Kifo Na Mbingu. (Death And Heaven) Ellis P. Forsman. Kifo Na Mbingu (Death And Heaven) 1

Similar documents
Kifo Na Mbingu (Death And Heaven)

Patanishwa, Hesabiwa Haki, Takaswa

Nia Dhidi Ya Kristo Je Unamheshimu?

Inavyodaiwa na wanaochanganya Biblia. Ellis Forsman. Inavyodaiwa na Wanao changanya Biblia (Alleged Bible Contradictions) 1

"ATATOKEA MARA YA PILI, pasipo dhambi, kwa hao wamtazamiao kwa wokovu." Waebrania 9:28.

Kiumbe Kipya Katika Kristo

MUNGU ALIUMBA ULIMWENGU 1 WETU NA VYOTE VILIVYO HAI

Information for assessors (do not distribute this page to participants):

Agano Lililofunikwa Kwa Damu

MUNGU ANADHIHIRISHWA KUPITIA KWA YESU KRISTO.

Ushindi ndani ya Kristo W. W. PRESCOTT

Mzabibu Na Matawi. (The Vine And The Branches) Ellis P. Forsman. Mzabibu Na Matawi (The Vine And The Branches) 1

Hati ya kuhitimu kisomo Kenya (K.C.S.E)

walozaliwa, si kwa damu, wala mapenzi ya mwili, wala si kwa mapenzi ya mtu, mbali kwa Mungu. Sisi sio tena binadamu wa kawaida tu kwa sababu sisi ni w

Na Itafunika Wingi Wa Dhambi

Tafuteni Kwanza Ufalme Wa Mungu

Kwa Nini Yesu Alikufa Msalabani?

Mukhtasari Wa Mabishano Kwa Na Dhidi Ya Vikombe Vingi Vya Ushirika

usudi la Maisha Hakika katika kuumbwa mbingu na ardhi, na kupishana usiku na mchana, kuna kweli ishara kwa wenye akili, ambaye mkumbuke-

WAFUNAJI WA NAFSI ABC By Vagn Rasmussen Translation by Lydia Madsen

Aina Tatu Za Ibada. Ellis Forsman. Aina Tatu Za Ibada (Three Kinds Of worship) 1

Roho Mtakatifu Ni Nini?

BIBLICAL INSTRUCTION AND ENCOURAGEMENT FOR THE MAFUNDISHO YA BIBLIA NA HIMIZO KWA MISSION FIELD WORLDWIDE. KAZI YA KIMISHENI ULIMWENGUNI KOTE

Theolojia Ujumla. Mike Taylor Semester Munguishi Bible College

JE, YAWEZEKANA KUISHI BILA KUTENDA DHAMBI?

maombi, kabla tu hatujalifungua Neno hili la Kiungu.

GRACE COMMUNION INTERNATIONAL KANUNI YA IMANI

Mafundisho Ya Msingi Wa Kikristo. Na Andrew Connally

Watumishi Wa Kristo. Ellis P. Forsman. Watumishi Wa Kristo (Servants Of Christ) 1

Kuiponya Picha Tuliyonayo Kuhusu Mungu

IMANI NA MATENDO ELLEN G. WHITE

Maisha Ya Mkristo Ni Nini?

Tazama Yuaja. Kuhusu Toleo Hili. Umuhimu wa Mafundisho ya Biblia. Nguvu katika neno la Mungu.

Mutugi Kamundi. Jemma Kahn. Kiswahili. Demane na pacha wake. Author - South African Folktale

Ndugu na dada zangu wapendwa,

YEHOVA-YIRE 1. 2 Baba yetu wa Mbinguni, tunakikaribia Kiti Chako cha. 3 Tunakushukuru kwa kutuzuru jana jioni. Tunaomba

Ndugu na dada zangu wapendwa,

Ellen White, waasisi wa Kiadventista,na Sabato Lunar

MASWALI NA MAJIBU JUU YA KITABU CHA MWANZO

Kiu Cha umtafuta Mungu

VITAMBULISHO VITA NO DHA HIRI VYA KA NISA LA KWELI LA MUNGU ALIYE HAI

United Pentecostal Church June 2017

MELKISEDECK LEON SHINE. katoliki.ackyshine.com

WEWE NI NANI? Toleo X Toleo Ukweli wa Injeli Toleo 23

Adhabu ya jino kwa jino na Musitakabali wa imani zetu

KWA NINI SISI SI MADHEHEBU?

UTARATIBU WA KANISA. 2 Jambo la kwanza ninalotaka kusema ni kwamba mchungaji. 3 Sisi tunaamini katika Kanisa la kimitume, tukifundisha

NGUVU. Utangulizi. Yesu alisema,

KAMA MUNGU YU PAMOJA NASI, BASI YAKO WAPI MATENDO YAKE YA AJABU?

Ufunguo wa Kutaalamika Haraka

2 LILE NENO LILILONENWA

MSAMAHA NA UPATANISHO

RISALA FUPI YA KUMUWEZESHA MTU KUPAMBANUA NI IPI DINI YA HAKI MWANDISHI: SALEH M. KYAMBO

UZAO WA NYOKA. 2 Basi, usiku huu, tuna malimbuko tu ya utukufu huo mkuu. 3 Kwa uchaji tunasimama kwa imani yetu katika Uwepo

UNABII WA BIBLIA. CBM Publishing 32 Blenheim Road, Far Cotton Northampton, England. NN4 8NW

Maisha Yaliyojaa Maombi

Uongozi Siri Na Larry Chkoreff. Version 1.2 Desemba 2010

MWONGOZO WA NAMNA YA KUHAMASISHA MAOMBI YA MCHANA NA USIKU YA SIKU 10.

JE! MUNGU ANAMPA MWANAMKE HAKI YA KUTOA MIMBA IWAPO NI MHANGA WA UBAKAJI?

MTIHANI WA MWIGO WILAYA YA BUTERE MUMIAS-2007 Hati ya kuhitimu Elimu ya Sekondari Kenya

Oktoba-Desemba

KUTAMBUA SIKU YA KO NA UJUMBE WAKE

MAFUNDISHO YA UMISHENI

Tumaini Kwa Afrika. Thomas Schirrmacher. Hoja 66. Dibaji na Prof. Mchungaji Dk. Thomas K. Johnson. Thomas Schirrmacher Tumaini Kwa Afrika TASCM RVB

WAKOLOSAI MTAALA. B. Maoni: Tunapendekeza uwe na fafanuzi (commentary) yoyote yenye kushikilia mafundisho ya awali (conservative) katika Wakolosai.

B. Wanafunzi watapata ufahamu mkubwa wa kitabu hiki, na jinsi kinavyofundisha kuhusu kanisa.

Silaha Za Shetani. Ellis Forsman. Silaha Za Shetani (The Devices of Satan) 1

H. M. Baagil, M. D. WAMY Studies on Islam

IM ETUPASA KUTIMIZA HA KI YOTE

Makasisi. Waingia Uislamu

Kuzimu na Kurudi na Dr. Rawlings Documentary Video Transcript, TBN Films

LALA. Terry Warford. LALA (Sleep - Terry Warford) 1

FORWARD BY DANIEL SZMIOT

UKUFUNZI WENYE NGUVU MMOJA-KWA-MMOJA

Rahisi. Kitabu cha mwanafunzi. Mabingwa kwa ajili ya tunda la Roho Mtakatifu. Rahisi

UNIVERSITY OF CAMBRIDGE INTERNATIONAL EXAMINATIONS General Certificate of Education Ordinary Level. SWAHILI 3162/01 Paper 1 May/June 2013

Kanuni. Muhimu za Kujifunza Biblia. Mchungaji Drue Freeman. Dan Hawkins & Joseph Brown. General Editors.

UNIVERSITY OF CAMBRIDGE INTERNATIONAL EXAMINATIONS General Certificate of Education Ordinary Level

Kuwa Macho Na Mbwa Mwitu (Watch Out for Wolves)

PDF created with pdffactory trial version

Iliyoendelea sana. Kitengo cha 2. Kitabu cha mwanafunzi Iliyoendelea sana

Mabingwa kwa ajili ya tunda la Roho Mtakatifu. Iliyoendelea sana. Kitabu cha mwanafunzi. Iliyoendelea sana

Mwabudu Yehova, Mfalme wa Umilele. Miaka 100 ya Utawala wa Ufalme Inakuhusuje? UKURASA WA 12 NYIMBO: 97, 101. Kufanya Maamuzi ya Hekima Ukiwa Kijana

# 18 Uponyaji Kutokana na Kukataliwa

UNABII WA HABARI ZA BIBLIA

Ndugu na dada zangu wapendwa,

ONYO LA MWISHO KWA DUNIA

United Pentecostal Church April Kushangilia Kwa Sala

Jumuiya ya Waislamu Waahmadiyya Tanzania

GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23)

Uponyaji Wa Laana. (Kumb. 28:1-14).

Tora UTANGULIZI KWA TORA SOMO LA KWANZA

Kufunga Milango - Uponyaji Kutokana na Athari za Giza

UJASIRI WA YOHANA MBATIZAJI

wasiofaa. Naomba sana kila raia afanye bidii awezavyo kumkaribia Mwenyezi Mungu vile anavyoona inafaa, lakini asipitishe hukumu juu ya wengine.

Human Rights Are Universal And Yet...

Haja Ya Dini. Author(s): Publisher(s): Translator(s): Category: Topic Tags: Featured Category: Published on Al-Islam.org (

MAHUBIRI TUNAYOWEZA KUONA

Sura ya 7 Kielelezo: Tumepatanishwa na Mungu na Wanadamu

Rahisi. Mabingwa kwa ajili ya tunda la Roho Mtakatifu. Kitabu cha mwanafunzi. Rahisi

Transcription:

Kifo Na Mbingu (Death And Heaven) Na Ellis P. Forsman Kifo Na Mbingu (Death And Heaven) 1

Kifo Na Mbingu (Death And Heaven) Na Ellis P. Forsman Oktoba 11, 2011 Kifo Na Mbingu (Death And Heaven) 2

Kifo Na Mbingu Ebr. 9:27 Kufikia mbingu, mji wa nafsi zenye haki, mtu lazima apitie njia ya kifo. Hakuna njia nyingine. Kifo ni ahadi ya lazima. Ebr. 9:27, Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu. Maisha katika dunia hii imejaa na ahadi nyingi, lakini nyingi za ahadi hizo hazitimizwi. Hata ivyo, kuna ahadi moja ambayo kila mtu aliyezaliwa katika dunia hii ni lazima aitimize. Siyo swala la kuisahau; siyo swala la kuchagua. kama vile watu wanavyowekewa kufa. Wakati wa kufa haijulikani. 1 Sam. 20:3, lakini ni kweli aishivyo BWANA na iishivyo roho yako, iko hatua moja tu kati ya mimi na mauti. Iwe mtu anaishi katika dunia hii kwa siku moja, au miaka mia kuna hatua moja tu ndani ya chumba cha kifo. Kifo inaweza kuwa mbaya;inaweza pia kuwa nzuri. Kwa mwana wa Mungu aliyemwaminifu, kifo ni zoezi la mahafali, na ni hitimisho ya yaliyopita na mwanzo wa furaha ya milele isiyo na mwisho, amani, na furaha ya karibu. Kifo cha dunia nzima Kifo ni cha dunia nzima. Kila saa ya kila siku kifo kinatunzunguka. Uthibitisho wa kifo katika asili wakati fulani huja ikiwa nzuri. Kiini cha ua iliyo nzuri huchanua katika ua zuri kwa mpasuko mzuri kwa manukato mazuri yanayoleta marashi katika hewa, vile vile, huishia katika kifo. Mtu anapaswa kuchukua safari katika milima ndani ya miporomoko ili kuona uzuri wa mamilioni ya rangi ya majani iliyo kufa ya miti na maua, na ikionyesha rangi yake yenyewe, na kwa ujumla huonyesha ukuu wa Mungu. Hunyauka kama majani Mara nyingi, mfumo mzima wa mti haufi mara moja kwa wakati mmoja. Kila jani ya kila mti mmoja hufa kwa kiwango tofauti; pamoja na rangi. Zingingine hunyauka na kufa wakati wa kiangazi wakati zingine huchanua. Kifo Na Mbingu (Death And Heaven) 3

Zingine huchanua na kupendeza wakati wa radi au ukosefu wa mvua. Zingine hunyauka na kuanguka wakati wa upepo mwingi joto linaposhuka. Mahubiri ya nabii wa Mungu Isaya yalikuwa ya ufasaa kiasi gani katika Isaya 64:6, na sisi sote hunyauka kama maua; Vichanga vingi hutolewa wakati ambapo bado hupendwa, kabla hawajachanua katika ujana. Au vijana wakubwa wa kike na wa kiume hunyauka kabla ya majira yao ya maisha. Kuna wale ambao wameishi maisha kamili na hunyauka na kuanguka katika majira ya upepo wa maisha yao. Majani huanguka kimya kimya Moja baada ya nyingine hupoteza rangi na kuanguka, lakini hakuna mtu anayeweza kuelezea mfumo mzima wa maisha yao na kifo kwanzia mwanzo hadi mwisho. Ndivyo ilivyo kwa mwanadamu pia. Mwanadamu hajaanza kuishi mapema kabla hajaanza kufa. Wengi wetu hufirikiria kifo kama kitu ambacho bado kipo mbali, lakini haiko mbali kiivyo. Mtu hufa wakati ambapo anaanza kuishi. Kifo, tunavyoifikiria, ni hatua moja mbele wakati mtu anapokanyaga katika ulimwengu huu katika kingo za umilele. Wakati mtu anapoondoka katika dunia hii, anaacha mwili wake wa damu na nyama Nafsi yake isiyo ya nyama hutoka katika mwili wa damu na nyama na siku fulani itavaa kutokuharibika. 1 Kor. 15:54-55, Basi huu uharibikao utakapovaa kutokuharibika, na huu wa kufa utakapovaa kutokufa, hapo ndipo litakapokuwa lile neon lililoandikwa mauti imemezwa kwa kushinda. Ku wapi ewe mauti, kushinda kwako? U wapi ewe mauti uchungu wako? Roho ya mwanadamu haifi Mwanzo kabisa, Biblia inasema Mungu alimpulizia mwanadamu pumzi ya uzima na mwanadamu akawa nafsi hai. Kifo Na Mbingu (Death And Heaven) 4

Tumaini la mbingu litakuwa halina maana kama kama roho ya mwanadamu itakufa. Yohana 11:26, Naye kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele Mwili huu tulionao haikudhamiriwa kuwa maskani ya nafsi. Nafsi itakaa mkilele mbinguni ama motoni. Mbingu Mbinguni ni sehemu iliyoaihidiwa na Yesu. Yohana 14:2-3, Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi kama sivyo ningaliwaambia; maana naenda kuwaandalia mahali. Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena niwakaribishe kwangu; ili nilipo mimi nanyi mwepo. Yesu hakuishi katika nyumba wakati alipokuwa duniani. Mat. 8:20, Yesu akamwambia mweha wana pango, na ndege wa angani wana viota; lakini Mwana wa Adamu hana pa kulaza kichwa chake. Lakini nyumba iliyoundwa na kujengwa na mafundi wa mbinguni itakuwa kamilifu kwa furaha, amani, na furaha ya watu wa Mungu. Mbinguni ni sehemu ambayo hailinganishwi na uzuri wo wote. Hakuna sehemu katika ulimwengu huu uliozeeka ambayo inaweza kulinganishwa na uzuri wa mbinguni. Ufu. 21:1-22:6, Kisha nikaona mbingu mpya na nchi mpya; kwa maana mbingu za kwanza na nchi ya kwanza zimekwisha kupita, wala hapana bahari tena. Nami nikauona mji ule mtakatifu, Yerusalemu mpya ukishuka kutoka mbinguni kwa Mungu, umewekwa tayari kama bibi harusi aliyekwisha kupambwa kwa mumewe. Nikasikia sauti kubwa kutoka katika kile kiti cha enzi ikisema, Tazama maskani ya Mungu ni pamoja na wanadamu, naye tafanya maskani yake pamoja nao, nao watakuwa watu wake, naye Mungu mwneyewe atakuwa pamoja nao. Naye atafuta kila chozikatika macho yao, wala mauti haitakuwapo tena; wala maombolezo, wala kilio, wala maumivu hayatakuwapo tena, kwa kuwa mambo ya kwanza yamekwisha kupita. Na yeye aketiye juu ya kile kiti cha enzi akasema tazama nayafanya yote kuwa mapya. Akaniambia andika ya kwamba maneno hayo ni amini na kweli. Akaniambia imekwisha kuwa. Mimi ni alfa na omega, Mwanzo na Mwisho. Mimi nitampa yeye mwenye kiu ya chemchemi ya maji ya uzima bure. Yeye ashindaye atayarithi haya, nami nitakuwa Mungu wake, naye atakuwa mwanangu. Bali waoga na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti, hii ndiyo mauti ya pili. Akaja mmoja wa wale malaika saba waliokuwa na vile vitasa saba vilivyojaa yale mapigo saba ya mwisho, naye akanena nami akisema, njoo huku name nitakuonyesha Kifo Na Mbingu (Death And Heaven) 5

Yule Bibi arusi Mke wa Mwana kondoo. Akanichukua katika Roho mpaka mlima mkubwa mrefu akanionyesha ule mji mtakatifu, Yerusalemu, ukishuka kutoka mbinguni kwa Mwenyezi Mungu; wenye utukufu wa Mungu na mwangaza wake ulikuwa mfano wa kitu chenye thamani nyingi kama kito cha yapsi, safi kama bilauri; ulikuwa na ukuta mkubwa mrefu, wenye mila kumi na miwili; na majina yameandikwa ambayo ni majina kumi na mbili za Waisraeli upande wa mashariki milango mitatu, na upande wa kaskazini mila mitatu, na upande wa kusini milango mitatu, na upande wa magharibi milango mitatu. Na ukuta wa mji ulikuwa na misingi kumi na miwili, na katika ile misingi majina kumi na wawili ya wale mitume kumi na wawili wa Mwana Kondoo. Na yeye aliyesema name alikuwa na mwanzi wa dhahabu, apate kuupima huo mji, na milango yake na ukuta wake. Na ule mji ni wa mraba, na marefu yake sawasawa na mapana yake. Akaupima mji kwa ule mwanzi; ulikuwa kama maili elfu na mia tano; marefu yake na mapana yake, na kwenda juu kwake ni sawasawa. Akaupima ukuta wake ukapata dhiraa mia na arobaini na nne, kwa kipimo cha kibinadamu, maana yake cha malaika. Na majenzi ya ukuta wakeyalikuwa ya yapsi, na mji ule ulikuwa wa dhahabu safi, mfano wa kioo safi. Na misingi ya ukuta wa mji ilikuwa imepambwa kwa vito vya thamani vya kila namna. Msingi wa kwanza ulikuwa yaspi; wa pili yakuti samawi; wa tatu kalkedoni; wan ne zumaridi; wa tano sardoniki; wa sita akiki; wa saba krisolitho; wa nane zabarajadi; wa kenda yakuti ya manjano; wa kumi krisopraso; wa kumi na moja hiakintho; wa kumi na mbili amethisto. Na ile milango kumi na miwili ni lulu kumi na mbili, kila mlango ni lulu moja. Na njia ya mji ni dhahabu safi kama kioo kiangavu. Nami sikuona hekalu ndani yake; kwa maana Bwana Mungu Mwenyezi na Mwana kondoo, ndio hekalu lake. Na mji ule hauhitaji jua wala mwezi kuuangaza, kwa maana utukufu wa Mungu huutia nuru, na taa yake ni Mwana Kondoo. Na mataifa watatembea katika nuru yake. Na wafalme wan chi huleta utukufu wao ndani yake. Na milango yake haitafungwa kamwe mchana, kwa maana humo hamna usiku. Nao wataleta utukufu na heshima ya mataifa ndani yake. Na ndani yake hakitaingia kamwe cho chote kilicho kinyonge, wala yeye afanyaye machukizo na uongo, bali wale walioandikwa katika kitabu cha uzima cha Mwana Kondoo. Kisha akaniambia maneno haya ni amini na kweli. Naye Bwana Mungu war oho za manabii, alimtuma malaika wake kuwaonyesha watumwa wake mambo ambayo hayana budi kuwako upesi. Uvuvio wa Kimbingu Matukio mengi mazuri ya asili, yalioumbwa na Mungu, imevuvia mamilioni ya wasafiri wenza katika dunia hii. Vile vile, maelezo yote ambayo hayalinganishwi katika ulimwengu wa waunzi, imefunuliwa Kifo Na Mbingu (Death And Heaven) 6

kwa ndimi za wasemaji, kupakwa rangi na wasanii hakika inaweza kuelezea mbingu. Kusanyiko kubwa litakuwepo. Ufu. 7:9-10, Baada ya hayo nikaona na tazama, mkutano mkubwa sana ambao hapana mtu awezaye kuuhesabu, watu wa kila taifa, na kabila, na jamaa, na lugha, wamesimama mbele ya kile kiti cha enzi, na mbele ya Mwana Kondoo, wamevikwa mavazi meupe, wanamatawi ya mitende mikononi mwao; wakilia kwa sauti kuu wakisema, wokovu una Mungu wetu aketiye katika kiti cha enzi, na Mwana Kondoo. Hitimisho Nawauliza, je mnataka kwenda mbinguni? Kama mbingu sio makazi yako, basi jehanamu inaweza kuwa. Nina mpango wa kwenda mbinguni, vipi kuhusu wewe? Mtu anawezaje kwenda mbinguni? Ni lazima mtu afanyike Mkristo ili hilo liwezekane. Zifuatazo ni hatua muhimu za kumfanya mtu kuwa Mkristo: Imani. Ebr. 11:6, Lakini pasipo imani haiwezekani kumpendeza; kwa maana mtu amwendeaye Mungu lazima aamini kwamba yeye yuko, na kwamba huwapa thawabu wale wamtafutao. Nilipokuwa katika elimu ya juu (nikiwa na miaka 17), kijana mmoja jirani yangu miaka sawa na yangu, akaniambia kwamba haamini katika Mungu. Kwa vile nilikuwa nimebatizwa, nilichukua nafasi ya kuongea naye kuhusu maandiko. Akaniambia kwamba anaweza kuona kuwa kuishi maisha ya Ukristo ni vizuri, lakini hakuwa na uhakika kama anaamini kwamba kuna Mungu. Lakini ili awe sehemu salama, labda anapaswa kwenda kanisani, na akifa na kusimama mbele za Mungu (kama kuna Mungu) siku ya hukumu (kama kuna hukumu), labda kama Mungu akiona kwamba anahudhuria kanisani na kuishi maisha mema Mungu atamruhusu kwenda mbinguni (kama kuna mbingu), na sio motoni (kama kuna moto). Nikamwambia Haiendi hivyo. Unapaswa kumwamini kwa moyo wako wote la sivyo huwezi kumpendeza. Toba. Mdo. 2:38, Petro akwaambia tubuni mkabatizwe kila mmoja kwa jina ya Yesu Kristo kwa ajili ya ondoleo la dhambi, nanyi mtapokea kipawa cha Roho Mtakatifu. Mdo 11:18, Basi Mungu amewajalia hata mataifa nao toba liletalo uzima. Kama ulikuwa unalala, ukasikia kelele katika chumba kingine, na unafikiria Kifo Na Mbingu (Death And Heaven) 7

mwenyewe, Kuna mwizi ndani ya nyumba yangu! Hivyo unachukua simu ya mkononi na kuwaambia polisi kuwa kuna mwizi ndani ya nyumba yako, na unawapa anwani yako. Ghafla, unasikia polisi wanafika na kumkamata mwizi. Anapiga kelele, Samahani; Samahani! anaomba msamaha wa nini? Anaomba msamaha kwa sababu amekamatwa; na siyo kwamba ameiba. Katika toba ya kweli mwizi angeomba msamaha kwamba hataiba tena na anataka kubadili maisha yake. Hiyo ndio toba ya kweli. Ni badiliko la nia linalo leteleza badiliko ya tendo. Hivi ndio tunatakiwa kufanya kabla hatujafanyika Wakristo. Kukiri. Rum. 10:9-10, Kwa sababu ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu utaokoka. Kwa maana kwa moyo mtu huamini hata kupata haki, na kwa kinywa hukiri hata kupata wokovu. Tunakiri nini? Kwamba tunaamini kwamba Yesu Kristo ni Mwana wa Mungu. Kumbuka kwamba andiko hilo hapo juu linasema kwamba imani (kuamini), kutubu, na kukiri ni KATIKA haki, uzima au wokovu. Katika humaanisha kuelekea kitu fulani; siyo kwamba tayari mtu ameshapata. Ubatizo. Ni katika ubatizo ndio haki, uzima, na wokovu hupatikana. Yesu mwenyewe alibatizwa kutimiza haki yote, Lakini Yohana alitaka kumzuia akisema mimi nahitaji kubatizwa na wewe nawe waja kwangu? Yesu akajibu akamwambia. Kubali hivi sasa kwakua ndivyo itupasavyo kuitimiza haki yote. Basi akamkubali. Naye Yesu alipokwisha kubatizwa mara akapanda kutoka majini; na tazama mbingu zikamfunukia, akamwona Roho wa Mungu akishuka kama hua, akija juu yake; na tazama sauti kutoka mbinguni ikisema, Huyu ni Mwanangu mpendwa wangu, ninayependezwa naye. (Mat. 3:14-17). Yesu alibatizwa kwa sababu Mungu alisema ni kitu sahihi kufanya. Unaona jinsi Mungu alivyopendezwa Yesu alipobatizwa? Yesu pia akasema, imekuwa kwetu sisi kuitimiza haki yote. Tunabatizwa kwa sababu inatimiza haki yake, na sio kwa sababu ni haki yetu. Kwa kweli, tusipobatizwa, bado tungali katika dhambi zetu. Petro akawaambia tubuni mkabatizwe kila mmoja kwa jina la Yesu Kristo kwa ajili ya ondoleo la dhambi, nanyi mtapokea kipawa cha Roho Mtakatifu. (Mdo. 2:38). Petro, umesema kusudi la ubatizo ni nini? Kwa ajili la ondoleo la dhambi. Kwa nini mtu mwingine anaacha hatua hii muhimu inayoondoa dhambi zetu? Kifo Na Mbingu (Death And Heaven) 8

Yesu aliamuru kwamba ili kuufikia wokovu ni lazima tubatizwe. Akawaambia enendeni ulimwenguni kote mkahubiri injili kwa kila kiumbe aaminiye na kubatizwa ataokoka, asiye amini atahukumiwa. (Marko 16:15-16). Anania alimwambia Sauli (kabla hajaitwa Paulo) kitu kama hiki, Basi sasa unakawilia nini? Simama ubatizwe ukaoshwe dhambi zako, ukiliitia jina lake. (Mdo. 22:16). Ubatizo unaitwa maziko. Basi tulizikwa pamoja naye kwa njia ya ubatizo katika mauti yake, kusudi kama Kristo alivyofufuka katika wafu kwa njia ya utukufu wa baba, vivyo hivyo na sisi tuenende katika upya wa uzima. (Rum. 6:4). Utu wetu wa kale lazima utufie. Hamfahamu ya kuwa sisi sote tuliobatizwa katika Kristo Yesu tulibatizwa katika mauti yake? Basi tulizikwa pamoja naye kwa njia ya ubatizo katika mauti yake, kusudi kama Kristo alivyofufuka katika wafu kwa njia ya utukufu wa Baba, vivyo hivyo na sisi tuenende katikia upya wa uzima. Kwa maana kama mlivyounganika naye katika mfano wa mauti yake, kadhalika mtaunganika kwa mfano wa kufufuka kwake; mkijua neon hili, ya kuwa utu wetu wa kale ulisulubishwa pamoja naye, ili mwili wa dhambi ubatilike, tusitumikie dhambi tena; (Rum. 6:3-6). Ubatizo ni ramani ya Mungu inayotumika katikia damu ya Kristo ndani ya maisha yetu kwa ubatizo. Tunakuwa huru na dhambi zetu za zamani pale tu tunapobatizwa. Hii haimaanishi kunyunyiza. Andiko hilo hapo juu linasema ubatizo ni maziko. Hatuziki mwili kwa kuunyunyizia udongo kidogo juu yake; bali tunauzika. Kama hujafanyika mkristo kwa nini usizingatie leo? Kifo Na Mbingu (Death And Heaven) 9

Kifo Na Mbingu (Death And Heaven) 10

Kifo Na Mbingu (Death And Heaven) 11

Kifo Na Mbingu (Death And Heaven) 12