MTIHANI WA MWIGO WA WILAYA YA NANDI KASKAZINI 2013

Similar documents
Hati ya kuhitimu kisomo Kenya (K.C.S.E)

MTIHANI WA MWIGO WILAYA YA BUTERE MUMIAS-2007 Hati ya kuhitimu Elimu ya Sekondari Kenya

Information for assessors (do not distribute this page to participants):

Hati ya Kuhitimu Elimu ya Sekondari Kenya.( K.C.S.E)

Early Grade Reading Assessment for Kenya

UNIVERSITY OF CAMBRIDGE INTERNATIONAL EXAMINATIONS General Certificate of Education Ordinary Level. SWAHILI 3162/01 Paper 1 May/June 2013

MTIHANI WA PAMOJA WA WEZOJE

KENYA NATIONAL EXAMINATION COUNCIL REVISION MOCK EXAMS 2016 TOP NATIONAL SCHOOLS

KISWAHILI KARATASI YA 2 LUGHA

Hati ya kuhitimu kisomo Kenya (K.C.S.E)

Utangulizi wa ugonjwa wa shinikizo la damu

TATHMINI YA PAMOJA SHULE ZA UPILI ZA JIMBO LA MACHAKOS.

Mwongozo wa Familia wa Kujifunza

(Hati ya kuhitimu kisomo cha sekondari Kenya (K.C.S.E)

Lishe na Ulaji Bora kwa Watu Wanaoishi na Virusi vya UKIMWI

N09/2/ABSWA/HP1/SWA/TZ0/XX/Q

TRANS-NZOIA COUNTY KCSE REVISION MOCK EXAMS 2015

JHSPH MAADILI YA KUFANYA UTAFITI WA MASUALA YA BINAADAMU MUONGOZO WA MAFUNZO YA UTAFITI

MARUDIO K.C.S.E KNEC KISWAHILI KARATASI 102/2 MASWALI NA USAHIHISHO

MTIHANI WA MWIGO WILAYA YA SUBUKIA

KENYA NATIONAL EXAMINATION COUNCIL REVISION MOCK EXAMS 2016 TOP NATIONAL SCHOOLS

Ufunguo wa Kutaalamika Haraka

Human Rights Are Universal And Yet...

AMMA KWA AFRIKA RATIBA/ITIKADI. Ratiba Maalum ya Kutibu Magonjwa Maambukizi na Hususan Fikra Zinazoleta Pooza Mwili na Akili

Picha ni hati miliki ya Ushirikiano wa Maendeleo ya Watoto(PCD), Imperial College London. Maelezo

Kiswahili, utandawazi na umoja wa Afrika

Ufundishaji wa lugha nyingine

GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23)

Utumiaji Wa Kiswahili Na Lugha Za Jamii Kijinsia Nchini Tanzania Y.P. MSANJILA University of Dar-es-Salaam, Tanzania

Elimu ya Msingi inaelekea Upande Sahihi? Kufikiri na Nyerere Rakesh Rajani

UHUSIANO WA MIKAKATI YA UFUNDISHAJI WA FASIHI YA WATOTO YA KISWAHILI NA UMILISI WA KUSOMA KATIKA SHULE ZA MSINGI, KASARANI, KAUNTI YA NAIROBI, KENYA

Kiu Cha umtafuta Mungu

Lishe na Ulaji Bora kwa Watu Wanaoishi na Virusi vya UKIMWI VIDOKEZO MUHIMU KATIKA UNUNUZI NA USALAMA WA CHAKULA

102/2 KISWAHILI Karatasi ya 3 LUGHA Julai /Agosti 2012

Kifaa Maalum cha Kutazamia Jua: Maelekezo ya kutumia

MATUMIZI YA FACEBOOK KWA BIASHARA. Kwa Wanaoanza

Haja Ya Dini. Author(s): Publisher(s): Translator(s): Category: Topic Tags: Featured Category: Published on Al-Islam.org (

Usimulizi wa Riwaya ya Nyongo Mkalia Ini E. S. MOHOCHI University of Egerton, Kenya

HALMASHAURI YA WILAYA YA SUMBAWANGA

MITAZAMO KUHUSU KISWAHILI MIONGONI MWA WAZUNGUMZAJI WA KIJALUO: KIFANI CHA SHULE ZA MSINGI KATIKA KAUNTI YA MIGORI. OWALA JAEL AKINYI C50/75493/2012

UNIVERSITY OF CAMBRIDGE INTERNATIONAL EXAMINATIONS General Certificate of Education Ordinary Level. SWAHILI 3162/01 Paper 1 May/June 2012

LUGHA YA KISWAHILI KATIKA KUFUNDISHIA NA KUJIFUNZIA ELIMU SHULE ZA SEKONDARI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA ELIMU SAYANSI TEKNOLOJIA NA UFUNDI MTAALA WA ELIMUMSINGI DARASA LA I NA LA II

Juni 3-9 Pata Manufaa Kamili kwakusomabiblia

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA

Jamii. ,,,^mm^mmm-<^^^^ illli MA RH-EREN.CE CENTRE

Yaliyomo. Kuhusu kitabu hiki. Hautakuwa peke yako. Mfumo wa msaada ni wa manufaa sana wazazi wote wanahitaji!

UTANGULIZI ANUANI NA MANDHARI YA CHUO

Vijana wanazungumza kuhusu ujinsia, maisha na uhusiano VIJANA WANAZUNGUMZA KUHUSU NGONO, MAISHA NA UHUSIANO. Training and Research Support Centre

Siku ya kwanza. Mguso wa ngozi-kwa-ngozi (Ulezi wa kangaruu) Mtoto wako anaweza kuhisi mdundo wa moyo wako

usudi la Maisha Hakika katika kuumbwa mbingu na ardhi, na kupishana usiku na mchana, kuna kweli ishara kwa wenye akili, ambaye mkumbuke-

Mazoezi yaliyofanyika wakati wa warsha kuhusu Elimu-Jumuishi kwa Vitendo. Zanzibar, 7-10 Februari 2006

Misamaha ya kodi Tanzania: Je, ni mikubwa sana na kutufanya tuwe tegemezi kwa misaada?

ATHARI ZA KIISIMU ZA LAHAJA YA KIMAKUNDUCHI KATIKAKISWAHILI SANIFU KINACHOTUMIKA SHULENI MAKUNDUCHI ZANZIBAR

Ufanisi katika Ufundishaji kwenye Shule za Msingi na Sekondari nchini Tanzania

TASFIDA KAMA MKAKATI WA UPOLE: UWIANO WA TASFIDA ZA KISWAHILI NA EKEGUSII

MATATIZO YA MATUMIZI YA LUGHA KATIKA VYOMBO VYA HABARI: MIFANO KUTOKA KENYA 1 KITULA KINGE'I. 1. Utangulizi. AAP 64 (2000): Swahili Forum VII 45-56

KUSHUKA KWA HADHI YA LUGHA ZA JAMII NCHINI TANZANIA YOHANA P. MSANJILA University of Dar es Salaam, Tanzania

Theolojia Ujumla. Mike Taylor Semester Munguishi Bible College

UCHANGANUZI LINGANISHI WA SINTAKSIA YA SENTENSI SHARTI YA KISWAHILI SANIFU NA EKEGUSII CHUO KIKUU CHA NAIROBI

Kufafanua Upya Elimu Bora Tanzania: Kutoka Zana za Dufundishia mpaka Uwezo wa Wanafunzi 1 Oktoba 2007

Msigano wa Majina ya Walemavu katika Jamii ya Wazungumzaji Kiswahili: Mifano kutoka Tanzania

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAISI-TAMISEMI HALMASHAURI YA WILAYA BUMBULI

Mukhtasari Wa Mabishano Kwa Na Dhidi Ya Vikombe Vingi Vya Ushirika

GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23)

NAFASI YA MUZIKI ULIOPENDWA KATIKA FASIID YA KISWAHILI PAMELA M. Y NGUGI. Inkisiri. M a kala. AAP 64 (2000): Swahili Forum VII

Huduma kwa wateja kupitia barua pepe na ujumbe mfupi Fig

UFAHAMU NAME INDEX SCHOOLDATE UFAHAMU

1. UFAHAMU: (Alama 15)

Kufunga Milango - Uponyaji Kutokana na Athari za Giza

Swahili B Higher level Paper 1 Swahili B Niveau supérieur Épreuve 1 Swahili B Nivel superior Prueba 1

Kuwa na Ukimwi ni kama vile kutakiwa kuendelea kuuzima moto unaoniunguza bila kukoma.

Elimu Ina Umuhimu gani katika Jamii? Kuelekea Elimu Sahihi

ATHARI ZA KIMOFOFONOLOJIA ZA KIOLUSUBA KATIKA MATUMIZI YA KISWAHILI SANIFU KAMA LUGHA YA PILI

SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI KITABU CHA MWANAFUNZI KIDATO CHA TANO

Jifunze kusimamia pesa zako nchini Uskoti

SANIFU KWA SHULE ZA SEKONDARI KITABU CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO

Tora UTANGULIZI KWA TORA SOMO LA KWANZA

SautiElimu. Sauti Yako Isikike

DHANA NA MATKTIZO YA TAFSIRI:

Mwongozo wa Utamaduni Toleo la Kwanza

MWONGOZO WA KUSAHIHISHA MTIHANI WA KITAIFA 1995 SWALI LA KWANZA

UMRI WA MAKAMO NA KUKOMA KWA HEDHI

WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI TAASISI YA ELIMU TANZANIA MTAALA WA ELIMU YA MSINGI TANZANIA

Mwongozo kwa familia zinazofanya kazi pamoja kwa maisha endelevu. Nyenzo ya Mafunzo

MWONGOZO WA UTUNGAJI WA SHERIA NDOGO NA USHIRIKI WA WANANCHI

KUCHUNGUZA MASUALA YA KISIASA KATIKA RIWAYA ZA SHAABAN ROBERT: MFANO WA KUSADIKIKA NA KUFIKIRIKA

UNIVERSITY OF CAMBRIDGE INTERNATIONAL EXAMINATIONS General Certificate of Education Ordinary Level

Hatari, Haki za Usalama katika Bahari 03

5. Mheshimiwa Spika, Bunge lako Tukufu lilijadili kwa kina Miswada ifuatayo:

walozaliwa, si kwa damu, wala mapenzi ya mwili, wala si kwa mapenzi ya mtu, mbali kwa Mungu. Sisi sio tena binadamu wa kawaida tu kwa sababu sisi ni w

Evaluation of Contextual Teaching of Kiswahili Proverbs in Secondary Schools in Kenya

Agano Lililofunikwa Kwa Damu

Hakimiliki na Jonathan Menn. Haki zote zimehifadhiwa TAFSIRI YA BIBLIA. Mwandishi. Jonathan M. Menn

2

Azimio la Umoja wa Mataifa Kuhusu Watetezi wa Haki za Binadamu

Upande 1.0 Bajeti yako

MAFUNZO YA AFYA YA UZAZI: Nyongeza ya Mtalaa Kwa vijana

Uponyaji Wa Laana. (Kumb. 28:1-14).

TIST (TANGA) HABARI MOTO MOTO. Kutunza miche yako. Take care of your seedlings. Take care of your trees

Transcription:

JINA:. SAHIHI: NAMBARI:. TAREHE:.. 102/2 KISWAHILI LUGHA KARATASI YA PILI JULAI / AGOSTI 2013 MUDA: SAA 2 ½ MTIHANI WA MWIGO WA WILAYA YA NANDI KASKAZINI 2013 Cheti cha Kuhitimu Kisomo cha Sekondari KISWAHILI LUGHA KARATASI YA PILI MUDA: 2 ½ MAAGIZO 1. Andika jina lako na nambari katika nafasi ulizoachiwa hapo juu. 2. Tia sahihi yako na tarehe ya mtihani katika nafasi ulizoachiwa hapo juu. 3. Jibu maswali yote. Andika majibu yako katika nafasi zilizoachwa katika kijitabu hiki cha maswali. 4. Hakikisha ya kwamba maswali yote yamo. Swali Upeo Alama 1 15 2 15 3 40 1

4 10 JUMLA 80 1. UFAHAMU (ALAMA 15) Soma makala yafuatayo kisha ujibu maswali. Watu wengine hawawezi kunywa chai au uji bila kutia sukari. Wanatumia sukari kwa hamu na ghamu bila kutambua kuwa hiyo ni sumu wanayojiongezea mwilini. Ni ukweli usiopingika kuwa wazee wa jadi waliishi muda mrefu wakiwa na siha njema kuliko sisi. Hii ni kwa kuwa waliishi katika kipindi ambacho sukari inayotengenezwa viwandani haikuweko. Iwapo ilikuweko, ilikuwa bidhaa ya wateule waungwana kutengenezea vitu kama keki, mahamri, vitumbua na kadhalika na akina yahe hawangeweza kuigharamia. Watafiti wa masuala ya afya wamegundua kuwa sukari inayotayarishwa viwandani sasa haina virutubishi vyovyote. Halikadhalika, utaratibu wa viwandani wa kutayarisha sukari ili iwe nyeupe na kuichuja huharibu virutubishi vinavyoweza kuwa muhimu mwilini. Umuhimu wa sukari wakausaza kwa kutia ladha tamu tu. Umuhimu huu hauwezi kulinganishwa na madhara yanayoletwa na sukari hii. Baada ya kusagika mwilini, sukari hii huacha masalio ya asidi mwilini yenye sumu inayoathiri siha. Matumizi ya sukari kwa wingi husababisha madhara mbalimbali mwilini. Kwanza, huchangia kuoza na kuharibika kwa meno pamoja na matatizo ya meno kuuma. Pili, sukari nyeupe imehusishwa na ongezeko la maradhi ya kisukari, moyo na hipoglisimia au upungufu wa sukari mwilini. Matumizi holela ya sukari huleta kipandauso au ugonjwa wa gahfla wa kuumwa upande mmoja wa kichwa unaoambatana na kichefuchefu, kutapika na matatizo ya kuona. Pia,sukari huleta maradhi ya ngozi na figo, pamoja na ongezeko la kemikali iitwayo kolestroli, ambayo ni ufuta unaonata na ambao unatokana na kutoyeyuka kwa mafuta yote mwilini. Kemikali hii ya kolestroli inaporundikana moyoni, hufanya mishipa inayotoa damu moyoni na kuisambaza mwilini kuwa myembamba na sugu. Moyo hulazimika kusukuma damu kwa nguvu na huenda moyo ukachoka na kukoma kufanya kazi. Madhara haya ya sukari ndiyo yanayowafanya watu wengi kukiri kuwa sukari, ingawa ni tamu, ni sumu mwilini. Wataalamu wa lishe wamependekeza ulaji wa vyakula kama nafaka, matunda, mboga na miwa ambavyo vimejaa sukari asilia. Fauka ya hayo, sukari inayotoka katika asali ni bora zaidi kwa mwili wa mwanadamu. Asali huwa na sukari asilia,vitamini, madini na amino asidi. Hivi vyote huwa na manufaa mbalimbali mwilini. Mathalani, asali huupa mwili nishati inayohitajika kuendesha shughuli za viungo. Licha ya hayo, asali huuchangamsha mwili. Asali huwa na kemikali ambazo husaida watoto kukua vizuri. Huweza kuzidisha kiwango cha himoglobini, hivyo kupunguza uwezekano wa watoto kuwa na anemia ( upungufu wa damu ). Halikadhalika, asali husaidia katika usagaji wa chakula iwapo itatumiwa kabla ya mlo. Matumizi ya kijiko kimoja cha asali kila siku husaidia mwili kujikinga dhidi 2

ya magonjwa ya kukohoa. Asali husaidia pia kuondoa harufu mbaya kinywani. Asali pia inaweza kutumiwa kujipaka. Inapotumiwa kwa njia hii, hutunza ngozi na kuifanya ing'are, huondoa vipele na ugumu wa ngozi,pamoja na kutibu kule ngozi ilikokatikakatika. Halikadhalika, asali hutibu vidonda. Viwanda vingi vya vipodozi vilevile hutumia asali kama malighafi muhimu katika utengenezaji wa bidhaa hizo. MASWALI (a) Kutokanana na taarifa hii, kwa nini wazee wa zamani waliishi muda mrefu wakiwa na siha njema kuliko watu wa siku hizi? (alama 1) (b) Taja matumizi mawili ya sukari nyeupe. (alama 2) (c) Onyesha madhara matatu ya sukari nyeupe mwilini. (alama 3). (d) Taja aina ya sukari iliyo na manufaa mwilini mwa mwanadamu au ueleze ni kwa nini. (alama 2) (e) Eleza manufaa ya asali: (alama 2) (i) Ndani ya mwili 3

. (ii) Nje ya mwili (f) Eleza maneno yafuatayo kama yalivyotumika katika taarifa: (alama 4) (i) Hamu na ghamu:... (ii) Akina yahe:... (iii) Sugu: (iv) Vipodozi:..... 2. UFUPISHO: (ALAMA 15) Soma kifungu kifuatasho kisha ujibu maswali. Kila jambo tufanyalo kuhusiana na lugha huistawisha ufahamu wetu wa mambo tusemayo.vizuri na katika kuandika hustawisha ufahamu katika kusoma kwa sababu katika kuandika ni lazima tujaribu kuyatumia maneno vizuri na kufahamu ugumu wa usemi. Twajifunza matumizi ya lugha katika kuzungumza na kuwasikiliza wengine wakizungumza. Lugha tusemayo ikiwa imeandikwa hasa huwa ni aina ya lugha ya mazungumzo vilevile. Kuna ujuzi mwingi katika kuzungumza upatikanao katika shule kama vile michezo ya kuigiza, hotuba, majadiliano na mazungumzo katika darasa na haya yote husaida katika matumizi ya lugha. Ujuzi wa kila siku hutusaida katika maendeleo ya kusoma na ustawi wa msamiati. Ikiwa mwanafunzi amwemwona ndovu hasa, atakuwa amejua maana ya neno ndovu vizuri zaidi kuliko mwanafunzi ambaye hajawahi hata kumwona ndovu bali ameelezwa tu vile alivyo. Vilevile ujuzi wa kuiona sinema na michoro husaidia sana katika kusoma. Kwa hivyo, kwa njia fulani mambo yote juu ya ujuzi wa kila siku husaidia kufahamu mambo yaliyoandikwa mwanafunzi asemapo. Ikiwa mwanafunzi ana huzuni au ana furaha, akiwa mgonjwa au amechoka au amesifiwa haya yote ni ujuzi. Wakati ujao mwanafunzi asemapo ju ya mtu ambaye amepatikana na mambo kama hayo hana budi kufahamu zaidi. Karibu elimu yote ulimwenguni huwa imeandikwa vitabuni lakini lugha zote hazina ustawi sawa kuhusu fasihi. Kwa bahati mbaya lugha nyingine hazijastawi sana na hazina vitabu vingi lakini katika lugha nyingine karibu mambo yote yanayohusiana na 4

elimu huweza kupatikana katika vitabu. Inabidi mwanafunzi anayejifunza asome vitabu au majarida juu ya sayansi au siasa au historia, lakini haimbidi kusoma juu ya taaluma fulani anayojifunza. Inafaa asome juu ya michezo, mambo ya shani, na juu ya mahali pageni iii kupata mambo mengi mbali mbali. Maswali (a) Fupisha aya za kwanza mbili. (maneno 65 70) (alama 9) Matayarisho Nakala safi....... (b) Kwa kuzingatia habari zote muhimu na bila kupoteza maana asilia, fupisha aya ya mwisho. (maneno 30) (alama 6) Matayarisho. 5

Nakala safi 3. MATUMIZI YA LUGHA (ALAMA 40) (a) Eleza matumizi tofauti ya kiambishi ni katika sentensi ifuatayo. (alama 2) Nitasoma kwa bidii shuleni.. (b) Tunga sentensi ukitumia neno gani kama kiwakilishi na kama kivumishi. (alama 2) (c) Tunga sentensi ukitumia kitenzi la katika hali ya kutendeshea. (alama 2). (d) Changanua sentensi ifuatayo ukitumia jedwali. (alama 4) Walimu shupavu walifunza vizuri lakini wanafunzi hawakupita mtihani. 6

(e) Onyesha vishazi katika sentensi ifuatayo. (alama2) Uchaguzi uliofanywa nchini Kenya ulikuwa wa amani.. (f) Bainisha aina za shamirisho katika sentensi: (alama 3) Shule nzuri ilijengewa wanafunzi kwa matofali. (g) Eleza sifa mbili za sentensi ambatano na utoe mfano mmoja. (alama 3) (h) Unda nomino kutokana na vitenzi vifuatavyo: (alama 2) (i) Tafakari:. (ii) Sujudu: (i) Eleza maana ya chagizo na utunge sentensi moja kuonyesha maana yake. (alama 2). (j) Badilisha sentensi ifuatayo iwe katika hali ya kuamuru katika wingi. (alama 2) Njoo hapa. (k) Tunga sentensi yenye kitenzi kishirikishi kipungufu. (alama 2) 7

.. (l) Yakinisha sentensi ifuatayo. (alama 2) Asingepigiwa kura, asingekuwa rais wa Kenya... (m) Unganisha sentensi zifuatazo kwa kutumia kiunganishi mwafaka. (alama 2) (i) Mtoto alikula sana. (ii) Mtoto hakushiba.... (n) Tunga sentensi moja ukitumia kihisishi na nomino maalum. (alama 2).... (o) Taja aina mbili za mofimu na utolee mfano mmoja mmoja. (alama 2).... (p) Tumia amba rejeshi katika sentensi ifuatayo: (alama 2) Mchezaji ninayempenda ni Messi..... (q) Taja sauti mbili za nazali. (alama 2) (r) Andika katika msemo wa taarifa. (alama 2) Naapa ya kwamba nitatumikia wananchi wa Kenya na nitakuwa mwaminifu, Rais Mteule alisema....... 8

4. ISIMU JAMII (ALAMA 10) (a) Nini maana ya Isimu Jamii? (alama 2). (b) Taja mambo yoyote matatu yanayoathiri matumizi ya lugha. (alama 3). (c) Eleza umuhimu wa sajili. (alama 2). (d) Taja lahaja tatu za Kiswahili na mahali zinakozungumzwa. (alama 3). ANSWERS: Order a copy of answers from www.schoolsnetkenya.com/order-e-copy NB> We charge Kshs. 100 ONLY to meet website, e-resource compilation and provision costs 9