ya kufuatilia maendeleo au ujuzi wa kutafuna upya (mfano maendeleo ya kutafuna kwa watoto na walemavu, kujifunza tena kutafuna baada ya kiharusi http://iddsi.org/framework/food-testing-methods/ Jaribio la mgandamizo wa uma Baada ya unyevu au joto kutumika, sampuli inaweza kuharibiwa sura kwa urahisi na bila kurudia sura yake ya awali wakati unapoacha kugandamiza na uma. Tumia sampuli yenye ukubwa wa ukucha wa kidole gumba (makadirio ya sentimeta 1.5 kwa sentimeta 1.5), Weka maji mililita 1 kwenye sampuli na kusubiri dakika moja. Gandamiza kwa kutumia mgongo wa uma mpaka kidole gumba kipauke na kuwa cheupe. Sampuli ni ya chakula cha mpito ikiwa baada ya kuondoa mgandamizo wa uma au ukiacha kugandamiza na uma: Sampuli imepondwa na kusambaratika na haionekani katika sura yake ya awali. Au imeyeyuka kwa kiasi kikubwa na haionekani tena katika sura yake ya awali (mfano vipande cha barafu). Jaribio la kugangamiza na Kama hapo juu, tumia mgongo wa kijiko badala ya uma. kijiko Jaribio la vijiti vya kulia Jaribio la vidole Vyakula maalumu au mifano mingine: Wororo huu ni pamoja na, na sio tu: Tumia sampuli yenye ukubwa wa ukucha wa kidole gumba (makadirio ya sentimeta 1.5 kwa sentimeta 1.5), weka maji mililita 1 kwenye sampuli na usubiri dakika moja. Sampuli inatakiwa ivunjike kwa urahisi kwa kutumia vijiti vya kulia kwa kugandamiza kidogo. Tumia sampuli yenye ukubwa wa ukucha wa kidole gumba (makadirio ya sentimeta 1.5 kwa sentimeta 1.5), weka maji kwenye sampuli na usubiri dakika moja. Sampuli itasambaratika kabisa kwa kusugua sampuli kati ya kidole gumba na kidole cha kunyooshea. Sampuli haitarudia sura yake ya mwanzo. 17

Vipande vya barafu Barafu kama imefanyiwa tathmini na mtaalamu wa mambo ya kumeza na inafaa Kipande cha jeli ya kijapani ya mafunzo ya kumeza ukubwa wa milimeta 1 kwa milimeta 15 Mkate (pia ni pamoja na mkate wa kushiriki wa kidini) Mkate wa unaotumika kushikilia barafu Baadhi ya biskuti Chipsi za viazi aina ya kusagika tu (mfano Pringles ambazo ni chipsi zilizotegenezwa kwa mchanganyiko wa unga wa viazi na ngano) Biskuti Chipsi zenye ladha ya samaki kamba Mifano maalumu inayotumika kwa watoto au watu wazima kudhibiti matatizo ya kumeza Vyakula vinavyopatikana kibiashara ambavyo ni vya wororo wa mpito vimeonyeshwa katika picha hapa chini ni pamoja na, na sio tu: Veggie StixTM Cheeto PuffsTM Rice PuffsTM Baby Mum MumsTM Gerber Graduate PuffsTM Mifano ya vyakula vya mpito Cheese puffs Wafers Mifano ya vyakula vya mpito Cheese puffs Wafers Kipande cha jeli ya kijapani ya mafunzo ya kumeza tambua ukubwa umekatwa wa milimeta 1 kwa milimeta 15 http://image.rakuten.co.jp/iryosyoku/cabinet/03511530/03511532/img59981825.jpg Ukucha wa kidole gumba umepauka kuwa mweupesampuli imesagwa na kuvunjika, na hairudii sura yake ya awali mgandamizo ukiondolewa au unapoacha kugandamiza 18

Ukucha wa kidole gumba unapauka kuwa mweupe Sampuli inasambaratika na kuharibika, na hairudii sura yake ya awali wakati mgandamizo umeondolewa 19