Watumishi Wa Kristo. Ellis P. Forsman. Watumishi Wa Kristo (Servants Of Christ) 1

Similar documents
Kwa Nini Yesu Alikufa Msalabani?

"ATATOKEA MARA YA PILI, pasipo dhambi, kwa hao wamtazamiao kwa wokovu." Waebrania 9:28.

MUNGU ALIUMBA ULIMWENGU 1 WETU NA VYOTE VILIVYO HAI

Nia Dhidi Ya Kristo Je Unamheshimu?

Agano Lililofunikwa Kwa Damu

Maisha Ya Mkristo Ni Nini?

Inavyodaiwa na wanaochanganya Biblia. Ellis Forsman. Inavyodaiwa na Wanao changanya Biblia (Alleged Bible Contradictions) 1

Ushindi ndani ya Kristo W. W. PRESCOTT

Roho Mtakatifu Ni Nini?

walozaliwa, si kwa damu, wala mapenzi ya mwili, wala si kwa mapenzi ya mtu, mbali kwa Mungu. Sisi sio tena binadamu wa kawaida tu kwa sababu sisi ni w

Silaha Za Shetani. Ellis Forsman. Silaha Za Shetani (The Devices of Satan) 1

MELKISEDECK LEON SHINE. katoliki.ackyshine.com

Na Itafunika Wingi Wa Dhambi

Patanishwa, Hesabiwa Haki, Takaswa

Theolojia Ujumla. Mike Taylor Semester Munguishi Bible College

Aina Tatu Za Ibada. Ellis Forsman. Aina Tatu Za Ibada (Three Kinds Of worship) 1

Uongozi Siri Na Larry Chkoreff. Version 1.2 Desemba 2010

Ndugu na dada zangu wapendwa,

Mzabibu Na Matawi. (The Vine And The Branches) Ellis P. Forsman. Mzabibu Na Matawi (The Vine And The Branches) 1

KAMA MUNGU YU PAMOJA NASI, BASI YAKO WAPI MATENDO YAKE YA AJABU?

Kifo Na Mbingu. (Death And Heaven) Ellis P. Forsman. Kifo Na Mbingu (Death And Heaven) 1

Kuiponya Picha Tuliyonayo Kuhusu Mungu

IMANI NA MATENDO ELLEN G. WHITE

Tafuteni Kwanza Ufalme Wa Mungu

WAKOLOSAI MTAALA. B. Maoni: Tunapendekeza uwe na fafanuzi (commentary) yoyote yenye kushikilia mafundisho ya awali (conservative) katika Wakolosai.

Tazama Yuaja. Kuhusu Toleo Hili. Umuhimu wa Mafundisho ya Biblia. Nguvu katika neno la Mungu.

Information for assessors (do not distribute this page to participants):

Kifo Na Mbingu (Death And Heaven)

MSAMAHA NA UPATANISHO

Maisha Yaliyojaa Maombi

YEHOVA-YIRE 1. 2 Baba yetu wa Mbinguni, tunakikaribia Kiti Chako cha. 3 Tunakushukuru kwa kutuzuru jana jioni. Tunaomba

IM ETUPASA KUTIMIZA HA KI YOTE

UZAO WA NYOKA. 2 Basi, usiku huu, tuna malimbuko tu ya utukufu huo mkuu. 3 Kwa uchaji tunasimama kwa imani yetu katika Uwepo

Kiumbe Kipya Katika Kristo

GRACE COMMUNION INTERNATIONAL KANUNI YA IMANI

UKUFUNZI WENYE NGUVU MMOJA-KWA-MMOJA

MUNGU ANADHIHIRISHWA KUPITIA KWA YESU KRISTO.

United Pentecostal Church June 2017

MASWALI NA MAJIBU JUU YA KITABU CHA MWANZO

maombi, kabla tu hatujalifungua Neno hili la Kiungu.

Ndugu na dada zangu wapendwa,

Mafundisho Ya Msingi Wa Kikristo. Na Andrew Connally

LALA. Terry Warford. LALA (Sleep - Terry Warford) 1

Kuwa Macho Na Mbwa Mwitu (Watch Out for Wolves)

NGUVU. Utangulizi. Yesu alisema,

JE! MUNGU ANAMPA MWANAMKE HAKI YA KUTOA MIMBA IWAPO NI MHANGA WA UBAKAJI?

2 LILE NENO LILILONENWA

WEWE NI NANI? Toleo X Toleo Ukweli wa Injeli Toleo 23

MAHUBIRI TUNAYOWEZA KUONA

KWA NINI SISI SI MADHEHEBU?

FORWARD BY DANIEL SZMIOT

JE, YAWEZEKANA KUISHI BILA KUTENDA DHAMBI?

Uponyaji Wa Laana. (Kumb. 28:1-14).

wasiofaa. Naomba sana kila raia afanye bidii awezavyo kumkaribia Mwenyezi Mungu vile anavyoona inafaa, lakini asipitishe hukumu juu ya wengine.

Ndugu na dada zangu wapendwa,

WAFUNAJI WA NAFSI ABC By Vagn Rasmussen Translation by Lydia Madsen

B. Wanafunzi watapata ufahamu mkubwa wa kitabu hiki, na jinsi kinavyofundisha kuhusu kanisa.

VITAMBULISHO VITA NO DHA HIRI VYA KA NISA LA KWELI LA MUNGU ALIYE HAI

United Pentecostal Church April Kushangilia Kwa Sala

Adhabu ya jino kwa jino na Musitakabali wa imani zetu

usudi la Maisha Hakika katika kuumbwa mbingu na ardhi, na kupishana usiku na mchana, kuna kweli ishara kwa wenye akili, ambaye mkumbuke-

Ellen White, waasisi wa Kiadventista,na Sabato Lunar

Ufunguo wa Kutaalamika Haraka

BIBLICAL INSTRUCTION AND ENCOURAGEMENT FOR THE MAFUNDISHO YA BIBLIA NA HIMIZO KWA MISSION FIELD WORLDWIDE. KAZI YA KIMISHENI ULIMWENGUNI KOTE

H. M. Baagil, M. D. WAMY Studies on Islam

KUTAMBUA SIKU YA KO NA UJUMBE WAKE

Rahisi. Mabingwa kwa ajili ya tunda la Roho Mtakatifu. Kitabu cha mwanafunzi. Rahisi

UTARATIBU WA KANISA. 2 Jambo la kwanza ninalotaka kusema ni kwamba mchungaji. 3 Sisi tunaamini katika Kanisa la kimitume, tukifundisha

RISALA FUPI YA KUMUWEZESHA MTU KUPAMBANUA NI IPI DINI YA HAKI MWANDISHI: SALEH M. KYAMBO

Hati ya kuhitimu kisomo Kenya (K.C.S.E)

Kanuni. Muhimu za Kujifunza Biblia. Mchungaji Drue Freeman. Dan Hawkins & Joseph Brown. General Editors.

Oktoba-Desemba

ONYO LA MWISHO KWA DUNIA

UJASIRI WA YOHANA MBATIZAJI

Rahisi. Kitabu cha mwanafunzi. Mabingwa kwa ajili ya tunda la Roho Mtakatifu. Rahisi

Wanawake katika Uislamu

# 18 Uponyaji Kutokana na Kukataliwa

Makasisi. Waingia Uislamu

Kiu Cha umtafuta Mungu

MATHAYO MTAKATIFU 1:1 1 MATHAYO MTAKATIFU 1:17 INJILI KAMA ALIVYOIANDIKA MATHAYO MTAKATIFU

Mabingwa kwa ajili ya tunda la Roho Mtakatifu. Iliyoendelea sana. Kitabu cha mwanafunzi. Iliyoendelea sana

Mukhtasari Wa Mabishano Kwa Na Dhidi Ya Vikombe Vingi Vya Ushirika

Mabingwa kwa ajili ya tunda la Roho Mtakatifu. Iliyoendelea sana. Iliyoendelea sana. Kitabu cha mwanafunzi

Haja Ya Dini. Author(s): Publisher(s): Translator(s): Category: Topic Tags: Featured Category: Published on Al-Islam.org (

Jumuiya ya Waislamu Waahmadiyya Tanzania

UNIVERSITY OF CAMBRIDGE INTERNATIONAL EXAMINATIONS General Certificate of Education Ordinary Level. SWAHILI 3162/01 Paper 1 May/June 2013

UNABII WA BIBLIA. CBM Publishing 32 Blenheim Road, Far Cotton Northampton, England. NN4 8NW

PDF created with pdffactory trial version

Tumaini Kwa Afrika. Thomas Schirrmacher. Hoja 66. Dibaji na Prof. Mchungaji Dk. Thomas K. Johnson. Thomas Schirrmacher Tumaini Kwa Afrika TASCM RVB

MWONGOZO WA NAMNA YA KUHAMASISHA MAOMBI YA MCHANA NA USIKU YA SIKU 10.

Mabingwa kwa ajili ya tunda la Roho Mtakatifu. Ngumu. Ngumu. Kitabu cha mwanafunzi

Iliyoendelea sana. Kitengo cha 2. Kitabu cha mwanafunzi Iliyoendelea sana

2

Aya : Talaka Ni Mara Mbili

MAFUNDISHO YA UMISHENI

Mabingwa kwa ajili ya tunda la Roho Mtakatifu. Ngumu. Ngumu. Kitabu cha mwanafunzi

Kuzimu na Kurudi na Dr. Rawlings Documentary Video Transcript, TBN Films

2

Sura ya 7 Kielelezo: Tumepatanishwa na Mungu na Wanadamu

MAANA HALISI IMAAN ( I )

Transcription:

Watumishi Wa Kristo na Ellis P. Forsman Watumishi Wa Kristo (Servants Of Christ) 1

Watumishi Wa Kristo na Ellis P. Forsman Oktoba 14, 2011 Watumishi Wa Kristo (Servants Of Christ) 2

Sisi ni watumishi Watumishi Wa Kristo Gal. 1:10 Gal. 1:10, Maana sasa je ni wanadamu ninaowashawishi, au Mungu? Au nataka kuwapendeza wanadamu? Kama ningekuwa hata sasa nawapendeza wanadamu, singekuwa mtumwa wa Kristo. Rum. 6:16, Hamjui ya kuwa kwake yeye ambaye mnajitoa nafsi zenu kuwa watumwa wake katika kumtii, mmekuwa watumwa wake yule mnayemtii kwamba ni utumishi wa dhambi uletao mauti, au kwamba ni utumishi wa utii uletao utii. Sisi ni zaidi ya watumishi Gal. 4:7, Kama ni hivyo, wewe si mtumwa tena bali u mwana; na kama u mwana basi u mrithi wa Mungu. Mtiifu Mtumishi mwema ni nani? Rum. 6:17-18, Lakini Mungu na ashukuriwe kwa maana mlikuwa watumwa wa dhambi, lakini mliitii kwa mioyo yenu ile namna ya elimu ambayo mliwekwa chini yake; na mlipokwisha kuwekwa huru mbali na dhambi, mkawa watumwa wa haki. 1 Pet. 1:22, Mkiisha kujitakasa roho zenu kwa kuitii kweli, hata kuufikilia upendano wa ndugu usio na unafiki, basi jitahidini kupendana kwa moyo. Kristo mfano wetu Fil. 2:5-8, Iweni na nia iyo hiyo ndani yenu ambayo ilikuwamo pia ndani ya Kristo Yesu; ambaye yeye mwanzo alikuwa yuna namna ya Mungu, naye hakuona kule kuwa sawa na Mungu kuwa ni kitu cha kushikamana nacho; bali alijifanya kuwa hana utukufu akatwaa namna ya mtumwa, akawa ana mfano wa mwanadamu; tena alipoonekana ana umbo kama mwanadamu alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti, naam mauti ya msalaba. Watumishi Wa Kristo (Servants Of Christ) 3

Ebr. 5:8-9, Na ingawa ni mwana alijifunza kutii kwa mates ohayo yaliyompata; naye alipokwisha kukamilishwa, akawa sababu ya wokovu wa milele kwa watu wote wanaomtii. Wenye bidii 2 Tim. 2:15, Jitahidi kujionyesha kuwa umekubaliwa na Mungu mtenda kazi asiye na sababu ya kutahayari, ukitumia kwa halali neno la kweli. Si wavivu Rum. 12:11, Kwa bidii si walegevu; mkiwa na juhudi katika roho zenu; mkimtumikia Bwana. 2 Pet. 1:5-11, Naam, na kwa sababu iyo hiyo mkijitahidi sana kwa upande wenu, katika imani yenu tieni na wema, na katika wema wenu maarifa, na katika maarifa yenu kiasi, na katika kiasi chenu saburi, na katika saburi yenu utauwa,, na katika utauwa wenu upendano wa ndugu, na katika upendano wa ndugu upendo. Maana mambo hayo yakiwa kwenu na kujaa tele, yawafanya ninyi kuwa si wavivu wala si watu wasio na matunda, kwa kumjua Bwana wetu Yesu Kristo. Maana yeye asiyekuwa na hayo ni kipofu hawezi kuona vitu vilivyo mbali amesahau kule kutakaswa dhambi zake za zamani. Kwa hiyo ndugu jitahidini kufanya imara kuitwa kwenu na uteule wenu, maana mkitenda hayo hamtajikwaa kamwe. Maana hivi mtaruzukiwa kwa ukarimu kuingia katika ufalme wa milele wa Bwana wetu mwokozi wetu, katika imani yenu tieni na wema, na katika wema wenu maarifa, na katika maarifa yenu kiasi, na katika kiasi chenu saburi, na katika saburi yenu utauwa,, na katika utauwa wenu upendano wa ndugu, na katika upendano wa ndugu upendo. Maana mambo hayo yakiwa kwenu na kujaa tele, yawafanya ninyi kuwa si wavivu wala si watu wasio na matunda, kwa kumjua Bwana wetu Yesu Kristo. Maana yeye asiyekuwa na hayo ni kipofu hawezi kuona vitu vilivyo mbali amesahau kule kutakaswa dhambi zake za zamani. Kwa hiyo ndugu jitahidini kufanya imara kuitwa kwenu na uteule wenu, maana mkitenda hayo hamtajikwaa kamwe. Maana hivi mtaruzukiwa kwa ukarimu kuingia katika ufalme wa milele wa Bwana wetu mwokozi wetu Yesu Kristo. Ebr. 4:11, Basin a tufanye bidii kuingia katika raha ile, ili kwamba mtu ye yote asije akaanguka kwa mfano uo huo wa kuasi. Watumishi Wa Kristo (Servants Of Christ) 4

Mnyenyekevu, mtiifu; anayetumika Mat. 18:4, Basi ye yote ajinyenyekeshaye mwenyewe kama motto huyu, huyo ndiye aliyemkuu katika ufalme wa mbinguni. Mat. 20:26-27, Lakini haitakuwa hivyo kwenu; bali mtu ye yote anayetaka kuwa mkubwa kwenu, na awe mtumishi wenu; na mtu ye yote anayetaka kuwa wa kwanza kwenu na awe mtumwa wenu. Rum. 12:10, Kwa pendo la udugu, mpendane ninyi kwa ninyi kwa heshima mkiwatanguliza wenzenu; Kristo mfano wetu aliosha miguu ya wanafunzi Yoh. 13:5, 14-16, Kisha akatia maji katika bakuli, akaanza kuwatawadha wanafunzi miguu na kuifuta kwa kile kitambaa alichojifunga. Basi ikiwa mimi niliye Bwana na mwalimu nimewatawadha miguu imewapasa vivyo kuwatawadha ninyi kwa ninyi. Kwa kuwa nimewapa kielelezo; ili kama mimi nilivyo watendea nanyi mtende vivyo. Amin, amini nawaambia ninyi mtumwa si mkuu kuliko Bwana wake wala mtume si mkuu kuliko yeye aliyempeleka. (Kuoshwa miguu kulihitajika katika nchi hiyo.) Mwanzo 18:4, Na yaletwe basi maji kidogo mkanawe miguu mkapumzike chini ya mti huu. Mwanzo 24:32, Na mtu yule akaingia katika nyumba, akawafungua ngamia naye akatoa majani na malisho kwa ngamia, na maji ya kuoshea miguu yake, na miguu ya watu waliokuwa pamoja naye. Hodari Yosh. 1:5-8, Hapatakuwa mtu ye yote atakayeweza kusimama mbele yako siku zote za maisha yako; kama nilivyo kuwa pamoja na Musa ndivyo nitakavyokuwa pamoja na wewe; sitakupungukia wala sitakuacha. Uwe hodari na moyo wa ushujaa, maana ni wewe utakayewarithisha watu hawa nchi hii niliyowaapia baba zao ya kwamba nitawapa. Uwe hodari na ushujaa mwingi uangalie kutenda sawasawa na sheria yote aliyokuamuru Musa mtumishi wangu usiiache, kwenda mkono wa kuume au wa kushoto upate kufanikiwa sana kila uendako. Kitabu hiki cha torati kisiondoke kinywani mwako, bali yatafakari maneno yake mchana na usiku, Watumishi Wa Kristo (Servants Of Christ) 5

upate kuangalia kutenda sawasawa na maneno yote yaliyoandikwa humo; maana ndipo utakapoifanikisha njia yako, kisha ndipo utakapositawi sana. Rum. 8:31, Basi tuseme nini juu ya hayo? Mungu akiwa upande wetu ni nani aliyejuu yetu? Anayejitoa kwa bwana wake Mfano. Kut.21:1-6, Basi hukumu utakazoziweka mbele ya watu ni hizi ukimnunua mtumwa wa Kiebrania atakutumikia muda wa miaka sita; mwaka wa saba atatoka kwako huru bure. Kwamba aliingia kwako pekee yake tu, atatoka hivyo pekee yake; kwamba ameoa mkewe atatoka aende pamoja naye. Kwamba ni bwana wake aliyempa huyo mke, naye amemzalia wana wa kiume au wa kike, yule mke na wanawe watakuwa ni mali ya bwana wake, naye mume atatoka pekee yake. Lakini huyo mtumwa akisema wazi wazi, mimi nampenda bwana wangu, na mke wangu na watoto wangu, sitaki mimi kutoka niwe huru; ndipo hapo huyo bwana waake atamleta mbele ya Mungu na kumleta mlangoni; na bwana wake atalitoboa sikio lake kwa uma; ndipo atamtumikia siku zote. Anayetafuta kutumika tu. Gal. 1:10, Maana sasa je ni wanadamu ninaowashawishi, au Mungu? Au nataka kuwapendeza wanadamu? Kama ningekuwa hata sasa nawapendeza wanadamu, singekuwa mtumwa wa Kristo. Hawezi kuwatumikia mabwana wawili. Mat. 6:24, Hakuna mtu awezaye kutumikia mabwana wawili; kwa maana atamchukia huyu na kumpenda huyu; ama atashikamana na huyu na kumdharau huyu. Hamwezi kumtumikia Mungu na mali. Mvumilivu. Yakobo alitumika miaka 14 ya Raheli. Mwanzo 29:15-30, Laban akamwambia Yakobo kwa sababu wewe ni ndugu yangu je! Unitumikie bure? Niambie mshahara wako utakuwa nini? Laban alikuwa na mabinti wawili jina la wa mkubwa ni Lea, na jina la mdogo ni Raheli. Naye Lea macho yake yalikuwa dhaifu, lakini Raheli alikuwa mzuri wa umbo, na mzuri uso. Yakobo akampenda Raheli akasema, nitakutumikia miaka saba kwa kumpata Raheli, binti yako mdogo. Laban akasema afadhali nikupe wewe kuliko mtu mwingine, kaa kwangu. Yakobo akatumika miaka saba kwa kumpata Raheli. Ikawa machoni pake kama siku chache tu kwa vile alivyompenda. Yakobo akamwambia Labani, nipe mke wangu maana siku zangu zimetimia; niingie kwake. Labani akakusanya watu wote wa mahali pale, akafanya karamu. Ikawa wakati wa jioni akamtwaa Lea binti yake, akamletea Yakobo, naye akaingia kwake. Labani akampa Lea mjakazi wake Zilpa, awe mjakazi wake. Ikawa kulipokuwa asubuhi kube! Ni Lea. Akamwambia Labani nini hii uliyonitenda? Sikukutumikia kwa Raheli? Mbona umenidanganya? Watumishi Wa Kristo (Servants Of Christ) 6

Labani akasema, havitendeki hivi kwetu, kumtoa mdogo kabla ya mkubwa; timiza siku zake saba nasi tutakupa huyu kwa utumishi utakaonitumikia, miaka saba mingine. Yakobo akafanya hivi, akatimiza siku zake saba. Naye akampa Raheli binti yake kuwa mkewe. Labani akampa binti yake Raheli mjakazi wake Bilha, awe mjakazi wake. Akaingia kwa Raheli naye, akampenda Raheli kuliko Lea, akatumika kwa ajili yake miaka saba mingine. Usichoke kutenda mema. Gal. 6:9, Tena tusichoke katika kutenda mema; maana tutavuna kwa wakati wake tusipozimia roh. Vumilia kila mara. Efe. 6:18, Kwa sala zote na maombi mkisali kila wakati katika Roho, mkikesha kwa jambo hilo na kudumu katika kuwaombea watakatifu wote; Mwaminifu kwa bwana wake. 1 Kor. 4:1-2, Mtu na atuhesabu hivi kuwa tu watumishi wa Kristo na mawakili wa siri za Mungu. Hapo tena inayohitajika katika mawakili, ndiyo mtu aonekane kuwa mwaminifu. Mwaminifu hata kufa. Ufu. 2:10, uwe mwaminifu hata kufa nami nitakupa taji ya uzima. Watumishi Wa Kristo (Servants Of Christ) 7

Watumishi Wa Kristo (Servants Of Christ) 8

Watumishi Wa Kristo (Servants Of Christ) 9

Watumishi Wa Kristo (Servants Of Christ) 10

Watumishi Wa Kristo (Servants Of Christ) 11

Watumishi Wa Kristo (Servants Of Christ) 12