2018/2019 OFISI YA RAIS-TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

Size: px
Start display at page:

Download "2018/2019 OFISI YA RAIS-TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA"

Transcription

1 OFISI YA RAIS-TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA WILAYA TANDAHIMBA SHULE YA SEKONDARI TANDAHIMBA, S.L.P 74, 0716 / /05/2018 Kumb. Na. TSS/HS/2018/VOL. I Mwanafunzi.. S.L.P.... YAH: MAAGIZO YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2018/ Ninafuraha kukufahamisha kuwa, umechaguliwa kujiunga kidato cha tano kwa mwaka 2018/2019 Shule ya Sekondari Tandahimba ipo umbali wa Km 03 Kaskazini/Magharibi mwa mji wa Tandahimba. Usafiri wa pikipiki/bajaji kutoka kituo cha mabasi, Tandahimba mjini unapatikana. Unatakiwa kuripoti shuleni Kuanzia tarehe na mwisho wa kuripoti ni tarehe MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA. 2.1 SARE YA SHULE 1. Shati 2 nyeupe mikono mirefu. 2. Suruali 2 rangi ya kijivu cheusi (Dark-Blue). Yenye rinda mbili na pindo chini. 3. Tai 2 Blue-Nyeusi ndefu ( Long tie). 4. Sweta Dark-Blue (Tsh 20,000/=). Linapatikana shuleni. 5. Viatu vya ngozi vyeusi jozi 2 visigino vifupi. 6. Mkanda wa ngozi mweusi saizi ya kati. 7. Soksi nyeupe jozi 2 au zaidi.

2 8. T-Shirt rangi ya khaki inapatikana shuleni (Tsh 15,000/=). 2.2 SARE ZA MICHEZO 1. Bukta 2 rangi nyekundu. 2. Fulana 2 rangi ya bluu. 3. Stocking sox rangi ya bluu ( Soski jozi 2 za michezo). 4. Raba/viatu vya michezo. NB: Nguo za kushindia (Shamba dress) suruali 2 nyeusi, haturuhusu mavazi ya nyumbani/kawaida. 2.3 VIFAA HGL Walete Brash ya kukaushia maji ( Rubber squizer), JEMBE & MPINI na PANGA. HGK walete ufagio wa plastiki mgumu (Hard brooms), JEMBE & MPINI na FYEKEO. 3.0 ADA NA MICHANGO YA SHULE 3.1 ADA ya shule ni Tsh 70,000/= kwa mwaka. Unaweza kulipa yote au kwa awamu mbili Tsh 35,000/= kwa kila muhula. Fedha ya ADA iwekwe kwenye akaunti ya shule TANDAHIMBA SEKONDARI-NMB Namba ya akaunti MICHANGO YA SHULE 1. Unatakiwa kuleta shuka 2 au zaidi rangi ya PINK, mto, foronya na taulo. 2. Godoro moja, Ukubwa wa Ft 6x3 na unene wa inch 6 linapatikana shuleni kwa gharama ya Tsh 40,000/= -Baada ya kulipia fedha hiyo, mwanafunzi atakabidhiwa godoro. 3. Unatakiwa uwe na sanduku imara la kuweka vitu vyako (Tranka). 4. Uje na sahani, bakuli, kijiko, kikombe na ndoo ndogo mbili zenye mifuko. 5. Uje na chandarua, ni muhimu kujikinga na mbu waenezao malaria.

3 6. Daftari kubwa (Counter Book 4-Quire) saba. 7. Uje na vifaa vya usafi wa mwili. 8. Ulete karatasi nyeupe bunda 2 (Rim paper A4) 9. Kuimarisha taaluma Tsh 20,000/= 10. Tiba Tsh 10,000/= kwa mwaka. *Iwapo una kitambulisho cha mfuko wa Bima ya Afya ni vyema uje nacho, wenye Bima ya Afya walete Tsh 5,000/= kwa mwaka kwa ajili ya huduma ya kwanza. 11. Uje na Tsh 3,000/= (kila shati) kwa ajili ya nembo ya shule katika shati. 12. Kuchangia ukarabati wa samani Tsh 15,000/= 13. Kulipa vibarua (Walinzi na Wapishi) Tsh 30,000/= 14. Mtihani wa FORM FIVE MOCK JOINT-MKOA Tsh 20,000/=

4 NB: Michango mingine iwekwe TANDAHIMBA SEKONDARI-NMB, namba ya akunti ZINGATIO: Kabla ya kuamua kufika, tafadhali ijulikane wazi kwamba unazingatia mambo yafuatayo:- 1 (a) Tabia yako iwe nzuri kabisa au uioneshe kwa kufuata sheria na taratibu za jumuiya ya shule. (b) Kazi ni Elimu ni lazima kuifanya na kuipenda, kazi ifanywe kwa bidii na Maarifa. (c) Wajibu mwingine ni kufuta ujinga kwa kujiongezea Elimu kwa kadri ya uwezo wako na kufuata maelekezo ya viongozi, walimu na watumishi wasio walimu. 2. Atakayechelewa baada ya mwezi mmoja toka tarehe ya kufungua shule Hatapokelewa, kuna wanafunzi wa akiba watakuwa wameitwa. 3. Usije na simu. Ukikutwa utalazimika kulipa adhabu ya gharama za umeme ulioutumia kuchajia simu yako Tsh 50,000/= na pia simu yako utavunjwa mwenyewe mbele ya hadhara ya wanafunzi au kufukuzwa shule. **Fika hapa shuleni pamoja na barua hii kama kitambulisho. Pia unatakiwa kujaza kwa ukamilifu sehemu ya taarifa kwa mwanafunzi mpya. 5.0 SHERIA NA KANUNI ZA SHULE 5.1 Shule inaendeshwa kwa mujibu wa Sheria ya Elimu Na.25 ya mwaka Aidha inazingatia nyaraka na miongozo yote inayotolewa na Wizara yenye dhamana ya Elimu Nchini. Unatakiwa kuzingatia mambo ya msingi yafuatayo:- a) Heshima kwa wanafunzi, viongozi, wazazi, walezi, wafanyakazi na jamii kwa ujumla ni jambo la lazima. b) Mahudhurio mazuri katika kila shughuli ndani na nje ya shule ni muhimu. c) Kutimiza kwa makini shughuli za jioni (Preparation)

5 d) Kuwahi katika kila shughuli za shule na nyingine utakazopewa. e) Kufahamu mipaka ya shule na kuzingatia kikamilifu maelekezo juu ya kuwepo ndani na nje ya mipaka hiyo wakati wote wa uanafunzi wako katika shule hii. f) Kutunza usafi wa mwili na mazingira ya shule. g) Kuvaa sare za shule wakati wote unapotakiwa. h) Kuzingatia ratiba ya shule wakati wote MAKOSA YAFUATAYO YANAWEZA KUSABABISHA KUFUKUZWA SHULE 1. Wizi. 2. Uasherati na Ushoga. 3. Ubakaji. 4. Ulevi na matumizi ya madawa ya kulevya. *Kama vile uvutaji bangi, mirungi, marijuana, kubeli, cocainne n.k 5. Kupiga au kupigana. 6. Kuharibu kwa makusudi mali ya umma. 7. Kudharau bendera ya Taifa. 8. Kuoa au kuolewa. 9. Kusababisha mimba, ndani na/au nje ya shule. 10. Kugoma, kuchochea na kuongoza na/au kuvuruga amani na usalama wa shule au Jamii inayozunguka shule. 11. Kukataa adhabu kwa makusudi. 12. Mwanafunzi kuwa na simu ya mkononi.

6 13. Utoro siku Kukashifu dini ya mtu mwingine. Tafadhali: Soma kwa makini maelezo/maagizo haya na kuyatekeleza kikamilifu Karibu sana Tandahimba Sekondari!!... Mwl. ANDILILE M.M MKUU WA SHULE

7 TAARIFA MUHIMU KWA MWANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO SEHEMU A Jina kamili (Herufi Kubwa).... Tarehe ya kuzaliwa... Jina la baba/mama/mlezi. Kazi yake Namba ya simu Anwani ya nyumbani Kijiji Kata. Tarafa... Wialaya Mkoa Kabila Dini/Dhehebu.. Uraia SEHEMU B Mambo unayopendelea kufanya nje ya masomo (Kwa mfano: Michezo, Bustani, Kushona, Kuchora n.k) SEHEMU C No Majina ya ndugu Kiwango cha Elimu Anwani yake Simu yake SEHEMU D Ada ya shule italipwa na... SEHEMU E Ninaahidi kuwa na tabia nzuri na mwenye bidii katika masomo yangu. Nimesoma maelezo yote na kuzielewa sheria za shule, Mungu nisaidie. Sahihi ya mwanafunzi Sahihi ya mzazi/mlezi

8 Tarehe Tarehe

9 THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT S OFFICE-REGIONAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENT Medical Officer, STUDENT S FORM FOR MEDICAL EXAMINATION.. Student s full name... Age PO. BOX 74, TANDAHIMBA I kindly request you to examine him physically and mentally if he is fit or unfit to pursue Advanced level studies in our school. Blood-count(Red&White) Urine Stool Venereal-Disease T.B Ears Eyes Spleen Chest ADDITIONAL INFORMATION: If any E.g; Physical defects (Arm or leg impairments, chronic or family diseases) Etc.. I certify that he is fit/unfit to pursue education as stated Signature... Station.

10 Designation. Date:... Official stamp... ORODHA YA VITABU WANAVYOTAKIWA KUNUNUA WAZAZI/WALEZI GENERAL STUDIES Richard, R.F. Mbalase (General Studies For Advanced Level Certificate) Mgaywa, B.M. (General Studies For Advanced Level 3 rd Ed.) Joannes BigirwaMungu & Sospeter M. Deogratias (Understanding Advanced Level General Studies) HISTORY I Hallert, R. (1983) Africa Since 1875 vol.3. East African Educational Publishers, Nairobi Kenya. July R. W. (1992) A History of the African People. East African Educational Publishers, Nairobi Kenya. Manning, P. (1990) Slavery and African Life, Occidental Oriental and African Slave Trade, Cambridge University Press. Njiro, E. (1989) A History of Africa in the 19 th century. Literature Bureau Nairobi, Kenya. Rodney, W. (1976) How European underdeveloped Africa. Publishing House, Dar es Salaam, Tanzania. Davidson, E. et al (1997) The Growth of the African Civilization East and Central Africa to the Late 19 th Century. Longman Group Limited, Singapore. Kimambo, I. and Temu, A. (1969) A history of Tanzania, East Africa Publishers Ltd, Nairobi Kenya History for Secondary Schools Form Five (TIE) History for Secondary Schools Form Six (TIE) HISTORY II Nelson Throne Essential Modern World History History of 21 st Century (World History Oxford) H. L Peacock. A History of Modern Europe th Ed. (2010) The History of Modern World (2007) 6 th Edition Oxford University Press. GEOGRAPHY Colin Buckle, LANDFORMS IN AFRICA C.R. KOTHARI, RESEARCH METHODOLOGY H.C. TRURAN, A PRACTICAL GUIDE TO STATISTICAL MAPS AND DIAGRAMS Goh cheng Leong Gillian C. Morgan, HUMAN AND ECONOMIC GEOGRAPHY DAVID WAUGH, GEOGRAPHY-AN INTERGRATED APPROACH JOHN M. PRITCHARD, PRACTICAL GEOGRAPHY FOR AFRICA R.B. BUNETTE, PHYSICAL GEOGRAPHY IN DIAGRAMS FOR AFRICA Geography for Secondary Schools form Five (TIE) Geography for Secondary Schools Form Six (TIE)

11 KISWAHILI Kimbunga- H. Goro Fungate ya Uhuru- M.S. Khatibu Chungu Tamu- T. A. Mvungi Vuta N kuvute-s.a. Shafi Usiku Utakapokwisha- M. Msokile Mfadhili- H. Tuwa Morani- E. Mbogo Nguzo Mama- P. Muhando Kivuli Kinaishi- S. Mohamedi Kiswahili Sekondari- Kidato cha V & VI Oxford Kiswahili Sekondari- Kidato cha Tano (TIE) Kiswahili Sekondari- Kidato cha Sita (TIE) ENGLISH LANGUAGE Ashel, N. (2009) Advanced Level English A Practical Approach- DSM Kadeghe Michael (2011) The Real English Textbook for Advanced Level (Form Six)- DSM Kadeghe Michael (2011) The Real English Textbook for Advanced Level (Form Five)- DSM English Language for Secondary Schools, Language & Usage- Form Five & Six Papers (TIE) Advanced English Language Form Five & Six- Oxford Ashel, N. (2011) Advanced Level Literature, The Essential Guide- GoodBook Publishers, DSM Advanced Level Literature, (2008) Nyambari Nyangwine Publishers, DSM Achebe, A. (1966) A Man of the People Ayi Kwei Armah (1968) The Beautiful Ones Are Not Yet Born Ibsen, H. (1982) An Enemy of The People, EA-DSM Imbuga, F.C (1976) Betrayal in the City Ngugi wa Mirii & Ngugi wa Thiong o (1982) I Will Marry When I Want, EAEP-DSM Selected Poems, TIE Mloka, C. (2007) The Wonderful Surgeon English Language for Secondary Schools, Literature & Stylistics-Form Five & Six Paper 2 (TIE)

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAISI-TAMISEMI HALMASHAURI YA WILAYA BUMBULI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAISI-TAMISEMI HALMASHAURI YA WILAYA BUMBULI JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAISI-TAMISEMI HALMASHAURI YA WILAYA BUMBULI NAMBA ZA SIMU: Mkuu Wa Shule: 0784524029 / 0766805826. Makamu Mkuu Wa Shule: 0714356735 / 0767356735. SHULE YA SEKONDARI

More information

HALMASHAURI YA WILAYA YA SUMBAWANGA

HALMASHAURI YA WILAYA YA SUMBAWANGA HALMASHAURI YA WILAYA YA SUMBAWANGA E- mail: uchilesekondari@yahoo.com P.O. BOX 582 Mob: +255 (0) 752 476 389 SUMBAWANGA KUMB. NA. USS/JOINING/F.V/03 10 Juni 2017...... YAH: MAAGIZO YA KUJIUNGA NA KIDATO

More information

YAH: MAAGIZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI KAREMA KIDATO CHA TANO MWAKA 2018

YAH: MAAGIZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI KAREMA KIDATO CHA TANO MWAKA 2018 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA WILAYA YA MPANDA SHULE YA SEKONDARI KAREMA Namba za simu: Mkuu wa shule: 0763414888/0784244108

More information

OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA WILAYA YA IRINGA SHULE YA SEKONDARI TOSAMAGANGA

OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA WILAYA YA IRINGA SHULE YA SEKONDARI TOSAMAGANGA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA WILAYA YA IRINGA SHULE YA SEKONDARI TOSAMAGANGA SANDUKU LA POSTA 569 IRINGA TANZANIA Kumb... MZAZI/MLEZI WA...... YAH: MAAGIZO YA KUJIUNGA

More information

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA SIMU NA: (027) 2642082 TANGA (OFISI) 0784 889 099 TANGA (NYUMBANI) Tovuti: www.tangaschool.sc.tz Barua pepe: tangaschool@yahoo.com JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI HALMASHAURI YA

More information

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. OFISI YA RAIS- TAMISEMI.

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. OFISI YA RAIS- TAMISEMI. JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. OFISI YA RAIS- TAMISEMI. Namba za simu: SHULE YA SEKONDARI ANNA MKAPA, S. L. P 8824, MOSHI. TAREHE... MKUU WA SHULE : 0688 460 242/ 0754 824 621 MAKAMU MKUU WA SHULE: 0787

More information

SHULE YA SEKONDARI KIBAHA S.L.P 30053, KIBAHA SIMU NA Kibaha

SHULE YA SEKONDARI KIBAHA S.L.P 30053, KIBAHA SIMU NA Kibaha Kumb.Na.KSS/. Tarehe:.. Ndugu:.. SHULE YA SEKONDARI KIBAHA S.L.P 30053, KIBAHA SIMU NA. 023-2402143 e-mail Kibaha Secondary@kec.or.tz www.kec.or.tz TAARIFA YA KUCHAGULIWA KUINGIA KIDATO CHA TANO 2018 Ninayo

More information

JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI HALMASHAURI YA MANISPAA YA MPANDA SHULE YA SEKONDARI RUNGWA

JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI HALMASHAURI YA MANISPAA YA MPANDA SHULE YA SEKONDARI RUNGWA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI HALMASHAURI YA MANISPAA YA MPANDA SHULE YA SEKONDARI RUNGWA FOMU YA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE 2018/2019 S.L.P 504, Namba za simu MPANDA Mkuu

More information

JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS-TAMISEMI Namba za Simu Mkuu wa Shule: 0742 770 656 Makamu Mkuu wa Shule: 0767 312 266 Matron: 0766 464 076 Shule ya Sekondari Nsimbo, S.L.P.304, MPANDA. Kumb.

More information

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA Email: Galanossecondary@gmail.com SHULE YA SEKONDARI GALANOS, Website: www.galanos.sc.tz

More information

JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAISI-TAMISEMI

JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAISI-TAMISEMI JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAISI-TAMISEMI Namba za simu Shule ya sekondari Mkingaleo Mkuu wa shule -0716544244 S.L.P 1802 Makamu Mkuu wa shule -0713788225 Tarehe Matroni/Patroni-0764435107/0718495791

More information

Kumb.Na.BSS/A.6/33 Tarehe: 18 Juni 2018 YAH: MAAGIZO YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2018/2019

Kumb.Na.BSS/A.6/33 Tarehe: 18 Juni 2018 YAH: MAAGIZO YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2018/2019 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Shule ya Sekondari Bagamoyo Simu ya mkononi: +255 769 397 926 : +255 658

More information

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAGU

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAGU JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAGU NAMBA ZA SIMU. MKUU WA SHULE: 0754 912 801 MAKAMU MKUU WA SHULE: 0765620813/0714556568 MATRON

More information

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS - TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA BUKOBA.

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS - TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA BUKOBA. JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS - TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA BUKOBA. SHULE YA SEKONDARI KAHORORO, S. L. P 198, BUKOBA. Tarehe 14/5/2018 MKOA WA KAGERA

More information

JAMHURI YA MUUNGANO IVA TANZANIA

JAMHURI YA MUUNGANO IVA TANZANIA JAMHURI YA MUUNGANO IVA TANZANIA OFISI YA RAIS.TAMISEMI Namba za simu Mkuu wa shule 0784684613 S.L.P 23, Makamu Mkuu wa shule 0717134781 Shule Ya Sekondari Nyanduga, Tarime-Rorya, Patron: 0753379801 Email:

More information

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA Namba za simu: Mkuu wa shule: 0757 576 565 Makamu Mkuu wa shule: 0757 912 846 Matron: 0757 322 100 Walimu wa

More information

Information for assessors (do not distribute this page to participants):

Information for assessors (do not distribute this page to participants): R&P Cultural Orientation Model Assessment Written Version Swahili Information for assessors (do not distribute this page to participants): This written version of the Model Cultural Orientation (CO) Assessment

More information

Kumb.Na.HVEMS/JI/BT/018 Novemba 17, YAH: MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE CHINI YA TAASISI YA ROCK MEMORIAL EDUCATION TRUST 2018

Kumb.Na.HVEMS/JI/BT/018 Novemba 17, YAH: MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE CHINI YA TAASISI YA ROCK MEMORIAL EDUCATION TRUST 2018 Hills View Catholic Diocese of Tanga Magunga District Hospital Road Mob:+255-784808420, +255 718 661681, +255 714901004 www.rmet.ac.tz, email: saroce2013@gmail.com KOROGWE, TANZANIA Kumb.Na.HVEMS/JI/BT/018

More information

ARCHDIOCESE OF MWANZA

ARCHDIOCESE OF MWANZA ARCHDIOCESE OF MWANZA Bukumbi Girls Secondary School P.O.Box 561 MWANZA. Tel: No. 0756312183/0755280924/0767643605/0732981368 Email: bukumbigirlssec@gmail.com Website: www.bukumbigss.weebly.com YAH: MWONGOZO

More information

KAWAWA JKT HIGH SCHOOL PO.BOX 213 MAFINGA IRINGA PHONE MOBILE, , , ,

KAWAWA JKT HIGH SCHOOL PO.BOX 213 MAFINGA IRINGA PHONE MOBILE, , , , KAWAWA JKT HIGH SCHOOL PO.BOX 213 MAFINGA IRINGA PHONE MOBILE,0762-785899, 0765 752082, 0758 767533, EMAIL: kawawa.highschool@yahoo.com Kumb Na. 841KJ/KAWSS/2540 6 Namba ya Fomu. Tarehe.. FOMU YA USAJILI

More information

YAH: MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI WERUWERU HALMASHAURI YA MOSHI MKOA WA KILIMANJARO MWAKA 2018

YAH: MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI WERUWERU HALMASHAURI YA MOSHI MKOA WA KILIMANJARO MWAKA 2018 JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI SHULE YA SEKONDARI WERUWERU Nambari ya simu 073-2744003/0759 659681 Email:weruweru23@gmail.com

More information

FOMU YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO

FOMU YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO FOMU YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO SEHEMU A (TAARIFA ZA MWANAFUNZI) Picha ya mwanafunzi na aje na picha tatu Jina kamili (majina matatu). Tarehe ya kuzaliwa.. Uraia.. Jinsia Anuani ya mwanafunzi... Shule

More information

YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS - TAMISEMI

YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS - TAMISEMI JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS - TAMISEMI Namba za simu Shule ya Sekondary Mawelewele Mkuu wa shule: 0763401829 S.L.P 459, Makamu mkuu wa shule: 07523331155 IRINGA. Matron/Patron: Kumb.

More information

GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23)

GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23) GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER (Made under Section 23) THE ELECTRICITY (STANDARDIZED SMALL POWER PROJECTS TARIFF) ORDER, 2016 citation 1. This Order may be cited

More information

GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23)

GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER. (Made under Section 23) GOVERNMENT NOTICE No... PUBLISHED ON THE ELECTRICITY ACT, (CAP.131) ORDER (Made under Section 23) THE ELECTRICITY (STANDARDIZED SMALL POWER PROJECTS TARIFF) ORDER, 2015 Citation 1. This Order may be cited

More information

SERA & TARATIBU YA YALE NEW HAVEN HEALTH

SERA & TARATIBU YA YALE NEW HAVEN HEALTH Eneo La Huduma: Huduma Ya Ushirika Wa Biashara Kichwa: Sera Ya Mipango Ya Msaada Wa Kifedha SERA & TARATIBU YA YALE NEW HAVEN HEALTH Tarehe Kupitishwa: 09/20/2013 Tarehe Ya Ufanisi: 09/20/2013 1/1/2017

More information

NAFASI ZA MASOMO MASOMO YA ASUBUHI

NAFASI ZA MASOMO MASOMO YA ASUBUHI NAFASI ZA MASOMO Shule yetu, iliyoanza mwaka 1974, inazingatia taaluma na maadili kwa kufuata sera ya elimu ya Kanisa Katoliki. Ni ya mchepuo wa biashara. Inapokea wanafunzi wa kike na wa kiume, wa kutwa

More information

Human Rights Are Universal And Yet...

Human Rights Are Universal And Yet... Human Rights Are Universal And Yet... Episode 05 Title : The right to education Author : Julien Adayé Editor : Aude Gensbittel Translator : Anne Thomas, Eric Ponda Proofreader: Pendo Paul Characters (sounds,

More information

Huduma kwa wateja kupitia barua pepe na ujumbe mfupi Fig

Huduma kwa wateja kupitia barua pepe na ujumbe mfupi Fig KITINI CHA JINSI YA KUTUMIA MFUMO WA SIMU YA KIGANJANI KATI YA BARAZA LA FAMASI NA WAMILIKI WA MADUKA NA WATAALAMU WA DAWA YALIYOMO UTANGULIZI... 3 SEHEMU YA KWANZA: MALIPO YA KUHUISHA VIBALI... 4 1.1

More information

TAARIFA FUPI KUHUSU SERA YA TAIFA YA ELIMU

TAARIFA FUPI KUHUSU SERA YA TAIFA YA ELIMU TAARIFA FUPI KUHUSU SERA YA TAIFA YA ELIMU TANZANIA EDUCATION NETWORK / MTANDAO WA ELIMU TANZANIA () 1.0 USULI Tanzania, sawa na nchi nyingine, ilitia saini Malengo ya Maendeleo ya Milenia na Malengo ya

More information

Ufanisi katika Ufundishaji kwenye Shule za Msingi na Sekondari nchini Tanzania

Ufanisi katika Ufundishaji kwenye Shule za Msingi na Sekondari nchini Tanzania Ufanisi katika Ufundishaji kwenye Shule za Msingi na Sekondari nchini Tanzania Desemba 2014 1 Shukurani Ripoti hii iliandikwa na Dk. Mkumbo. Ushauri wa kitaalamu ulitolewa na Elizabeth Missokia na Godfrey

More information

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA ELIMU SAYANSI TEKNOLOJIA NA UFUNDI MTAALA WA ELIMUMSINGI DARASA LA I NA LA II

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA ELIMU SAYANSI TEKNOLOJIA NA UFUNDI MTAALA WA ELIMUMSINGI DARASA LA I NA LA II JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA ELIMU SAYANSI TEKNOLOJIA NA UFUNDI MTAALA WA ELIMUMSINGI DARASA LA I NA LA II JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA ELIMU SAYANSI TEKNOLOJIA NA UFUNDI MTAALA

More information

KITEGO CHA MAREKEBISHO NA HAKI ZA MTOTO

KITEGO CHA MAREKEBISHO NA HAKI ZA MTOTO KITEGO CHA MAREKEBISHO NA HAKI ZA MTOTO Mwaka 2009 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilipitisha sheria mpya ya Mtoto ambayo ni sehemu ya juhudi za serikali za kuhakikisha kuwa haki na ustawi wa

More information

Hati ya kuhitimu kisomo Kenya (K.C.S.E)

Hati ya kuhitimu kisomo Kenya (K.C.S.E) 102/3 KISWAHILI KARATASI YA 3 Fasihi Julai/Agosti 2013 MUDA : SAA 2 ½ Hati ya kuhitimu kisomo Kenya (K.C.S.E) Kiswahili Karatasi 3 Julai/ Agosti Muda: Saa 2 ½ MAAGIZO: Andika jina lako na nambari yako

More information

Jifunze kusimamia pesa zako nchini Uskoti

Jifunze kusimamia pesa zako nchini Uskoti Jifunze kusimamia pesa zako nchini Uskoti Mradi wa kujua kuhusu Pesa Aprili 2011 FLP - Swahili Mradi wa kujua kuhusu Pesa Ipindi vyetu vya maelezo vya bure, warsha na kozi hutoa fursa ya kujifunza kuhusu

More information

Nilikua na Ndoto ya Kumaliza Shule Changamoto za Elimu ya Sekondari Tanzania

Nilikua na Ndoto ya Kumaliza Shule Changamoto za Elimu ya Sekondari Tanzania Nilikua na Ndoto ya Kumaliza Shule Changamoto za Elimu ya Sekondari Tanzania Kwa toleo neno la waraka huu, tafadhali email:crd@hrw.org FEBRUARI 2017 ISBN: 978-1-6231-34464 Nilikua na Ndoto ya Kumaliza

More information

Mwongozo wa Familia wa Kujifunza

Mwongozo wa Familia wa Kujifunza Shule za umma za kata ya Fayette 1 Mwongozo wa Familia wa Kujifunza Muhtasari wa yale watoto wanastahili kufahamu na kuweza kufanya na njia za familia kuongeza masomo nyumbani. Tunaamini familia ni wenzetu.

More information

Elimu ya Msingi inaelekea Upande Sahihi? Kufikiri na Nyerere Rakesh Rajani

Elimu ya Msingi inaelekea Upande Sahihi? Kufikiri na Nyerere Rakesh Rajani Elimu ya Msingi inaelekea Upande Sahihi? Kufikiri na Nyerere Rakesh Rajani HakiElimu: Mfululizo wa Mada za Uchambuzi Namba. 2003.4S Elimu ya Msingi inaelekea Upande Sahihi? Kufikiri na Nyerere 1 Rakesh

More information

In the matter of an Application by the KIGOMA URBAN WATER SUPPLY AND SEWERAGE AUTHORITY (KUWASA) For a Tariff and Charges Adjustment

In the matter of an Application by the KIGOMA URBAN WATER SUPPLY AND SEWERAGE AUTHORITY (KUWASA) For a Tariff and Charges Adjustment In the matter of an Application by the KIGOMA URBAN WATER SUPPLY AND SEWERAGE AUTHORITY (KUWASA) For a Tariff and Charges Adjustment Background 1. On 17 th May 2011 KUWASA submitted an application for

More information

Mwongozo kwa Lugha Rahisi wa Sera ya Maendeleo ya Ushirika na Sheria ya Vyama vya Ushirika Tanzania Bara

Mwongozo kwa Lugha Rahisi wa Sera ya Maendeleo ya Ushirika na Sheria ya Vyama vya Ushirika Tanzania Bara Mwongozo kwa Lugha Rahisi wa Sera ya Maendeleo ya Ushirika na Sheria ya Vyama vya Ushirika Tanzania Bara Umetayarishwa na Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tanzania kwa Kushirikiana na Idara ya Maendeleo

More information

UNIVERSITY OF CAMBRIDGE INTERNATIONAL EXAMINATIONS General Certificate of Education Ordinary Level. SWAHILI 3162/01 Paper 1 May/June 2013

UNIVERSITY OF CAMBRIDGE INTERNATIONAL EXAMINATIONS General Certificate of Education Ordinary Level. SWAHILI 3162/01 Paper 1 May/June 2013 www.xtremepapers.com UNIVERSITY OF CAMBRIDGE INTERNATIONAL EXAMINATIONS General Certificate of Education Ordinary Level *9257224991* SWAHILI 3162/01 Paper 1 May/June 2013 Additional Materials: Answer Booklet/Paper

More information

4. Kanuni za Petroli (Ushiriki wa Watanzania) za mwaka 2017 zilianza kutumika rasmi tarehe 5 Novermba Shughuli za Petroli za kwanza ni

4. Kanuni za Petroli (Ushiriki wa Watanzania) za mwaka 2017 zilianza kutumika rasmi tarehe 5 Novermba Shughuli za Petroli za kwanza ni MWONGOZO WA JINSI YA KUWASILISHA MAOMBI YA KUWEKWA KWENYE KANZIDATA YA WATANZANIA WENYE UWEZO WA KUUZA BIDHAA AU KUTOA HUDUMA (LSSP) KWENYE SHUGHULI ZA MAFUTA NA GESI ASILIA NCHINI Utangulizi 1. Mamlaka

More information

Hatari, Haki za Usalama katika Bahari 03

Hatari, Haki za Usalama katika Bahari 03 Hatari, Haki za Usalama katika Bahari 03 AEG swahili Bahari ya Aegean Brosha ya maelezo hii ni kwa watu wanaofikiria kuvuka bahari ya Aegean kati ya Ugiriki na Uturuki.Kuvuka kihramu ni uhalifu katika

More information

Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi (MMEM) Muhtasari Rakesh Rajani na George Omondi

Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi (MMEM) Muhtasari Rakesh Rajani na George Omondi Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi (MMEM) Muhtasari Rakesh Rajani na George Omondi HakiElimu: Mfululizo wa Mada za Uchambuzi Namba. 2003. 6S Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi (MMEM) Muhtasari

More information

Misamaha ya kodi Tanzania: Je, ni mikubwa sana na kutufanya tuwe tegemezi kwa misaada?

Misamaha ya kodi Tanzania: Je, ni mikubwa sana na kutufanya tuwe tegemezi kwa misaada? Policy brief TZ.12/2010K Misamaha ya kodi Tanzania: Je, ni mikubwa sana na kutufanya tuwe tegemezi kwa misaada? 1. Utangulizi Kila mwaka Bunge la Tanzania hupitia na kuchanganua kwa makini bajeti ya Serikali.

More information

Upande 1.0 Bajeti yako

Upande 1.0 Bajeti yako Upande 1.0 Bajeti yako Bajeti (Budget) ni muhustari wa njisi wewe (na familia yako) mnavyopata na kutumia pesa. Inaunganisha pesa zinazoingia nyumbani kwako (Kipato/ income) na zile unazotumia (matumizi/expenses).

More information

UTANGULIZI ANUANI NA MANDHARI YA CHUO

UTANGULIZI ANUANI NA MANDHARI YA CHUO UTANGULIZI International Montessori Teachers College (IMTC), ni chuo kilichoanzishwa hapa nchini Tanzania mwaka 2012 na kinatoa kozi ya kimataifa ya ualimu wa watoto wadogo (yaani child care and nursery

More information

SautiElimu. Sauti Yako Isikike

SautiElimu. Sauti Yako Isikike SautiElimu Sauti Yako Isikike SautiElimu Sauti Yako Isikike Mtayarishaji : Godfrey Telli Mchangiaji : Robert Mihayo Mhariri : Rakesh Rajani Shukrani za dhati kwa timu ya waandaaji wa SautiElimu 1-10: Lilian

More information

5. Mheshimiwa Spika, Bunge lako Tukufu lilijadili kwa kina Miswada ifuatayo:

5. Mheshimiwa Spika, Bunge lako Tukufu lilijadili kwa kina Miswada ifuatayo: HOTUBA YA MHESHIMIWA MIZENGO PETER PINDA (MB), WAZIRI MKUU, WAKATI WA KUTOA HOJA YA KUAHIRISHA MKUTANO WA KUMI NA MBILI WA BUNGE DODOMA TAREHE 29 AGOSTI 2008 UTANGULIZI 1. Mheshimiwa Spika, leo ni takriban

More information

MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI KWA MWAKA 2017/18

MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI KWA MWAKA 2017/18 MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI KWA MWAKA 2017/18 WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO NOVEMBA, 2016 ISBN 978-9987 - 829-02 - 9 ii YALIYOMO 1.0 UTANGULIZI... 1 2.0 MABORESHO YA MFUMO WA KIBAJETI... 2

More information

Uzio wa pilipili unazuia tembo kuvamia mazao shambani! Jinsi ya kujenga na kudumisha uzio wa pilipili Tanzania

Uzio wa pilipili unazuia tembo kuvamia mazao shambani! Jinsi ya kujenga na kudumisha uzio wa pilipili Tanzania Uzio wa pilipili unazuia tembo kuvamia mazao shambani! Jinsi ya kujenga na kudumisha uzio wa pilipili Tanzania Jinsi ya kujenga na kudumisha uzio wapilipili Tanzania Wildlife Division, Tanzania Wildlife

More information

TIST (TANGA) HABARI MOTO MOTO. Kutunza miche yako. Take care of your seedlings. Take care of your trees

TIST (TANGA) HABARI MOTO MOTO. Kutunza miche yako. Take care of your seedlings. Take care of your trees TIST (TANGA) HABARI MOTO MOTO Tel. +255748-537720/632013, P.O.BOX 6049 MOROGORO E-Mail info@ tist.org April 2004 Take care of your seedlings This year, thousands of seedlings have been planted in the TIST

More information

TAFSIRI RAHISI YA MPANGO WA MAENDELEO YA AFYA YA MSINGI (MMAM)

TAFSIRI RAHISI YA MPANGO WA MAENDELEO YA AFYA YA MSINGI (MMAM) TAFSIRI RAHISI YA MPANGO WA MAENDELEO YA AFYA YA MSINGI (MMAM) 2007-2017 TAFSIRI RAHISI YA MPANGO WA MAENDELEO YA AFYA YA MSINGI (MMAM) 2007-2017 Kimetolewa na Sikika (Zamani YAV) S.L.P 12183 Dar Es Salaam

More information

MWONGOZO WA UTUNGAJI WA SHERIA NDOGO NA USHIRIKI WA WANANCHI

MWONGOZO WA UTUNGAJI WA SHERIA NDOGO NA USHIRIKI WA WANANCHI MWONGOZO WA UTUNGAJI WA SHERIA NDOGO NA USHIRIKI WA WANANCHI 2012 MWONGOZO WA UTUNGAJI WA SHERIA NDOGO NA USHIRIKI WA WANANCHI 2012 Kitabu hiki kimetayarishwa na Shirika la Equality for Growth (EfG) Equality

More information

MKAKATI ATHARI YA MAZINGIRA NA KIJAMII YA KAZI YA PRO-ROUTES. Ombi kwa ajili ya fedha za umma wa mradi wa ziada

MKAKATI ATHARI YA MAZINGIRA NA KIJAMII YA KAZI YA PRO-ROUTES. Ombi kwa ajili ya fedha za umma wa mradi wa ziada Public Disclosure Authorized Public Disclosure Authorized Public Disclosure Authorized Public Disclosure Authorized Résumé non technique Version Swahili MKAKATI ATHARI YA MAZINGIRA NA KIJAMII YA KAZI YA

More information

Mheshimiwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame M. Mbarawa (Mb.); Waheshimiwa Mawaziri na Wabunge wote mliohudhuria;

Mheshimiwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame M. Mbarawa (Mb.); Waheshimiwa Mawaziri na Wabunge wote mliohudhuria; HOTUBA YA BALOZI MHANDISI JOHN W.H. KIJAZI, KATIBU MKUU KIONGOZI, WAKATI WA UFUNGUZI WA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAHANDISI KWA MWAKA 2017, UKUMBI WA JAKAYA KIKWETE, DODOMA, SEPTEMBA 7, 2017 Mheshimiwa Waziri

More information

Adhabu ya jino kwa jino na Musitakabali wa imani zetu

Adhabu ya jino kwa jino na Musitakabali wa imani zetu Adhabu ya jino kwa jino na Musitakabali wa imani zetu Nabii Musa alipotoka mlima Sinai kupewa amri kumi za Mungu zilizoko kwenye kitabu cha Kutoka 20:1 17, Mungu alimpa na sharia zingine ambazo lengo lake

More information

HOTUBA YA WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU: KAZI, AJIRA, VIJANA NA WENYE ULEMAVU MHE

HOTUBA YA WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU: KAZI, AJIRA, VIJANA NA WENYE ULEMAVU MHE HOTUBA YA WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU: KAZI, AJIRA, VIJANA NA WENYE ULEMAVU MHE. JENISTA MHAGAMA (MB), KATIKA KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA AFYA NA USALAMA MAHALI PA KAZI DUNIANI DODOMA, 28 APRILI

More information

Azimio la Umoja wa Mataifa Kuhusu Watetezi wa Haki za Binadamu

Azimio la Umoja wa Mataifa Kuhusu Watetezi wa Haki za Binadamu The Human Rights Centre Uganda Azimio la Mkutano Mkuu 53/144 (8 Machi 1999) Azimio la Umoja wa Mataifa Kuhusu Watetezi wa Haki za Binadamu AZIMIO KUHUSU HAKI NA WAJIBU WA MTU BINAFSI, VIKUNDI NA JUMUIYA

More information

Early Grade Reading Assessment for Kenya

Early Grade Reading Assessment for Kenya EDDATA II Early Grade Reading Assessment for Kenya Baseline Instruments: Kiswahili and English EdData II Technical and Managerial Assistance, Task Number 4 Contract Number EHC-E-01-04-00004-00 Strategic

More information

Lesson 11 Weather and Seasons Hewa Majira

Lesson 11 Weather and Seasons Hewa Majira Lesson 11 Weather and Seasons Hewa Majira This lesson will introduce you to: - Vocabulary related to weather, seasons, and climate - How to ask for and give temperatures - How to understand the weather

More information

Kuuelewa Mchakato wa Bajeti Tanzania Mwongozo wa Asasi za Kiraia

Kuuelewa Mchakato wa Bajeti Tanzania Mwongozo wa Asasi za Kiraia Kuuelewa Mchakato wa Bajeti Tanzania Mwongozo wa Asasi za Kiraia HakiElimu & Policy Forum KUUELEWA MCHAKATO.indd a 1/20/10 11:00:56 AM KUUELEWA MCHAKATO.indd b 1/20/10 11:00:57 AM Kuuelewa Mchakato wa

More information

KANUNI ZA MAADILI MWONGOZO WA WANAFUNZI

KANUNI ZA MAADILI MWONGOZO WA WANAFUNZI Swahili TANGAZO LA MATARAJIO NA JUKUMU KANUNI ZA MAADILI MWONGOZO WA WANAFUNZI Lengo letu ni kuwezesha mazingira ya jumuiya ya ushirikiano yanayowapatia wanafunzi wote kwa kila kiwango fursa ya kufikia

More information

TANZANIA OSAKA ALUMNI. Kitabu cha Mbinu Bora

TANZANIA OSAKA ALUMNI. Kitabu cha Mbinu Bora K I T A B U C H A M B I N U B O R A C H A T O A U k u r a s a 1 TANZANIA OSAKA ALUMNI Kitabu cha Mbinu Bora Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa P.O. Box 1923, Dodoma. Novemba, 2012

More information

TIST HABARI MOTO MOTO. Benefits of Loan Repayment. Faida za ulipaji wa mikopo U OTESHAJI W A M ITI Y A M ATUNDA

TIST HABARI MOTO MOTO. Benefits of Loan Repayment. Faida za ulipaji wa mikopo U OTESHAJI W A M ITI Y A M ATUNDA TIST HABARI MOTO MOTO Tel. 026-2322246, P.O.BOX 53 MPWAPWA E-Mail tist@ twiga.com 01 June 2001 Benefits of Loan Repayment As the date of repayment nears, 15 June, groups are busy preparing crops, digging

More information

Mwongozo wa Utekelezaji wa Njia za S5-UUE (KAIZEN)-UUU Tanzania

Mwongozo wa Utekelezaji wa Njia za S5-UUE (KAIZEN)-UUU Tanzania Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Mwongozo wa Utekelezaji wa Njia za S5-UUE (KAIZEN)-UUU Tanzania Msingi wa Programu zote za Uimarishaji Ubora Toleo la 1 kwa Lugha ya Kiswahili

More information

TANZANIA MARKETS PAN Sera zinazoboresha masoko

TANZANIA MARKETS PAN Sera zinazoboresha masoko TANZANIA MARKETS PAN Sera zinazoboresha masoko UPOTEVU WA MAZAO YA NAFAKA BAADA YA MAVUNO: CHANGAMOTO NA UBORESHAJI Usuli Kuna makubaliano ya jumla kwamba marekebisho ya sera zinazohusu sekta ya kilimo,

More information

KIJARIDA JUU YA HAKI ZA RAIA KATIKA MFUMO JINAI

KIJARIDA JUU YA HAKI ZA RAIA KATIKA MFUMO JINAI KIJARIDA JUU YA HAKI ZA RAIA KATIKA MFUMO JINAI KIMETOLEWA NA CHAMA CHA WANASHERIA TANZANIA BARA KWA UFADHILI WA TAASISI YA LEGAL SERVICE FACILITY (LSF) 1 KIMEANDALIWA NA Chama Cha Wanasheria Tanzania

More information

ORDER NO BACKGROUND

ORDER NO BACKGROUND In the matter of an Application by the DAR ES SALAAM URBAN WATER SUPPLY AND SEWERAGE AUTHORITY (DAWASA) For a Tariff Adjustment, Submitted on January 8 th, 2008 (TR-W-08-001) ORDER NO. 08-001 1.0 BACKGROUND

More information

Elimu Bora, lakini... C HakiElimu Elimu bora, lakini...

Elimu Bora, lakini... C HakiElimu Elimu bora, lakini... Elimu Bora, lakini... Shukrani za dhati kwa wote waliotusaidia katika kutayarisha kijitabu hiki: Nsa Kaisi, Mshauri wa Rais, kwa mchango wake mkubwa wa mawazo Wafanyakazi wote wa HakiElimu 2003-2004 Many

More information

KUHUSU AFRODAD. Dira ya AFRODAD. Dhamira ya AFRODAD. AFRODAD inalenga mchakato sawa na endelevu wa maendeleo kuelekea Afrika yenye mafanikio.

KUHUSU AFRODAD. Dira ya AFRODAD. Dhamira ya AFRODAD. AFRODAD inalenga mchakato sawa na endelevu wa maendeleo kuelekea Afrika yenye mafanikio. KUHUSU AFRODAD Dira ya AFRODAD AFRODAD inalenga mchakato sawa na endelevu wa maendeleo kuelekea Afrika yenye mafanikio. Dhamira ya AFRODAD Kupata sera zitakazorekebisha migogoro ya madeni ya Afrika kulingana

More information

PDF created with pdffactory trial version

PDF created with pdffactory trial version المملكة العربية السعودية وزارة التعليم العالي الجامعة الا سلامية بالمدينة المنورة عمادة البحث العلمي قسم الترجمة تعريف موجز بالا سلام بل( لغة السواحلية) ١ بسم االله الرحمن الرحیم MAELEZO KWA UFUPI KUHUSU

More information

Programu ya Uendelezaji Mifumo ya Maji Vijijini (PUMMV) katika Tanzania. Modeli wa Ukodishaji Mradi

Programu ya Uendelezaji Mifumo ya Maji Vijijini (PUMMV) katika Tanzania. Modeli wa Ukodishaji Mradi Programu ya Uendelezaji Mifumo ya Maji Vijijini (PUMMV) katika Tanzania Modeli wa Ukodishaji Mradi Programu ya Uendelezaji Mifumo ya Maji Vijijini (PUMMV) Programu ya Uendelezaji Mifumo ya Maji Vijijini

More information

HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, MHESHIMIWA DKT. PHILIP I. MPANGO (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA SERIKALI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO

HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, MHESHIMIWA DKT. PHILIP I. MPANGO (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA SERIKALI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, MHESHIMIWA DKT. PHILIP I. MPANGO (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA SERIKALI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA 2018/19 1 I. UTANGULIZI 1. Mheshimiwa

More information

Kijitabu cha Maelezo cha Programu ya Famasia

Kijitabu cha Maelezo cha Programu ya Famasia IDARA YA KUFIKIA HUDUMA ZA AFYA VERMONT Kijitabu cha Maelezo cha Programu ya Famasia GreenMountainCare MIASHA YENYE AFYA BORA ZAIDI Jedwali la Yaliyomo Jedwali la Yaliyomo... 2 Karibu kwenye Programu ya

More information

Deputy Minister for Finance

Deputy Minister for Finance ISSN: 1821-6021 Vol XI - No - 34 DID YOU KNOW? A procuring entity is?s required to use suppliers pliers?pliers?pliers?pliers among those awarded ed?ed?ed?ed framework agreements by GPSA for procurement?ents

More information

NGUZO KUMI ZA KILIMO KWANZA

NGUZO KUMI ZA KILIMO KWANZA NGUZO KUMI ZA KWANZA (MFUMO WA UTEKELEZAJI) NGUZO YA 1 DIRA YA TAIFA YA KWANZA 1.1 Kupitisha Dira ya KWANZA SHUGHULI MAJUKUMU MUDA MHUSIKA MKUU 1. AZIMIO LA KWANZA 2. mpango wa utekelezaji wa KWANZA 3.

More information

BUNGE LA TANZANIA MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA PILI. Kikao cha Nne - Tarehe 29 Januari, (Kikao Kilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A

BUNGE LA TANZANIA MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA PILI. Kikao cha Nne - Tarehe 29 Januari, (Kikao Kilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A BUNGE LA TANZANIA MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA PILI Kikao cha Nne - Tarehe 29 Januari, 2016 (Kikao Kilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Naibu Spika (Mhe. Dkt. Tulia Ackson) Alikalia Kiti HATI ZA KUWASILISHA

More information

HALMASHAURI YA WILAYA YA TUNDURU MUHTASARI WA MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI ULIOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA KLASTA YA MLINGOTI TUNDURU TAREHE 27/07/2017

HALMASHAURI YA WILAYA YA TUNDURU MUHTASARI WA MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI ULIOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA KLASTA YA MLINGOTI TUNDURU TAREHE 27/07/2017 HALMASHAURI YA WILAYA YA TUNDURU MUHTASARI WA MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI ULIOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA KLASTA YA MLINGOTI TUNDURU TAREHE 27/07/2017 1.0 WAJUMBE WALIOHUDHURIA: 1. Mh. Mbwana Mkwanda Sudi

More information

Tufundishane! Mwalimu Bora In this issue: Issue 6, December Do you want to be in our next issue?

Tufundishane! Mwalimu Bora In this issue: Issue 6, December Do you want to be in our next issue? Tufundishane! Let s teach each other! This newsletter is published by The Foundation for Tomorrow and is meant to be a venue for teachers and schools to share and learn from each other s best practices.

More information

International Labour Office. Kazi za Ndani Zenye Madhara kwa Watoto: Kijitabu cha Maelezo Mafupi

International Labour Office. Kazi za Ndani Zenye Madhara kwa Watoto: Kijitabu cha Maelezo Mafupi International Labour Office Kazi za Ndani Zenye Madhara kwa Watoto: Kijitabu cha Maelezo Mafupi 1 Hakimiliki Shirika la Kazi Duniani 2007 Kimechapwa mara ya kwanza 2007 Machapisho ya Ofisi ya Shirika la

More information

TIST HABARI MOTO MOTO

TIST HABARI MOTO MOTO TIST HABARI MOTO MOTO Tel. +255784-537720/+255717-062960/+255782-250947, P.O.BOX 6049 MOROGORO E-Mail info@tist.org May 2010 Cash Payments for Trees Clean Air Action has developed a way to pay the groups

More information

Miradi na jamii. 3.1 Utangulizi

Miradi na jamii. 3.1 Utangulizi 3.1 Utangulizi Miradi na jamii Lengo la sura hii ni mapitio ya mazingira pana ambayo chini ya ardhi kwa ajili ya maendeleo vijijini upatikanaji wa maji inafaa. majadiliano wakapanga meneja, au kiongozi

More information

WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI TAASISI YA ELIMU TANZANIA MTAALA WA ELIMU YA MSINGI TANZANIA

WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI TAASISI YA ELIMU TANZANIA MTAALA WA ELIMU YA MSINGI TANZANIA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI TAASISI YA ELIMU TANZANIA MTAALA WA ELIMU YA MSINGI TANZANIA 2007 i WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI TAASISI YA ELIMU TANZANIA MTAALA WA ELIMU YA MSINGI TANZANIA

More information

Bustani 10,000 Katika Afrika. Alberto Prina

Bustani 10,000 Katika Afrika. Alberto Prina Bustani 10,000 Katika Afrika Alberto Prina K i j i t a b u Timu ya wahariri: Abderrahmane Amajou, Typhaine Briand, Roba Bulga Jilo, Davide Dotta, Emanuele Dughera, Michela Lenta, Velia Lucidi, Irene Marocco,

More information

JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 1

JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 1 The Human Rights Centre Uganda JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 1 AZIMIO LA KIMATAIFA JUU YA HAKI ZA KIBINADAMU SURA YA NNE YA KATIBA YA JAMHURI YA UGANDA YA 1995: MASIMULIZI YALIYOFASIRIWA KWA URAHISI NA KUFUPISHWA

More information

KAMATI ZA KUDHIBITI UKIMWI NCHINI TANZANIA

KAMATI ZA KUDHIBITI UKIMWI NCHINI TANZANIA KAMATI ZA KUDHIBITI UKIMWI NCHINI TANZANIA KAMATI ZA KUDHIBITI UKIMWI NCHINI TANZANIA NI UFUMBUZI KATIKA KUSHIRIKISHA JAMII? NI UFUMBUZI KATIKA KUSHIRIKISHA JAMII? Februari, 2013 Februari, 2013 SHUKURANI

More information

TIST HABARI MOTO MOTO MAANDALIZI YA MWAKA 2000 Y2K PREPARATIONS SASA NI WAKATI WA KUANZA KUPANDA MBEGU ZAKO

TIST HABARI MOTO MOTO MAANDALIZI YA MWAKA 2000 Y2K PREPARATIONS SASA NI WAKATI WA KUANZA KUPANDA MBEGU ZAKO TIST HABARI MOTO MOTO Tel. 026-2322246 P.O.BOX 53 MPWAPWA E-Mail tist@twiga.com 01 October 2000 Y2K PREPARATIONS Holes and Seedlings made ready for the year 2000 programme By Gayo Mhila The process of

More information

CGAP Smallholder Household Survey in Tanzania / Utafiti wa kaya ndogondogo Tanzania

CGAP Smallholder Household Survey in Tanzania / Utafiti wa kaya ndogondogo Tanzania CGAP Smallholder Household Survey in Tanzania / Utafiti wa kaya ndogondogo Tanzania Questionnaire for Individual Household Members/Dodoso kwa mwanakaya binafsi This questionnaire will be administered to

More information

UNACHOHITAJI KUJUA KUHUSU VIKWAZO VYA KULINDA MAISHA KATIKA USAIDIZI WA KIMATAIFA WA AFYA KWA MSAADA WA KIMATAIFA UNAOFADHILIWA NA MAREKANI

UNACHOHITAJI KUJUA KUHUSU VIKWAZO VYA KULINDA MAISHA KATIKA USAIDIZI WA KIMATAIFA WA AFYA KWA MSAADA WA KIMATAIFA UNAOFADHILIWA NA MAREKANI UNACHOHITAJI KUJUA KUHUSU VIKWAZO VYA KULINDA MAISHA KATIKA USAIDIZI WA KIMATAIFA WA AFYA KWA MSAADA WA KIMATAIFA UNAOFADHILIWA NA 30 SEPTEMBA, 2017 UTANGULIZI Tarehe 23 Januari, 2017, Rais Donald Trump

More information

Yaliyomo. Kuhusu kitabu hiki. Hautakuwa peke yako. Mfumo wa msaada ni wa manufaa sana wazazi wote wanahitaji!

Yaliyomo. Kuhusu kitabu hiki. Hautakuwa peke yako. Mfumo wa msaada ni wa manufaa sana wazazi wote wanahitaji! Yaliyomo Kuhusu kitabu hiki Kuhusu kitabu hiki.........................................................1 Unapojisikia vibaya.........................................................2 Unapoanza kuwa mzima

More information

Dibaji ya Mwenyekiti wa Kamati ya Pamoja ya Uongozi

Dibaji ya Mwenyekiti wa Kamati ya Pamoja ya Uongozi Dibaji ya Mwenyekiti wa Kamati ya Pamoja ya Uongozi Mwaka wa nne wa utekelezaji wa Mpango wa Msaada wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNDAP 2011-2016) nchini Tanzania ulikuwa na mafanikio makubwa lakini

More information

Songa kwenye kilele cha upeo. Masuala ya Msingi na Ujuzi juu ya Uendeshaji wa Serikali za Mitaa

Songa kwenye kilele cha upeo. Masuala ya Msingi na Ujuzi juu ya Uendeshaji wa Serikali za Mitaa Songa kwenye kilele cha upeo Masuala ya Msingi na Ujuzi juu ya Uendeshaji wa Serikali za Mitaa Masuala ya Msingi na Ujuzi juu ya Uendeshaji wa Serikali za Mitaa United Republic of Tanzania Photos provided

More information

Kufafanua Upya Elimu Bora Tanzania: Kutoka Zana za Dufundishia mpaka Uwezo wa Wanafunzi 1 Oktoba 2007

Kufafanua Upya Elimu Bora Tanzania: Kutoka Zana za Dufundishia mpaka Uwezo wa Wanafunzi 1 Oktoba 2007 Kufafanua Upya Elimu Bora Tanzania: Kutoka Zana za Dufundishia mpaka Uwezo wa Wanafunzi 1 Oktoba 2007 1. Utangulizi Changamoto kuu iliyopo kuhusiana na Elimu ya msingi nchini Tanzania kwa sasa ni namna

More information

Elimukombozi, Lugha na Upashanaji Habari nchini Tanzania, katika Muktadha wa Utandawazi

Elimukombozi, Lugha na Upashanaji Habari nchini Tanzania, katika Muktadha wa Utandawazi Elimukombozi, Lugha na Upashanaji Habari nchini Tanzania, katika Muktadha wa Utandawazi Martha Qorro 1 1.0 Utangulizi Elimu ni suala la jamii ambalo mipango na taratibu zake zinahitaji kushirikisha wadau

More information

LUGHA YA KISWAHILI KATIKA KUFUNDISHIA NA KUJIFUNZIA ELIMU SHULE ZA SEKONDARI

LUGHA YA KISWAHILI KATIKA KUFUNDISHIA NA KUJIFUNZIA ELIMU SHULE ZA SEKONDARI LUGHA YA KISWAHILI KATIKA KUFUNDISHIA NA KUJIFUNZIA ELIMU SHULE ZA SEKONDARI SIKOMBE YIZUKANJI YORADI TASNIFU YA KISWAHILI KWA MINAJILI YA KUTUNUKIWA SHAHADA YA UZAMILI (MA. KISWAHILI) KITIVO CHA SANAA

More information

usudi la Maisha Hakika katika kuumbwa mbingu na ardhi, na kupishana usiku na mchana, kuna kweli ishara kwa wenye akili, ambaye mkumbuke-

usudi la Maisha Hakika katika kuumbwa mbingu na ardhi, na kupishana usiku na mchana, kuna kweli ishara kwa wenye akili, ambaye mkumbuke- Kusudi la Maisha hawatakuambia nini walihitimisha kupitia uchunguzi au hoja ya uchambuzi. Katika hali nyingi, hakika wao kukuambia nini mtu mwingine alisema... Au wao watakuambia nini kawaida kudhaniwa

More information

ORODHA YA WAJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI SPIKA MHE. PANDU AMEIR KIFICHO. Rais.

ORODHA YA WAJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI SPIKA MHE. PANDU AMEIR KIFICHO. Rais. ORODHA YA WAJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI SPIKA MHE. PANDU AMEIR KIFICHO 1.Mhe. Kamal Basha Pandu 2.Mhe. Ali Mzee Ali 3.Mhe. Shamsi Vuai Nahodha Naibu Spika/Jimbo la Rahaleo. Mwenyekiti wa Baraza/Uteuzi

More information

RIPOTI YA WARSHA KUHUSU HABARI KWA AJILI YA UWAJIBIKAJI

RIPOTI YA WARSHA KUHUSU HABARI KWA AJILI YA UWAJIBIKAJI International Records Management Trust RIPOTI YA WARSHA KUHUSU HABARI KWA AJILI YA UWAJIBIKAJI ukumbi wa British Council Tanzania Auditorium Machi 27-28, 2000 Dar es Salaam, Tanzania warsha imeandaliwa

More information

13 APRILI, 2012 BUNGE LA TANZANIA MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA SABA. Kikao cha Nne Tarehe 13 Aprili, (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A

13 APRILI, 2012 BUNGE LA TANZANIA MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA SABA. Kikao cha Nne Tarehe 13 Aprili, (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A BUNGE LA TANZANIA MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA SABA Kikao cha Nne Tarehe 13 Aprili, 2012 (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Mwenyekiti (Mhe. Jenista J. Mhagama) Alisoma Dua MWENYEKITI: Waheshimiwa

More information