GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23)

Similar documents
GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23)

In the matter of an Application by the KIGOMA URBAN WATER SUPPLY AND SEWERAGE AUTHORITY (KUWASA) For a Tariff and Charges Adjustment

In the matter of Application by the TANGA URBAN WATER SUPPLY AND SEWERAGE AUTHORITY (TANGA UWASA) For a Multi-Year Tariff Adjustment

Lesson 11 Weather and Seasons Hewa Majira

ORDER NO BACKGROUND

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA NISHATI NA MADINI

Information for assessors (do not distribute this page to participants):

Taarifa Kuhusu Hali ya Uchumi wa Tanzania

EWURA scoops the highest rank in Africa s regulatory dispensation

Sera ya Faragha. Upeo. Aina za Data na Mbinu za Ukusanyaji

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA. Ifahamu Sekta ya Viwanda Vidogo na Biashara Ndogo. TOLEO Na.

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA FEDHA

CAISO Participating Intermittent Resource Program for Wind Generation

DIRA DHIMA. Kuendeleza, kuwezesha, kudhibiti na kusimamia matumizi endelevu ya Rasilimali za Nishati na Madini kwa manufaa ya Watanzania.

Misamaha ya kodi Tanzania: Je, ni mikubwa sana na kutufanya tuwe tegemezi kwa misaada?

ATHARI ZA MABADILIKO YA TABIANCHI KWA UCHUMI WA ZANZIBAR

KIMAZINGIRA NA KIJAMII NA MPANGO WA UDHIBITI

HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA MHESHIMIWA DKT

MWONGOZO WA UTUNGAJI WA SHERIA NDOGO NA USHIRIKI WA WANANCHI

Bustani 10,000 Katika Afrika. Alberto Prina

Colorado PUC E-Filings System

Kubadili Sheria Za Mbegu Na Ulinzi Wa Aina Za Mbegu Na Mimea Nchini Tanzania

GENERATOR INTERCONNECTION APPLICATION

MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI KWA MWAKA 2017/18

Bringing Renewables to the Grid. John Dumas Director Wholesale Market Operations ERCOT

Power Engineering II. Fundamental terms and definitions

KUWEZESHA MBINU ZA UZUIAJI MIMBA KATIKA SUHULA ZA AFYA: MASWALI 10 KWA VIKUNDI VYA JAMII KUZINGATIA

Muhtasari wa taarifa ya warsha ya wataalamu juu ya mfumo wa habari kwa njia ya ramani (PGIS), Morogoro, Juni 30 - Julai 1, 2014

Huduma kwa wateja kupitia barua pepe na ujumbe mfupi Fig

Utumiaji Wa Kiswahili Na Lugha Za Jamii Kijinsia Nchini Tanzania Y.P. MSANJILA University of Dar-es-Salaam, Tanzania

TIST HABARI MOTO MOTO

Kilimo cha kiekolojia cha Wakulima Wadogo Hufanikisha Haki za Mazingira

Miradi na jamii. 3.1 Utangulizi

UFUPISHO WA 35. Hali ya kiulimwengu ya Tekinolojia ya kibiashara/ugeuzi jeni na uboreshaji mazao: Clive James Chair, ISAAA Board of Directors

MKAKATI ATHARI YA MAZINGIRA NA KIJAMII YA KAZI YA PRO-ROUTES. Ombi kwa ajili ya fedha za umma wa mradi wa ziada

Expedited Filing Draft August 22, 2017

HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA BENJAMIN WILLIAM MKAPA,KWA WANANCHI, 30 SEPTEMBA, 2001

Ufanisi katika Ufundishaji kwenye Shule za Msingi na Sekondari nchini Tanzania

Jifunze kusimamia pesa zako nchini Uskoti

4. Kanuni za Petroli (Ushiriki wa Watanzania) za mwaka 2017 zilianza kutumika rasmi tarehe 5 Novermba Shughuli za Petroli za kwanza ni

HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, MHESHIMIWA DKT. PHILIP I. MPANGO (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA SERIKALI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO

SERA & TARATIBU YA YALE NEW HAVEN HEALTH

KILIMO CHA VITUNGUU MAJI NA VITUNGUU TWAUMU (SWAUMU)

UKUZAJI WA ASALI AFRICA (HONEY CARE AFRICA)

CASE No. 33 of In the matter of Determination of Generic Tariff for Renewable Energy for FY

Renewables and the Smart Grid. Trip Doggett President & CEO Electric Reliability Council of Texas

Uhakika wa Mbegu kwa Uhakika wa Chakula MWONGOZO WA UZALISHAJI WA MBEGU ZA ASILI ZA MAHINDI

TIST (TANGA) HABARI MOTO MOTO. Kutunza miche yako. Take care of your seedlings. Take care of your trees

Statement of indicative wholesale water charges and charges scheme

Uwepo, Athari na Udhibiti wa Sumu-Suvu Kwenye Vyakula vya

UTANGULIZI. 1. Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako. 2. Mheshimiwa Spika, awali ya yote nitumie fursa hii kuungana na

REVISED UPDATED PREPARED DIRECT SAFETY ENHANCEMENT COST ALLOCATION TESTIMONY OF GARY LENART SAN DIEGO GAS & ELECTRIC COMPANY AND

Colorado PUC E-Filings System

Wind Rules and Forecasting Project Update Market Issues Working Group 12/14/2007

HALMASHAURI YA WILAYA YA TUNDURU MUHTASARI WA MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI ULIOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA KLASTA YA MLINGOTI TUNDURU TAREHE 27/07/2017

BUNGE LA TANZANIA MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA KUMI NA MBILI. Kikao cha Tatu Tarehe 6 Septemba, (Bunge Lilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A

RIPOTI YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI

Deputy Minister for Finance

Integrating Wind Resources Into the Transmission Grid

UTANGULIZI ANUANI NA MANDHARI YA CHUO

TAARIFA FUPI KUHUSU SERA YA TAIFA YA ELIMU

+/- $50 Bid Cap and Node Limitations on Up-To Congestion Transactions APRIL 10 SPECIAL SESSION MIC NOHA SIDHOM- INERTIA POWER

Hati ya kuhitimu kisomo Kenya (K.C.S.E)

Ni kwa nini mkulima awe maskini?

N09/2/ABSWA/HP1/SWA/TZ0/XX/Q

Ripoti Fupi ya Nchi kuhusu Kazi Zenye Staha TANZANIA (bara)

LOADS, CUSTOMERS AND REVENUE

Dodoma ambako kikao cha Bunge kinaendelea kuja kushiriki japo sehemu ya uzinduzi wa mkutano.

MAKUBALIANO YA 2005 YA ULINZI NA UKUZAJI WA VIELELEZO VYA TAMADUNI ANUWAI

HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA BENJAMIN WILLIAM MKAPA, KWA WANANCHI, TAREHE 31 JULAI 2001

GENIUS CUP FINAL STANDART SEVEN

Turkish Energy Market Investment Opportunities and Incentives

DIMACS, Rutgers U January 21, 2013 Michael Caramanis

UFUATILIAJI WA MIRADI NA TATHMINI

Pronunciation: Mä-hret Zäläke Ndal-ka-tscho Molla Mare Gebre-gzabiär 1/12

FORECAST ACCURACY REPORT 2017 FOR THE 2016 NATIONAL ELECTRICITY FORECASTING REPORT

USIMAMIZI MKUU WA UBORA WA MAHURUJI

TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA SERIKALI KUTOKA KWENYE SEKTA MBALI MBALI ILIYOWASILISHWA KWENYE KIKAO CHA KAMATI YA USHAURI MKOA (RCC) TAREHE

Algebra 2 Glossary. English Swahili

Mfumo na maelezo ya kina ya mpango wa kimataifa wa viwango vya chakula kwa wenye matatizo ya kumeza (IDDSI) Juni 2017

TANGA CEMENT PLC ANNUAL REPORT TAARIFA YA MWAKA.

Uzio wa pilipili unazuia tembo kuvamia mazao shambani! Jinsi ya kujenga na kudumisha uzio wa pilipili Tanzania

Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA ISHIRINI KIKAO CHA KUMI NA MBILI TAREHE 22 JUNI, 2005

Distributed Generation. Retail Distributed Generation

Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document)

HOTUBA YA WAZIRI WA KILIMO MHESHIMIWA MHANDISI DKT. CHARLES JOHN TIZEBA (MB) KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA YA WIZARA YA KILIMO KWA

KUSHUKA KWA HADHI YA LUGHA ZA JAMII NCHINI TANZANIA YOHANA P. MSANJILA University of Dar es Salaam, Tanzania

Kiswahili, utandawazi na umoja wa Afrika

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

2 Usimamizi wa Rutuba ya Udongo Tanzania Organic Agriculture Movement

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAISI-TAMISEMI HALMASHAURI YA WILAYA BUMBULI

Programu ya Uendelezaji Mifumo ya Maji Vijijini (PUMMV) katika Tanzania. Modeli wa Ukodishaji Mradi

TANZANIA TAARIFA YA MWISHO WA UTEKELEZAJI

TANZANIA MARKETS PAN Sera zinazoboresha masoko

The World Bank Greater Maputo Water Supply Expansion Project (P125120)

Implementation Status & Results Argentina AR RENEW.ENERGY R.MKTS (P006043)

Mwongozo wa Kutathimini mifumo ya Ugawanaji wa faida na Mapato Katika Miradi ya Jamii ya MKUHUMI

Shamba Darasa na Stadi za Maisha kwa Vijana (SDSMV) Tanzania. Kiongozi Cha Mwezeshaji. Jaap Van Pol na Francesca Dalla Valle

Elimu ya Msingi inaelekea Upande Sahihi? Kufikiri na Nyerere Rakesh Rajani

TANZANIA OSAKA ALUMNI. Kitabu cha Mbinu Bora

Transcription:

GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER (Made under Section 23) THE ELECTRICITY (STANDARDIZED SMALL POWER PROJECTS TARIFF) ORDER, 2016 citation 1. This Order may be cited as the Electricity (Standardized Small Power Projects Tariff) Order, 2016. Commencement 2. This Order shall take effect from 1 st April 2016. Interpretation 3. In this Order unless the context otherwise requires: competitive bidding process means the competitive method to procure power projects above 1 MW and up to 10 MW using wind and solar technologies that shall be prescribed in the Electricity (Development of Small Power Projects) Rules 2016; Isolated Mini-Grid means an electricity transmission and distribution network physically isolated from the Main-Grid; Main Grid means the interconnected electricity transmission network of Mainland Tanzania, to which the largest cumulative capacity of electricity generating facilities are connected; and Small Power Producer ( SPP ) means an entity generating electricity in the capacity between one hundred kw up to ten MW using renewable energy, fossil fuels, a cogeneration technology, or some hybrid system combining fuel sources mentioned above and either sells the generated power at wholesale to a DNO or at retail directly to a customer or customers. An SPP may have an installed capacity greater than ten MW but shall only export power at the interconnection point not exceeding ten MW. 1

Approved tariffs 4. (1) The Standardized Small Power Purchase Tariff for hydro and biomass projects of up to 10MW which are connected to the Main Grid and Isolated Mini-Grid shall be as shown in the First Schedule. (2) The Standardized Small Power Purchase Tariff for solar and wind projects of up to 1MW, connecting to the Main Grid and Isolated Mini-Grid is as shown in the Second Schedule. (3) The Standardised Small Power Purchase Tariff for SPPs that may opt, in terms of Rule 39 of the Electricity (Development of Small Power Projects) Rules 2016 to continue using the year 2008 avoided cost tariff setting methodology, shall be as shown in the Third and Fourth Schedules. (4) Tariffs for solar and wind projects, of above 1MW and up to 10MW, connecting to the Main Grid and Isolated Mini-Grid will be determined through a competitive bidding process. Revocation 5. This Order revokes the Electricity (Standardized Small Power Projects Tariff for Year 2015), Order Number 015-025. 2

FIRST SCHEDULE Standardized Small Power Projects Tariff for Hydro and Biomass SPPs Minihydro Power Plant Biomass Power Plant Size (up to) Approved Tariff (US$/kWh) Size (up to) Approved Tariff (US$/kWh) 100kW 0.155 150kW 0.146 200kW 0.179 200kW 0.141 300kW 0.169 250kW 0.140 400kW 0.161 500kW 0.134 500kW 0.157 750kW 0.129 750kW 0.149 1MW 0.123 1MW 0.147 2MW 0.115 2MW 0.138 3MW 0.108 3MW 0.128 4MW 0.102 4MW 0.126 5MW 0.098 5MW 0.123 6MW 0.095 6MW 0.120 7MW 0.091 7MW 0.118 8MW 0.088 8MW 0.118 9MW 0.084 9MW 0.117 10MW 0.081 10MW 0.117 SECOND SCHEDULE Main Grid and Isolated Mini Grid Connected Tariff for Solar and Wind SPPs up to 1MW Description Standardized Small Power Purchase Tariff for Solar and Wind projects of up to 1MW connected to the Main Grid Standardized Small Power Purchase Tariff for Solar and Wind projects of up to 1MW connected to the Mini Grid Approved Tariff (US$/kWh) 0.165 0.181 3

THIRD SCHEDULE Main Grid Connected Tariff Using Avoided Cost Principle 2016 Approved 2015 Tariff Percentage Tariff Description Change Standardized Small Power Purchase Tariff 190.94 190.46-0.25% Seasonally adjusted Dry season 229.13 228.58-0.25% Standardized SPPT Payable in Wet season 171.85 171.42-0.25% FOURTH SCHEDULE Isolated Mini Grid Connected Tariff Using Avoided Cost Principle 2015 Tariff 2016 Approved Tariff Percentage Description Change Standardized SPP Tariff 490.39 477.16-3.40%..., 2016....... Felix Ngamlagosi Director General 4

TANGAZO LA SERIKALI Na.... LA TAREHE SHERIA YA UMEME (NA. 131) AGIZO (Imetolewa chini ya Kifungu Na. 23) AGIZO LA UMEME (BEI ZA MIRADI MIDOGO YA UMEME), 2016 Kichwa cha Agizo 1. Agizo hili litajulikana kama, Agizo la Umeme (Bei za Miradi Midogo ya Umeme), 2016 Kuanza Kutumika 2. Agizo hili litaanza kutumika tarehe 1 Aprili 2016. Tafsiri 3. Katika Agizo hili mpaka pale kutakapokuwa na maana tofauti, maneno yafuatayo yatakuwa na maana ifuatayo: mfumo wa ushindani ni mfumo wa kununua miradi midogo midogo ya umeme utokanao na upepo au jua kwa kiwango cha zaidi ya Megawati 1 mpaka Megawati 10 kama ambavyo umeainishwa kwenye Kanuni za Uendelezaji wa Miradi Midogo Midogo ya Umeme za Mwaka 2016 ( the Electricity (Development of Small Power Projects) Rules 2016 ); Gridi ya Taifa ina maana ya mfumo mkuu wa usafirishaji umeme Tanzania Bara kutoka vyanzo vikuu vya kuzalisha umeme mpaka kwenye mifumo ya usambazaji; Gridi Ndogo ina maana ya mfumo mwingine wa usafirishaji umeme Tanzania Bara ambao haujaunganishwa kwenye Gridi ya Taifa; na Miradi Midogo ya Umeme ina maana ya miradi midogo ya umeme yenye uwexo wa kuzalisha kati ya Kilowatt 100 mpaka Megawati 10 kwa kutumia nishati jadidifu, mafuta au machanganyiko wa nishati hizo na umeme huo unaweza kuuzwa kwa jumla kwa wasambazaji umeme au kwa wateja moja kwa moja. Mzalishaji wa umeme mdogo anawezakuwa na uwezo wa kuzalisha zaidi ya Megawti 10 lakini kiwango anachokuwa anaingiza kwenye mfumo au utaratibu wa miradi midogo midogo ya umeme hautazidi Megawati 10. Bei zilizoidhinishwa 4. (1) Bei iliyoidhinishwa kwa miradi midogo ya kufua umeme kwa kutumia maji na taka za miji na mabaki yatokanayo na kilimo na uliounganishwa katika Gridi ya Taifa na 5

Gridi Ndogo itakuwa kama iliyoainishwa katika Jedwali la Kwanza. (2) Bei ya umeme utokanao na miradi midogo ya kufua umeme kwa kutumia jua na upepo hadi kufikia Megawati moja (1MW) na uliounganishwa katika Gridi ya Taifa na Gridi Ndogo itakuwa kama iliyoainishwa katika Jedwali la Pili. (3) Bei ya umeme kwa miradi midogo ya umeme itakayoamua, kwa mujibu wa kifungu cha 39 cha Kanuni za Uendelezaji wa Miradi Midogo Midogo ya Umeme ( the Electricity (Development of Small Power Projects) Rules 2016 ), kuendelea kutumia mfumo wa kuuza umeme uliopitishwa mwaka 2008, itakuwa kama inavyoainishwa katika Jedwali la Tatu na Jedwali la Nne. (4) Bei za umeme utokanao na miradi midogo ya kufua umeme kwa zaidi ya Megawati 1 mpaka Megawati 10 kutumia jua na upepo iliyounganishwa kwenye Gridi ya Taifa na Gridi Ndogo zitapatikana wakati wa zoezi la ushindani. Kusitisha Agizo 5. Agizo hili linasitisha Agizo la Kurekebisha Bei ya Umeme kwa Miradi Midogo ya Umeme Namba 015-025 la mwaka 2015. 6

JEDWALI LA KWANZA Bei kwa Miradi Midogo ya Umeme wa Maji na Taka za Miji na Mabaki ya Kilimo Mtambo wa Kufua Umeme kwa Kutumia Maji Mtambo wa Kufua Umeme kwa Kutumia Taka za Mji na Mabaki ya Kilimo Ukubwa (mpaka) Bei ya Umeme (US$/kWh) Ukubwa (mpaka) Bei ya Umeme (US$/kWh) 100kW 0.155 150kW 0.146 200kW 0.179 200kW 0.141 300kW 0.169 250kW 0.140 400kW 0.161 500kW 0.134 500kW 0.157 750kW 0.129 750Kw 0.149 1MW 0.123 1MW 0.147 2MW 0.115 2MW 0.138 3MW 0.108 3MW 0.128 4MW 0.102 4MW 0.126 5MW 0.098 5MW 0.123 6MW 0.095 6MW 0.120 7MW 0.091 7MW 0.118 8MW 0.088 8MW 0.118 9MW 0.084 9MW 0.117 10MW 0.081 10MW 0.117 JEDWALI LA PILI Bei kwa Miradi Midogo ya Umeme wa jua na upepo inayouza kwenye Gridi ya Taifa na Gridi Ndogo Maelezo Bei ya Umeme kwa Miradi Midogo ya Jua na Upepo ya hadi 1MW inayouza umeme kwenye Gridi ya Taifa Bei ya Umeme kwa Miradi Midogo ya Jua na Upepo ya hadi 1MW inayouza umeme kwenye Gridi Ndogo Bei Iliyoidhinishwa (US$/kWh) 0.165 0.181 7

JEDWALI LA TATU Bei kwa Miradi Midogo ya Umeme inayouza kwenye Gridi ya Taifa kwa Kulingana na Mfumo wa Mwaka 2008 Bei Iliyoidhinishwa Mabadiliko Bei ya 2015 Maelezo kwa 2016 katika Asilimia Bei ya Umeme kwa Miradi Midogo Bei Itakayolipwa Msimu wa Ukame Kulingana na (Augosti hadi Novemba) Msimu Msimu wa Mvua (Januari hadi Julai na Desemba) 190.94 190.46-0.25% 229.13 228.58-0.25% 171.85 171.42-0.25% JEDWALI LA NNE Bei kwa Miradi Midogo ya Umeme inayouza kwenye Gridi Ndogo kulingana na Mfumo wa Mwaka 2008 Bei Iliyoidhinishwa Mabadiliko Bei ya 2015 Maelezo kwa 2016 katika Asilimia Bei ya Umeme kwa Miradi Midogo 490.39 477.16-3.40%..., 2016....... Felix Ngamlagosi Mkurugenzi Mkuu 8